Mohammed Kawaida Profile Banner
Mohammed Kawaida Profile
Mohammed Kawaida

@ComradeKawaida

8,150
Followers
65
Following
610
Media
838
Statuses

Official Twitter Account Of Chairperson Of CCM Youth League, Tanzania and Member of the Central Committee Of CCM (MCC)

Paje, Zanzibar
Joined August 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 month
78
40
166
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 months
Nimesimamia msimamo wangu kuwa hiki kitu kifungwe tuu, ili kulinda maadili yetu, kama mitandao ya kijamii ipo mingi tuu na kama uhuru wa habari tuna vyombo vya habari na mitandao ya kijamii mingi tuu ya kutoa maoni, nimeposti ili mjue msimamo wangu juu ya mtandao wenu
Tweet media one
3K
91
1K
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 years
HAKIKA TUNA DENI KUBWA KWENU ..
Tweet media one
57
30
561
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
4 months
Nifuraha sana kwetu Vijana wenzio kukuona ukirudi Nyumbani, karibu sana @jokateM , hongera kwa kuaminiwa na Mwenyekiti wa CCM @SuluhuSamia na Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kwa niaba ya Vijana wote tunakuhakikishia ushirikiano mkubwa katika kutimiza malengo ya UVCCM
Tweet media one
19
35
522
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
4 months
STUDENT FROM UVCCM UNIVERSITY .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
48
38
437
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 month
Sijali matusi yenu dhidi yangu juu ya hoja yangu ya kufungiwa kwa mtandao wa X na hapa ni kuamua moja tu katika haya mawili ama mtandao wa X ubadili sera yake kwa kuondoa sera ya ruhusa ya kutuma maudhui ya kingono katika mtandao wao ama mtandao huu Tanzania ufungiwe @TCRA_TZ
Tweet media one
492
25
411
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
20 days
Usifiwe wewe tuu hata kama huna ulilolifanya kwa maslahi ya taifa hili ila akisifiwa Mh Rais aliyefanya mengi kwa faida ya taifa hili aaaaaaaaaahhhhh
@IAMartin_
Martin Maranja Masese
1 month
Kila hatua DUA wanangu. Ni BARAKA zake MUNGU, mtaa unanielewa. Hii love inathibitisha โ€œmy mama didnโ€™t raise no foolโ€. Namlipa nini Mungu zaidi ya kuendelea kusimama na UMMA kila siku? NB; Mmiliki wa Bajaji hii, binafsi simfahamu, anicheki, nimโ€™ BLESS na kakitu. Hii ni LOVE. โค๏ธ
Tweet media one
Tweet media two
254
580
4K
274
21
383
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
6 months
Tete atete @jokateM
Tweet media one
15
27
367
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 years
UONGOZI NI PAMOJA NA KUWASIKILIZA UNAOWAONGOZA, KARIBUNI SANA VIJANA WENZANGU
Tweet media one
50
38
349
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Happy birthday to Me, asante ya allah kwa umri na mwaka mwengine, nakushukuru sana kwa zawadi na neema hii ya allah, nakushukuru kwa majukumu yote uliyonipa katika wakati wote huu ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
94
50
356
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
4 months
Jana nimeshiriki katika kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wake Mhe Dkt @SuluhuSamia kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
15
22
352
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Leo nimeendela na Ziara zangu za Kuwatembelea Viongozi Wakuu Wastaafu wa Jumuiya ya Vijana wa CCM Taifa kwa Kumtembelea Mh Martin Shigella, aliewahi kuwa Katibu Mkuu UVCCM Taifa ambae kwasasa ni Mkuu Mkoa wa Geita
Tweet media one
21
25
344
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 month
Hongera sana, na karibu sana kwenye Chama cha kutenda haki, na chenye kusimamia vyema ajenda za Taifa letu la Tanzania Mchungaji @MsigwaPeter , na wewe bado hujachelewa kujiunga na CCM, KARIBUNI SANA, TUNAWAKARIBISHA ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
Tweet media two
88
49
350
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
8 months
Siku zote mulikuwa wapi ??? Acheni kuleta Cinema katika kipindi hiki kigumu kwa ndugu zetu wa Hanang
@ExMayorUbungo
Boniface Jacob
8 months
TAARIFA Mwenyekiti Taifa CHADEMA Freeman Mbowe tangu asubuhi amezuiwa na Jeshi la polisi kutembelea eneo lolote lililokumbwa na maafa Pamoja na Kukataliwa kupokelewa misaada yake kwa Wahanga wilayani HANANG. Viongozi wa CHADEMA waliomba kwenda maeneo tofauti ambayo hayapo ktk
Tweet media one
187
154
1K
239
26
336
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
ASANTE SANA KWA MUDA WAKO, ASANTE SANA KWA UTUMISHI WAKO, ASANTE SANA KWA UHODARI WAKO, ASANTE SANA KWA USHIRIKIANO WAKO TUNAKUSHUKURU KWA MUDA NA NGUVU ZAKO ULIZOZITUMIA KUJENGA JUMUIYA YETU @uvccm_tz @kenanikihongosi NENDA KAFANYE KAZI KAKA, TUPO NYUMA YAKO NA MUNGU AKAKUONGOZE
Tweet media one
39
44
339
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
KIFO CHA PASI NDEFU KIMEFIKA .. Asante sana Mheshimiwa Rais Dr @SuluhuSamia kwa kuendelea kutushika Mkono Vijana wa Tanzania kwa kuwaongezea Vijana Wasomi BOOM kutoka Shilingi Elfu 8500 kwa siku na kua Shilingi Elfu 10000, hakika huu ni upendo Mkubwa kwetu
Tweet media one
42
36
334
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
7 months
Kwa niaba ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi tunakupongeza Balozi @nchimbie kwa kuaminiwa na kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kuwa Katibu Mkuu, hongera sana
Tweet media one
15
36
333
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 month
Get well soon brother @Sativa255 , niombe vyombo vinavyohusika na uchunguzi vifanye uchunguzi na waliohusika wachukuliwe hatua, UVCCM tunaamini katika falsafa ya Mh Rais ya 4R kwa lengo la kuongoza nchi kwa haki na Demokrasia, Tuendelee kumchangia ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
290
46
327
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Leo nimeendelea na Ziara zangu za Kuwatembelea Viongozi Wakuu Wastaafu wa Jumuiya ya Vijana wa CCM Taifa kwa Kumtembelea Mh Mboni Mhita, aliewahi kuwa Makamo Mwenyekiti UVCCM Taifa ambae kwasasa ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga.
Tweet media one
21
30
322
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Leo nimekutana na kuzungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. @jmkikwete wahenga wanasema VISIMA VYA KALE HAVIFUKIWI .. #SisiNaMamaMleziWaWana #KaziIendelee #YajayoNiNeemaTupu #VijanaJeuriYaChama #MtumishiWenu
Tweet media one
32
30
295
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 month
USHAURI WANGU KWA VIJANA WENZANGU .. Siku moja, watu ambao hawakuwahi kukuamini watasimulia jinsi walivyokutana na wewe .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
109
43
289
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
9 months
Leo nimeshiriki Jukwaa La Maendeleo ya Vijana Duniani liloandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Kikomunist Cha China, lililofanyika katika Mji wa Beijing, lenye malengo ya kujadili na kuweka mikakati juu ya mambo yanayohusu maendeleo ya Vijana Duniani
Tweet media one
28
36
279
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 months
Hii ni nadharia tuu kama zilivo nadharia nyengine ndugu yangu @abdulnondo2 , maana world wide ukiongea au ukisema neno X hakuna asiejuwa kuwa unazungumzia porn video
@abdulnondo2
Abdul Nondo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
@ComradeKawaida anasema(Twitter) kuitwa X ilikuwa ni mbinu ya kutuandaa kisaikolojia .Labda hajui X ina maana kubwa kwa @elonmusk na ni Trade Mark yake. Kampuni zake nyingi zina X . Space X , Tesla Model X ,XAL ,Logo ya StarLink ni X, XNeuralink ,XAish (Mtoto wake).
31
8
50
680
14
279
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
22 days
Sasa kijana unaweza kujiunga na UVCCM kupitia simu yako tu na ukapata taarifa nyingi za kiuchumi, maendeleo na siasa kupitia CCM App Pakua CCM App kwenye Play Store au App Store, kisha Jisajili Kielektroniki, jaza taarifa zako, chagua jumuiya ya UVCCM kisha kamilisha usajili wako
Tweet media one
231
44
272
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
10 months
TANZANIA
Tweet media one
17
23
269
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
25 days
Licha ya uongo, fitina, ubaguzi munazowaeleza bado wameendelea kuwa na Imani na CCM
Tweet media one
203
28
262
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 years
WANAOBEZA JUHUDI ZA RAIS DKT. SAMIA HATUTOWAVUMILIA - KAWAIDA 18 Disemba, 2022 Singida
Tweet media one
Tweet media two
144
21
254
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Leo nilibahatika kuwa Mmoja kati ya Viongozi wa CCM walioshiriki katika Kikao Cha Muhtasari wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama Cha Kikomunist Cha China kilichofanyika Hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam
Tweet media one
Tweet media two
18
33
257
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 months
TUTACHAGUA KUSUKA AU KUNYOA
Tweet media one
Tweet media two
379
29
256
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
8 months
Leo nimeshiriki Mafunzo ya Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Mafunzo hayo yamefungiliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg Kinana ambapo Wajumbe tulifundishwa mada zinazohusu Uongozi na Maadili ili kuongeza Uwezo na Ufanisi, Mafunzo hayo yamefanyika Ikulu Dar Es Salaam
Tweet media one
24
41
255
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Leo nimeanza Ziara zangu Rasmin za Kuwatembelea Viongozi Wakuu Wastaafu wa Jumuiya ya Vijana wa CCM Taifa kwa Kumtembelea Mh Khery Denis James, aliewahi kuwa Mwenyekiti UVCCM Taifa ambae kwasasa ni DC Wilaya Ya Mbulu, Mkoa wa Manyara
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
24
29
247
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
8 months
Asante sana kwa utumishi wako, malezi yako, nasaha na ushauri wako ndugu @chongolo_daniel , UVCCM tunakutakia kila la heri Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Tweet media one
23
36
255
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
3 months
Happy Union Day Vijana wote wa Tanzania, kazi na wajibu wetu iliyobakia ni kuuendeleza na kuulinda Muungano wetu kwa maslahi makubwa ya maendeleo na udugu wetu, umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu .. #TzUnionDay
Tweet media one
Tweet media two
13
31
253
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 months
Zogo tunalolilisikia ni kwasababu hawakutegemea kuona unachokifanya @SuluhuSamia , mama keep moving, watoto wako tupo imara mtaani kuonyesha na kushuhudia kazi zako, uzuri zaidi kazi ya mikopo hii nafuu zinaonekana kila mahali nchini .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
154
40
251
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
5 months
KWAKO MKE WANGU KIPENZI .. Sikuwahi kujua kuwa upendo wa kweli upo hadi nilipokutana na wewe, nakuhitaji maishani (Ulimwenguni) na baada ya maisha (Akhera), HERI YA MIAKA 7 MAISHA YA NDOA
Tweet media one
33
17
245
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 months
Bado hamjasema, tunapo waambia tumejipanga tunamaanisha, sasa iko hivi pikipiki hizi ni mali ya @ccm_tanzania na ndie mnunuzi wa pikipiki hizi kwenda kwa watendaji wake ngazi ya kata nchi nzima, kwani chama chenu kinatumiaje pesa ya vitega uchumi na ruzuku (au hamna) ????
@IAMartin_
Martin Maranja Masese
2 months
. @TunduALissu akiwa Singida anasema @SuluhuSamia kwa jina lake amegawa pikipiki 18,200 zenye nembo za CCM ambazo thamani yake ni TZS 54 bilioni. Kwa kuwa (siyo fedha za serikali), bunge halijaidhinisha. Swali la ufahamu hapa, SSH anatoa fedha hizo wapi? Mshahara au posho?
Tweet media one
85
191
2K
222
33
246
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
10 months
MSIFE MOYO VIJANA WENZANGU, TUENDELEE KUCHAPA KAZI KWA KUJITAFUTA MPAKA PALE TUTAKAPOJIPATA
57
50
244
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Leo nimeendela na Ziara zangu za Kuwatembelea Viongozi Wakuu Wastaafu wa Jumuiya ya Vijana wa CCM Taifa kwa Kumtembelea Mh Mwalim Raymond Mangwala, aliewahi kuwa Katibu Mkuu UVCCM Taifa ambae kwasasa ni DC Wilaya Ya Ngorongoro, Mkoa wa Arusha
Tweet media one
11
24
233
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
8 months
Leo nimeungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr @SuluhuSamia katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Katesh Wilaya ya Hanang, Mkoani Manyara
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
38
29
238
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Leo nimeshiriki kwenye Ibada ya mazishi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa @ChademaTz Ndg. Sylvester Masinde katika kanisa katoliki Parokia ya Mahina Jijini Mwanza na kutoa Salamu za pole.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
29
37
234
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
6 months
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) tunalipongeza Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika wake Mhe. @TuliaAckson kwa kuondoa kigezo cha JKT na JKU kama kigezo cha kupata fursa za kujiunga na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama
Tweet media one
66
30
234
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 years
Tweet media one
34
15
230
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 month
Leo nimeongoza Kikao Maalum cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, Kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu Upanga Jijini Dar es Salaam .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima #TunazimaZoteTunawashaKijani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
62
39
236
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
6 months
USHAURI WANGU KWA VIJANA WENZANGU .. Tunahitaji kiongozi asiwe mwenye kupenda Utajiri bali awe mwenye kupenda Haki, na asiwe mwenye kupenda Umaarufu bali mwenye kupenda Utu .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
110
35
226
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 month
NIMESIKITISHWA SAANA NA TABIA YA BAADHI YA WATU KUIBA MICHANGO KWA AJILI YA NDUGU YETU @Sativa255 , SIO SAWA KWAKWELI, NIMECHUKIA ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก
511
54
228
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
9 months
SIO UJANJA WANGU BALI NI MPANGO WA MUNGU, JITIHADA, NIDHAMU, UTIIFU NA KAZI .. UKIAMUA UNAWEZA, AMUA SASA ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
Tweet media one
29
31
225
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
10 months
Tofauti yao na yetu, halafu anatokea mtu anakwambia Tanzania kuna Chama kikubwa cha upinzani !!!! Kitokee wap ???
Tweet media one
124
23
224
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Leo mimi pamoja na viongozi wenzangu wa @uvccm_tz taifa tulipata bahati ya kushiriki Mazungumzo ya Mheshimiwa Rais Dr @SuluhuSamia pamoja na Viongozi wa @TahlisoOfficial yaliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma .. #AlipoMamaVijanaTupo #KaziIende #YajayoNiNeemaTupu
Tweet media one
14
23
223
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
6 months
Heri ya siku yako ya kuzaliwa Muheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr @SuluhuSamia , mungu akupe umri mrefu wenye khery, afya, baraka na mafanikio lukuki katika Uongozi wako, Vijana Tunakupenda Mno kiongozi wetu ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
24
35
220
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Leo nimeendelea na Ziara zangu za Kuwatembelea Viongozi Wakuu Wastaafu wa Jumuiya ya Vijana wa CCM Taifa kwa Kumtembelea Mh Amos Makala, aliewahi kuwa Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa ambae kwasasa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Tweet media one
Tweet media two
17
25
213
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
5 months
Tweet media one
19
18
218
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 month
Halafu kuna watanzania wapuuzi wanakataa mtandao wa X ulioruhusu kutuma video na picha za ngono aina zote usifungiwe, tuacheni kutawaliwa mawazo yetu na mtu mweupe (Mzungu) Africa must wake up, Watanzania tuacheni ujinga, Mtandao wa X unapaswa kufungwa hapa nchini
@Africa_Archives
Africa Archives โ„ข
2 months
Porn has been banned in Burkina Faso ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ by President Ibrahim Traore Your Comments on this...
Tweet media one
6K
8K
87K
632
10
219
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
10 months
Asante sana Mh @SuluhuSamia kwa kuendelea kuwaamini Vijana kwa kumteuwa Kijana mwenzetu @jokateM kuwa Katibu Mkuu UWT Taifa, Hongera sana Dada, nenda kachape kazi kwa utiifu na uwezo Mkubwa na Mungu akutangulie
Tweet media one
21
31
216
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
10 months
KARIBU SANA NDUGU YANGU @fakihlulandala MUNGU AKUTIE NGUVU, AKUONGOZE NA AKUSIMAMIE KATIKA KUTIMIZA SHABAHA NA MALENGO YA TAASISI YETU, KARIBU TUCHAPE KAZI, KAZI IENDELEE
Tweet media one
16
35
215
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
8 months
Sasa Nizamu ya Ofisi za Makao Makuu Dodoma, Siku ya Tarehe 12 Mwezi wa 12, kuanzia saa 2 Asubuhi hadi Saa 9 Mchana, Vijana wote (Bila Kujali Chama) njooni munitume nami nipo tayari kuwatumikia .. #SautiYaVijana
Tweet media one
51
24
211
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
8 months
USHAURI WANGU KWA VIJANA WENZANGU .. Sio kila mtu anayetofautiana na wewe unamchukia, wengine wameumbwa na Mungu ili kukutengeneza kuwa mtu bora zaidi kwa wema wako .. #SautiYaVijana
Tweet media one
45
35
209
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 years
KITUO KINACHOFUATA .. #Mtumishiwenu
Tweet media one
19
32
202
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 years
UJUMBE WANGU KWA VIJANA WENZANGU .. Akili ndogo hujadili watu wengine (Umbea), Akili nzuri hujadili matukio ila Akili kubwa hujadili mawazo.
Tweet media one
20
24
209
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
10 months
Ikiwa kitu kimoja (Chama) kimewashinda kukiongoza kwa miaka dahari, mtaweza kuongoza vitu viwili (Chama na Nchi) kwa wakati mmoja ??? Watoto wa wakwezi na wakulima tunajiuliza tukiwapa mtajenga kwanza Nchi ama mtajenga Chama ???
Tweet media one
111
38
205
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
KESHO YAKO HUJENGWA NA LEO YAKO .. Unaemuona kwenye Picha ni Dereva Taxi na Muongoza Watalii Zanzibar aliemaliza Elimu yake ya Chuo Kikuu na kuamua kujiajiri katika Sekta ya Utalii, KWANINI UKATE TAMAA NA UNGALI HAI ??? .. HAKUNA MAFANIKIO YA HARAKA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
20
28
205
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
7 months
NIKIWA NA MWENYEKITI WA NGOME YA VIJANA WA ACT - WAZALENDO TAIFA NA MWENYEKITI WA VIJANA WA CHAMA CHA TLP TAIFA
Tweet media one
27
31
207
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
8 months
Jana nimefanikiwa kuzungumza, kusikiliza na kutatuwa Changamoto za Vijana Mbalimbali waliojitokeza katika Ofisi za Makao Makuu Za UVCCM Dodoma, hatuwa hiyo ikiwa ni kutimiza azma, malengo na maelekezo ya Ilani ya Uchaguzi wa CCM ya mwaka 2020 - 2025
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
59
27
203
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
6 months
Leo nimefika Nyumbani kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa Kata ya Masaki Wilaya ya Kinondoni kutoa Pole kwa wana Familia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
15
25
199
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia Mafunzo na Baraza Kuu la UVCCM Taifa kumaliza salama hakika huu ni Upendo Mkubwa kwetu, Long live UVCCM, Long live CCM .. #AlipoMamaVijanaTupo #KaziIende #YajayoNiNeemaTupu #VijanaJeuriYaChama #Mtumishiwenu
Tweet media one
19
29
192
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 month
Ziara ya kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa kutembelea Miradi ya SGR na Bandari ya Dar es Salaam, tulipata bahati ya kusindikizwa na Wenyeviti wa Mikoa na Makatibu wa Mikoa yote Tanzania (Bara na Visiwani) .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima #TunazimaZoteTunawashaKijani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
61
33
193
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
11 months
Leo nimeshiriki katika Mapokezi ya Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania katika uwanja wa ndege Mkoani Mtwara, ambapo Mhe Rais yuko katika ziara ya kikazi katika Mikoa ya LINDI na MTWARA.
Tweet media one
16
25
181
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
4 months
TABASAM NI KINGA NA DAWA KWA KILA MARADHI .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
15
28
187
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 month
USHAURI WANGU KWA VIJANA WENZANGU .. Utaendelea kuteseka ikiwa una mihemko ya kihisia kwa kila kitu unachoambiwa. Ujasiri ni kukaa kimya na kutazama kila kitu kwa mantiki. Ikiwa maneno yanakutawala, basi kila mtu anaweza kukutawala. Pumua na ruhusu mambo kupita .. #SautiYaVijana
Tweet media one
95
37
187
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 months
Leo nimezungumza na Wasomi wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dodoma katika Mahafali Yao, yaliyofanyika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
27
39
183
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
ASANTE SANA DR @SuluhuSamia KWA KUTUAMINI . Nisiposema nitakuwa sijakutendea haki, haikuwa kitu cha kawaida kwa vijana kupata nafasi kwa wingi pindi kila tunapotoa majukumu mbalimbali ya nafasi Serikalini ila katika Utawala wako sasa imekuwa ni kitu cha kawaida TUTAKULINDA DAIMA
Tweet media one
16
25
178
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Wakati wao wanaendelea kukusema kwa ubaya ambao huna ww onesha uungwana kwa kuwasamehe ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
25
27
176
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
4 months
Kwa niaba ya @uvccm_tz leo nimeongozana na @RSrehemasombi na @jokateM kuwapa pole ndugu zetu wa Rufiji pamoja na kutoa msaada wa Mchele kilo 3200 na Mafuta ya kula lita 500 kama sehemu ya mchango wetu kutokana na athari kubwa waliyoipata inayotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
25
34
173
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Leo nimeendelea na Ziara zangu za Kuwatembelea Viongozi Wakuu Wastaafu wa Jumuiya ya Vijana wa CCM Taifa kwa Kumtembelea Mh Shaka Hamdu Shaka, aliewahi kuwa Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa ambae kwasasa ni Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Morogoro.
Tweet media one
Tweet media two
11
26
175
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
10 months
WASIA WANGU KWA VIJANA WENZANGU .. Wakiambiwa wataje mazuri yako watakaa kimya ila wakiambiwa wataje mabaya yako wataongea mpaka wanyamazishwe, hao ndio WANAADAMU ndugu yangu UBINAADAMU KAZI
Tweet media one
28
31
173
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 years
Hongereni sana Vijana wote mulioaminiwa katika nafasi za Ukuu wa Wilaya nendeni mkafanye kazi zenu kwa bidii huku uzalendo uwajibikaji utiifu vikiwa ndio nguzo zenu katika Utekelezaji wa majukumu yenu ili kuweza kuilipa imani ya @SuluhuSamia kwa maslahi mapana ya taifa letu
Tweet media one
15
31
178
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
4 months
Matukio mbalimbali katika picha yanayo onesha Futari iliyoandaliwa na @uvccm_tz kwa kushirikiana na taasisi ya kuhifadhisha Qur-an An-Nujuum iliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
27
174
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
3 months
Leo nimekutana na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian katika Ofisi za Ubalozi wa China Tanzania na kufanya mazungumzo juu ya masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano na urafiki wa kidugu kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC)
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
15
24
172
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Ndugu Vijana Wenzangu wa Tanzania .. Kipande hiki cha Video kinatukumbusha katika Uzalendo na Umajumui, nawaomba kila mmoja wetu aweke kipande hiki cha Video katika mitandao yake ya kijamii ili kuikumbusha jamii kuwa kudumisha na kuilinda Amani yetu ni jukumu letu @SuluhuSamia
95
67
170
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Nawatakia Waislam wote na Watanzania wote kwa ujumla Kheri ya kusherekea Sikukuu ya Eid EL-Fitri. .. #SisiNaMamaMleziWaWana #KaziIende #YajayoNiNeemaTupu #VijanaJeuriYaChama #Mtumishiwenu
Tweet media one
21
28
167
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
3 months
Leo nimeshiriki katika kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichoongozwa na Makamo Mwenyekiti Zanzibar na Rais wa Zanzibar Mhe Dkt Dr Hussein Mwinyi kilichofanyika Afisi Kuu, Zanzibar .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
14
28
169
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
4 months
"Enyi mlioamini tafuteni msaada kwa subira na Sala. Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na wanaosubiri." Qur-an .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
7
20
167
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 years
Katika kuendelea Kuadhimisha Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, jana nilikuwa mmoja kati ya washezaji wa Mechi ya Mpira wa Miguu iliyowakutanisha baina ya Wenyeviti na Makatibu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, Kijiji Cha Bwejuu.
Tweet media one
17
13
164
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
11 months
UJUMBE WANGU KWA VIJANA WENZANGU .. MATATIZO HUISHA KWA KUSEMEZANA NA SIO KWA KUSEMANA TUPENDANE .. #SisiNaMamaMleziWaWana #SisiNaBaBaMleziWaWana #KaziIendelee #YajayoNiNeemaTupu #SautiYaVijana
Tweet media one
32
40
168
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Tweet media one
13
31
160
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
TULIWAACHIE MUSEME SI KWAKUWA MULIKUWA MUKIONGEA UKWEL ILA TULIWAACHIA ILI TUONE UWEZO WENU WA KUFIKIRIA NA KUCHANGANUA MAMBO, LAKINI PIA WATANZANIA WAWAFAHAMU NYINYI NI WATU WA AINA GANI, UKWELI UKIDHIHIRI UONGO HUJITENGA HEKO DR @SuluhuSamia YOUR A CHAMPION ๐Ÿ† ๐Ÿฅ‡
Tweet media one
68
31
165
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Kwa heshima na taadhima na unyenyekevu mkubwa naomba kutumia wasaa huu kuwashukuru wale wote walionitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa, hakika siku yangu ya jana ilikuwa yakipekee mnoo, asanteni sana ndugu zangu ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
21
27
162
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 years
๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
14
17
164
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
2 months
Kama tulivyoifungia mitandao yenye maudhui ya ngono Tanzania kwa kutumia Sheria na Maadili yetu na kwakuwa mtandao wa X nao umeruhusu kutuma maudhui hayo, na mtandao wa X tunapaswa kuufungia kwasababu hauna tofauti na mitandao hiyo mengine ya ngono .. #NitasemaKweliDaima
Tweet media one
500
11
162
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
11 months
Tweet media one
28
18
162
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
3 months
UJUMBE WANGU KWA VIJANA WENZANGU .. Usipoteze muda wako kwa hasira, majuto, wasiwasi, na kinyongo. Maisha ni mafupi sana kutokuwa na furaha .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
23
23
163
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
5 months
USHAURI WANGU KWA VIJANA WENZANGU .. Hakuna aliezaliwa akajuwa na kufahamu kila kitu wote waliofanikiwa walikubali kujifunza .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima
Tweet media one
16
20
161
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
3 months
UZALENDO WANGU NI KULITUMIKIA TAIFA LANGU .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima #KijanaDodomaInakuita
Tweet media one
74
28
161
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
10 months
Leo nimeungana na Viongozi, Waumini pamoja na wananchi wa Mkoa wa Manyara katika Misa Maalum ya Kumbukizi ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Babati Mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba, 2023
Tweet media one
13
18
161
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
1 year
Nawatakia Vijana na Watanzania wote wiki njema yenye mafanikio na uzalishaji .. NAWAPENDA SANA .. #AlipoMamaVijanaTupo #KaziIende #YajayoNiNeemaTupu #VijanaJeuriYaChama #Mtumishiwenu
Tweet media one
17
35
159
@ComradeKawaida
Mohammed Kawaida
10 months
Nawatakia Waislam na wa Tanzania wote heri ya Maulid, ikawe siku miongoni mwa masiku ya khery na mafanikio makubwa katika harakati za utafutaji na uhangaikaji katika maisha yetu ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
12
25
159