Kassim Majaliwa Majaliwa Profile Banner
Kassim Majaliwa Majaliwa Profile
Kassim Majaliwa Majaliwa

@KassimMajaliwa_

90,718
Followers
3
Following
63
Media
74
Statuses

Official account of the Prime Minister of the United Republic of Tanzania. Member of Parliament Ruangwa Constituency-Lindi

Dodoma, Tanzania
Joined April 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@KassimMajaliwa_
Kassim Majaliwa Majaliwa
4 months
Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwatakia Waislam na Watanzania wote Sikukuu njema ya EID. Katika kipindi hiki cha Sikukuu ninawaomba Watanzania wenzangu tuliombee Taifa letu ili lizidi kustawi kwa baraka na mafanikio.
Tweet media one
48
58
412
@KassimMajaliwa_
Kassim Majaliwa Majaliwa
5 months
Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. @SuluhuSamia kuwatakia kheri ya Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Niwaombe Watanzania wote tuendelee kuliombea Taifa letu ili tuwe na muelekeo chanya wenye umoja, mshikamano, ustahamilivu na maendeleo ya pamoja.
Tweet media one
47
51
406