The official Twitter channel for Air Tanzania. Please tweet
@airtanzania
if you need any assistance in English or Swahili. Working hours are 8:00 am to 5:00 pm.
We are proud to have a father and son team flying for
@AirTanzania
.
Capt Arif Jinnah flying the Airbus A220, while his (son)First Officer Amour Arif, has just joined as a first officer on the Bombardier Q400 and his also our youngest pilot at (21).
#FlyAirTanzania
#Motivation
Rubani Kiongozi Murtaza Gulamhussein na Rubani Msaidizi Sweetbert Mtweve ndio wamepewa dhamana ya kuirusha BOEING 737-MAX 9 toka Seattle Marekani hadi Tanzania. Tazama angani kushuhudia ndege hii inavyowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Marubani Mbarouk Mohammed Suleiman na Mushi Herman Cyril ndio wamepewa dhamana ya kuirusha BOEING 737- 9MAX toka Seattle Marekani hadi Tanzania. Tazama angani kushuhudia ndege hii inavyowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Tutakuwa
Jana tuliwatambua marubani wetu wa kike, Anna Mwakasege,Joanita Bomani na Cecylia Gellejah Kwa mchango wao mkubwa kwenye kampuni yetu na Kwa kuwa taa kwa wasichana/wanawake wanao tamani kuwa marubani.
Hawa ndio marubani wetu walioleta ndege za Airbus A220-300 kutoka Canada hadi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sheikh Abeid Amani Karume Mjini Unguja, Zanzibar. Captain Budodi, Captain Suhad, First Officer Suleiman, First Officer Benny.
Air Tanzania is pleased to confirm the charter evacuation flight of 240 Indian nationals who were stranded in Tanzania due to the pandemic disease of Covid-19 took off this morning from Dar es Salaam to New Delhi then Mumbai.
Sending love your way as we wait for the Airbus A220-300 touchdown.
Tunatuma upendo wetu kwenu tukiwa tunasubiria Ujio wa Airbus A220-300.
#AirbusA220
-300
#WaKwanzaAfrika
#Kileleni
!Twen'zetu
Jana Usiku Ndege yetu aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imesafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Guangzhou China kuwarudisha Watanzania waliokwama nchini humo.Safari hii itakua ya takribani Masaa kumi na dakika ishirini kutoka Dar hadi Guangzhou.
TAARIFA KWA UMMA
Bodi, Menejimenti pamoja na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), tunatoa pole za dhati kwa Kampuni ya Ndege ya
@PrecisionAirTz
kwa ajali ya ndege iliyotokea Bukoba. Tunatoa pole kwa ndugu na jamaa walioguswa na ajali hii.
Where are you flying to this week? Comment on your trip with Air Tanzania
Unasafiri kwenda wapi wiki hii? Komenti safari yako na Air Tanzania
#flyairtanzania
Mapokezi ya safari ya kwanza ya ndege ya Air Tanzania Airbus A220-300 kwenye uwanja wa Robert Gabriel Mugabe International Airport, Harare nchini Zimbabwe.
Leo tumeanza rasmi safari za moja kwa moja kutoka Dar kwenda Guangzhou. Safari zitakuwa kila Jumapili na tiketi kwa sasa zinapatikana makao makuu ya ofisi zetu.
Tuma mzigo wako wa samaki kati ya Mwanza/Dar kwa gharama nafuu kabisa. Wasiliana nasi kwa namba 0756067783 au 0736787722 kwa maelezo zaidi.
#FlyAirTanzania
We are happy to announce that yesterday we successfully resumed our flights from Dar/Mumbai that will be on every Monday and Friday from Dar to Mumbai and every Tuesday and Saturday from Mumbai to Dar. Visit our website to book your flight.
#FlyAirTanzania
MPYA ZAIDI TOKA AIR TANZANIA.
KILIMANJARO - Tutaanza kuruka mara mbili kwa siku kila siku kuanzia tarehe 29/07/2018
MBEYA - Kila siku kuanzia tarehe 12/07/2018
KIGOMA - Kila siku kuanzia 30/08/2018
Fanya booking yako mapema.
#FlyAirTanzania
#TheWingsOfKilimanjaro
#AsaliYaAnga
Air Tanzania would like to welcome all citizens to our Airbus A220-300 inaugural function, tomorrow at terminal 1 from 11:00am.
#AirbusA220
-300
#WaKwanzaAfrika
#Kileleni
!Twen'zetu
Ndege za ATCL zinafanya safari za ndani na nje ya nchi kwasababu zina bima iliyo hai kutoka shirika la bima Tanzania (NIC) na moja ya sharti la kukuwezesha kurusha ndege lazima ziwe na bima.
#FlyAirTanzania
#TheWingsOfKilimanjaro
#AirTanzania
Make every moment an adventure when flying with Air Tanzania this holiday season.
.
.
Safiri nasi msimu huu wa sikukuu.
#FlyAirTanzania
#MondayMotivation
Lift off to endless possibilities with
#AirTanzaniaCargoServices
!
From transporting motor vehicles to cash crops and everything in between, we've got you covered.
Our Cargo services operates worldwide and you can even charter an entire aircraft!
It’s our business to move
Dreamliner's first trip to India, at Chhatrapati Shivaji International Airport, Mumbai. We would like to thank the Minister of Construction Transport and Communication Engineer Isack Kamwelwe and everyone who joined us on this trip.
#Flyairtanzania
#mumbai
#india
We are excited to announce that direct flights to Guangzhou from Dar es Salaam will commence on the 17th of July. Flights will be every Sunday, and tickets are currently available at ATCL Head Office only. Fare starts at $4,800 for economy class & $6,850 for business class.
Everyday when you wake up is another chance to reach your goal. Walking into monday while looking forward to ZI-ZA like.
#AirTanzania
#MondayMotivation
Tunawatakia sikukuu njema ya krismasi na mwaka mpya wenye mafanikio tele.
We wish you a wonderful Christmas and a Happy New Year with abundant prosperity.
#MerryChristmas
#HappyNewYear
#Kileleni
!Twen'zetu
Kutokana na changamoto za kiufundi kote duniani za injini aina ya PW1524G-3 zinazotumika katika ndege za Airbus A220-300 na kwa kuzingatia matakwa ya usalama, tumekuwa tukifuata maelekezo ya kitaalam ili kutoa huduma bora na ya usalama. Na wakati mwingine tunazitoa ndege katika
Air Tanzania inapenda kuwakaribisha watanzania wote kwenye mapokezi ya ndege ya pili, Airbus A220-300 Wakwanza Afrika,kesho tarehe 11-01-2019 kuanzia saa tano asubuhi.