Emmanuel Nchimbi Profile Banner
Emmanuel Nchimbi Profile
Emmanuel Nchimbi

@nchimbie

20,602
Followers
3,361
Following
30
Media
359
Statuses

Is a Tanzanian Diplomat

DAR ES SALAAM
Joined March 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
4 years
13
26
154
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
7 years
Nilipowasilisha hati za utambulisho kwa Rais Michel Temer wa Brazil.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
16
6
118
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
6 years
Tweet media one
3
0
92
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Duniani kote vijana ndio wanaoleta mabadiliko, hakuna umri mdogo kufanya mabadiliko na kuifanya jamii yako kuwa bora zaidi.
31
45
43
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Nawapongeza Mawaziri na Naibu Mawaziri walioteuliwa na Rais Magufuli leo, wana kazi kubwa ya kumsaidia Rais. Tunawaamini na tunawategemea.
6
13
43
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
8 years
Tweet media one
3
2
38
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Kusimamamia utawala bora ndio njia pekee ya kulinda na kutunza amani na utulivu, hasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. #ChaguaMagufuli
3
15
35
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Uchaguzi hutoa fursa kwa wananchi kuchagua au kuwabadilisha viongozi. Hakikisha unajitokeza kupiga kura ifikapo kesho #chaguaMagufuli
0
17
35
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Miaka ya nyuma katika kuisaka elimu. Asante kwa wote waliofanikisha elimu yangu. #ThrowbackThursday http://t.co/2Rnp0eJFcR
Tweet media one
5
11
32
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Serikali ya CCM imefanya, inafanya na ina mipango ya kufanya mambo mengi mazuri kwa ajili ya kuleta maendeleo nchini kwetu. #ChaguaMagufuli
7
13
29
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Urais haujaribiwi.
7
20
28
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Duniani kote ni vijana ndio huleta mabadiliko, hapa nikiwa na Mbunge wa Peramiho na dada yangu Mh Jenista Mhagama. http://t.co/wBtyz0Yl8V
Tweet media one
5
10
28
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Inawezekana hujafikia lengo lako, lakini walau upo jirani nalo kuliko ulipokuwa jana. Usikate tamaa.
4
11
27
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Kama kiongozi ni shurti uwe mkweli katika kusema na kutenda, sio unasema hili ukiwa mbele ya wananchi na kutenda tofauti ukiwa sirini.
4
21
26
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Uongozi ni mamlaka au karama ya kuonyesha njia kwa vitendo. Hivyo tumpime kiongozi kwa uwezo wake wa vitendo na si maneno.
6
17
25
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Hatuwezi kuwa viongozi wazuri kama tutashindwa kuzitambua na kuzitumia kanuni za uongozi bora. Uongozi bora ndio CV bora.
6
19
26
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Waswahili husema samaki mkunje angali mbichi, tuwafunze watoto wetu maadili mema. Inawezekan
9
13
25
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Ili kuendelea, ni vyema kama utajifunza kutoka kwa watu wengine wenye uelewa zaidi yako.
6
22
26
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Teknolojia ya mawasiliano ni nzuri na inasaidia, lakini isiwe kikwazo cha kukufanya usitimize majukumu yako vyema.
2
17
25
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Nawatakia Pasaka njema. Tafadhali tusherehekee kwa amani na utulivu. http://t.co/KZLUNzKdQ0
Tweet media one
7
5
25
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Afadhali kuchakaza nguo kuliko akiliโ€˜ #MisemoYaKwetu
10
15
24
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Najivunia kuwa mwanaCCM. Hapa nikisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete http://t.co/M6haQLFX84
Tweet media one
4
5
22
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Natoa pole kwa familia na wahanga wa ajali iliyotokea leo huko Mafinga Iringa. Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.
5
14
23
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Mbuga ya Selous iliyoko hapa Tanzania ndio kubwa zaidi Afrika, ina ukubwa wa 50,000 sq km, kubwa kuliko nchi nzima ya Dermark. #IjueTanzania
10
24
21
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Ngoma zetu za asili hututambulisha popote duniani, tuzithamini na kutoa ushirikiano kwa wale wanaoziendeleza. http://t.co/n1WXgiSIWj
Tweet media one
2
12
22
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Baada ya uhuru Tanganyika imeishi miaka miwili na miezi minne tu, Tanzania imeishi zaidi ya miaka 50. Tusiivunje muungano huu
1
11
19
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Chama cha Mapinduzi CCM kimefanya mengi katika kusogeza mbele maendeleo ya taifa letu. Najivunia kuwa kada wa CCM. #ChaguaMagufuli
3
10
22
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Si wajibu wa serikali pekee bali wajibu wa kila mmoja wetu kushiriki katika mijadala yenye tija kwa taifa.
4
14
20
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Uwekezaji makini wa wageni na wazawa ni njia ya moja kwa moja ya kupanua soko la ajira na soko la biashara
6
8
21
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Baadhi ya watu huamini vijana hawawezi kuwa viongozi bora, kwa madai kwamba vijana hawako makini.Ni wajibu wetu kuwaonyesha kwamba tunaweza.
10
11
21
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Habari za asubuhi Tanzania, nawatakia mwanzo mwema wa juma. Kazi ndio msingi wa maendeleo http://t.co/KkXpLPYwGT
Tweet media one
6
4
21
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Kama taifa tunapaswa kushiriki vyema katika kuhakikisha watoto wetu wanapata elimu bora, na si tu ile ya darasani bali hata wakiwa nyumbani
8
21
21
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Uzalendo wa kweli huanzia nyumbani, tuwalee watoto wetu katika mafunzo ya kuipenda nchi yao, na kuheshimu sheria na taratibu zilizopo.
12
19
21
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Tafadhali jitokeze kujiandikisha kwani watakaojiandikisha wakati huu ndio watakao kuwa na sifa ya kupiga kura. http://t.co/oKn54ffyw6
Tweet media one
1
6
21
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Ulinzi wa nchi yetu uko mikononi mwetu na si kwa jeshi la polisi pekee, tusaidiane. http://t.co/ZmYJ84f1Jj
Tweet media one
6
13
20
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
8 years
Boston taxi driver returns $187,000 left in cab
5
2
19
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Ni jukumu la kila mtanznia mwenye fursa kuwasaidia vijana kujikomboa kiuchumi.
5
7
20
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Ni haki na wajibu wako kujiandikisha kupiga kura. Nimekwisha jiandikisha kwenye daftari, nawe jiandikishe http://t.co/GTAWVAKHwL
Tweet media one
Tweet media two
5
6
19
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Ukiwa kama kijana, hutakiwi kuogopa jukumu la kuwa kiongozi, unatakiwa uwe tayari na kujiamini.
12
17
20
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Matumizi yako ya pesa ndio yana onyesha vipaumbele vyako. Tunza vyema unachokipata.
3
14
19
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
#ThrowbackThursday Miaka ya nyuma katika kuisaka elimu. Kila nilichopitia kimenifanya niwe hivi nilivyo. Asante mungu http://t.co/AOoJncZKa9
Tweet media one
2
10
20
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Uchapa kazi,Utu,heshima kwa watu wote, ndiyo sifa zake. Mungu amlaze Pema Celina Kombani.
3
17
19
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Hakuna jimbo lolote nchini ambalo halina changamoto fulani, hata hivyo serikali ya CCM Imejitahidi kuzipunguza.
2
7
18
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
โ€œWaswahili jambo la kipumbavu likisemwa kizungu linaonekana linamaana sana.โ€ http://t.co/fxLRaPKTun
Tweet media one
2
21
18
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Kutoka 2008-2009 kumekuwa na ongezeko la upatikanaji wa umeme kutoka 13-17%. Na mwaka huu bei za umeme zimepungua. http://t.co/a6HDQ02GxW
Tweet media one
6
3
18
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Kila mwaka zaidi ya watu 2,000,000 duniani wanapoteza maisha kutokana na ajali au magonjwa yatokanayo na kazi wanazofanya.
5
11
19
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Tanzania bara ina eneo la kilometa za mraba 883,000. Sehemu kubwa ya eneo hili bado halijaendelezwa, kilimo ni fursa nzuri kwani ardhi ipo.
6
11
19
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa bila kusimamia utawala bora.
2
10
19
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Mahusiano na mataifa mengine kiuchumi yanawezesha wawekezaji kuweza kuwekeza nchini, na watanzania kufanya biashara na makampuni mengine.
1
12
19
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Mitazamo yetu lazima itofautiane, ni jambo la asili la wanadamu kuwa na mitazamo au itakadi tofauti.
3
7
19
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Changamoto za kuibadili nchi yetu kutoka uchumi ulio nyuma na tegemezi kuelekea kwenye uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea ni nyingi.
5
6
18
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Ni jukumu letu sote kupiga vita rushwa kwenye mazingira yetu kwa vitendo na si maneno pekee.
2
10
18
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Makadirio ya idadi ya wapiga kura kwa mwaka 2015 ni 24,252,927. Tafadhali jiandikishe.
0
12
18
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Naungana na Jumuiya ya Umoja wa mataifa katika maadhiimisho ya siku ya malaria duniani. Wekeza kwa Maisha ya Baadaye, Tokomeza Malaria
0
10
18
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Naungana na watanzania wote katika kuadhimisha siku hii ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ulioundwa tarehe 26 Aprili 1964.
3
15
18
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Utamaduni unahusu imani, desturi na maadili ya pamoja au urithi, na unaorithishwa kutoka kwa wazazi kwenda kwa watoto wao.
8
9
17
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Ni kweli tunakumbana na mmomonyoko mkubwa wa maadili, lakini pia ni vyema kutambua mchango wa kila mmoja wetu katika kukabiliana na hili.
6
15
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
"Kutafuta uongozi kwa kutumia dini au ukabila ni kugawa watu" - Mwl. JK Nyerere
9
16
15
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Mapinduzi ya kilimo na viwanda ni msingi wa ukombozi wa uchumi wa nchi yetu.
9
7
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Teknolojia ya habari inatawala mfumo mpya wa mahusiano ya kiuchumi duniani, hivyo ICT ni hitaji la msingi katika maisha ya sasa.
3
12
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Kesho huandaliwa leo, unachofanya leo ndio utakachokiishi kesho.
8
14
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Nawatakia jumapili na mapumziko mema ya mwisho wa wiki.
13
9
17
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Chama cha Mapinduzi CCM kimefanya mengi katika kusogeza mbele maendeleo ya taifa letu. Najivunia kuwa kada wa CCM. http://t.co/qEUEkm7mtB
Tweet media one
5
6
17
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Uwezo wa kufanya kazi ni nguvu na mtaji wako namba moja katika kujiletea maendeleo yako pale ulipo.
3
9
17
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Kiongozi bora ni yule anaye tambua na kuheshimu majukumu na mipaka yake kwa jamii anayoitumikia.
7
11
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Tunatofautiana vipaji tulivyonavyo, sote ni kama sehemu ndogo ndogo za mashine kubwa, bila wewe maendeleo ya jamii nzima yanaadhirika.
3
16
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Kaburi la mashujaa 66 walio pigana vita vya Majimaji na kuzikwa kweye kaburi la pamoja 27/2/1906 manispaa ya Songea http://t.co/svB8QM6Vz7
Tweet media one
2
5
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Ni vyema kuitumia siku ya Mei Mosi kutafakati njia mbalimbali zinazoweza kutumika kutatua kero za wafanyakazi nchini kote
5
11
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Uchaguzi hutoa fursa kwa wananchi kuchagua au kuwabadilisha viongozi. Hakikisha umejiandikisha ili usipoteze sifa ya kupiga kura yako.
7
9
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Kwa kutambua hali duni ya ufugaji nchini, hatua mbalimbali za haraka zinahitajika kuhakikisha kuwa Sekta ya Mifugo inakua.
0
6
15
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Ni wajibu wa vyombo vya habari kutoa taarifa muhimu za sayansi, teknolojia na ubunifu katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.
2
9
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Demokrasia na uhuru wa kweli ni watu wenye fikra tofauti kuweza kukaa pamoja kwa amani na maelewano hata kama mitazamo yao ipo tofauti.
11
15
15
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Kama mzazi au mlezi, ni muhimu sana kuweka mkazo na kufuatilia nini mtoto anajifunza pale darasani.
2
7
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Kiongozi lazima awe muwazi, anayewajibika na anayejitolea kufanya kazi kwa ajili ya wengine ili kutatua mambo mbalimbali.
12
11
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Ni lazima kufanya vitu vingi visioonekana au kuthaminiwa, ili kufikia mafanikio yanayoonekana
6
7
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Makadirio ya idadi ya wapiga kura kwa mwaka 2015 ni 24,253,541. Hakikisha umejiandikisha ili namba hiyo isipungue.
5
19
15
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Ni muhimu sana kama taifa kukusanya nguvu kwa pamoja, tuwe na vision ya pamoja katika kuleta maendeleo ya taifa letu.
2
6
16
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Hatuwezi kujijengea utaratibu wo wote ambao utazuia kabisa makosa yasifanyike; lakini tunatazamia kuwa yakifanyika wanaohusika watawajibika.
15
20
15
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Kwenye tume ya Jaji Warioba, watanzania waliozungumzia muundo wa muungano hawazidi 5%. Hii inaonyesha wana mahitaji mengine makubwa zaidi.
8
5
15
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Uchumi wa kisasa ni uchumi unaoendeshwa kwa maarifa, yaani sayansi na teknolojia.
3
11
14
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Ili kuinua kipato cha mfugaji na Taifa, sekta ya ufugaji ni lazima iwe ya kisasa, endelevu na inayoendeshwa kibiashara
1
7
15
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Makubaliano rasmi ya kimataifa yapo kwa ajili ya mahitaji ya kuimarisha madaraka ya wanawake.Tutumie makubaliano haya kuwapa nafasi wanawake
4
11
15
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Leo ni siku ya kumbukumbu ya KUZALIWA kwa Mwl J.K. Nyerere, ambaye ametujengea misingi mizuri ya Amani, upenda na Utulivu katika nchi yetu.
3
14
14
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Kuendeleza muundo wa Serikali mbili zilizopo sasa na kudumisha ushirikiano kati ya Serikali hizi ni njia sahihi ya kudumisha muungano.
6
10
15
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Asilimia kubwa ya Watanzania wanaishi vijijini. Ili kuwafikia ni lazima taasisi za fedha ziwaweke kwenye mipango yao ya muda mrefu na mfupi.
1
13
14
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Katika uchaguzi mkuu mwaka 2010 watu wachache sana walijitokeza kupiga kura. Tusirudie makosa.
4
11
14
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Kwa miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru tumekuwa na heshima duniani kwa utulivu, umoja na mshikamano wetu.
5
6
14
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Asasi zisizo za kiserikali kwa kiwango kikubwa zimekuwa mstari wa mbele ktk utoaji wa elimu&mafunzo ya haki za binadamu katika nchi nyingi
4
13
12
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Uchaguzi huru na wa haki utafanikiwa iwapo wananchi watapewa elimu sahihi ya uraia na upigaji kura. Nakukumbusha, nenda kajiandikishe.
1
13
14
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Tanganyika ilitawaliwa na wakoloni kwa miaka 77. Waingereza miaka 43 (1918 โ€“ 1961) na Ujerumani miaka 34 (1884 โ€“ 1918).
1
12
13
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Uchumi wa nchi yoyote iliyoendelea ulianza na kilimo na kisha kuwa wa viwanda. Kuna haja ya kuwekeza kwenye viwanda
6
7
13
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
"If real development is to take place, the people have to be involved." - Julius Kambarage Nyerere
2
14
14
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Mkoa wa Ruvuma una majimbo 7 ya uchaguzi likiwemo jimbo la Songea Mjini ninaloliwakilisha.
2
8
14
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Uzalendo wa kweli huanzia nyumbani, tuwalee watoto wetu katika mafunzo ya kuheshimu sheria na taratibu zilizopo.
4
17
12
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Kuna watoto wengi wanaoishi kwenye mazingira hatarishi. Ni jukumu la jamii nzima kusaidiana kupambana na hili.
1
8
13
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
10 years
Rasilimali watu ndiyo nyenzo kuu ya maendeleo ya jamii yoyote, hivyo ni lazima kuwekeza katika rasilimali watu.
4
6
14
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Muungano wa miaka 51 unazo changamoto zake zilizobatizwa jina la โ€˜keroโ€™. Hizi ni changamoto na sio kero, kwani kero ni mambo yanayokera.
8
10
12
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Rushwa inatokea katika sekta mbalimbali na kwa ngazi zote, ina sura nyingi ila zote ni rushwa na hazistahili kuwepo.
4
14
13
@nchimbie
Emmanuel Nchimbi
9 years
Serikali ya CCM inaheshimu utawala wa sheria na kwa kuleta mitamboya BVR inaonyesha kiu yake ya kuwa na chaguzi zilizo huru, wazi na haki.
10
12
13