Mwaura Robert Profile
Mwaura Robert

@MwauraRobert2

8,479
Followers
5,336
Following
2,559
Media
60,013
Statuses

An international enterprenuer,dealing in agriculture(plants,livestock,fisheries) manufacturing, logistics,warehousing, renewable energy,water,waste management

zug,Switzerland 🇨🇭
Joined June 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
7 months
Tweet media one
6
12
40
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
7 months
Naunga mkono hoja,na ikiwezekana aaze na kumufuta kazi raisi wa tanzania.
Tweet media one
61
65
662
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 years
Nilisema kitambo tu,hii kesi ya mhe mbowe sio ushahidi utaamua kesi itaamuliwa na samia na genge lake la ccm. Huhitaji kujua hata shule ya kusomea uanasheria iko wapi baada ya kusikiliza ushahidi ndio ujue palikuwa hakuna kesi pale,lakini samia ameamua iwe hivyo,aibu ccm hawana
12
69
550
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 months
Kiti cha uraisi🇹🇿2025,huyu ndio nitaunga mkono.Hana scandal yeyote,amekuwa msitari wa mbere kupigania wengi waliofugwa na ccm haswa kweye migodi amewatetea mahakamani bure,na wakasida kesi zao. Amenusurika kuuawa na magufuri,kapigwa risasi 37,kweli mhe lissu ni muujiza unaotembea
Tweet media one
32
171
561
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 months
Asante mtumishi wa mungu. Samia, ccm waondoke madarakani. Tangu enzi za raisi mkapa kuua zanzibar, kisha kikwete, alafu magufuri kuua wengi sana,kwa mamia,samia anaendelea na hio njia,samia hata amezidi anaua hadharani ka vile ameteka na kuua mzee kibao,tuombe,na kusoma albadiri
22
139
494
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Watanzania,Ukiona watu wanaungana kila kijiji,mkoa kupinga mkataba wa bandari,ukiona jaji wa mahakama ya rufaa anawandikie raisi barua na kumuambia wazi amevuja katiba kumuongeza muda jaji mkuu,vijana wanaadama,jua taifa limeamka.Tumepata ufahamu 🇹🇿 sio Mali ya ccm na vizazi vyao
Tweet media one
35
139
465
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 years
Mko wapi wanadiaspora ?watanzania, pls pls tuchangie hii noble course,hao mawakilli wa mhe mbowe na team adamoo,toka Thursday 3rd tumevhanda only $8,000. Niliomba tukiwa 2,000 tuchange $50,kila mtu tunapata $100 000. Hela ambae mawakili wa kina mhe mbowe wanahitaji.lets donate pl
10
70
451
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 months
Mungu endelea kuhakikisa makonda anavuna alichopanda ,atuambie Ben saa nane,azory gwanda na wengine mili yao iko wapi kabla hajaenda kwa moto wa milele.
Tweet media one
42
44
335
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
5 months
Asante sana padre kitima,katibu tec. Wewe ni hazina kubwa katika taifa letu la tanganyika. Tuendelee na mapambano. Aluta continua
7
106
322
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 month
Tusichoke mpaka jambazi ccm liodoke ikulu
2
77
319
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
6 months
Tundai tanganyika yetu kwa bidii. Sisi watanganyika tunaka taifa letu,watoto wetu waifahamu taifa Lao,uhuru,uhuru wake,na vile tuliingizwa kwa muungano mbila ridhaa yetu. We want our country tanganyika back
Tweet media one
21
55
315
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 months
Je wajua? Kijana huyu,shoka,mweyekiti bavicha,wilaya ya temeke,mkoa wa dar es laam, tanzania, ndie aliazisha maandamano ya Gen Z,hata kabla ya ile ya jirani kenya. Alipanga na kufanya maandamano kupinga raisi samia kuuzia waarabu wa UAE🇦🇪, kupitia dp world badari zote za tanzania
Tweet media one
2
90
286
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
7 months
People's,power. Wapi 💐 maua ya huyu kamada. Machawa makanda wa ccm ujumbe nafikili umefika.
14
94
272
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
Mimi sio nabii,wala muyahudi,lakini sina shaka wala sauku ya kwamba samia ndie atakuwa raisi wa mwisho toka ccm kutawala tanzania. Hakuna mtu wingine toka ccm atatawala hii taifa kwanzia hapo 2025,hata pengine kabla ya hio 2025. Wekeni hii tweet yangu kaa kumbukumbu,jumapili jema
31
62
259
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
Chama cha kikomunisiti cha China kinatoa mafunzo kwa wakuu ccm hapo kibaha. Hiki chuo kilijegwa na hela ya China 🇨🇳. Hii jambo linafanya tuongeze nguvu mapambano ya kupata katiba mpya. Hi mafunzo ambayo viongozi wa ccm wanapokea toka kwa wachina,ni hatari kwa wapenda demokrasia
16
39
244
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 months
Shangazi na wengine,endeleeni na mapambano,wapenda haki,usawa,utawala bora tuko nyuma nyenu
Tweet media one
1
45
235
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Igp wambura,sasa wewe na jeshi ako mtajificha wapi? Si museme tu ukweli,huyu binti hassan,aliyekuwa mwanafunzi pale udom alikufa akiwa na naibu waziri temisemi dungange? Na alikuwa mchepuko wake dungange? Tumieni akili kidogo,very useless tanapol
Tweet media one
12
26
233
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Makonda na lengai ole saa baya,ipo siku mtalipa kuhusu hizi damu za watu ambao hawakuwa na hatia. Magufuri ashalipa,next it's YOU
Tweet media one
29
48
235
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Katibu mkuu tec,father Charles kitima,na kanisa katoliki ndio naona wanasimamia haki na kutaka utawala bora nchini. Hizi makanisa mengine ni ka nyamewekwa mfukoni na ccm,isipokuwa askofu bangonza na mwamukula. Haya makanisa mengine kina,aic,Anglican,kkkt,tag nayaona ka ccmB.
Tweet media one
25
40
225
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 month
Waziri rajabu, wewe ndio unatafuna cake 🎂 ya taifa na samia. Nikupe taarifa, ipo siku utatapika hii Mali yote ya umma unaimba. Watu wanazidi kuwa masikini 🇹🇿dawa hamna,maji hamna,chakula,umeme hamna,wewe na ccm kazi ni kupora Mali ya umma. Tunakufahamu,pamoja na familia yako
Tweet media one
6
47
221
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 months
My presidential candidate in tanzania 2025 General elections. We are fully behind you our incoming CIC,hon Antipas Mugwai Lissu.
Tweet media one
9
61
219
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
11 months
🇹🇿tunataka kujua aliko makamu wa raisi Philip mpango. Haiwezekani zaidi ya wiki 3 haonekani hadharani, na hajulikani aliko. Mimi sio ccm,lakini licha ya unyama na ukatili wa ccm,huyu ni binadamu tunataka kujua ako wapi,sisi ndio tunamulipa kwa hela zetu,ni mtumisi wetu,AKO wapi?
Tweet media one
Tweet media two
22
39
216
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
5 months
Kuna maovu mengi sana spika ndungai alifanya,lakini kwa hiki alichokisema hapa,huyu spika mstaafu apewa 💐 yake kweli. Hii taifa letu linaelekea kupigwa mnada. Cha ajabu muuza tanganyika yetu sio raia,ni mgeni toka zanzibar,waliofaya jama ya ndungai afukuzwe kazi ni watanganyika.
6
75
213
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 months
Major general Ziaul Ahsan,ambaye ndie muhusika mkuu wa mauaji,utekaji na dhuluma,ukatili dhidi ya raia wa Bangladesh 🇧🇩, leo amefutwa kazi,na anazuiliwa na inatarajiwa atafikiswa mahakamani. Nyiyi ccm,endeleeni kututeka,kutuua,na kutufayia uyama na ukatili,siku yenu inakuja,
Tweet media one
10
68
209
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
hii ndege juzi katua kule KIA, tarehe 22 Dec 2022,na ikarudi ilipotoka huko UAE 🇦🇪, ilikuja bila mzigo,na ikaodoka na mzigo mkubwa sana,aina ya mzigo,wanyama wa pori,simba,twiga,na wengine. Samia na ccm hamutoseki na hela???
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Kinana ametuhimiwa sana kuwa jangili na muuaji mkubwa wa tembo na muuza madawa ya kulevya.Mitambo ya uchapishaji ya CCM iliuzwa na Kinana.Meli ya kinana ilikamatwa ikipeleka meno ya Tembo Italy. CCM ikazima hizi tuhuma juu juu. JPM hakuwataka hawa #Wahuni , January, Kinana & Nape.
Tweet media one
32
36
296
24
36
200
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
Napenda sana kutoa shukrani za kipekee kwa generali ulimwengu kwa kuitika mwito wa kuja na kutupa elimu na maneno ya busara na yenye umuhimu sana kwa sisi watanzania, na kutupatia historia ya kule tumetoka. Asante kwa kutupa moyo wa kuendeleza mapambano ya katiba mpya, dankeshon
2
17
191
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
6 months
Katiba mbovu,maisha mabovu. Lazima tupate katiba mpya.
3
52
189
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
8 months
We are in arusha,tupo arusha maandamano, tunataka katiba mpya,bila katiba mpya hatuendi uchanguzi 2024 2025
Tweet media one
Tweet media two
2
41
181
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
People's power ,a member since 2014
Tweet media one
1
21
168
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 years
Nimemusikiza raisi samia akiongea juu ya mambo 4 anataka kufanya,yote yanahusu kuunganisa na kujenga taifa. Alichokosa kusema makusudi kabisa ni kwamba hayo mambo 4 aliyoyataja haiwezi patikana bila katiba mpya,huwezi jenga taifa,kiuchumi,kisheria,na kiutawala na katiba ya sasa
8
31
167
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Huyu hapa mbunge geita vijijini,musukuma,hii ndio gari alipewa na waarabu ndio yeye na wabunge wenzake wakauza bandari zetu. Shetani,tafadhali ongeza moto katika chumba aliko magufuri
Tweet media one
17
20
165
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
15 days
Raisi wa 7 wa tanzania mhe lissu,,kakutana na James mcallister,mbunge wa bunge la EU 🇪🇺,na pia mjumbe wa kamati.ya mambo ya kigeni,katika bunge letu la EU 🇪🇺. Mhe lissu tunakuombea mungu uishi,uone mageuzi makubwa katika taifa letu.
Tweet media one
Tweet media two
4
30
171
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
7 months
Wapiga kura Senegal 🇸🇳, wamuteua raisi mpya,mhe Diomaye Faye, mweye umri wa miaka 44. Amechaguliwa toka chama cha upizani. Wananchi wamekataa chama tawala. Je tanzania tunakwama wapi???
Tweet media one
33
27
164
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Tafadhali watanzania wenzangu, tusikose huu mjadala wa kitaifa. Ni wakati sasa wa kuikomboa hii taifa letu,toka kwa meno ya hyenas, yaani fishi,ambao wameikalia ikulu kwa mambavu kwa miaka zaidi ya 60. Tuungane,tusiriki,na tuchangie. Asanteni sana
Tweet media one
14
69
156
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
6 months
Mungu umefanya yako huko Iran 🇮🇷, na kazi yako haina makosa,si utukumbuke sisi tunaoumia huko tanzania, na ufanye yako pia. Tunatanguliza shukrani.
Tweet media one
46
22
156
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
Kwa maoni yangu,ccm haitatoka madaraka kwa njia ya saduku la kura. Lazima kupatikane njia mubadala. Ati chadema wanakaa kuongea na ccm,ni waste of time. Kaa wale walitesa na kuua wapizani,kina kingai na wambura sasa ndio wakuu wa polici,cdm munatarajia nini?nina hofu sana na🇹🇿
19
29
155
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
11 months
Mimi siamini kabisa mwigulu nchemba,waziri wa fedha ana PhD. Hata bibi yangu kule tukuyu anaelewa kabisa yeye ni moja wa walipa madeni ya taifa kutokana na zile kodi analipa,kwahivyo anadaiwa hii deni la taifa,na bibi yangu aliishia la 7. Mwigulu ni FAKE.
Tweet media one
58
23
153
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Mkuu wa TEC askofu nyaisonga,jana alikuwa katika ile serehe ya kuuzia waarabu wa UAE 🇦🇪 badari zetu,licha ya kuwa yeye na maaskofu wenza walikuwa wametoa ule walaka wa tec,na ukasomwa makanisa katoliki nchi nzima. Swali langu kwako askofu,je sasa mumebariki uuzaji wa badari zetu
Tweet media one
62
42
148
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
5 months
Raisi wangu mhe lissu. Mungu ako na mpango na wewe mhe lissu. Lazima tuikomboe tanganyika yetu.
2
49
154
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 months
Regelea report ya CAG mwaka jana. Jamaa huyu,kaddogosa,mkuu wa trc,🇹🇿,alitajwa kupora zaidi ya 600b katika zabuni ya kununua vichwa vya train. Hivyo basi,sioni ajabu hili tukio kutokea. Vichwa vililetwa ambazo ni bovu hazifai. Kadogosa bado ako kazini. Ccm itamaliza nchi,iondoke
Tweet media one
Tweet media two
8
44
146
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
4 months
Sio ati watanzania ni wavumilivu,tumekuwa wajinga wa ajabu. Hizi huyu chalamilla ka angekuwa kwa jirani kenya,angeweza ropoka ujinga ka huu? Kuna tofauti ya uvumilivu na ujinga,hi ni ujinga tuko nae,tunaweza aje kukaa na kuvumilia ,kusikiza matusi ka hii? Ni ni baya hatujitambui
6
41
147
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Wangapi wanakumbuka kiwada cha nyama, tanganyika packers?Hiki kiwada kilikufa,lakini nina dotto kubwa ya kukifufua. Je wajua tanzania ndio taifa la 2 africa kwa wingi wa mifugo? Lakini kwa kukosa utawala bora,ubora wa kimataifa wa bidhaa,hatufaidiki na soko la nyama je ya 🇹🇿.
Tweet media one
26
25
140
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
7 months
Sall,raisi anayeodoka madarakani senegal, alikuwa ameamuru uchanguzi ufanyike December 2024,kinyume na katiba, lakini mahakama ya upeo( supreme court) ikatupilia mbali hio maagizo na kuamuru uchanguzi ufanyike mara moja. Hi ndio umuhimu wa kuwa na mahakama huru.
Tweet media one
7
32
142
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 years
Esther matiko na ndungai,bongo iko mambo
Tweet media one
14
21
136
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 months
Samia,Acha nikupe ushauri wa bure,sitaki malipo,na utafaidika sana. Kile washauri wako kina wambura,kingai,waziri masauni,mkuu wa TISS hawakuambii ni kuwa dunia nzima inafahamu vile unakamata vijana,upizani bila sababu,na hilo linafanya uonekane Mjinga Ajabu.Fukuza kazi hao wote
Tweet media one
4
35
138
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 years
Raisi samia waite waandishi wa habari,sema uko tayari kuipatia tanzania 🇹🇿 katiba mpya,ila tatizo hela hamna,na utoe wito kwa wale wako tayari kusaidia wajitolee kusaidia na hela ,tuko tayari kuongea na donors ,na pia kuchanga,katiba mpya tuipate,over to you raisi samia,hela ipo.
8
27
134
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Samia,hata aibu huna,unalazimisa kuuza urithi wa taifa,hata magufuri hakuwa mnyama kaa wewe.unakamata watu,unawapa kesi UHAINI,kwa kuitetea taifa. Yani,nyerere,mwinyi,mkapa,kikwete,magufuri walikuwa wajinga kwa kutouza badari au hawakujua uwekezaji ni nini?Siku zako zimehesabiwa
Tweet media one
11
40
129
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
10 months
Asante sana baba askofu ,na ndio sababu tunataka katiba mpya. Heri.ya mwaka mpya mpya baba askofu
Tweet media one
1
22
121
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
Waswahili hujua kwa vireba ,tusimushangae moja wa covid 19,halima mdee kwa yale maneno aliongea na kumusifia zitto kabwe,je unawaona hapa?maoni yenu ,katiba mpya lazima ,iwe jua,ije mvua katiba mpya lazima
Tweet media one
22
24
116
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
Raisi samia,Acha kucheza na akili zetu una mamulaka ya kumuondoa yeyote serikalini na kuangiza uchunguzi ufanyike,na wote waende ukonga,na hela zetu sisi walipa kodi zirudishwe toka China 🇨🇳 we want an action president, not a crying 😢 one please
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Ni swala la kufedhehesha na kutia simanzi Rais @SuluhuSamia anapolalamika ubambikizaje kesi, plea bargain na uporaji maduka ya fedha. Kama Rais hawezi kuwashughulikia Biswalo, Dotto James na Makonda, basi ni Rais dhaifu kuwahi kutokea. Hatuwezi kwenda naye 2025.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
68
82
533
9
38
113
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Nikupe jibu samia ya hili swali? Ni mungu. Umetunyanyasa sana,ni muda ukapumuzike unguja ,ukauze karafuu.
Tweet media one
17
23
113
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
6 months
Pamoja sana people's power.
0
25
116
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
11 months
Happy birthday 🎂 Dr Bishop bagonza, heri ya siku yako ya kuzaliwa baba askofu bogonza,askofu kkkt karagwe. Uishi miaka mingi,upate kuona uhuru ukija kwetu tanzania toka kwa wakoloni weusi. Mungu akupe afya jema,upate kueneza ufalme wake hapa duniani. Ubarikiwe sana baba askofu
Tweet media one
4
28
109
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
8 months
Waziri mkuu majaliwa,kasema mtu kapora 213m toka serikalini. Ajabu gani hapo? Huyu jamaa massaja kungu kadogosa,mkuu wa trc,sirika la reli,alitajwa na CAG kuwa alipora billioni karibia 600 toka kwa umma. Bado ako kazini,hatua gani mulichukua? Wa🇹🇿 sio wajinga.katiba mpya sasa
Tweet media one
Tweet media two
14
24
106
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
6 months
That's my president mhe lissu. Wafanyakazi wa serikali wamekuwa omba omba,lazima mambo ibadilike
3
34
108
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Samia nilisema anatuchezea akili,nilisema samia hataki katiba mpya,someni hii article. Ccm haitaki kutoa katiba mpya,chadema I think you beleive me now,yale maridhiano ni BURE
4
23
104
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 years
@MariaSTsehai Hii kesi itaibua mengi,tunasubiri sana space leo
4
6
104
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
Churches in kenya have became worse than brothels, ruto and his brigade of gachagua,waiguru and likes turned a church service in keruguya today into a rally to attack ondinga,and the church bishops allowed them to do that,after all nowadays churches are after money,not salvation
10
25
105
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
7 months
Pamoja tutaikomboa tanzania toka mkoloni mweusi ccm. We will be there on that date and day.
4
25
104
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
7 months
Nimemusikiliza mhe lissu akihojiwa na clouds media,na kile ningependa kumwaambia hao vijana wa habari ni hiki,ni wawe wanafahamu nani wanahoji,uzoefu wake na kile wanamuhoji,na ka uelewa wao ka ni wa kiwango fulani. Mhe lissu ni tofauti na kina makonda,kinana,harmonize na wengine
Tweet media one
5
15
105
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
6 months
Asante mhe lissu,kweli mtu wa ccm mzuri ni yule tu ambae amekufa na ako kwa setani,akimwemo kabarage nyerere
9
37
104
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
5 months
Hongera sana raisi wa mioyoni mwa watu mhe lissu. Nilisema wakati ule na ninarudia,kwetu tanganyika hatuhitaji hi bwawa ,tuna ☀ jua na upepo ambao tunaweza zalisa zaidi ya 25,000MW. Tuborese mazingira ya uwekezaji, sekta binafsi ije uzalise hii umeme. Ccm must go.
2
33
103
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
6 months
Huyu mbunge wa siginda magaribi, Emmanuel kingu,ndie aliyempiga aliyekuwa wenyekiti wa chadema huko ihanja,bwana Peter mtinangi,ambae jana amepoteza maisha yake,baada ya majeraha aliyoyapata baada ya kuumizwa na huyu mbunge. Ajabu mbunge hakuna kitu polici walifanya,but mungu ako
Tweet media one
7
27
104
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Raisi samia,nikupe ushauri wa bure,dunia ya leo sio ile wajomba zako toka Oman 🇴🇲 walikuwa wanatutawala hio miaka ya 1700s. Dunia ya leo akili ndio inafanya kazi ,sio nguvu.Hi vita umeazisha na wanachi, haswa wamasai hutashida,wanachi tumechoka na uyama na ukatili wako na ccm
Tweet media one
6
44
94
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
5 months
Nani alimuteka MO,nani alimupiga mhe Lissu risasi, nani alimiliki genge la wasiojulikana, nani alivamia clouds media, hakika hatutachoka kuipambania hii taifa letu la tanganyika, mpaka ukombozi uje . Mungu akubariki sana kaka yangu. People's power, aluta continua, winner certina
1
25
100
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
5 months
Mumemusikia snr counsel mwambukusi, ccm sio chama,ni genge la wahuni,wahalifu,wauaji,waizi wa ardhi,madini,hela ,na kupora uchanguzi. Ccm must go
1
37
98
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
6 months
Ka mungu alimuepusa na umauti uliyotengenezwa na wakuu wa ccm,risasi 16 kwa mwili,basi huyu mungu ako na kusudi na yeye. Ka unabisa hakuna mungu,tazama huyu shujaa wa tanganyika. Naeleza mwisho toka mwanzo,nikinena,mapenzi yangu yatatimia,tafanya nitakavyo,mungu asema,isaiah46v10
Tweet media one
9
30
99
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Hao wote wamekamatwa sababu ya kutetea badari zetu,ni moja tu dr nshara,ako mafichoni akihofia uhai wake. Niko na taarifa toka chazo cha kuaminika toka TISS, next mhe lissu,mbowe na wengine anytime nao watakamatwa. Raisi samia,tafute magari mengi sana ya kuzima huu moto umeazisa
Tweet media one
3
46
94
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
11 months
Ni ombi langu huyu mtanzania wenzetu atapatikana akiwa hai,natumaini bado uko hai mikononi mwa magaidi wa hamas,huko gaza. Na kwale watanzania ambao munashangilia hamas, niwajulise tu,malipo ni hapa hapa,leo ni huyu kaka yetu,kesho itakuwa ni wewe au jamaa yako. Tuwe na ubinadamu
Tweet media one
45
44
96
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 months
Yaonekana samia hukujifunza chochote toka kifo cha magufuri. Hukujifunza ya kuwa siku za watenda dhambi ni chache mno,polici,majeshi na hata TISS hawana nguvu yeyote ya kukulida mungu akiamua na aseme Imetosha. Ushauri wangu kwako samia,tenda mema,hutawekwa kaburini na chochote.
Tweet media one
3
42
95
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Hongera sana wakili msomi mwabukusi,bandika tumbandue,kwetu mbeya na njombe,ukifika umri miaka 4,chai inapikwa nyumbani,unajitafutie kitafunio,hatutafuti vyeo,tunafanya kwa masilahi mapana ya taifa. Ccm ni chama cha wanyanganyi,waizi,wabakaji,wauaji. Usihidi uko jiana,nuru yaja🇹🇿
Tweet media one
4
19
95
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Nawasihi sana wanachadema,tuwe macho kwa yanayojiri nchini. Kuna watu(adui)ambao wamegudua nguvu ya hiki chama,na wako tayari kukisabarstisa,kwa kutumia propagada, hela,na pia kunjiingiza ndani ya chama ka wafuasi lakini nia ni kuvuruga chama,ndio kiisiwe nguvu. TUSIKUBALI kabisa
Tweet media one
4
35
90
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
6 months
Mhe lissu,hii gari lako usirekebise,Acha iwekwe vile ilivyo, ccm ikitoka ikulu,tutajenga museum ya kitaifa,na tutaiweka ka ilivyo,iwe kumbukumbu ya ile uyama ukatili ccm ilifanyia wapizani wakati ilikuwa ikulu. Wa🇹🇿watajifunza mengi nayo. Acha tukuchangie upate hata magari 2.
Tweet media one
7
23
95
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
4 months
Igp kenya kajiuzulu baada ya mauaji,utekaji na sutuma dhidi ya polici kufuatia maandamano.Kwetu🇹🇿igp wambura licha ya mauaji,utekaji ukatili wa polici,bado ako ofisini. Tofauti kubwa ni kuwa ibara ya 245 katiba kenya,igp huteuliwa na tume ya uajiri ya polici,🇹🇿raisi ndie anateua
Tweet media one
Tweet media two
10
18
92
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
6 months
Samia,ni mzanzibari.Tangu aingie ikulu,amekuwa akipora na kuuza Mali ya watanganyika,ardhi,badari na kuua watanganyika.Kwa katiba mtanganyika hawezi miliki ardhi zanzibar, lakini wao wanaweza miliki ardhi tanganyika,lakini samia anapora ardhi na kuuzia UAE🇦🇪. Tuamke watanganyika
Tweet media one
Tweet media two
5
22
92
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Mhe msigwa na team yote ya chadema karibuni sana kwetu makete
@KolnerioO
Kolnerio Frances Odongo
1 year
Kamati tendaji Kanda ya Nyasa ikiongozwa na @petermsigwa Kwa hakika kazi yenu ni njema mno @nyasafahariyetu
1
22
109
0
21
87
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
11 months
Congratulations 🎊. Leo najivunia kuwa mutanganyika. Ni hesima kubwa sana kwa huyu mwanasheria msomi Joseph kushinda hii tuzo. Hongera sana counsel Joseph,we rejoice with you. God bless you,and God bless our country, tanganyika
Tweet media one
2
28
88
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
9 months
Huyu dogo apewe maua yake,ccm sio mzazi wetu,deds wasisimamia uchanguzi, kuna watu hatuadamani sababu tuna shida,kuna wengine tuko poa tu,hivi mhe lissu, mbowe wana shida gani kiuchumi? Kuna wengine wetu kile tunapigania ni haki,na utawala bora, sio masilahi yetu binafsi.
0
40
87
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Viongozi wakuu wa chadema wajitokeze na kutupa taarifa ,sisi wanachama kuhusu musimamo wao kuhusu uchanguzi wa 2024,2025. Ni vizuri tujua sababu juzi walikuw kwa mkutano wa kubadilisa sheria za uchanguzi, je bado musimamo uko pale pale hakuna changuzi bila katiba mpya au?
Tweet media one
16
29
88
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
11 months
Siwamalizane tu,kwani kuna wakati ccm ilishida uchanguzi? Samia ako ikulu kwa kura za wizi, wabunge 99% pale dodoma wa ccm wako kwa kura za wizi,hiki chama kimeua,kimepora mabilioni ya hela zetu walipa kodi,samia anauza badari,ardhi za taifa kwa warabu wa UAE 🇦🇪,adui wa taifa hao
Tweet media one
9
17
86
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
8 months
Ngorongoro and loliondo will forever be masais land. God give this land to them,that's means ccm has no right to sell it to.the Arabs period.
Tweet media one
2
31
89
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Asante sana ,raisi wa wananchi mhe lissu,kweli ccm imetuimbia sana,miaka zaidi ya 60,bado watoto hawana madawati,watu wanatembea maili 20 kutafuta maji,dawa hosipitali hamna,huko fishiciciem ikiendelea kuuza Mali ya umma ka badari na misitu na ardhi kwa wakoloni wasrabu wa UAE 🇦🇪
Tweet media one
Tweet media two
0
26
85
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 months
Habari ndio hio uamuzi ni wako
Tweet media one
Tweet media two
1
29
87
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
Kuna swali nimekuwa nikijiuliza,raisi samia aliwaachia huru mashehe toka zanzibar. Lakini bado kuna masehe wengi mahabusu,dar,tanga,mtwara lindi,na kwingin. Wameka mahabusu zaidi ya miaka 9.bila kesi zao kusikilizwa. Je samia aliachia wale wa zanzibar sababu yeye anatoka huko au?
7
11
85
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Jaji mkuu juma alizaliwa 15/6/1958.kwa mujibu wa ibara ya 120(1) amekuwa ofisini siku 14 kiyume na katiba.Raisi hana mamlaka chini ya ibara 120(3) kumuongezea muda jaji mkuu. Mwanasheria mkuu mwanyika (2007)aliweka hilo wazi kufuatia marekembisho ya katiba(2005)Rudi kwenu musoma
Tweet media one
4
25
87
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Asante sana raisi wetu mhe lissu. Kaa mtu hataki kukosolewa aende akakae na mume au mke wake nyumbani. Ofisi za umma,ni Mali za umma,zinaendeshwa na kodi zetu. Kwahivyo tutazidi kukosoa,hii taifa letu zote ,period.
Tweet media one
Tweet media two
0
18
83
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
Kuna wale wanasema raisi samia anapotoshwa ,anapewa ushauri usio mzuri,lakini sikubaliani na wao kabisa. Samia ndie aliahidi kuilinda katiba,pili unaweza pewa ushauri na watu 100,lakini ile maamuzi utafanya wewe ndie mweye hio maamuzi. Personal responsibility, that's leadership
10
9
81
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
Asante sana baba askofu bangonza,askofu mwamakula kwa kusimama na ndugu zetu wamasai kule ngorongoro, wanaouawa ,na kunyanganywa ardi yao ndio ipewe waarabu toka UAE 🇦🇪, ambao wamewapa hela samia,majaliwa,na ccm. Samahani sikuwa nimeona taarifa yenu. Mungu awabariki,awape afya jm
2
13
79
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
11 months
Watu wa mkoa arusha,jitaaliseni kuokota maiti kukatwa masikio,kubakwa,kupewa makesi, kuuawa.Saa baya mkoa arusha ni ngome yake sasa,kiwaja chake cha kufanyia ugaidi na mateso na kuua watu.Kazi imeaza kuelekea changuzi 2024,2025.Saa baya hata setani hamutaki,ni ccm pekee inamutaka
Tweet media one
17
19
80
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
7 months
Kweli kabisa,baada ya miaka zaidi ya 60,ccm bado imeshidwa kuleta maji,elimu,afya na utawala wa sheria. Kazi kubwa ya ccm ni ulagai,wizi kuuza rasilimali za taifa,na kuua na kuumiza raia wake. Ni muda sasa iondoke magogoni.
Tweet media one
6
27
81
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 months
Shuguli ya kwanza ya bunge chini ya serikali mpya 2025,iwe ni kufuta ' political service benefits act cap 225. Hao wamama 6,wake wa maraisi wastaafu wanaigarimu 🇹🇿 mabilioni ya hela kwa mujibu wa hii sheria.Mume wa raisi samia anapokea 60% ya musahara wa samia.Ccm ni weda wazimu
Tweet media one
8
22
82
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
5 months
Tusikose hii mkutano. Mimi mweyewe nitakuwako,pamoja na watu toka kanda yangu ya nyasa. Karibuni yote tujadili hatima ya baadae ya taifa letu,taifa la tanganyika. Asanteni
Tweet media one
0
33
84
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Tukutane jiji kuu la uingereza,London tukamusikilze mweyekiti wetu hon mbowe. Tusikose please.
Tweet media one
4
19
82
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
3 months
Igp wambura waziri masauni,hii utekeji ukome,huu ujinga wa jeshi la polici umezidi.
Tweet media one
0
48
82
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
Kuna kitu ni lazima kiwe kweye katiba mpya 🇹🇿 Ugatuzi (devolution) mafanikio makubwa🇰🇪 yaliletw na ugatuzi. Jimbo ka turkana, 🇰🇪 kabla ya ugatuzi, gari 2 za wagojwa,sasa wana zaidi ya 30,hosipital wako nazo,maji,shule,hii ndio itakuwa suluhu kwa maeneo kaa,kigoma,sigida.kagera
7
20
81
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
1 year
Asante sana mhe lissu,mshidi harari wa uchanguzi 2020,raisi wa watu. Wamasai hawako peke yao,dunia nzima iko pamoja nao. Ni samia na ccm ambao hawatambui mchango mkubwa ndugu zetu wamasai wanafanya kuhifadhi mazingira,na kuvutia watalii. Hongera sana kwa kuwatembelea. GOD BLESS
Tweet media one
1
25
80
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
2 years
Jews make only 0.2%of the world population,yet they have won 22%of all Nobel prizes,chemistry 19% economics 40%physics 38%,medicine 26%. Why such success?Jews start learning very early age(deut 11verse 19) They became intelligent at young age. Let's make 2023 a year of learning
6
19
78
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
11 months
Haya mambo ndio haya,tunatetea wengine,lakini wetu wakiuawa,its okay, pubavu sisi kabisa,
Tweet media one
10
24
76
@MwauraRobert2
Mwaura Robert
11 months
Yaani miaka 11,mtoto huyu anasema ati atafanya kujenga uchumi,uzalizaji Mali,mfuko maalum?? Sasa huyu hata anaelewa uchumi na uzalisaji ni nini? Ati z viongozi bora toka ccm atawaunda? Wewe mtoto hata setani mweyewe hakuamini na hio ccm yako. Nalaumu sana wazazi wa watoto ka hao
54
6
76