Freddie Profile Banner
Freddie Profile
Freddie

@frediejustine

59,009
Followers
541
Following
62,450
Media
97,754
Statuses

Centrist. Diplomat. Carpe Diem

Joined March 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@frediejustine
Freddie
3 years
KATIBA mpya is OUR Primary DEMAND
37
124
1K
@frediejustine
Freddie
11 months
@InternetH0F Ask no more mate
Tweet media one
5
49
8K
@frediejustine
Freddie
4 years
Anaitwa Vicent Nundwe, alikuwa Mkuu wa majeshi nchini Malawi kabla ya Raisi Peter Mutharika kumfuta kazi mwezi March kutokana na kuwasisitiza wanajeshi wasitumie nguvu dhidi ya waandamanaji na badala yake wawalinde. You earn our Respect SIR!!
Tweet media one
165
349
4K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. "Nani aliwapa NATO mamlaka ya kumuuwa Muamar Ghadaffi? ~ Vladimir Putin
Tweet media one
112
137
3K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Nimefurahi kukutana na Kaka @Salym hapa Aishi Hotel Machame, atafanya mahojiano na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh. Freeman Mbowe. Nimemuambia amuulize maswali magumu, ameniahidi kufanya hivyo.
Tweet media one
111
171
3K
@frediejustine
Freddie
4 years
Wakuu mmeona ule waraka wa wakenya wanamuomba @kigogo2014 akafanye kazi uko kwao maana wanatuonea wivu? Ndugu zetu wakenya chukueni Wasafi, konde gang, TMK,Y2K, Taifa Stars, CCM ata mkipenda na bonde la ufa Ila Kigogo mtuachie 😂 😂.
222
122
3K
@frediejustine
Freddie
4 years
Police wa Jimbo la Florida nchini US wameweka silaa zao chini na wakapiga magoti mbele ya waandamanaji kuwaomba msamaha, wamekubali kubeba lawama kwa kifo cha Floyd. Humanity restored 😊. #AllLivesMatter
Tweet media one
Tweet media two
240
225
3K
@frediejustine
Freddie
4 years
Raisi wa SA amesema hana cheo chochote SADC lakin ameamua kuitisha mkutano, amefanya hivyo baada ya kumpigia Rais Magufuli simu aitishe mkutano lakini akamuambia waandike tu maoni kisha wamtumie. Pia amesema amesikitishwa sana na SADC kukosa muwakilishi kwenye mkutano ulopita. 😔
Tweet media one
224
157
3K
@frediejustine
Freddie
3 years
..Huyu Dingi ni Kwere, liwake jua inyeshe mvua yeye kwenye Baraza la Mawaziri hakosi tangu enzi ya Mkoloni 🤣😂🤣.
Tweet media one
142
100
2K
@frediejustine
Freddie
3 years
.. Mwaka 2012 John Mnyika alimkosoa Rais Kikwete na kumuita "Dhaifu" wazandiki wakaenda Ikulu kumshauri amdhuru (kumkamata or kumpotezea). Mzee wa Msoga akawaambia "let him be, he's just a boy building his Political Carrier. Nendeni kwenye majukwaa mkaonyeshe mimi sio Dhaifu.
Tweet media one
52
196
2K
@frediejustine
Freddie
4 years
Sio Yeye tu aliemaliza salama bali na madiwani wake 22 wote mwendo wameumaliza bila kuyumbishwa. You earn our Respect SIR. Tarime Hoyeeee!
Tweet media one
42
105
2K
@frediejustine
Freddie
4 years
CCM, NCCR, CUF, TLP hatimae waungana kupambana na CHADEMA. Maisha haya 😂 😂
201
96
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
.... Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameomba mazungumzo na Urussi ili kunusuru nchi yake. Ameridhia kufanya hivyo endapo tu atahakikishiwa usalama wake na Familia.
Tweet media one
92
74
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Niki wa Pili, January Makamba, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba ni ' MAADUI' wa ustawi wa watu wa Tanzania.
91
172
2K
@frediejustine
Freddie
4 years
Hongera sana Mh Rais kwa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na boss wa WHO , China , US , Oman , UAE na marafiki wengine wa Zanzibar ili kuomba msaada wa dharura kabla hamjaelemewa na maambukizi ya Covid-19,, ni hatua muhimu katika kuokoa maisha ya ndugu zetu wa Zanzibar.
Tweet media one
87
95
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Huyu mzee wa Royo Tua anataka kuzidi sasa, Ni nchi zote huwaga anafanyaga kazi namna hii?
Tweet media one
231
70
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Katika umri mdogo, hadi sasa na maisha yangu yaliyo salia nimekubali kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wangu, ni Salama.
111
109
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. "Katiba Mpya ni Pana hivii, utaweza kuibeba Maria?" 🤣 🤣
Tweet media one
81
85
2K
@frediejustine
Freddie
3 years
.. Kama kweli unafatilia Siasa za hii nchi sema hii ni miguu ya nani?
Tweet media one
670
86
2K
@frediejustine
Freddie
3 years
.. Bi mdashi anatupa noti chini na BoT wako kimya. Si walitoa katazo?
Tweet media one
154
91
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Vladimir Putin ndani ya Chombo maalum akiwa njiani kuelekea Eneo Meli kubwa ya Urussi ilipozamishwa na Ukraine baada ya kupigwa na Kombora.
Tweet media one
216
71
2K
@frediejustine
Freddie
4 years
Chama hakina diwani wala mbunge hata mmoja lakini kinalisimamisha taifa siku nzima. Fanya kama unajikuna 😂 😂
50
98
2K
@frediejustine
Freddie
4 years
Wakuu tuchukue nafasi hii kuwapongeza Jeshi la Polisi zaidi sana IGP wetu Simon Sirro kwa kusimamia kwa uimara mkubwa mapokezi ya kiongozi wa Upinzani Mh Tundu Lisu bila ya uvunjifu wowote wa amani. Mungu aendelee kuwalinda na kuwajaza Hekima na Busara Mashujaa wetu wanaotulinda
Tweet media one
Tweet media two
81
91
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Waziri wa Ulinzi wa Urussi amesema Vita ya Tatu ya Dunia itakuwa ni ya Nuclear na Uharibifu mkubwa.
Tweet media one
82
68
2K
@frediejustine
Freddie
4 years
Ile treni ya kwenda MOSHI ilozinduliwa kwa mbwembwe kidogo tupigwe na MATAGA bado ipo au tuache UCHOCHEZI. 😂
128
77
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. US haipendagi kujaribu makombora ila ikijaribu lazima muogope.
Tweet media one
149
66
2K
@frediejustine
Freddie
4 years
David Silinde una muattack Freeman Mbowe personally na kusema amefanya uamuzi wa kitoto!? Nikukumbushe Kamati kuu ndio imefanya uamuzi! Kumshambulia Mbowe ni shambulio kwa CHADEMA, this is the biggest mistake you've ever made in your life. Itunze hii tarehee 😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔
Tweet media one
170
79
2K
@frediejustine
Freddie
3 years
.. Skia JoBo usiwe mnyonge Peleka Hoja Bungeni ya kutokuwa na Imani na Rais. Hoja yako ni ya Msingi, Madeni yanaliumiza Taifa. Tuko nyuma yako masta 🤣😂
147
101
2K
@frediejustine
Freddie
4 years
Hajajenga reli, hajanunua ndege, hajajenga madaraja, hatangazwi kwenye media, hatembei na wasanii wala viongozi wakubwa wa kisiasa, hana mabango mjini, just YEYE na MUNGU. Catch him if you CAN. #T2020TAL #PeoplesPower
Tweet media one
44
182
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Umeshaiona hiyo filamu au na wewe unakutana na hizi Picha tu kama mimi?
Tweet media one
183
56
2K
@frediejustine
Freddie
4 years
Mh Waitara anasema anaumwa na amelazwa hospital ila hajui anaumwa nini. Ripoti za mguu wa Mbowe wanazo ila zao hawana, hawa watu bhana 😂 😂 😂
Tweet media one
105
88
2K
@frediejustine
Freddie
4 years
Press imeonyeshwa LIVE ITV, Chennel Ten, TBC na CLOUDS alafu unasema hamjanunuliwa? We uliskia wapi? 😁 😁
67
66
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. AFTER Samia Suluhu, Freeman Mbowe is the next PRESIDENT of TANZANIA.
133
82
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Jana mkiwa mmelala Kim alirusha Kombora kuwakumbusha kuwa yupo. He's in this party and nobody invited him. 😂 😂.
Tweet media one
58
41
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
...Russia haijawahi kuitawala Africa kwa Mabavu, hawajawahi kuiba rasilimali zetu, kutesa babu zetu na pia hawajawahi kuivamia Africa kwa vifaru na Mabomu kama NATO na Mataifa ya Ulaya. Napenda Demokrasia ila sipendi Demokrasia inayoenezwa kwa Mtutu wa Bunduki. Niuwenii
163
131
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Rais wa North Korea Kim Jong Un emesema nchi yake inajiandaa kutuma satellite itayo monitor mwenendo wa US na washirika wake.
Tweet media one
55
50
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
... Kila nikiwaza how LISU survived 36 BULLETS wakati Shinzo kapigwa moja tu ya MGONGO na ikatosha kukatisha maisha yake, napiga goti na Kumtukuza MUNGU wa Lisu. Hallelujah!
75
130
2K
@frediejustine
Freddie
4 years
Katibu mkuu wa CWT anasema anampongeza raisi kwa kuboresha maslai na mishahara ya Walimu! duh labda walimu wa kwaya.
145
57
2K
@frediejustine
Freddie
4 years
Jumapili ya leo mbali na mambo mengine pia tuitumie kumuombea Kheri na Baraka aliekuwa Governor wa B. o. T, Waziri wa Fedha na baadae Muasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mzee wetu mpendwa Edwin Mtei, his legacy will live forever.
Tweet media one
36
98
2K
@frediejustine
Freddie
2 years
..Inasemekana Mercenaries toka Tanzania, Morocco, South Africa na maofisa wawili wa Usalama wa Ufaransa walikuwa kwenye Helicopter iliyodunguliwa jana karibu na mji wa Mariupol, Ukraine.
Tweet media one
Tweet media two
175
77
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Kremlin imeachia ushahidi wa picha na video za ndege wanajeshi waliopewa mafunzo na NATO kuisaidia Ukraine.
Tweet media one
52
84
1K
@frediejustine
Freddie
3 years
Kenyata kanyamaza ili Kupisha Adhana. 🙌🙏🏽
46
57
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema katu hawatajiunga NATO.
Tweet media one
140
42
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Mahotel kama Protea, Kilimanjaro, Hayat Regence, Serena Yote yamefungwa halafu tunaambiwa uchumi unakua! Come on tuwe serious basi" Freeman Mbowe
Tweet media one
64
84
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Tundu Lisu Askofu Bagonza Maria Sarungi Maalim Seif Freeman Mbowe Mussa Assad Fatma Karume Hellen Kijo Basimba Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema aendelee kuwatia nguvu, afya njema na ujasiri. Heaven is for you 👏👏👏👏👏
67
130
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Mdude Nyagali ameshtakiwa kwa kosa la kukutwa na Heroine gram 23.4 😔 💔 hili halikubaliki TULIPINGE kwa nguvu zoote
Tweet media one
120
103
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Rais wa Marekani Joe Biden ameonya endapo chokochoko za Urusi zitapelekea kuzua Vita ya Tatu ya Dunia basi wajiandae vyema kwani vita hiyo itapiganwa kwenye Ardhi yao na si Ukraine.
Tweet media one
132
72
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Ile siku kina HALIMA walivyoapa niliumia sana,, ilinibidi kuketi na kuandika waraka kwa Mh. Freeman Mbowe na kumtumia, kisha baadae kuusambaza kwa watu wote. Alinijibu "Ahsante kamanda nimekusoma" his response warm my heart, najivunia sana kuwa sehemu ya CHADEMA.
17
71
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Kukamatwa kwa Freeman Mbowe, God bless Lema na Boniface Jacob hakutazuia maandamano ya kesho, zaidi mnachochea morale. #MaandamanoNov2
17
81
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Wabunge wanalalama hawajalipwa per diem, mil 9 ya suti na hela ya gari wamepewa mil. 50 badala ya 90. Mwaka huu mtakuwa kama walimu tu yaani 😂.
117
56
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Hii picha ilipigwa June 9. 2018 Muda mfupi kabla ya kikao cha G7 kuanza huko mjini Quebec, Canada. Trump aliwauliza "tunafanyaje mkutano wa Mataifa makubwa yenye nguvu za Kiuchumi duniani bila Ushiriki wa Urussi"? ndo ikabidi kizuke kikao ndani ya Kikaoo. 😂 😂.
Tweet media one
75
94
1K
@frediejustine
Freddie
3 years
Mama Ana Mghwira ni miongoni mwa viongozi wa chache kwenye utawala wa Shujaa waliokuwa na Chembe za utu. wakati wa kampen aliwasih ma DC, DED, OCD na viongoz wengine wajitahidi kutenda haki, alipinga matumizi ya nguvu ya siyo ya lazima dhidi ya wapnzani. Namtakia happy retirement
Tweet media one
29
80
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Risasi 16 mwilini, alipoteza 40% ya Damu ambapo madaktari walikiri sio kawaida mgonjwa kupoteza kiasi hicho cha damu na akaishi, aparation zaidi ya 20 hatimae Leo kasimama na Anarudi Nyumbani. Siendi kumuoma LISU naenda kuona Matendo makuu ya MUNGU aliemponya. #LisuHomecoming
Tweet media one
47
112
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Next STOP, Dodoma kuchukua form, kuijaza, kuirudisha, kufanya kampeni, kupigiwa kura, kushinda na KUTANGAZWA. Chokochoko #Sasabaaasiii
Tweet media one
40
78
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Kila mtu, nasema kila mtu mwenye mapenzi mema na nchi yetu atumie wasaa kidogo na amuombee sana Freeman Aikaeli Mbowe.
Tweet media one
93
81
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Mfahamu Maria Sarungi Tsehai Ni mtoto wa Prof. Mikol Philemon Sarungi, baba yake ni Daktari bingwa wa mifupa lakini pia amewahi kuhudumu kama Mbunge wa Rorya, Waziri wa Afya, Mawasiliano na baadae waziri wa Elimu. Maria Sarungi ni..
Tweet media one
193
144
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
hii ndio imesababisha? #freeSultan
225
101
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Hakuna cha Ubize, ni matter of priority tu
Tweet media one
74
70
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Unaona kazi inavyoenda hiyooo
Tweet media one
121
69
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Kuna mshakji wangu kajiunga Twitter recently, kanipigia nimuambie maana ya MATAGA na MEKO anadai @kigogo2014 anamchanganya 😂 😂 😂.
95
31
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Kama Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky atashinda hii vita basi atakuwa Mtetezi wa Demokrasia namba moja kwenye vitabu vya Historia ya Dunia.
Tweet media one
59
41
1K
@frediejustine
Freddie
1 year
… Marekani na Ulaya Hawafurahishwi na haya yanayoendelea baina ya Afri-Ru relation. Kama mwafrika, nini maoni yako?
Tweet media one
172
59
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Mwigulu seriously!! Kwahiyo Kagame, Uhuru, M7, Ramaphossa wao ni manesi? Mbona wako Frontline kutekeleza wajibu wao? una watoto nyumbani na wana smartphone wanaona ivi vitu, ukiamka kuchangia since huwezi kuongea kwa ajili ya watanzania have some respect for ur family basi.
349
99
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Ilikuwa furaha sana Leo kumkaribisha Mh. Freeman Mbowe na kumuandalia chakula cha Mchana. So so excited
Tweet media one
19
63
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Sema USA inapitia wakati mgumu kinoma Kabla ajamalizana na Russia, mara India kamdungua Pakistan, mara Iran kamchapa Iraq, mara China anapitisha ndege za Kivita kwenye anga la Taiwan, mara North Korea anatest mitambo. Kazi kweli kweli 🙄
98
62
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Police wanashusha bendera za CHADEMA mda huu mjini SAME,, ikumbukwe leo tuna kikao cha Ndani na uongozi wa Kanda kitakachoongizwa na Mh Godbless Lema. #ChangeTanzania @RealHauleGluck @halimamdee
Tweet media one
177
108
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Mnamkumbuka yule dada video yake ilisambaa kipindi cha kampeni akiwa anawaambia wenzie ushindi wa CCM ni lazima sio mpaka Mungu apende? Amekufa.
152
47
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Hotuba ya Mh Lazaro Nyalandu was a "call of duty" anajua sana yaani 🙌🙌
Tweet media one
24
65
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Piere Nkurunzinza; 🇧🇮 👉 2015 alibadilisha Katiba awe Rais kwa Awamu ya 3. 👉 2020 kabadilisha SHERIA apewe TZS 1.2 bil na kasri akistaafu 👉 2020 kabadilisha SHERIA aitwe Supreme Leader akistaafu. 💠Jana KAFA kama binadam wengine. Be humble it cost nothing. Cc: @fatma_karume
Tweet media one
66
126
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Vita hufichua nani rafiki na nani mnafiki.
Tweet media one
57
48
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Tumemaliza salama Uchaguzi wa kura za maoni Same Magharibi nimepata asilimia ya kura 12.5% huku Mgombea mwenzangu Gervas Mgonja ameshinda kwa kupata asilimia 87.5% ya kura. Tutashirikiana kwa kila hatua ili kuleta mabadiliko katika Jimbo na Taifa kwa ujumla. Chadema imeshinda.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
103
77
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Martin was very calm and composed, ame stick kwenye kuhoji mambo ya msingi na amefanikiwa sana kufunua ujinga mwingi na tamaa ya vijana. Mabadiliko yataletwa na wachache, @IAMartin_ is among of them. ✊🏼
46
119
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
. Bunge la Seneti ya Marekani kwa kauli moja limepitisha azimio la kumtangaza Putin kuwa mhalifu wa vita
64
56
1K
@frediejustine
Freddie
1 year
… Hadi sasa Bungeni ni Halima Mdee pekee ambaye amesimama upande wa wanachi na kuitahadharisha Serikali juu ya Mkataba huu wa uuzwaji wa Bandari zetu. Too sad amepuuzwa na kukatishwa na Spika wa Bunge
Tweet media one
71
86
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
“ Tuache Unafiki,Sisi Wote Ni Watanzania Tunanyanyaswa.Mimi Ni MwanaCCM Na Kama Ni Ubunge Niachisheni Lakini Ukweli Usemwe.” katika kufukua makaburi 😌😌😌
Tweet media one
78
67
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
amjamuona makamu mwenyekiti wetu wa BAVICHA au ni dharau? yule wa TBC akasome ✌️ 🇹🇿 #M4C
Tweet media one
82
41
1K
@frediejustine
Freddie
1 year
… “Namjua Putin hawezi kukubali kushindwa vita kwa kumuonyesha ubabe au kumtunishia misuli bali kwa njia bora za mazungumzo. Urusi imeshinda vita nyingi, wana silaha na njia bora za vita ni vigumi kuwashinda kwa Mabavu” ~ Donald Trump
Tweet media one
47
64
1K
@frediejustine
Freddie
3 years
... Kwahiyo broo ulivyo kuwa unatuambia mitambo inafanyiwa marekebisho ulikuwa unatupanga sio?
Tweet media one
136
86
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Rais wa Urussi Vladimir Putin amemuhakikishia Rais wa Ufaransa Emanuel Macron kwamba Urussi ni lazima itimize malengo yake huko Ukraine.
Tweet media one
43
53
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Vladimir Putin amesmea vikwazo vitawaathiri zaidi US na Mataifa ya Magharibi na Urussi itaendelea kuwa Imara.
Tweet media one
60
49
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Naanzaje kuwaambia wanangu Tanzania ni member country wa EAC? 😔 😔 😥
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
139
59
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Mnakumbuka yule Mkurugenzi wa DODOMA alieambiwa na Rais Magufuli jana aoee? Leo akiongea na Wasafi media kasema ataoa HARAKA kabla ya mwaka huu kuisha ili kutekeleza agizo la Raisi. Unaeza ukapasua redio. smh 🤦‍♂️ 😂 😂
154
55
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
#RWANDA : Waziri wa mambo ya nje, Dr. Vincent Biruta amesema, #Tanzania iliomba kutokushiriki mkutano wa #EAC uliofanyika hivi karibuni. #Burundi wao walisema hawatashiriki kwakuwa wana uchaguzi. Kwako Profesa Kabudi. 😔
Tweet media one
87
70
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Kwahiyo tumekubaliana haya ndio mavazi rasmi ya MAGEUZI na sio suti oversize? 🏃 🏃
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
67
72
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Jamaica imeanza mchakato wa kumuondoa Queen Elizabeth kama kiongozi wa Taifa lao.
Tweet media one
42
37
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Social distance ya Hatari. 😁
Tweet media one
68
29
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
"unaitwa mbele ya kamati kuu, unasema upewe muda wa kutafakari? wakati unakwenda kuapa mbona hukutafakari" ~ Freeman Mbowe
13
58
1K
@frediejustine
Freddie
3 years
.. Ukitaka Braza Nape akuuwe mkumbushe hii mbanga. Anakuwa mkali kama pili pili kichaa 😂 😂 😂.
Tweet media one
137
101
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Ukisoma between LINES kwenye Tweet za HAULE ni kama anatamani kitu kibaya kitokee kwa CHADEMA lakini ndio hivyo tena HAIWEZEKANI coz CHAMA kishavuka viwango vyote vya KUYUMBISHWA.
114
48
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
..Hivi Putin huwaga na shida gani!😃
Tweet media one
143
43
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Wazu Mku wa India Narendra Modi amesema wata nunua mafuta ya Russia yenye punguzo na kupuuzilia mbali vikwazo vya Marekani.
Tweet media one
54
53
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Yaani @kigogo2014 ndio alituambia mnaenda kuapishwa, na akaongeza pia Nusrat atatolewa Gerezani na kwenda kuapishwa. Ule usiku kila mtu hakumwamin na mpaka tukamuita "machine ya kuchakata umbea" alafu leo umuite unaleta blah blah! To hell!
23
52
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Kwahiyo tunakubaliana chama pekee cha upinzani nchini ni CHADEMA sioo.
76
50
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Kiongozi wa Jeshi la Marekani nchini Lativia amemuonya Putin kwa maneno "don't mess with us" wakati akizungumza na Shirika la Habari la Reuters.
Tweet media one
44
44
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Rais wa Syria Bashar al-Assad ameahaidi kutoa wapiganaji 40,000 wa Syria kuisaidia Russia.
59
41
1K
@frediejustine
Freddie
3 years
Mzee Ally Hassan Mwinyi amezaliwa May 8 1925, ana miaka 95 by now. Anasoma bila ya miwani na anaweza kusimama zaidi ya Dk 20 kuzungumza na kufariji adhara yenye majonzi. Hakika Mzee huyu ni HAZINA.
24
91
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. IMAGINE BEING US 😎
Tweet media one
36
62
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Anaitwa Peter Kibatala, kitaa tunamuita wakili msomiest 😁. Amejitoa Rasmi kuwatetea Halima Mdee na Wenzie waliokwenda kuapa kinyume na utaratibu. Hebu mtumieni salamu za X-mas basi🎄
Tweet media one
45
56
1K
@frediejustine
Freddie
2 years
.. Kwa mara nyingine Urussi imeyaonya mataifa ya Finland na Sweden kukumba na ilichokiita 'serious military and political consequences' endapo watajiunga na NATO. Hata hivyo mataifa hayo yako katika mpango wa kujiunga na NATO.
Tweet media one
60
46
1K
@frediejustine
Freddie
4 years
Freeman Mbowe akizungumza na BBC. "the president should come out and accept that there are a situation in the country" 🙌 iyo kingereza ya mwenyekiti kama wale commentator wa EPL yaani 🤣
173
117
1K