SANUKAnaCHAPO Profile Banner
SANUKAnaCHAPO Profile
SANUKAnaCHAPO

@chapo255

425,225
Followers
2,512
Following
11,794
Media
139,043
Statuses

| THE WALKING MEDIA🎶 | Ndugu wa BARAKA MAVIATU |

Tanzania
Joined January 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
13 days
💻 INAKAA NA CHAJI MASAA 14 HP ZBook 14u G6 Mobile Workstation! Video editing, graphic, Engineering na kazi zote nzito - Core i5 | 8th Gen - 8 GB RAM - 256 GB SSD - 💻14” with IPS🌅 - 🔋14 Hours😋 BEI: 1,100,000/= ☎️0788106694 @usedpointTz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
21
52
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 year
Kitu ambacho Konde alifanikiwa bila kujua ni kupata collabo za Burna Boy mapema kabisa kabla mambo hayajawa mengi na kwa urahisi zaidi.
Tweet media one
63
139
5K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Mchizi anahitaji mshauri mzuri.
Tweet media one
335
122
4K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Oyaaaa 😳😳😳
Tweet media one
203
99
3K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 year
Kafanyaje mbona ana trend?
Tweet media one
222
94
4K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Ila Uwoya!
Tweet media one
228
50
3K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
11 months
Wahuni hawatumii nguvu sana, mwili unanyumbulika wenyewe
Tweet media one
121
123
3K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
14 days
Kazini kwa Diarra kuna kazi
Tweet media one
56
99
3K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
4 years
Hakuna maumivu makali moyoni Kwa kijana asiye na ajira kama inafika asubuhi hujui ataenda wapi.
239
213
3K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Hii nchi ina nini? 😂😂
630
654
3K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Ommy Dimpoz 🙌🙌
Tweet media one
135
46
3K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Upewe mkataba baba
Tweet media one
69
59
3K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
MAMA yako anaweza kukwambia mabaya ya BABA yako ila kamwe BABA yako hawezi kukwambia mabaya ya MAMA yako, unajua kwanini? Akikwambia mabaya ya MAMA yako ni sawa na kukwambia alikosea KUOA.
137
344
3K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
“Nilimpiga mtama Emanuel Mbasha jukwaani sababu aliniletea dharau na haikuwa mara ya kwanza niliwai kutana nae kabla Airport KIA akiwa na mwanae, aliniletea miyeyusho hiyo hiyo ila nilimwambaga sipendi miyeyusho.” -Adam Mchomvu
Tweet media one
56
70
3K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
10 months
Picha ya siku
Tweet media one
18
46
3K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Hello Babra sikia sasa huyo Mzungu kama ana ndugu zake wanachezaga hata rede waje na ndege ya kesho tuwasajili.
Tweet media one
71
83
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Tuendelee kumuombea braza Prof. Jay aliko Mungu amponye haraka. Get well soon Prof.
Tweet media one
47
116
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 year
Dj Mararufu nchini, DJ Steve B (Dj Skills) amefariki dunia.
Tweet media one
128
101
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Macho yenu yanaona kama mimi?
Tweet media one
194
53
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 year
Mwana hajarudi Bongo kwa bahati mbaya.
Tweet media one
Tweet media two
82
72
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Kuna msanii badala ya kutoa ngoma anashindana na X wake kula bata 😂😂
236
40
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
4 years
Musa Hussein alieyekuwa mtangazaji wa Clouds Fm muda wowote kutoka sasa atatangazwa rasmi kuamia EFM inadaiwa mshahara wake take home kwa mwezi ni milioni tano(5) Naye perfect Crispin kuanzia wiki ijayo atatanganzwa kuamia EFM. #ChapoWasHere #SanukaNaChapo
Tweet media one
Tweet media two
275
78
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Kuna umuhimu wowote kwa msanii kuongozana na crew kubwa ambayo sio potential?
Tweet media one
217
24
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Gari la bia likisafirisha mzigo halilindwi na bunduki ila gari linalobeba sigara linalindwa na mtutu. Unahisi kwanini?
216
89
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
SMH!
Tweet media one
180
39
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Kanisa lake lipo wapi huyu mzee tukatie sadaka
138
324
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
4 years
Watu wa Arusha wanavyousifia mkoa wao yani kama hujawai fika unawez sema ulaya ya bongo, ukifika ndio unagundua ni kijijini tu chenye baridi na makoti yao makubwa kama parashuti. 😂😂
384
88
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Wazee kuna movie mpya 2021 kali kuliko escape from Mogadishu? Itaje 👇
197
175
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Huyu ana ubaya gani? Acheni miyeyusho.
Tweet media one
Tweet media two
277
57
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Wale madogo waliokuwa kwa KIBA wanapata sana tabu. Kule walikuwa wanavalishwa sana vipensi na huku Konde Gang wanashinda vifua wazi 😂😂
138
79
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 months
Mwana anatufundisha kuwa tobo lako linaweza kuwa sehemu nyengine kabisa na kuna muda fanya kinachokupa furaha sio watu wanacho kwaminisha.
Tweet media one
56
93
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
“Matukio makubwa yalinitokea kwa wakati mmoja siwezi sahau, mke alinikimbia, kodi iliisha napokaa vitu vikatupwa nje na nilikamatwa kwa kesi kununua gari ya uwizi na kukaa mabatini siku 2, ikabidi nikaishi kwa ROMA bila yeye sijui ningekuwa mgeni wa nani” -Stamina
Tweet media one
55
42
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Zuchu Sukari inamtesa sana, ana deni la kutoa ngoma kubwa kuliko sukari.
Tweet media one
90
31
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Hivi huyu jamaa analipwa na nani?
Tweet media one
234
61
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 month
Madenge,Bon Yai, Martin,Tito,Buyobe wataje wengine kwenye picha😂
Tweet media one
135
85
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
4 years
Ukisikiliza interview ya Soundy Brown kuhusu kuondoka kwa madogo King Music utagundua kuwa Alikiba isa golden angel ana moyo safi. Kwenye interview moja Idris Sultan aliwai kuulizwa ana mzungumziaje Alikiba akasema “Alikiba ni mtu ambae usishangae kumkuta peponi”.
Tweet media one
157
88
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 months
TUNAMTAKA AFANDE TUNAMTAKA AFANDE TUNAMTAKA AFANDE TUNAMTAKA AFANDE TUNAMTAKA AFANDE TUNAMTAKA AFANDE TUNAMTAKA AFANDE
46
528
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
13 days
Napenda namna Kikeke yupo front japo ni boss wa Media, haiji bahati mbaya ni exposure na kuipenda kazi yako kupita maelezo. Kuna vingo vya kujifu za kwa jamaa.
38
145
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Narudia tena DIAMOND kuchukua 500M kwa Harmonize ni deal mbovu aliyowai kuifanya na itamtesa maisha yake yote. Diamond alitakiwa kumwacha Harmonize aende ila % za mauzo ziendelee kuingia WCB, heshima ingekuwepo,haya matusi na kashfa usingesikia. #TheWalkingMedia #ChapoWasHere
Tweet media one
267
108
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Kuna mshikaji YOUTUBE anaitwa SNASH anaelezea movie za mbele kwa lugha nyepesi ya Kiswahili. Jamaa anajua then anajua tena. Appreciation Tweet.
Tweet media one
85
132
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
11 months
“Wakati nipo kimya na kuzuka habari natumia unga ilibidi Mwana FA aje hadi home akiwa na wasiwasi ila Akashangaa kunikuta nipo fit na familia na naishi maisha mazuri” - Darassa
Tweet media one
22
65
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Appreciation kutoka @NavyKenzo on their IG 🙌🙌
Tweet media one
63
102
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Bado wataendelea kumlaumu Rais wa TFF walivyokuwa hawana aibu 😂😂
Tweet media one
162
89
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Watoto wa field wa UDSM nimewapeleka breakfast nikajua watafurahi. Ile wanamaliza kula tu chai chapati wananambia ''kaka wapi wanauza miogo mitaa hii''
86
47
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Wasipopiga hela hawapigi tena.
Tweet media one
Tweet media two
72
60
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
“Hii nchi ukipata nafasi ya kuondoka usirudi kmmk 🗑 Nilikuwa sijaelewaga hii sentensi kmmk 😂😂
144
90
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
5 years
Uhamisho wa Maulid Kitenge kutoka EFM kwenda WASAFI MEDIA uligharimu kiaisi cha milioni 10 na gari aina ya Mark X kama ada ya uhamisho nje ya mshahara. Oyaa tulete segment mpya iitwayo #UnknownzaChapo ? Tutakuwa tunaangazia story fupi ambazo hatujawai kuzisikia au mnasemaje?
Tweet media one
158
68
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
“Mama yangu alikuwa ni mwalimu ilimbidi aende kunikopea pesa bank na vikoba ili niweze kugharamia video yangu ya wimbo wangu wa kwanza na Ben Pol, sikuwa na sehemu ya kulala DSM ilibidi niwe nalala studio muda mwengine nanyeshewa na mvua😭” - Maua Sama ( Salama na)
Tweet media one
183
43
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
“Ruge aliwai kuniita nifanye kazi CLOUDS MEDIA, tulikubaliana mshahara anipe wa juu zaidi kuliko media nayotoka, baada ya kubishana sana akakubali, ila siku kadhaa mbele akanipigia simu tena nakunambia atanipa mshahara kama ule wa media nayotaka kutoka, nikagoma. -Salama Jabir
Tweet media one
38
43
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Beast (2022) 🎬🎦
Tweet media one
76
66
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
4 years
Wathamini sana ndugu wa upande wa mama yako hasa wajomba, baba yako akifariki ndugu wa baba hawanaga mpango na wewe labda kuwe na hela otherwise mtakuwa mkikutana tu misibani na kusema “umekuwa mkubwa!”
160
153
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Jamaa aliemuoa Diva tumwambie ukweli au tumwachwe kwanza? 😂
192
44
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 months
Kama una kibunda nunua power station kwa matumizi ya nyumbani achana na majenereta kizamani sana.
Tweet media one
94
165
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Msada tutani, jamaa ana 5M anataka kupewa idea nzuri ya biashara ambayo itampendeza atatoa 100k kwa comment bora. Here we go….
Tweet media one
369
312
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
“Harmonize alikuwa hapendi label ya WCB iwe na wasanii wengi alitaka awe peke yake, japo alikuwa anajua sana na alikuwa na bidii ya kujipush mwenyewe ila alikuwa anaogopa kuzidiwa na wasanii wenzie ikafika kipindi akaanza kuwafanyia wenzake unafki hasa Rich Mavoko” -Sallam Sk
Tweet media one
137
67
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 months
Azam TV (UTV) jana stori ya SATIVA waliikata ilipofika sehemu ya kuwa alipelekwa 'Osta-bei' 😂😂
84
143
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Koh koh Credit: Vua uvae
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
91
91
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 year
Wazungu wanaona kama wakitengeneza documentary ya huyu mwamba Afrika tutakuwa proud sana vizazi na vizazi.
Tweet media one
118
64
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Manara anaweza kuwa maarufu kuliko Mo ila hawezi kuwa mkubwa zaidi ya Mo.
97
46
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Harmonize ana melodies kama 100, akikohoa tu ana switch melody mpya 😂😂
69
50
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Mkongo hajui Kiswahili au hayajui matusi masikini 😂😂
Tweet media one
186
45
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
4 years
Huyu jamaa ni Diamond aliechamgamka..anajua sana na mna ya kucheza na publicity na attention. kitu anachokikosa ni manager wa uhakika,mwenye uzoefu na fitina(strategy)
Tweet media one
100
58
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Tangu 2009 mashahidi na watabiri walisema Diamond atadondoka kesho 😂😂😂 Ila mwana bado yupo na anawaletea watu wapya kila kukicha, inawezekana hata Harmonize pengine tusingemjua bila Diamond 😎😎
Tweet media one
154
79
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
8 months
Kwa hii ngoma Mondi hana haja ya kumpandishia Konde. Maashabiki tulitarajia kikubwa zaidi ya tulichopewa!
Tweet media one
138
49
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 months
Huu ni ushindi mkubwa sana kwa Bongo Fleva. Mwambieni Harmonize pia wimbo wake wa "BADO" ulisikika kwenye filamu ya Sarah's Notebook.
Tweet media one
24
74
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 year
Kupitia jamaa tunajifunza kuwa watu wanaona unachofanya ila watakaa kimya hadi siku utakapoteleza.
Tweet media one
124
66
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Nimekosa mimi, nimekosa sana.
Tweet media one
150
51
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 year
Jana nilikuwa baa ile ya wale walevi wakanambia “Chapo unajuwa kuwa Mayele habaki Yanga wala timu za Afrika? Amepata timu Saudi Arabia signing fee ni usd 800,000 na mshahara wa usd 80,000 per month, deal ni 70% done” Nikacheka tu nimewaambia siji tena hii bar ya waongo 😂
Tweet media one
Tweet media two
48
52
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 year
Jux hizi collabo kadhaa alizofanya na Simba na Rayvanny ndio muda wa kukanyaga mafuta hakuna kurudi nyuma tena.
Tweet media one
28
48
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 year
Kajala hakumtumia Harmonize bali Konde ndiye alimtumia dada yetu Ile album ya 3 ya mmakonde bila Kajala isingetupa mapini makali. Naisikiliza WOTE hapa ina sound tofauti sana hasa ukiwa ushaanza kuvesha. Mondi aliwai kumwambia Konde “Mungu alichokubariki ni melody kali”
Tweet media one
56
67
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 month
Mondi anaweza asijibu chochote, unaweza mdogosha kwenye muziki asikujibu, unaweza mtukana matusi akakausha hata uiseme familia yake vibaya anakula buyu ila ukimwambia hana hela hapo ndipo anapochoraga mstari 😂
61
122
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
“Fredwaa alikuwa ni binamu yangu kabisa na ni kweli alikuwa na msongo wa mawazo sababu kituo alichukuwa akifanyia kazi alifukuzwa na ikapelekea kuwa anakunywa pombe kupita kiasi, inauma pale media inapunguza wafanyakazi na wewe unaonekana sehemu ya mzigo” Gerald Hando
Tweet media one
Tweet media two
83
70
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 months
Miriam Mkanaka amepatiwa ulinzi.
Tweet media one
25
90
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
8 months
Rick Ross yuko na project yake ya Belaire, nyie mnaona mwana ana love na wasanii wetu kiviiile 😂
Tweet media one
78
43
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 year
Kumekuchaaa! 😂
Tweet media one
224
76
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
4 years
Diamond kaambiwa achague goma lipigwe Clouds Fm🔥🔥 Natamani kuona media na wasanii wakiwa kitu kimoja ili mziki upige hatua🙌
161
65
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Sio kwa ubaya ila Harmonize inabidi apunguze mwili aisee.
139
35
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Kura tutapiga kama kawa kwa Diamond kama hupigi wewe tu.
175
80
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
5 years
NANI MMILIKI WA ZOOM PRODUCTION? Ikiwa imetimia miezi kadhaa tangu Harmonize kuondoka WCB kumekuwa na maswali mengi juu ya umiliki wa zoom production hasa baada ya jina la kampuni kubadilishwa kutoka zoom production na kuwa zoom extra huku mtayarishaji wa video
Tweet media one
187
257
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Eti ubishoo wote kumbe unaitwa Cosmas…. 😂😂😂 Hii Rapcha lazima amaindi 😂
119
58
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Jux kashindwa kabisa kuvumilia 😂😂
Tweet media one
107
38
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Zamani nilikuwa siamini kama uchawi unapanda ndege hadi leo nilipoona kwa Rick Ross.
87
49
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 year
😂
@AmbweneJacob
Ambwene Jacob
1 year
Funny how Zanzibar people keeps on thinking that they are Arabs 😂
122
80
656
135
508
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Nipo bar ya mtaani kuna mwana anamwadisia mwenzake kuw ana demu ambaye akimla basi Asubuhi deal zinaita. Anapanga kama vipi amuoe tu, ni kweli kuna mademu wana mikosi na wengine wanaleta bahati?
174
90
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
4 years
Ifike wakati Navy Kenzo tuwape heshima yao wanayo stahili.
72
44
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Muziki kweli vita, Tetema ya Rayvanny imechomolewa Youtube 😂😂
73
37
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Muda sasa Marioo apate show za nje. Hilo linawezekanika kama atapata meneja ‘mkubwa’.
Tweet media one
84
39
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
Hii nchi uhuru umezidi sana, Dancer wa MARIOO nae kaachia ngoma na video 😂
Tweet media one
86
36
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
P-Square wameona hela zinaisha wamerudiana 😂😂
95
54
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
8 months
Kill Paul mtanzania wapili mwenye subscribers wengi zaidi kwenye mtandaoo Youtube baada ya Diamond Platnumz. Jamaa kwa niche alipaswa kuwa Balozi wa utalii nchini ila ndio hivyo Bongo Nyoso. Anapewa heshima kubwa sana kwenye nchi nyengine kubwa kama India.
Tweet media one
70
84
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Manara anakula mshahara mnono, wengine hiyo pesa mara ya mwisho kuipata ni kwenye ada ya chuo tena mzazi aliitoa kwa shingo upande.
58
52
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 year
Unaambiwa hao wamama usiwachukulie poa, wana mafuzo ya Karatee mixer Judo.. kila mtu hapo ana mkanda mweusi na mafunzo ya kurusha risasi na kuzuia milipuko walipatwa nchini Yugoslavia.
Tweet media one
170
60
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
4 years
Kwa mujibu wa Nuh Mziwanda alikuwa anapigwa sana na Shilole ni moja ya sababu zilizofanya waachane.
150
54
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
William kama William
Tweet media one
144
44
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
5 years
#5zaChapo leo tupo na Nahreel producer na msanii kutoka kundi la Navy Kenzo karibu. 1. Nahreel anatokea familia yakishua jina lake halisi ni Emanuel mkono na inasemekana baba yake ni Nimrod Mkono Mbunge wa CCM jimbo la Musoma vijijini ambae pia ni mmiliki 👇
Tweet media one
Tweet media two
151
186
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 years
“Baba yangu Mdengeleko na mama yangu Mzalamo, kijijini kwetu ni kipawa Airport na kwenda kwetu nauli hasira tu, mtu akiniuzi natambea kwa miguu naenda kwetu” - Kontawa 😂😂
Tweet media one
54
47
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
8 months
Ooh Mai!!!!!! Young Lunya kautendea haki mdundo wa ‘Mapoz’ ya Diamond
198
261
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
21 days
Kama routine yako ni Kazini -> Nyumbani ->Kanisani/Msikitini umemaliza! Maisha yako yamejaa upweke mno sorry for you.
161
145
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
7 months
Demu anakwambia ame-kumiss ulivyo fala anamjibu "Miss you too" Utakuwa lini wewe mbwa 😂
129
102
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
4 years
Unaambiwa Kariakoo kuna wana wako kama 100 wanacheza mchezo wa laki kila kila siku inamaana kuna mtu anapokea milioni 10 kwa siku jina lake likitoka. Kwanini usipige hatua? Funzo: urafiki ni mtaji mkiwa mnajitambua
99
89
2K
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
WCB bado inashikilia record ya kumfanya msanii mchanga kuwa star ndani ya masaa 24.
Tweet media one
48
49
2K