Mwigulu Nchemba, PhD Profile Banner
Mwigulu Nchemba, PhD Profile
Mwigulu Nchemba, PhD

@mwigulunchemba1

540,270
Followers
354
Following
1,460
Media
4,485
Statuses

Minister for Finance, Tanzania @mofurt | Economist | MP | Proudly Father |

Dodoma, Tanzania
Joined September 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
Mwigulu Nchemba, PhD Retweeted
@BankOfTanzania
Bank of Tanzania
1 day
Waziri wa Fedha, Mhe. Dk. Mwigulu Nchemba (Mb), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika unaofanyika kwa njia ya mtandao kwa siku mbili (tarehe 6-7 Agosti, 2024).
Tweet media one
1
1
14
@mwigulunchemba1
Mwigulu Nchemba, PhD
18 hours
Tweet media one
9
4
32
@mwigulunchemba1
Mwigulu Nchemba, PhD
1 day
IMANI HUZAA IMANI, WATANZANIA WANAONGEA KWA VITENDO IMANI YAO KWAKO.
54
9
90
@mwigulunchemba1
Mwigulu Nchemba, PhD
1 day
MAMA WA TAIFA, WANANCHI WA MOROGORO WAMEKUBALI KAZI YAKO.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
200
30
349
Mwigulu Nchemba, PhD Retweeted
@mofURT
Ministry of Finance Tanzania
2 days
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ( @SADC_News ) unaofanyika kwa njia ya mtandao kwa siku mbili (tarehe 6-7 Agosti, 2024) kutokea
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
8
23
@mwigulunchemba1
Mwigulu Nchemba, PhD
2 days
TAZAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ALIVYOKARIBISHWA NA BENDERA YA CHAMA RAFIKI (CHADEMA) KWENYE MKUTANO WAKE.
74
19
137
Mwigulu Nchemba, PhD Retweeted
@mofURT
Ministry of Finance Tanzania
3 days
TANZANIA KUJENGA KITUO CHA UMAHILI CHA HUDUMA YA MATIBABU Tanzania inatarajiwa kuwa miongoni mwa nchi tano za Afrika zitakazonufaika na ujenzi wa mradi mkubwa wa Hospitali itakayokuwa na viwango vya dunia vya utoaji huduma za matibabu (African Medical Center of Excellence
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
8
22
@mwigulunchemba1
Mwigulu Nchemba, PhD
3 days
ZIARA YA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN MKOA WA MOROGORO.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
8
56
Mwigulu Nchemba, PhD Retweeted
@Hakingowi
Haki Ngowi
3 days
📍Abuja, Nigeria ▪️TANZANIA KUJENGA KITUO CHA UMAHILI CHA HUDUMA YA MATIBABU Tanzania inatarajiwa kuwa miongoni mwa nchi tano za Afrika zitakazonufaika na ujenzi wa mradi mkubwa wa Hospitali itakayokuwa na viwango vya dunia vya utoaji huduma za matibabu (African Medical Center
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
6
33
Mwigulu Nchemba, PhD Retweeted
@CloudsMediaLive
Clouds Media
4 days
Benki ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa hatua kubwa iliyopiga katika kutekeleza mradi wa kimkakati wa Reli ya Kisasa-SGR kwa kuwa ni miongoni mwa miradi itakayochochea ukuaji wa uchumi wa nchi pamoja na kuboresha huduma ya usafiri na usafirishaji kwa wananchi. Pongezi hizo
Tweet media one
11
11
152
Mwigulu Nchemba, PhD Retweeted
@mofURT
Ministry of Finance Tanzania
5 days
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 24 wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za nchi za Afrika ambazo ni Wanachama wa Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la KImataifa ( @IMFNews ) (Africa Caucus Meetings)
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
8
22
Mwigulu Nchemba, PhD Retweeted
@mofURT
Ministry of Finance Tanzania
5 days
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. @VictoriaKwakwa , mjini Abuja Nchini Nigeria, ambapo katika mazungumzo yao, Bi. Kwakwa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
7
15
@mwigulunchemba1
Mwigulu Nchemba, PhD
5 days
HAPPY SIMBA DAY Mnajua mimi sio mwanasimba; Lakini buana, 1) Simba wameasisi hii mambo ya Matamasha ya Vilabu- hili ni jambo zuri. 2) Wameset viwango vya mechi na mafanikio Kimataifa na Mimi ni Shabiki wa SIMBA ya Kimataifa. 3) Simba haipati tabu kujaza uwanja iwe tamasha au
Tweet media one
303
207
2K
Mwigulu Nchemba, PhD Retweeted
@mofURT
Ministry of Finance Tanzania
6 days
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Benki ya Dunia, na Baadhi ya Mawaziri wa Fedha wa nchi za Afrika, wakati wa Mikutano ya Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu kutoka nchi za Afrika (Africa Caucus Meetings), Nchi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
15
48
Mwigulu Nchemba, PhD Retweeted
@mofURT
Ministry of Finance Tanzania
7 days
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), akiwa na Ujumbe wa Tanzania katika Ubalozi wa Tanzania, uliopo Abuja nchini Nigeria, ambapo yeye na ujumbe wake, akiwemo Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Naibu Katibu Mkuu,
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
14
43
@mwigulunchemba1
Mwigulu Nchemba, PhD
7 days
Hongera sana Mhe Rais kwa uthubutu na usimamizi wako. Reli hii itaboresha huduma ya usafiri na kurahisisha biashara, hivyo kuchochea maendeleo ya kiuchumi nchini.
48
23
141
Mwigulu Nchemba, PhD Retweeted
@OumaDun
Dr. Ouma Duncan
7 days
It was a great conversation with the Honorable Minister, his team and other stakeholders!
0
1
6
@mwigulunchemba1
Mwigulu Nchemba, PhD
7 days
All the best team, This will open a new chapter in our tax administration and bring forth voluntary compliance. Hongera Mhe Rais.
Tweet media one
120
31
260
Mwigulu Nchemba, PhD Retweeted
@ikulumawasliano
ikulu_Tanzania
7 days
UTEUZI
Tweet media one
163
169
959
Mwigulu Nchemba, PhD Retweeted
@mofURT
Ministry of Finance Tanzania
8 days
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), amezindua rasmi Ripoti ya Mapitio ya Hali ya Mwenendo wa Uchumi wa Tanzania kwa mwaka 2024, iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika ( @AfDB_Group ), yenye kauli mbiu isemayo “Driving Tanzania’s Transformation - The Reform of
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
17
56