Airtel Tanzania Profile Banner
Airtel Tanzania Profile
Airtel Tanzania

@airtel_tanzania

325,480
Followers
20,458
Following
11,588
Media
98,031
Statuses

Welcome to the Official Twitter Account of Airtel Tanzania. *** Customer First ***

Airtel House, Morocco
Joined May 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 years
Hamia Airtel Supa 4G. Peruzi, strim video mtandaoni kwa kasi zaidi isiyo na kifani unapotumia intaneti ya #AirtelSupa4G Tembelea maduka ya Airtel au mwakala wetu walioko kote nchi nzima kubadili laini yako kuwa 4G upate GB 7 bure ufurahie spidi babkubwa ya Supa 4G. #Airtel
Tweet media one
831
132
3K
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
5 years
Sasa tunakuletea Airtel Money Master Card inayokuwezesha kufanya malipo mtandaoni kwa kutumia menyu ya Airtel Money. Piga *150*60#, kisha chagua namba 6: Huduma za kifedha, chagua namba 1: Airtel Money Master Card ili kutengeneza kadi yako. #AirtelMoneyMasterCard #Airtel
Tweet media one
172
70
2K
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 years
Bado siku 1 na kwa mara nyingine tena tukiwashe na burudani ya kibabe kwa mserereko wa intaneti yenye kasi ya SUPA 4G. Zawadi matata ikiwemo kolabo na @aytanzania Jiunge nasi kesho saa 1 kamili usiku uoneshe uwezo wako. #AirtelSUPA4G #SUPARAP
Tweet media one
75
40
1K
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
1 year
Saa tatu kamili tunaanza kudondosha vocha za Mkono wa Eid. Retweet kisha kaa karibu na ukurasa wetu ujizolee vocha za BURE. #MkonoWaEid #EidMubarak
Tweet media one
197
692
1K
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 years
Vibe bado lipo pale pale, tukutane kesho kutwa alhamisi, saa moja kamili usiku tukiwa Live na @aytanzania ili tuoneshane uwezo wa kurap kwa spidi ya Supa 4G na tuone nani ataibuka mshindi na kujinyakulia zawadi. cc @aytanzania #AirtelSUPA4G #SUPARAP
Tweet media one
53
40
1K
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 years
Unataka kulipia huduma au bidhaa na pesa yako haitoshelezi?. Airtel Money inakusaidia KUKAMILISHA malipo papo hapo bila wasiwasi. Piga *150*60# kisha chagua 0: Ongeza pesa kukamilisha malipo #AirtelMoneyJiraniYako . #KamilishaNaAirtelMoney
Tweet media one
144
39
1K
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
TUMA NA KUTOA PESA BILA TOZO! Tunazidi kuboresha maisha yako, sasa tuma na kutoa pesa bila tozo kwa kiwango kisichozidi Tsh 29,999/=  Airtel Money tunalipa tozo kwa niaba yako. Hamia Airtel Money okoa gharama za tozo. Piga *150*60# sasa. #HamiaAirtelMoneyOkoaTozo #AirtelMoney
92
45
1K
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
Ni kutoka Airtel Money pekee. Sasa unaweza kutuma na kutoa pesa BILA TOZO kwa kiwango kisichozidi sh 29,999 Airtel Money tunalipa tozo kwa niaba yako. Piga *150*60# au pakua My Airtel App hapa: kutuma au kutoa pesa #HamiaAirtelMoneyOkoaTozo #AirtelMoney
Tweet media one
131
38
1K
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 years
Tukutane saa moja kamili usiku leo kwenye Insta Live yetu na @aytanzania yaani unapata burudani na zawadi juu huku ukiwa na spidi kali ya #AirtelSUPA4G #SUPARAP
Tweet media one
51
28
1K
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
4 years
Tembelea maduka yetu ya Airtel au mawakala wetu kubadili laini yako kuwa 4G na ufurahie kuperuzi mtandaoni kwa kasi zaidi na intaneti ya Airtel 4G. #Airtel4G
234
38
1K
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 years
Kama kawaida, tukutane saa moja kamili usiku leo Instagram Live na @AyTanzania yaani unapata burudani na zawadi juu huku tuki-bang na spidi kali ya #AirtelSUPA4G . Si ya kukosa. #SUPARAP
Tweet media one
32
27
1K
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 years
SUPA RAP inaendelea alhamisi wiki hii, saa 1 kamili usiku, na kama kawaida tutakuwa Live na @aytanzania Jiunge nasi ili upate nafasi ya kuonesha uwezo wako wa kurap kwa spidi ya SUPA 4G na uibuke mshindi wa zawadi kibao. cc @aytanzania #AirtelSUPA4G #SUPARAP
Tweet media one
33
37
1K
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
Hamia #Airtel ufurahie DAKIKA, MB na SMS zaidi kwa kujiunga na vifurushi vya OFA YAKO. Piga *149*99# chagua 1: OFA YAKO kisha chagua UNI OFA. #HamiaAirtelSupa4G
84
46
952
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Utaingia ndani ya Box na ukamate mkwanja ndani ya dakika 1. Retweet hii kama utaweza kukamata mkwanja wa kutosha kwa dak1 #MkwanjikanaAirtel
152
567
839
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
4 years
Peruzi mtandaoni kwa kuunganishwa na Airtel 4G Pocket WiFi yenye uwezo wa kuunganisha hadi watu 10 huku ukinunua bando kupitia My Airtel App. Agiza tukuletee ulipo bure kwa kupiga simu namba 0694 200 200. #4GPocketWiFi #KuwaMakiniBakiSalama
Tweet media one
132
31
866
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
Hamia #Airtel ufurahie DAKIKA, MB na SMS zaidi kwa kujiunga na vifurushi vya OFA YAKO. Piga *149*99# chagua 1: OFA YAKO kisha chagua UNI OFA. #HamiaAirtelSupa4G
108
28
831
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
4 years
Pata GB za KUTOSHA kila unapojiunga na vifurushi vya Intaneti na YATOSHA JANJA LAO Piga *149*99# kujiunga #YatoshaJanjaLao #Airtel
Tweet media one
83
16
647
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 years
Imebaki siku 1 tukutane tena Live Instagram na @AyTanzania Njoo ufurahie burudani huku tukioneshana uwezo wa kurap kwa spidi ya #AirtelSupa4G . Zawadi matata zikiwemo Airtel 4G Pocket Wi – Fi kutolewa kwa washindi pamoja na zawadi kubwa ya kolabo na @AyTanzania #SUPARAP
Tweet media one
13
16
636
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
“Mimi ni Yaya Toure, mmoja kati ya nyota wa Africa” Hata wewe unaweza kuwa nyota mpya wa Africa
84
143
635
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 years
Jinoe na uwe tayari kuonesha makali yako ya kuchana kwa spidi ya #AirtelSupa4G . Ni Alhamisi hii saa 1 kamili usiku ambapo tutakuwa Live Instagram na @aytanzania . Zawadi matata ikiwemo kolabo na @aytanzania #AirtelSUPA4G #SUPARAP
Tweet media one
9
13
578
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
1 year
Kula Vocha hiyo ujimwage na vifurushi vya OFA YAKO sikukuu hii ya Eid. Kama hujapata bofya RETWEET kisha saa sita mchana uwe karibu na page yetu maana tunadondosha nyingine. Piga *149*99# kupata OFA YAKO. #MkonoWaEid
Tweet media one
64
227
427
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
1 year
Diamond Platnumz ameshajisajili ili kutumia eSIM, yaani kupata mawasiliano ya simu bila kuwa na laini halisi Huduma ya eSim inaunganishwa moja kwa moja kwenye simu ambazo zina EID. Kufahamu kama simu yako ina EID piga namba * #06 # Tembelea duka la Airtel kwa msaada na maelezo
Tweet media one
75
37
443
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 years
Bado siku 2! Tukiwashe na burudani ya kibabe kwa mserereko wa intaneti yenye kasi ya SUPA 4G. Burudani mubashara Instagram Live ya @airtel_tanzania & @aytanzania #AirtelSUPA4G #SUPARAP
Tweet media one
14
9
399
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Mshindi wa #AirtelTRACEStar season 1 @Mayungaa akiperform wakati wa uzinduzi wa #AirtelTRACEStar season 2
13
39
394
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
5 years
Fanya malipo mtandaoni kwa usalama msimu huu wa Black Friday kwa kulipia na Airtel Money Mastercard. Piga *150*60# na chagua namba 6: Huduma za kifedha, kisha chagua namba 1: Airtel Money Master Card kutengeneza kadi na ufanye malipo. #BlackFriday2019 #AirtelMoneyMasterCard
Tweet media one
26
16
383
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Mchongo upo kama hivyo. Utanyaka mkwanja kiasi gani kwa dakika 1 #MkwanjikaNaAirtel 🎄💰
31
72
386
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Meneja Masoko Airtel Bi Anethy Muga akionyesha ofa mpya ya ongezeko la muda wa masaa 25 ya vifurushi vya Yatosha.
Tweet media one
36
51
372
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
5 years
Lipia tiketi yako ya ndege ya Air Tanzania kwa urahisi na usalama kiganjani mwako na Airtel Money Mastercard. Piga *150*60# kutengeneza kadi yako na ulipie tiketi yako chapchap. #AirtelMoneyMastercard #AirtelMoney #Airtel
Tweet media one
12
22
342
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
5 years
Furahia namna bora na salama ya kufanya malipo mtandaoni kwa kutumia Airtel Mastercard kwa kupitia menyu yako ya Airtel Money. Tengeneza kadi yako kwa kupiga *150*60# na uanze kufanya malipo sasa. #AirtelMoneyMasterCard #AirtelMoney #Airtel
Tweet media one
23
9
324
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 years
Bado siku 1 tukiwashe na burudani ya kibabe kwa mserereko wa intaneti yenye kasi ya SUPA 4G. Zawadi matata ikiwemo kolabo na @aytanzania #AirtelSUPA4G #SUPARAP
Tweet media one
11
9
320
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Retweet kuwatonya wana mchongo ni kucheki videos YouTube BURE ukiwa na Yatosha Intaneti Piga *149*99# sasa
Tweet media one
34
160
324
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
HAMIA AIRTEL SUPA 4G. Katika kuboresha upatikanaji wa intaneti yenye kasi zaidi, isiyosuasua na iliyoenea zaidi nchini, Airtel jana ilizindua kampeni ya Hamia Airtel Supa 4G huku ikitangaza mabalozi wake wapya @diamondplatnumz na @JotiOfficial #HamiaAirtelSupa4G
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
24
16
312
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
5 years
Airtel Money Mastercard inanipa sababu ya kufurahia weekend yangu kipekee kwa kuniwezesha kulipia kifurushi changu cha movie online kwa urahisi na usalama. Piga *150*60# kutengeneza kadi yako na uanze kufanya malipo. #AirtelMoneyMastercard #AirtelMoney #Airtel
Tweet media one
17
9
292
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Share matukio pia chat BURE kwenye facebook ukiwa na Airtel pekee Piga *148*88# sasa!!! #BilaSalioWalaMB RT 👍
Tweet media one
63
36
303
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
5 years
“Sina wasiwasi linapokuja suala la kulipia vitabu kwa ajili ya masomo yangu, Airtel Money Mastercard inanisaidia kufanya yote kiganjani mwangu.” #AirtelMoneyMastercard #AirtelMoney #Airtel
Tweet media one
24
11
294
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Kwangua vocha ya Airtel au Yatosha uingie kwenye droo kushindania hadi Tsh Mil 300 #MkwanjikaNaAirtel
23
50
278
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Tutonye hapa ni video gani ya bongo inabamba kwa sasa. Peruzi YouTube BURE ukiwa na #YatoshaIntaneti Piga *149*99#
Tweet media one
61
59
271
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
5 years
Mambo ya Vacation msimu huu wa Sikukuu, Airtel Money Mastercard inanipa fursa ya kulipia Tiketi yangu ya Ndege kwa haraka na urahisi kiganjani mwangu. #AirtelMoneyMastercard #AirtelMoney #Airtel
Tweet media one
15
9
243
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
Hamia sasa Airtel Supa 4G ukiungana na Simba @diamondplatnumz kufurahia intaneti yenye kasi zaidi, haina kusuasua na iliyoenea nchi nzima. #HamiaAirtelSupa4G
13
20
251
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Pata Intaneti ZAIDI ukiwa na YATOSHA ufurahie kuperuzi na kuchat na wana, Piga *149*99# kujiunga 👊
Tweet media one
31
33
245
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
Jiunge na bando za intaneti za #Airtel na ufurahie kupata MB nyingi zaidi kuperuzi, kustrim au kupakua chochote mtandaoni huku ukifurahia spidi kali ya intaneti ya #AirtelSupa4G . Piga *149*99# kisha chagua 5. #HamiaAirtelSupa4G
Tweet media one
65
12
242
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
Pata DAKIKA zaidi na za SMS za kutosha kwa kujiunga na vifurushi vya muda maongezi kutoka #Airtel . Piga *149*99# kisha chagua 4: #HamiaAirtelSupa4G
Tweet media one
39
10
236
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Kipi kinachanganya zaidi ndani ya Mkwanja Box kati ya Upepo na Nyekundu nyekundu #MkwanjikaNaAirtel
35
34
227
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 years
Tunaamsha vibes za SUPA RAP kwa burudani inayokuja na zawadi za kumwaga. Usikose Alhamisi hii kwenye Instagram live ya Airtel Tanzania na @aytanzania #AirtelSUPA4G #SUPARAP
4
5
223
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
1 year
Mkurugenzi wa Mawasiliano #Airtel Tanzania Beatrice Singano (kushoto) pamoja na msanii wa kizazi kipya @diamondplatnumz (katikati) ambaye ni balozi wa Kampuni ya Airtel wakizindua aina mpya ya laini ya simu ya mkononi inayoitwa eSIM (laini inayounganishwa moja kwa moja na simu)
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
26
30
232
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Piga *149*99# chagua ofa kwa ajili yako, Napenda Asubuhi. Ukishajiunga mara moja, kila siku utapata ofa hii BURE! Napenda Asubuhi Sibanduki
Tweet media one
12
21
219
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
Hamia Airtel upate DAKIKA, MB na SMS zaidi kwa kujiunga na vifurushi vya OFA YAKO. Piga *149*99# chagua 1: OFA YAKO kisha chagua UNI OFA. #HamiaAirtelSupa4G
Tweet media one
39
10
214
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
PIGA 0901002233 ushinde dili la kurekodi na KERI HILSON na mkwanja wa milioni 50!!! #AirtelTraceStar 🎶
Tweet media one
8
34
215
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
7 years
Kuna matikiti mangapi? Ukishindwa usitokwe na povu RT kwa wana.
Tweet media one
160
7
209
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Pata MB ZAIDI za kuperuzi mtandaoni kama mvua ukiwa na kifurushi cha Yatosha!!! Piga *149*99# kujiunga 👍
26
29
203
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
Hamia sasa Airtel Supa 4G ukiungana na Simba @diamondplatnumz kufurahia intaneti yenye kasi zaidi, haina kusua sua na iliyoenea nchi nzima. #hamiaairtelsupa4g
9
10
194
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
1 year
Mwenye kupata na apate ajiunge vifurushi vya OFA YAKO sikukuu hii ya Eid. Piga *149*99# Kumbuka ku-RETWEET wana waone michongo ya Airtel. #MkonoWaEid
Tweet media one
71
76
195
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Kwangua vocha ya Airtel uingie kwenye droo ya kushindania hadi Tsh Mil 300 #MkwanjikaNaAirtel 🎄💰 Retweet kwa wana
17
67
173
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Ukiwa na Airtel Money unaweza kufanya mengi zaidi kwa UNAFUU na UHAKIKA. Piga *150*60# sasa! RETWEET #NafuuNaHakika
10
36
153
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 months
TAARIFA KWA UMMA / PUBLIC NOTICE
Tweet media one
Tweet media two
81
14
144
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Mr. Money anakuletea huduma zenye Unafuu na Uhakika kwa Airtel Money...Piga *150*60# ujionee mwenyewe #NafuuNaHakika
Tweet media one
3
13
139
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Wajanja wanajiachia na maujanja ya huduma za uhakika kama vifurushi bomba na mikopo nafuu ya TIMIZA #TeamSibanduki
Tweet media one
4
17
136
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
6 years
Tuliza kichwa kisha funguka hapa ni samaki yupi yuko tofauti?
Tweet media one
217
8
138
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
Ni muda wako wa kupata ZAIDI. Hamia #Airtel ufurahie DAKIKA, MB na SMS zaidi kwa kujiunga na vifurushi vya OFA YAKO. Piga *149*99# chagua 1: OFA YAKO kisha chagua UNI OFA. #HamiaAirtelSupa4G
Tweet media one
38
6
127
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
RETWEET kuitakia familia wikiendi njema na mapumziko mema 👨‍👩‍👧‍👦
Tweet media one
2
13
108
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
#TBT Mayunga mshindi wa ATMS 2015 alipokuwa US na Akon. Hata wewe unaweza kuwa staa mpya wa Afrika. PIGA 0901002233
Tweet media one
2
22
124
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 months
Pongezi ziende kwa balozi wetu wa #AirtelTanzania @diamondplatnumz kwa kushinda Tuzo ya MTVEMA 2023 kama Msanii bora kutoka Afrika kwa mara ya 3. Endelea Kustrimu ngoma za Diamond ukiwa na bando zililizonona za Ofa yako.
Tweet media one
3
9
123
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
Tweet media one
7
11
115
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Nunua muda wa maongezi kwa Airtel Money upate nyongeza ya buku moja BURE uchonge na umpendaye 😊 #NafuuNaHakika
10
16
113
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Sasa furahia MB zaidi za kuperuzi mtandaoni ukiwa na kifurushi cha Yatosha!!! Piga *149*99# kujiunga
Tweet media one
9
11
113
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Retweet kuwashtua wana kuchonga kabla ya kulala. #YatoshaNyts Piga *149*99#
Tweet media one
7
75
109
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
3 months
TAARIFA KWA UMMA / PUBLIC NOTICE
Tweet media one
Tweet media two
56
11
112
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Elizabeth ni shujaa aliyewezeshwa na yeye kawawezesha vijana wawili.Retweet hii kumpongeza Eliza #AirtelFursa http://t.co/EtSFNaghIk
Tweet media one
4
57
96
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Hili ni eneo maarufu sana nchini, tuambie liko Mkoa gani? Retweet kama ushawahi pita hapa 👍
Tweet media one
41
40
95
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Yatosha ya siku sasa inadumu MASAA 25!!! Piga *149*99# kujiunga Yatosha ya siku ndio dili la kibabe mjini (y)
Tweet media one
25
17
104
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
10 years
Ume switch on leo? #switchOn na ufurahie intaneti full makamuzi bila kuwaza kuishiwa na MB. Piga *148*22# sasa. TGIF http://t.co/1r50iwOImm
Tweet media one
77
73
99
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
SHINDA Magnus Bravo Z11 na #JipimieYatosha Challenge kwa kupanga picha! Shiriki hapa
Tweet media one
4
12
92
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
7 years
Kwa mfano leo tunatoa tuzo kwa msanii bora wa kiume, ungempendekeza nani?
Tweet media one
82
3
102
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Tupia picha Facebook upate Likes na Comments za kumwaga!! Wajanja wote wana FACEBOOKA mwanzo mwisho #BilaSalioWalaMB
6
12
99
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Wwatatu wa kwanza kutabiri kwa usahihi watajishindia kifurushi cha YATOSHA yenye MB ZAIDI kinachodumu MASAA 25!!!
Tweet media one
18
9
92
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Airtel inathamini kila shilingi yako, na inakuwezesha kutuma Pesa BUREE mara nyingi upendavyo bila kukatwa senti
Tweet media one
23
32
96
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
10 years
Don't miss the #YatoshaZaidi show this Sunday on @ITVTANZANIA at 9:30pm as we announce our first Toyota IST winners http://t.co/nDNhf8Ps3B
Tweet media one
19
43
90
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Pokea mkono wa Eid na Samsung J100 pamoja na selfie stick, kwa kuwa wa kwanza kutoa jibu sahihi. #EidMubarak http://t.co/st4OW65RJp
Tweet media one
66
20
72
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Shinda dili la kurekodi na mwanamuzi KERI HILSON pamoja na mshiko!!! Piga 0901002233 kushiriki #AirtelTRACEStar
Tweet media one
6
14
88
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
5 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisajili laini yake ya simu kwa alama za vidole katika duka la Airtel Money Branch mjini Chato, mkoa wa Geita, leo Desemba 27, 2019. #Airtel
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
14
86
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Na wewe unaweza kufaidika na mchongo huu wa #AirtelFursa . Karibu hapa http://t.co/FzHj4hKijA http://t.co/nGa8DGFbIR
Tweet media one
16
28
82
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
10 years
Furahia WhatsApp, Facebook na Twitter bure kila unaponunua yatosha!! Airtel bado ni baba lao. http://t.co/2epH6SuXHf
59
46
81
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Jitest hapa kisha share na washkaji.
Tweet media one
8
7
72
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Jinyakulie buku tano muda wa maongezi kwa kuwa wa kwanza kutoa utabiri sahihi wa matokeo. Kazi kwenu wazee wa kubet. http://t.co/wFkyanfFDC
Tweet media one
39
10
74
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Ifanye simu yako iwe ya kijanja kwa kukamata Yatosha yenye MB zaidi uperuzi maujanja. Piga *149*99# RT kwa wana.
Tweet media one
6
9
81
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Amani Haruna ndani ya Box la mkwanja, otea kiasi gani atachomoka nacho? #MkwanjikaNaAirtel
8
11
81
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Sifa ya huu eneo hili maharage yao dakika sifuri yako mezani kuliwa, tuambie tuko wapi? RT kama ulishawahi fika 👍
Tweet media one
20
13
72
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Mjanja lazima adondoshe jibu hapa kisha na Retweet kuwateteresha washkaji. Twende kazi wadau (y)
Tweet media one
31
12
73
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
7 years
HatupimiBando inawapatia wateja wetu nchi nzima uhuru wa kuongea na uwapendao kulingana na aina ya kifurushi ulichochagua. PIGA *149*99#
90
11
72
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Teleza BURE na 5O MB kuanzia saa 12 hadi 2 asubuhi kila siku .Sasa utapenda kila kitu kuhusu asubuhi #NaLikeAsubuhi http://t.co/DWFjLpFWoO
Tweet media one
24
34
77
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
AIRTEL YAZAWADIA WATEJA WAKE MARA TANO ZAIDI MUDA WA MAONGEZI. #5ZAIDI http://t.co/pGgOupfQd0 http://t.co/GBV7oO3J6o
Tweet media one
26
28
76
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Furahia Youtube BURE, kamata #YatoshaIntaneti piga *149*99# videos kiganjani kwa kasi ya ajabu. #AirtelFreeVideos
Tweet media one
11
20
76
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
2 years
Kesho tuna jambo bab-kubwa kwa ajili yako. Kaa tayari #Airtel
Tweet media one
36
10
75
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Hata kabla ya vipindi vya asubuhi, Teleza na 50 MB za intanet BURE! Usikose stori zote za instagram na facebook :) http://t.co/D57qEVmfO7
Tweet media one
21
29
78
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Kuwa Staa mpya wa Afrika, jishindie dili la kurekodi na Keri Hilson pamoja na mshiko Piga 0901002233 sasa 🎤🎤🎤
6
10
75
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
5 years
Je, mtoto wa 3 anaitwa nani?
Tweet media one
70
3
74
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
9 years
Video kibao zimedondoka mtandaoni kama Never Ever ya Vee money, Kamata #YatoshaNyts ufurahie kuperuzi Piga *149*99#
Tweet media one
12
23
75
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
1 year
@diamondplatnumz 🦁 akinguruma stejini katika uzinduzi wa Kituo cha Mkongo wa Baharini cha Airtel 2Africa pamoja na Intaneti yenye kasi mara 20 zaidi ya Airtel 5G
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
4
71
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Mdondoshee mwana mtonyo mambo yaende sawa!!! Tuma mkwanja BURE Piga sasa *150*60# sasa #NafuuNaHakika RT kwa wana 👍
4
12
67
@airtel_tanzania
Airtel Tanzania
8 years
Mjanja hawezi pita hapa bila kugonga LIKE na kudondosha jibu, twende kazi watu wetu wa nguvu 💪 ukishindwa RETWEET
Tweet media one
22
7
67