NTOBI Profile Banner
NTOBI Profile
NTOBI

@Ntobi_

68,593
Followers
2,843
Following
3,281
Media
21,327
Statuses

Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker || Activist || UDSM Alumni || Chairman of CHADEMA Shinyanga Region || WhatsApp +255 715 956595

Shinyanga, Tanzania
Joined May 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Ntobi_
NTOBI
2 years
Dear Lord, I just want to thank you for for giving me another day. 🙏🏼
Tweet media one
72
97
1K
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Leo, nimepata wasaa wa kukutana na Mhe @TunduALissu , pamoja na mambo mengine, kumpa salamu za pole; kutoka kwa WanaCHADEMA na Wananchi wa Mkoa wa Shinyanga.
Tweet media one
36
105
2K
@Ntobi_
NTOBI
4 years
1.Katibu Mkuu ....out 2.Mganga Mkuu ....out 3.Naibu Waziri ....out 4.Mkurugenz Maabara Taifa Out 5. Mkurugenzi MSD ...Out Who's next!?
316
137
2K
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Mara baada ya "Intarahamwe" kupigwa spana za Kisomi na Mhe @TunduALissu , na kuona #NguvuYaUmma Hatimaye "Jeshi la Akiba Mkenge" waliondoka kwa aibu Uwanjani #NiYeye2020 #TunduLissu2020 #UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu
114
216
2K
@Ntobi_
NTOBI
1 year
Kumekuchaa! Kundi la EDGE la Umoja wa Falme za Kiarabu limesaini makubaliano ya ushirikiano na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa maonyesho ya ulinzi ya IDEX Tarehe 21 Februari 2023 huko Abu Dhabi. Okay waTanganyika Mpoooo?!!!! …
Tweet media one
150
133
2K
@Ntobi_
NTOBI
9 days
Karibuni CHADEMA tupige kazi!
Tweet media one
498
115
2K
@Ntobi_
NTOBI
1 month
Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe! ujinga, maradhi na umasikini is real.
Tweet media one
374
169
2K
@Ntobi_
NTOBI
2 years
Nimepokea simu na sms nyingi, zikitaka kufahamu ukimia wa Kijana wa Chama @IAMartin_ . Wengi hawajaona akipost na bahati mbaya zaidi simu zinaita tu. Poleni sana. Nimepata hakikisho toka kwa Mama mzazi wa @IAMartin_ kuwa ni mzima wa afya, yupo kwenye shughuli za kifamilia.✍🏼
Tweet media one
79
138
2K
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Madiwani CHADEMA Manispaa Shinyanga, tukipongezana kwa kuisimamia vema Halmashauri Manispaa Shinyanga, zaidi kukataa ulagai MaCCM tuhamie kwao, Wamekata pumzi tukutane October 2020. Asanteni Wananzengo Shinyanga, Shukurani Makamanda na Wapenzi Wote wa CHADEMA, Aluta Continue...
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
126
99
2K
@Ntobi_
NTOBI
2 years
Hatimaye Nape kawa Waziri wa group za WhatsApp😀😀🙌🏽
Tweet media one
107
85
2K
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Toka sakafu ya moyo wangu, ninawashukuru sana Wajumbe wa Mkutano Mkuu, kwa kunichagua na kupata kura 27 sawa na asilimia25% na hivyo nimekuwa ni mshindi wa tatu. CHADEMA ndiyo imeshinda✌🏾 Shukrani sana🙏🏾
69
70
1K
@Ntobi_
NTOBI
4 years
BreakingNews: Patrobas Katambi anusurika kichapo, toka kwa rai na makada wa Ccm wakimdhibiti asitoe rushwa Kata ya Kambarage Mjini Shinyanga😊 #YajayoYanafurahisha . @TzPccb
Tweet media one
125
87
1K
@Ntobi_
NTOBI
26 days
Nimepata wasaa wa kuonana na ndugu yetu @Sativa255 kwa mara ya kwanza, toka atekwe na kuteswa na 'wasiojulikana' Nimeona makovu ya pingu na sehemu mbalimbali za mwili alizoteswa na sehemu aliyopigwa risasi! 😢Hakika @Sativa255 ni muujiza unaoishi ✊
Tweet media one
26
109
1K
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Afande OC-CID Magambo akiwa na askari wenye siraha za moto, wamevamia Nyumbani na kwenye Ngome ya Mgombea wetu wa Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Majira ya Saa04:30, leo 08Oct2020. #UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu
122
221
1K
@Ntobi_
NTOBI
7 months
Siku yetu muhimu kwa ajili ya mstakabali wa Taifa letu. #MaandamanoYaAmaniDar
Tweet media one
Tweet media two
29
189
1K
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Wakuu, mara baada ya kufanya Mkutano na Wanahabari leo, juu ya ujio wa Mgombea Urais Mhe @TunduALissu Mkoa wa Shinyanga. Eneo ambalo tumeitangazia Dunia, kuwa Mhe Lissu atahutubia, kumewekwa kibao cha marufuku ya kufanya Mkutano na watu wasiojulikana.
Tweet media one
265
124
1K
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Nimeambiwa kuwa #Ndugai alikuwa ni miongoni wa 'Vigogo wa Serikali' waliokuwa wanakata- kata-kata Mhe Rais @SuluhuSamia asiapishwe kuwa Rais wa JMT, baada ya kifo cha Mwendazake. Eti alitaka yeye aapishwe kuwa Rais🤔😁😁🙏🏾
Tweet media one
171
63
1K
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Mwenye Mawani ni Afande na Msaidizi wa OC-CID Kinondoni, akiwa kwenye Chumba Cha Mahakama akifuatilia kesi ya ugaidi inayomuhusu @freemanmbowetz .
Tweet media one
150
100
1K
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Jeshi la Polisi @tanpol #Shinyanga usiku huu limevamia Lodge walipofikia Waandishi Habari, ambao wapo kwenye msafara wa mgombea Makamu wa Rais #CHADEMA @salummwalimtz na kuanza kuwapekua mabegi na magari. Walipoulizwa hawakusema wanachokitafuta. #UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu
25
124
1K
@Ntobi_
NTOBI
1 month
"Wachawi huwa wanakuwa wa kwanza kufika msibani" by unknown.
Tweet media one
Tweet media two
79
103
1K
@Ntobi_
NTOBI
14 days
Mhe Rais @SuluhuSamia uliwakera na ulituumiza sana Watanzania ulipotoa ile kauli kuwa; utekaji wa watoto na watu ni DRAMA.💔 Huu ni uthibitisho kuwa, unapaswa kumwajibisha IGP na Waziri wake ili Watanzania wakuelewe. Hii si DRAMA Madam Pres! 💔
145
272
1K
@Ntobi_
NTOBI
1 year
#Breaking : Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference-TEC). Wametoa waraka wa kupinga Mkataba wa Bandari, ambao umesainiwa na maaskofu zaidi ya 30, wenye page6 na kuupa jina la ‘SAUTI YA WENGI, NI SAUTI YA MUNGU’ #OkoaBandariZetu soma nondo hapa👇🏽👇🏽
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
122
301
1K
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Urio Urio Urio! Unatumiwa 500,000 unatoa 499,000!? Tanzania hii hii!?😂😂
48
48
982
@Ntobi_
NTOBI
1 year
Rostam ni nani haswa kwenye Serikali hii ya Rais @SuluhuSamia !?🤷🏻‍♂️
Tweet media one
124
97
1K
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Tweet media one
8
89
954
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Mbunge wa CHADEMA na Mhazini wa @BawachaTaifa Mhe @CatherineRuge amepata ajali mbaya asubuhi hii akitokea Dar es Salaam kwenye kesi fake za Viongozi wa Chama. Taarifa za awali Mhe. Ruge anamaumivu makali kwenye Mguu pamoja na kifuani. #GetWellSoonRuge
Tweet media one
Tweet media two
130
97
955
@Ntobi_
NTOBI
2 months
Mwanetu @ExMayorUbungo sikupongezi kwa kujenga ofisi nzuri ya kisasa ya Jimbo la Ubungo. Bali, nakupongeza kwa kuwa mwalimu mzuri kwetu. Kutufundisha namna nzuri ya kukitumikia Chama, kurudisha shukrani ya kudumu kwa Chama, zaidi kuhamasisha umma kuiga mfano wako. Congrats bro✊
Tweet media one
Tweet media two
30
108
990
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Watia Nia Urais kupitia @ChademaTz wamefikia (04)wanne leo hii, Wote wanafaa sana lakini kwa maoni yako unaona twende na yupi?!√
Mhe.Tundu Lissu
6284
Mhe.Lazaro Nyalandu
1900
Mhe.Peter Msigwa
365
Mhe .Mama Rosemary
454
158
83
958
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Hapa ni #BaridiMjini Mkutano wa Mbunge, Mhe Maendeleo Makoye, #SukumaLand 🔥 Tumeamua #UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu ✌🏾
37
118
955
@Ntobi_
NTOBI
1 month
Kwa huu muonekano! Je, maisha ya Mhe Luhaga Mpina yapo HATARINI!?
Tweet media one
31
67
975
@Ntobi_
NTOBI
14 days
Kwamba, Bashite awe WAZIRI kwa sababu anaimudu Kanda ya Ziwa na ' #SukumaLand '?? Huu ni zaha- si mzaha?
Tweet media one
44
25
967
@Ntobi_
NTOBI
3 years
😂Dikteta wa twita ni mwepesi kuliko mnavyomdhania. Kalainika, endeleeni kupiga spana mpaka arudi kwenye mstari ama atoke. Ni hivi "KINYAGO TULICHOKICHONGA WENYEWE HAKIWEZI KUTUTISHA. Tutailinda Chadema kwa wivu mkubwa.✌🏽
Tweet media one
Tweet media two
128
98
910
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Na wala si UGAIDI "Maandamano yapo pale pale"! My President!
@TunduALissu
Tundu Antiphas Lissu
4 years
Kuhamasisha maandamano sio kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Sheria yetu inaelekeza tutoe taarifa tu ya tarehe, muda na njia ya maandamano hayo. Kukamatwa kwangu hakukuwa na sababu yoyote zaidi ya vitisho na usumbufu tu. Aluta continua!!! Maandamano yako pale pale!
512
747
6K
15
56
915
@Ntobi_
NTOBI
2 years
Man of the game✊🏽
Tweet media one
29
67
918
@Ntobi_
NTOBI
4 years
#Wananzengo , kwa huzuni na masikitiko napenda kuwajulisha kuwa Uncle wangu na rafiki yangu mkubwa, Mzee Mussa Kuya amefariki Dunia 26-09-2020, Nyumbani kwake Bukoli - Geita. Maziko yatafanyika kesho, kwake Ntono- Bukoli -Geita. #RIPUncle 🙏🏾😢😢😢
Tweet media one
143
62
887
@Ntobi_
NTOBI
4 years
MATAGA na @tanpol sikilizeni!!!, Mbowe alishakuwa ni "taasisi" na fikra zake za "Changes" zipo kwa mamilioni ya Watanzania, kamwe hamwezi kummaliza Mbowe, ambaye yupo kila Kitongoji, Kijiji, Mtaa, Kata, Taraafa, Wilaya na Mkoa. Mbowe yupo kwenye mioya na vichwa vya Watanzania!
44
70
876
@Ntobi_
NTOBI
2 years
Nimesikitishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi Shinyanga @tanpol kuegesha magari yakiwa na askari kwenye ofisi za Chama na baadae kwenye eneo la ukumbi tunappfanya maadhimisho ya #SikuYaVijanaDuniani . Ujinga huu unapaswa kupingwa kwa nguvu zote.
Tweet media one
133
123
858
@Ntobi_
NTOBI
1 month
Waziri @ummymwalimu Chawa & Kijana wako wa karibu @Eric__Bernard anatuhumiwa kuhusika na utekaji wa @Sativa255 Umma wa 'Jamuhuri ya tweeter' tunataka kufahamu kama ni wewe Odo @ummymwalimu ulimtuma @Eric__Bernard kumteka Edgar Mwakabela au alijituma mwenyewe!? #QuickRecoveryBro
Tweet media one
35
191
886
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Hivi ATCL mnafahamu kuwa kutoka Geita Mjini kwenda 'Chato Airport' kuna umbali wa 74 Km kwa barabara na kutoa Geita Mjini kwenda 'Mwanza Airport' ni 84Km, Wataalamu wa Business Plan ATCL mnafahamu kuna Abiria atachagua kuruka toka #Mwanza kuliko #Chato kwenda Dar!!
88
75
862
@Ntobi_
NTOBI
2 years
📍Mwanza-Mwanza✊🏽🔥
Tweet media one
33
45
870
@Ntobi_
NTOBI
4 months
Tupo angani na mwanetu, Rais wa Mbeya. Hii ndiyo ile 'saa' aliyoisahau Sugu Mbeya. Shingo kavimba na kilo za kutosha toka Shinyanga.😀 Story za @TheRealJongwe ni namna ya kukataa umasikini. Tuishi✊
Tweet media one
37
77
883
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Breaking: Mahakama Kuu Tanzania, imeamuru 'Jamhuri' kurudisha fedha za faini za kesi ya @freemanmbowetz na wenzake, hongera sana @HecheJohn @MsigwaPeter @jjmnyika @salummwalimtz
Tweet media one
71
105
816
@Ntobi_
NTOBI
1 year
Anaandika @AnnaTibaijuka “DC Msando Unanikejeli ninapotosha, neno ‘anga’ lipo kwenye TERRITORY ambayo unadai ipo definitions tu. Nakuletea ushahidi neno territory na dhana yake lipo sehemu kadhaa ibara 12(1); 19; 30(2). Kwa mantiki hiyo aliyevamia mtumbwi wa vibwengo atajulikana”
Tweet media one
Tweet media two
48
129
837
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Kumbe #Gwaji anaomba Ubunge akiwa na ajenda zake dhidi ya Waislamu, yaani anataka akawe ni mtunga sheria!? Waislam watapona kweli!? #Mataga wanamuona bado anafaa... #WananchiWenyeNchi tuungane kumkataa. Pinga ubaguzi wa Kidini #HalimaMdeeForKawe #SasaBasi #NiYeye2020
227
111
811
@Ntobi_
NTOBI
1 year
Luhaga Mpina, (mbunge mchongo ) Jimbo la Kisesa (CCM), ameachia waraka wenye page9 akipinga Mkataba wa DP World. @SuluhuSamia #TutaelewanaTu .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
51
265
839
@Ntobi_
NTOBI
2 years
#Mataga Mjengo mpya wa CHADEMA kwa hapo juu; kuna uwanja wa kutua chopa. Sehemu maalumu ya kinamama kunyonyeshea watoto, kumbi za kisasa, swing pools etc. Mtajua hamjui, kitu kinasimama ndani ya mwaka mmoja. We'are Prouder, Stronger & Better #JoinTheChain #KatibaMpya
Tweet media one
113
83
800
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Hii Spana ina uzito wa tani5 "Sisi si Washamba" 🙌🏾🙌🏾 @TunduALissu 🔥
41
158
804
@Ntobi_
NTOBI
8 months
Bwana @Nnauye_Nape tunaomba UFAFANUZI kuhusu; uhalisia wa familia yako! baada ya wenye familia yao 'kukusahau' kwenye orodha ya watoto wa Brig. Gen Moses Nnauye (RIP) katika tangazo la familia la miaka 10 kumbukumbu ya mzee Nnauye. Walinukuu majina yao—Jina lako halipo Bumunda!
Tweet media one
156
106
809
@Ntobi_
NTOBI
1 year
“Mimi sio CCM wala CHADEMA, ila ukiweka CCM na ANDAZI nitachagua ANDAZI..” 🎶 @Roma_Mkatoliki ✊🏽
Tweet media one
54
85
811
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Sikia Sirro, Nchi imezidi KUVIMBA , mara baada ya Clip yako na Mahera wa NEC kusambaa! #Tanzania IMEVIMBA... endeleeni mtakipata mnachokiafuta. I'm out! #Niyeye2020 #UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu
20
61
792
@Ntobi_
NTOBI
1 month
Bwana Zakayo @mwigulunchemba1 kwa niaba ya 'Jamuhuri ya Twitter (X)' tunaomba namba za kuanza kulilipa 'Deni la Taifa' kwa Mababeru. Kwani 'Jamuhuri ya twita' nguvu tunazo, uwezo tunao na nia tunayo! Weka lipa namba hapa! 😀
Tweet media one
20
98
813
@Ntobi_
NTOBI
2 years
Mhe Rais @SuluhuSamia kuna swali lako toka Kenya, wanahoji wewe ni Rais wa Wanayama, ama ni Rais wa Wananchi!? #StopMasaiEviction #KatibaMpya
77
190
760
@Ntobi_
NTOBI
1 year
Mwenyekiti wa CCM Taifa ndugu @SuluhuSamia ametoa maagizo kwa Mhe Rais @SuluhuSamia kurekebisha kasoro za katika Mkataba ambao aliusaini Rais @SuluhuSamia . 🤷🏻‍♂️
Tweet media one
115
135
779
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Naona RC Mwanza anaaza chokochoko za kutaka kuzuia Kongamano la Katiba kesho. Namuonya ache.
31
51
759
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Hatimae "Karai" Patrobas Katambi aibuka na Kura 12 kati ya kura 426. #YajayoYanafurahisha #ShyTownStandUp !
Tweet media one
103
35
765
@Ntobi_
NTOBI
1 year
Kama Mhe Rais @SuluhuSamia angelikuwa ni makini. Angeliujiza kwanini classified documents zake zipo hadharani? Chap angeliachana na huu mpango.
Tweet media one
Tweet media two
73
105
771
@Ntobi_
NTOBI
1 year
Updates: Wakili Msomi Dickson Matata ( @AdvMatata ) tayari yupo Central Police kwa ajili ya kuwapigania Wanaharakati wote waliokamatwa na @tanpol leo wakiandamana kupinga UUZWAJI wa Bandari za Tanganyika kwa @DP_World .
Tweet media one
30
122
770
@Ntobi_
NTOBI
5 years
Na Wanyama haoooo wanahamishiwa Chato National Park 😂Kamwene
@HildaNewton21
Hilda Newton
5 years
Naona sasa hivi mambo yote ni Chato tu. Nimejaribu kutafakari, hivi Mwalim Nyerere angekuwa kama @MagufuliJP Butiama pangekuaje.? #2020TusirudieMakosa
Tweet media one
30
17
130
119
99
739
@Ntobi_
NTOBI
5 months
Napenda kutumia wasaa huu, kushukuru Kamati Kuu ya Chama changu CHADEMA, kwa kubaliana na baadhi hoja zangu (Ikiwemo kufungiwa kinyume cha utaratibu) katika rufaa dhidi ya Kamati ya utendaji wa Kanda. Vilevile, naishukuru kamati ya usaili ya Kanda ya Serengeti kwa kuniteua
Tweet media one
110
116
765
@Ntobi_
NTOBI
2 years
#Mwanza mmetuma sauti kubwa sana kwa Dunia, kuwa @ChademaTz ndicho Chama pendwa Afrika na Duniani. #PeoplesPower ✊🏽💪🏽
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
53
99
754
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Baadae denish relief group washirika wangu, wakanialika Copenhagen -Denmark, pia wakanipatia Kontena 40'40' lenye vifaa tiba tena 2018. Kontena likafika bandari Dar, likazuiliwa, Nikaende kueleza Ubalozi wa DK, tukakataliwa kupewa, mpaka sasa nasikia TRA walilipiga mnada 2020.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
65
99
740
@Ntobi_
NTOBI
2 years
Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi natarajia kufanya ziara ya kichama kata, majimbo/wilaya katika mkoa wote wa Shinyanga. Ziara hili itakwenda sambamba na oparesheni ya kupandisha bendera za CHADEMA mkoa mzima maandalizi ya kuelekea kuanzia mikutano ya hadhara.
Tweet media one
Tweet media two
50
124
723
@Ntobi_
NTOBI
1 year
Mwaka 2017, Mhe @TunduALissu aliliambia @bunge_tz ; “kwa minajili ya kuweka kumbukumbu sawa —Tume za Prof Mruma na Prof Osoro (Kuhusu Makinikia) ni PROFESSORIAL RUBBISH…” Wabunge wa CCM wakamzomea. 2023 tunaona matokeo ya hoja za TAL na mpaka sasa hatujapewa Noah za Makinikia!🙄
65
298
729
@Ntobi_
NTOBI
5 years
I wish waamini wote wa dini ya kiislamu, kufanya 'Dua Maalum' ya kumuombea Mzalendo wetu Prof Mussa Assad #IstandWithCAG
Tweet media one
65
65
708
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Kwani CNN wanamuongelea President Hassan yupi!? #LetFreemanFree
Tweet media one
49
87
708
@Ntobi_
NTOBI
2 years
Hangaya is like... "Mhe @freemanmbowetz naomba unisamehe nilidangaywa na IGP Sirro na Kingai, NISAMEHE, NISAMEHE @tanpol ni Waongo, Wewe si gaidi. Nisamehe Kaka.
Tweet media one
35
73
709
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Braeking News: #Mataga kupitia Mamlaka ya Anga TZ, wamezuia Chopa ya #Chadema , iliyokuwa inambeba Mhe @TunduALissu kuelekea kwenye Kampeni Bagamoyo, Chalinze, Na Kibaha bila kutoa sababu zozote za msingi za kuzuia Chopa kuruka. #NiYeye2020 #UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu
Tweet media one
31
80
691
@Ntobi_
NTOBI
6 months
Huyu ndiye Mwamba, mnaonaje 2025 aweze kutuvusha!?
60
149
716
@Ntobi_
NTOBI
8 months
Inasemekana Polisi walivamia jana bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Dar. na kutishi kwa siraha za moto baadhi ya wateja …!👇🏽
113
196
713
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Namna mbavyo @tanpol Kahama, walivyokuwa wakipiga mabomu hotelini alipofikia @TunduALissu WanaKahama Tarehe 28, Oktoba Msifanye Makosa #Niyeye2020 #UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu
35
127
685
@Ntobi_
NTOBI
11 months
Hii spana aione Mama Abdul @SuluhuSamia ambaye anajipanga kuiba uchaguzi 2024 na 2025! It’s a shame!
66
246
687
@Ntobi_
NTOBI
2 years
U.F.A.F.A.N.U.Z.I. “Hakuna ng’ombe anaekunywa maji lita 45 kwa siku” Asanteni.
Tweet media one
67
68
657
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Tumepata taarifa kuna baadhi ya Wagombe Ubunge wetu, katika Mkoa wangu wana mazungumzo na upande wa pili, hatutapuuza hizi taarifa, ila wafahamu wanaweka rehani nafsi zao. Warudishe fomu haraka bila kisingizio chochote na wafuate maelekezo ya Chama. #NoHateNoFear ! #Sasabasi ✌🏾
39
61
662
@Ntobi_
NTOBI
9 months
Naungana na Mhe Luhaga Mpina kufanyike ukaguzi wa vyeti vya Madelu @mwigulunchemba1 na zaidi ukaguzi maalum kwa Mwigulu kutokana na hoja za Luhaga.
36
171
670
@Ntobi_
NTOBI
2 years
Tweet media one
5
51
641
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Mie sisikitiki kwa hao #Wapumbavu kuapishwa! Kinachonisikitisha ni namna Nchi yetu #Tanzania Mifumo yake inavyokuwa Corrupted & kuaharibiwa kwa kiwango hiki, yaani Mfumo wa Mahakama unamtoa @hanje_nusrat Usiku, Mfumo wa Bunge unashiriki haramu. #Tanzania inaelekea wapi!? #ChangeTZ
42
63
634
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Mwenyekiti wenu wa Mkoa Shinyanga, nasema ASANTENI SANA #Kahama kwa kuja na kuonyesha #PeoplePower SHUKRANI sana hawa Jamaa wamepanic sana!! Mwendo ni huo huo mpaka Oktoba 28 #NiYeye2020 #TunduLissu2020 #UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu ✌🏾✅
7
86
642
@Ntobi_
NTOBI
5 months
Huwezi amini kama huyu ni Rais wa Nchi, na anatangaza msiba wa Rais Mstaafu. "FUTA"
220
102
648
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha kaka na rafiki Mr. Seif Hamad Mande, alikuwa ni Mhasibu katika Halmashauri ya Manispaa Shinyanga. Nimehudumu nae. Ametutoka jioni hii. Seif Hamad, alipendwa na Madiwani wengi, mpenda soka, Kijana mpole na mnyeyekevu #RIPKaka .
Tweet media one
20
37
637
@Ntobi_
NTOBI
6 months
Breaking: Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis amesema #KatibaMpya haiepukiki Tanzania na amemtaka Rais @SuluhuSamia kuheshimu #maridhiano na kuhakikisha Uchaguzi unakuwa Huru na Haki Tanzania.
Tweet media one
110
95
647
@Ntobi_
NTOBI
1 year
Kulikoni msisitizo huu?? Mbona kama mnataka kuzua taharuki🤷🏻‍♂️ @MsigwaGerson tunaomba UFAFANUZI..!
Tweet media one
Tweet media two
72
37
638
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Hatimaye Spika Job, kaanza mchakato wa kulipa stahiki zote za Mhe @TunduALissu . Tunataka pia @tanpol mrudishe 'Gari la Tundu' na Kisha mjitokeza kueleza Umma, mmefikia wapi na 'Jalada lenu la uchunguzi' #ChangeTanzania .
Tweet media one
36
66
620
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Breaking: JWTZ kumtetea Mbowe, Wakili wa utetezi Mhe Kibatala amaiomba Mahakama kuwe na siri, kuwalinda baadhi ya mashahidi wa Mhe Mbowe ambao ni waajiri wa JWTZ. Mawakili wa Serikali wanapiga. Jaji anasimamisha Mahakama kwa dakika30.
11
86
613
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Nipo Club, DJ kapiga wimbo uwe dedication kwa ajili ya Mzee Rugamalira, na baadae kapiga wimbo kwa ajili ya Mhe Mbowe. Mayowe kama yote!! Barikiwa sana DJ. #HeIsNotATerrorist ...🎊
Tweet media one
15
55
625
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Shukrani kwa aliechukua video clip hii, Dunia imeona na inaelewa namna @tanpol wanavotumika na @TuliaAckson kumkandamiza @IamJongwe__ #SasaBasi .
66
97
618
@Ntobi_
NTOBI
8 months
Huyu @Nnauye_Nape ni waziri MPUMBAVU na MJINGA kuliko wote! Hili ni Bumunda mlipuuze tu!
Tweet media one
100
60
626
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Appreciation tweet kwa Askofu Mwingira
Tweet media one
16
101
607
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Muda wowote kuanzia sasa, CHADEMA kitatoa msimamo kuhusu - uwepo wa maandamano ya amani - yasiyo na kikomo kushinikiza #FreeMbowe #KatibaMpya & #TumeHuruYaUchaguzi @godbless_lema #MariaSpaces . mpoooooooo!!! Jiandae. #MaandamanoYaAmaniTZ #KatibaMpya
Tweet media one
42
88
604
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Kwa maneno mwengine, Mwanakwetu kakiri - alikuwa anaumwa ugonjwa wa ' Changamoto ya kupumu' na kwamba; ile message- aliyotusomea - Dingi ilikuwa ni message hewa; kwani leo ana siku ya tatu ndiyo ametoka kwenye oksijen machine. #Mataga mpo!? Soon #TutaelewanaTu .
Tweet media one
46
49
609
@Ntobi_
NTOBI
4 years
#Mataga hapa ni kijijini kwao Lissu #NiYeye2020 #SasaBasi #NguvuYaUmma ✌🏾
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
21
67
612
@Ntobi_
NTOBI
1 year
CCM wameamua kumleta @diamondplatnumz kwenye Uwanja CCM Kirumba kupiga show bure, ili kuvuruga Mkutano wa CHADEMA unaofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha. Hii ndiyo hali halisi ya show ya Diamond Mwanza😀😀
Tweet media one
Tweet media two
87
90
613
@Ntobi_
NTOBI
2 years
Anaitwa MWENYEKITI, Anaitwa FREEMAN MBOWE Jimboni wanamuita KAKA, Vijana wa Chama tunamuita MWAMBA, Na kwa kuteswa kwake hatimae TANZANIA inaenda kuandika #KatibaMpya . MWAMBA TUVUSHE🙏🏼
Tweet media one
29
80
605
@Ntobi_
NTOBI
3 months
Kwa CHADEMA hii, mtasuburi sana na bado.... #Solidarity
Tweet media one
45
69
606
@Ntobi_
NTOBI
3 years
Tweet media one
Tweet media two
26
107
579
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Sehemu kubwa ya Mawakala wa #CHADEMA , Tumeapishwa kwa #NguvuYUmma , huku MaCCM wamekosa kabisa Mawakala kwenye Majimbo mengi, imebidi @TumeUchaguziTZ kuongeza siku za kuapisha Mawakala, hii ni salamu tosha kuwa CCM Imekataliwa! Watanzania wanataka #UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu
28
89
590
@Ntobi_
NTOBI
4 years
Wananzengo! ASANTENI, kwani mpaka sasa ndiyo Mkoa pekee ambao tumevunja rekodi ya mapokezi na udhamini kwa @TunduALissu wadhamini zaidi ya 483 Mwabeja ! Lengo ikiwa ni wadhamini 200 kwako Mwl Kashahe @IAMartin_ hapo Mwanza na @HecheJohn Mara😎
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
17
38
598
@Ntobi_
NTOBI
7 months
Nimefurahiswa na kizazi kipya cha vijana, wasomi kwenye siasa za mageuzi -kujitokeza kwa wingi kwenye maandamano jana. Walk it, talk it & like it...! Nisaidie ku-tag hii squad yangu kwenye maandamono... ✊
Tweet media one
14
106
600