Gomeez Profile Banner
Gomeez Profile
Gomeez

@Gomeezmarketer

1,412
Followers
2,746
Following
377
Media
3,948
Statuses

|Entrepreneur | Investor & Business woman | CPA affiliate💵|Hustler 🍁 | Activist 🇹🇿 | Simba sc| Madrid fan| cool & fine girl❤️🥰💋 |

Canada 🍁 , Tanzania 🇹🇿
Joined August 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@Jambotv_ Kwanin Jakaya kikwete kama kwel anapenda haki,hakutoka hadharan kukosoa/kukemea kipindi ambacho nchi ilikua kwenye giza na wafanyabiashara walikuwa wanafanyiwa hayo mambo mabaya? Je Samia pia lini aliyakemea akiwa vice president? WaTz tumegundua tatizo ni ccm, lazima tuwaondoe.
18
5
77
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@Jambotv_ hizi ndo mentality za kiprofessor na kidaktari ninazozifahamu, thank u so much Prof. Lwaitama. Angalau unaonesha elimu ya Tz ipo hai. Kuna watu wakiongea hatujui ni madaktari, professor au ni kidato cha pili! Chukulia mfano, Tulia, Ndumbaro, Kigwangala, kabudi na wengine wengi
4
7
61
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@TanzaniaOneJezi Uzuri ni kwamba watu wote tupo apa mtandaoni, na sio kwamba wewe unatusimulia, hapana tumeona wenyewe. Wengine hatujahitaji mshindi, ila tulihitaji kuona hoja, kwanini huyu anahitaji tuwe na consistency kudai katiba mpya na kwanini huyu hahitaji consistency. Anaboost app yake.
2
1
61
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@jokateM @SuluhuSamia Apo anafanya kazi gani? Yani unasifia anajilowesha kwenye sherehe. Hizo ni sherehe sio shida. Aende akajiloweshe huko mikoani akiangalia madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua inayomlowesha. Hapo ndo tutajua anawatumikia wananchi. Mtu anatafuta sifa kuloana uwanjani 🚮
5
2
61
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@ayubu_madenge ni dharau kubwa sana kwa serikal ya Tanzania kushindwa kusimamia mradi huu! Yani serikali imeshindwa kusimamia mabasi kweli?Kifupi Dubai waje wakusanye pesa za mwendokasi? Maana mabasi yapo, barabara zipo, serikali imeshindwa nini? Watz sio kila kitu ni cha kufurahia kusaidiwa
13
2
53
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@IAMartin_ @airtel_tanzania I'm very happy with you. I'm very glad to hear this. Hii pia ni ishara ya ukomavu wa kudai haki yako popote pale. Hivi vitu tunaviona ughaibuni tu, mtu anaenda kufungua kesi mtandao haukupatikana wakati anafanya Skype muhimu kwenye kazi yake hivyo amepoteza kipato. Analipwa.
0
0
54
@Gomeezmarketer
Gomeez
13 days
@YerickoNyerereT @MsigwaPeter @ChademaTz Msigwa ni ( trusted puppet) alieenda kufanya kazi yake pale #CCM 😂 😂 Sasa Tutegemee kuwafahamu wauaji, watekaji, na chain ya kuiba kura. #Chadema itashinda kwa kishindo chaguzi zote. Huenda Tutegemee na katiba mpya kabla ya #2025 Hiyo ni puppet msigwa's effect
1
10
52
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@ExMayorUbungo Watanzania,sasa ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu. Kila kitu kina mwisho wake CCM sio watu wa kuwapatia muda wowote zaidi wa kuboresha chochote kwenye maisha yetu, taifa letu na kizazi chetu. Hili jambo sio la kuwaachia wanasiasa, msaada wao utagonga mwamba! Tuitoe kwa nguvu
5
7
40
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@IAMartin_ hamna mwana ccm Mwenye uwezo wa kuisaidia nchii hii. Ni kama kundi la swala waliofulushwa na simba,ko kila mmoja anapita njia yake! Hayo magar na bendera zao walikuwa wanatumia kutishia police kusafirisha pembe za tembo na Madini,leo mpaka binadamu 😭! Let’s fight for our right
2
5
37
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@TanzaniaOneJezi Kiduku, nakuuliza hapa. Cheo cha Martin ndani ya chadema ni nani? Ni heri ukazie matukio mabaya ya watu kama Ntobi sababu ni mwenyekiti wa chama mkoa lakini sio Martin! Mbona ntobi huwa tunamuonya sana, sababu yule ni kiongoz wa chama sio influencer. Wewe binafsi unahoja gani?
4
2
36
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@AirTanzania Watanzania, sasa ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu. Kila kitu kina mwisho wake CCM sio watu wa kuwapatia muda wowote zaid wa kuimprove chochote kwenye maisha yetu, taifa letu na kizazi chetu. Hili jambo sio la kuwaachia wanasiasa, msaada wao utagonga mwamba! Tuitoe kwa nguvu
6
3
35
@Gomeezmarketer
Gomeez
14 days
@PMadeleka Ooh my Jesus!! 😔. Wanataka wauwe nyie mnaowakosoa mahakani, wametaka kuua/wameshawauwa wanaowakosoa majukwaani, na Sasa wanawauwa wanaowakosoa mitandaoni. Inasikitisha Sana, wanataka taifa libaki na watu wapumbavu watupu, ili wawatawale
0
2
35
@Gomeezmarketer
Gomeez
2 months
need an app developer.
34
1
32
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@Ntobi_ Mange ni mtu wa kumshauri tu, maana ni muelewa pia. Hivi juzi tukiwasiliana na diasporas wengine alitoa point muhimu sana. Na tutaungana wote kwenye maandamano ya diasporas abroad kuunga mkomo azimio la mtwara. Pindi yatakapoanza. Ko nadhani anapaswa kushauriwa tu.
2
3
31
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@MariaSTsehai @godbless_lema Na safari hii lazima tumalizane na makonda, kama wanafkiri wamemtuma kuteka na kuua watu arusha bas subirieni majibu. Yani kipindi hichi ni lazima atekwe mtekaji. What comes around goes around. #makonda karibu chuga. #wadudu sio wazaramo.
4
5
31
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@HermaineM Wow❤️ Reply with your pic Thread ⬇️
Tweet media one
0
0
29
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@eastafricatv Watanzania wote tusambaze ujumbee huu wa mapinduzi kila mahali. Wenye marafiki na Akaunti binafsi Instagram, Facebook, WhatsApp groups, telegram na kila mahali. Sambaza ujumbe kila mmoja ajue tupo kwenye mchakato wa kuungana tuiondoe ccm kwa nguvu 💪. #TUUNGANE #WOTE
1
6
27
@Gomeezmarketer
Gomeez
15 days
@Sirjeff_D Pia Sativa atatueleza kama kweli aliwahi kupokea ujumbe huo ambao Ben alituma. Kama kweli alipokea ujumbe wa Aina yeyote, basi tuamue #Ben awe unashinda ndani kama mwali usitoke nje. Na mama ake asitoke nje ya Tz, Akija huku mantoni basi itapigwa gun kweupe, #kisasi
2
1
27
@Gomeezmarketer
Gomeez
15 days
@IAMartin_ @Sativa255 Mimi nasisitiza Sativa atatueleza kama kweli aliwahi kupokea ujumbe huo ambao Ben alituma. Kama kweli alipokea ujumbe wa Aina yeyote, basi tuamue #Ben awe anashinda ndani kama mwali asitoke nje. Na Ummy asitoke nje ya Tz, Akija huku mantoni basi itapigwa #gun kweupe, #kisasi 🥺
3
2
26
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@bbcswahili vyombo vya habari vinaona msaada huu wa mchele umezua gumzo,lakini serikali haioni gumzo yoyote.ndo mana mpaka sasa hakuna ufafanuzi uliotolewa! Very shem Let's Go Tz, go fight for our right 💪. TZ sio nchi ya kutegemea msaada wa chakula ikiwa na raia 60m+ na ardhi ya kutosha.
3
0
25
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@eastafricatv TANZANIA, TANZANIA, TANZANIA 🇹🇿 Tuamke wote, AMKENI watanzania, sisi sio wanyonge Tena. Ni bora tupigane tuitoe #CCM ata kwa #battlefield ikibidi, kuliko kuendelea kuwaacha hawa watu watatumaliza wote. Sisi na vizazi vyetu vitaangamia. Amkeni watanzania wote Tuungane.
0
4
25
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@MariaSTsehai hivi vitu vinaumiza sana,lakn mimi kwa linalofanyika kwa hawa servants nafurahi! Why nafurahi? B'se servants wanaoneshwa ukatili wa maccm kwa mifano,wanaumizwa kwa mifano hai. Tunaoijua ccm tunajua hawa servants wanafukuzwa kazi kijanja.Sasa watapata hasira ya kuiondoa madarakani
4
3
23
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@nulphin Kwa clab ya Yanga takribani wachezaji 7 walikuwa watanzania Kama hapa nyumban wamezuiwa kuhoji,na kukosoa mambo ya ajabu yanayofanywa na serikal,zaidi wanaimba #mamasamia kwenye mpira. Je wataweza kugoma kwenye nchi ya watu? Upumbavu mlioutengeneza hapa umewagharimu wakiwa south.
0
1
25
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@swahilitimes Tanzanian, sasa ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu. Kila kitu kina mwisho wake CCM sio watu wa kuwapatia muda wowote zaid wa kuimprove chochote kwenye maisha yetu, taifa letu na kizazi chetu. Hili jambo sio la kuwaachia wanasiasa, msaada wao utagonga mwamba! Tuitoe kwa nguvu
1
0
24
@Gomeezmarketer
Gomeez
15 days
@godbless_lema Wameamua wamtoe kafara mtekelezaji wa sheria kisheria. Lakini wameshindwa kujitoa kafara wenyewe wanaotunga sheria za kipumbavu
0
0
24
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@MariaSTsehai Em tusaidieni historia sisi vijana wa 90's, hivi Nyerere nae alikuwa ni Rais ambae akiwakamata viongozi kwa magendo au uharifu aliwaachia waondoke bila kuwapeleka mahakamani? Kama sivyo, huyu mama yeye role model wake ni Rais gani? Let's Go Tz, go fight for our right 💪
Tweet media one
9
2
23
@Gomeezmarketer
Gomeez
9 days
@MalisaGJ_ @ExMayorUbungo Kila pillar ya hii nchi inayumba. Na zinayumbishwa na muhimili mmoja tu wa executive. Hiki kitu kikomeshwe.
2
2
22
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@swahilitimes TANZANIA🇹🇿, sasa ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu. Kila kitu kina mwisho wake CCM sio watu wa kuwapatia muda wowote zaid wa kuimprove chochote kwenye maisha yetu, taifa letu na kizazi chetu. Hili jambo sio la kuwaachia wanasiasa, msaada wao utagonga mwamba! Tuitoe kwa nguvu
3
3
21
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@Jambotv_ @mwigulunchemba1 My brothers @__abdulazack @DChevichenko @Getrude_mollel @elias_lugwisha na machawa wengine wote, zingatieni picha hii. kisha muingiwe na uchungu, mioyo yenu iwaume kwamba nyie ni chawa kwa mwigulu na ccm yake, then watoto wenu nao watakuja kuwa chawa wa mtoto wa mwigulu 😢
2
0
20
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@faisalkutty What about Republic of Congo? Haven't you ever woke up and think about the bloodbath in Congo? The world should consider humanity. Help Gaza and Congo.
3
2
20
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@Jambotv_ Watanzania, sasa ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu. Kila kitu kina mwisho wake CCM sio watu wa kuwapatia muda wowote zaid wa kuimprove chochote kwenye maisha yetu, taifa letu na kizazi chetu. Hili jambo sio la kuwaachia wanasiasa, msaada wao utagonga mwamba! Tuitoe kwa nguvu
3
2
20
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@TanzaniaOneJezi Mim matusi sipendi kaka angu, Nilichoandika umekisoma au umekurupuka kama bao la kwanza? Nimekwambia "consistency" au hujui kingereza? Mfano Huyo mange ana mchango mkubwa kwenye mapambano kuliko zitto kabwe? Ila zitto nae anapuuzwa sabu saivi yupo kimaslahi ! Wewe hujaelewa nin
1
0
20
@Gomeezmarketer
Gomeez
5 days
@MariaSTsehai @Nkubaiv That is very brilliant and constructive question. Nadhani jibu la swali hili linaweza kutoa picha ya kina na kutambua ukweli wa kilichofanyika. Ni muhimu @Nkubaiv ujibu swali hili kwa niaba ya wengi. Thank you so much @MariaSTsehai
0
3
19
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@timecaptales @creepydotorg Touched words from him "“I want to get a nice house. I haven’t found it yet, but I’ll be looking for one soon. I like to handle money. I don’t beg, I don’t borrow,” - Campbell
0
0
17
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
1
0
17
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@Sedrick_Ug Don't let us down 👏, we're really sweet ❤️🥰
8
0
18
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
My friend #Melanie 📍Miami - Florida 🇺🇸
Tweet media one
5
0
16
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@TanzaniaOneJezi Sisi wenye akili timamu tumempuuza ZITTO. nani alie timamu atakubaliana na zitto kwamba hii tume ni huru? Na hitaji kubwa la zitto mpaka sasa ni kwamba hii tume iliyopo ijiuzuru,Samia aunde nyingine afu zitto ndo atakubaliana nayo😂 Ni mpumbavu kama wewe tu ndo hawezi kumpuuza.
5
1
17
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
Shangazi uko wapiiii? Njoo umtetee kiongozi mwanamke anatukanwa mitandaoni. Shangazi mwenyewe ndo kwanza anatoa muongozo mzuri wa kupiga spana pale #space 🤣🤣🤣 #CCM Jiandaeni kuondoka tu hakuna namna nyingine ya kupata unafuu. #changeTanzania
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
3 months
Hiku chama kilikuwa wapi wakati TCRA walitunyanyasa? Walikuwa wanafurahi kwenye kundi lao! 🙄 Walikuwa wapi kuongelea dhulma dhidi ya wamaasai na mauaji! Wanachama wao walitumika kusambaza uongo na chuki! Sasa leo wanapata wapi ujasiri kutaka nitetee kiongozi wao? Mnipishe!
Tweet media one
56
44
250
2
3
17
@Gomeezmarketer
Gomeez
30 days
@mwigulunchemba1 Sasa mkifungia mtandao wa X, hizi taarifa utazichapisha kupitia mtandao upi @mwigulunchemba1 ? Nilifikiri mtaanza kuonesha mfano wa mbadala wa mtandao mtakao utumia kusambaza taarifa zenu Baada ya kufungia huu wa X ili tuujue. tunasubiri ukaseme shida ulizotuletea awamu hii
0
0
16
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Samia nchi imemshinda na wananchi hatumtaki tena, hivi sasa wote mnaona ambavyo ana andaa matumizi ya nguvu kwenye uchaguz ujao ili kuiba uchaguzi. Kitendo cha Rais Samia kufanya udanganyifu wa tume huru na kuzuia kabisa katiba mpya ambayo kila mTz anaitaka ni Uthibitisho tosha.
0
2
17
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@JayleenRickie Ivi nia yako ilikua ni nini? Haya kaniacha kweli huku🙄! Mungu mwema nilimtumia mmoja, lakini nimejipunguzia kipato tayari 😴 Sijui kwanini nilikusikiliza @JayleenRickie
4
0
17
@Gomeezmarketer
Gomeez
1 month
@Rania__rania__ thank you Rani.....😘😘
0
1
14
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@chapo255 Wngine tulitegemea mpaka sasa ili kuepusha taharuki na chuki dhidi ya serikali kwa hii kauli Rais angekuwa ameshamuwajibisha waziri ajiuzulu Lakini hafanyi hivyo, amefurahia tu. wananchi tutawawajibisha wote.They won't return into power though Let's Go Tz, go fight for our right
1
1
16
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@MariaSTsehai Vipi watu wa DPW wakigoma kutoa access kwa TISS? Actually hii bandari kupewa DPW kuna biashara nyingine nzito ya siri ipo nyuma ya pazia. Wakiweka workers wao tutajuaje imports na exports kupitia bandari? Watapitisha na kutoa kila aina ya maliasili wanazotaka, very easily.
2
5
15
@Gomeezmarketer
Gomeez
13 days
@Roma_Mkatoliki Kimsingi msigwa kuingia #CCM ni #intelligence ya chadema ipo kazini. Msigwa ni trusted puppet anaekamilisha kazi ya kuibomoa #CCM na kuiondoa madarakani. Msigwa bado ni mwanachadema mwaminifu, nitakuwa wa mwisho Kuja kuamin kwamba aliondoka. Msigwa kuwa CCM ni #Intelligensia tu
3
2
15
@Gomeezmarketer
Gomeez
15 days
@MalisaGJ_ Pia Sativa atatueleza kama kweli aliwahi kupokea ujumbe huo ambao Ben alituma. Kama kweli alipokea ujumbe wa Aina yeyote, basi tuamue #Ben awe unashinda ndani kama mwali usitoke nje. Na mama ake asitoke nje ya Tz, Akija huku mantoni basi itapigwa gun kweupe, #kisasi
0
0
15
@Gomeezmarketer
Gomeez
12 days
@MariaSTsehai Hahah 😂 😂, dah. Inabidi tucheke na kufurahi as if ni jambo zuri. Lakini nazidi kujipa moyo na Imani kwamba msigwa is still our own trusted soldier. Natumaini kwa Sasa Tutegemee kuwafahamu wauaji na watekaji. Intelligensia ya #Chadema imekuwa kubwa kuliko usalama wa Taifa.
1
2
15
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Yani kuna muda Rais Samia anashindwa kueleweka asaidiwe kwa namna ipi? Mawaziri wake wote tayari wanamsaliti na hakuna anaemsaidia kumwambia ukweli kwa lolote ili awe salama mbele ya wananch wake. Leo mwananch kama huyu baada awe ni jicho lake la mtaani, yeye anamkamata, kweli!!
4
2
14
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@Jambotv_ Mzee Warioba tulikumiss sana. Shukrani umekuja wakati sahihi wa kuyashughulikia haya madhulmat #maccm . Najua umeyaeleza sana ila hayaelewi. Ndo mana uliandika maoni pendekezi ya wananchi kwenye rasimu ya katiba. Watz sasa tuamke tuwaondoe #CCM kwa #nguvu ikibidi kwa #battlefield
1
2
14
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
And this is how innocent people are disappearing in Tanzania 🇹🇿, under President H.E SAMIA SULUHU. Up to now a number of people are claimed to disappear under enforced means. The pre-Trusted source reveals that those people are disappearing under Police arrest. #whereismusamziba
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
4 months
🚨🚨 #Tanzania #EnforcedDisappearances #WhereIsMusaMziba (Details of his abduction) TUPAZE SAUTI‼️ Taarifa kamili ya kutekwa kwake: 👇🏾👇🏾👇🏾 Musa Venerable Mziba ni mfanyabiashara mwenye kampuni inayoitwa Mzibaz Empire Investments Ltd (MEI) yenye ofisi zake eneo la Mikocheni B.
Tweet media one
51
167
543
0
6
14
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@MariaSTsehai Watz wote lengo letu ni moja tusambaze ujumbe huu kila mahali Wenye marafiki na Akaunti binafsi Instagram, Facebook, WhatsApp groups, telegram na kila mahali. Sambaza ujumbe kila mmoja ajue tupo kwenye mchakato wa kuungana wote tuiondoe ccm kivyovyote, #kinguvu #TUUNGANE #WOTE
0
5
13
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@IAMartin_ @sukununu01 Imagine kama hilo kosa la line wapo nalo serious, ni watu wangapi wanatumia line hazina majina yao? Je kosa linakuwa kosa mpaka mtu afike mahakamani? Wafike leo vyuoni, karibu kila mwanafunzi line sio ya jina lake. Mwanafunzi alietoka 4m4 akaenda diploma iyo nida kaipata lini?
2
0
13
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@KingPablotz The iron hand 😟 Kufanya Bunge lote liwe la chadema ili maendeleo yawaishwe! Hivi sasa bunge lile limekuwa tatizo la kwanza kwenye hii nchi. Natamani aamke ajionee hali halisi na aseme ikitokea mtu akarudia kosa kama hili kuwapa chadema bunge lote apewe adhabu gani? Alitukosea.
2
0
13
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@bajabiri Hiyo kauli ameitoa lini? Kama kweli kaitoa, tuwe macho kuna namna. Let's Go Tz, go fight for our right 💪.
4
0
13
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@miz_jim Repost mine too, ifb. Secretly me and you fastly
0
0
9
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@BabaMwita Watanzania tunaomba tusambaze ujumbe huo wa mapinduzi kila mahali. Wenye marafiki na Akaunti binafsi Instagram, Facebook, WhatsApp groups, telegram na kila mahali. Sambaza ujumbe kila mmoja ajue tupo kwenye mchakato wa kuungana tuiondoe ccm kwa nguvu 💪. #TUUNGANE #WOTE
0
2
11
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@millardayo TANZANIA, sasa ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu. Kila kitu kina mwisho wake CCM sio watu wa kuwapatia muda wowote zaid wa kuimprove chochote kwenye maisha yetu, taifa letu na kizazi chetu. Hili jambo sio la kuwaachia wanasiasa, msaada wao utagonga mwamba! Tuitoe kwa nguvu
0
0
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@lifeofmshaba Hii ngoma ni nzito sana, watumishi wananasa on "rat trap". Binafsi naamini ni mtu mwenye uelewa mdogo na asiekuwa makini wala asiekuwa na msimamo ndo anaweza nasa on the rat trap. Sasa nitashangaa kama maandamano ya Dar wafanyakazi wa #TPA Hawatakuja na mabango kumpinga #Samia
1
0
12
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@godbless_lema Tanzania, sasa ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu. Kila kitu kina mwisho wake CCM sio watu wa kuwapatia muda wowote zaid wa kuimprove chochote kwenye maisha yetu, taifa letu na kizazi chetu. Hili jambo sio la kuwaachia wanasiasa, msaada wao utagonga mwamba! Tuitoe kwa nguvu
1
2
12
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@MariaSTsehai The final goal is to withdraw #CCM from the power as we know it! CCM sio wa kuwapatia muda zaid wa kuboresha chochote kwenye maisha yetu, taifa letu na kizazi chetu. Hili jambo sio la kuwaachia wanasiasa, msaada wao utagonga mwamba! Tuitoe kwa nguvu, ata kwenye #battlefield
0
3
12
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@miz_jim I love the way my man handles me, I love the most when he rolls me well in sides of the bed 🥰 That's all I know ❤️👏 And don't forget to connect with me @Gomeezmarketer and I'll fb Repost to show some love ❤️🥰
0
0
12
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@Saraphinalaul78 @Saraphinalaul78 Najua una maanisha umetongozwa sio? Hilo nalo ni jambo la kutangaza hapa kwenye Public? Sio fair, hilo ni jambo la kijamii, kiutu na kawaida kabisa. Tuache ushamba, muda mwingine tuongee mambo sensitive wanawake. Ili tujenge jamii yetu.
4
0
11
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@godbless_lema Huenda wakazid kuongezeka!Fikiria kama yule mwnamke ni mbunge mwakilish wa vyuo vikuu ansema wasom waache kumkosoa Rais,bunge,na viongoz wa serikal ili wpate nfasi za kuwa viongoz Aliemwmbia wote tunataka kuwa viongozi nani?Na kwanni wasikosoe ndo wawe viongoz?anataka wwe chawa?
0
0
11
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@eastafricatv TANZANIA, sasa ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu. Kila kitu kina mwisho wake CCM sio watu wa kuwapatia muda wowote zaid wa kuimprove chochote kwenye maisha yetu, taifa letu na kizazi chetu. Hili jambo sio la kuwaachia wanasiasa, msaada wao utagonga mwamba! Tuitoe kwa nguvu
3
1
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
29 days
Vijana wa Tz wote (wanawake kwa wanaume) tukiwa wapumbavu kama @ComradeKawaida basi nchi itateketea zaidi kuliko ilivyo hivi Sasa. @ComradeKawaida is such a f*ucking black as*🚮 Sijui kinatafuta Kik? Kikaka chenyewe kibaya kama kimnyama gani sjui🙄 Kama kipaka kisicho na matunzo
2
0
11
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@BabaMwita TANZANIA, sasa ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu. Kila kitu kina mwisho wake CCM sio watu wa kuwapatia muda wowote zaid wa kuimprove chochote kwenye maisha yetu, taifa letu na kizazi chetu. Hili jambo sio la kuwaachia wanasiasa, msaada wao utagonga mwamba! Tuitoe kwa nguvu
2
1
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
1 month
Age gaps in Relationships: How much is too much? So, how can you embrace the age difference, and how much is too much? follow on the thread to find out.🫢🤫🤪 Thread
Tweet media one
Tweet media two
1
0
11
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@ayubu_madenge CCM sio watu wa kuwapatia muda wowote zaid wa kuboresha chochote kwenye maisha yetu, taifa letu na kizazi chetu. Hili jambo la kuitoa ccm sio la kuwaachia wanasiasa,msaada wao utagonga mwamba! Tuitoe kwa nguvu,kila Mtu awe tayar kupamban na ccm muda wowote kutoka sasa.Tujiandae
0
4
11
@Gomeezmarketer
Gomeez
13 days
@MalisaGJ_ Hahah 😂 😂, Lakini kwa maoni yangu na kisaikolojia naona kitu tofauti kabisa. Ninachoweza kusema ni kwamba Sasa Intelligensia ya #Chadema imekuwa kubwa kuliko usalama wa Taifa. Sasa #CCM wataandika mipango yao yote ndani ya diary ya #chadema 😂😂
0
1
11
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Samia anachostahili kwa sasa ni kuondolewa madarakan tu. Ata umuoneshe njia bora za kuongoza taifa bado hata zingatia chochote. Watanzania tumuondoe.
1
1
11
@Gomeezmarketer
Gomeez
27 days
Father's Day comes just once a year, and while you can celebrate your dad the other 364 days, it's especially important to let him know just how much he matters on the one day set aside just for him. see a short thread 🧵
Tweet media one
1
0
11
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
Kwa kauli hizi,mange kimambi kashindwa kufumbia macho uovu. Alichokosea ni kutoa matusi tu, lakni kila kitu ni watanzania wanapitia kwa sasa. Rais Samia hafai kuongoza #dola hana uwezo wa kuongoza. Amezuia katiba mpya,kaongeza sheria mbaya za uchaguzi. Tumuondoe samia madarakani.
Tweet media one
1
4
11
@Gomeezmarketer
Gomeez
26 days
@jessicakevibes Just you and God🥰
0
0
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@BabaMwita Wenye marafiki au Akaunti Instagram, Facebook, WhatsApp groups, telegram kila mahali. Sambaza ujumbe kila mmoja ajue tupo kwenye mchakato wa kuungana tuiondoe ccm kwa nguvu 💪. #TUUNGANE #WOTE tuitoe CCM kwa nguvu 💪. #Tutaelewanatu in shangazi voice.
0
1
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
1 month
@Doinks2Big Is that means holy is so hot Juul... 🥰
0
0
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@IAMartin_ @AdilSuleym92411 This is Very brilliant question! Lakni swali hili ni muhimu lifike bungeni. Mana kiuhalisia jibu ni hapana. Lakini walioweka hizo stahiki je ibara ya 23(1) hawakuiona? Nadhan waliweka kujinufaisha wao na familia zao, labda walijua watabaki madarakani milele. Tudai katiba mpya.
0
0
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
29 days
@jessicakevibes Selfie 🤳 ❤️
Tweet media one
0
0
7
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@frediejustine @BendaNasciment1 Kaka kila kitu upo sahhi, lkn why haushauriki? Acha mambo ya humu mtandaoni,umemjibu huyo kaka kwamba huwezi kuimpress humu kila siku, sasa mbona saivi una impress? Bro ongeeni nje ya mtandao,Elewa basi. Unadhani kwanini lema kakushauri nje ya mtandao? Humu angeongeza tatizo tu.
1
1
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
1 month
@Rania__rania__ Thank you Rani... I feel it too 🥰🌹
Tweet media one
2
0
7
@Gomeezmarketer
Gomeez
13 days
@MariaSTsehai Hahah 😂 😂, Lakini kwa maoni yangu na kisaikolojia naona kitu tofauti kabisa. Ninachoweza kusema ni kwamba Sasa Intelligensia ya #Chadema imekuwa kubwa kuliko usalama wa Taifa. Sasa #CCM wataandika mipango yao yote ndani ya diary ya #chadema 😂😂
4
1
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
Serikali hii kila kitu mpaka isukumwe kwa spana ndo inafanya. jeshi la polisi Zanzibar linatumikia na kuilinda katiba ipi? Kamanda wa jeshi la polisi mjini Magharibi ACP Abubakar Khamis Ally, hajui sheria za nchi? Kivipi ACP wa jeshi la polisi awe hajui sheria anazosimamia? ⬇️
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
1
9
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Cheo, cheo, cheo!! Watu wanatendeana mabaya sababu ya vyeo! Najua 💯% Rais Samia anatambua ukweli wote mambo yalikuwaje na kila kila kitu kilichotokea. Pia najua Samia anatambua lengo la watu hao waliotenda ubaya Je lengo la hao watu limetimia? Kama bado basi watamfanyia na yeye
0
2
9
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@MariaSTsehai #Makonda hiyo kauli yake ni ya kutafuta huruma tu. Kuonekana yeye ndo anawindwa wakati yeye ndo muwindaji. Lakini haijalishi, wana Arusha ninachojua watakula nae sahani moja. Wote tunamuangalia makonda atafanya nini. #JKT tuliwahi kufundishwa muwai adui kabla hajakuwai yeye.
2
3
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@Jambotv_ TANZANIA, sasa ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu. Kila kitu kina mwisho wake CCM sio watu wa kuwapatia muda wowote zaid wa kuimprove chochote kwenye maisha yetu, taifa letu na kizazi chetu. Hili jambo sio la kuwaachia wanasiasa, msaada wao utagonga mwamba! Tuitoe kwa nguvu
3
0
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
Mtoto huyu angekuwa nchi nyingine tofauti na #Afrika huenda hivi sasa angekuwa ni milionea kupitia #sanaa yake. Repost dunia imjue na kuonesha upendo kwa mtoto huyu.
Tweet media one
2
4
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
15 days
@Kate_Lordahl And you too Kate🥰
0
0
7
@Gomeezmarketer
Gomeez
5 days
@ExMayorUbungo I love the Unit and great solidarity that we have. Kilichobaki tujipange kuingia barabaran bila kikomo tu, tufike mpaka ikulu tukamalizane nae. #mapambanoyaendelee
0
1
10
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
@Jambotv_ @John_Pambalu sikiliza kaka, bado haujatangaza vizuri. waeleze watu wazi kwamba mandamano haya ni maandamano ya tofauti na yote yaliyowahi kutokea Mandamano haya lazima tuoneshe impact, tutaandamana huku tunavyoshinikiza vijibiwe kabla hatujayamaliza, otherwise tutaamua wenyewe.
0
1
9
@Gomeezmarketer
Gomeez
3 months
🚨NAONA UPINZANI UKICHUKUA MADARAKA MAPEMA KABLA YA OCTOBA 2025 Uchaguzi wa OCTOBA 2025 ni uchaguz ambao tunaenda kupiga kura ya kuthibitisha kuiondoa CCM madarakan kidemokrasia.Ila kimsingi #CCM inakuwa imeshaondolewa. Jambo hili TISS wanalijua lakn hawamuelezi ukweli SAMIA 🧵
Tweet media one
4
2
9
@Gomeezmarketer
Gomeez
4 months
@nyuki_malkia @nyuki_malkia kwa kuwa wewe ni mwanamke mwenzangu and if you're really serious, nitaweza kukusaidia. I have some acres there in the region. Naweza kukusaidia umiliki acres zako pia kwa iyo 5m. Nitakusaidia contacts za landlords walioniuzia mimi ili wakutafutie na wewe.
2
0
9