BBC News Swahili Profile Banner
BBC News Swahili Profile
BBC News Swahili

@bbcswahili

1,932,106
Followers
239
Following
29,408
Media
100,490
Statuses

Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: . Instagram: . YouTube: .

London
Joined December 2008
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 days
''Si walikuwa wameshindwa na kazi? ... Walikuja kwetu wakiwa wamepiga magoti chini wakiomba tafadhali tupe watu wenu wanaojua kazi'' - Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amesema kuwa utawala wa Rais wa Kenya, William Ruto ulimuomba awasaidie kuiongoza taifa hilo
6
6
119
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Putin sasa aanzisha msako dhidi ya wapenzi wa jinsia moja
Tweet media one
531
523
5K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
'Tumeachwa peke yetu kuilinda Ukraine;tunaomba msaada kukabiliana na Urusi'-Rais Zelensky
Tweet media one
314
227
4K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia
476
334
4K
@bbcswahili
BBC News Swahili
1 year
Bondia Mandonga wa Tanzania achapwa Kenya
Tweet media one
250
176
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Kenya iko tayari kununua mafuta kutoka Urusi - Ruto
Tweet media one
124
154
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Kenya na Tanzania zaondoa vikwazo vya biashara baina yao
Tweet media one
71
122
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
China kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo nchini Tanzania
Tweet media one
492
155
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Rais wa Ukraine asema atampa silaha mtu yeyote anayetaka
Tweet media one
250
178
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Uchaguzi Tanzania 2020: Uingereza yataka uchunguzi huru ufanywe ili kuondoa wasiwasi unaozidi kuenea Tanzania
273
352
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Polisi nchini Uganda wanawakamata watu wanaonunua chapati tano au Zaidi…kunani?
Tweet media one
394
850
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Marekani yaitaka Serikali ya Tanzania kuwakamata waliomshambulia Mbowe
401
232
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
1 year
Wakosoaji wa mpango wa bandari wa UAE waachiliwe mara moja-Amnesty International
Tweet media one
155
592
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Aliyekuwa mtangazaji wa BBC Zuhura Yunus ateuliwa kuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya rais Tanzania
Tweet media one
115
150
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
6 months
Ramadhani Brothers kutoka Tanzania watwaa taji la 'America Got Talent'
Tweet media one
40
106
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
‘Rais Nkurunziza amefariki kwa corona’
187
317
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
1 year
Mandonga bondia bora Afrika Mashariki? alianza Mkenya sasa amchapa Mganda kwa mdomo na 'ngumi ya Sugunyo'
Tweet media one
61
106
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Putin: Msituwekee vikwazo zaidi
Tweet media one
180
131
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
'Kura 4,463 zilipunguzwa kutoka kwa Raila na kuongezwa kwa Ruto'
Tweet media one
96
128
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Matokeo ya uchaguzi Tanzania: Upinzani wataka uchaguzi mkuu kurudiwa, waitisha maandamano ya amani
174
295
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Muuzaji wa kuku anayetamani kuwa rais - Willia Ruto aidhinishwa rasmi kuwa mgombea wa Kenya kwanza
224
684
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Akiwa na gari lake jipya la Rolls Royce, unafikiri Diamond Platinumz ndiye Bill Gates ajaye?
Tweet media one
487
78
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
TUNAOMBA RADHI: Awali tulichapisha kimakosa ujumbe uliosema kwamba kumethibitishwa kisa cha corona Tanzania. Ujumbe huo ulichapishwa kimakosa na tumeufuta. Tunaomba radhi kwa usumbufu na tumechukua hatua kuhakikisha kosa kama hili halitokei tena.
500
267
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
9 months
Tanzania: Yanga yaichapa Simba 5-1
Tweet media one
81
202
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
"Sisi ni binadamu katika kutekeleza kuna maeneo tunakosea" - Mwigulu Nchemba
Tweet media one
515
110
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Rais wa Ghana aitaka Afrika kuacha 'kuombaomba'
Tweet media one
245
255
3K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Japan yatangaza kuziona meli za kivita za Urusi zikielekea Ukraine
Tweet media one
138
103
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Tanzania yathibitisha kisa kimoja cha coronavius
241
333
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
'Mamlaka za Tanzania lazima zikomeshe ukandamizaji unaozidi kuongezeka dhidi ya vyama vya upinzani na viongozi wake'
Tweet media one
58
312
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Dawa hiyo kuanza kutolewa kwa waliopo hatarini japo WHO inaitilia mashaka.
172
189
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Waziri wa Katiba Tanzania Balozi Mahiga afariki dunia
103
128
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
UN imetahadharisha Tanzania kuepuka mazingira ya ukandamizaji ambayo yanaweza kusababisha madhara makubwa
199
352
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Vita vya Ukraine: Rais Zelensky aomba kuhutubia Muungano wa Afrika
Tweet media one
437
91
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Mtoto wa Museveni aunga mkono uvamizi wa Urusi nchini Ukraine
Tweet media one
195
89
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
'Klabu ya Yanga ya nchini Tanzania imeandika rekodi mpya ya kucheza mechi mfululizo bila kupoteza, ikifikisha michezo 49,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na klabu yoyote kwenye historia ya soka katika ukanda wa Afrika Mashariki'
175
281
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Mwanasheria wa Trump aitaja Tanzania katika shutuma ya wizi wa kura Marekani
Tweet media one
356
145
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Malawi yamuomba Tyson kuwa balozi wa bangi
Tweet media one
87
97
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Bobi Wine kuhudhuria kikao cha Baraza Kuu la Chadema
Tweet media one
34
116
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Mzozo wa Ukraine: Kwanini Marekani imeamua kutopeleka jeshi Ukraine
Tweet media one
110
63
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Kenya imetangaza kifo cha kwanza cha mgonwa aliyekuwa akiugua virusi vya corona.
122
202
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Tanzania yapeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji
Tweet media one
88
90
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Hatimaye Diamond Platnumz akutana na watoto wake
Tweet media one
217
40
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Je, Tundu Lissu ataandika historia ya kuipindua meza ya CCM na kuking’oa madarakani chama hicho kikongwe?
245
137
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
21 days
Aisha Masaka: Mtanzania wa kwanza kusajiliwa na timu ya ligi kuu ya wanawake ya England
Tweet media one
7
50
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Jeshi la Mali lamkamata Rais na waziri mkuu wa nchi hiyo
78
134
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Rais Samia Suluhu: Niko tayari kusamehe na kuanza ukurasa mpya
Tweet media one
234
104
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Tanzania yakumbwa na Ugonjwa 'usiojulikana' wa watu kutokwa na damu puani na kuanguka, Rais athibitisha
Tweet media one
315
421
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Kenya yafunga mipaka yake Tanzania na Somalia kwa siku 30
182
194
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
'Mwelekeo huo sio mzuri' Kamati ya bunge la Marekani yaonya kuhusu kukamatwa kwa Freeman Mbowe
Tweet media one
48
202
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
''Si ushindi tu kwa Malawi bali kwa bara zima la Afrika''
45
98
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
''Gari lake lilishambuliwa kwa risasi zaidi ya mara 30 na kama kuna mtu anaweza kujisifu kwamba ana maisha mengi kuzidi paka, basi mtu huyo ni Lissu''
54
204
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Kenya yatangaza siku tatu za maombolezo ya Rais mstaafu Benjamin William Mkapa, bendera kupepea nusu mlingoti.
54
154
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
‘’Rubani aliniambia nivunje kioo, lakini nikakatazwa, wakasema kuwa rubani anawasiliana nao kwenye simu’’
Tweet media one
87
126
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Halima Mdee: ‘Bunge lilikuwa kama sio chombo ambacho kinaangalia mahitaji ya wawakilishi ila kile kinacholetwa na serikali’
Tweet media one
30
120
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Ubalozi wa Marekani: Hatutasita kuwachukulia hatua watakaovuruga au kukwaza demokrasia Tanzania
130
222
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Bashir ameshtakiwa katika mahakama ya ICC kwa makosa ya mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya binadamu.
Tweet media one
103
234
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Mamia ya watalii kutoka Ukraine wamekwama Zanzibar
Tweet media one
123
66
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa na kushambuliwa
82
182
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Biden anaongoza katika jimbo muhimu la Wisconsin
Tweet media one
20
55
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Wagonjwa wa virusi vya Corona nchini Tanzania wafikia 480
150
192
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Mchezaji wa Crystal Palace ya na Ufaransa akubali kuwa Balozi wa Utalii Tanzania
Tweet media one
47
65
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
''Tumesalia na saa chache, tusaidieni'', asema komanda wa Ukraine ambaye kikosi chake kimezungukwa na wanajeshi wa Urusi mjini Mariupol
Tweet media one
160
73
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Ukraine yadai kuwa vimetokea vifo 4,300 vya Warusi kufikia sasa
Tweet media one
138
66
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Tanzania yathibitisha kuwa na kisa kimoja cha virusi vya corona
104
271
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Umoja wa Afrika (AU) waitaka Madagascar kuwasilisha taarifa za kitaalamu za 'dawa yake'
147
122
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Je ni kweli hofu ya corona imeanza kupungua nchini Tanzania?
235
84
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
1 month
Msanii aliyechoma picha ya Rais wa Tanzania achangiwa mamilioni ya pesa mtandaoni
Tweet media one
102
178
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Mjomba wa nyota wa Nigeria Davido achaguliwa kuwa gavana
Tweet media one
13
37
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Matokeo ya uchaguzi Kenya 2022: Lupita Nyong'o asherehekea ushindi wa baba yake
Tweet media one
20
42
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Lissu atangaza rasmi nia ya kuwania urais Tanzania
76
164
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Rais wa Senegal atangaza leo kuwa likizo ya umma kusherehekea ushindi wa Afcon
Tweet media one
38
96
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
1 year
Tanzania kukumbwa na mvua za El Nino
Tweet media one
200
191
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Sherehe ya kuzikwa kwa jino la Lumumba yaanza DR Congo
Tweet media one
106
75
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Amnesty International: Tanzania itoe ushahidi ama imuachie huru Mbowe
Tweet media one
76
296
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Tazama baadhi ya picha bora kutoka Afrika wiki hii
Tweet media one
33
56
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe aripotiwa kukamatwa, je yuko wapi?
Tweet media one
112
292
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Mfanyabiashara wa Tanzania Yusuf Manji arejea nyumbani na kukamatwa
Tweet media one
87
94
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Odinga macho kwenye runinga mawakili wakimtetea
Tweet media one
18
47
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Rais wa Tanzania John Magufuli kufungua vyuo hivi karibuni
118
134
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Ni rasmi sasa Bobi Wine kupambana na Yoweri Museveni katika uchaguzi mkuu ujao
Tweet media one
33
60
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Kuorodheshwa kwa Tanzania kama taifa lenye uchumi wa kipato cha kati kunamaanisha nini?:
131
108
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
4 years
Madereva 25 kutoka Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya baada ya kukutwa na virusi vya corona.
178
164
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Sikukuu ya wafanyakazi: Morocco yaongeza mshahara kwa 16%, Kenya 12%
Tweet media one
173
121
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Elon Musk atania wazo la kuinunua Manchester United
Tweet media one
35
33
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Mazishi ya kijeshi ya Lviv yaleta huzuni kila kote ya Ukraine
Tweet media one
75
51
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameaga Dunia
62
162
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
5 years
Je kiongozi hafai kufanyiwa mzaha?...
138
90
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Hushpuppi: Tapeli maarufu wa Nigeria afungwa miaka 11 Marekani
Tweet media one
34
61
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Bobi Wine wa Uganda 'aachiliwa baada ya kuzuiliwa Dubai'
Tweet media one
12
49
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
''Juzi nakumbuka nilitumiwa ujumbe uliokuwa umetumwa kwa mtu mwengine kwamba huyo Masoud wenu huyo anamwandama sana mama''
68
191
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
2 years
Ukraine na Urusi: Ongezeko kubwa la bei ya dhahabu lashuhudiwa Tanzania
Tweet media one
40
59
2K
@bbcswahili
BBC News Swahili
3 years
Waliopora runinga za Samsung wakati wa machafuko ya Afrika Kusini walifanya kazi bure kwani kampuni hiyo imezizima na haziwezi kutumika tena
Tweet media one
178
101
2K