UVCCM TZ Profile Banner
UVCCM TZ Profile
UVCCM TZ

@uvccm_tz

40,055
Followers
39
Following
6,120
Media
8,844
Statuses

Official account for the Youth League Arm of Tanzania's Rulling Party - CCM (The Revolutionary Party). Established: February 1, 1978. Enquiries: info @ccm .or.tz

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@uvccm_tz
UVCCM TZ
1 month
KIJANA MKAPA INAKUITA
4
14
42
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia , ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 19 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
22
182
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
📸 Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu @Victoriacharlz #VivaVijanaVivaa #UVCCM #TukutaneKazini
Tweet media one
17
24
185
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 months
"Natoa wito kwa Viongozi Vijana nchini ikiwemo Wabunge, Wakuu wa Wilaya, Makatibu na Wenyeviti wa Umoja wa Vijana Wilaya na Mikoa yote nchini kutoka kwa pamoja kukemea kitu hiki ambacho kinataka kuletwa katika nchi yetu". @ComradeKawaida
Tweet media one
100
24
178
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
"Sheria mpya ya vyama vya siasa inataka uwazi,uwajibikaji na utawala wa sheria ila vyama vya upinzani vinaipinga hiyo.Sheria mpya inataka CAG akague mahesabu ya fedha katika vyama vya siasa,sisi tunakubaliana nayo ila wapinzani wanapinga,kwanini?" Mwl Mwangwala,Katibu Mkuu UVCCM
Tweet media one
98
14
149
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
"Serikali ina hela, inaweza kununua korosho za wakulima wa Lindi na Mtwara kwa siku mbili. Tumenunua ndege, tumejenga reli kwa fedha zetu hatuwezi kushindwa kununua korosho."- Rais Dkt @MagufuliJP
Tweet media one
21
16
141
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Tweet media one
33
20
137
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
“Hii tabia ya baadhi ya Askari Polisi,ya mtu akiingia mahabusu ya polisi siku ya Ijumaa hawatoi dhamana kwa siku ya Jumamosi na Jumapili na kusema dhamana mpaka Jumatatu,sio tabia sahihi na ife haraka iwezekananavyo.”- Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi @ccm_tanzania
Tweet media one
4
20
131
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
PWANI:KISARAWE yatoa ekari 200 kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa ajili ya Ujenzi wa chuo ili kupanua shughuli za utoaji elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini @jokateM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
8
123
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
📸 Wananchi maelfu kwa maelfu waliojitokeza kumsikiliza Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli wakati akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Parking mjini Nzega leo Jumatano Septemba 2, 2020. #ChaguaCCM #KuraKwaMagufuli #CCM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
7
16
113
@uvccm_tz
UVCCM TZ
7 years
Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu kilomita 50 kutoka Mtwara, Tandahimba mpaka Newala umeanza rasmi. Hapa Kazi Tu!
Tweet media one
12
10
119
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
Mgombea Urais kupitia Tiketi ya @ccm_tanzania , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @MagufuliJP akizungumza na Wananchi wa Igunga mkoani Tabora katika Kampeni za Urais za CCM wakati akiwa njiani kuelekea Nzega muda huu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
22
100
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyoketi leo Januari 20, 2022 Jijini Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan, imemteua Dk. Tulia Ackson kuwa mgombea wa kiti cha Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tweet media one
15
28
105
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 years
📍Unguja, Zanzibar. 🗓 Januari 25, 2023. SALAMU ZA PONGEZI Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Afisi Kuu ya Zanzibar unakupongeza Ndg. Victoria Mwanziva kwa kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe.
Tweet media one
4
5
104
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
UVCCM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
15
98
@uvccm_tz
UVCCM TZ
7 years
"Vijana tusiwaachie wageni wakapata fursa zilizopo, tuzichangamkie vilivyo" -Gabriel Mwang’onda #VijanaTz
17
5
97
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
"Kipindi tunapata uhuru uchumi wa Tanzania ulikuwa unalingana na wa Korea. Lakini wenzetu waliamua kufunga mkanda na leo hii wametupatia mkopo huu wa ujenzi. Nawasihi watanzania nasi tuamue sasa kukaza mkanda" Rais @MagufuliJP
Tweet media one
12
16
91
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 months
Rais wetu, Tumaini Letu @SuluhuSamia
Tweet media one
15
12
94
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) @kenanikihongosi akikagua Mradi wa maji taka Kata ya Mitwero , Wilaya ya Lindi Mjini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
49
45
85
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
Ahsante sana wananchi wa Monduli. HATUTAWAANGUSHA MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA MONDULI 1. CCM 65,714 - 95% 2. CDM 3187 - 5% 3. NRA 45 - 0% 4. DM 35 - 0% 5. WAKULIMA 16 - 0% 6. ADA 21 - 0% 7. ACT 144 - 0% 8. DP 34 - 0%
Tweet media one
19
19
93
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 years
Niwapongeze umoja wa wanawake Tanzania kwa chaguzi zote za chini zilizofanyika kwa ubora wake pia jumuiya zote ambazo tayari zilishafanya mikutano yake mpaka ngazi ya Taifa vijana na wazazi wamemaliza ,watu wote hongera sana na karibuni kuvusha chama cha mapinduzi mwaka 2025
Tweet media one
3
9
92
@uvccm_tz
UVCCM TZ
5 years
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Comred kheri Denice James ameongoza Kikao Cha Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa leo katika Ukumbi wa Sekretarieti Jijini Dodoma. #TukutaneKazini #UVCCMHQ #Dodoma
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
14
91
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi unatoa pongezi kwa Makamu Mwenyekiti wa @uvccm_tz @tabiamwita kwa kuaminiwa na kuteuliwa na Rais wa Zanzibar @dr .hmwinyi kuwa Mjumbe wa Baraza La Uwakikishi la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. #VijanaTunakupongeza
Tweet media one
4
16
89
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 years
CCM NA VYAMA RAFIKI KUANDIKA HISTORIA NYINGINE Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaongoza vyama rafiki ambavyo ni vyama vya ukombozi kwa Nchi za Kusini mwa Afrika ambavyo ni SWAPO (Namibia), MPLA(Angola), ZANUPF (Zimbabwe), FRELIMO (Msumbiji) na ANC (Afrika Kusini)
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
33
83
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akihutubia wakazi wa shina namba 8 katika Kijiji  cha Namichiga, Kata ya Namichiga  Wilayani Ruangwa, Lindi ikiwa siku ya kwanza ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
38
39
76
@uvccm_tz
UVCCM TZ
7 years
"Wakiendelea na upuuzi wao Bavicha tutashughulika nao UVCCM tumeamua kulinda hadhi na heshima ya Rais wetu ambae ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dk John Pombe Joseph Magufuli." Shaka Hamdu Shaka, KKM UVCCM
Tweet media one
25
18
84
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Tweet media one
8
10
80
@uvccm_tz
UVCCM TZ
7 years
Chagua Mgombea wa @ccm_tanzania Ndg Said Maulid Mtulia katika Jimbo la Kinondoni #CCMtumemuamini #HapaKazitu #ChaguaCCMchaguaMaendeleo #TukutaneKazini
Tweet media one
17
13
83
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 months
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kikiongozwa na Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan , kinakupongeza kwa kuaminiwa na kupitishwa na Halmashauri Kuu kuwa katika nafasi ya Katibu wa UVCCM - Taifa
Tweet media one
Tweet media two
1
10
85
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)kupitia kwa Mwenyekiti Kheri James umetoa tamko nakusema hawatacheka na wanaotumia jina la UVCCM katika kujipanga na Urais mwaka 2020 na kiongozi ambaye atakayehusika kwa lengo hilo, Usalama wa nafasi yake utakuwa Mashakani.
10
13
80
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 years
Kazi tutakayoifanya leo ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi wa chama na jumuiya zake; hivyo basi kwa heshima kubwa nimwombe kila mjumbe wa mkutano huu kuunga mkono mapendekezo hayo na kuyapitisha kwa kauli moja. #MkutanoMkuuMaalumuCCM2022 #AlipoMamaVijanaTupo #KaziIendelee
Tweet media one
7
13
82
@uvccm_tz
UVCCM TZ
5 months
Tweet media one
2
8
84
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 years
Tarehe nane tunakwenda kufungua ruzuku ya pembejeo, ruzuku ya mbolea lakini pia kuna fedha za kilimo cha vijana, tuna fedha za kilimo cha umwagiliaji yote hayo tutakuja kuyafanya ili barabara hii iweze kusafirisha mazao kwa wingi ndani na nje ya nchi. @SuluhuSamia
Tweet media one
2
15
79
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
"Najua Nitakufa,sitapona ugonjwa huu.Nawaacha Watanzania wangu.Najua Watalia Sana,Nami Nitawaombea Kwa Mungu. Naondoka nikiwa nimewaachia Taifa moja lenye Umoja na Amani.Wosia wangu kwao waipende Nchi yao kama wanavyowapenda Mama zao.Wajue hawana Nchi Nyingine zaidi ya Tanzania."
Tweet media one
7
19
77
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndugu Kenani Kihongosi. #UVCCMImara #KaziIendelee #CCM
Tweet media one
8
20
74
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
“Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha leo kuungana na waumini wa Kisarawe Parokia ya Mt. Stefano Shahidi kuadhimisha misa takatifu. Tulishiriki wote misa na nilipata muda wa kujitambulisha na kuombewa na waumini. Nawatakia Jumapili Njema watanzania Wote.” - @jokateM , DC-Kisarawe
Tweet media one
6
2
75
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Tumeshafunga kampeni Jimbo la Ushetu , kilichobaki ni wananchi kwenda kupiga kura na kumchagua Cherehani Ili awe Mbunge wa Jimbo la Ushetu
Tweet media one
24
22
76
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
KATIBU MKUU UVCCM TAIFA NDUGU KENANI KIHONGOSI AKIMNADI MGOMBEA WA UBUNGE KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Ndugu EMMANUEL CHEREHANI JIMBO LA USHETU MTUMISHI WA WOTE KAZI INAENDELEA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
55
46
76
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 months
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM @ComradeKawaida (MCC) akisalimiana na Viongozi wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Pamoja na Walezi wa Mawati ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 16 Juni 2024 mara baada ya kuwasili Viwanja vya Karimjee Hall.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
26
16
76
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Katibu Mkuu @uvccm_tz Komred @KenaniKihongos1 amesema Rais Samia ametoa fedha kwa Wabunge wote, hivyo Mabadiliko makubwa yanakuja katika Sekta ya Barabara. Pia Ahimiza umuhimu wa Sensa kwa wananchi kwani sensa inasaidia katika kuleta maendeleo. #ziaraYaSekretarietiCcmTaifa
26
37
70
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
SHAKA NA VIKAO VYA SHINA NACHINGWEA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Wanachama wa Chama hicho Shina namba moja la Nambambo na Namatula Kata ya Namatula Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi. #ChamaImara #KaziIendelee
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
43
39
69
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 months
Tweet media one
38
14
77
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
null
33
14
58
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 months
KARIBU NYUMBANI KOMREDI JOKAT Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa inakupongeza Komredi Jokate Urban Mwegelo kwa kuteuliwa na Halmshauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM. @jokateM
Tweet media one
2
8
77
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
"CCM inaamini kuwa binadamu wote ni sawa, Uhai wa viongozi ni sawa na uhai wa watu wengine. Lisu Kama amechoka kukaa kwenye Chama kisichokuwa na itikadi, arudi CCM ili afundwe namna ya kuwasiliana na wananchi na namna ya kuipenda nchi yake,vinginevyo ataumbuka" Ndg Bashiru Ally
Tweet media one
15
9
71
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 months
"Uteuzi huu umenipa heshima kubwa, na kunipa fursa ya kuweka historia ndani ya Jumuiya yetu ndani ya Chama cha Mapinduzi kuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi hii ya Katibu Mkuu ndani ya Jumuiya hii ya Vijana". Cde @jokateM Katibu Mkuu UVCCM.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
10
71
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa leo Januari 23,2022 amekagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha afya cha Mogitu, wilaya ya Hanang Mkoani Manyara na kumuagiza Mganga Mkuu wa wilaya hiyo ahakikishe kituo hicho kinaanza kutoa huduma kwa wananchi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
14
69
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
📸 Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na Waziri Mkuu wa Tanzania Ndg Kasimu Majaliwa akiwa Butiama katika Mwendelezo wa Kunadi Sera, Ilani ya CCM na Kuomba Kura kwa Watanzania Kumchagua Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM Ndugu Dkt @MagufuliJP Wabunge na Madiwani wa CCM #ChaguaCCM #CCM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
14
60
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 months
Mwenyekiti UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewasili katika ukumbi wa Ubungo Plaza ambapo Wasomi ya Chuo kikuu cha Dar es salaam Tawi la UVCCM Mabibo Hostel wanafanya Kongamano kubwa lenye dhima ya Wasomi na *Dkt Samia Suluhu Hassan.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
9
72
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 months
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) akizungumza na Vijana wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dodoma tarehe 08 Juni 2024 Jakaya Kikwete Convention Centre
6
20
72
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Tweet media one
8
9
67
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
Tukutane Hai katika Viwanja Vya Snow View
Tweet media one
3
13
61
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
#JIWELAMSINGIIKULUCHAMWINO Nakushukuru umefanya jambo kubwa kwa ajili yetu, tumefurahi sana pia nakupongeza kwa maendeleo makubwa yanaondelea hapa katika Ikulu hii - @jmkikwete
Tweet media one
2
12
68
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi na MNEC Comrade KENANI KIHONGOSI ameendelea kufanya kampeni na vikao vya ndani kata kwa kata kumnadi Mgombea wa CCM ndugu Emmanuel Cherehani katika uchaguzi mdogo Jimbo La Ushetu Wilaya ya Kahama.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
52
42
65
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
Mhe. Rais Magufuli akisalimiana na wananchi waliokusanyika njiapanda ya Bugando leo Jijini Mwanza na kuwahakikishia kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kutekeleza ahadi zake ikiwemo #hapakazitu
7
12
63
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Katoro katika mkutano wa Kampeni za CCM wakati akielekea Chato mkoani Geita leo tarehe 9 Septemba 2020.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
9
61
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Kampeni za CCM Jimbo la Ushetu , kura zote kwa CCM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
36
26
65
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) @KenaniKihongos1 akiwa katika Mkutano Mkuu wa Seneti Taifa
Tweet media one
22
19
61
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Kikao Cha Majuisho ya Ziara ya Sekretarieti Mkoani Mtwara. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Watendaji wa CCM na  Serikali  wakati wa kikao cha majumuisho mara baada ya kumaliza ziara ya siku mbili ya kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa Ilani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
18
31
64
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo na Sekretarieti yake wamewasili mkoani Njombe na kukabidhiwa taarifa ya Chama pamoja na Serikali yake katika Ofisi za CCM Mkoa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
22
28
62
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
Karibu na utufuatilie tupo Mubashara kutokea Dodoma
Tweet media one
2
6
62
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Taarifa Kwa Umma kutoka Chama Cha Mapinduzi
Tweet media one
35
36
65
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
KATIBU MKUU WA UVCCM AENDESHA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KATIKA KATA YA UPINZANI. Mh Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake ya awamu ya sita mbali na kuendelea kutoa elimu bure,serikali ya awamu ya sita inaendelea kujenga shule sehemu mbalimbali
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
22
36
61
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Katibu mkuu wa jumuiya ya umoja wa Vijana UVCCM
Tweet media one
1
12
61
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
Picha: Mfano wa Chuo cha Uongozi Cha Mwl.Julius Nyerere kitakachojengwa kibaha Mkoani Pwani baada ya kuwekwa jiwe la msingi leo na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais @MagufuliJP . #CCMMpyaTanzaniaMpya 👍🏼🇹🇿 #ChuoChaUongozi #PongeziKwaChamaChaMapinduzi #TukutaneChuoni
Tweet media one
1
21
66
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Ndugu. @KenaniKihongos1 Amemshukuru na kumpongeza Mwenyekiti wa @ccm_tanzania na Rais wa JMT Mhe. @SuluhuSamia kwa kuendelea kuwaamini Vijana katika Nafasi mbalimbali za uongozi katika Taifa letu sanjari na hilo amewaasa vijana wote walioaminiwa kufanya kazi kwa weledi na uzalendo.
Tweet media one
21
17
61
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
Wananchi na wana CCM Karibuni kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi Zanzibar katika Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar tarehe 12 Sept.2020. Tumetekeleza Kwa Kishindo, Tunasonga Mbele Pamoja #UshindiWaMapema2020 #Mwinyi2020 #Zanzibar
Tweet media one
Tweet media two
23
12
54
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 months
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri @SuluhuSamia akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kushuka kwenye gari la (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sherehe hizo zimefanyika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam 26 Aprili, 2024.
Tweet media one
4
7
66
@uvccm_tz
UVCCM TZ
5 years
📸 Makamu Mwenyekiti wa Chipukizi wa Umoja wa Vijana Taifa Ndugu Pili Suluhu Hassani (anayemaliza muda wake) akiaga wajumbe wa Mkutano Mkuu wa saba wa Chipukizi Taifa unaofanyika jijini Dodoma. #MkutanoMkuuWaChipukiziTaifa #ElimuNaMatumaini #Chipukizi #UVCCM #CCM
Tweet media one
Tweet media two
10
17
54
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe @SuluhuSamia akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JF Kenedi Jijini New York Marekani leo Sept 19,2021 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Sept 2021.🇹🇿
Tweet media one
20
25
62
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 years
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao maalum cha Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi Leo Tarehe 14 Januari, 2023 Dar es salaam.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
11
64
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
"Atakayeisema Tanzania VIBAYA alaaniwe kuanzia visigino mpaka utosi. Atakayeisema Tanzania VIBAYA alaaniwe yeye na kizazi chake " - Mchungaji Daniel Mgogo
17
14
64
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
NUKUU YA LEO "Pendaneni, shirikianeni,na saidianeni hamuwezi kujua ni nani atakuwa msaada wa mwenzake kesho" Ndg Kheri James (MCC) M/kiti UVCCM TAIFA.
Tweet media one
4
12
59
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 years
Nataka nitoe ahadi kwenu Ndugu Watanzania kwamba nitausimamia mradi huu (Bwawa la Julius Nyerere) mpaka ukamilike kama ilivyopangwa @SuluhuSamia #AlipoMamaVijanaTupo
Tweet media one
4
11
62
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Tweet media one
12
19
59
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
mchango mkubwa wa CCM na kuamini maendeleo yanapatikana CCM pekee.Serikali ya CCM imeshusha umeme mpaka elfu 27,000/= tuu na nguzo ni bure,Mh.Rais amedhamiria mpaka 2025 kila nyumba iwe inawaka Umeme.Serikali ya awamu ya sita inaendelea kuleta maendeleo kwenye kila pembe ya Nchi
22
32
62
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndg. Kheri D. James(MCC) akisaini Kitabu cha Maombolezo ya kifo cha Sarah Samson Kibonde ambaye ni Mke wa Mtangazaji wa @CloudsMediaLive Ndg. Ephraim Kibonde aliyefariki Julai 10,2018 katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam.
Tweet media one
1
6
62
@uvccm_tz
UVCCM TZ
5 years
📸 Matembezi ya Umoja wa Vijana wa @ccm_tanzania kuelekea katika kilele cha Sherehe ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar. #Zanzibar #Miaka56YaMapinduzi #TogetherTunaweza #MatembeziYaVijanaWaCCM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
24
13
51
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
📸 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Dkt @MagufuliJP akiomba kura kwa Wananchi na WanaCCM wa Kuzuramimba Tabora. #ChaguaCCM #KuraKwaMagufuli #T2020JPM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
33
13
50
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 years
Tweet media one
3
9
58
@uvccm_tz
UVCCM TZ
2 years
UVCCM_ TAIFA BOOM NI 10,000/= KWA SIKU Mhe. Rais @SuluhuSamia akizungumza na viongozi wa Vyuo vyote nchini leo Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma. Mhe. Rais ameongeza hela ya kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu (BOOM) kutoka matumizi ya elfu 8,500/= kwa siku hadi 10,000/=.
11
15
63
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi; inamtakia Kheri ya kumbukizi ya siku ya Kuzaliwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan #AlipoMamaVijanaTupo #KaziIendelee
Tweet media one
Tweet media two
14
15
59
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
Pumzika Kwa Amani 🕯
Tweet media one
9
15
56
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
“Haiwezekani viongozi wa Serikali wana ofisi nzuri, zenye viyoyozi na samani nzuri, lakini hatua mbili tu kutoka hapo, kuna shule haina madawati, hii hata shetani hapendi,”-Rais @MagufuliJP
Tweet media one
2
16
63
@uvccm_tz
UVCCM TZ
7 years
"Hatutaki vijana wa Instagram, Twitter na Facebook Tunataka vijana walioko site, vijiweni, shambani huko vijana waporipori wanatuhitaji" - Mwenyekiti UVCCM Taifa Kheri James
Tweet media one
58
13
61
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Kheri ya Siku ya Kuzaliwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania- Mhe Samia Suluhu Hassan #AlipoMamaVijanaTupo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
14
20
57
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Azimio la baraza kuu la UVCCM Taifa
Tweet media one
27
20
60
@uvccm_tz
UVCCM TZ
7 years
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Tanzania 2017-2022 ni Ndugu Kheri Denice James. #VijanaTumethubutuNaTumeweza #VijanaJeuriYaChama #UVCCMTAIFA
Tweet media one
6
11
57
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
Nzega Kuna Jambo Kubwa
Tweet media one
3
8
60
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
KATIBU MKUU UVCCM KENANI KIHONGOSI ASEMA UMEME NI 27,000 na NGUZO BURE NCHI NZIMA Katibu mkuu wa Uvccm *Ndugu Kenani Kihongosi* leo ameendelea na ukaguzi wa Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
17
27
56
@uvccm_tz
UVCCM TZ
7 years
Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa imeanza kikao leo Jumapili 15/10/2017 katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Dodoma
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
8
60
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
"Vijana pendaneni,saidianeni,na shirikianeni.Hamuwezi kujua ni nani atakuwa msaada wa mwenzake kesho" Kheri D. James > Mwenyekiti wa @uvccm1978
Tweet media one
5
7
61
@uvccm_tz
UVCCM TZ
1 year
Mwenyekiti wa (UVCCM) Taifa Ndg. MOHAMMED ALI KAWAIDA (MCC) @comrade_kawaida asimikwa kuwa mtemi na kupewa jina ISIKE MWANAKIYUNGI na watemi wa Mkoa wa Tabora #MtumishiWenu #AlipoMamaVijanaTupo #CCMImaraSerikaliMadhubuti #KulindaNaKujengaUjamaa #KaziIendelee
Tweet media one
8
13
58
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
Sehemu ya Wananchi waliohudhuria Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Bombardier uliopo Singida Mjini.
Tweet media one
7
5
53
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
Karibu Bombadier C Series yenye uwezo wa kubeba abiria 132.
Tweet media one
3
15
57
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Tweet media one
8
14
58
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
KATIBU MKUU WA CCM DKT. BASHIRU AFAFANUA UKOMO WA WABUNGE, WAWAKILISHI NA MADIWANI
25
11
50
@uvccm_tz
UVCCM TZ
4 years
"Kazi ya 'Usultani' kwenye vyama waachie unaoshindana nao, kazi ya kubadilisha rangi ya vyama kila mwaka waachie unaoshindana nao, CCM ni chama cha uongozi, tunashindana na vyama vya uchaguzi".Dkt.Bashiru.
Tweet media one
9
11
57
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
Tweet media one
11
25
57
@uvccm_tz
UVCCM TZ
6 years
Balozi wa Tanzania nchini Marekani 🙌🙌🙌
10
9
56