Baba Mwita Profile
Baba Mwita

@BabaMwita

63,654
Followers
4,245
Following
1,150
Media
17,169
Statuses

Husband | Father | Lawyer | Human Rights Activist | Democracy | Rule of Law | A People's Servant | An Agent of Change

#BabaMwita
Joined September 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@BabaMwita
Baba Mwita
15 hours
Baada ya kumsikia toka kwenye kinywa chake mwenyewe, kwamba ana nia ya kugombea urais, 2025, natangaza RASMI kumuunga mkono Adv. TUNDU LISSU. In my opinion, hakuna mwanasiasa yeyote nchini mwenye UWEZO, USHAWISHI & WAFUASI wengi, ndani au nje ya vyama vya siasa kuliko LISSU.
184
350
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Huyu ndiye kijana ABIUD aliyeimba chorus ya wimbo wa "NIPENI MAUA YANGU" ya Roma Mkatoliki. This guy is super talented. Pongezi @Roma_Mkatoliki kwa support uliyotoa kwa huyu kijana. 👏
Tweet media one
31
64
2K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Mallya: Kama gari la OCD iliyowabeba ilikuwa na siti TANO na unasema ninyi mlikuwa watu SABA, mueleze Mhe. Jaji nani alimkalia ACP Kingai? Daah!😂😂😂
Tweet media one
131
201
2K
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Kitendo cha IGP kumpigia saluti DC inaonesha kabisa hajui #PGO . Askari anayetakiwa kumpigia saluti DC ni yule mwenye cheo cha Mkaguzi (Inspector) – mwenye nyota mbili, na askari wote wa vyeo vya chini yake. Pia, DC hupigiwa saluti pale tu anapokuwa ndani ya Wilaya yake husika.
Tweet media one
328
162
2K
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Hii kesi hata DPP akiamua KUIFUTA kwa kutumia kifungu cha 91(1) CPA, tuandamane ili IENDELEE TU 😂. Kinachoendelea mahakamani ni AIBU. Shahidi wa leo AMEHARIBU ushahidi wa mashahidi wengi waliopita. Amejichanganya haswa. Hongera kwa kaka zetu WASOMI wanaotuwakilisha kwa Court.☄
35
188
2K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Mwigulu, nchi hii ina wasomi wengi wanaojua HASWA kutafsiri Sheria. Sio kama unavyofanya kusoma Vifungu vya Sheria na kuja kutuwekea hapa. Tunajua Sheria, tunajua Katiba. Pia, acha matumizi ya CAPITAL letters. Hasira hazitakusaidia. Usitishe wasiojua Sheria. Tupo, TUTAWASAIDIA.
54
134
2K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Shangazi, leo naomba nikupe 💐 yako. Umekuwa nguzo muhimu kwenye harakati. Wapo ulioanza nao, lakini leo wamepotea na baadhi wamesaliti movement. Umepitia vipindi vyote; jua, mvua, upepo na gharika. Bado umesimama imara. Halafu una roho ya upendo. Mungu azidi kukupa afya njema.
Tweet media one
153
329
2K
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Mallya: Kama gari la OCD iliyowabeba ilikuwa na siti TANO na unasema ninyi mlikuwa watu SABA, mueleze Mhe. Jaji nani alimkalia ACP Kingai? Dahh!! 😂😂
102
170
2K
@BabaMwita
Baba Mwita
5 days
UCHAGUZI WA TLS @Advocate_Jebra ndiye aliyeongoza KAMATI YA ROHO MBAYA,😂 yaani mawakala wa uchaguzi! Pongezi kwake na timu nzima kwa kusimamia kwa UADILIFU & UAMINIFU mkubwa mchakato mzima wa uchaguzi, kuanzia matayarisho, uhakiki wa wapigakura mpaka kuhesabu kura. #Hero 🏅
Tweet media one
64
306
2K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Hii kesi Mbowe ANASHINDA. Mimi sio mahakama, sio mchawi, lkn sheria ina MAAJABU yake. Nina confidence hii sababu nimeona "MASHIMO" ambayo huko mbele Jamhuri haitaweza KUYAKWEPA. Mbowe hawezi kufungwa KIENYEJI namna hii. Narudia, HII KESI MBOWE ANASHINDA. Ni suala la muda tu.
119
218
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Anaitwa JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI (Hayati), Rais pekee aliyelinda RASILIMALI za nchi kwa vitendo, uchungu & wivu mkubwa! Kama wewe una shida nae hiyo ni juu yako, ila binafsi nampa "salute" huyu mzee kwa hili. Ni kiongozi bora kuwahi kutokea nchini. Samia hawezi ziba pengo lake.
Tweet media one
195
194
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Tuelewane! Sabaya amepatikana na HATIA kwa sababu ni KWELI alifanya MAKOSA, Jamii ikaona, na WAHANGA wapo! Mbowe anashtakiwa kwa 'makosa' ambayo Polisi tu ndiyo WANAYAJUA. Kesi za hawa wawili ni TOFAUTI kabisa! Naona mmeanza PROPAGANDA zisizo na MASHIKO. Acheni siasa za HOVYO.
67
216
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
8 months
Katiba ya nchi, ibara 50(3)(a) inasema kama makamu wa rais atashindwa kutekeleza majukumu yake ya kiofisi, kwa sababu yoyote ile, ikiwemo kuugua, rais wa nchi atatakiwa kupeleka HATI MAALUM (taarifa) kwa Spika wa Bunge ili makamu wake aondolewe ofisini kwa utaratibu wa kibunge
Tweet media one
129
161
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Naona wananchi wamekataa PROPAGANDA za CCM & ACT. Yaani utadhani CHADEMA ndiyo Chama TAWALA vile! Nina IMANI kubwa hiki Chama kitatuvusha salama. Chama hiki kimedhihirisha kiko kwa MASLAHI ya Umma na sio kutaka MADARAKA. Well organised. Nguvu moja & MSHIKAMANO 🤝🏽 #KatibaMpya
54
224
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Mbowe na hawa vijana WATAACHIWA na kuwa HURU. Hakuna haja ya kufanya "shortcuts". Hii kesi tayari ina "UOZO" mwingi na hakuna haja ya KUBEMBELEZA Watawala. Tuko ktk hatua NZURI ya USHINDI na tuepuke sana USHAURI wa 'WANASIASA' wenye uelewa MDOGO wa haya mambo. Tumwamini Mungu 🙂
46
204
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Shutuma za UGAIDI ni NZITO mno. Inasikitisha kuona USHAHIDI unaoletwa mahakamani ni wa MZAHA kiasi hiki! Ushahidi wa namna hii hauwezi kumfunga hata mwizi aliyeiba KUKU. Hii kesi ni ya HOVYO. Mzee wa watu na hawa Vijana wanateseka bure tu. Sijui tunatengeneza Jamii ya namna gani!
66
209
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Jaji alituambia anaenda kupitia kurasa 1500 ili atoe maamuzi ya HAKI! Leo, AMEKWEPA kutoa UFAFANUZI kwanini amefanya uamuzi wa "kuna kesi ya kujibu" ktk makosa 5. Yaani, pasipo kuheshimu MISINGI ya haki na kisheria! Mimi sijui alienda kupitia kitu gani! Ngoja iendelee KUNYESHA ☄
70
188
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Yaani, jamaa amefanya UCHUNGUZI kulingana na BARUA inasema nini na siyo kufuata TARATIBU za kila siku za kisheria! Na, BOSS unamkabidhi risasi (ushahidi) na kumwambia Koplo AZILIPUE ili kuhakikisha ni NZIMA, halafu unapeleka MAGANDA mahakamani! Aisee!!!
53
148
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) aliyeteuliwa mwezi Januari mwaka huu amefutwa kazi! Anyway, huyu 👇🏾 ndiye SPY CHIEF mpya anaitwa Balozi Ali Idi Siwa
Tweet media one
32
82
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Nilitamani sana hili tukio nilishuhudie kwa macho hapo mahakamani, lakini niko mbali na majukumu mengine ya kutetea haki. Tupo pamoja jana, leo na kesho. Salamu kwa wapenda haki wote ⏳
16
124
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Nimeshafollow watu 97 leo. Naomba ambaye sijamfollow aweke like ili iwe rahisi kwangu kufollow. Twende kazi...
136
81
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
TAARIFA!! Kuna taarifa kuwa Adv. Mwabukusi & Mdude wamepotea, hawajulikani walipo kwa zaidi ya masaa matatu sasa! Mwenye taarifa yoyote atupatie tafadhali. RETWEET ujumbe ufike.
63
430
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
11 months
Mkapa alimteua Profesa Costa Mahalu kuwa Balozi wetu Italia, 2000. JK akamvua hadhi hiyo 2007 wakati wa kesi ya Jinai. JPM akamrudishia Profesa hadhi hiyo 2018. Dr. Slaa aliteuliwa Balozi na JPM 2017, leo 2023 Samia amemvua hadhi hiyo. Lissu atamrudisha Ubalozi wake, 2025. 🙏🏾
Tweet media one
Tweet media two
122
225
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Ila hii nchi ina BAADHI ya Vijana wa HOVYO sana! Unakuta mtu ANASIFIA Rais kupiga picha na "mzungu", eti "mama anaupiga mwingi" wakati huo huo mtaani kwake maji ya mgao, umeme umekatika wiki nzima, na deni la Taifa linazidi KUPAA! Hata NGEDERE hana akili ya namna hii! 🤔
78
167
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
4 years
Rafiki yangu amefariki jioni hii na COVID-19 😭😭, ameugua siku mbili tu. Amefia hospitali ya Morogoro ya Mkoa. Chukua tahadhali, huu ugonjwa upo na UNAUA. Usimsikilize mwanasiasa.
57
92
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Serikali inafanya DOUBLE TAXATION! Yaani mtu anayetuma na anayetoa pesa kwa wakala wote wanakatwa Kodi!🙄 Muamala MMOJA, Kodi inalipwa MARA MBILI! Kwa hiyo Serikali haina watu wenye mawazo ya kuanzisha vyanzo BORA vya Kodi? Kwanini kila hatua mnayochukua INAUMIZA wananchi?
131
182
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
TEC ina wasomi wa PhD. Tamko lao ni la kisomi. Wapechambua vifungu vya mkataba, na kutoa ushauri. Cha kushangaza mzee wetu wa Upako yeye anaikosoa TEC pasipo kujadili mkataba kisomi. Anatupa vijembe tu, lakini hana hoja. Anawaita Maaskofu "wale jamaa!". Totally UNPROFESSIONAL!!
Tweet media one
264
134
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
4 years
Hata ningekuwa mimi, nisingekubali DEBATE na @TunduALissu . Huyu mtu anabishana kwa MANTIKI na Wanasheria zaidi ya 10 wa Serikali, na anashinda kila Kesi, sasa UTAMUWEZA vipi.🤗🤗
Tweet media one
Tweet media two
70
81
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Tumieni Camera kuchukua matendo ya Uhalifu wa haki za Binadamu unaofanywa na Dola! Ukiwa na USHAHIDI, usishitaki Jeshi la Polisi, shitaki Askari aliyetenda kosa. Kisheria, utetezi wa kupewa AMRI na mkuu wake, HAUKUBALIKI. Atapelekwa mahakamani na akipatwa na hatia, ANAHUKUMIWA.
32
181
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Misri waliingia MKATABA na Hyundai Rotem wa $656m kutengeneza BEHEWA 320 na VICHWA vya treni 40. Sisi tumeingia MKATABA na kampuni hiyo hiyo wa $295 ili kupata BEHEWA 80 na VICHWA 17 tu! Hizi treni 👇🏾 ndizo zilizopelekwa Misri za bei ya CHINI kulizo zetu! Bunge liko KIMYA.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
139
230
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Kwenye "Kesi ya Mbowe" Bw. Moses Lijenje alitajwa kupotea kwenye mazingira ya utata, hivi alipatikana?
Tweet media one
36
109
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
11 months
Adv. Peter Madeleka amesaidia kutunga sheria nje ya Bunge! Ndani ya muda mfupi, amepeleka kesi MBILI ambazo ni MUHIMU kwa maslahi ya Umma; kesi ya STELLA & kesi ya PLEA BARGAINING. Kesi zote hizi amepata ushindi. Mosi, maamuzi ya kesi ya STELLA yatasaidia sana "wanaouawa" ndani
Tweet media one
74
287
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
2 months
APEWE NGUVU ZAIDI Kaka Tundu Antiphas Lissu ni mwanasiasa mwenye UTHUBUTU wa kuhoji & kukosoa hadharani bila UNAFIKI wowote. Mfano, niliona akimkosoa Hayati JPM nyumbani kwao Chato, pasipo kuuma maneno. Hakusema kwa hila bali alitoa ya moyoni. Alifanya hivyo pia nyumbani kwa
Tweet media one
92
258
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
"You will never find justice in a world where CRIMINALS make the law." — Bob Marley
Tweet media one
29
373
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
4 years
Kama akili zako ziko timamu, basi utakubaliana nami kwamba hawa MASHANGAZI wawili wamechangia kwa kiasi kikubwa sana kupandisha THAMANI ya Mwanamke wa Kitanzania. Pia, wamepunguza makali ya mfumo DUME katika Jamii yetu. I looooove these two! @fatma_karume @MariaSTsehai
Tweet media one
Tweet media two
29
115
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Wazee wa Chadema eneo ninalotoka wamenishauri nichukue Kadi ya Uanachama! Sikuhitaji muda mwingi kutafakari, NIMEKUBALI. Nitajiunga na kuwa Mwanachama rasmi wa CDM hivi karibuni. Nitawajulisha!!✌🏽
62
82
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
10 months
Hili tatizo la UMEME ni tatizo hasa la MTU. Ni tatizo linaloanzia kwa RAIS mwenyewe. JPM aliposhika urais, alithibitisha hili. Alikuta MGAO upo, akasema tatizo ni UFISADI si upungufu wa maji wala uhaba wa miundombinu. Kweli ktk kipindi chake hakukuwa na MGAO wa UMEME. #Fact
Tweet media one
Tweet media two
77
206
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Adv. Peter Michael Madeleka yuko ndani sababu ya kupaza sauti dhidi ya mkataba wa DP World. Ofisi ya DCI & DPP zimekuwa zikilalamikiwa kutumia madaraka vibaya kunyamazisha wakosoaji. Sote kwa pamoja tupaze sauti ili Wakili msomi awe huru. #FreeMadeleka Retweet ujumbe ufike mbali
Tweet media one
23
561
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Dear JPM, kijana wako Musiba anadaiwa na Shangazi Fatma Sh 7.5 B na Mzee wa Wino mwekundu anamdai Sh 6 B. Shemasi ameacha kukusema na chawa WOTE wamehamia kwa MAMA! Halafu kijana wako Suphian WAMEMPOTEZEA teuzi, yupo tu 😂. Nondo bado hajui kufupisha maelezo akichangia mada CH!😂
79
113
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Kabla ya shahidi Denis Urio kuja kutoa USHAHIDI wake mahakamani, hii kesi ilikuwa tayari IMESHAKUFA. Mashahidi watatu waliomtangulia WALIUA hii kesi. Denis yeye amekuja tu kukamilisha AZIMIO la Mungu. Mwambieni Mh Mbowe na hawa Vijana waendelee kumwamini Mungu – yu pamoja nao. 🙂
31
156
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Ukiona video ya mzee wetu JOB wakati anayasema yale maneno, alijawa na HASIRA sana! Pia MAMA wakati anamjibu, naye alikuwa ANAGONGA GONGA ile podium kuonesha MSISITIZO wa jambo fulani. Ukisoma "body language" za wote wawili utagundua kuna TATIZO. Tatizo KUBWA tu sio dogo.
65
143
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
4 years
Hivi, wagombea wa Ubunge wa CCM wanafanyia Kampeni zao nchi gani? SIWAONI🤗🤗
98
61
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Afande IGP SIRRO, soma Katiba ya nchi ibara ya 3, 20(1) na 151(2c). Kisha soma PGO 1(14) sambamba na Katiba ib. 13(1-4). Kisha soma PGO 1 (32) inayotaka askari kuheshimu UHURU wa watu kukusanyika kwa AMANI. Kisha soma kifungu cha 74 cha Penal Code(Rev. 2019) uelewe zaidi.
37
175
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Hivi, mnaelewa anachokisema huyu SHAHIDI? Anasema ameanza kazi ya Upolisi mwaka 2013, lakini ameshafanya kozi nyingi za Kipolisi ikiwemo Chuo cha Polisi Zanzibar, 2004, Polisi Moshi, 2006 na Polisi DSM, 2007! Raia anaruhusiwa kufanya hizi kozi za Polisi kabla ya kuajiliwa? Mhh🤔
92
128
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Hii kesi ingekuwa inarushwa LIVE, hisa za hii Kampuni ya Simu ZINGEANGUKA kwa asilimia kubwa mno! Usiri wa TAARIFA za mteja ni PRIORITY number one.
57
144
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Ushauri!! Usije ukatoa "maelezo ya onyo" kwa askari polisi akikukamata! Kataa kabisa. Ni haki yako KUKAA KIMYA, na askari hatakiwi KUKULAZIMISHA. Polisi wamekuwa WAVIVU kufanya UPELELEZI & maelezo haya ndio ushahidi pekee huwa wanapeleka mahakamani. Kina Mdude wamegoma kutoa
69
444
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Siku zote ukitaka kujua kama shahidi AMEPANGWA au la, subiri ahojiwe na Wakili wa UPANDE WA PILI (Cross - Examination). Tangu hii kesi imeanza kusikilizwa, majibu mwengi ya mashahidi wa Jamhuri ni SIFAHAMU, SIJUI, SIKUMBUKI, HAIPO, SIELEWI, au kukaa KIMYA! Fuatilia USHAHIDI
30
152
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Hii kesi MAAMUZI yake yametolewa KISIASA zaidi kuliko KISHERIA. Jaji ametoa HUKUMU pasipo kufanya REFERENCE ya vifungu vya sheria! Kesi ya namna hii yenye MASLAHI ya Umma, Jaji anawezaje kutoa maamuzi KIRAHISI namna hii! Ni HATARI sana kwa Taifa. Hatari mno.
55
185
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Bunge la EU linaongelea mambo ya nchi yetu ila Bunge letu lipo KIMYA. Watu WANATESWA, KUUAWA, KESI ZA UONGO, KATIBA INAVUNJWA lkn Bunge hili halisemi CHOCHOTE! Sijawahi kusikia Spika huyu AKIKEMEA haya maovu. Bunge la Ulaya linafanya kazi ya Bunge letu. Hii INASIKITISHA aisee!
99
180
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Asante Mungu kwa AFYA, MIBARAKA na UPENDELEO. Umeongeza mwaka mwingine kwenye maisha yangu. Happy Birthday to Me. 🎂
Tweet media one
161
77
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
6 months
HOTUBA YA "CODES" YA JENERALI JACOB JOHN MKUNDA: Pongezi kwa Jenerali wetu & Jeshi zima la Wananchi (JWTZ). Hotuba ya Jenerali JJM iligusa maeneo muhimu mno kuonesha MATATIZO tuliyonayo kama Taifa! Natoa pongezi kutokana na WELEDI wa Jenerali wa jeshi letu. Amethubutu kusema
Tweet media one
58
195
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Aisee!! Hii nchi ngumu sana KUTOBOA. Hili ndilo tatizo la kuwapa MADARAKA watu wajinga na kuacha watu wenye akili wakiwa mitaani.
34
121
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Polisi anapokukamata, anatakiwa akujulishe kosa au sababu ya kukukamata. Endapo atashindwa kufanya hivyo, unaruhusiwa kisheria KUGOMA kukamatwa. Polisi akitumia nguvu na hata kukuumiza, atakuwa ametenda kosa la jinai, na anaweza kushtakiwa. Kataa kukamatwa kiholela!!
68
197
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Naomba ieleweke! Afisa Usalama wa Taifa (TISS) kupitia sheria ya TISS Act. 1996, HANA mamlaka yoyote KUKAMATA mtu. Anaruhusiwa kumkamata mtu anayetenda kosa la Ugaidi tu kwa mujibu wa Sheria ya Kuzuia Ugaidi, kif. 28(2). Afisa TISS akipata taarifa za UHALIFU usio UGAIDI anatakiwa
22
245
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
7 months
Tulisema DP WORLD ni TATIZO hamkusikia! Kuna WAPUMBAVU waliotetea, sasa hivi wameanza KULALAMIKA. Wanaomba tuje tuwasemee eti bandari kuna URASIMU! Eti foleni za meli zimekuwa kubwa na gharama zinaenda kupanda! Pumbavu kabisa. Toeni UJINGA wenu, nendeni mkalalamike kwa Serikali.
Tweet media one
129
168
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
4 years
Endapo CCM watajidanganya kutegemea China kuwapa mikopo, basi nchi hii INAUZWA. China ilitoa Ksh 500 Bil kutengeneza SGR Kenya. Katika mkataba, wamekubaliana endapo Kenya itashindwa kulipa, basi China itamiliki Bandari ya Mombasa mpaka Deni litakapolipwa LOTE. Katika makubaliano
97
91
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
4 years
Serikali ya CCM ilipandisha makato ya Mikopo elimu ya Juu kufikia 15%. Leo, kuna Vijana wamemaliza vyuo 2015, hawana ajira lakini bado wanaletewa statements za AJABU, mtu anadaiwa 20 mil🤔. Chadema kwenye ILANI wamesema makato yatakuwa 3% tu, na mtu atalipa atakapokuwa na AJIRA.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
32
145
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 month
Kati ya wagombea wa sasa wa kiti cha urais TLS, hakuna mwenye kufikia hata robo ya UWEZO wa Adv. Mwabukusi. Huyu ni zaidi ya Wakili – ni kaka, baba, ndugu, rafiki lakini cha muhimu zaidi ni KIONGOZI. Mawakili wachache mno wenye hii karama. Amekuwa mstari wa mbele kutetea &
Tweet media one
48
240
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Tuelewane, Rais HANA mamlaka kisheria kutoa msamaha kwa mahabusu. Infact, mahabusu hasamehewi bali huachiwa HURU. Rais anasamehe mtu aliyekutwa na HATIA, chini ya Katiba, ibara 45(1). Rais hausiki na "NOLLE PROSEQUI". Mbowe ameachiwa kwa sababu DPP ameona hakuna namna ATASHINDA.
46
188
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Hivi mnajua Luteni Urio ndiye shahidi ya MUHIMU sana kwenye hii "kesi yetu" ya Ugaidi! Kwa maelezo ya Afande Kingai, huyu ndiye aliyetoa taarifa kuwepo kwa Vikao vya Ugaidi! Huyu ndiye 'daraja' kati ya Mbowe na UHURU. Huyu ndiye ATAIMALIZA hii kesi. Nguvu zote zielekezwe kwake.
34
126
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Nimejiridhisha na huu ni mtazamo wangu binafsi. Huyu Jaji HANA experience ya kutosha kusimamia hii kesi. Kuna mazingira tofauti unaona kabisa hapa Jaji HAJUI kinachoendelea. Kataa huyu Jaji aletwe mpya mwenye UZOEFU. Kesi ya UGAIDI ni NZITO mno ndugu zangu. Huyu Jaji HAPANA.
74
168
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Baba Askofu Dr. Fredrick Shoo, kwa mara ya kwanza tangu nimekufahamu umeongea kwa UOGA & HOFU! Mungu akupe nguvu Baba Askofu. Tumekusikia...
Tweet media one
82
82
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
9 months
Unafunga mtu miaka 20 kwa sababu umemkuta na kilo kadhaa za nyama pori. Wakati huo huo, mzungu analipia kibali cha TZS 5,000 kuua mnyama huyo huyo! Halafu mnaita NYARA ZA SERIKALI! Unagawa nyara ya Serikali kwa elfu 5 una akili wewe? Hizi sheria ziliwekwa na wakoloni ili kuzuia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
132
284
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Tukio hili la leo wakupewa SIFA ni jopo la Mawakili wa UTETEZI, sio Rais wa nchi! DPP ameondoa kesi hii kwa sababu "AMESHINIKIZWA" na Mawakili wetu wasomi. UTETEZI uligusa KILA ANGLE ya ushaidi ulioletwa, akawa HANA JINSI. Tuache tabia ya KUJIPENDEKEZA, tusifu wale WANAOSTAHILI.
37
160
995
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Mzee Kikwete amesema "iwapo kuna UTATA kwenye matokeo, basi mahakama ndiyo njia mwafaka ya kutoa SULUHU." Anaamini hili, lakini Katiba ya nchi yake chini ya Ibara 41(7) IMEPIGA MARUFUKU endapo kuna MGOGORO wa matokeo ya URAIS hakuna mahakama YOYOTE yenye uwezo wa kuingilia hilo!
80
148
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
6 months
Bashite anazunguka nchi nzima si KUTATUA kero za wananchi, bali anachokifanya ni kuuonesha umma kuwa hii nchi HAINA Serikali. Kila anakokwenda raia wamejaa wamemzunguka na shida lukuki! Utakuta eneo lina RC, RAS, DC, DAS, DED mpaka OCD. Bado kuna TAKUKURU, maafisa ardhi, wajumbe
76
238
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Jamaa yangu nilisoma nae alinishawishi sana nijiunge na Jeshi la Polisi, nilikataa. Nilimwambia akili yangu inaenda kutumika sehemu sahihi. Yeye alijiunga polisi akawa OCD Mpanda & Siha, baadae akatoka sasa yuko Israel. Siku zote huwa ananiambia nilifanya uamuzi wa hekima.
36
128
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
7 months
Hiki ndicho chama KIKUU cha Upinzani Tz. Hiki chama kiko ndani ya mioyo ya watu. By the way, kuna wana CCM nao wameandamana leo. Hata askari polisi wamefurahi sana.
23
233
1K
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Sasa, kuna MAANA ipi ya kuwa na masomo ya sheria nchini! Ondoeni hizo kozi mpaka pale mtakapoona kuna UMUHIMU wa kuheshimu Katiba. Kijana anasoma sheria aje KUSAIDIA Jamii, halafu mfumo haumpi nafasi hiyo! So sad!!
40
133
974
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Tembo alimuona swala akikimbia kama kichaa! Tembo: "kwanini unakimbia?" Swala: "Polisi wanakamata mbuzi wote pale kijijini." Tembo: "Lakini wewe sio mbuzi!" Swala: "Ndio naelewa hilo lakini kwa mfumo wetu wa haki jinai itanichukua miaka 20 kuthibitisha kuwa mimi sio mbuzi."
Tweet media one
96
240
985
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Tangu siku ya kwanza, nilisema kuwa Jamhuri HAISHINDI hii kesi. Leo narudia kauli HIYO HIYO. Kesho mkiniuliza pia, nitarudia tena maneno haya haya. Huu USHAHIDI unaotolewa mahakamani ni wakumfunga mtu GAIDI? Folks, are you serious!! Come on!!
36
127
968
@BabaMwita
Baba Mwita
5 months
Hayati rais JPM ndiye amejenga SGR, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) & Daraja Kigongo-Busisi. Tangu Serikali hii ishike madaraka imekuwa IKIDOGOSHA juhudi za huyu mzee! Hata baadhi ya Mawaziri hawamtaji kabisa JPM kuhusika na hii miradi! Hii si sawa hata kidogo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
158
165
987
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Mwanasheria Mkuu wa Serikali MSHAURI Mh. Rais ATEUE Waziri Mkuu kwanza KABLA ya kufanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri. La sivyo, hata kama atabadili Mawaziri wote, bado hiyo Cabinet itakuwa BATILI tu (unconstitutional). Nini kinaendelea hasa! Msaidieni huyu MAMA jamani.
33
107
962
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Hivi, IGP Sirro aliposimama na kuutangazia Umma kuwa Mbowe ni GAIDI, na kuna USHAHIDI wa kutosha, alimaanisha nini! Je, alipata muda wa kusoma vizuri PGO kujua UTARATIBU mzima wa kufuata ili ushahidi uwe HALALI! Kwahiyo, hakuna chochote Polisi imejifunza kutoka kesi ya MDUDE!!🤔
51
131
944
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Huyu ndiye mzee Harun Guido Mahundi, aliyekuwa IGP kati ya 1984 - 1996. Inasemekana huyu ndiye IGP bora kuwahi kutokea nchini & anayemfuatia kidogo kwa weledi ni IGP Saidi Mwema. Mzee Mahundi alifariki 2012 akiwa na umri wa miaka 72. Thank you for your service, Sir.
Tweet media one
30
96
958
@BabaMwita
Baba Mwita
4 years
#UZI MAPINGAMIZI YA TUNDU LISSU DHIDI YA RAIS JPM NA PROFESA LIBUMBA: Mgombea wa Kiti cha Urais, Tundu Lissu ametoa mapingamizi mawili ambayo la kwanza linawahusu wagombea wote wawili, na la pili ninamuhusu Rais JPM peke yake. Prof. Lipumba amewekewa pingamizi moja tu!👇👇
73
107
942
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Hii kesi walitaka kuifuta kipindi fulani! Kukatokea mgongano wa KIMASLAHI. Anyway, sidhani kama watafika mbali – DPP ataifuta tu! Hizi fedheha zinazotokea kila siku hawazitaki. Unadhani watamleta Afande IGP aje kuulizwa maswali ya PGO na Kibatala! Binafsi sidhani kama itatokea🥱
41
112
946
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
@SuluhuSamia Mama yetu, ukishaapishwa fanya haya; 👉Vunja Baraza la Mawaziri 👉Ondoa Majaliwa, Mwigulu na takataka nyingine 👉Ikiwezekana Uchaguzi wa Wabunge URUDIWE 👉Fukuza Bashiru, Dotto James na Polepole 👉Futa Sheria zote za Hovyo 👉Futa Kesi zote za Uchaguzi 👉Tupe Katiba mpya
45
116
933
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
CHADEMA, hili suala la TWAHA MWAIPAYA kumekuwa na "UKIMYA" kwa dhana kwamba "TUTAHARIBU MARIDHIANO"! In my opinion, ni hoja DHAIFU, ya KIBINAFSI na haina MANTIKI, na inapingana na KATIBA yenu ya Chama SURA YA TANO, Aya 5.3.5 "Kuwa tayari kupambana na NAMNA YOYOTE ya UONEVU etc"
58
159
941
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
I saw it coming 👇🏾
Tweet media one
36
98
928
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Watu kama Shemasi wanaotoa taarifa humu, wana sources zao za kupata taarifa. Sasa, ikitokea ametoa taarifa halafu ikawa sio sahihi, basi jaribuni kuwa WAELEWA. Maana source inaweza kutoa taarifa potofu pia. Kazi anayoifanya Shemasi ni ya KUJITOLEA, HALIPWI. Shukuruni kwa hilo tu.
38
75
928
@BabaMwita
Baba Mwita
2 years
Rais Kikwete aliunda Tume (Tume ya Jaji Kipenka Mussa) kuchunguza MAUAJI ya wafanyabiashara wa Madini kutoka Morogoro na Dereva taxi wa DSM, mwaka 2006, baada ya Tume ya kwanza kutoa taarifa za UONGO. Polisi ikasema walikuwa MAJAMBAZI wakati ilikuwa ni UONGO. Gazeti la MWANANCHI
26
95
933
@BabaMwita
Baba Mwita
7 months
Leo, CHADEMA imetunga sheria (PRECEDENT) mpya. Imefuta DHANA POTOFU kwamba maandamano ni FUJO! Hili tukio ni la KIHISTORIA na itakuwa VIGUMU kwa Polisi KUZUIA maandamano yanayofuata kutokana na kauli za wanasiasa wa vyama vingine. CHADEMA imetengeneza USHAHIDI (evidence). ☄️
30
212
956
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Taarifa!! Baada ya polisi kukosa ushahidi, Dr. Slaa amerudishwa DAR kutoka Mbeya, yuko kituo cha Oysterbay. Polisi imemtaka Wakili wake afike ili taratibu za Dr. kupewa dhamana zianze. Kwa tafsiri hii, Dr. Slaa hana kosa la UHAINI maana kosa hili halina dhamana. Labda tunarudi
81
144
946
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
Hii tunaua ndege wawili kwa jiwe moja. Kataa mkataba wa DP WORLD & free wapambanaji wetu. Naomba REPOST ziwe nyingi ujumbe ufike mbali.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
22
621
937
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Police General Orders (PGO) ni Kanuni muhimu sana kwa Askari polisi. Inasikitisha kuona Afisa wa Polisi, tena mwenye nyota hajui taratibu za awali za Ukamataji. Hizi ni taratibu anazotakiwa kujua Askari wa chini kabisa! Kila kitu unaulizwa unajibu; "sijui", "sijui", "sijui"..!!🤔
28
116
919
@BabaMwita
Baba Mwita
1 month
Afande IGP, nikiwa kama raia mwema & mlipakodi wa hii nchi, nakutaka UJIUZULU. Tangu uingie ofisini utekaji na mauaji ya raia imekuwa kama desturi. Askari wako wana tuhuma nyingi, ikiwemo kutumika kwa mlengo wa kisiasa! Tunakulipa kodi zetu, hakuna unafanya. #IGPjiuzulu
Tweet media one
30
235
941
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Jaji leo ametoa mpaka REFERENCE ya maandiko ya BIBLE lakini HAJAWAHI hata siku moja kufanya ref. ya KATIBA ya nchi! Mfano: ibara ya 13(6)(e) "ni marufuku kwa mtu kuteswa, kuadhibiwa kinyama au kupewa adhabu zinazomtweza au kumdhalilisha." Hajawahi sema hiki ☝🏽
28
168
912
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Mashahidi wa Jamhuri wa hii kesi walikuja na KASI ya 5G! 😅 Sasa hivi nguvu ZIMEISHA. Ni kazi kubwa sana kukariri UONGO. Majibu yao ya sasa ni SIJUI, SIFAHAMU, LAKINIIIIIII 😂. Ninaposema Mbowe ANASHINDA hii kesi mnielewe. Hii kesi nimeisoma na iko kichwani. Hakuna kesi hapa..
37
134
917
@BabaMwita
Baba Mwita
1 year
TUELEWANE: Bandari ni mali ya pamoja inayomuhusu kila raia. TEC kutoa tamko haina maana inafanya siasa au udini! TEC ina wachumi, wanasheria, madaktari n.k na kila mmoja wao ana haki & wajibu wa Kikatiba kama raia wengine, ukiwemo wajibu wa kulinda rasilimali & kukosoa Serikali.
Tweet media one
Tweet media two
42
183
926
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Hawa kina Msukuma ni STRATEGY ndani ya CCM. Huu mpango UMESUKWA kwamba kuwe na Wabunge wenye Ushawishi KUKOSOA Serikali ili ionekane CCM inaweza kujisimamia bila UPINZANI. Bado kuna wengine wengi watakuja na kukosoa. Hii ni strategy ya ‘kucheza’ na akili za ‘MANYANI’— WANYONGE.
83
137
920
@BabaMwita
Baba Mwita
11 months
HADHI YA UBALOZI: Rais hana MAMLAKA kisheria kuvua "hadhi ya Ubalozi" ya mtu aliye/kuwa Balozi. Hii hufanyika KISIASA tu ila KISHERIA haiwezekani. Baada ya uteuzi na kupangiwa kituo cha kazi, Balozi huwasilisha nyaraka za utambulisho kwenye nchi aliyopangiwa. Kisha, "Hadhi ya
Tweet media one
145
158
922
@BabaMwita
Baba Mwita
11 months
Kuna haja TISS & JWTZ itumie wanasheria wake ili kuelewa mkataba na DPW. Mkataba ni HATARI kwa Usalama wa nchi. Kuna sharti linazuia Taasisi za Serikali kuingilia shughuli za DPW isipokuwa kwa idhini ya sheria. Mmeelewa maana ya kifungu hiki! Nasisitiza Taifa liko hatarini. #B
41
194
928
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Kama uko CLUBHOUSE like hii post. Zikifika likes 100 basi nitafungua room CLUBHOUSE ili tuzungumzie HAKI, MATESO YA POLISI na SIASA kwa ujumla.
16
96
909
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Nilishasema tangu SIKU YA KWANZA, hii kesi Jamhuri HAISHINDI na inafahamu hilo. Kutafsiri sheria kunahitaji AKILI ya ZIADA. Hii "akili ya ziada" wenzetu HAWANA. Kinachofanyika sasa ni KUPOTEZEANA MUDA na MATUMIZI MABAYA ya kodi za wananchi.
21
150
895
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Rais SSH alipokula tu KIAPO cha kuwa Rais wa nchi, huo ndio ulikuwa UKOMO wa MADARAKA ya Waziri Mkuu huyu. Kikatiba, Rais alitakiwa, haraka iwezekanavyo, ndani ya siku 14, apendekeze jina la Mbunge ALIYECHAGULIWA na wananchi ili lipigiwe KURA Bungeni awe PM. Hilo HALIKUFANYIKA,na
49
104
900
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Barua aliyotuma Msajili wa vyama anatekeleza Kifungu cha 9(2)(f) cha Sheria ya Vyama vya Siasa. Mh. @jjmnyika na wewe mkumbushe Msaliji, moja ya majukumu yake ni; "kuonya wanasiasa wanaotoa maneno au maandishi ya uongo dhidi ya mtu au chama kingine cha siasa.." Swali: Rais...
63
175
892
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Haya MAAMUZI ya leo yako TOFAUTI sana na mengine yaliyopita. Kuna wakati nikadhani upande wa MASHTAKA unajibu hoja za UTETEZI, kumbe Jaji alikuwa anatusomea MAAMUZI yake! Hoja za UTETEZI zimefanyiwa DEEP analysis huku kukiwa na very SHALLOW analysis kwa hoja za upande wa MASHTAKA
26
115
891
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
IGP atakayemrithi huyu wa sasa ni vyema akawa Mwanasheria au anajua sheria. Unawezaje kuwa kiongozi wa Taasisi ya kusimamia sheria za nchi wakati wewe mwenyewe HUZIJUI! Utaishia kuongea mambo ya AIBU kabisa!
52
103
879
@BabaMwita
Baba Mwita
11 months
Baada ya mapinduzi ya Gabon, Rais Paul Biya wa Cameroon amefanya mabadiliko makubwa kwenye Wizara ya Ulinzi & Jeshi. Amekuwa Rais tangu 1982, na kabla ya hapo alikuwa Waziri Mkuu tangu 1975 ‐ 1982. Ana umri wa miaka 90.
Tweet media one
142
93
899
@BabaMwita
Baba Mwita
3 years
Wananchi wa Zambia walikamata na kuchoma moto na kupiga mawe magari yaliyobeba kura feki. Baada ya hapo, wakawa wanafanya kazi kwa UMOJA; wengine wako mitaani wengine wako nje ya Jengo la Tume ya Uchaguzi. Kilichotokea, mpaka sasa Mgombea wa Upinzani ANAONGOZA. Hili LINATUHUSU!!!
41
146
882