Mange Kimambi Profile Banner
Mange Kimambi Profile
Mange Kimambi

@mangekimambi

224,880
Followers
64
Following
395
Media
5,754
Statuses

Dada wa taifa WhatApp +1-424-537-3057. Download Mange Kimambi App

Los Angeles, CA
Joined June 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Mnamfahamu huyo mwanamke anaetembea nyuma ya Rais??? Nitawarudia….
Tweet media one
Tweet media two
399
166
4K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Mnaoweka matangazo kwenye posti zangu mjue nimeanza kutembeza block… Mnatuharibia flow ya comments…. Hii ni page ya taifa, iheshimiwe. Pia machawa wa sagaji mnatembezewa block vile vile….
Tweet media one
463
144
3K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Mnakumbuka kipindi cha Magufuli, mwanzoni kabisa tulikuwa tunasema Bashite kamloga Magu kwa jinsi ambavyo Bashite aliweza kumcontrol Magu na Magu alikuwa hasikii haoni kwa Bashite. Kwenye kipindi hiki ile nafasi ya Bashite kwa Rais anayo huyu jambazi anaitwa Waziri Salum. Kwa
Tweet media one
442
155
3K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Huyu Waziri ( msaidizi wa Samia) Anajiweka kwenye mitandao ya jamii kama mtu wa busara, Mshika dini na mwana familia lakini vitendo vyake ni opposite na hivyo vitu anaandika. Ametengeneza public persona tofauti. Anajitia anafuatilia dini wala hana lolote. Ushirikina, wizi,
Tweet media one
442
153
3K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Part 2. Naendelea na vita nayopigwa sasa hivi na Abdul na mama yake na serikali nzima ya Tanzania. 2. Wamenifungulia kesi ya money laundering huko Tz, na wameitumia kesi hiyo kuitaka FBI kunirudisha TZ niface justice. Kwanza walijaribu kutumia kesi ya zile connection ila im
Tweet media one
425
212
3K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
You won’t believe upuuzi na utumizi mbovu wa resources za nchi. Ndo nimepokea habari sasa hivi kuwa baada ya kile kichambo cha April ilianzishwa kamati ya kudili na mimi na pia kutafuta ni nani ananilipa ili nimtukane Raisi. Kamati iko made up na 1. Usalama wa taifa 2. TCRA
Tweet media one
554
175
3K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
As part of the deal la DP World, Abdul kapewa bonge la jumba huko Dubai, ndio kahamishia familia yake huko. Sasa hivi mkewe anaenda Dar kutembea tu. Sasa sijui anajua na mke mwenzie Halima Bulembo nae anakula good time. Halima Bulembo sasa hivi anabeba handbag za $20,000,
Tweet media one
Tweet media two
326
159
3K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Leo kateuliwa mtu ambae kafariki tangu tarehe 4 🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️…. Ndo mjue hiyo serikali inaongozwa na ma zero brain. Nimechoka kabisaaa…. Imagine serikali haijui mtu alieteuliwa kafariki , hawa ndio wataleta maendeleo?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
381
238
3K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Haki hii kazi ya kuchamba serikali na viongozi wake huwa inanipa amani ya roho ya furaha maana I know I’m making a difference in the world. Ile kazi ya umbea huwa nafanyia njaa tu.. . . Hiki kinyimbo cha shogangu king’ang’a nakipendaga mnoooo…..
371
195
3K
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 months
Juna au Julius wa Kwenye voicenote alietumwa kupanga mauaji yangu ndio huyu.
Tweet media one
Tweet media two
263
136
3K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Niwapeni tu za ndani, hakuna kipindi kuna ufisadi Tanzania kama sasa hivi. Ni hivi hakuna uwekezaji unaofanyika Tanzania bila kupitia kwa Abdul. Yani hakuna. Hakuna mwekezaji anawekeza kabla ya kupitia kwa Abdul. Abdul anachukua chake kwanza ndo dili la uwekezaji linapita.
Tweet media one
584
178
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Jamani wapotezeeni wapuuzi wanaosema eti nitarudishwa Tz. Hakuna wa kunirudisha TZ. Siku nikirudi Tz nitarudi kwa raha zangu mwenyewe ila sio kwa nchi ya Marekani kunikabidhi kwa Samia na mwanae Abdul. Hiyo haitokaaa itokeee… . Wanajifurahisha hao. Na kama kumtukana maza wao,
Tweet media one
272
141
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Part 1. Nilikuwa nataka kusubiria account yangu irudi ndio niwape story ya kilichonikuta toka niwaambie Watanzania ukweli kuhusu Mama Samia…. . Jamani kuna mengi sijui hata naanzia wapi. Kama mtakumbuka nilimchamba Samia kama wiki na kitu hivi. Kuanzia April mwanzoni mpaka
Tweet media one
327
234
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
3 months
Waambieni walioandamana leo nimeposti hii sasa hivi. Wakaandamane tena na kesho. This time wakanishtaki kwa Biden kabisa. I’m ready. Endeleeni kunichokonoa tu nikilipuka sitaki lawama
Tweet media one
Tweet media two
633
157
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Samia hakuna unachoweza kumwambia juu ya Abdul. Hapo ni 2018 Abdul akiwa mume wa mtu alipomuoa mdada anaitwa Jacky ambae alizaa nae huyo kwenye picha na mama yake Samia akaenda kukata viuno harusini, na kutunzwa juu. Yani anachotaka Abdul ndio Samia anachofanya. Imagine hapo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
481
145
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
He humu X kumbe mnalipwa na Elon kwa kupiga spana tu na hamsemi? Nimeamka nakutana na notification naambiwa nitaanza kulipwa kwa kuposti humu… NYIEEEEE!!!
Tweet media one
127
105
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Hiyo ndio ripoti ya siri kuhusu RC aliemlawiti binti… Binti kashurutishwa na serikali na kupewa pesa mpaka kafuta kesi. Ninazo picha za binti akiwa ametoka kununua iPhone nne. Sasa sijajua sheria za kumwanika victim wa sexual assault zikoje…. Eti wanaweka na machata ya
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
357
181
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
14 days
@JoeBiden Wow, we Love you Biden, thank you for doing what’s right. You really Love your country. Wow. Dems? Now let’s go kick Trump’s ass!!!
378
43
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Hela za walipa kodi hizo. Hapo ndio wala sijaanza kazi, bado nawagusa gusa tu
Tweet media one
260
138
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Part 5. Najua woote mnasubiria details za mkutano wangu na Abdul, mtoto wa Rais wenu. . Kwenye ule mkutano Abdul aliniomba niwaeleze followers wangu kuwa ule mkataba wa DP world una manufaa makubwa kwa Watanzania na kwamba mama kaingia mkataba ule kwa manufaa ya watanzania.
Tweet media one
368
167
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Huyu ndio demu aliehongwa 100M na msaidizi wa Rais wa Tanzania, Waziri Salum Demu anaitwa Pamela. Hapo mnapoona ni kapostiwa kwenye page ya mke mhusika. Yes jamaa ni mshenzi wa kiasi hiki. Side chick anakuwa comfortable mpaka anaenda kununua nguo kwa mke mtu na mke hajui
Tweet media one
423
111
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
ni wodi ya wazazi Temeke, video ni ya last week. We made sure no patient is recognizable in the video for their own privacy, except for that nurse ambae hakuwa akiwasaidia hao wamama. Wamama hata kulala hawawezi, inabidi wakae wima kama hivyo maana wako 3 mpaka 4 kwa kitanda
275
195
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Kesi ya money laundering walionitengenezea huko Tanzania mpaka kunifungia account zangu za bank na kujaribu kuwajaza FBI imebuma na kuangukia pua sasa wanajaribu kuniletea hiyo kesi huku Marekani. . Ila hawa mazero brain. They really think I will fall for this sillyness….
Tweet media one
321
103
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Dada wa taifa bora leo umetuletea huyu tapeli wa taifa Kashoba. Hassan anamuoa Sheryly Jumanne Kishimba, na hapo ka target pesa tu. Jamaa ni tapeli wa mapenzi kama Kitenge tu. Ukaribu wake na Mchengerwa ni zaidi ya uchawa. Mchengerwa kampa kazi anazunguka kusikilizia mtu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
204
127
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Kinachoendelea huko kwenye magroup ya UVCCM. Hivi hiyo narrative yao kwa kwamba kuna watu wananituma wameitoa wapi? Alafu huwa hawawataji hao watu wanaonituma au wanasubiri mpaka wamrudishe Musiba mjini ndio awataje hao wanaonituma??? Maana alianza Bashite kuwa natumwa na
Tweet media one
Tweet media two
277
128
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Part 4. Bado naendelea na vita nayopigwa na Abdul na mama yake kwa kuitumia serikali ya Tanzania. . 4. Kwa mlionoti kama wiki 3 hivi zilizopita website zooote za ngono TZ zilifunguliwa pamoja na App yangu. Zikawa zinapatikana bila VPN wala nini. Zilifunguliwa kWa ajili yangu.
Tweet media one
215
142
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Haya itaneni ndugu zangu, Mnaikumbuka hii project ambayo Magufuli aliishiia katikati akaachana nayo??? Hii project ilikuwa estimated worth about $650 million. NSSF waliingia mkataba na jamaa anaitwa Akbar ambae ndo alikuwa mmiliki wa hii ardhi. Sasa baada ya Samia kuchukua
Tweet media one
310
151
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Kudadeki walahi, embu ngoja kwanza, ni mkopo tu umefanya kauza sehemu ya bahari ya hindi na madini? Mkopo ambao inabidi tuurudishe anyways?? Sagaji la taifa katika ubora wake……
@VOASwahili
VOA Swahili
2 months
Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
345
267
696
203
130
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Wakati wananchi hamna ajira, hamna umeme, hamna maji, hamna huduma za afya, umaskini mpaka matakoni, ona mkwe wa Rais anachanga 20M kwenye harusi ya chawa wake…. Wao wana hela mpaka hawajui wazifanyie nini, huku wananchi kununua bando tu shida . MC wa shughuli atakuwa huyo
Tweet media one
Tweet media two
271
140
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Kuna mapya, kaeni mkao wa kula..
171
63
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Abdul wa Samia sasa hivi utajiri wake ni anashindana na kina GSM. Na kuhusu huyo Halima ni kweli. Abdul anamtatua marinda mtoto wa Bulembo muda tu sasa, ndo mnamuona binti sasa hivi anabeba mabegi ya designer etc. Pesa za walipa kodi hizo Abdul anamuhonga. Baba yake
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
229
100
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
But she is not traveling to beg, she is traveling to find the highest bidder for the natural resources. The begging is just a cover. Hilo maza halisafiri kuomba omba kivile, linasafiri kutafuta wanunuzi wa mali za Tanganyika.
@lifeofmshaba
Think Different
2 months
Mfikishieni mama hii
Tweet media one
67
204
1K
101
147
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
14 days
Wow, the most unselfish act I have ever witnessed in my life time. We love you Biden. Thank you for putting the country first.
@JoeBiden
Joe Biden
14 days
Tweet media one
90K
182K
1000K
195
89
2K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Kikwete alikuwa karibu na maza kipindi maza kaanza Urais. Baadae walikuja kukorofishana baada ya Bashite kupeleka sumu kuwa JK kapanga mama asiwe mgombea wa CCM 2025. Samia ukitaka amchukie mtu ndani ya dakika mbili kamwambie flani hataki uwe Rais 2025. Na ndo kina Bashite
@muniydrik
Mbaruk Hamad
2 months
@mangekimambi Mara kikwete ndio anaongoza nchi mara Abdul tuwaeleweje?😃😃😃
14
0
18
310
111
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 months
Jamani amkeniiiiiii, @ccmtanzania wakoserious na kunitoa uhai. Huyo mnaemsikia hapo anaitwa Julius Deckasoni almaarufu kama Juna huko UVCCM. Huyu kijana aliwawahigi kutaka kugombea nafasi ya mwenyeketi UVCCM baada ya James Henry kutolewa sijui ilikuwaje akahairisha kugombea.
230
159
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Kama mnavyoona hizi email ni wiki baada ya kuwaambia ukweli kuhusu mama Samia…. . Yani exactly 1 week baada ya vile vichambo, account zangu za CRDB zikkawa frozen na wakanifungulia kesi ya money laundering. . Yani ni hivi ni kama kıpindi cha Magu alivyokuwa anatumia kesi za
Tweet media one
Tweet media two
300
121
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Tatizo Samia na serikali yake ni cowards, wanadai wanaifungia Twitter sababu ya porn, haya watueleze why waliifungia clubhouse?? Na club house kulikuwa na porn?? Clubhouse walikuwa wanapigwa spana zaidi ya hapa Twitter (x). Ndio wakaamua kuifungia. Mimi huwa nasikiliza sana
Tweet media one
136
147
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Part 3. Lawyer wangu though his contacts huko FBI ameweza kufind out how serious my issue is. . Serikali ya TZ inawatishia FBI kuwa kama wao wanagoma kuwapa wahalifu wanaotafutwa Tz kwa kesi kubwa başı na wao kuanzia sasa wataacha kuwapa FBI wahalifu wanaowatafuta kutoka Tz.
Tweet media one
200
124
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 months
Ndani ya masaa 5 page yangu imefungwa na kufunguliwa mara 3.Instagram wananitumia hiyo email ya kuniomba msamaha kila wanapoifungua. . Something fishy is going on, even instagram can’t figure it out. Nimewaambia instagram wacheki logs kuona employee anae access acc yangu.
Tweet media one
262
96
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
This fake crisis is being created na serikali ya Tanzania ili kuleta sababu ya kufungia tena twitter. Wameshawalipa machawa wao ili watrendishe hii kitu…. Ni hivi huku twitter mmewazidi nguvu wa Zanzibary wanaoitawala na kuiuza Tanganyika. Kama nilivyowaambia before tunarudi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
307
143
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 months
MANGE HUYO MVULANA JUNA NI NO BODY ALIKUA MSAIDIZI WA GALILA WAKATI YEYE NI NAIBU KM/UVCCM WAKATI WA HERI JAMES, INASEMEKANA GALILA ALIKUA TISS KWA HIYO ALIKUA AKIWATUMIA BAADAE AKATOKA WAO WAKATENGENEZA KIKUNDI AKAWAINTRIDUCE KWA MAGU WAKAENDELEZA KAZI NA BASHITE TENA MMOJA WAO
Tweet media one
121
77
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 years
@260zay Gary Owen is NOT a racist, he is blacker than many black men I know. 1. Treats his black wife with more respect that most black men treat black women. 2. Protects his black Queen. 3. He has done alot for the community Can we give this energy to the 73M who deserve it?
208
60
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 years
109
215
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Doh, nimeangalia hii video nimechoka, waangalie hao wananchi wenyewe waliokamatwa na TRA kudaiwa kodi, walivyochoka na maisha… Wenyewe kina Abdul wanalipana madeni tu, wana hela kuzihesabu hawawezi, cheki hali za wananchi sasa…. KUTOKA KWA MWANACHI Dada Mange naomba utupazie
216
156
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
12 days
Just watched her Milwaukee rally. WOW!! She is going to be a problem. Ladies and gentlemen, this woman is going to be the next president of the United States of America…. #HARRIS2024 #HarrisKelly2024 #Kamala2024 #KAMALAHARRIS #Election2024
Tweet media one
227
67
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Tatizo mnawasikiliza wahuni wenye vishundu….. So zile movie zake hadharani mnadhani ni kweli kuna msaada atawapa baada ya camera kuzimwa? Pyeeee!!
Tweet media one
114
75
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
My instagram account has been deactivated. Msiwasikilize wanaodai nimekacha harakati. Mimi bado mwanajeshi, labda kifo kinichukue. I’ll be back!! #DemocracyForTZ
196
132
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Kutoa machozi hakutowasaidia, inabidi mfanye maamuzi magumu…… Watu wanakula nchi, wanakuwa mabilionea nyinyi mnazidi kuwa maskini, machozi yenu hawatowarudisha nyuma hao mafisadi.
Tweet media one
125
74
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
“Kwanini mnatafuta mazingira ya kunyongwa mkitoka madarakani?” Nani kakwambia wana mpango wa kutoka madarakani? Unadhani Bashite karudishwa kwa sababu zipi? Unadhani Ali Hapi karudishwa kWa sababu zipi? Unadhani serikali imewithdraw appeal dhidi ya Sabaya kwa sababu zipi?
@mdudechadematz
Mdude Chadema
2 months
@mangekimambi Hizo gharama za Abdul kukufuata huko ni za nani? Ni wazi Abdul hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato. Jambo lingine Abdul ana cheo gani ndani ya serikali? @SuluhuSamia tuambie huo uRais ni wa familia? Kwanini mnatafuta mazingira ya kunyongwa mkitoka madarakani?
30
30
382
134
108
1K
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
Sirro Watanzania wameniambia 'Mange Piga Kazi' kama mkulu alivyomwambia Bashite apige kazi…
116
57
958
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
Some encouraging news! Finally Instagram has reached out me. We are trying to figure out what happened for them to shut down my account.
115
49
945
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Haya ni maongezi yangu na mwanasheria wangu baada ya kuunganishwa nae…. Yani nilikuwa muoga kiasi kwamba nilishakubali kwenda kwenye mkutano. Sikujua hata kama nna haki ya kutokwenda kwenye mkutano na FBI. Yani nilikuwa nataka tu niwe na lawyer wakati wakinihoji. Ona lawyer
Tweet media one
78
82
956
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
@JonnyRoot_ People watched this game today because of the rivalry between Clark and Reese but yeah Clark is the only reason WNBA is relevant.
276
14
944
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Samia alivyoanza Urais nilikuwa convinced sio tu kwamba yeye ni bora kuliko JPM ila nilidhani yeye ni tofauti kabisa na JPM, especially alipoanza mambo ya maridhiano na kufuta kesi za wapinzani etc, ndo pale nilipokuwa nampamba ila as time went on nikaanza kuona ana badilika
@mwamibat
TheDarkNightZombie
2 months
@mangekimambi Mange kati ya JPM na Huyu wa sasa nani bora ? 🤣🤣🤣🤣 Sasa hivi kama unakinukisha sana Comrade 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
2
0
19
132
61
939
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
Wakati bado nashughulikia account yetu ya ukombozi. Account niliyonayo instagram kwasasa ni hii tu @mangekimambi_2020 . Zingine zote sio zangu......
98
71
895
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 months
Hii ndio account nayotumia instagram kwa sasa hivi mangekimambi81
Tweet media one
149
57
920
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 months
Hie Watanzania, if you believe in free speech and believe and share my views. Please kindly DM or tweet @ @instagram and tell them to return my Instagram account @mangekimambi_ which was mass reported and also reported by TCRA. Alluta continua 💪
209
93
905
@mangekimambi
Mange Kimambi
12 days
@PpollingNumbers @Reuters And she hasn’t even started campaigning. MAGATS IN SHAMBLES!!!!
28
13
835
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Hivi si ni juzi tu niliweka posti ya kuwaambia kuwa mpaka Musiba atarudi kuanza kutaja taja watu ili kutengeneza fear. Nacheka kama mazuri…..
Tweet media one
@lifeofmshaba
Think Different
2 months
wajeda tuambieni Musiba ni nani ? Musiba anafanya nini hapo kambini Mgulani ? ni karibu kila siku yuko hapo amekaa kama afisa amefichwa hapo kama nani? tunaomba tu maelezo nini kinaendelea kati yenu na Musiba? tunajua uwa kuna raia mnafanya nao kazi je huyu hapo anafanya issue
Tweet media one
58
86
645
71
52
811
@mangekimambi
Mange Kimambi
6 years
Enzi za JK zilipotea pesa chache zaidi tukaongea mpaka makoooo yakakauka, tukamtukanaaaaaaa,…
34
21
749
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Mbona kama ana point? Au nifungue subscription ya upande wa X then niwe nachanganya umbea na siasa, malipo $1 tu per month? Alafu nimeona kama nahitaji kuwa kwenye platforms zooote ili nisiitegemee mno instagram. By the way, account ya instagram itarudi soon, tuko mezani.
Tweet media one
66
35
752
@mangekimambi
Mange Kimambi
6 years
Trillion 1 = Bilioni 1,500 . Kwa wale watanzania mliokubali kudanganywa kuwa ufisadi umekishwa…
51
19
719
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Passport ya kimatumbi inanisaidia nini kwenye maisha yangu? Toka nipate passport nimeenda nchi gani inayohitaji niwe na passport zaidi ya Switzerland? Canada & Mexico I only need my green card. FYI I’m eligible kuwa citizen wa Marekani, I choose not to be. Sina u desperate
@iamZature
Zature
2 months
@mangekimambi Wewe ulisifia ili upate passport yako na manufaaa mengine, sisi si wajinga bwana. Hivi kipindi cha magu nani alitumwa meeting uache kumsakama magu ukomae na makonda?
26
3
84
150
44
742
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
Mnadhani wanajali kuhusu mapato wananchi mnayoyapata hapa twitter? Wanachojali wao ni mapato yao, twitter ikiendelea kuwepo mapato yao ya ufisadi yapo hatarini kupungua au kupotea kabisa.
@CyancutyTz
Cyancute ⭐
2 months
@mangekimambi Aseee jamani watuachie Twitter yetu wengine tumejiajiri humu mnataka kufungia X Tanzania tutaishije tutakula wapi nyiii mtuache jamani 😭
14
5
79
47
52
717
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
@CNNAfrica Thank you CNN for being our voice. Kindly do an interview on an opposition leader Tundu Lissu who is in Nairobi after Magufuli had him shot
36
37
654
@mangekimambi
Mange Kimambi
3 years
The president of my country has passed away. My first reaction was to celebrate because the last 5 years have been pure hell for anyone who opposed him. But I know I’m a better human being than him so I’m going to try my best to mourn with my country.
Tweet media one
55
29
614
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
Kwa jinsi ninaijua serikali ya Magufuli. Nnahisi kwa asilimia 90% huyu atakuwa mgombea ubunge- Kinondoni! Mwigulu 👋
Tweet media one
60
41
611
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 years
@HKigwangalla Unakosea kusema mbona Tz imefuata watu wake. Tz imefuata wateja maana wote wamelipishwa fare. Na ndo maana nchi zenye watz wachache hamjakwenda kuwachukua, mmeenda sehemu zenye watz wengi wa kujaza ndege. Hizo nchi zingine wamechukua watu wao bure kabisa.
70
17
559
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
OMG yeeeeeeeeeeeees tumefikia nusu ya lengo ndani ya siku 9 tu!! Uwiiiiii we can definitely make…
34
26
545
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 years
Aibu tupuuuuu
Tweet media one
34
41
523
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 years
@AliyyaSwaby I would rather deal with temporary bad report cards than a sick child or a hospitalized family member due to covid that was brought to our home from school by my child.
7
14
511
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
R.I.P shujaaa wa taifa, Mzee Kingunge afariki alfajiri ya leo katika hospitali ya taifa ya…
41
27
505
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
Nakojoaaaaaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Sirro unaweweseka sababu juzi nimesema ntakudhalilisha wewe na…
49
24
512
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
Oooh jomonii leo nimetokea kwenye fenti ford ya gazeti la CCM, tena right next to Mr. Fenti…
47
16
474
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 years
Mke wa katibu wa Massanja, Naomi amefungukaaaa kupitia Mange Kimambi app. Leo saa mbili usiku Mbengo zitafungukaaaaaaaa…..
26
34
471
@mangekimambi
Mange Kimambi
6 years
Part 1. Kama Zawadi ya Pasaka kwa Watanzania wote, ninayo furaha kubwa kuitambulisha nyimbo hii ya msanii wa Kitanzania aliejitoa bila uwoga wa kufungwa, kutekwa waka kuuawa na kaamua kuimba ukweli wa hali...
11
15
462
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
Magufuli atoa msamaha wa Rais kwa Babu Seya na Papii.... Mnakumbuka posti yangu baada ya ile…
51
23
462
@mangekimambi
Mange Kimambi
12 days
@PpollingNumbers @Reuters Trump will lose in a blow out. America is too diverse to have 2 white men at the top of the ticket.
37
12
468
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 months
TRUMP İŞ GUILTY… YAAAAAS!!!!
27
6
445
@mangekimambi
Mange Kimambi
6 years
Tujipiganie wenyewe, Wa Egypt walijikomboa wenyewe bila mwanasiasa kuwaambia waandamane wala…
21
28
406
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
Ahsanteni Diaspora mnaotusogeza kwenye Gofundme. Tuendeleeeeeeeeee tukifika nusu ya lengo…
11
14
400
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 years
@260zay Black men in their feelings under my tweet. Gary Owen can give y’all a lesson on how to love, protect and respect a black woman. I’m not letting anyone call Owen a racist when most black men can’t treat a black woman with half the respect he treats his black Queen with.
57
18
364
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
I’m baaaaaaaaaaaack!! And ready to kick ass!!! Nyambaf madikteta chupi zimebana. . . I believe…
30
13
378
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 years
@EmeraldRobinson This is why no one with a brain takes you people seriously. You can’t be that clueless. You do know Museveni of Uganda has been president for almost 40 years right? He jails & disappears his opponents. Just how clueless are you people?
21
6
328
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
OMG thank you CNN for reporting this
@CNNAfrica
CNN Africa
7 years
#WhatWouldMagufuliDo ? Ban protests, close media outlets and attack political opponents
690
342
1K
18
15
349
@mangekimambi
Mange Kimambi
12 days
@Politics_Polls @maristpoll @NPR @NewsHour We need to get RFK on every ballot in the country. Let’s go KAMALA !!!!
11
1
347
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
Kutoa mchango ingia au Bonyeza link kwenye bio…
7
22
333
@mangekimambi
Mange Kimambi
6 years
Habari, kama Mtanzania mzalendo tafadhali weka sahihi yake kwenye petition hii.
11
23
329
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 years
@cnnbrk Trump will be the first US president to be convicted and jailed after leaving office.
49
9
311
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
I can’t believe I’m back.............. . . . Jomoni nimerudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, uwiiiii I’m…
44
22
335
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
Sasa ulizeni kozi aliyo-disco Mkuu wa mkoa huko Mzumbe??? Mie…
28
13
335
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 years
@CarmineSabia Secretary of State clearly told Trump, twice I might add, that what he is asking him to do is against the law and Trump said that the election was against the law too. You can try to defend this all you want but it is what it is.
4
7
317
@mangekimambi
Mange Kimambi
14 days
@CollinRugg @JoeBiden It wasn’t a coup, we simply asked him to do the right thing so we can beat Trump and he did. And guess what Biden will be at the DNC convention showing unity….. @JoeBiden We love. Now it’s time to kick Trump’s ass….
107
6
345
@mangekimambi
Mange Kimambi
4 months
Huyu kijana facebook anatumia Juna Tanzania, Kwa sasa hana cheo UVCCM ila humkosi kwenye mikutano yoooote ya UVCCM. Ni mmoja wa vijana wa Bashite, kipindi cha Magu alikuwa anatumwa sana na Bashite kufanya mambo ya chinichini ya kupoteza watu. .
14
27
325
@mangekimambi
Mange Kimambi
6 years
Jamani watanzania inabidi mjifunge vibwebwe haswa....Haitokuwa kazi nyepesi. Hata kama kila…
28
14
312
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
OMG , this is shocking, Amiri jeshi mkuu hajaenda kuzika wanajeshi 14??? Uwiiiiiiiii, mnajua…
26
16
298
@mangekimambi
Mange Kimambi
7 years
🇹🇿Tanzanian Free Speech Activist * * Nipo kwenye Mapumziko Mafupi * * Whatsapp: +1 310 855 4352 * * * * TO DOWNLOAD MY APP 👇👇 👇
23
9
299
@mangekimambi
Mange Kimambi
6 years
Chama tawala mnamtunza chatu mdogo akikuwa si atawala? . Part 2. Kama Zawadi ya Pasaka kwa Watanzania wote, ninayo furaha kubwa kuitambulisha nyimbo hii ya msanii wa Kitanzania aliejitoa bila uwoga wa kufungwa,...
11
7
286
@mangekimambi
Mange Kimambi
2 years
Ahsanteni kwa promo ya Mange Kimambi App Twitter family. Endeleeni kulia lia kama machoko🤣🤣🤣… Kazi iendeleeee!!!!
75
8
269