Peter Madeleka Profile
Peter Madeleka

@PMadeleka

107,938
Followers
5,761
Following
2,320
Media
10,086
Statuses

Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers

Tabora, Tanzania
Joined April 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 month
Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta HAKI ya SATIVA.
Tweet media one
312
1K
6K
@PMadeleka
Peter Madeleka
6 days
Mimi nipo TAYARI, nawasubiri WAJE.
Tweet media one
269
330
4K
@PMadeleka
Peter Madeleka
30 days
Hiyo GARI ndogo kushoto aina ya SPACIO ndiyo ambayo imekuwa IKINIFUATILIA leo KUTWA NZIMA. Kwa wale ambao mmeshapata VIDEO CLIP naomba MZITUNZE VIZURI. Bahati nzuri wote ambao wapo NYUMA YA MPANGO HUO MBAYA, WAMESHAJULIKANA.
Tweet media one
182
445
3K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 month
Katika KUPINGA UTEKAJI nchini Tanzania, Mimi NITACHANGIA TZS 100,000 kwa ajili ya MATIBABU ya ndugu SATIVA. Nawaomba na WAPENDA HAKI wengine MCHANGIE MATIBABU YA SATIVA ili KUOKOA MAISHA YAKE.
Tweet media one
71
445
3K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Nimeachiwa huru bila masharti yoyote. Asnteni wote mliokuwa nami katika hili.
191
281
3K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Nimeitwa ofisi ya RCO Arusha. Sijui naitiwa nini. Tusipo ana tena. Tutakutana Mbinguni.
209
323
3K
@PMadeleka
Peter Madeleka
4 months
Nakwenda BABATI kwenye RUFAA ya PAULINE GEKUL itakayosikilizwa JUMATATU katika Mahakama Kuu ya Tanzania- Manyara. Najua MWAKITALU, FELESHI, POLISI na GENGE lao lote, HAWATAKI kijana HASHIM ALLY apate HAKI yake. Nitatumia UWEZO wangu wote HASHIM apate HAKI yake. SITANYAMAZA.
Tweet media one
300
341
3K
@PMadeleka
Peter Madeleka
29 days
Miaka 20 iliyopita nikiwa KURUTA😂😂
Tweet media one
157
176
3K
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 years
Huyu ndiye ERENEUS MWESIGWA ofisa UHAMIAJI anayeratibu njama za KUNIUA kwenye GROUP LA WHATSUP pamoja na MAOFISA UHAMIAJI wenzake.
Tweet media one
366
359
3K
@PMadeleka
Peter Madeleka
9 months
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha leo tarehe 13 Novemba 2023 limemaliza KUNIHOJI kwa TUHUMA za “UTORO JESHINI” tangu mwaka 2016. Nimewajibu “NIFUKUZENI”.😀😀
Tweet media one
309
214
3K
@PMadeleka
Peter Madeleka
15 days
A
Tweet media one
93
508
3K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Nimeongea ofisi ya RCO Arusha. Nakwenda kusikiliza wito huo muda huu. Nipo tayari kws lolote ilibidi hata KUFA. Siwezi kukaa kuhusu uvunjifu wa sheria. Tusipo onana tena tutakutana Mbinguni.
251
389
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
29 days
Ikiwa SATIVA ataamua kwenda MAHAKAMANI kudai FIDIA, anaweza KULIPWA kati ya TZS 400 hadi 900 BILIONI kwa sababu WALIORATIBU KUTEKWA na KUTESWA kwake AMESHAWATAJA. ⁦⁦ @MSAMBATAVANGUJ
Tweet media one
131
392
3K
@PMadeleka
Peter Madeleka
4 months
Hali yangu ya AFYA ilibadilika ghafla saa saba usiku. Naendelea na MATIBABU lakini asubuhi nitakwenda Mahakama Kuu ya Tanzania Manyara kwa ajili ya RUFAA dhidi ya PAULINE GEKUL.
Tweet media one
476
221
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 years
MWIZI wa Bodaboda amekimbilia KITUO CHA POLISI, wananchi wenye HASIRA KALI wameamua KUMUWEKEA DHAMANA.
214
193
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
6 days
Ukioa MKE mwenye MAONO YA KINABII, yaani ni FULL MAUPAKO TU😂😂😂
Tweet media one
66
122
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 year
Siku kama ya leo mwaka 1980 NILIZALIWA. Ninamshukuru sana MUNGU Kwa NEEMA na BARAKA zake katika kipindi chote cha MAISHA yangu. Ninamuomba anipe MAISHA MAREFU yenye AFYA NJEMA na MAFANIKIO TELE.
Tweet media one
384
202
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
11 days
Katika UCHAGUZI MKUU 2025, NITASHINDA UBUNGE jimbo la Tabora Mjini kwa KURA ZA KWENYE BOKSI. Naomba sana Watanzania TUKATAE mambo ya “BAO LA MKONO” kwa NGUVU ZETU ZOTE. Tuanze na MFANO kwenye UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024.
Tweet media one
161
320
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 month
Nimepewa MAELEKEZO na Wateja wangu, WANAWAKE 36 ambao Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, HASSAN BOMBOKO aliwadhalilisha kwa Kuwaita “DADA POA” na kuwaweka RUMANDE kwa ZAIDI ya siku 5, NIMSHITAKI MAHAKAMANI ili awalipe FIDIA ya TZS 36 BILIONI. Nitatekeleza MAELEKEZO hayo LEO.
Tweet media one
329
268
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
29 days
PLATE NUMBER iliyowekwa kwenye GARI ndogo aina ya SPACIO iliyokuwa INANIFUATILIA jana, kwa mujibu wa TAARIFA zilizopo TRA, ni PLATE NUMBER za MITSUBISHI CANTER inayomilikiwa na ESHKESH SAFARI LIMITED.
Tweet media one
137
287
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 year
Nitakapokuwa MBUNGE wa TABORA MJINI na baadae KUCHAGULIWA kuwa SPIKA wa BUNGE mwezi NOVEMBER 2025, nitahakisha SILIONGOZI BUNGE kwa UONGO. Ninazijua vema KANUNI za BUNGE na KATIBA ya Tanzania. Mwisho wa BUNGE KUDANGANYWA ni 2025, INSHAALLAH 🙏🏻
Tweet media one
358
311
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
29 days
Hapo nilikuwa NAFUNDISHWA namna ya KUTUMIA SINGE😂😂
Tweet media one
84
131
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
27 days
Inawezekana kilichotokea jana, ni UPOTOSHAJI. Uhalisia ni huo hapo 👇😂😂😂
Tweet media one
115
153
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 months
Nipo na AFISA UTAMU WANGU. Kama kuna mtu atapata TAHARUKI, naomba ANISAMEHE😂😂
Tweet media one
247
149
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
9 days
Uelekeo ni WINDHOEK-NAMIBIA. Dua zenu jamani.🙏🙏
Tweet media one
128
148
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 months
MSIOGOPE MSIOGOPE: Kwenye SHERIA za Tanzania HAKUNA “KOSA” linaitwa KUZUA TAHARUKI 😂😂
Tweet media one
106
242
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Leo kutwa nzima nimeshinda ofisi ya RCO Arusha. Nimetoa ufafanuzi kuhusu maisha ya Mbowe gerezani. Ni kwamba niliambiwa na askari Magereza kuwa Mbowe yupo Condemned. Siwezi kumuona. Kwa hiyo sikumuona kwa macho yangu. Ifahamike hivyo Sasa.
84
277
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
23 days
Nakusudia kuanzisha MADELEKA JUSTICE ASSOCIATION OF TANZANIA ili KUKABILIANA KIULALOULALO na UPUMBAVU wa KUVUNJA HAKI ZA WATU KIENYEJI KIENYEJI.
Tweet media one
141
287
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
7 days
Naomba niwaombe RADHI ndugu zangu POLISI na MAGEREZA na yeyote anayehusika na suala la KUTEKWA na KUTESWA kwa KOMBO MBWANA TWAHA, kwamba tarehe 23 Julai 2024 nitakuwa NATEKELEZA WAJIBU WANGU. Sitakuwa na HURUMA na mtu yeyote anayehusika na suala hili.Tukutane MAHAKAKAMA KUU TANGA
Tweet media one
140
296
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
29 days
178
279
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Neema MWAKIPESILE ameachiwa huru muda huu baada ya polisi kusikia wanaitwa kesho mahakama kuu. Mungu ni mwema Sana.
136
222
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
24 days
Shahidi wa upande wa MASHITAKA amemtambua JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania -GEITA, ANAYESIKILIZA Kesi hiyo kuwa ndiye ALIYEFANYA MAUAJI. Jamani, SHERIA ifuate MKONDO WAKE😂😂
Tweet media one
134
211
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 month
Mheshimiwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Dar Es Salaam, naomba NIKUJULISHE kwamba, Mahakama ya Hakimu Mkazi SOKOINE DRIVE, HAINA MAHAKAMA YA WAZI (Open Court) kwa ajili ya USIKILIZAJI wa KESI ZA JINAI zenye WASHITAKIWA ZAIDI YA 20. Kwenye KESI ZA “DADA POA” tutakuwa MAWAKILI 79.
Tweet media one
111
210
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 year
Nilikuwa NASHANGAA sana, yaani UHAMIAJI nayo ni JESHI kweli? Sijui ni VIGEZO gani vilizingatiwa kufikia UAMUZI huo. Naishukuru TUME YA HAKI JINAI kwa KUONA kwamba UHAMIAJI HAINA SIFA YA KUWA JESHI.🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
97
135
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
5 days
Pamoja na KUTENGULIWA leo, lakini JUZI uliponiona NIMEKAA KAUNTA kwenye BAA ya “THE PILLARS” pale ARUSHA, ulikuja KUNISALIMIA KWA UNYENYEKEVU na UPENDO. Mimi nakupa HONGERA kwa CHANGAMOTO hii.
Tweet media one
64
121
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
11 months
Pesa zangu za PLEA BARGAIN ambazo ZILIPORWA na KUFICHWA kule CHINA, Sasa ZIMETAPIKWA. Alibana weeee….mwishowe AMEACHIA😀😀😀
Tweet media one
141
229
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 months
Baada ya KUISUBIRISHA KAMATI YA MAADILI hadi MWAKA 2047, nipo UGHAIBUNI naendelea na MAMBO YANGU.😂😂
Tweet media one
143
176
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
14 days
KOMBO MBWANA anaweza KUISHITAKI Serikali kwenye Mahakama ya Kimataifa (ICC) kwa KUVUNJA ibara ya 1 na 3 za MKATABA WA KIMATAIFA DHIDI YA UTEKAJI WATU (The International Convention For the Protection of All Persons From Enforced Disappearance). Nipo TAYARI KUMSAIDIA.
Tweet media one
180
391
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 months
Nakuomba sana Mheshimiwa Rais �� @SuluhuSamia ⁩ TUPE MTIHANI WA SHERIA kati yangu na ELIEZER FELESHI na ATAKAYEFAULU ndiye awe MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI. Tena Mimi nitaifanya KAZI hiyo BILA MSHAHARA.🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
234
275
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Ukiona jamii yote inalazimishwa kuwa na fikra na mtazamo unaofanana basi ni dhahiri kuwa jamii hiyo IMEDUMAA. Kutofautiana kifikra na mtazamo ni uthibitisho wa UBINADAMU. Hata wanyama wasio na AKILI wako TOFAUTI. Kuvumiliana ni UUNGWANA.
94
347
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya MURIETI mkoani Arusha ACHA kutishia mteja wangu ambaye KESI yake imekwisha mahakamani. Huna MAMLAKA kisheria KUTISHIA na KUNYANYASA Watu. Huwezi kumpangia MTUHUMIWA atetewe na WAKILI gani. Muda mfupi ujao nitayaweka HADHARANI yote unayoyafanya.
80
207
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 months
BREAKING NEWS! Leo tarehe 30 April 2024 MAHAKAMA KUU YA TANZANIA-MASJALA KUU DODOMA kupitia KESI YA KIKATIBA NAMBA 7817/2024 Kati ya PETER MADELEKA na KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI, IMEPIGA MARUFUKU USIKILIZAJI wa KESI ZOTE ZA “MAADILI” dhidi ya PETER MADELEKA.
Tweet media one
246
285
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
11 months
Napenda KUWASHUKURU watu wote waliopaza SAUTI zao KULAANI uonevu niliofanyiwa. Nimelipa GHARAMA na kupata TAMKO RASMI la MAHAKAMA kwamba PLEA BARGAIN ilikuwa ni UJAMBAZI. Watu 460 WALIPORWA zaidi ya TZS 55 BILIONI kwa njia hiyo. Kupitia MATESO yangu, sasa WATARUDISHIWA Pesa zao.
Tweet media one
244
477
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
11 months
Sitakufa hadi KUSUDI LA MUNGU ndani yangu LIKAMILIKE.
Tweet media one
97
208
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
4 months
Muda wa GEORGE SANGA kutoka GEREZANI umefika. Kwa yeyote anayeguswa na MATESO ya GEORGE SANGA, tushirikiane niweze KUFIKA tu IRINGA, ili GEORGE SANGA awe HURU. Kwa pamoja TUKATAE UONEVU.
Tweet media one
96
330
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 year
Kuna TOFAUTI kubwa sana kati ya USHOGA na HAKI ZA BINADAMU. Hakuna SHERIA yoyote inayosema kwamba USHOGA ni “HAKI YA BINADAMU”. Ni kweli, MASHOGA ni BINADAMU na WANASTAHILI HAKI kwa UBINADAMU wao na SIYO kwa USHOGA wao. Narudia tena, USHOGA siyo HAKI.😀😀
278
357
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Bado nipo Polisi nasubiri taratibu za dhamana zikamilike..
110
160
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 month
Bahati nzuri sana iliyopo kwa MUNGU, ni kwamba, hata WATEKAJI na WATESAJI, pamoja na UKATILI wao wote, siku moja ni LAZIMA nao WATAKUFA. Ni muhimu KUKUMBUKA kwamba MWISHO wa binadamu yoyote ni KABURINI. MUNGU huwaaibisha WAOVU.
Tweet media one
54
272
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
8 months
Ndiyo nimeingia BABATI jioni hii kwa ajili ya KUFUATILIA hatua nyingine za KIJINAI. Hatuwezi kuwa ni TAIFA la watu WANOINGIZIA CHUPA MAKALIONI binadamu wenzao.
Tweet media one
275
342
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 years
Pamoja na kuwa na rekodi hii ya UTENDAJI ULIOTUKUKA ndani ya Jeshi la Polisi lakini niliamua Kwa HIYARI YANGU MWENYEWE kuachana na Jeshi hilo ili nifanye kazi inayohusu HAKI za watu Kwa WELEDI mkubwa.
Tweet media one
230
214
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 years
"Huwezi kupata HAKI kwenye DUNIA ambayo WAHALIFU ndiyo watunga SHERIA" - Bob Marley.
43
275
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 months
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa KUFANIKISHA KUTEKWA KWAKE mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia kwa WAKILI wake PETER MADELEKA.
Tweet media one
196
314
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 month
😂😂😂😂
Tweet media one
179
98
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 month
Mkuu wa Kituo cha Polisi Mburahati (OCS) ACHA KUWATISHA WATEJA WANGU. Wewe kama una AAMINI kuwa hao ni “DADA POA”, basi WALETE MAHAKAMANI. Mimi nipo hapa MAHAKAMANI NAKUSUBIRI. Kwenye SHERIA, UBAUNSA HAUHITAJIKI.😂😂
Tweet media one
78
179
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
30 days
Leo kuna mtu AMEKUA AKINIFUATILIA kila niendapo kuanzia asubuhi. Muda huu, nimeambiwa ANATAKA KUJA NILIPOFIKIA. Bahati nzuri, tangu asubuhi AMEREKODIWA kote ALIPONIFUATA. Acha aendelee KUNIFUATILIA, ila ASIJE KUNILAUMU hapo baadae.
Tweet media one
124
250
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
4 months
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) AMEKUBALI YAISHE Kwa WAKILI @fatma_karume . AMEONDOA RUFAA yake dhidi ya @fatma_karume aliyoifungua MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA. Sasa @fatma_karume ni WAKILI HURU.
Tweet media one
124
196
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
5 months
Malengo yangu kwa mwaka 2024 ni haya yafuatayo; 1. Kuhakikisha SHERIA inachukua MKONDO wake dhidi ya PAULINE GEKUL 2. Kuhakikisha WAKILI yeyote HAFUTWI UWAKILI, mimi nikiwa HAI 3. Kuhakikisha GENGE la wote WANAOONEA watu, LINADHARAULIKA kwenye jamii. Ee MUNGU NISAIDIE.
Tweet media one
228
313
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 month
Wale WATETEZI wa “MAADILI” mko wapi? Hivi KUTEKA na KUTESA mtu asiye na HATIA ndiyo “MAADILI” ya Kitanzania kweli? Ni muhimu sana JAMII IKAACHA UNAFIKI.
Tweet media one
99
342
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 years
Kutokana na UMUHIMU wake, kinachosubiriwa kesho siyo BARAZA KUU LA CHADEMA bali ni BARAZA KUU LA TAIFA.
65
205
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
5 months
Jamani naomba DUA ZENU. Naelekea BUJUMBURA-BURUNDI kwa Majukumu ya HAKI. Nikiweza nitakwenda hadi nyumbani kwa akina MAHIRANE.😂😂
Tweet media one
158
164
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
19 days
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam, leo tarehe 9 Julai 2024 imetoa AMRI kwamba PINGAMIZI LA KISHERIA lililowekwa na VODACOM dhidi ya ERICK KABENDERA lisikilizwe kwa NJIA YA MAANDISHI.
Tweet media one
38
136
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 months
Ni muda umepita, SHEIKH YAHYA HUSSEIN hatunae tena. Ametangulia mbele ya HAKI. Lakini, kwenye eneo la UTABIRI wa mambo ya SIASA, pengo lake, kwa 100% LIMEZIBWA na JOB 😂😂
Tweet media one
64
211
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Mambo YANAYOIBULIWA kwenye mijadala ya MARIA SPACES ambayo yanahusu MAGEREZA, inabidi YAKANUSHWE na JESHI LA MAGEREZA kama ni ya UONGO. Ukiona Magereza HAWAKANUSHI basi ujue mambo hayo ni KWELI TUPU.
48
194
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
6 days
Ngoja NIPUMZIKE sasa, kwa ajili ya SHUGHULI NZITO ya Kesho.
Tweet media one
100
122
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
8 months
Allah Tabalak Wataalah amjalie PUMZIKO la AMANI na amuingize kwenye PEPO ya FIRDAUS, Amin🙏🏻🙏🏻 HAMZA ni mmoja wa MASHUJAA waliowahi kutokea katika nchi hii.
Tweet media one
128
147
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 year
Mke wangu, JAMILA ILOMO, mshukuru sana MUNGU kwa kuwa, pamoja na kukaa GEREZANI kwa HILA, wewe UMEOLEWA na una WATOTO. Yule LIMBUKENI wa MADARAKA, anayejiita “JENERALI”, HAJAOLEWA na HANA KIZAZI. Kazi yake ni KUBAMBIKIA KESI wote WALIOMZIDI UWEZO.
Tweet media one
161
121
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 month
Ni Matarajio ya Wateja wangu kwamba Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ndugu HASSAN BOMBOKO ataheshimu NOTISI hiyo👇 na KULIPA Kiasi hicho cha TZS 36 BILIONI ndani ya siku 14 kuanzia leo, kama FIDIA ya MADHARA aliyosababisha kwa wateja wangu.
Tweet media one
287
262
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
11 months
Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
Tweet media one
91
331
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
11 days
😂😂😂😂
Tweet media one
53
134
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Freeman Mbowe anashitakiwa kwa Uhujumu Uchumi ikiwemo shitaka la UGAIDI. Pia anashitakiwa kwa kutaka KUMUUA kiongozi wa Serikali LENGAI OLE SABAYA. Sabaya amehukumiwa KIFUNGO cha miaka 30 GEREZANI kwa UJAMBAZI WA KUTUMIA SILAHA. Tafadhali TAFAKARI.
69
174
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Biblia Takatifu (Luka 3:14) ina waasa askari kutowashitaki watu kwa UONGO, kutokudhulumu watu na watosheke na mishahara yao. Maneno hayo yalisemwa na YESU KRISTO zaidi ya miaka 2,000 iliyopita. Lakini hadi leo maneno hayo yanaishi.
64
244
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
12 days
Nipo zangu maeneo ya ILEMELA-MWANZA katika muendelezo wa kuifanya KAZI YA BWANA ya KUHUBIRI HAKI.
Tweet media one
59
121
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Naamini kabisa KESI za jinai zenye maslahi ya umma zikisikiliziwa uwanja wa BENJAMINI Mkapa, hata kama kiingilio ni TSH. 100,000 wananchi wengi wanaweza kulipa ili tu waingie kufuatilia mienendo ya kesi hizo.
45
139
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
10 months
Muda huu natoka MWANZA kuelekea DAR ES SALAAM ambapo leo tarehe 21 Septemba 2023 Mahakama ya Korona Kinondoni itatoa UAMUZI kuhusu sababu za KIFO cha STELLA MOSES. Je, ALIJINYONGA au ALIULIWA NA POLISI? Tusubiri kidogo tu.
Tweet media one
106
210
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
5 months
Nimewasikia IRINGA. Nitakuja. HAKI ya Marehemu MARTIN CHACHA aliyekuwa Dereva wa ASAS na ambaye anadaiwa KUFA baada ya KIPIGO, HAIWEZI KUPOTEA. Ukweli LAZIMA ujulikane kwa mujibu wa SHERIA.
Tweet media one
174
253
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
11 months
Leo tarehe 15 September 2023 nimefika Mahakama Kuu ya Tanzania Mwanza kwenye Maombi Madogo ya Jinai Namba 28/2023 Kwa ajili ya kufuatilia HAKI ya mtoto wa Mzee WILLIAM SIJE aliyekamatwa na Polisi mwaka 2020 lakini hadi leo HAJULIKANI ALIPO.
Tweet media one
133
276
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
11 months
Kama kuna KOSA ambalo huwa naona ni RAHISI SANA kumtetea MSHITAKIWA pale MAHAKAMANI, basi ni KOSA LA “UCHOCHEZI”. Mpelekeni MAHAKAMANI nije NIMCHOMOE HARAKA SANA😀😀😀
Tweet media one
115
279
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Ni muhimu Jeshi la Polisi kukufahamisha Umma wa watanzania ilikuaje HAMZA akamilikishwa BASTOLA? Kisheria Polisi ndiyo wenye MAMLAKA kumilikisha watu silaha. Sasa ilikuaje wakammilikisha GAIDI SILAHA? Swali hili lijibiwe bila JAZBA TAFADHALI.
87
190
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
5 months
Kwenye mambo ya PLEA BARGAINING, Mimi DPP yaani NAJIPIGIA tu kama ninavyotaka 😂😂😂
Tweet media one
127
161
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
26 days
SHAIDI wa 4 wa upande wa MASHITAKA katika KESI YA “DADA POA” leo tarehe 2 Julai 2024 ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi SOKOINE DRIVE, kwamba HAJUI kama “DADA POA” hao walikuwa WANAFANYA UMALAYA NA NANI na pia HAJUI KIUNGO CHA MIILI YAO walichokuwa WANAUZA😂😂
Tweet media one
199
151
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
10 months
Bora kupoteza HIRIZI kuliko kufiwa na MGANGA😀😀
Tweet media one
63
104
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
14 days
Zoezi la kupiga KURA bado LINAENDELEA. Asanteni mlionipigia na mtakaonipigia KURA🙏🙏
Tweet media one
93
277
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
16 days
Nawaomba MAWAKILI WASOMI WOTE ambao ni WAPENDA HAKI, WANIPIGIE KURA kwenye TUZO za TLS kwenye TUZO ya “COMMUNITY SERVICE AWARD”.🙏🙏
Tweet media one
79
285
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 years
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dr. Anna Makakala ACHA kumuonea MKE WANGU. Ameacha Kazi tangu mwaka 2019 lakini UMEKATAA kumlipa STAHIKI zake za KISHERIA. Mamlaka uliyonayo siyo ya KUONEA watu. Tulikaa gerezani kwa ajili ya CHUKI zako kwetu. Rais @SuluhuSamia naomba UINGILIE Kati.
Tweet media one
148
247
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
27 days
Serikali ya Tanzania inaweza KUSHITAKIWA kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Haki za Binadamu kwa KUVUNJA ibara ya 3 ya Mkataba wa Kimataifa UNAOZUIA UTEKAJI (The International Convention for the Protection of all Persons from Enforced Disappearance).
Tweet media one
92
213
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 month
Baada ya Hakimu JANETH MGAYA wa Mahakama ya Hakimu Mkazi SOKOINE DRIVE, kuonesha vitendo vya KUMKOSEA ADABU Wakili Peter Madeleka, Washitakiwa 18, maarufu kama “DADA POA” WAMEMKATAA Hakimu huyo, na hivyo, AMEJITOA kusikiliza KESI inayowakabili “DADA POA” hao.
Tweet media one
103
149
2K
@PMadeleka
Peter Madeleka
4 months
Leo nimeamua KUHAMIA RENO MOTEL inayomilikiwa na PAULINE GEKUL ili NIMRAHISHIE ndugu EMMANUEL GEKUL aje “KUNIPIMA MATAKO”. Naona jana ALIOGOPA kuja pale DOLPHIN HOTEL BABATI😂😂
Tweet media one
222
151
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 years
Nimeshamaliza KAZI leo MAHAKAMA KUU ZANZIBAR -TUNGUU. Mtu kaangukia pua.
Tweet media one
103
106
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
4 months
Nimeombwa NIINGILIE na KUCHUKUA HATUA ZA KISHERIA kwenye suala la KIFO cha Marehemu OMARY MSAMO kinachodaiwa KUSABABISHWA na POLISI ARUSHA. Naishukuru JAMII kwa IMANI waliyonayo kwangu. Nikitoka BABATI kwenye KESI ya PAULINE GEKUL, nitaitafuta HAKI ya OMARY MSAMO. Tushirikiane🙏🏻
Tweet media one
109
218
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Rais Samia Suluhu Hassan hajawahi kuteua Waziri Mkuu kwa mujibu wa Ibara ya 51(1) na (2) ya katiba ya Tanzania. Huyu aliyepo mamlaka yake YALIKOMA chini ya Ibara ya 51(3) ya katiba. Katiba
66
187
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
8 months
Nikiwa BABATI na Wakili TADEY LISTER pamoja na ndugu wa HASHIM ALLY PHILEMON, ambaye aliingiziwa CHUPA kwenye njia ya HAJA KUBWA. Tuhuma zinazomhusisha PAULINE GEKUL.
Tweet media one
146
209
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
2 months
Napenda kutoa PONGEZI kwa Marehemu MILTON MAILOS LUPA kwa KUTEULIWA kuwa MKURUGENZI MTENDAJI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo. Uteuzi huo umefanyika leo tarehe 6 Juni 2024. Tarehe ya KUAPISHWA itatangazwa baadae. Bwana ALITOA na Bwana AMETWAA, jina lake LIHIMIDIWE.
Tweet media one
223
163
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
8 months
Nikitoka hapa naelekea DAREDA.
Tweet media one
63
113
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
5 months
Mimi siwezi KUFUTWA UWAKILI kwa njia za KIHUNI. Ili NIFUTWE, ni mpaka KESI zangu zote ninazokusudia KUZIFUNGUA, ziwe ZIMESIKILIZWA na KUAMUALIWA na Mahakama ya Rufani ya Tanzania. Hiyo itakuwa mwaka 2047😂😂😂
Tweet media one
112
154
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 month
Nitamshitaki Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive, JANETH MGAYA kwa UTOVU WA MAADILI wakati nikiwawakilisha “DADA POA”. Alinifokea sana na kunitaka NISIMAME wakati kesi inaendelea kwa kuwa MAHAKAMA HAINA VITI. Nimewalipia WATEJA wangu TZS 5.4 MILIONI DHAMANA.
Tweet media one
110
214
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Ukimuona mtu anafanya jambo ambalo HALIPO KISHERIA na na LINAKANDAMIZA HAKI za watu, basi tambua kuwa mtu huyo ni WAKALA WA SHETANI hapa Duniani. Uhalali wa jambo lolote lazima utokane na sheria. Kinyume chake ni UPAGANI.
52
224
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
3 years
Ni USHETANI mtuhumiwa KUFIA kituo cha POLISI kutokana na KIPIGO KIKALI. Mtuhumiwa akishakufa chini ya ulinzi hapaswi KUPIGWA kisheria. Polisi wanatakiwa kufanya kazi zao kwa weledi na kwa kuzingatia sheria. Kinyume chake Polisi watakua ni WAHALIFU kama WAHALIFU wengine tu.
59
270
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
11 days
Nimefurahi sana kuona Wakili SWEETBERT NKUBA ambaye ni MGOMBEA WA URAIS WA TLS 2024-2027, AKIJITOKEZA Mahakamani KUPINGA UONEVU dhidi ya aliyekuwa MGOMBEA MWENZAKE, Wakili BONIFACE MWABUKUSI. TLS IMARA inategemea sana UMOJA na MSHIKAMANO WA MAWAKILI.
44
192
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
7 months
Marehemu HAMZA aliona kwenda MAHAKAMANI ni KUPOTEZA MUDA na akafanya ALICHOKIFANYA. Kama JAMII, tunapaswa KUELEWA kwamba bila HAKI hakuna AMANI. Tuheshimu HAKI za wenzetu. Endelea KUPUMZIKA KWA AMANI HAMZA.
Tweet media one
110
155
1K
@PMadeleka
Peter Madeleka
8 months
Nikiwa NANONG’ONA na Wakili BONIFACE MWABUKUSI kwenye KIZIMBA cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Wakati ambapo nilihisi UPWEKE kwa KUTENGWA na MAWAKILI walio wengi, MWABUKUSI aliona SHAMBULIO langu ni la TAALUMA nzima ya SHERIA. Hakuwa MNAFIKI. Maua yako KAKA🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
45
196
1K