@Jumaallymwiguru
Huko ni kutafuta kukosana na watu, inatakiwa tujue kwamba gossiping haitokaa iishe kamwe, ndo maan utakuta hata mama ako mzani huwa anakujadili wew akiwa na ndugu zako
@msangijeff
It might be, lakin kiuhalisihalispozungumzia mbele ie ulaya, amerika etc unazungumzia development in technology so
@msangijemsado
you mean huyu mtu hajui 7continents hata kw kugoogle? Hajui global 4th highest point ? Hamjui Nyerere, Nelson Mandela ie haijui even South Africa?
Tonight,
God will guard you with his Angels,
Like He did to Jacob,.in the wilderness.
Say Amen if you believe so.
Remember!!!
I follow back,
Quickly than normal,
@mafurumark
@Sirjeff_D
@HKigwangalla
Wengi wenye mtizamo kama wako huu. Utakuta amekumbwa na moja au yote yafuatayo.
1. Sio mwanaume lijali.
2.Nimwanaume lijali lakini muoga wa Maisha.
3.Amelelewa na single Parent.
4. Muendekeza Zinaa.
Hakuamini ikabidi apige simu Tena HQ kuomba apewe nafasi ya kutembea kwa mguu kwenye zile barabara akaombe radhi live mbele ya wakuu na matausi na viumbe wengine
@MarekaMalili
Watu wanatafuta miradi ya upigaji tuu, maana Shida ya Mwanza sio kuweka Mataa, Bali Ni upanuzi wa barabara, plus kuweka service road. Jiji la mwanza kwa service road bado sana
It's Morning,
Sun is abt to break the sky,
By the Grace of GOD,
Wishing you the next six days of love, laughter, new experience, opportunities and all the good vibes!"
@JamiiForums
Na je huko China walinunua kwa supplier mmoja hiyo bidhaa na kwa bei moja?
Then the message is too general, bidhaa zaweza kuwa sawa kwa maana ya jina lakin zikatofautiana ubora na hapo lazima kodi iwe tofaut
Usikate tamaa kabsa,
Na kamwe usruhusu mtu akudharilishe na kukudharau
Hakikisha unajisimamia ktk nyanja zako. Yaan usisubiri kuamliwa au kuelekezwa kupitia kiasi
@Sirajitz1
Unajilimbikizia Followers,
Wanakuwa wengi, mbaya Zaid,
Unagoma kuwafollow back!!!
Utadhani ni Mali zako za urithi?
Aaaiii!!!
Shusha handle yako uone,
Vile nawaFollow back twice bila kubagua.
You follow me once!!
I follow back twice!!
From two accounts.
@mafurumark
@mafurumark2
@IAMartin_
Asante Sana mkuu Uzi umeufuma kwelikweli
@IAMartin_
pia Kama itakupendeza tukumbushe juu ya jukumu alilokua akilishughulkia wakati umauti unamkuta, Ni Kama alikua akirudi dar es salaam akitokea Dodoma na kesho yake ilkua Awe na jukumu fulan la kisiasa ivi
@DaJaden255
@CuthbertFredric
FYI Ningeomba ubadilishe vituo vya kuacha mzigo mkuu hasa starting point SUMBAWANGA & Destination MUSOMA (TARIME) hautobaki salama labda upite na kutoa salaam tuu, ila pia kama utaptia KIBONDO pia usischie zigo fanya kusalmia tuu
Add some Qns please
Assum U have been asked by
@elonmusk
to prepare X ANNUAL EXAM PAPER
INSTRUCTIONS
TIME: 2HRS.
ANSWER ALL QNS.
CHEATING MAY RESULT To LOSS OF MARKS.
1. When did X started to operate? 5Marks
2. What is Arkose Challenge?
List 3 conditions to face it 5Mark