Eng Octavian Lasway Profile Banner
Eng Octavian Lasway Profile
Eng Octavian Lasway

@Octavianlasway

12,432
Followers
3,740
Following
4,204
Media
48,415
Statuses

Irrigation & Hydrology |Drip irrigation|Green house, Soil, plant & Water|AutoCAD&GIS|Water activist|Spices Trader| CEO: HGAGL @greenagrictz

Tanzania
Joined November 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
1 month
Mkulima wa Kisasa: Safari ya Mafanikio Inaanza Hapa na Holly Green @greenagrictz Safari ya kuwa mkulima wa kisasa inaanza na kufanya maamuzi sahihi, kutumia vifaa bora, na kuwa na mpango mzuri wa uwekezaji kwenye shamba lako. Kwa zaidi ya miaka nane, Holly Green @greenagrictz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
17
50
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
@elonmusk Please Elon , Buy our Country Tanzania , you can negotiate with president She is currently in US
196
89
2K
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
18 days
Ukitembea sana katika hii nchi utajionea mambo mengi sana , lakini ukweli ni kwamba watu wako kwenye umaskini wa kutisha sana
99
205
2K
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Happy birthday to my wife, mother to our boys , God bless you 🙏
Tweet media one
72
38
1K
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
10 days
Mojawapo ya mafanikio makubwa ya CCM ni kuanzishwa kwa Chama cha ACT
53
142
1K
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Happy marriage anniversary to us
Tweet media one
55
35
1K
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
1 year
Mpeni maua yake huyu mwamba , Sekta ya Kilimo ameitendea haki kwa kiwango kikubwa #BajetiKilimo2024
Tweet media one
129
57
944
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
6 months
From hydrological point of view. Sehemu kubwa ya Wilaya ya Rufiji ni sehemu ya Delta za mto huu mkubwa zaidi Tanzania mto Rufiji . Bwawa la Mwalimu Nyerere lina ujazo wa 30-34 billion cubic meters likiwa ni bwawa la umeme la 9 kwa ukubwa Duniani na la nne kwa Afrika . Ukuta wake
Tweet media one
150
213
881
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Nina kazi ndogo ya Irrigation 80 Acres Iringa, nahitaji vijana watano hasa wanachuo wanaosomea Irrigation Engineering mwaka wa 3 na 4 , kazi itakuwa ya week tatu , terms na condition inbox, Kama uko tayari kujifunza, uwe na safety gears #NipeDili
Tweet media one
Tweet media two
40
215
771
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Huyu Mzee leo amezidi kunipa hamasa ya Ufugaji wa mbuzi , mbuzi 500 ndani ya 5 yrs , naendelea kujifunza soon nitaanza hii kitu
Tweet media one
Tweet media two
60
76
756
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
1 year
Kijana anajitolea kwenye taasisi miaka miwili alafu taasisi hiyo hiyo inatangaza ajira , kijana anaomba anakosa , huu nao ni ukatili
93
78
751
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
In Tanzania drinking water is more expensive that Fresh milk ! Hapa Mbeya (Tukuyu) Lita ya maziwa ni TZS 600 na Bottled water Lita Moja ni TZS 1000 this must be one the world wonders
66
67
706
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
6 months
Ujamaa ulitufelisha big time sana
92
237
712
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
You need to have a big heart to do business 🙌
Tweet media one
73
102
681
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Wakulima wa Kenya 🔥
29
161
669
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Hivi kuna mbunge wa CCM aliejitokeza mpaka sasa kuchambua na kuwaelewesha wananchi kuhusu report ya CAG
81
42
668
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Nilianza kuelewa maisha na marafiki pale nilipotaka kukopa 50k jamaa ananiambia atanikopesha kwa riba
44
33
655
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Tutafute pesa , full stop.
62
160
656
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
Mafuriko Rufiji is serious, mto umejaa maji yameingia kwenye makazi ya Watu na mashambani Media zetu ziko kimya tuu
127
128
624
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Hii ni kazi yangu ya kwanza kufanya design na kujenga system ambayo ni automated , nafurahi kuona kazi hiyo inakwenda vizuri mwaka wa pili sasa ,hapa Miche humwagilia kwa mfumo wa misters ambazo hutoa maji kuendena na ukubwa wa benches
Tweet media one
27
63
578
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Kila mtu anapaswa kusikia maneno haya , huu ni ukweli mchungu kuhusu maisha na biashara
48
233
579
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
10 months
Nissan Extrail sio gari ila ni muunganiko wa chuma na matairi unaoweza kukufanya ulale porini kwa tatizo dogo tuu la fuse au sensor 😀
90
38
570
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 months
Form 6 mwaka wetu Tanzania nzima hapakuwa na A ya physics, Darasani kwetu PCM kulikuwa na Div I 7 tuu , shule nzima Div I zilikuwa 10 tuu na tulikuwa Wanne (4) kitaifa kwa ufaulu mzuri , Now days mambo ni marahisi sana 😀
117
25
573
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Tusidanganye , ufaulu mzuri, kuwa na GPA kali ni nafasi nzuri sana ya kutusua kimaisha kuliko kuwa na GPA ndogo , tafsiri ni kwamba mtu mwenye GPA kubwa aliitendea haki nafasi yake ya shule na hata kazini atafanya vizuri pia and vise versa Ayaa niueni sasa
78
36
549
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
1 year
Ruvuma , Songwe , Sumbawanga mahindi ni mengi sana , Kaskazini hasa Kiteto mzigo sio mwingi sana , ni muda sasa wa kuweka stock vizuri
Tweet media one
Tweet media two
23
61
553
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
8 months
Huu ndio ukweli kuhusu kazi za ukandarasi, hapa bado hujasumbuliwa kwenye malipo , ukimaliza kazi hujalipwa ukijifanya unadai interest ya kucheleweshewa malipo taasisi inakublack list na unatengeneza uadui
67
161
551
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
7 months
Wahudumu hasa wadada ukimpa 10k na umenunua kitu cha 9k akiwa ankurudishia chenji yako ya buku huwa wanaona kama hiyo buku wanastaili kubaki nayo kabisaa 😀
47
41
553
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
1 year
Miaka 10 iliyopita nilikuja kwenye huu mgahawa kwa ajili ya lunch , nikaagiza chakula , baada ya kumaliza kula nikaomba kulipa lakini mhudumu akaniambia bili yako amelipia yule mzee pale , nikaamka kwenda kumshukuru ila nikamuliza kwa nn amenilipia akaniambia "Ni kaa sababu 👇
32
45
544
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
38
187
522
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Thank you God for another year of life , merits be upon my family and friends. Happy birthday to me
Tweet media one
87
33
488
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
RWANDA: FIGISU ZA KIBIASHARA KATI YA AZAM NA AZANIA Kama mnavyofahamu biashara huwa na mambo mengi sana ndani yake, leo nitawaletea mkasa mkali wa kibiashara kati ya Bakhresa Group (AZAM) Na Mikoani Traders Ltd(AZANIA) ambao ulitokea nchini Rwanda kuanzia mwaka 2009 hadi 2015
Tweet media one
Tweet media two
51
112
479
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
7 months
Hakuna kazi ngumu kama kufanya kazi ku deal na vijana , their very dynamic. Mimi binafsi nimeshiriki miradi miwili ya vijana yani jamaa anakuja pale kwa sababu hana cha kufanya , akipata kazi au mchongo mwingine mahali anasepa , mawazo yangu ni kwamba next enrollment ya vijana wa
Tweet media one
196
36
478
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Rostam Bado ni master kwenye lobbying, Waziri anazinguka kugawa mitungi ya Taifa Gas . Have you ever think to hire a minister to do marketing indirectly?
40
35
470
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Wataalamu wa location Hapa ni wapi?
Tweet media one
Tweet media two
98
13
466
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Mara ya kwanza kuwa na bank account nilikuwa fisrt year Chuo 😁 Ya kwako ilikuwa lini?
93
9
451
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Aiseee
Tweet media one
84
26
420
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
1 year
Huwa inachukua muda mrefu sana kwa kijana ambae ametoka familia duni kujitafuta na kujua anatakiwa kufanya nini mpaka kufikia level ya specialization(both academics carrier and business) , maana trials na erros ni nyingi mno kiasi kwamba wengi wanazeeka bila kujua wao ni nani
27
96
413
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Asubuhi tulivu kabisaa na Tanga fresh
Tweet media one
17
65
401
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
Kitimoto kilo buku nne tuu Shikamoo Mbeya🙌🏻
39
16
395
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Ni muda nimekuwa nikitumia maji ya kilimanjaro lakini naona ladha yake imebadilika sana sio kama zamani najiuliza ni Mimi tuu au imekuwaje?
Tweet media one
131
5
377
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 months
Mtu analipwa 20k kupinga mradi wa $1.5T 😀😀
80
20
365
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
NILIVYO BADILISHA JINA LA BIASHARA MARA TATU NDANI YA MIAKA MITANO 👇🏻 Unapokuwa unaanza biashara huwa unakuwa na malengo fulani ambayo yanakusukuma kufanya kazi kwa bidii, basi leo nitaeleza namna ambavyo nilibadili majina ya biashara matatu ndani ya muda mfupi na kwa nini?
Tweet media one
27
81
344
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Kuna fursa nzuri wa kilimo Cha pilipili kichaa , kama wewe ni mdau naomba ujaze form hii itusaidie kuandaa mpango mkakati wa kilimo hiki hapa Tanzania , tatizo kubwa mpaka sasa ni kwamba order za Wanunuzi ni kubwa kuliko uzalishaji
Tweet media one
Tweet media two
33
102
345
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
CCM is the 2nd largest and richest political part in Africa , CCM itaondoka madarakani endapo itawezekana kuitenganisha serikali na CCM kitu ambacho ni kigumu sana😄, Ili kuiboresha Tanzania lazima kuiboresha CCM
Tweet media one
49
32
331
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Chuo cha Sokoine cha Kilimo (SUA) @SokoineU ndicho kinaongoza kwa kuwa graduates wengi waliojiajiri kuliko vyuo vingine vyote Tanzania na wanafanya vizuri
48
26
328
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Kuna kipindi (umri) ambao hii ndio ilikuwa furaha kubwa , tusisahau😄😄
Tweet media one
48
19
329
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
7 months
Kama hujawahi kupambana na kesi ya ardhi nchi hii huwezi kuwaelewa hawa wananchi kabisa
52
32
319
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
1 year
Happy birthday to me , Thank you, God, for another year of living, Kakasharuwa Mangi🙏
Tweet media one
73
28
318
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Siku wananchi wakipandisha bei ya Kura ndio equal and balances zitaweza kuongeleka vizuri , for now nothing can be done anyway
16
42
307
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
JITENGENEZE KUWA SABABU YA MAFANIKIO KWA WENGINE 👇🏿 Mwaka Jana nilipata bahati ya kualikwa kama mgeni rasmi kwenye shule niliyosoma O.level miaka 10 iliyopita huko kijiji kwetu , Mkuu wa shule aliponipigia simu na kunialika nilimuuliza kwa nini Bodi wamenichagua mimi ? 👇🏿
Tweet media one
33
37
294
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Another milestone this year ! Glory be to the Lord God .
Tweet media one
37
11
302
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Happy birthday to me , Thanks to family and friends
Tweet media one
47
11
290
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
On progress, visiting one of our project in Iringa , 150 acres under sprinkler irrigation , aim to irrigate forage (pastures) , our client aiming to produce 4000ltrs of milk per day and now he is outing 2000 ltrs in two days . It's possible Cc: @greenagrictz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
21
51
282
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Watu 400 nataka kuwapa kazi ila hakuna alieandika mshahara 0
Tweet media one
17
11
280
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
DILI FEKI SAFARI YA SIKU TATU NAIROBI mwaka 2016 ndio mwaka ambao akili yangu ilikuwa na udhubutu mkubwa wa kuamua na kufanya mambo mengi hasa ya kibiashara, leo nitaeleza namna ambavyo niitiwa dili feki la kuuza used bottles Nairobi! Kama kawaida unapotafuta kitu internet ni..
Tweet media one
54
72
273
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 months
Wewe Dada una roho mbaya tuu , hata kama jengo lina Tajiri wewe inakuuma nini hasa , I remember siku nimekuchek kuhusu accommodation nilikuwa na wageni ulinijibu vibaya sana , but surely ulikosa pesa nyingi sana that day almost $10,000 , JITATHIMINI na ujifunze . Asante
27
14
270
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
7 months
Majirani know how to mingle , inapokuja suala la maslahi yao , nikikumbuka Kauli Membe kuhusu JPM alivyogoma kumsaini na kumpa reference pale alipotaka kugombea nafasi fulani ya kimataifa inasikitisha sana
Tweet media one
14
21
272
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Nigga, we need more skills than education! Kitaa Kuna Wana ni mafundi wanaingiza pesa ndefu na maisha fresh sana
15
20
263
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
A very short farm story😄😄
Tweet media one
19
14
260
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
Stori Fupi 👇🏻 Katika kazi zangu mwaka jana nilifika Zanzibar kufanya Consultation (Kufundisha kuhusu Irrigation and Agriculture technologies) siku ya tatu ya mafunzo nilipiga zangu kanzu safi na nikaingia class na kuanza kipindi kama kawaida 👇🏻
Tweet media one
22
38
255
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Kwa nini msiwekeze kwenye 1. Viwanda vya samaki 2. Cage fishing 3. Boat za kisasa za uvuvi 4. Fishing and marine technical college ya kufundisha vijana wa Chato 5. Kilimo cha kisasa cha umwagiliaji kwa kutumia maji ya ziwa Anyway .
@millardayo
millardayo
5 years
"Hivi karibuni tunajenga Uwanja wa mipra Chato Stadium ambao utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya nchi yetu" Waziri Medard Kalemani #UzinduziHifadhiYaBURIGI #MillardAyoUPDATES
Tweet media one
Tweet media two
315
90
952
26
30
258
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Counting more years, happy marriage anniversary to us
Tweet media one
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Happy marriage anniversary to us
Tweet media one
55
35
1K
13
11
260
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
1 year
umesali kabla ya kula na baada ya kula kijana " leo nilitaka kulipa alichonifanyia yule mzee lakini 30min nimekaa hakuna anaesali kabla ya kula , nimeamua kuondoka . Hii kumbukumbu inanitafakarisha sana hasa pale ninapowafundisha watoto wangu kuhusu sala na ibada
8
12
254
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Hakuna raha Kama kuwa na mifugo kidogo nyumbani, kuku,mbuzi, bata huwa vinasaidia sana
Tweet media one
31
20
251
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Hivi vyuo vikuu vya hapa kwetu mfano UDSM , SUA , Mzumbe n.k Wana program au initiative yoyote ya kufuatilia graduates wanapomaliza na kupima rate ya skills, innovation , employability kwa graduates baada ya kumaliza au baada ya interval fulani ?
42
18
250
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
7 months
Vijana tusipende sana Kilimo ila tupende biashara ili tuweze kufanya kilimo biashara
8
39
256
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Ni kitu gani hasa kilichofanya vyuo vya ufundi kufa ? Ukipita baadhi ya vyuo na kuona investment iliyokuwa imefanyika na hali ilivyo sasa ndio utagundua kuwa tunapiga hatua mbili mbele then tunarudi hatua tatu nyuma, please we need back our technical colleges
Tweet media one
Tweet media two
52
58
246
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Get my first harvest today 🔥, this is African bird eye chill
Tweet media one
22
17
248
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
Tanzania is real unforgettable ! Amazing scene , Tukuyu
16
55
241
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Chuma kimesimama kazi nzuri raha sana tumezijenga hizi pale SUA kwenye Kituo atamizi cha Vijana chini ya @pass_trust miaka miwili sasa na ziko imara , tunahitaji vituo kama hivi zaidi Kwa ajili ya kuwezesha vijana na kuwafundisha ujuzi
Tweet media one
Tweet media two
21
33
240
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Mega water pumping unit , capable of irrigating 200 acres at once 🔥
Tweet media one
9
54
241
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Huwa najiuliza kwa nini tunatumia pesa nyingi sana kujenga masoko alafu bado tunaruhurusu mambo kama haya yani watu wanalipa kodi humo ndani alafu Kuna mwingine amepanga hapo nje halipi chochote
Tweet media one
60
20
235
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
HII KAZI SITAISAHAU IMENIFUNDISHA! wazee uzoefu ni muhimu sana kwenye biashara, wakati naanza biashara nilikuwa na shauku kubwa ya kupata kazi bila kujua hiyo kazi nitaifanya vipi au ina utaratibu gani wa kuifanya, kama kawaida nilikuwa nafanya marketing moja ya hatari sana 👇
Tweet media one
19
53
232
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
Best and quality water , hawa jamaa maji yao ni mazuri sana
Tweet media one
57
15
235
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Counting more blessings for this year!
Tweet media one
22
13
235
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
This is how I spend my Easter Monday! Transplanting with new hope
Tweet media one
Tweet media two
11
21
232
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
Tweet media one
1
0
218
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Hivi ilikuwaje Waziri wa Elimu Joseph Mungai akafuta somo la Agriculture mashuleni? bcoz if we don't teach our children about agriculture we shall definitely raise the generation that imports food
51
31
226
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
Namna gani vijana tutaepuka magonjwa ya uzeeni hasa sukari na pressure Kuna aisee Kuna wazee wanateseka sana 😢
37
26
229
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
1 year
Hello! Ni wiki mpya . Wakulima kazi yetu inaendelea kwa sababu watu hawaachi kula kila leo . Je unataka kuanza kufanya kilimo ndani ya green house? Chagua kulima mazao haya ili upate faida zaidi kwenye ukulima wako kwa kutumia teknolojia ya greenhouse 1. Lima Nyanya na panga
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
10
67
224
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Mteja : wewe si umesoma SUA? Mimi: ,👇
Tweet media one
28
19
218
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
1 year
Madaktari mmetuangusha sana , sisi mainjinia tunaitana chemba , alichofanya ni kosa , lakini approach ya kumrekebisha inatoa picha kuwa umakini na utulivu wa daktari wewe sio mzuri , I doubt even how you handle clients
@nulphin
Dr Calipso
1 year
Twitter CIA wameshamaliza kazi yao hakuna cha parody wala nini ni yeye na ana account instagram ana repost tweet zake na pia wanafunzi wenzake wame confirm now ngoa tuwasilaine na uongozi wa chuo nitawatumia email leo leo barua itafata baadae
Tweet media one
Tweet media two
503
75
1K
77
21
218
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
Je unapafahamu Lumuma? Ni bonde maarufu kwa kilimo cha vitunguu lipo mpakani kwa Dodoma (mpwapwa) na Morogoro (Kilosa) Mwaka 1954 Wamisionari wa kanisa katoliki walianzia makazi katika eneo hili ambapo walijenga hospitali ,shule, kanisa na Mashamba 👇
Tweet media one
18
35
213
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
NILIFIKIRI NIKIWA NA APP NITATOBOA mwaka 2015 nikiwa chuo akili zilianza kuchaji na kuanza kuwaza nitafanya nini, niliwaza idea nyingi lakini iliyonijia haraka ni e-commerce ambapo mwaka uliofuata nilitengeza app na ikafanikiwa kuwa na watumiaji zaidi ya 1000 lakini nikafeli 👇
Tweet media one
28
76
205
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
9 months
Ukifanya kazi bongo kama Mkandarasi usipoibiwa mafuta/diasel una bahati sana 😀
36
15
217
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Eti @MarekaMalili wasukuma ndio waliogundua uji kwa sababu walikuwa wanataka kutengeneza juice ya mahindi ikagoma ndio ikatokea uji😀, Kuna ukweli wowote hapa
18
11
212
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
FOUR YEARS DREAMING , MAMBO YANAWEZEKANA Ilituchukua miaka minne kutimiza lengo letu kwenye biashara ya vifaa vya umwagiliaji hapa Tanzania , Mpaka sasa tunajivunia kuuza vifaa tulivyovifanyia utafiti na kuvizalisha, GREEN DRIPLINE ni brand mpya ya dripline , long story 👇
Tweet media one
Tweet media two
27
56
211
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Elimu ya ngazi ya chuo kikuu yaani bachelor degree ni kubwa sana , tuitumie vizuri tuu inatosha
13
9
206
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 months
Infact bado hutujui tunataka kitu gani hasa
59
53
210
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Cardamom farming is rare , but is most profitable farming than many others , average farm gate price TZS 16,000 /kg
Tweet media one
16
25
208
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
7 months
@ExMayorUbungo Katika sheria za FIFA , sikumbuki ni sheria gani lakini FIFA wanakataza siasa kwenye mpira wa miguu wanajua kabisa mambo yataharibika Kuna kosa gani mimi kuwa shabiki wa Mamelodi ?
13
7
207
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Hakuna neno gumu kwa form one Kama 😄 binafsi haya yalinitesa sana 1. Characteristics 2. Circumnavigation 3...
43
7
198
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
9 months
UTT ni nzuri kwa wazee , ila kwa vijana Kuna opportunity nyingi za kuwekeza kwenye biashara na shares ambazo Zina return kubwa kuliko UTT , inflation ya TZS ni kubwa sana against USD hii inafanya faida ya UTT kuwa ndogo sana ukilinganisha muda na in comparison to investment
@mafolebaraka
Digital Nomad ( YT @mafolebaraka)
9 months
Tufundishane hizi UTT jamani, nimeona mtu ana balance la Bilioni Moja 🙌🙌🙌
Tweet media one
90
89
928
38
25
206
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
Fundi ameshafanya Mambo yake hapa , Vijana hasa wa kiume ukijifunza ufundi huwezi kulala njaa hata siku moja , tujikite zaidi kwenye shughuli hizi Zina pesa nzuri.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
12
18
195
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Kwenye mashamba mengi watu wanaweka water tank ambazo ni gharama kubwa na uhifadhi Mdogo wa maji , njia nzuri ni kuweka pond liner kama hii na utaweza kuhifadhi maji mengi au hata kuvuna maji ya mvua , comment volume au size unayotaka nikupe gharama chap👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
26
51
194
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
2 years
In love with water 💦 , this is how we do @greenagrictz
Tweet media one
7
28
198
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
8 months
Uzuri wa kufanya biashara Tanzania ni kwamba ushindani ni mdogo sana , ukiwa na mtaji mkubwa soko letu linataka tuu bidhaa iwepo sokoni isikosekane, umemaliza
7
25
199
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
Mwamba Yohana Lameck kakupigia A tisa huko Bariadi ndani ndani , kwangu huyu ndie TO Kwa matokeo ya form 4
Tweet media one
11
21
194
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
3 years
Rest in peace Prof Ngowi, uliniamini na kunipa kazi pamoja na platform kubwa , ulikuwa mshauri mzuri kwenye biashara yetu @greenagrictz , tutakukumbuka siku zote
Tweet media one
12
12
200
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
5 years
Kuna kazi nyingine unafanya zinapendeza hadi raha😍 #shambadili #NipeDili
Tweet media one
9
29
197
@Octavianlasway
Eng Octavian Lasway
4 years
VETA na SIDO ni sehemu nzuri sana ya vijana kujifunza kazi za mikono, ukiwa fundi huwezi kulala njaa
13
13
189