Tanganyika Law Society(TLS) Profile Banner
Tanganyika Law Society(TLS) Profile
Tanganyika Law Society(TLS)

@TanganyikaLaw

79,599
Followers
569
Following
1,735
Media
2,944
Statuses

TLS is a membership organization that represents Advocates in Tanzania Mainland. TLS is constituted through Tanganyika Law Society Act CAP 307 R.E. 2002.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
MATOKEO: Nafasi ya Uraisi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024/2027 Mshindi ni Boniface A.K Mwabukusi kwa kura 1,274. #TLSAGM2024
Tweet media one
478
962
6K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
TAMKO: KULAANI KITENDO CHA UDHALILISHAJI NA UKATILI WA KIJINSIA
Tweet media one
305
775
3K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
TLS congratulates you, Adv. Boniface A.K. Mwabukusi for being elected as the TLS President for year 2024-2027. #TLSAGM2024
Tweet media one
96
384
2K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
Raisi Mteule wa @TanganyikaLaw akitoa neno la shukrani kwa wanachama mara badaa ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa jijini Dodoma. #TLSAGM2024
Tweet media one
70
215
2K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
WAGOMBEA NAFASI YA URAISI TANGANYIKA LAW SOCIETY 2024
Tweet media one
416
345
2K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
Wakili Mwandamizi Dr. Mkunga Humphrey Mtingele akimuapisha Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Raisi Mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika katika ukumbi wa Jakaya Convention Center Jijini Dodoma #TLSAGM2024
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
60
293
2K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
Maraisi wastaafu wa @Tangayikalaw Mh. Tundulisu na Dkt. Rugemeleza Nshala wakiteta jambo na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mr. Charles E. Kichere katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika unaoendelea jijini Dodoma. #TLSAGM2024
Tweet media one
28
144
2K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
KULAANI UKAMATAJI WA MAKUNDI YA KIRAIA KWA LENGO LA KUMINYA UHURU WA KUJUMUIKA NA KUJIELEZA.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
42
461
2K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
Raisi wa @TanganyikaLaw akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TLS Bi. Mariam Othman katika mkutano unaendelea Jijini Dodoma #TLSAGM2024
Tweet media one
36
140
2K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
PUBLIC NOTICE: CONDEMNATION OF RAPE AND SEXUAL VIOLENCE
Tweet media one
52
335
2K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
THE TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) GOVERNING COUNCIL FOR THE YEAR 2024/2027
Tweet media one
39
245
1K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
21 days
TAMKO LA KULAANI UTEKAJI NA MAUAJI YA KIKATILI YANAYOTOKEA NCHINI #TLSSection4
Tweet media one
Tweet media two
17
376
1K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
Tunaomba radhi kwa taarifa zilizotolewa awali kupitia ukurasa wetu wa X kwamba zoezi la upigaji kura limekamilika. Taarifa sahihi ni; Zoezi la upigaji kura linaendelea kwa muda wa saa moja kuanzia saa 07:20 mchana hadi saa 08:20 mchana. Tunaomba radhi kwa usumbufu.
Tweet media one
191
70
1K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 month
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WITO WA WANANCHI WA NGORONGORO NA MAENEO MENGINE KUTAKA KUHESHIMIWA KWA HAKI ZAO
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
27
332
1K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
TAARIFA KWA UMMA-ONGEZEKO LA VITENDO VYA UTEKAJI NA UPOTEAJI WA WATU NCHINI Bofya hapa ===>
Tweet media one
65
368
1K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
CONDEMNATION OF THE ARREST OF CIVIL GROUPS WITH THE AIM OF SUPPRESSING FREEDOM OF ASSEMBLY AND EXPRESSION.
Tweet media one
Tweet media two
28
313
1K
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
18 days
KONGAMANO LA KITAIFA JUU YA MATUKIO YA KUPOTEA KWA RAIA NCHINI TANZANIA MAHALI: WAKILI HOUSE, DAR ES SALAAM TAREHE: 05 OKTOBA 2024. #WakoWapi #TLSSection4 #elimikawikiendi #katibampya
Tweet media one
39
308
930
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 month
TLS PRESS CONFERENCE
Tweet media one
24
192
887
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
4 months
Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) akifuatilia Mjadala wa Wazi juu ya Mchakato wa kupata Katiba Mpya Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
64
740
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
12 days
Tukitekeleza #TLSSection4 , Rais Mwabukusi amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi na kujadili ushirikiano hasa katika namna bora ya kuratibu shughuli za siasa nchini kwa kuzingatia mfumo wa demokrasia, kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
18
121
705
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 month
TAARIFA KWA UMMA #TLSSection4
Tweet media one
Tweet media two
24
167
680
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 month
Leo 20/08/2024, Raisi wa TLS, Wakili Mwandamizi Boniface A. K. Mwabukusi amekutana na kufanya mazungumzo na Sekretariati ya chama hicho. Pamoja na mambo mengine Raisi amejadili na kuweka mikakati ya pamoja katika kuhakikisha malengo ya TLS yanafanyika kwa weledi na kwa wakati.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
113
655
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 month
Kamati maalumu ya TLS suala la #Ngorongoro , ikikamilisha mikakati ya utekelezaji hadidu za rejea pamoja na mikakati ya kutembelea maeneo na wadau kwa ajili ya kupata taarifa mahususi ya masuala wanayotakiwa kuyafanyia kazi. #TLSSection4 #meaningfulengagement
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
7
104
634
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
TLS imeshiriki katika kuwasilisha maoni na mapendekezo ya maboresho ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria Tanzania 2024, Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Kupambana na Rushwa wa Mwaka 2024 na Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya ....
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
89
589
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
3 years
Raisi mpya wa @TanganyikaLaw atangazwa. Mshindi wetu ni Dr Edward Hosea
Tweet media one
19
48
569
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
21 days
TLS Arusha Chapter iliwakutanisha mawakili wake ktk hafla ya pamoja (WAKILI SOIRE) kujadili masuala ya wanachama & kufarahi pamoja. Rais wa TLS, @Mwabuk2Boniface alipewa cheo cha uongozi wa jamii ya Wamasai (LAIGWANANI) kwa mchango wake wa kutetea masuala ya kijamii TLSSection4
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
95
571
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
PONGEZI
Tweet media one
16
30
572
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
4 years
Tamko la TLS Juu ya Kuwepo kwa Wimbi la Pili la Ugonjwa wa Korona Nchini; Bofya hapa kusoma tamko zima.
Tweet media one
18
100
520
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
Wanachama wa @TanganyikaLaw wanaondelea na Mkutano Mkuu wikitoa heshima zao za mwisho kwa Wakili Maria Pengo aliyeaga dunia mara baada ya kuugua ghafla usiku wa kuamkia leo 2 Agosti 2024.Wakili alishiriki ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa TLS Roho ya marehemu ilale pahali pema peponi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
15
44
544
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Tunapenda kuujulisha umma kuwa TLS inatoa mitazamo, matamko au elimu juu ya sheria kupitia account zake rasmi za kijamii na si account za wanachama wake binafsi. Hivyo chochote anachokipost mwanachama au kiongozi kupitia account binafsi hakifungamani na mtazamo wa @TanganyikaLaw
Tweet media one
47
109
475
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
# TUNDULISU Ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu ushambuliwe, Baraza la Uongozi pamoja na wanachama wa @TanganyikaLaw wanakuombea na kukutakia uponaji wa haraka ili uweze kurudi na kuendelea na majukumu yako. @fatma_karume @Advocate_Jebra @advocatekaunda @TunduLissu
Tweet media one
6
81
470
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
12 days
Mtendaji Mkuu wa Mahakama Prof. Elisante Gabriel na Mtendaji Mkuu wa TLS Bi. Mariam Othman wakisaini makubaliano kati ya Mahakama na TLS kwa lengo la kuweka utaratibu bora wa kuipatia TLS sehemu ya fedha ambazo zinalipwa na Mawakili Mahakamani kwa mujibu wa sheria. #TLSSection4
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
76
459
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
Wakili Mwandamizi Dr. Mkunga Humphrey Mtingele amemuapisha Wakili Emmanuel Ukashu kuwa Mwenyekiti Mpya wa Umoja wa mawakili Vijana wa Chama cha Wanasheria Tanganyika katika ukumbi wa Jakaya Convention Center Jijini Dodoma
Tweet media one
Tweet media two
4
26
459
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 month
Uongozi mpya wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) chini ya Mwenyekiti Wakili Emmanuel Ukashu umekutana na kujadili masuala mbalimbali kwa maslai mapana ya AYL. Pia kikao hicho kimemkaribisha Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi na kumshirikisha mipango yao. #TLSAYL #TLSSection4
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
73
441
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
16 days
Rais wa TLS, Wakili @Mwabuk2Boniface amesema TLS inatarajia kuwakutanisha wadau mbalimbali kwenye Kongamano la Kitaifa Juu ya Matukio ya Kupotea kwa Raia Nchini Tanzania linalotarajiwa kufanyika tarehe 05 Oktoba 2024. Video kamili 👇👇 #TLSSection4
5
133
442
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
17 days
According to Section 4 of the Tanganyika Law Society (TLS) Act, the roles and responsibilities of TLS are outlined in detail. These are the key functions of TLS under this section: #TLSSection4
Tweet media one
5
151
417
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 month
TLS Kinondoni Chapter, imeendesha mafunzo kwa wajumbe wa Baraza la Usuluhishi ngazi ya kata Wilaya ya Kinondoni. Mafunzo hayo yamewajengea uwezo wajumbe wa mabaraza katika uendeshaji, usimamizi na usuluhishi wa migogoro. Mafunzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Tweet media one
6
46
412
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
13 days
Dodoma: Rais wa TLS, @Mwabuk2Boniface akiongozana na Baraza la Uongozi wametembelea Wizara ya @Sheria_Katiba na kufanya mazungumzo na Waziri Prof. Kabudi na Katibu Mkuu Eliakim Maswi kujadili masuala ya ushirikiano kwa ustawi wa tasnia na maslahi mapana ya taifa. #TLSSection4
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
86
401
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
TLS Convenes the Governing Council Induction Workshop in Dodoma.
Tweet media one
4
63
395
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Eliezer Feleshi amewaongoza mawakili wanaondelea na mkutano mkuu wa TLS 2024 kutoa heshima zao za mwisho kwa wakili Maria Pengo aliyeaga dunia mara baada ya kuugua ghafla usiku wa kuamkia leo tarehe 02 Agosti 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
25
16
395
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 year
STATEMENT FROM THE TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) REGARDING THE THREATS AGAINST DR. RUGEMELEZA NSHALA, A MEMBER OF THE SOCIETY
Tweet media one
15
141
374
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Letter from TLS President, Fatma Karume - Law Day 06th February 2019 Please receive a letter from @TanganyikaLaw President, Ms. @fatma_karume in respect of the Law Day that will be celebrated tomorrow, 06th Feb 2019. Follow the link for attachment ===>
Tweet media one
18
84
333
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
10 months
ARBITRARY SUSPENSION OF OUR TLS MEMBER – SENIOR COUNSEL MPALE MPOKI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
22
140
353
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
THANK YOU OUR SPONSORS #TLSAGM2024
Tweet media one
7
27
338
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 years
Tunapenda kuwashukuru wanachama wa @TanganyikaLaw kwa kushiriki katika Uchaguzi wa Viongozi, Matokeo ya Nafasi ya Raisi wa Tanganyika Law Society Edward Hoseah 621 Harold Sungusia 380 Jememaih Mtobesya 145 #2022TLSAGM
Tweet media one
18
40
318
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 month
TLS mkoa wa Kinondoni iliwakutanisha wadau kutoka sekta mbalimbali kujadili changamoto zinazowakabiri mawakili na namna bora ya kuzitatua. Kikao kazi hicho kilifanyika tarehe 24 Agosti 2024 katika ukumbi wa Wakili House jijini Dar es Salaam.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
30
309
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Hatimae washindi watangazwa! Ni viongozi watakaokiongoza chama cha mawakili Tanzania bara 2018/2019. Wakiongozwa na raisi wao mpya Fatma Karume.
Tweet media one
7
44
282
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
PONGEZI
Tweet media one
3
17
283
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
Kheri ya Sikukuu ya #NaneNane .
Tweet media one
7
25
275
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
5 years
Announcing to you the New Governing Council of @TanganyikaLaw for the year 2019-2020 as follows PRESIDENT- RUGEMELEZA NSHALA VICE PRESIDENT- MPALE MPOKI HONORARY TREASURER -NICHOLAUS DUHIA #TLSAGM2019
12
50
252
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
10 months
TLS imewakutanisha pamoja wadau mbalimbali nchini kujadili miswada ya sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, Sheria ya Tume ya Uchaguzi ya Taifa pamoja na Sheria ya Vyama vya Siasa. Mjadala huu unafanyika jijini Dar es Salaam leo tarehe 15/12/2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
53
264
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
3 years
Waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba (mgeni rasmi) akizindua kitabu cha Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta, tukio lililofanyika kwenye ukumbi wa Wakili House Dar es salaam na kuhudhuriwa na majaji na wageni mbalimbali.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
19
225
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
5 years
TLS yashinda kesi ya Kikatiba dhidi ya Serikali ya Tanzania iliyofunguliwa mwaka 2014 kupinga azimio lililoafikiwa na Serikali ya Tanzania la kulizuia Baraza la Jumuiya ya SADC kuamua kesi kutoka kwa wananchi wa nchi wanachama wa SADC.
Tweet media one
2
45
222
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
5 years
Tunaendela na Mkutano Mkuu wa @TanganyikaLaw ambao utamalizika kesho kwa uchaguzi wa viongozi wapya wa chama. Mgeni rasmi katika mkutano huu ni Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Sammata @TLSAGM2019
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
31
216
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Hii sio sahihi kabisa! wanafunzi hawa wanawahi shule, dereva yeye ameshachukua tahadhari kwa kuvaa kofia ngumu. Bodaboda kwa sasa zimekuwa ni usafiri wa umma. Ni vyema tupitie sheria yetu ya usalama barabarani ili iwe ni lazima kwa abiria wote kuvaa kofia ngumu #Ajalisasabasi .
Tweet media one
8
68
212
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
5 years
Our president's speech #TLSAGM2019
2
41
217
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
Mkurugenzi Mtendaji wa @TanganyikaLaw Bi. Mariam Othman akikabidhiwa zawadi na mgeni rasmi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Bitteko wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu. #TLSAGM2024
Tweet media one
1
7
222
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
5 years
PRESS RELEASE 26/09/2019 @TanganyikaLaw Press release regarding the powers of the Court to suspend an Advocate (Legal procedures and practice through court interpretation) @ITVTANZANIA @CloudsMediaLive @azamtvtz @WateteziTV @MwananchiNews @TheCitizenTZ @JamiiForums @darmpya_
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
85
202
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
11 days
Baraza la Uongozi TLS likiongozwa na rais Boniface Mwabukusi na Mtendaji Mkuu wa Mahakama Prof. Elisante Gabriel wametembelea jengo kuu la Mahakama (JUDICIARY SQUARE) linaloendelea na ujenzi kujionea miundombinu yake hasa upande wa TEHAMA. #TLSSection4
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
29
209
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Ni vizuri watunga sheria wawe objective na wakumbuke hawatadumu kwenye nafasi zao milele ukitunga sheria kwa kukandamiza watu kesho itakugeukia wewe ukishapoteza dhamana kwa hiyo tuwe waungwana - Sungusia Harold #WikiYaAZAKI2018
Tweet media one
7
34
180
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
12 days
Jaji wa Mahakama Kuu Dodoma Mhe. Edwin Kakolaki akiwapokea Baraza la Uongozi TLS na Mtendaji Mkuu wa Mahakama Prof. Elisante Gabriel wakati walipotembelea Mahakama Jumuishi na kujionea utendaji kazi wake hasa kwenye mifumo ya TEHAMA. #TLSSection4
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
32
187
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Mwendokasi ni sababu kuu katika nusu ya vifo vitokanavyo na ajali za barabarani: Unga mkono serikali katika marekebisho ya sheria ya usalama barabarani yenye vipengele vinavyopunguza viwango vya mwendokasi nchini kote. #Ajalisasabasi #ChangeTanzania #monda
Tweet media one
7
47
172
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
PONGEZI
Tweet media one
0
7
183
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
5 years
Muonekano wa jengo la @TanganyikaLaw ambalo litazinduliwa hivi karibuni. Maarufu kama WAKILI HOUSE! Mambo ni motooo! @Advocate_Jebra @advocatekaunda @Angelista_2017 @TrillAdvocates @BarakaMasubo @ItsKalama @msechustephen
Tweet media one
Tweet media two
7
27
177
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Marekebisho yaliyopendekezwa katika sheria ya usalama barabarani ya mwaka 1973 yanahitaji wasafiri wote wa mbele na wa nyuma kufunga mikanda yao ya kiti ili kupunguza athari zinazosababishwa na ajali za barabarani: Unga mkono serikali katika kupitisha sheria hii. #Ajalisasabasi
Tweet media one
4
43
171
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
10 months
Wakili Mwandamizi Mpale Mpoki akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Sakata la Kufungiwa Uwakili kwa miezi 6. Aeleza hatua ambazo anazichukua juu ya sakata hili. Fuatilia mahojiano yote kupitia link hapa chini
Tweet media one
6
49
171
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Wajumbe kutoka Chama Cha Wanasheria nchini China wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi bwana Wang Wei wameitembelea @TanganyikaLaw na kukutana na Rais @fatma_karume pamoja na Uongozi wa Secretariet lengo likiwa ni kuimarisha ushirikiano katika maeneo mbalimbali ya kiutendaji!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
23
165
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 year
Chama cha Mawakili Tanganyika kinampongeza wakili Harold Sungusia kwa kuchaguliwa kuwa Raisi wa Tanganyika Law Society kwa mwaka 2023-2024 kwa kupata kura 748 kati ya kura 825 #TLSAGM2023
Tweet media one
17
44
172
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Mitindo mingine ya nywele za dada zetu hairuhusu helmet kukaa vizuri kichwani kitu kinachoongeza athari wakati wa ajali. Hata hivyo sheria yetu ya usalama barabarani haiwalazimishi abiria wa boda boda kuvaa kofia ngumu. Tumeendaa mapendekezo ya kuboresha sheria hii ya tangu 1973
Tweet media one
11
45
157
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Simu inaweza kusubiri ila ajali haitasubiri. Pamoja na kuwa matumizi ya simu yameongezeka, #Tanzania bado hatuna sheria inayosimamia matumizi ya simu kwa madereva. @TanganyikaLaw na wadau wengine tumeliona hili na tunalifanyia mchakato. Tuungeni mkono. #AjaliSasabasi
Tweet media one
6
53
156
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
11 days
Ziara ya #TLSSection4 inaendelea na hapa TLS inapokelewa na Mkurugenzi wa Ofisi ya Mashtaka ya Taifa Silvester Mwakitalu na kuzungumza namna ya mawakili wa serikali na binafsi kushirikiana katika kuendesha mashauri ili kuisaidia mahakama kuamua kwa haki na mujibu wa sheria.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
35
170
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
5 years
Uchambuzi wa Kisayansi kuhusu Azimio na Nia ya Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu kupitia Ibara ya 34(6) ya Itifaki ya Mkataba Unaoanzisha Mahakama ya Afrika. Wataalamu, & Wadau mbalimbali wametoa maoni yao. Nasi Tutayakilisha @Sheria_Katiba
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
29
159
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 year
TLS inatambua uwepo wa mijadala inayoendelea nchini kuhusu makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu uendeshaji wa bandari ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Falme ya Dubai...
Tweet media one
Tweet media two
22
22
159
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
5 years
RUGEMELEZA NSHALA @TanganyikaLaw PRESIDENT- 2019-2020 #TLSAGM2019
Tweet media one
10
34
149
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Hon. Lissu's Health Updates
Tweet media one
3
41
148
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Pombe ni hatari kwa dereva hivyo ni muhimu kuchagua moja kuendesha chombo cha moto au kulewa! Tupo kwenye mchakato wa kushawishi maboresho ya Sheria ya usalama barabarani ili kuthibiti matumizi makubwa ya vilevi kwa madereva. Tunaomba mtuunge mkono. #AjalisasaBasi
Tweet media one
9
37
136
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
TAMKO KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI JUU YA HAKI YA MTUHUMIWA KUPEWA DHAMANA KATIKA KITUO CHA POLISI Rais @fatma_karume atoa tamko kwa niaba ya Baraza la Uongozi wa @TanganyikaLaw . Bonyeza hapa kudownload =>
Tweet media one
2
31
133
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
8 months
Kiongozi wa TLS Kanda ya Kati Laetitia Petro ameongoza jopo la mawakili waliokuwa wakimtetea mjane Maria Ngoda aliyehukumiwa kifungo cha miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala na kushinda rufaa hiyo kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Iringa.
14
41
143
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
3 years
1 2 3 na mshindi ni ... #2021TLSAGM
Tweet media one
7
8
143
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
3 years
Tumekutana na changamoto nyingi na wakati mwingine mawakili wetu kukatazwa kusimamia kesi za uhujumu uchumi ~ Dr Nshala #2021TLSAGM
Tweet media one
1
13
138
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 month
IT'S TOMORROW! TLS, in collaboration with Haut- Katanga Bar Association- from Congo DRC has organized a match between *WAKILI FC* and *CS BALANCE, a team from Congo DRC- HK Bar. The match will take place tomorrow at the Law School of Tanzania from 9:00 am!
Tweet media one
6
15
142
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Raisi wa @TanganyikaLaw @fatma_karume azungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kukamatwa kwa mawakili na kuwekwa ndani kinyume na sheria wakati wakiteleza majukumu yao ya kazi.
Tweet media one
2
26
134
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
"Some people come into our lives, leave footprints on our hearts, and we are never the same." Our Condolences to @CloudsMediaLive , Ruge's family and Tanzania in general. #RestinPeaceRuge
Tweet media one
3
18
134
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Ukiwa umefunga mkanda utapunguza madhara ya ajali kuanzia 50% kwa abiria wa kiti cha mbele na 70% kwa abiria wa viti vya nyuma. Changamoto ni sheria mama inayosimamia masuala yote ya barabarani haisemi lolote kuhusu kufunga mkanda kwa abiria wa viti vya nyuma. #Ajalisasabasi
6
37
133
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Mawakili wapya wakitoa heshima kwa CLE(Council for Legal Education) wakati wakiapishwa. Mawakili 549 wamepokelewa na Jaji Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. @TanganyikaLaw tunasema Karibu Sana!
Tweet media one
Tweet media two
1
27
131
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
RAISI WA TLS FATMA KARUME AHUDHURIA KIKAO CHA TATHIMINI "POST SESSION MEETING" CHA MAHAKAMA YA RUFANI. Kikao kinaendelea, wadau wengine wa mkutano huo ni Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Mashtaka, Mwanasheria wa Serikali Mfawithi, Mkuu wa Gereza na Afisa wa Polisi Kanda Maalum.
Tweet media one
4
22
124
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Wanasayansi wa mambo ya siasa pamoja na wananchi wameudadafua mswada wakiutazama kwa jicho la namna gani wananchi wataathiriwa na mswada huu iwapo utapitishwa. Wanaitaka serikali/bunge iyachukulie chanya mawazo yatakayowasilishwa na iyafanyie kazi. #MuswadaWaVyamaVyaSiasa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
29
131
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
#MuswadaWaVyamaSiasa pia tutakuwa live kupitia account zetu ambazo ni tanganyika law society(facebook) na hapa tweeter! huku shangazi akionekana kuvutiwa na mjadala wa kesho. Si ajabu ataurusha live kupitia account yake ya @fatma_karume
@zittokabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
6 years
Chama na Mawakili nchini @TanganyikaLaw wameandaa mjadala Kuhusu Muswada wa Sheria ya Vyama vya Siasa. Ninawapongeza sana kwa uamuzi huu kwani utaongeza uelewa zaidi wa umma Kuhusu muswada huu kandamizi. Kesho asbh Kisenga Hall, Millenium Towers, tukutane kujadiliana
19
40
428
2
17
126
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
Baraza la uongozi @TanganyikaLaw likiongozwa na Rais wake wakili Harold Sungusia @haroldsung_ wakimkabidhi zawadi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu. #TLSAGM2024
Tweet media one
13
6
134
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Tunapenda kwashukuru @kwanza_tv kwa kurusha mjadala huu live! PIa tunatambua mchango mkbwa wa vyombo vya habari vyote kwa kuufanya mjadala huu kuwafikia wananchi waklionje ya eneo la tukuio! @itv @wabantutv @ChanneltenTZ @CloudsMediaLive @darmpya_ #MuswadaWaVyamaVyaSiasa
Tweet media one
Tweet media two
4
21
128
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 years
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeandaa kongamano la wazi kujadili "Namna Bora ya Kuhuisha Mchakato wa Katiba Mpya" ambapo zaidi ya watu 350 kutoka Tanzania nzima, wadau mbalimbali pamoja na wananchi watashiriki.
Tweet media one
7
29
130
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 month
WAKILI FC YA TLS YAIBUKA KIDEDEA DHIDI YA CS BALANCE YA CONGO DRC ( 5 -0) Mechi ya kirafiki imechezwa katika uwanja wa Law School, Dar. TLS inawashukuru mawakili kutoka Congo DRC kwa kuthamini mahusiano na kuitembelea TLS na ZLS ya Zanzibar
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
10
131
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
1 year
Chama cha Mawakili Tanganyika kinampongeza wakili Edward Heche kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakili Vijana(AYL) wa TLS kwa mwaka 2023-2024 #TLSAGM2023
Tweet media one
2
20
128
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
6 years
Je! Wajua sheria ya usalama barabarani ya mwaka 1973 haimlazimishi abiria wa boda Boda kuvaa kofia ngumu? inamtaka dereva tu kuvaa kofia ngumu. Tupo kwenye mchakato wa kushawishi maboresho ya Sheria hii kwa sababu Boda boda kwa sasa umekuwa ni usafiri wa umma. #Ajalisasabasi
Tweet media one
3
41
120
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
10 months
KUAHIRISHWA KWA MKUTANO MKUU WA DHARURA
Tweet media one
28
25
125
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
3 years
Hongera Mhe. Jaji Iman Aboud kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu.
Tweet media one
5
22
121
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
4 years
TAMKO LA TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) JUU YA UAMUZI WA KAMATI YA MAWAKILI KUMUONDOA BI. FATMA AMANI KARUME KATIKA REJISTA YA MAWAKILI TANZANIA BARA NA UAMUZI WA WAKILI FATMA AMANI KARUME KUKATA RUFANI
Tweet media one
Tweet media two
6
17
119
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
3 years
Rais wa TLS Dr. Rugemeleza Nshala (wa kwanza kulia) akiwa na majaji wastaafu pamoja na wageni waalikwa kwenye uzinduzi wa kitabu cha SUPREMACY OF LAW kilichoandikwa na Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta uliofanyika ukumbi wa Wakili House.
Tweet media one
4
18
116
@TanganyikaLaw
Tanganyika Law Society(TLS)
2 months
Thank you for being Our Partners #TLSAGM2024
Tweet media one
1
13
122