Wisdom Profile Banner
Wisdom Profile
Wisdom

@wisdomjaykwa

29,506
Followers
4,841
Following
3,765
Media
32,225
Statuses

Heart-catching content, Script Writer, Sound Designer, Film director.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@wisdomjaykwa
Wisdom
3 months
Hizi zote ni simulizi/hadithi na mikasa yenye matukio halisi.. 1~Escape from Cell 35
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Kuna siku niliwahi kuona chapisho lililosema. "Najiuliza jinsi Dr Nandipha aliweza kupenda, kuishi na kufanya mapenzi na muuaji bila kuogopa, kwa mara ya kwanza nitakubaliana na watu wasemapo ogopa wanawake" Baada ya kuona chapisho hilo nikajiuliza huyu Dr Nandipha ni nani?👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
165
268
1K
1
17
71
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 month
Tarehe 16-09-2024 SEAN LOVE COMBS maarufu kama P DIDDY alikamatwa huko MANHATTAN jijini NEW YORK akihusishwa na makosa kadhaa ambayo ni Kumiliki kundi kubwa la uharifu Kusafirisha wanawake kingono Na kufanya biashara haramu. Ila ajabu P DIDDY alipofika mahakamani alisimama na👇
Tweet media one
Tweet media two
179
366
4K
@wisdomjaykwa
Wisdom
7 months
Wakati ambo JAY Z anarekodi album ya KINGDOM COME kwenye studios za BASELINE, ndani ya jiji la MANHATTAN. Kijana aliyetambulika kwa jina JERMAINE LAMARR COLE alikuwa akikatisha nnje ya studio hiyo. Kijana huyo, ndipo alipo ambiwa kuwa JAY Z yupo ndani anarecodi,👇🏻
Tweet media one
161
308
3K
@wisdomjaykwa
Wisdom
14 days
Miaka ile kulikuwa na msanii anaitwa SHAFFER CHIMERE SMITH, maarufu kama NE-YO. Huyo NE-YO alitamba sana na wimbo wake ulioitwa “Miss Independent” Ndani ya video ya wimbo ule, kuna kipande kinamuonyesha mwanamke aliyeweka miguu yake kwenye meza huku👇
Tweet media one
Tweet media two
122
227
3K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Mwamba huyu hapa.. Kati ya walinzi wa marais ambao walitokea kuwa na umaarufu fulani hapa TANZANIA ni huyu jamaa. Tunaweza kusema Jamaa alipendwa na vijana wengi, alitazamika kama Icon huku baadhi ya watu wakitamani japo siku moja wasikie sauti yake. Kwa kifupi jamaa👇
Tweet media one
134
190
3K
@wisdomjaykwa
Wisdom
3 months
NIVO alikata tamaa kabisa baada ya kuondokewa na wasanii wawili mfululizo. "Pengine itatuchukua muda kumpata AKA mwingine na COSTA TITCH mwingine" alizungumza NIVO katika mahojiano. Kisha akasita na ghafla👇🏻
Tweet media one
Tweet media two
95
167
3K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Siku ya tarehe 27-05-2013 niliwahi kusikia taarifa ya mwanaume mmoja, aliyefahamika kwa jina la CASTROL PONELLA, Ya kwamba. Ametoka gerezani baada ya kutumikia kifungo chake kwa takribani miaka 10. Nikiwa nasikiliza taarifa hii, ndipo niliposikia jina la STEVE 2K likitajwa👇
Tweet media one
Tweet media two
261
351
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Wakati mwingine Music huleta Amani, Burudani na Ujumbe mkubwa. Mwaka 2015 nilikuwa napenda kusikiliza wimbo wa LUCKY DUBE uitwao "It's not easy" Because I was tortured by love Siku kadhaa mbele nilikuja kusikia mambo ya kuhuzunisha yaliyomuhusu msanii LUCKY DUBE Ya kwamba👇
Tweet media one
Tweet media two
140
329
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Baada ya mapinduzi yale ya GABON General BRICE OLIGUI NGUEMA aliteuliwa kuwa kiongozi wa mpito wa GABON. Kwa furaha watu walipaza sauti wakishangilia kupinduliwa kwa rais aliyekuwa madaraki ambaye ni ALI BONGO. General BRICE OLIGUI NGUEMA alinukuliwa akisema...👇
Tweet media one
Tweet media two
130
170
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 month
Fid Q once said...?
Tweet media one
378
113
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
4 months
Miaka ile kulikuwa na wimbo wa NAKAYA unaitwa MR POLITICIAN. "mwanasiasa" Ndani ya video ya wimbo ule, kuna yule mwanasiasa alikuwa anaomba kura. Kitu cha ajabu ni kwamba👇🏻
Tweet media one
101
195
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 month
Mwaka 2010 niliwahi kusikia taarifa ya kifo cha mwanamuziki aliyetajwa kama ndiye greatest Rapper wa Tanzania kwa miaka ya 1997-2002 Katika kusikiliza kwangu taarifa hiyo ndipo niliposikia jina la JAMES DANDU likitajwa👇
Tweet media one
118
223
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
6 months
Mwaka 2008, nilikuwa nikisikiliza sana wimbo wa 50 CENT unao fahamika kama "21 Questions" Lakini pia nilikuwa nikisikiliza mara kwa mara wimbo wa P DIDDY unaofahamika kama "I'll Be Missing You" Ajabu nilikuja kusikia kuwa wasanii hao wana bifu kubwa.👇🏻
Tweet media one
Tweet media two
52
203
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
25 days
Moja ya interview iliyomuonyesha mwanamke aliyefahamika kwa jina la DAWN RICHARD akielezea mafanikio ya wimbo Coming home. Mwanamke huyo alikiri kuwa wimbo ule ulileta mafanikio zaidi kwa mmiliki wa record label ya Bad Boy ambaye ni P DIDDY Ajabu DAWN RICHARD alisema hapendi👇
Tweet media one
Tweet media two
48
120
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Ukikutana na kijana amepatwa na tukio kama hili, usimpite mbariki hata na elfu 20 ili hustle zake zisizime.
Tweet media one
81
139
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Binafsi nilisikiliza sana nyimbo za O TEN mkali wa NICHEKI. Jamaa alikuwa mnyamwezi, tozi na mkali wa kunata na biti. Ila baadae nikaja kusikia ana bifu zito na AFANDE SELE, bifu lilileta maneno mengi. Siku zikasonga na kizazi chao kikapita, sasa miaka ya hivi karibuni yaani👇
Tweet media one
Tweet media two
160
241
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Mwandishi wa kwanza kusafiri kwa Submarine ya Urusi hadi eneo la mabaki la Titanic katika Bahari ya Atlantiki, aliwahi kusema... "Ilikuwa ni shahuku yangu kwenda huko ila wakati nafika kule chini roho ya hisia ikaanza kunijia. Ni kijivu ni kiza kinene na hakuna mwanga.👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
63
211
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
4 months
Miaka 19 Iliyopita niliwahi kusikia taarifa ya kifo cha mwanamke mmoja, aliyefahamika kwa jina la VIVIAN TILLYA. Ya kwamba.. Mwanamke huyo amefariki kwa ajali ya gari. Nikiwa nasikiliza taarifa hii, ndipo niliposikia jina la COMPLEX likitajwa👇🏻
Tweet media one
116
203
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Siku ya Ijumaa tar 06-03-2020 Niliona Taarifa mitandaoni zikisema. "RONALDINHO akamatwa nchini PARAGUAY kwa kutumia pasipoti bandia" Kudadisi kukazuka na haraka nikawaza.. Kwanini RONALDINHO atumie pasipoti bandia.? na alienda kufanya nini huko PARAGUAY👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
175
292
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Siku ya tar 11-03-2023, Niliona Taarifa mitandaoni zikisema.. "Msanii COSTA TITCH afariki dunia kwa kudondoka jukwaani" Ndipo nikaamua kupita kwenye website ya "IOL" hapo nikaona ujumbe wa kuhuzunisha ulio muhusu COSTA TITCH👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
145
208
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Baada ya kumaliza siku, nikirudi nyumbani ni kuoga, kupata chakula na kuangalia taarifa ya habari kisha kusoma kidogo then kulala. Jioni hii nikiwa naangalia taarifa ya habari mara naona taarifa ya mwanamke mmoja aliyeuwawa kikatili sana. There's bad news.. Ila nikagundua..👇
Tweet media one
Tweet media two
222
269
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
5 months
Mwaka 1993 MIIKKA ALEKSANTERI KARI akiwa anaipambania elimu yake ya chuo kikuu nchini kwao FINLAND. Ndipo anapewa Information kuwa anapaswa kuja nchini TANZANIA haraka iwezekanavyo. Taarifa ile ilimtaka MIIKKA kuwasiri TANZANIA akiwa na watu kadhaa👇🏻
Tweet media one
121
215
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
July 12-2021 ni wakati ambao SNOOP D-O Mothaf***ing Double G "SNOOP DOGG" alikutana na DIAMOND PLATNUMZ. Katika maongezi yao SNOOP DOGG alisema... Yeye ni mwanamuziki aliyetokea kwenye makundi ya kijambazi, alipougeukia muziki watu wengi waliamini asengetoboa. Lakini...👇
Tweet media one
35
102
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Kuna picha ina trend.. Huwa najawa na udadisi nikiona chapisho tata, sasa hapa nikapata mgagasiko kwa kuona mwanamke akiyaachia maziwa yake hadharani. Why the sweetness of the bedroom is shown in public.? Ni swali lililonifanya nitake kujua huyu mwanamke ni nani👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
167
179
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
3 months
Jan 10 mwaka 2003, VIVICA ANJANETTA FOX maarufu kama VIVICA FOX alipaswa kwenda kwenye hotel ya THE MARK Kwa motive ya kwenda kushut scene za movie iliyoitwa RIDE OR DIE VIVICA alifika hotelini hapo Lakini akiwa anakatiza corridor za hotel ndipo anapokutana na 50 CENT akiwa👇🏻
Tweet media one
Tweet media two
77
146
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
23 days
July 12-2021 ni mwaka ambao SNOOP D-O Mothaf***ing Double G "SNOOP DOGG" alikutana na DIAMOND PLATNUMZ. Katika maongezi yao SNOOP DOGG alisema... Yeye ni mwanamuziki aliyetokea kwenye makundi ya kihalifu, lakini alipougeukia muziki watu wengi waliamini asengetoboa👇
Tweet media one
Tweet media two
12
69
2K
@wisdomjaykwa
Wisdom
8 months
Leo nimeona clip ya video ya Aug 5 mwaka 2017, ikimuonyesha Hayati MAGUFULI akiwataka RUGE MUTAHABA na PAUL MAKONDA kumaliza tofauti zao.. Video hii imenikumbusha ile battle ya watu wa4. yaani PAUL MAKONDA, JOSEPH GWAJIMA, NAPE NNAUYE na RUGE MUTAHABA. Turudi nyuma kidogo👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
73
201
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
2 months
“P square ni watu, watu ndio waliipenda P Square na kuipa umaarufu mkubwa, Leo Inashangaza kuona Jude Okoye analiua kundi” Hayo si maneno yangu, Bali ni maneno yaliyoandikwa kwa comment kwenye ukurasa wa Instagram wa Jude Okoye. Mtu huyo aliendelea👇
Tweet media one
70
171
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
6 months
PUFF DADDY & INCIVILITY Ep 2 JOI alishangaa kuona PUFF DADDY amevua nguo huku akimtaka wafanye mapenzi na alipokataa alimtolea bastola, akambaka huku akichukua video akiwa anafanya kitendo hicho.. Kisha PUFF DADDY, akaondoka huku akimtishia JOI kuwa akisema popote atamuua👇🏻
Tweet media one
Tweet media two
83
180
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Siku za nyuma kidogo nilisikia taarifa za kifo cha mwanamke mmoja aliyekuwa akisoma UDOM but sikuzipa umakini. Nilipo msikia dada wa marehemu akizungumza kuhusu kifo cha mdogo wake, nikapata kiu ya kutega sikio kwa umakini. There's controversial information. Dada alisemaa👇
Tweet media one
Tweet media two
169
194
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
10 months
December 29 - 2023 SARAH MICHAEL KITINGA aka PHINA aliachia rasmi video ya wimbo wake uitwao SISI NI WALE. Wakati naitazama Video hii nilivutiwa na aina ya uimbaji lakini👇
Tweet media one
Tweet media two
45
85
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
9 months
Uliwahi kusikia nini juu ya huyu brother ?
Tweet media one
144
43
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Mchaga kashaingizwa mjini tayari.
Tweet media one
42
37
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
10 months
Wakati NANDY anadondoka pale jukwaani. Ilichukua sekunde 11 mpaka kunyanyuliwa na madansa wake na kisha kubebwa na bodyguard wake kwa nia ya kwenda kupata huduma ya kwanza.. Lakini jambo la ajabu ni kwamba.. Wakati NANDY👇
Tweet media one
Tweet media two
86
71
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Kuna siku niliwahi kuona chapisho lililosema. "Najiuliza jinsi Dr Nandipha aliweza kupenda, kuishi na kufanya mapenzi na muuaji bila kuogopa, kwa mara ya kwanza nitakubaliana na watu wasemapo ogopa wanawake" Baada ya kuona chapisho hilo nikajiuliza huyu Dr Nandipha ni nani?👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
165
268
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
24 days
Moja ya watu ambao dunia imekataa kuwasahau ni TUPAC AMARU SHAKURU, Jamaa ananyota ya ajabu sana nyota ambayo hakuna mtu yeyote duniani amewahi kuifikia.
Tweet media one
106
59
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
2 years
Nakumbuka siku za nyuma kidogo, nilikuwa photographer kulikuwa na chama flani cha upinzani kilikuwa na tukio lake pale posta. Watu walikuwa wengi mnoo sasa kulitokea purukushani na katika purukushani hizo nilimpiga picha askari mmoja, yule askari akaniona na haraka sana..👇
Tweet media one
131
197
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Bado nipo na mabosi wa dunia, kuna huyu bwana Guillermo Söhnlein huyu ni mshilika wa kampuni ya TITANIC SURVEY EXPEDITION inayomiliki Submarine za OceanGate Mnamo 2009 Guillermo na Stockton Rush wakazindua Submarine yao na kuipa jina la OceanGate, wakadumu pamoja ila Ilipofika👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
57
130
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
3 months
Hawa kina nani tena.?
123
188
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Hospital ya PEREZ MEDCAR inakuja kujinasua na kuutangazia umma kuwa hawakumpokea MOHBAD akiwa hai. Bali MOHBAD alifikishwa hospital akiwa amefariki tayari.. MOHBAD alifariki akiwa wapi na nini hasa sababu za kifo chake? Hebu turudi nyuma kidogo, binafsi nakumbuka👇
Tweet media one
Tweet media two
41
142
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
4 months
Kuna movie series inaitwa Godfather of Harlem, iko story kubwa ndani ya movie hiyo inayohusu harakati za watu weusi.. HARLEM ni kitongoji kilichopo ndani ya jiji la NEW YORK Hapa ninataka ufahamu kuwa NEW YORK ni moja ya miji yenye watu maarufu na hatari zaidi nchini MAREKANI👇🏻
Tweet media one
58
158
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
2 months
Wakati ambao music wa Bongofleva unapata hamasa na kusikilizwa na kila lika, ndio wakati ambao kijana JOSEPH FRANCIS MICHAEL anaibuka na kuanza safari yake ya music. Kijana Huyu Alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba👇
Tweet media one
33
75
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
5 months
Achana na MASTER J, huyu mwanadada mwenye uzuri wa namna yake ni nani..?
Tweet media one
80
30
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
10 months
Connect dots hazikupungua baada ya watoto wa OBAMA kuonekana kwenye mitandao ya kijamii wakiwa na mionekano tofauti. Mara kadhaa watoto wa BARACK OBAMA na MICHELLE OBAMA walionekana mtandaoni, kwa mavazi yasiyo na heshima. Huku wakati mwingine wakivuta bangi hadharani.👇
Tweet media one
68
52
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
MOHBAD Ep 2 MOHBAD baada ya kufikishwa hapo kinguvu na watu wa NAIRA MARLEY, alipimwa na kugundulika ni mraibu wa pombe na mtumiaji wa madawa ya kulevya. Baada ya majibu kupaitkana haraka NAIRA MARLEY anachapisha chapisho linalosema.👇
Tweet media one
61
159
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Mwaka 2021 niliwahi kusikia habari za mwanamke mmoja aliyejiua kwa kujitupa kutoka ghorofa ya 10 na kufariki papo hapo. Baada ya kuipa umakini habari hii niligundua huyo mwanamke aliyejiua alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na rapper AKA. Ikanipa kiu ya kudadisi👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
106
165
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Picha za Sasha Obama akigongea bangi zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii mara tu baada ya Barrack Obama kushutumiwa kuwa katika mahusiano ya jinsia moja. Yaani inasemekana mke wa Obama ni mwanaume. Hii Story inahitaji udadisi mkubwa..
Tweet media one
Tweet media two
103
37
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
11 months
28-05-2013 ni Tarehe mwezi na mwaka ambao ALBERT KENETH MANGWEHA aka Cowboy aka NGWEA alifariki dunia huko nchini SOUTH AFRICA. Baada ya kifo kile cha MANGWEHA.. ndipo.. P FUNK MAJANI akajitokeza na kulalama juu ya kifo cha MANGWEHA kuwa kimesababishwa na👇
Tweet media one
Tweet media two
43
98
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Kabla ya kuendele na Episode 3 ya mkasa na kifo cha MOHBAD hebu tupitie haya machache yaliyozuka siku za hivi karibuni. Tar 25-09-2023 mwandishi wa Habari za uchunguzi nchini NIGERIA anayefahamika kwa jina la KEMI OLUNLOYO amekuja mtandaoni na kusema mtoto wa MOHBAD👇
Tweet media one
Tweet media two
27
104
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
6 months
PUFF DADDY & INCIVILITY Ep3 Hapa ndipo NOTORIOUS B.I.G na PUFF DADDY walipoanza kuhisi kuna kitu hakiko sawa Kwanza walianza kuona 2PAC hakuwa akitaka mazoea nao tena, "Aliwavimbia na aliwaletea Mikausho" Lakini pia NOTORIOUS B.I.G. alipata shows huko👇🏻
Tweet media one
Tweet media two
32
130
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
8 days
Undoubtedly unaikumbuka filamu ya Colombiana, ndani ya filamu ile kuna binti mdoogo aliyekuwa akiitwa CATALEYA. Kwa majina halisi yule CATALEYA ni AMANDLA STENBERG. Huyo AMANDLA STENBERG kwa sasa ni mkubwa, Mzuri na anavutia kumtazama. Lakini! Habari ya kushangaza ni kwamba👇
Tweet media one
Tweet media two
97
152
3K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Mpaka sasa bado hatujui ni kina nani walihusika na kifo cha LUCKY DUBE. Hii ni Episode 02.. Hebu tushuke nayo taratiibu tutaanza kuwafikia... Askari haraka wakafika eneo la tukio na kukuta gari ya LUCKY DUBE ikiwa imegonga mti huku DUBE akitazamika kwa ndani akiwa mahututi.👇
Tweet media one
Tweet media two
43
157
986
@wisdomjaykwa
Wisdom
29 days
Huyu brother ana utofauti mkubwa na hao waandishi wenu wa habari! Mnapaswa kumzingatia…!
Tweet media one
15
51
1K
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap. Na zaidi nikaja kusikia kuwa Kwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko rapper yeyote. Lakini mwisho nikasikia habari mbaya zilizo husu kifo chake👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
65
118
967
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Huu ni uhalisia uliotokea huko Manzese Tiptop. Siku moja kabla ya kufanya tukio alichapisha picha Facebook na kusema.. "Ndio yashatokea imebaki story" kisha akaja akachapisha tena akisema.. "Yale maisha ya furaha yamekwisha sasa yamebaki maisha ya uzuni" Unajua👇
Tweet media one
Tweet media two
63
73
951
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
CAF wanapaswa kuchukua hatua na kutoa hukumu kwa USM ARGER Kwa figisu zao dhidi ya Yanga Otherwise aibu hii itarudi kwao Usm Alger na hoa CAF Watueleweshe dhidi ya VAR kuzimwa, mipira mitatu mitatu kuingizwa uwanjani na mabom ya moshi kutupwa uwanjani Video sehem ya comment👇
Tweet media one
Tweet media two
63
40
940
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Five people have been confirmed dead inside OceanGate Titan. Sijui mitambo ilizima ghafla ama wamepigwa na dhoruba kali ila mimi na wewe hatujui kimewapata kitu gani. Najua unajiuliza kuna nini au kina nani hao.? Don't worry step by step you'll understand.👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
62
139
931
@wisdomjaykwa
Wisdom
8 months
Wakati natazama michuano ya AFCON kati ya CONGO na IVORY COAST kabla ya game kuanza ziliimbwa nyimbo za taifa. Lakini nilikuja kupatwa na maswali mengi Baada ya kuona CONGO wakiimba wimbo wao wa taifa huku wakiziba midomo na kuweka vidole viwili kichwani..👇
Tweet media one
14
82
895
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
"Mwanasheria Feki aitwaye BRIAN MWENDA amekamatwa nchini Kenya" Ni taarifa niliyowahi kuiona siku za hivi karibuni, lakini kilichokuja kunishangaza zaidi ni kwamba. Mwanasheria huyo feki aliwahi kusimamia kesi 26 na zote akashinda, na zaidi ni kwamba👇
Tweet media one
34
84
878
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
MOHBAD Ep 3 Baada ya polisi kutoa kauli kwa wananchi nchini NIGERIA kwamba wasijihusishe na kuzungumza uongo huko vijiweni au kusambaza taarifa zozote zisizo rasmi. Bado watu hao hawakukoma wala kuacha kulitaja jina la MOHBAD kila kukichwa.. Ndipo unafanyika mpango wa👇
Tweet media one
Tweet media two
34
110
869
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Fikiria hapa tunazungumzia miaka hiyo... Sijui nilitaka kusema nini ila huyu ndio Oscar Kambona.
Tweet media one
48
25
853
@wisdomjaykwa
Wisdom
2 months
Conflict Of Interest. Ep 2 kaka yao yaani JUDE OKOYE awe sehemu ya mgao🤔 PETER aliona kuna kitu hakiko sawa, akaamua kupitia upya mikataba yao, na kutaka baadhi ya vipengere vibadilishwe kisha akaomba JUDE asiwe sehemu ya P SQUARE Bali awe meneja wao tu.👇
Tweet media one
34
95
856
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Wakati ambao nimekuwa nikiitazama mara kwa mara movie ya BLACK PANTHER ndio wakati huo huo nilianza kuona ujumbe wa siri na wa kutia mashaka kwa muigizaji chapa ndani ya movie hiyo. Kwa mara ya kwanza nilihisi jambo... Ila ilipofika mwaka 2020 nikaamini ujumbe 👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
42
115
804
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Ni hivi majuzi tu niliona mtandao wa Twitter unaleta mambo ya kizungumkuti, mpaka nikatamani nimchane mshua Elon Musk kuwa anazingua. Sijakaa kwa kutulia mara nikaona chapisho linalosema Mark Zuckerberg aja kuifuta na kuisambaratisha twitter. Hii ikanifanya nipekue taarifa👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
32
48
814
@wisdomjaykwa
Wisdom
2 months
Hii style ya kucheza, waambieni hao vijana wa 2000 waige..
48
134
818
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 month
Miaka hiyo Mr. II kwenye moja na mbili.
20
175
820
@wisdomjaykwa
Wisdom
9 months
Kwenye wimbo wa AFANDE SELE unaoitwa Ndugu zangu, AFANDE SELE anasikika akitamka maneno haya.. "Hii ni kwajili ya ndugu zangu, nawapenda kama ninavyompenda Mungu" Vivyo hivyo kwenye wimbo unaoitwa USINICHUKIE, AFANDE SELE anasikika kulitaja jina la👇
Tweet media one
16
43
761
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
ALI MBONGO Baada ya kuachiwa kiti na baba yake alinenepa mpaka akawa na uzito unao kadiriwa kilo 200. Enzi za uongozi wake ALI BONGO aliwahi kunukuliwa akisema kuwa "Nchi ya GABON ni yao, wamepewa na Mungu "
Tweet media one
Tweet media two
9
22
747
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Pichani! Aliye katikati ni OLUSEGUN OBASANJO Aliyekuwa Rais wa NIGERIA kuanzia mwaka 1999 - 2007 Picha hii ilipigwa kwa pamoja akimpongeza secretary wake na mumewe kwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume. Mzee OLUSEGUN OBASANJO aliwatakia maisha marefu wanandoa hao wawili.
Tweet media one
101
39
715
@wisdomjaykwa
Wisdom
9 months
Achana na Master J, tutajie huyo mshua aliyesimama nyuma ya Master J, ni nani?
Tweet media one
79
18
694
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
He is very humble.. Pengine tujiulize THABO BESTER anamiliki kiasi gani cha pesa..? Ukimtazama kwa haraka haraka utamuona ni mtu asiyejitambua, binafsi huwa nashangazwa zaidi na vitu anavyo miliki. Hili linanifanya niendelee kudadisi👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
22
102
678
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Kama umewahi kutazama movie ya "The Last King of Scotland" inayomuhusu IDD AMINI kwenye ile movie kuna huyu jamaa aliyecheza kama IDI AMAN. Huyu jamaa anaitwa FOREST WHITAKER na movie ambayo ilimtambulisha kwenye ulimwengu ndio ile ya The Last King of Scotland. Sasa baada ya👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
12
26
654
@wisdomjaykwa
Wisdom
5 months
Ipi kampuni yako bora, Be honest huwa unatumia maji gani hapa..?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
274
16
626
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Simba leo anakufa, niaminini mimi nimeona kabisa kwa macho yangu.
Tweet media one
121
36
625
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Before breaking up. "Mwanamke mpende, muonyeshe mapenzi, muonyeshe kuwa yuko pekeake, ambia dunia yote kuwa unampenda, Ukifanya ivyo mwanake hawezi kukusaliti hata siku moja" Yalikuwa ni maneno ya STEVE HARVEY. Ila kilichotokea kwa sasa Mshauri anahitaji ushauri. Mapenzi.🙌
Tweet media one
44
31
598
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
A world of suffering, tears and sorrow. Yakikukuta unaweza kujiuliza hivi mimi ninaishi kwenye dunia hii au ninaishi kwenye dunia nyengine ya kuteseka na kutaabika. Mwaka 2003 penzi lilizaliwa kati ya OSAM MILANZI na ESHA MOHAMMED. Ilipofika 2005👇
Tweet media one
42
116
519
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Tumeshawafikia watu wawili ambao mashushushu wanawashuku watu hawa kuhusika na kifo cha LUCKY DUBE. Hii ni Episode 03... Hebu tusonge pamoja.. MHLANGA na GXOWA wakiwa wanarudi walipopaki kina THABO Ghafla wanashitushwa na mlio wa gari ukivuma kutokea nyuma yao. wanageuka👇
Tweet media one
Tweet media two
23
88
461
@wisdomjaykwa
Wisdom
7 months
Mpaka sasa J COLE anasikika, anavuma na kufahamika lakini mwanzo wake haukuwa rahisi. Stay safe kwa ground mambo ni mengi sana🙏🏼 Usiache kunifollow as @wisdomjaykwa #wisdomjaykwa
4
29
463
@wisdomjaykwa
Wisdom
2 years
Umri aliokuwa anazungumzia alikuwa anamaanisha mafanikio Kwamba "Kuna hatua fulani ya maisha ukipiga unapaswa kupunguza tamaa ya kuchukua pesa ya mtu uliyemzidi kimaisha, na badala yake unapaswa kumsaidia bila malipo kwasababu hilo liko ndani ya uwezo wako🙏😢 RIP NIMROD MKONO
10
39
444
@wisdomjaykwa
Wisdom
7 months
alioshirikishwa na msanii LIL DURK wimbo unao fahamika kama all my life. J COLE anasikika kisema kwamba "hard times don't last" akimaanisha "nyakati ngumu hazidumu" Kwamba It doesn't matter unapitia nyakati gani, lakini unapaswa kufahamu hizo nyakati zinapita👇🏻
9
48
449
@wisdomjaykwa
Wisdom
8 months
Ommy Dimpozi alitoa ushauri kuwa ukimuona mwenzio anafanikiwa usimkunjie, na hapo Diamond akaomba aongeze ushauri wake pia! Sasa Sikiliza vizuri ushauri wa Diamond😁🙌
33
51
442
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 month
@ExMayorUbungo Kama walimpiga usoni na kumwagia tindi kali inamaana walitaka mwili wake usitambulike na ndugu zake, It means angezikwa na jiji na habari ikawa imeisha hiyo.. Lakini Mungu sio athuman mwili umetambulika na information zinakuja kuwa mzee alitekwa ndani ya basi.. Huu mchezo
42
19
445
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 month
wa kijinsia na P DIDDY.. P DIDDY tokea akamatwe Tarehe 16-09-2024 mpaka sasa hajapata dhamana, Bado Yupo kwenye gereza linalofahamika kama The Metropolitan Detention Center “MDC” Stay safe kwa ground mambo ni mengi sana🙏🏻 Usiache kunifollow as @wisdomjaykwa #wisdomjaykwa
Tweet media one
34
15
424
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
"Halo P Funk, hembu nikopeshe buku nipate japo tumbaku" Hizi ni lines zinazotoka kwenye wimbo wa IMEKAA VIBAYA.. Ujana una mambo mengi, ndivyo ilivyo kwa ABDUL MIRAJI aka KALI P, Kabla ya kujipata kwenye muziki hustle zake zilikuwa ni👇
Tweet media one
15
32
410
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Kuna nyimbo ya Dax inaitwa "To be a man" nenda kaisikilize ile then sikiliza na ile remix yake. Itoshe kusema jamaa anajua anachokifanya.
Tweet media one
20
33
406
@wisdomjaykwa
Wisdom
11 days
Kuna ile movie ya mwigizaji LI LIANJIE maarufu kama JET LI inaitwa ROMEO MUST DIE Ikiwa utaitazama kwa makini movie ile utagundua ndani ya movie ile kuna wasanii wa music ambao ni DMX, TIMBALAND, DESTINY'S CHILD, AALIYAH, N.k Kitu cha ajabu ni kwamba👇
Tweet media one
Tweet media two
17
31
413
@wisdomjaykwa
Wisdom
28 days
Licha ya miaka mingi kupita, Lakini bado huyu jamaa ana uwezo wa kuimba acapella na ukausikia wimbo uleule kwa sauti ileile.🙌
15
53
409
@wisdomjaykwa
Wisdom
24 days
Mwamba alikuwa anaishi maisha ambayo wengine kwao ni ndoto, that’s why ilikuwa ni rahisi kupita na wengi.
3
6
401
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Hana wafuatiliaji wengi wala comment nyingi, lakini pia machapisho hayo yaliishia mwaka huo huo 2012. Jamaa akapotea mtandaoni Miaka mitatu mbele Yaani mwaka 2015 Jamaa akaonekana pembeni ya Rais Magufuli akiwa na muonekano mdogo yaani nikama alikuwa amepungua mwilii.👇
Tweet media one
7
7
393
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 month
Unamkumbuka Q Jay wa wakali kwanza..?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
35
14
395
@wisdomjaykwa
Wisdom
9 months
NAIRA MARLEY ana wake wawili na watoto wanne, Wawili wakiwa wakiume na mapacha wakike wawili ambao ni AISHAT na SIMIAT. Wakati wa kukamatwa kwa NAIRA MARLEY akituhumiwa kuhusika na kifo cha MOHBAD. mara kadhaa NAIRA MARLEY alisisitiza kuwa yeye ni baba👇
Tweet media one
Tweet media two
5
12
390
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Mkubwa ni genius sana sema tu bahari imeshindwa kumpa msamaha, angebananishwa kidogo, kinyambizi kingetikiswa juu chini chini juu, Kisha kingezunguushwa mfano wa tufan kwenye maji mazito, kisanga ndani ya deep sea huyu bwana angetoka huko angekuwa mchungaji.
Tweet media one
10
21
385
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 month
Anaitwa MacDizzo! Jamaa alikuwa na matamshi mazuri sana..
23
37
382
@wisdomjaykwa
Wisdom
7 months
JAY Z alimua kumsaini kijana huyo kuwa msanii wa kwanza kwenye record label yake ya ROC NATION. Hapo ndipo JERMAINE LAMARR COLE alipoanza kutambulika na kuvuma kama J.COLE.👇🏻
Tweet media one
Tweet media two
1
5
369
@wisdomjaykwa
Wisdom
10 months
Uliwahi kusikia nini juu ya Jonas Malheiro Savimbi..?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
41
20
363
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Nimeandika nimetuta, nimeandika nimefuta, nimeandika nimefuta...
Tweet media one
65
3
353
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Fikiria watu wa5 wanazama deep sea kwenda kutalii kwenye mabaki ya TITANIC then mwisho wa siku hawarudi. Ukimya unatanda.. Baada ya siku kadhaa mnapata mabaki ya chombo walichokwenda na nacho, yaani wao ndio hamuwezi kuwaona tena They are dead and their bodies are lost there👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
36
356
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
sio rahisi uwakute kwenye aina flani ya maisha kama kupiga picha au sehemu tofauti za wazi.. I think wameandaliwa kwa jambo fulani au kazi fulani that's why hatuwezi kujua yuko wapi kwa sasa. Ila kama ni mzima mwamba aishi maisha marefu🙏
9
7
354
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Lakini alivuma zaidi kwenye nyimbo aliyoshilikishwa na AKIL THE BRAIN, nyimbo hiyo iliitwa REGINA Ndani ya nyimbo hiyo STEVE 2K alitazamika kama ni mtu aliyeipendezesha nyimbo kwa uimbaji wake wa swaga na dharau, ni kama mtu aliyechukulia mziki ni jambo dogo Nyimbo ikapenya👇
7
25
330
@wisdomjaykwa
Wisdom
1 year
Was reported to be unsinkable Miaka 178 iliyopita.. Hapa nazungumzia mwaka 1845 ni mwaka ambao watu kadhaa walikaa chini na kuwaza namna ya kutatua changamoto ya usafiri wa maji. Wakachangamkia fursa haraka wakafungua kampuni na kuipa jina la "WHITE STAR LINE".👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
21
66
315