Unaposherehekea kumbukizi ya kuzaliwa kwako, twakutakia maisha marefu ya raha, furaha, amani na mafanikio tele. Nasi tunajivunia kuwa na Wakili, kaka, baba mdogo, mjomba, mshauri na mpambanaji ngumi jiwe. Mungu akulinde siku zote. Happy birthday Dismas
#DirmAttorneys