Vladimir Vladimirovich Putin Profile Banner
Vladimir Vladimirovich Putin Profile
Vladimir Vladimirovich Putin

@1960Remija

87,536
Followers
575
Following
5,638
Media
95,690
Statuses

GOD | Faith | Family | Ligi Kuu | Zilipendwa | Mwenyekiti | Yanga | Man United | Real Madrid | Mamelodi | Sebene & Rhumba | Tour Agent | Tweets Are My Opinions.

Abroad!
Joined September 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
5 years
Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, kwenda kuwatazama Yatima na Wajane katika dhiki yao. Waraka Wa Yakobo 1:27
2
30
233
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Kuna wazo zuri sana tumelipokea la kuanzisha tawi la Yanga twitter, kama wewe ni shabiki wa Yanga na unahitaji kuwa sehemu ya tawi naomba tuwasiliane, DM ipo wazi. Nadhani tunaweza kuvunja rekodi ya kuwa tawi lenye wanachama wengi katika historia. Tafadhali RT kufikisha ujumbe ๐Ÿ’›
Tweet media one
255
991
4K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
"Hakuna kikombe kinachoitwa MAKUNDI"
Tweet media one
352
112
3K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Joyce Lomalisa Mutambala appreciation tweet. ๐Ÿ’š๐Ÿ–ค๐Ÿ’›
Tweet media one
55
190
3K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Huyu mwamba hana maisha marefu sana Yanga, tupo hapa. ๐Ÿค
Tweet media one
57
102
3K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Namtafuta huyu mwamba, nampata wapi? Msaada tafadhali.
443
425
3K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
7 months
Khalid Aucho appreciation tweet. ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
7
144
3K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
3 years
RT kwa Yanga na Like kwa MO Protector Sabuni Bocco 22 MO Foundation. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
Tweet media two
109
568
3K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Baba vua kinyago tumekustukia, wewe Pitso Mosimane mtupu.
Tweet media one
23
82
3K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
4 years
Timu yenye thamani ya 20B inaposhindwa kukaa mezani na kusajili kwa weledi na kutumia janja janja ni AIBU. Ndio mnaenda Kimataifa nyie? ๐Ÿคก
496
86
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Nimeumia sana, kila la kheir kocha wa makundi, hawana shukraan hao na watakukumbuka. ๐Ÿ˜ข
Tweet media one
107
55
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Yanga inaingia 10 bora kwa timu zinazovaa vizuri duniani. ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
160
64
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Countdown has started, Mabibi na Mabwana ni Luรญs Jose Miquissone ndani ya NBC PL, na wote hatukuwa tayari kwa ujio wake.
Tweet media one
59
44
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Maxi Mpia Zengeli tutauza BLION ngapi? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
47
70
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Zuzwaa Pacome appreciation tweet. โค๏ธ
Tweet media one
9
97
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Kuna mwenzake yupo NBC PL hana mbele wala nyuma, kila wiki anashinda Kidimbwi kuvaa filimbi shingoni acheze Amapiano na kuvaa hirizi za timu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
131
51
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Bakari NONDO Mwamnyeto appreciation tweet. ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
25
135
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
HATUMTAKI NABI ON REPEAT ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
Tweet media two
232
80
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Ona huyu Mandonga nae. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
60
50
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
8 months
CAF kupitia TFF waliomba Ngassa aende AFCON kama sehemu ya uchambuzi kwa mchango wake Stars kama kinara wa magoli (25).TFF hawakufikisha taarifa kwa Ngassa, sababu wanazijua wao! Ilibidi CAF wamtafute Ngassa kupitia IG. Nashindwa kuelewa why Karia bado yupo TFF. This is too much.
Tweet media one
80
135
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
โ€ข Mfungaji bora Yanga โ€ข Kipa bora wa mashindano Yanga โ€ข Nyota wa fainali Yanga โ€ข Goli bora la mashindano Yanga โ€ข Timu bora ya mashindano Yanga โ€ข Timu iliyopiga pasi nyingi Yanga โ€ข Timu iliyoruhusu goli chache Yanga โ€ข Timu ya kwanza kushinda mechi nyingi ugenini YANGA ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
99
149
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Kouassi Attohoula Yao appreciation tweet. ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
11
111
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Simon Happygod Msuva appreciation tweet. ๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
16
81
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Mudathir Yahaya appreciation tweet. Usajili bora wa muda wote Tanzania, tena bure. Asante sana Mungu kwa hii zawadi. ๐Ÿ™
Tweet media one
16
100
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
4 years
Unapochanganya siasa na mpira. ๐Ÿ‘Ž๐Ÿพ
Tweet media one
197
93
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
1. Yanga itakua ni timu ya kwanza katika historia ya Taifa hili kucheza nusu fainali ya CAF. 2. PREDATOR FISTON KALALA MAYELE ana goli 5 mpaka sasa, what a man. 3. Nasreddine Nabi anaingia kwenye historia ya kuwa kocha bora wa muda wote Tanzania 4. 10m za mama ugenini, JESUS!
Tweet media one
204
94
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Goli bora la msimu au tusubiri kwanza?
Tweet media one
21
56
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Narudia tena, Tanzania hatujawahi kupata kocha anaemkaribia Nabi kwa chochote kile.
Tweet media one
79
57
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Yanga itakua ni timu ya kwanza kutoka Tanzania kucheza nusu fainali klabu bingwa Afrika.
Tweet media one
32
64
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Yanga wanaipenda timu yao bwana, sina neno la kusema. ๐Ÿ’š๐Ÿ’›
Tweet media one
12
55
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Kama wewe ni Yanga naomba tujuane mapema kabla ya kufuzu makundi hapo baadae. โ˜
Tweet media one
160
135
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
4 years
Kiukweli usajili wa Yanga haukutegemewa na nchi nzima. Tuwe wakweli tuu. Mmenuna? ๐Ÿ˜‚
176
52
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
4 years
Yanga kwisha habari yetu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
156
65
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Ndege ilitua mita 150 mpaka 200 kutoka nchi kavu n tumeshindwa kuokoa abiria, ingezama mita 1000 au 2000 tungeita waokoaji kutoka South Africa kama tulivyofanya kwenye MV Bukoba. Na bado kuna watu wanazunguka na Chopa nchi zima kuweka vibao vya Sensa? Yesu tufundishe kunyamaza ๐Ÿ˜ญ
116
172
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Hii mechi ilipaswa kuisha 3-1 ila mapenzi ya refa yaheshimiwe. ๐Ÿ˜Š
83
56
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Ndio naambiwa hapa kumbe CEO alishatuma na ofa kwa Nabi ili ajiunge na Makolo, Nabi aliambiwa ataje kiasi cha mshahara anachotaka. Kwani Mgunda vipi tena? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
132
74
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
4 years
Yanga SC wamenunua wachezaji 2 katika moja kati ya timu 10 bora barani Afrika, unaposema una timu tishio na ulipigwa 5 na AS Vita halafu mtani wako kaenda kununua wachezaji waliokupiga hizo 5, hii imekaaje? Shikamoo GSM. ๐Ÿ˜‚
362
60
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
No Bangala No Morrison No Djuma Shaban No Diarra No AZIZ Ki No Farid Mussa No problem! Kuna timu ikimkosa Chama tu ushindi wake ni sare utafikiri wana harusi.
Tweet media one
106
101
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Simon Happygod Msuva. ๐Ÿ“๐Ÿ“Œ ๐Ÿ’›๐Ÿ’š
Tweet media one
84
81
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Azam sijafuata pesa, nimekuja kubeba makombe. Shenzy๐Ÿฅน๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
52
47
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Remija Aziz KI, remember the name ๐Ÿ“
Tweet media one
10
65
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Motsepe kasema sababu namba 1 kwa Afrika Mashariki kuandaa AFCON ni mafanikio ya Yanga kufika fainali ya CAFCC na kuwa timu ya kwanza kucheza fainali za CAFCC na kuvaa medali ya CAF. ๐Ÿค๐Ÿ‘Œ
Tweet media one
64
82
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
TFF na Karia waliona kama NGAO ya mwaka huu Yanga akicheza mechi 1 atakua BINGWA kwa mara ya 3 mfululizo na kuchukua NGAO jumla, wakaamua kupanga ratiba ya timu 4 ili zituchangie lakini wapi! Fainali ya mwaka huu tutatoa funzo la karne. Mwenye kiherehere na aje. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
35
78
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Kama kuna mrembo upande wao ambae anamzidi huyu dada hapa basi naomba wamlete. ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
166
77
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Magoli 9 na pasi 4 za magoli, tunalazimishwa kuamini una msimu mbovu, bahati mbaya hakuna namba 10 mwenye namba kama zako. ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
41
48
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Kama Zinedine Pacome Iniesta Zuzwa Gaucho alipewa gari akiwa Asec Mimosas kwa kuupiga mwingi msimu wa 2022/23 basi msimu huu wa 2023/24 naona kabisa Wananchi wanakwenda kumpa Private Jet. Huyu mtoto ana balaa nyie. ๐Ÿฅน๐Ÿ˜ณ
Tweet media one
12
40
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Trending in Tanzania. ๐Ÿ’š
Tweet media one
5
42
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Kitendo alichofanya Wallace Karia jana sio cha kufumbiwa macho, Rais wa Shirikisho anaposimama hadharani na kuanza kutoa matusi ya nguoni kwenye umati wa watu namna ile sio sawa, kuna ushahidi wa kila kitu, tutauweka hadharani muda ukifika. @Tanfootball
Tweet media one
489
174
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Tusipompiga Ihefu goli 5 leo nitagoma kutoka uwanjani. ๐Ÿ˜ญ
305
47
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Jesus Ducapel MOLOKO. ๐Ÿค
Tweet media one
25
44
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Moja kati ya uongo ambao utaishi milele ni huu, kwa mliofanikiwa kupata videos za hawa jamaa wakigawa tiketi bure tafadhali mzilete humu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
266
48
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Tafadhali RT bila sababu za msingi.
Tweet media one
46
346
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
4 months
Humu ndani mna siri sana, haya asanteni kwa hii taarifa. ๐Ÿค
Tweet media one
11
61
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Uti wa mgongo pale Avic Town. ๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
13
51
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
1. Mayele vs Kagere 2. Mayele vs Boko 3. Mayele vs G. Mpole 4. Mayele vs Phiri Sasa hivi 5. Mayele vs Beleke Umegundua nini? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
226
66
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Baaada ya Feisal kuondoka na Remija Aziz Ki miguu imefunguka na kuzaliwa upya, niliwaambia msimu huu Aziz asipopata majeruhi anafikisha G & A 20+. Mwamba kutoka Ouagadougou. ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
12
80
2K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Huwa mnasema tuna gubu lakini @Tanfootball mnaharibu sana mpira wetu, Yanga walipoomba mechi zao zisogezwe mbele ili kujiandaa dhidi ya Club Africain 2022 mligoma, leo Simba wapo kuandaa timu Dubai kwa mechi za kirafiki mmewakubalia, tulisema mnatuhujumu na leo mmethibitisha. ๐Ÿ’”
Tweet media one
152
83
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Picha bora ya mwaka 2023. ๐Ÿ™
Tweet media one
10
90
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
6 months
Mwandishi nguli Ben Theatre kutoka Cameroon amesema hajawahi kuona mpira wa kimbinu kwenye CAFCL kama Yanga vs Mamelodi. Ameenda mbali na kusema kama Yanga wataboresha kikosi chao basi hawapo mbali na kubeba taji la CAFCL. Amesema Pretoria ni 50-50 mpaka sasa, mbinu zitaamua. ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
27
86
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
TFF na Wallace Karia jana hawajalala baada ya kuona mchezaji bora kutoka Ivory Coast katua Jangwani. Fundi wa mpira ambae amegoma kabisa kwenda Ulaya sababu ya Yanga, sasa hivi wanalazimisha tupeleke majina ya usajili, HATUJAMALIZAAAA! Subirini kwanza tumalize kusajili, tutakuja.
Tweet media one
47
53
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Ibrahim Bacca appreciation tweet. Mungu asante sana kwa huyu kiumbe. ๐Ÿ™
Tweet media one
13
70
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti ๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ–ค
Tweet media one
24
71
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
4 years
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako. ๐Ÿ’”
64
172
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Picha bora ya msimu huu. ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
19
94
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
RASMI : Yanga imeingia kwenye rekodi ya kuuza mchezaji kwa gharama kubwa katika historia ya mpira Tanzania. Predator Fiston Kalala Mayele ameuzwa kwa dau la $1.2m. Kila la kheir mtu wa mpira, unaondoka vizuri, Jangwani ni nyumbani, karibu tena panapo majaaliwa. ๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
52
72
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Mechi ya Yanga vs ASAS pale Chamazi kulikuwa na mafuriko ya mashabiki mkasema ni mechi ya Kimataifa na Simba alicheza ligi. Haya mtuambie leo ni mechi ya nini? Mbona uwanja umetapika hivi? ๐Ÿ˜‚๐Ÿฅน๐Ÿ˜‚
Tweet media one
19
41
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Tafadhali RT ๐Ÿ“
Tweet media one
7
161
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Unajiita timu kubwa na hapa hatukuoni, mzaha sio mzaha? RT kama unaiona timu yako. ๐Ÿ’›๐Ÿ–ค๐Ÿ’š
Tweet media one
132
194
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Makolo kwenye kura hawajui wanaenda na nani, wapo njia panda kila mtu ana pigana vita yake. Hii vita Mudathir Yahaya anawakalisha mchana kweupe kabisa. Sisi tuna watu na ndio tafsiri ya wenye nchi ni Wananchi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
51
53
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Sisi Ndio Yanga. Tukutane Estadio de Lupaso. ๐Ÿ–ค๐Ÿ’š๐Ÿ’›
Tweet media one
24
78
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Umecheza CAF misimu 4 kwa mafanikio ya kuishia robo, umekusanya jumla ya alama 35, Yanga aliyetembeza bakuli 4 yrs amerudi CAF msimu mmoja na kuchukua alama 20. Ametoka nafasi ya 78 mpaka 16 kwa msimu 1. CAF wanasema haijawahi kutokea katika historia ya mashindano. Wananchi ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
63
87
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
RT Like Nimelia mimi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Tweet media one
Tweet media two
37
25
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
3 years
Mama @SuluhuSamia umetuangusha tuliokusifia na kukuona mkombozi, haya madoa unayojipaka hayanaga mwisho mzuri, haiba ya mwanamke sio mabavu, kingine nilidhani na kuamini una hofu ya Mungu. ๐Ÿ’”
83
125
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Kumbe haumwi, kwa kifupi hana majeraha popote, alisajiliwa kwa mali kauli. Kasema bila kumaliziwa pesa yake haendi popote. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
103
35
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Nakojoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tweet media one
27
45
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Kumbe vurugu zote hizi za Azam ni ujio wa Senzo Mazingiza? Kuna mtu anatafuta ugali wa kubaki Azam kupitia Kiki ya Feisal? Basi sawa. Welcome back CEO. ๐Ÿ‘
Tweet media one
63
20
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Yanga walikuona miaka 7 iliyopita, wakakuamini na kukupa nafasi, ukatengeneza jina na kuwa kipenzi cha Wananchi, bahati mbaya walikuaminisha kuwa wewe ni mkubwa kuliko Yanga na ukaamini. Ukatumika mpaka kuhujumu mechi zetu kwa drama za kila wiki na mashauri yako TFF, ulishindwa
Tweet media one
Tweet media two
217
90
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Mashabiki wa Yanga Twitter Tanzania nzima tujuane hapa. Mechi ya marudiano tukutane Estadio de Lupaso. โœŒ (Kila mtu ashinde mechi zake AWAY)
Tweet media one
40
97
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Najua haiwahusu ila leo nina furaha sana na nataka niwaambie kuwa nampenda sana MKE WANGU. ะฏ ั‚ะตะฑั ัะธะปัŒะฝะพ ะปัŽะฑะปัŽ. ๐Ÿ˜
Tweet media one
102
29
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Nampenda sana mdogo wangu @Carotherunner ๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’›
Tweet media one
25
37
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 months
โ€œYanga wana utamaduni wa kuishi vizuri na wachezaji wao, historia inasema hivyo tangu enzi za kina Sunday Manara mpaka sasa.โ€ - Julio โ€œMchezaji akishavaa jezi ya Yanga huwa ni ngumu sana kumtenganisha mahaba yake na Yanga hata akienda kufanikiwa nje ya Yangaโ€ - Yondani
Tweet media one
5
61
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Tafadhali RT bila sababu za msingi. ๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ–ค
Tweet media one
19
190
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Nilishawahi kuwaambia NABI ndio kocha bora wa muda wote Tanzania ila hamkunielewa, narudia tena Tanzania itachukua miaka 1,000 kupata kocha aina ya NASREDDINE NABI. Mungu amuweke sana huyu mwamba. ๐Ÿ™
Tweet media one
35
40
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Tafadhali RT kama timu yako ipo kileleni. ๐Ÿ’›๐Ÿ’š
Tweet media one
20
358
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
4 years
Mliotuaminisha tumepata mrithi wa Baba wa Taifa bado mna nafasi ya kuomba radhi Watanzania.
Tweet media one
80
100
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
. @SheriaNgowi appreciation tweet. ๐Ÿ’š๐Ÿ–ค๐Ÿ’›
Tweet media one
16
54
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Tumeamua kukaa kimya, hatuongelei chochote kuhusu wao, tupo zetu Avic Town kujiandaa na Community Shield pale Mkwakwani. Sasa wao ndio wanakuja kwenye tweets zetu kila dakika. Mnamuona Remija Aziz KI lakini? Hamuogopi? ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
38
42
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 months
Nina wasiwasi sana siku si nyingi vilabu vikubwa vitamchukua Sheria Ngowi.
Tweet media one
27
40
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Wananchi naombeni RT 500 kwa Djigui Diarra tafadhali. Yanga ipo kwenye mikono salama, Tanzania ipo kwenye mikono salama. ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
15
265
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Mwananchi/Mwanachama mpya Yanga Twitter Family. Tawi limeanza kufanya usaili wa Kimataifa sasa. #YangaTwitterFamily
Tweet media one
32
65
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
22.07.2023 Watazamaji 40k Mapato 600+m Hii ni rekodi nyingine. ๐Ÿ’›๐Ÿ’š
Tweet media one
28
70
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
2 years
Kuna sehemu ya moyo wake anaumia sana na kinachoendelea uwanjani kwa sasa, haya mashindano yalipaswa kumpa tiketi ya kwenda nje ya Tanzania.
Tweet media one
72
40
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
4 months
Picha bora kwenye parade, inawezekana ikawa ni picha bora ya msimu kwenye michezo
Tweet media one
21
59
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Kwa mujibu wa CAF katika kipindi cha miaka 5 ni timu 5 tuu ndizo zimekusanya alama nyingi kwenye historia ya mashindano hayo. 1. Al Ahl 30 2. Wydad Casablanca 25 3. USM Algier 25 4. Yanga SC 20 5. Mamelodi Sundowns 20 (Kwa mujibu wa CAF, sio Remija)
Tweet media one
51
81
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Prince Of Zanzibar โ€˜Mudathir Yahya Abbasโ€™ Bongo hakuna box to box midfield anaekaribia hata theluthi ya hiki chuma. Sio kipa, sio beki, sio winga, sio mshambuliaji ila anapatikana sehemu zote za uwanja. Tumpe maua yake. ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
13
58
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
โ€œZamani tulikuwa tunaambiwa mashabiki wa Yanga ni wengi kuliko Simba. Sijawahi kuwa na uhakika na hili mpaka sasa. Ninachojua ni kwamba mashabiki wa Yanga wanaipenda zaidi timu yao kuliko mashabiki wa Simba wanavyoipenda timu yao.โ€ - Edo Kumwembe LEGEND.
Tweet media one
14
61
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Wakati Bangala anasajiliwa na Yanga 2021 alikwenda kumaliza msimu akiwa MVP Tanzania, Yanga akawa bingwa. Remija Aziz Ki anasajiliwa alikua ni MVP Ivory Coast, Yanga akawa bingwa . Msimu huu tumesajili MVP mwingine kutoka Ivory Coast, fundi haswa, anaujua mno! Hii ina maana gani?
Tweet media one
16
34
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
6 months
Oya @Arafat__AH kama Remija Aziz KI anataka blion kwa mwezi sisi kama wanachama na mashabiki wa Dar Young Africans tupo tayari kumlipa huyu MBUZI. What A Player!
Tweet media one
10
50
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Kuna timu kutoka Tanzania ilishawahi kutoa wachezaji 7 kwenye kikosi bora cha wiki kwenye michuano ya CAF?
Tweet media one
53
57
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Namtafuta huyu mwamba kwa yeyote anaemjua. Natanguliza shukraan. ๐Ÿ™๐Ÿป
82
175
1K
@1960Remija
Vladimir Vladimirovich Putin
1 year
Pacรดme Zouzoua remember the name ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
5
56
1K