MalisaGJ Profile
MalisaGJ

@MalisaGJ_

28,140
Followers
71
Following
148
Media
308
Statuses

Award winning Philanthropist || SBC Specialist || Human Rights Activist || Simba SC Die Hard Fan

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MalisaGJ_
MalisaGJ
3 years
Kutafuta uhalali wa kisiasa kwa kutumia kabila lako ni Ubaguzi, kutafuta uhalali wa kisiasa kwa kutumia dini yako ni ubaguzi. Kutafuta uhalali wa kisiasa kwa kutumia maumbile yako ni ubaguzi. Na dhambi ya ubaguzi dawa yake ni kukemewa kwa nguvu na kulaaniwa.!
113
384
3K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Lilikua suala la muda tu. Mliokua mnamtetea niliposema huyu "Iskariote" kashafika bei, mje mniombe msamaha. Bata, Wahed.!
Tweet media one
175
219
2K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
Akili kubwa 👏👏👏
Tweet media one
89
296
2K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Mmoja kati ya watu wanaotuhumiwa kumteka Sativa, aitwaye Eric Bernard Malilwa ambaye anadaiwa kuwa ni Msaidizi wa Waziri mmoja, ametuma mchango wake wa matibabu kwa ajili ya Sativa lakini familia imekataa mchango huo na kumrudishia.!
Tweet media one
Tweet media two
87
272
2K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
Mambo 10 kuhusu hotuba ya Rais Samia leo; 1. Ametumia muda mwingi kuzungumzia Chadema kuliko kilichompeleka kwenye mkutano. As the result Chadema imekua agenda kubwa kuliko mkutano wenyewe. Hapa Chadema 3, Msajili 0.
94
222
2K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Shadrack Chaula (24) ni msanii wa sanaa ya uchoraji. Amechora picha za watu wengi mashuhuri hasa viongozi. Picha ya Rais Samia aliichora mwenyewe. Baadae akaamua kuichoma. Wakati anaichoma anadaiwa kuongea "maneno makali" kuhusu ugumu wa maisha. Malalamiko yake ni malalamiko ya
Tweet media one
131
395
2K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
3 years
Ndugai aache kudemka na kila kitu kinachojadiliwa nje ya bunge. Watu wakitweet anajibu, wakipiga story vijiweni anajibu, wakihojiwa kwenye media anajibu. Hiyo sio kazi ya Spika. Anadhalilisha mhimili wa bunge. He can not be the jack of all trades. Kama ana mapepo aombewe.!
94
184
2K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Nimesikitika kuona matukio haya ya kinyama yamerudi. Tulidhani yaliondoka na mwendazake. Tukafanya maridhiano, ikaundwa tume ya haki jinai, tukashikana mikono. Tukaombwa tusahau ya kale. Japo yanauma lakini tukasamehe tukasonga mbele. Kumbe tulilishwa upepo? Miaka mitatu baada
Tweet media one
45
269
2K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Mzee Lowassa (RIP) alipoona support kubwa ya umma alisema "haya si mapenzi ni mahaba". Na hakika ndicho watanzania walichomuonesha Chaula. Tayari imeshatimia 3.5M kwa muda mfupi tangu tumeanza hamasa. Hakika haya si mapenzi ni MAHABA. Bado 1.5M tu ili Chaula awe huru. Tukimbizane
Tweet media one
61
258
1K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
2 months
Nimeshiriki mkutano mkuu wa kimataifa wa masuala ya teknolojia na usalama wa mitandao (International Policy Forum for Technology, Cyber security & internet governance). Zaidi ya washiriki 500 kutoka pande zote za dunia tumekutana hapa. Viongozi wa asasi za kiraia, serikali na
Tweet media one
Tweet media two
66
198
1K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
Nguli anasema Samia kusaini Mkataba unaoipa Dubai HAKI ZOTE na sisi kubeba WAJIBU WOTE ni kuhamisha mamlaka ya Urais wa TZ na kuyapeleka Dubai. Yani wakati watu wanataka Rais apunguziwe madaraka yarudi kwa wananchi, yeye kaamua kuyapunguzia Dubai. Haya Mwiteni Mwijaku amjibu 🤣.!
Tweet media one
57
243
1K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Kada maarufu wa Chadema mkoani Tanga, Kombo Mbwana maarufu kama "Mzalendo" anadaiwa kutekwa Tarehe 16/06/2024 majira ya saa 2 mbili 2 asubuhi, akiwa nyumbani kwake Kijiji cha Kwamatuku Wilaya Ya Handeni. Mke wa Kombo anasema siku ya tukio, walipata mgeni aliyejitambulisha kuwa
89
402
1K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Historia imeandikwa. Kwa umoja wetu na kwa msaada wa Mungu tumemrudisha Chaula uraiani ndani ya masaa 6 tu. Kama umechangia hii challenge hata kama ni "jero" jipige kifuani mara 3 useme Asante Mungu kwa kunifanya baraka kwa wengine. Wale wanaosema Chaula hakustahili kuchangiwa
Tweet media one
80
183
1K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
2 months
Alhamisi tar.6 June 2024 tulienda mahakamani Kisutu katika kesi ya uchochezi inayotukabili mimi na @ExMayorUbungo . Wakati tunatoka, nilikamatwa na Makachero wa Polisi kutoka Moshi kwa madai nina kesi nyingine zinazonikabili huko. Nilisafirishwa kwenda Moshi na kusomewa tuhuma 3;
90
216
1K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Bwana Pasta akataka kutoka nje ya script akajikuta anagota "eeeh eeeh" kama guta lililofeli breki. Ila CCM wanajua kudhalilisha sana aisee. Ptuu mbaka 🤣🤣
193
217
1K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
10 months
Miaka 37 sasa. Asante Mungu kwa neema ya uhai. Endelea kunitumia kwa ajili ya utukufu wako 🙏
Tweet media one
76
53
1K
@MalisaGJ_
MalisaGJ
5 months
Anaandika Mohamed Msangi, Mtanzania anayeishi SA __________ Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu, Mtanzania mwezetu Michael aka Mike mzaliwa wa Kinondoni. Mwaka 1999 Mike alihamisha makazi yake kutoka Tanzania kuelekea Mozambique akijishughulisha na biashara
Tweet media one
101
109
957
@MalisaGJ_
MalisaGJ
27 days
Siku chache zilizopita niliona taarifa kupitia ukurasa wa #babuuwakitaa_tz kuhusu huyu mama ambaye anauza mihogo nje ya geti la #cloudsfmtz . Mama huyu ametelekezwa na mumewe na kumuachia watoto wanne. Kutokana na hali ngumu ya maisha anaishi chumba kimoja na wanae wote wanne
107
208
947
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
Mwenye masikio na asikie.!
Tweet media one
58
142
918
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Hakika umoja ni nguvu. Watanzania nyie ni watu wa maana kabisa. Kwa masaa mawili tumeweza kumchangia Chaula zaidi ya TZS 2M kati ya 5M zinazohitajika ili kumlipia faini. Lengo ni Chaula atoke leo. Tunaamini kufika saa 7 lengo litakua limetimia ili faini ilipwe na Chaula atoke
Tweet media one
33
182
899
@MalisaGJ_
MalisaGJ
15 days
Hawa Wakurugenzi na wenyeviti wa Bodi wa UCSAF, TTCL na Shirika la Posta wamejifukuzisha kazi wenyewe. Rais anamtumbua mtu halafu wewe unamuandikia barua ya shukrani? That was sabotage na ni dharau kwa Rais. Huyo mnayemshukuru, yeye hajamshukuru Rais aliyemteua. Mpaka sasa yupo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
83
117
862
@MalisaGJ_
MalisaGJ
6 months
Hebu punguza "unaa" kidogo basi. Tupo kwenye msiba mzito wa @ole_mushi na tumejizuia kujiingiza kwenye mjadala wowote kipindi hiki cha maombolezo lakini unatulazimisha kusema. Yani Lissu aalikwe studio, azuiwe kuongea, Wasafi waseme ni maelekezo kutoka juu. Halafu baada ya watu
Tweet media one
78
115
837
@MalisaGJ_
MalisaGJ
12 days
Hivi nyie wamiliki wa migahawa/hotel mmewafundisha wahudumu wenu kwamba wasitoe huduma hadi waombwe? Yani mteja unaomba kila kitu. Unaomba maji ya kunawa, ukimaliza kunawa unaomba tissue. Ukimaliza kula unaomba toothpick. Na usipoomba huletewi. Kibaya zaidi unaomba hadi bill.
166
142
849
@MalisaGJ_
MalisaGJ
2 months
Tumehitimisha mkutano wa kimataifa wa masuala ya teknolojia na usalama wa mitandao (International Forum for Technology, Cyber security & internet governance). Jumla ya watu 1,581 kutoka nchi 123 duniani wameshiriki. Watu 957 wameshiriki "physically" na 624 wameshiriki kwa njia ya
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
49
91
812
@MalisaGJ_
MalisaGJ
7 months
Agenda kuu za maandamano ni mbili. #YaKwanza : kupinga miswada ya sheria 3 za Uchaguzi ambazo zimewasilishwa bungeni na zinaendelea kujadiliwa. Sheria hizo bado hazitengenezi mazingira ya haki kwenye uchaguzi. Kuanzia uandaaji wa uchaguzi, usimamizi hadi utangazaji wa matokeo. Ni
Tweet media one
60
220
786
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Kisutu leo. Kesi ya Uchochezi. Tunadaiwa kutoa taarifa za uongo na kuzua taharuki kuhusu watu kupotea/kutekwa mimi na ndugu yangu @ExMayorUbungo . Hata hivyo Jamhuri imeweka mpira kwapani. Leo ni mara ya 3 Jamhuri inashindwa kusoma PH na kuomba shauri liahirishwe. Jopo la Mawakili
Tweet media one
50
116
778
@MalisaGJ_
MalisaGJ
27 days
Aisee kumbe? Nilikua najiuliza kwanini yule Kiongozi wa UVCCM Kagera aliyesema watateka na kuua wapinzani hajakamatwa wala kuhojiwa, lakini sisi tunaotetea haki za wengine ndio tupewe "kesi za mchongo" na kusumbuliwa kila siku mahakamani? Kumbe kuna maelekezo? Asante bwana
79
211
766
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Ukisikia MAHABA ni hiki mlichofanya kwa Chaula. Yani 4.7M zimechangwa chap kama umeme. Sasa tumalizie 300K iliyobakia kabla ofisi za umma hazijafungwa. Dogo atoke leo plz. Wakili ameshafika mahakamani. MPESA 0755044994 au Tigopesa 0717044994, jina James Mbowe. #Justice4Chaula
Tweet media one
31
137
723
@MalisaGJ_
MalisaGJ
26 days
Zaidi ya miili ya watu 20 imeokotwa ikiwa kwenye mifuko ya sandarusi kwenye bonde lililopo karibu na kituo cha Polisi Kware jijini Nairobi. Inadaiwa miili hiyo ni ya wakosoaji wa serikali ya Ruto, na kwamba walicharangwa mapanga kabla ya kuuawa na kuwekwa kwenye mifuko ya
118
175
704
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
Asomaye na afahamu.!
Tweet media one
33
154
697
@MalisaGJ_
MalisaGJ
4 months
🤣🤣🤣
Tweet media one
Tweet media two
19
79
696
@MalisaGJ_
MalisaGJ
15 days
Kwahiyo dereva hakusubiri hata hotuba iishe? Ama kweli Ubaya Ubwela 😄😄
30
85
683
@MalisaGJ_
MalisaGJ
10 months
Hatimaye historia imeandikwa. Baba Mtakatifu Francis amempa Hadhi ya Ukardinali Askofu Mkuu Protase Rugambwa katika viwanja vya Mt.Petro nchini Vatican leo Septemba 30, 2023. Leo Maaskofu wakuu 21, wamepewa hadhi ya Ukardinali kutoka nchi mbalimbali duniani. Mmoja wao ni Protase
Tweet media one
40
86
680
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Pale Mawasiliano kuna vijana zaidi ya 1,000 wamejiajiri kwa biashara mbalimbali. Kuanzia maduka ya simu, nguo, hadi wamachinga. Wengi ni vijana waliohitimu vyuo vikuu na wakakosa fursa za ajira serikalini au kwenye sekta rasmi. Wakaamua kukusanya mitaji yao midogo kujikwamua
66
160
669
@MalisaGJ_
MalisaGJ
5 months
Angalia hawa vishohia wa TAMISEMI "wanavyokoroga" mambo. Anayesoma HGK atasoma Kiswahili (Sarufi na Fasihi), lakini anayesoma HGFa atasoma Fasihi peke yake. Maana yake ni kwamba anayesoma HGK akiona Sarufi inamshinda anaachana nayo anabaki na Fasihi tu, halafu combination
Tweet media one
163
102
667
@MalisaGJ_
MalisaGJ
14 days
#SWALI1 : Kwanini mnakataa jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi? Hamjui Sanda ni jina lake? #JIBU : Hatukatai jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi. Tunajua majina yake kamili ni Sanda Omary Yenga lakini jina lake la biashara (brand name) ni Sandaland. Tunachoshauri jezi iwe na
Tweet media one
162
85
666
@MalisaGJ_
MalisaGJ
10 months
Kuhusu Mbarikiwa Mwakipesile, 1. Amepinga vikali mkataba wa "kinyonyaji" wa bandari kupitia mahubiri yake. Kufungwa jela kunaweza kutafsiriwa ni kwa sababu ya kupinga mkataba huo kama ilivyokuwa kwa Wakili Mwabukusi, Mdude, Dr.Salaa etc. 2. Hoja ya kuendesha Kanisa ambalo
58
121
657
@MalisaGJ_
MalisaGJ
5 days
Asante Mungu. MATOKEO RASMI: 1. Boniface Mwabukusi kura 1,276 sawa 58% 2. Sweetbert Nkuba kura 807 sawa 36% 3. Ibrahim Bendera kura 58 sawa na 2.6% 4. Paul Kaunda kura 51 sawa na 2.3% 5. Emmanuel Muga kura 18 sawa 0.8% 6. Revicatus Kuuli kura 07 sawa 0.3% Rais mpya wa TLS
42
148
717
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Sativa anasema alipotekwa Dar alipelekwa kituo cha Polisi Oysterbay na kuwekwa karakana ambapo alipigwa sana. Baadae alisafirishwa kwenda Arusha na kisha Katavi. Lakini taarifa ya Polisi haioneshi kama Sativa alipelewa Oysterbay police. Kwanini?
Tweet media one
56
114
650
@MalisaGJ_
MalisaGJ
6 days
Tuzo ya Wakili bora mwanaume kwa mwaka 2023/24 imekwenda kwa Wakili msomi @PKibatala_ . Ukisikia wazungu wanasema "give credit where credit is due" maana yake ndio hii. Kati ya Mawakili wote nchini (wanaume) Kibatala ameonekana ndiye aliyefanya vizuri zaidi kuliko wengine
Tweet media one
Tweet media two
24
117
654
@MalisaGJ_
MalisaGJ
15 days
Mheshimiwa Rais ngoja nikuume sikio. Juzi umeleta shangwe mtaani. Angalau watu wametabasamu licha ya hali ngumu ya uchumi. Shangwe la Bumunda. Sio kwamba watanzania wanafurahia anguko la mtu. Hapana. Watanzania ni watu wema sana, lakini ukiwadharau watakulipa dharau. Kipimo kile
55
107
641
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
DOOONE.! We have raised 5.6M in just six hours. Kwa masaa 6 tu tumeweza kuchanga karibia milioni 6. Watanzania nyie ni watu hatari maana mnakabia juu sana 😄. Hiki mlichokifanya kwa Chaula ni historia, lakini pia ni somo kwa serikali. Mchango huu unazungumza mengi zaidi ya
Tweet media one
Tweet media two
29
104
638
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
Baba @freemanmbowetz . Thank u 4being the best leader we could wish for. Thank u 4ur unfaltering efforts, passion and dedication towards our beloved Mama Tanzania. Thank u 4being a truly inspirational political leader in our generation. Happy birthday Mwamba.!
Tweet media one
19
66
602
@MalisaGJ_
MalisaGJ
21 days
Uzuri wa "Kurujuan" inamlamba hadi aliyewaza. Yani hata kama hujatenda, ila umewaza tu safari 🤣. Kisheria inaitwa "ab-initio" yani unawajibika kabla tendo halijatendeka. Mzee Magoma hii "Kurujuan" tuazime tuwashughulikie wanasiasa wahuni kama Bumunda. Yani akiwaza tu kuiba kura
59
88
605
@MalisaGJ_
MalisaGJ
5 months
Ni jambo la aibu gazeti kubwa kama @MwananchiNews kuandika habari ya kikasuku kama hii (sensational news). Hoja iliyopelekwa mahakamani ni Wanahabari kuomba kupiga mnada nyumba ya mtoto wa Mbowe (Dudley), kwa madai kwamba aliwafanyisha kazi bila kuwalipa mishahara kupitia gazeti
Tweet media one
61
89
598
@MalisaGJ_
MalisaGJ
6 months
Upuuzi mtupu. Picha ya Samia kwenye noti itapunguza bei ya sukari? Itapunguza bei ya mafuta? Itazuia umeme kukatika? Mbona mnajadili vitu cheap sana nyie wabunge maandazi? Tangu Samia aingie madarakani mfumuko wa bei umekua mara dufu (from moderate to galloping inflation). Sukari
Tweet media one
110
116
567
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
Nyie makasuku wa DP World mnaotumiwa kuuza nchi ili mshibishe utumbo mpana, njooni mjibu hoja za Profesa Shivji. Bata, Wahedi.!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
40
160
566
@MalisaGJ_
MalisaGJ
7 months
Nyerere ni kama alijua yanayotokea leo. Gharama za maisha zimepanda. Sukari haishikiki, bei ya mafuta imepaa, vifaa vya ujenzi ndio balaa. Yani kwa kifupi hakuna penye afadhali. Lakini kipato cha mwananchi kimebaki kilekile. Mkazi wa Chanika aliyekua anakuja kubangaiza mjini
36
209
556
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
Kuna watuhumiwa wa upinde wanatetea mkataba wa bandari na wanajifanya eti wana uchungu sana. (Akina Sophia(ni) Juma, Mrs.Issa Azam na wenzao. Nauliza hivi watu wasio na uchungu na marinda yao, wanawezaje kuonea uchungu bandari? Shite sha warumu.!
64
61
534
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
Jana nimefikisha Wafuasi NUSU MILIONI kupitia ukurasa wangu wa Instagram. Nawashukuru sana kwa wote mlionifollow hapa X, Insta na Fb. Ninyi ni watu muhimu sana maana ndio mnafanya kurasa hizi kuendelea kuwepo. Tuwakaribishe wengine nao waendelee kufollow. Wabheja sana 🙏🙏
Tweet media one
29
45
539
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
2018 Kanisa lilitoa Waraka wa Pasaka uliosomwa nchi nzima. Malasusa alikataa usisomwe kwenye Dayosisi yake. Alienda kinyume na Maaskofu wenzake wote. Hili ni doa. Katika ubinadamu wake alijikwaa. So akikumbushwa asichukie, bali amuombe Mungu asijikwae tena akaliangusha Kanisa.
Tweet media one
58
58
495
@MalisaGJ_
MalisaGJ
2 months
*MATOKEO YA UCHAGUZI KANDA YA MAGHARIBI* DURU YA KWANZA 1. Wakili Msomi Ngassa Ganja - kura 32 sawa na 38% 2. ⁠Wakili Msomi Dickson Matata - kura 26 sawa na 32% 3. ⁠Wakili Msomi Gaston Garubindi - kura 21 sawa na 25% 4. ⁠Wakili Msomi Mussa Martine - kura 4 sawa na 5%. DURU
Tweet media one
45
48
499
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
Tweet media one
17
86
491
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
Finally VERIFIED. Sasa endeleeni kumfollow yule tapeli anayejiita @malisa_gj1 halafu mkila za uso mje kujiliza hapa. This is the only X account I have. Hayo maparody mengine yapotezeeni.!
Tweet media one
21
37
492
@MalisaGJ_
MalisaGJ
3 years
Kama ambavyo kuwapa ARVs waliombukizwa HIV sio kuhalalisha zinaa, vivyohivyo kuruhusu mabinti waliopata mimba kuendelea na masomo sio kuhalalisha zinaa. Kama hujaelewa jipige kifuani mara tatu kisha jiambie "mimi ni Zwazwa"
33
54
481
@MalisaGJ_
MalisaGJ
2 months
Kati ya watoto (yatima) 121 tunaowasomesha kupitia @ghfoundationtz watatu walimaliza kidato cha nne mwaka jana na kupata ufaulu ufuatao; 1. Magreth Joseph DIV 1 point 16 (Rosmini Sec - Tanga) 2. Agness Jason DIV 2 point 21 (Mtera Sec - Dodoma) 3. Susan Mathias DIV 2 point 21
Tweet media one
46
70
478
@MalisaGJ_
MalisaGJ
4 months
Leo mdogo wangu @majora_arts ameniletea zawadi ya picha. Ukitizama kwa haraka huwezi kujua kama ni picha ya kuchora. Hakika @majora_arts ana kipaji cha pekee katika uchoraji. Kwa kutumia penseli tu amefanya kazi hii bora na ya kupendeza. Ni wazi kuwa mkono wake unaongea kwa
Tweet media one
14
44
480
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
🤣🤣🤣
Tweet media one
86
60
460
@MalisaGJ_
MalisaGJ
3 years
Kuna mtu au kikundi cha watu ambao kwa malengo wanayojua wao wamefungua akaunti feki ya Twitter kwa jina langu. Napenda kuwajulisha kuwa akaunti hiyo yenye jina @malisa_gj1 sio yangu. Imefunguliwa na wahalifu wenye nia ovu.
Tweet media one
29
60
447
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 month
Duuh.!
45
77
445
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
Narudia tena, akaunti inayotumia jina @malisa_gj1 sio yangu. Ni parody ambayo sijui malengo ya aliyeitengeneza. Nimeireport mara nyingi lakini haijafungiwa. Plz beware its a FAKE account. Naona mnaendelea kuifollow. Mkilizwa huko msije kunililia hapa. Akaunti yangu halisi ni hii.
Tweet media one
23
50
434
@MalisaGJ_
MalisaGJ
5 months
Serikali inadai bei ya dawa imeshuka ndio maana gharama za matibabu kwenye kitita kipya zimeshushwa pia. Lakini SI KWELI. Bei ya dawa mwaka 2016 haiwezi kuwa juu kuliko 2024. Unless otherwise NHIF watuambie kwamba walipokua wanalipa dawa kwa bei juu mwaka 2016 walikua wanaiba.
Tweet media one
49
124
424
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
4. Anadai anapenda kukosolewa, lakini ukimsikiliza dhamiri inakataa. Angekua anapenda kukosolewa leo TEC wangealikwa. Lakini kwa sababu ya kukosoa mkataba wa bandari TEC wamepuuzwa. Unawezaje kupuuza Kanisa takatifu Katoliki la Mitume, lenye nusu ya Wakristo wote nchini?
11
35
422
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
2. Hana taarifa sahihi jinsi jamii inavyomchukulia. Namshauri aache kukumbatia "chawa" atumie vyombo vyake kujua hali halisi ilivyo mtaani. Ni tofauti kabisa na anavyojiaminisha. Watu wamemkinai mno. Kama "watu wake" wanampenda watamwambia ukweli ili wamsaidie kubadilika.
13
42
422
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
Tweet media one
15
17
422
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
Jeshi la Polisi wilayani Chato limetoa taarifa kuwa gari la Chadema liliungua moto kwa kuwa lilikua bovu. Najiuliza kama ni kweli huko garage magari si yangelipuka kila siku? Na je gari likiwa bovu huwa linachagua kuungua usiku na sio mchana? Baadhi ya polisi ni miyeyusho sana.!
25
80
412
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
7. Waliomwambia JPM kuwa Katiba haileti maendeleo, huenda ni haohao wanaomwambia Samia kuwa Katiba inaweza kuwepo na isifuatwe. Ni aibu kiongozi aliyeapa kwa Katiba kutamka maneno haya hadharani. Kimsingi alitakiwa kuitetea sana Katiba maana hata Urais wake umetokana na Katiba.
6
36
413
@MalisaGJ_
MalisaGJ
5 months
Tuendelee kuchambua kitita kipya cha huduma cha NHIF. Ukivunjika mguu au mkono, gharama za kuwekewa POP kwenye hospitali yenye hadhi ya wilaya ni TZS 12,000/= kwa mtu mzima na 10,000/= kwa mtoto. Sasa jiulize POP gani la 12K? Wewe kama mtoa huduma hiyo 12K utafanyia nini? Yani
Tweet media one
65
86
409
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
6. Anasema uhuru wa maoni una mipaka, lakini anaamini yeye ndio mwenye kipimo cha kuweka hiyo mipaka. Kwahiyo wanaotoa maoni yasiyomfurahisha anadhani wanatumia uhuru wao vibaya 🤣. Funny but not funny.!
5
34
394
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
Tweet media one
6
12
392
@MalisaGJ_
MalisaGJ
5 months
Hiki kiserikali cha CCM kinajiendesha kama gari bovu. Waziri alisema hatanii, leo Msemaji anasema Waziri alikua anatania. Ukweli ni kwamba mlikua hamtanii, ila baada ya wananchi kuwakaba koo na CAF kuwataka mjieleze, ikabidi TFF iandike barua kwa "Kingereza cha Ras Simba" na
92
74
389
@MalisaGJ_
MalisaGJ
4 months
Kwahiyo DAB anamaanisha kuna Mawaziri wanamlipa Mange ili amtusi bi mkubwa? I dont think so. Nadhani hii ni "mbinu" ya DAB kurudisha trust aliyopoteza kwa Bi mkubwa. Ameapply "uncertanity reduction theory" kumuaminisha mama kuwa yeye anampenda kuliko Mawaziri wake. Anampenda
54
67
386
@MalisaGJ_
MalisaGJ
3 years
@DrCyrilo is now free. To GOD be the glory 🙏
11
28
373
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
Kwa kifupi SSH ameturudisha zama za "jiwe" kwa muda mfupi sana. Hakuwa na pumzi ndefu kama tulivyodhani. Mwaka mmoja tu wa mikutano ya kisiasa tayari amechoka na anatamani kuifuta. Tuna safari ndefu kufikia demokrasia ya kweli.!
9
45
377
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
5. Chawa wamemwaminisha kwamba wanaomkosoa wanamtukana. Hawawezi kutofautisha ukosoaji na matusi. Kupinga mkataba wa bandari sio matusi. Kutetea Wamasai wa Ngorongoro sio matusi. Kudai Katiba mpya sio matusi. Wapuuze wanaokuaminisha hivyo.!
3
31
372
@MalisaGJ_
MalisaGJ
10 months
Hivi ndugu zetu wa chama chakavu huwa mnatoa(ga) wapi hawa "mabumunda" ambao hawajui hata Katiba ya nchi? Hii ni aibu kubwa. Ibara ya 40 ya Katiba inasema Makamu wa Rais akishika madaraka ya Urais kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu atapata fursa ya kugombea mara mbili. Lakini
Tweet media one
Tweet media two
46
69
373
@MalisaGJ_
MalisaGJ
20 days
Leo nilitakiwa kufika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kujibu tuhuma nilizopewa na jeshi la polisi kuhusu makosa mbalimbali ya kimtandao. Tuhuma hizo zinatokana na kutetea haki za watu wengine kama ifuatavyo; 1. Kutetea haki ya Beatrice Minja aliyechomwa jumla ya visu 25 na
22
81
372
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
9. Mabalozi walioalikwa leo kuna jinsi wamebadili mtizamo wao kwa Rais Samia. Wengi wamekua "disappointed" na hotuba yake. Huenda hii ikawa hotuba mbovu zaidi tangu aingie madarakani.!
6
30
366
@MalisaGJ_
MalisaGJ
28 days
I’ve had the opportunity to participate in EAPN Grantmakers Summit along with development partners here in Nairobi. A total of 400 participants from various East African nations have come together to discuss, learn, and strategize on diverse issues such as civil rights advocacy,
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
15
41
367
@MalisaGJ_
MalisaGJ
5 months
Huduma ya kujifungua kwa upasuaji (C-section) NHIF watakulipia 130,000/= tu kama itafanyika kwenye hospitali yenye hadhi ya wilaya. Hebu jiulize is that realistic? 130K uwalipe hawa watoa huduma wote unaowaona hapa, ulipie vifaa tiba kama Oxygen, sindano, madawa, nyuzi, gauze
Tweet media one
52
66
363
@MalisaGJ_
MalisaGJ
7 months
Mhe.Rais @SuluhuSamia , Pauline Gekul alituhumiwa kumfanyia ukatili mfanyakazi wake kwa kumuingizia chupa kwenye njia ya haja kubwa. DPP akafuta kesi. Leo shamba boy wa Mkenda kaua mtu huko Rombo na hajakamatwa. Haya mambo yanakuchafua. Hawa wanaoumizwa ndio 2025 utawaomba kura.
36
67
363
@MalisaGJ_
MalisaGJ
4 months
Tumepata wasaa mzuri wa kuwapongeza watoto (yatima) waliohitimu kidato cha nne mwaka jana, ambao ni miongoni mwa watoto zaidi ya 100 tunaowasomesha kupitia #GHFoundation . Hawa watatu wamemaliza kidato cha nne na wote wamepata ufaulu mzuri kama ifuatavyo; 1. Magreth Joseph DIV 1
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
22
43
365
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
3. Anadai kuunda kikosi maalumu cha kufuatilia maoni mtandaoni na kuyafanyia kazi. Awamu ya 5 kilikuwepo kikosi kama hicho na tulishuhudia wakosoaji wakipotea, kukamatwa na wengine kuumizwa. Je anataka kuturudisha zama hizo za giza?
6
30
351
@MalisaGJ_
MalisaGJ
4 months
Wakili Msomi, Boniface Mwabukusi amesema serikali haiheshimu mahakama. Mwabukusi amejenga hoja yake kwa kutumia kesi ya Komanya Kitwala, aliyekua DC wa Tabora. Komanya alikua Afisa Sheria Mkuu (Principal Legal Officer) kwenye Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kabla
Tweet media one
Tweet media two
21
81
353
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
10. Polisi wataitumia hotuba hii kama kigezo cha kuzuia mikutano ya kisiasa. So tusubirie zile ramli za MaRPC kwamba "Taarifa za kiitelijensia zinaonesha uvunjifu wa amani, hivyo mkutano wenu umezuiwa"
5
33
347
@MalisaGJ_
MalisaGJ
11 months
8. Watanzania wanataka Katiba mpya sio elimu ya Katiba. Katiba ni vile jamii inavyotaka kujiongoza yenyewe. Watanzania wanajua wanataka waongozwe vipi. Walishatoa maoni yao kupitia Tume ya Warioba. Hawahitaji kufundishwa tena kuhusu hilo.
8
34
349
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
Sidhani kama kuna maandamano yoyote yaliyopangwa kufanywa na CCM. Hìi ni agenda setting ya kuzuia maandamano ya vyama vingine (ikiwemo Chadema) na watanzania wengine wanaopinga ubinafsishaji wa bandari. Acheni unaa.!
Tweet media one
26
60
344
@MalisaGJ_
MalisaGJ
6 months
Customer care ya nchi hii ni uozo mtupu. Unaenda restaurant unaagiza chakula, unaambiwa kitachukua nusu saa kuandaliwa. Unauliza ni chakula gani kinaweza kuwa tayari ndani ya muda mfupi. Unaletewa orodha ya vyakula vilivyo tayari. Unaambiwa hivi ukichagua vinapakuliwa tu na
39
45
341
@MalisaGJ_
MalisaGJ
4 months
Uhuru uwe katika muundo na utendaji, sio jina. Yani kweli na vitambi vyenu vya tozo mmekaa mkaona mkibadili jina tayari tume inakua huru? Yani mmebadili jina lakini composition imebaki ileile na utendaji uleule. Sasa hapo tume imekuaje huru? Mnajiita Tume huru lakini Rais bado
Tweet media one
55
70
312
@MalisaGJ_
MalisaGJ
4 months
Tulianza safari ya kumtoa Judith na wanae kuishi stendi (Ubungo) miaka mitano liyopita. Huyu ni Mhanga wa GBV ambaye alifurushwa na mashemeji zake baada ya mumewe kufariki. Walitaka kumrithi, akagoma, wakamfurusha. Hakua na pa kwenda, akaishia stendi ya mabasi Ubungo. Tulimsaidia
47
61
307
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
Kumkamata @mdudechadematz ni mwendelezo wa ujinga wa polisi kutumia nguvu mahali panapohitaji akili. Mjadala wa bandari hauzimwi kwa kukamata watu, unazimwa kwa hoja. Polisi acheni kushohia.!
Tweet media one
16
74
304
@MalisaGJ_
MalisaGJ
5 months
Ndugu Watanzania. Tunaomba radhi kwa ushindi huu mwembamba tulioupata. Hii ni kutokana na msiba mkubwa unaokabili taifa letu. #Tumeshinda6NaHatujazimia #ThisIsSimba #NguvuMoja 🙏🙏
Tweet media one
4
21
301
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
Kuruhusu bandari yetu kubinafsishwa kwa miaka 100 ni kuuza uhuru wetu. Kama tunavyomshangaa Chief Mangungo aliyesaini "bogus treaty" ndivyo ambavyo wajukuu zetu watatushangaa kwa mkataba huu. Tunahitaji uwekezaji wenye tija, sio wa aina hii.!
Tweet media one
36
72
297
@MalisaGJ_
MalisaGJ
1 year
"Tukipiga kura hili la bandari mimi nitasema HAPANA, HAPANA, HAPANA. Tukubali kujisahihisha hata kama ni kwa gharama." Mzee Joseph Butiku.!
Tweet media one
8
65
291
@MalisaGJ_
MalisaGJ
5 months
Nimemuuliza ndugu yangu @ExMayorUbungo ilikuaje Bashiru akakubali kuteuliwa kuwa Mbunge wa "vitu maalumu" wakati alishaapa hatakubali uteuzi wowote? Bonny akaniambia tumsamehe bure, maana wakati anaweka hili agano hakushirikisha tumbo, kwahiyo tumbo lilikata rufaa baadae
47
49
286
@MalisaGJ_
MalisaGJ
21 days
Bumunda asomewe "Kurujuani" tu. Hakuna namna. Kichwa imejaa Ngararimu tupu.!
30
69
288
@MalisaGJ_
MalisaGJ
4 months
Masikitiko yangu ni kwamba ajali hii imetokana na uzembe wa dereva. Amebeba watoto wadogo, mvua inanyesha. Amefika pale Dampo (Sinoni) akakuta maji yamejaa njia haionekani. Akaamua "kuchezea kamari" maisha ya malaika hawa wasioweza hata kujitetea. Akapitisha gari. Matokeo yake
Tweet media one
55
45
285