Tony Profile Banner
Tony Profile
Tony

@clitonmichael

1,067
Followers
568
Following
970
Media
14,551
Statuses

Fear is What if and Faith is Even if.

Mebho
Joined December 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@clitonmichael
Tony
27 days
AKILI KUBWA NI MALI YA RAIS: @TunduALissu na @MariaSTsehai ni Akili Kubwa Mwaka 2019 Rais Kenyata aliwahi kukiri kuwa "Hatuwezi kuacha akili za Rais zizagae Mtaani, acha tuzitumie kwa maslahi ya Taifa" Maana yake ni kuwa watu wote wenye akili kubwa, Fikra pevu na ambao ni
Tweet media one
40
151
672
@clitonmichael
Tony
21 days
Dunia imeshuhudia wanawake walioweza kuusuta mfumo wa kibwanyenye katika nchi zao. Sisi Tanzania tumeyaona mengi na mazuri kutoka kwa Mwanamajumui huyu wa Kisasa. @MariaSTsehai ndiye mwanamke pekee anayeifanya serikali ya Tanzania isilale usingizi kulinga na harakati zake ambazo
Tweet media one
49
92
474
@clitonmichael
Tony
1 month
@SuluhuSamia JULIUS NYERERE: Mtumwa na Mhanga wa Maono yake. Uliishi, unaishi, utaishi. Kambarage, Baba wa Taifa. Uliacha Taifa, sasa tuna nchi. Uliongoza kutokea nyuma, katikati na mbele yetu. Ulikosoa, ulikosolewa, ulijikosoa. Ulikosoa chama chako, ulikosoa serikali yako, ulijikosoa
5
11
137
@clitonmichael
Tony
1 month
@mkainerugaba Your father is not a greatest president but the oldest president 😂😂
3
2
130
@clitonmichael
Tony
15 days
@ExMayorUbungo "IF I DIE IN THE BATTLE FIELD TELL MAMA I DID MY BEST" ~ James Gikonyo, Kijana aliyeuawa katika Maandamano ya Gen-Zs nchini Kenya. Mabadiliko yoyote yana gharama zake hasa yale ambayo yanahusisha mfanano wa rangi. Ikiwa kweli tunataka mabadiliko basi tusitarajie kama tutayapata
2
18
118
@clitonmichael
Tony
29 days
Shikamoo mama @Dr_DGwajima . Ninaomba tumsaidie huyu binti arudi shuleni; alifaulu kujiunga na sekondari mwaka huu, alipaswa kuwa form I ila wazazi wake walimzuia asiende sekondari kwa kigezo kuwa wanahitaji mahari. Nilimfundisha katika shule moja mkoani Mara, wilayani
Tweet media one
4
18
117
@clitonmichael
Tony
21 days
Mwenyezi Mungu awatetee popote mlipo. Ninawaombe! Ninawalilia 😢🤲🏿🙏🏿 #FreeThemAll Cc: @MariaSTsehai
6
45
114
Libarikiwe tumbo la mama aliyemzaa huyu shangazi @MariaSTsehai . Nchi hii ina wanawake wengi sana ila yeye pekee ndiye aliyechagua kuwakabili watawala. Hakika, sio kila mtu anaweza kuwa mwanaharakati, sio kila mtu anaweza kuwa mwanasiasa, mambo haya wakati mwingine ni wito!
Tweet media one
10
19
106
@clitonmichael
Tony
23 days
@fatma_karume Harakati zako Shangazi sijawahi kuzielewa kabisa; ni kama mzani huwa haubalansi, ulishashindwa kujitenga na Mama na ni kwa sababu ni Mzanzibari mwenzako... Siyo mbaya kutetea utaifa wako ila linapokuja jambo kuisema KWELI, iseme bila kujali utaifa wako.
1
1
82
@clitonmichael
Tony
28 days
@earadiofm Hao ndiyo wasomi wa Taifa hili wanaotarajiwa kutunga sheria, sera na mipango ya nchi hii😂
4
0
68
@clitonmichael
Tony
1 month
@MariaSTsehai Wametuzuia kupata habari Wakatuzuia kutafuta habari Wakatuzuia kutoa habari Wakatuzuia kufiwa Wakatuzuia kulia Wakatuzuia tusiseme tunaumwa nini Sasa wanatuzuia tusiseme wangapi hatima ya Wamasai! Kwa nini wasituzuie kufa? Hilo zuio litamaliza mgogoro wote.
3
6
67
@clitonmichael
Tony
2 years
"Kuna vyeo vyenye Madaraka, kuna vyeo vyenye Mamlaka na kuna vyeo vyenye Ushawishi tu. Usipojua mipaka ya madaraka, mamlaka na ushawishi utajikuta katika matatizo na lawama." ~Togolani Mavura @tonytogolani
1
19
62
@clitonmichael
Tony
14 days
@ComradeKawaida Hivi wewe ni M/Kiti wa @uvccm_tz kweli? Mbona uwezo wako mdogo sana
3
1
58
@clitonmichael
Tony
20 days
@ajirapsrs Hiki ni nini tena? Tunaomba mhusika achukuliwe hatua. #UsahiliSioUkatili
24
16
57
@clitonmichael
Tony
1 month
@Jambotv_ @Mwabuk2Boniface @ChademaTz Nafikiri pia kumpongeza Rais wa sasa wa @TanganyikaLaw na wengine wawili waliopita: @TunduALissu na @fatma_karume kwa kusimamia misingi na sheria ya kuanzishwa kwa chama hicho. Leo tunayoyaona yanatokana na uthubutu wa Rais @Mwabuk2Boniface kuamua kusimamia sheria za kuanzishwa
5
2
55
@clitonmichael
Tony
1 month
@Isaacklasway1 Ni ukweli ila watasema una ubaguzi na wakikumata wanakufungulia kesi ya uuzaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya😂😂
2
0
44
Hawa ni miongoni mwa mabinti wapambanaji niliofanikiwa kuwajua kupitia #Twitter . Wamekuwa sehemu ya hamasa kuwa sana hasa katika masuala ya mazingira. Ndugu @ms_upendo na @Regina_Magoke ni wanaharakati wa kupigiwa mfano kutokana na kazi nzuri wanazozifanya. #SaveThePlanet
Tweet media one
Tweet media two
3
5
41
@clitonmichael
Tony
1 month
@millardayo Hatua ya 1: Tengeneza tatizo. Hatua ya 2: Jitenge na hilo tatizo. Hatua ya 3: Jifanye unaguswa na tatizo ulilolitengeneza. Hatua ya 4: Tatua hilo tatizo katika namna inayofanikisha malengo yako. Hatua ya 4: Hakikisha unapongezwa kwa juhudi.
2
0
41
@clitonmichael
Tony
1 month
@fatma_karume Nafikiri pia kumpongeza Rais wa sasa wa @TanganyikaLaw na wengine wawili waliopita: @TunduALissu na @fatma_karume kwa kusimamia misingi na sheria ya kuanzishwa kwa chama hicho. Leo tunayoyaona yanatokana na uthubutu wa Rais @Mwabuk2Boniface kuamua kusimamia sheria za kuanzishwa
0
1
41
@clitonmichael
Tony
1 month
@MariaSTsehai Hatua ya 1: Tengeneza tatizo. Hatua ya 2: Jitenge na hilo tatizo. Hatua ya 3: Jifanye unaguswa na tatizo ulilolitengeneza. Hatua ya 4: Tatua hilo tatizo katika namna inayofanikisha malengo yako. Hatua ya 4: Hakikisha unapongezwa kwa juhudi.
2
2
39
@clitonmichael
Tony
2 years
@swahilitimes Nilijua tu kitakachomkuta. Taifa hili limeathiriwa pakubwa sana na watawala wetu. It'll take ages to change.
2
0
39
@clitonmichael
Tony
29 days
@eastafricatv @TunduALissu Kwahiyo Lissu ni Simba ila sisi wengine ni mbwa😂😂😂
7
0
39
@clitonmichael
Tony
23 days
#NamliliaSokaNaWenzake Ni kweli walikukosoa, Ni kweli walitangaza maandamano, Ni kweli walikufanya usipate usingizi. Lakini, walikuwa wanatimiza takwa la kisheria na kikatiba kama jinsi wewe ulivyoupata Urais kwa takwa la kisheria na kikatiba. Sasa iweje, wapotee, iweje watekwe
Tweet media one
2
25
38
This is one of the few young girls who have a strong desire to raise their voice about the #ClimateChange and the environment in general. Keep the fight 👊 @Regina_Magoke . #SaveThePlanet
Tweet media one
1
6
39
Anaitwa @PaulKagame , shabiki mkubwa wa @YoungAfricansSC ... Hakika, sisi wana🔰 tunajivunia sana kucheza nchini mwake. Al Merrikh ataloana nje ndani Cc: @1960Remija @KrisLitombo @thisistemidayo @Carotherunner twende zetu Kigali🔰🔰🔰🖐️
Tweet media one
2
3
34
@clitonmichael
Tony
25 days
@shaffihdauda1 Mchambuzi uliyefeli mtihani huna uhalali wa kuizungumzia Yanga
4
1
37
@clitonmichael
Tony
23 days
Ukizungumza kuhusu #Harakati hawa watu wawili: @TunduALissu & @MariaSTsehai wana consistency and relevance. Kwa mtazamo wangu, hawa ndiyo wana uhalali mkubwa zaidi wa kujiita wanaharakati. Imagine, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angekuwa @TunduALissu na Makamu wa Rais
Tweet media one
6
9
35
@clitonmichael
Tony
2 years
@mwigulunchemba1 Mheshimiwa naomba basi Sh. 10,000 hapo na mimi nimwagilie moyo.
1
0
33
@clitonmichael
Tony
2 years
"Mtoto mjenge kabla ya kumjengea. Ukihangaika sana kumjengea bila kumjenga yeye mwenyewe, hatakuwa na uwezo wa kuviendeleza ulivyomjengea. Ukimjenga yeye, hata usipomjengea, atajenga vyake."~ Togolani Mavura @tonytogolani
1
8
34
Their land. Their heritage. Their legacy. Their lives. Their pride. Their rights. Their dignity. Their freedom. Their stories. Their dreams. Their culture. Their traditions. #MustBeProtected
Tweet media one
2
12
32
@clitonmichael
Tony
1 month
@fatma_karume Urembo na uzuri wa ujana hufifia, lakini mng'ao wa maisha yenye uadilifu kamwe hauzimiki. Class is permanent Shangazi!!
1
0
33
@clitonmichael
Tony
29 days
@IdrisSultan Sawa, mkumbushe kuwa @DEUSDEDITHSOKA na wenzake hawajulikani walipo na machozi na damu yao vinamlilia
0
0
32
@clitonmichael
Tony
2 years
"Hakuna kitu rahisi katika maisha, hata kuomba kunahitaji ufundi, maarifa na jitihada, huwezi kuirahisisha sala kisha utegemee Mungu aijibu." ~Togolani Mavura @tonytogolani
2
8
32
@clitonmichael
Tony
2 years
“Yanayoendelea yanasababishwa na katiba tuliyonayo kama tukipata katiba imara itapunguza madaraka ya Rais na kurejesha mamlaka kwa wananchi, wananchi tunawajibu wa kupigana mabadiliko haya ” - @DiplomaticMasai #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
0
10
32
@clitonmichael
Tony
20 days
Hii haikubaliki! Tena haikubaliki kabisa. Mama @Dr_DGwajima tunaomba haki itendeke...
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
20 days
‼️ ASSAULT BY PUBLIC SERVANT‼️ A video gone viral and doing rounds of reportedly a young female who applied for the position of clinical officer and was clearly assaulted by a male civil servant! What man lays hand on a woman so publicly? Disgusting! Nyie @ajirapsrs mmefuta
120
179
428
2
12
30
Bado najiuliza kwanini @TunduALissu sio Rais?! Mtu huyu ana kipaji na ujuzi jadidifu wa mambo mengi. Kwa lugha nyepesi ni akili kubwa... Nchi za wenzetu akili ni mali ya Rais ila Afrika akili kubwa ni adui wa Rais. Sipati picha Rais ni Tundu Lissu na makamu ni @MariaSTsehai 😀
5
7
31
@clitonmichael
Tony
1 month
@KuliloLM @MariaSTsehai Ni Wajibu wa serikali kulinda uhai wa raia wake. Uhai wa raia ndio uhai wa serikali. Ukiteka, ukatesa na kumwua raia ni sawa na kuiteka, kuitesa na kuiua serikali. Serikali isikubali kutekwa, kuteswa na kuuawa na wasiojulikana. Naamini wanajulikana. Vizuizi vya barabarani
1
3
32
@clitonmichael
Tony
15 days
@JamiiForums "IF I DIE IN THE BATTLE FIELD TELL MAMA I DID MY BEST" ~ James Gikonyo, Kijana aliyeuawa katika Maandamano ya Gen-Zs nchini Kenya. Mabadiliko yoyote yana gharama zake hasa yale ambayo yanahusisha mfanano wa rangi. Ikiwa kweli tunataka mabadiliko basi tusitarajie kama tutayapata
1
3
31
@clitonmichael
Tony
1 month
@Mwabuk2Boniface "Mtu pekee asiyefanya siasa ni maiti lakini mtu yeyote aliye hai na mwenye utashi anafanya siasa, sisi tunaposoma katiba, sheria ni siasa. Ukisema TLS inafanya siasa basi haijaisoma sheria ya TLS, kwani tukienda kushauri Bunge haujafanya siasa? sisi hatutayumbishwa," Mwabukusi.
1
5
30
@clitonmichael
Tony
23 days
@fumbokhanJr Au sio?😂😂
2
2
27
@clitonmichael
Tony
21 days
CCM ni wakatili sana; unawezaje kumtendea binadamu mwenzako hivyo? Yule DC aliyetumbuliwa jana alisema walienda hadi msituni... Kufanya nini? Nafikiri hii ndiyo kazi yenyewe.
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
21 days
‼️THIS IS WHAT CCM DID TO OPPOSITION CANDIDATES IN 2020‼️👇🏾 #Tanzania This woman who was member of the opposition was abducted and tortured in 2020! This is what is planned again in 2024/25! Hii ni 2020 huyu Mama alipelekwa porini na kuumizwa - alikuwa wa upinzani! Ndo haya
30
188
496
2
9
28
@clitonmichael
Tony
21 days
Kama tunavyoungana katika masuala ya Taifa Stars kama wamoja; basi kuhusu kupotea na kutekwa kwa ndugu zetu bila kujali itikadi zetu, tupaze sauti ili wahusike wawaachie ama kuwafikisha mahakamani ndugu zetu. Tumechoka kusikia mauaji, utekaji, uteswaji na dhuluma dhidi ya
Tweet media one
0
13
25
@clitonmichael
Tony
2 years
"Waheshimu sana wale wachache wanaoona madhaifu yako na wakakwambia bila hofu."~ @McinikaWaLamar
1
3
26
@clitonmichael
Tony
1 month
@Labella_Mafia95 Nyamikoma wilayani Busega kuna jamaa alitengeneza Helikopta, wakampiga biti kisha wakaondoka nalo yeye wakamwacha analima, matikiti kudondoka, matikiti kudondokea...😂
3
1
26
@clitonmichael
Tony
2 years
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya DSM imetengua kifungu cha sheria kinachozuia Wafungwa kupiga kura kwenye shauri lililofunguliwa na Tito Magoti na John Tulla... ____ Huu ni ushindi kwa demokrasia na utawala bora. Hongera sana @TitoMagoti
1
3
27
@clitonmichael
Tony
20 days
9
0
25
@clitonmichael
Tony
15 days
@IAMartin_ "IF I DIE IN THE BATTLE FIELD TELL MAMA I DID MY BEST" ~ James Gikonyo, Kijana aliyeuawa katika Maandamano ya Gen-Zs nchini Kenya. Mabadiliko yoyote yana gharama zake hasa yale ambayo yanahusisha mfanano wa rangi. Ikiwa kweli tunataka mabadiliko basi tusitarajie kama tutayapata
1
0
26
@clitonmichael
Tony
2 years
"Ukiwa na taarifa chache, epuka kuwa na maoni mengi."~Togolani Mavura @tonytogolani
0
9
26
@clitonmichael
Tony
23 days
@fatma_karume Shangazi taratibu, watu ni kioo cha harakati zako; kama kuna jambo halikuwa sawa, sio dhambi kukiri na kufungua ukurasa mpya. Kulazimisha kuwa sahihi huku haupo sahihi napo sio sawa.
0
2
26
@clitonmichael
Tony
2 years
"When you Focus on Women...you Lose them and Money. But When you Focus on yourself...you ATTRACT Them and peace of Mind. The choice is yours KING!" @NyandaAmosi
0
4
21
@clitonmichael
Tony
1 month
@Mwabuk2Boniface “Unaweza kubadilisha mipaka lakini huwezi kuwafuta watu kutoka eneo lao la asili. Waziri hana Mamlaka ya kufuta vijiji au vitongoji na Kifungu alichotumia hakimpi Mamlaka hiyo.Uamuzi huo ni Batili na Haramu..”-; @Mwabuk2Boniface Rais wa TLS
0
1
25
@clitonmichael
Tony
21 days
@HildaNewton21
Hilda Newton
21 days
Wapendwa, Sauti zetu ndo zinaweza kusaidia @DEUSDEDITHSOKA na wenzake wakaachiwa huru. Sauti zikipungua ndugu zetu wannaweza kupotezwa mazima so naomba tuongeze nguvu kwenye kupaza sauti kama ilivokuwa siku ya kwanza. #FreeDeusdedithSoka #FreeJacobMlay #FreeFrankMbise
Tweet media one
12
286
592
0
15
25
@clitonmichael
Tony
1 month
@MsigwaPeter Ila kwa level yako haupaswi kuwa hivi. Haya mambo wanapaswa kufanya vijana wadogo na sio wewe. Hata kama umehama @ChademaTz ungefokasi mambo ya @ccm_tanzania . Kwa mfano, hili unaloeleza hapa; mimi nasema hata wewe ni fisadi tu, ungelikuwa ni mzalendo ungepaza sauti uki mulemule
1
0
25
@clitonmichael
Tony
6 months
@zoomafrika1 Hapa vipi?
Tweet media one
0
3
24
@clitonmichael
Tony
1 month
@IAMartin_ @SuluhuSamia Inasikitisha sana... Inaumiza sana. Inatoa taswira mseto ya Tanzania ijayo. Nchi ikidhoofika katika mfumo wa utoaji haki [haki-jinai] ni dhahiri shahiri kuwa mbele kutakuwa na giza tororo la usalama wa nchi na watu wake.
0
2
24
@clitonmichael
Tony
1 month
@JamiiForums Nina imani siku moja hayataaishia #Busega bali nchi nzima. Busega wameandamana kwa sababu wameumizwa; hakuna mwanaharakati wala chama cha siasa kilichowahamasisha kuandamana. Kumbe, siku tukiumiza wote hatuisubiri @ChademaTz , @MariaSTsehai wala @mangekimambi kutuhamasisha
0
3
22
@clitonmichael
Tony
1 month
Tweet media one
2
1
23
@clitonmichael
Tony
13 days
@FKihamu Wachezaji wa @YoungAfricansSC waliozipa ushindi timu zao leo: Duke Abuya kaipa ushindi Kenya dhidi ya Namibia. Mudathriiiiiiiiiiiiiiiiii kaipa Tanzania ushindi dhidi ya Guinea. Yanga is Unstoppable 😂😂😂
5
0
23
@clitonmichael
Tony
2 months
@Boromo_M @YoungAfricansSC He does not have any cards in the 2023/2024 Premier League season.
1
2
22
@clitonmichael
Tony
2 years
"Kwenye maisha kila mmoja anatafuta mtu anayefanana na kile kisoda ambacho kikipatikana na kupachikwa kwenye moja ya mguu wa meza au stuli, inakaa sawa. Watu wa aina hii ni wachache katika maisha. Ukiwapata wakamate vizuri usiwapoteze." ~Togolani Mavura @tonytogolani
0
11
23
@MariaSTsehai Nimezaliwa miaka '90+ hakika sijawahi kuona mwanasiasa machachali, makini na mwenye msimamo kama @TunduALissu . Baba huyu sio tu hazina kwa @ChademaTz bali kwa Taifa na dunia nzima. The Survivor!
0
4
22
@clitonmichael
Tony
1 month
@swahilitimes Tanzania in Kenya
3
0
22
@clitonmichael
Tony
23 days
@TanzaniaOneJezi Sijawahi kuelewa harakati za huyu Mama; hana msimamo kabisa na ana Uzanzibari sana
1
1
22
@clitonmichael
Tony
2 years
"Katika maisha yako ogopa mambo 3: Kumpa mtu sababu ya haki ya kukunung'unikia kwa Mungu wake; Kumwachia mtu kovu au kilema; na Kutoa uhai wa mtu. Ukitenda moja kati ya haya, utaishi maisha ya hofu na utalipwa hapa hapa duniani." ~Togolani Mavura @tonytogolani @SikilizaTogolan
0
6
22
@clitonmichael
Tony
1 month
@CrownMediaTZ Uongozi haumpi mtu Ujasiri, bali Ujasiri ndio unaweza kumpa mtu Uongozi. Lakini si kila kiongozi ni Jasiri na si kila Jasiri ni Kiongozi.
2
0
22
@clitonmichael
Tony
8 months
@nyuki_malkia Kuwaamini hawa
Tweet media one
0
0
21
@clitonmichael
Tony
27 days
Tweet media one
1
0
22
@clitonmichael
Tony
2 years
@HildaNewton21 Kama unachanganya na maharage, kwenye maharage usiweke chumvi kabisa.
0
0
20
Kampeni ya upandaji miti inayoratibiwa na #WizaraYaMuunganoNaMazingira inapaswa kuwa endelevu ili kuifanya sayari hii kuwa sehemu ya sahihi na salama kwa viumbe hai. Wananchi tunapaswa kuunga mkono jitihada hizo za serikali. Cc: @Regina_Magoke @UNEP_Kiswahili #SaveThePlanet
Tweet media one
Tweet media two
0
6
21
@clitonmichael
Tony
2 years
“Yanayoendelea yanasababishwa na katiba tuliyonayo kama tukipata katiba imara itapunguza madaraka ya Rais na kurejesha mamlaka kwa wananchi, wananchi tunawajibu wa kupigana mabadiliko haya ” - @DiplomaticMasai #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
1
22
21
@clitonmichael
Tony
24 days
As young Africans, we should take inspiration from those who understood the importance of agriculture in building their wealth. Let's concentrate on bringing about real change in food systems through action, rather than just words. Let our actions speak volumes as we work towards
Tweet media one
4
4
20
@clitonmichael
Tony
2 years
Kaka umeamua kujilipua aisee 😁. Mpenzi ni kama serikali, ikiwa dhaifu, inakopakopa tu kila siku kuujenga uchumi ni kazi sana. Kadhalika, mpenzi dhaifu, future dhaifu😂
@McinikaWaLamar
Daktari Wa Manesi 💉💊
2 years
Kuna wakati kutosegea mbele kimaisha kunasababishwa na aina ya mpenzi uliyenaye
61
108
1K
1
1
20
@clitonmichael
Tony
2 years
"Ukitaka kuwa na furaha katika maisha yako huna budi kujijengea mambo matatu, kukinai, kuridhika na kiasi." ~Togolani Mavura @SikilizaTogolan @tonytogolani
0
4
20
@LuambanoDennis @ezekiel_kamwaga @fbuyobe @absakibanda "Vijana muishi kwenye ndoto, msiishie tu kuwa wasaidizi wa viongozi hawa.. ,kwenye mikutano kama hii itumieni kufahamiana na watu, mmemsikia Mzee Mgabe hapo ndani amesema ni Retired but not Tired, msiishie kuja hapa na kuondoka tu." ~ Hayati Bernard K. Membe, Kachero mbobevu
1
2
20
@clitonmichael
Tony
1 month
@MalisaGJ_ Ovyo sana hawa watu
0
1
20
@clitonmichael
Tony
21 days
Tweet media one
0
13
20
@clitonmichael
Tony
2 months
@sabelostorm Kaizer Chiefs are very lucky; Yanga always scores five goals... it is very easy for Yanga to score five goals if you concede three goals
0
0
20
@clitonmichael
Tony
4 months
@MariaSTsehai @TunduALissu Hii ni ishara kuwa, maisha ya TAL yamegusa wengi sana. Lissu ndiye mwanasiasa anayependwa na watanzania wote wakiwemo watesi wetu, CCM.
0
3
20
@clitonmichael
Tony
2 years
"Watu wazuri na wema bado wapo, walikuwepo na watakuwepo siku zote. Kama hukutani nao ni kwa sababu hupiti mitaa waliopo. Unaokutana nao ni wale ambao wako mitaa unayopita wewe."~ Togolani Mavura @tonytogolani
0
5
20
@clitonmichael
Tony
2 years
"Wakati hauniruhusu mi, Kurekebisha yangu madhambi. Kwa hivyo nawaomba siku hiio, Nikumbukie mazuri Mi nataka, mucheke siku ya mwisho. Siwe mpweke mi bado niko, Namshukuru Mola kwa kuwepo, Nasema Amina...Sijiumize we kichwa na maswali Utansamehe sana kwenda Bila mkono wa buriaani
Tweet media one
Tweet media two
1
6
19
@clitonmichael
Tony
27 days
@LikudaL33307 @TunduALissu @MariaSTsehai Washauri wa Rais wakikosa weledi, uadilifu na uaminifu basi wanakosa uhalali wa kumshauri Rais
2
2
19
@clitonmichael
Tony
1 month
Tweet media one
1
1
19