Paul Christian Makonda Profile
Paul Christian Makonda

@makonda_paul

29,557
Followers
17
Following
42
Media
57
Statuses

Politician,Former Dar Es Salaam Regional Commissioner #CCMDieHardMember #BabaKeagan #FamilyMan . Dar es Salaam, Tanzania

Dar Es Salaam, URT
Joined December 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Tweet media one
883
141
4K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Kwa unyenyekevu mkubwa, Leo nimechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ubunge jimbo la kigamboni. Kama mlivyokuwa nami katika SALA na DUA siku zote za utumishi wangu, Naomba muendelee kuniombea ili mapenzi ya Mwenyezi Mungu yatimizwe.
Tweet media one
914
213
4K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Mimi ni mmoja wa vijana tulionufaika na Maisha yako hapa Duniani, Pumzika kwa Amani huku ukitambua ulipanda Mbegu njema maishani mwangu. REST IN ETERNAL PEACE BABA.
Tweet media one
325
136
4K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Gratitude🙏
Tweet media one
468
82
3K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Siyo kila JIWE linapasuliwa wakati wa ujenzi bali mawe mengine hujengewa kwenye MSINGI.
Tweet media one
387
120
3K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
EID MUBARAK
Tweet media one
232
56
2K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Kaka Yangu unajua ninavyokuthamini Chapakazi Achana na Mitandao
Tweet media one
489
70
2K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Kazi inaongea 🙏
Tweet media one
193
82
2K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Kumekuwa na HOFU miongoni mwa jamii watu wanaogopa hata uchovu wa mwili wanahisi KORONA #COVID ー19, jambo ambalo kwa mwili wa mwanadamu ni kitu cha kawaida.Neno langu kwenu Utazame msalaba kwani kwa kupigwa kwake sisi TUMEPONA.
416
69
2K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Ndugu zangu Wakristo nawatakia PASAKA njema,na ndugu zangu Waislam nawatakia mfungo mwema wa mwezi Mtukufu wa RAMADHAN. #StayHome #StaySafe #StayHealth
Tweet media one
239
51
2K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Kaka yangu Mbowe kama Viongozi Tuliopewa Dhamana ya Kuongoza Watanzania Tunatakiwa kuwaelimisha Wananchi kuhusu kujikinga na janga hili la virus vya corona #covid19Tanzania .Siyo kila wakati ni wakati wa siasa.
Tweet media one
410
89
2K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Kuna Watu maisha yao yanategemea majina ya watu wengine ili kupata umaarufu au hata kipato ili waendeshe maisha yao, ukiwagundua waache watumie jina lako ili waweze KUISHI.
Tweet media one
321
55
2K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Nimepata wasaa Mzuri wakujifunza na kuchota busara hasa ktk kipindi hiki.
Tweet media one
173
52
1K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Kama na Mh.KOMU Ameamua kutoka CHADEMA basi tena Chama hiki siyo RIZIKI.
Tweet media one
451
49
1K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Wakati tunaendeleza mapambano na #Covid19 natoa wito kwa Watalaam,Wadau wa Afya pamoja na wakazi wa Jiji la DSM kutoa maoni na ushauri wa jinsi ya kuendeleza vita hii dhidi ya #Coronavirus . Hii vita ni yetu sote #TutashindaPamoja #StaySafe
Tweet media one
457
72
1K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Kwa takwimu alizopelekewa Mh.Mbowe nafikiri ndizo zilizokuwa na Samples za Fenesi, Papaya na Mbuzi. Tuendelee kutafakari. #StaySafe #TakePrecautions #WorkHarder
353
54
1K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Furaha haitokani na utajiri bali Mungu huijenga ndani yetu kwa wale wamchao #JumaaKarim
Tweet media one
161
41
1K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Tunayo Maeneo Saba yatakayotumika kuwaadhibu WAZURULAJI, ikiwemo usafishaji wa mitaro. Kama ulijiandaa kwenda Mahabusu kula chakula cha bure SAHAU. #HiziNiZamaZaKazi
Tweet media one
272
43
1K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Kuna UTU pia katika UBINADAMU.
Tweet media one
356
82
1K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
“It is easier to fool people than to convince them that they are being fooled” Mark Twain #StaySafe #TakePrecautions
222
62
1K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Managed to get the contact for this patient, She is leaving Pemba island to Dar Es Salaam Muhimbili Hospital now, Waiting eagerly for this young girl to recover soon and make my days lively again. Get well quick.
Tweet media one
217
58
1K
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Not all READERS are LEADERS,but all LEADERS are READERS. Wasomi Wote hawawezi Kuwa VIONGOZI ila Viongozi wote ni WASOMI.
Tweet media one
Tweet media two
327
49
987
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Dar Es Salaam Bado ni Salama tuendelee kuchukua Tahadhari. #DarIsSafe #Covid19
Tweet media one
104
39
912
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Hi To the World. #SalamuDuniani This is my official twitter Account.
Tweet media one
157
34
746
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
“Those who want to live, let them fight, and those who do not want to fight in this world of eternal struggle do not deserve to live.” “We can never forget that everything Hitler did in Germany was 'legal.'” (Martin Luther King Jr.)” “It is not truth that matters, but victory.”
Tweet media one
196
41
692
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
We hv almost 20m mobile phones subscribers,I advise all Telecoms to discuss resilience and the sharing of CALLER TUNES! and anonymised metadata for predicting the propagation of the #Covid19 ,Telecoms play a critical role to support the government fight this coronavirus pandemic.
161
31
569
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Acheni Watu watumie Uhuru wao wa kujieleza. Serikali ina kazi ya kuboresha na kujenga uchumi Endelevu, na siyo kutafuta watu Twitter. @zittokabwe
Tweet media one
110
35
558
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
I am very happy to receive the Turkish Ambassador together with a delegation of 40 businessmen and investors from Turkey in My office.
Tweet media one
75
19
510
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Kutikisika kwa Dunia na wanasayansi wote kukosa Majibu,Naiona nafasi ya nabii KUINULIWA,Mimi nasubiria UFUNUO.
Tweet media one
89
26
511
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
HOW TO GET #Verified ?! ✅🙈
174
15
432
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Natafahamu tuna changamoto ya upatikanaji wa Sukari kwenye Mkoa wetu.Serikali inashughulikia swala hili kwa umakini mkubwa na ndani ya siku mbili zijazo tutatoa suruhisho la kadhia hii. #StaySafe #TakePrecautions #COVID19
69
17
344
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Hongera Wana Yanga kwa Mchezo Mzuri uliopelekea Ushindi, Wana Simba tuna jambo la kujadili kwa kina Hasa Morali ya Wachezaji Wetu.
Tweet media one
62
26
342
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Sometimes it’s wise to be well informed about what exactly going On! Around the World. #FearOfTheUnseen #StaySafe
Tweet media one
74
24
328
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
One of my Best Professor #Knowledge 📚💪🏿
Tweet media one
41
19
330
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Happy Eid to all my Muslim Brothers and Sisters in DSM and all over the world #Eidmubarak2020 #TakePrecautions #Partyandcelebrate #StaySafe
Tweet media one
27
11
312
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Kaka yangu @kafulila_david naomba sana andiko hili Kwa kiingereza ili kuonyesha msisitizo
Tweet media one
27
17
283
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Masaa 24 Ripoti kuhusu Tetesi\Wahisiwa wa Ugonjwa Corona katika Mkoa wa Dar Es Salaam, Kufikia Leo tar 16/03/2020 Saa 1:30 Usiku Hatuna Muhisiwa yoyote wa ugonjwa wa #coronaVirus ktk Mkoa wa DSM.
Tweet media one
44
28
286
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Admittedly,Our natural resources has complex dimensions,But Youth participation in this Economic War Championed by @MagufuliJP would Help African countries benefit From this God Given Blessings, I was honored to meet Pan Africanist @ProfPLOLumumba #WeAreNotPoor
Tweet media one
33
12
265
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
The reason I am still Alive is Because I am not DONE with You. #HappyBirthdayToMe
Tweet media one
58
9
262
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Wakati Tunaendelea na Mjadala, Napenda kuwahimiza na kuwakumbusha Watanzania Wote Wenye Sifa ya KUJIANDIKISHA kufanya hivyo kwenye Daftari la Uboreshaji Wapigakura 2020.
Tweet media one
Tweet media two
24
12
213
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Takwimu zinaonyesha tuna vita kubwa zaidi hakuna sababu ya kuogopa tuchape kazi #HapaKaziTu
36
9
204
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Tanzania deserves a better coverage than the one sided story published by The East African purporting that DAR is now the hub for drug cartels. This proof of senseless and reckless journalism built on hearsay from a third part aimed at tarnishing our Country. #TheEastAfrican
Tweet media one
49
22
179
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
Dunia Haina Majibu. Nimeamua Kukabithi Mkoa wa DSM kwa Mwenyezi MUNGU. naomba tuungane katika Maombi Usiku huu.
Tweet media one
59
1
173
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
2 CHRONICLE 20:17 BIBLE SAYS You will not have to fight this battle. Take up your positions; Stand firm and see the deliverance the LORD will give you.
Tweet media one
42
14
174
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
March 8 is International Women’s Day 2020 #SareTayari Mshindi Nani?
Tweet media one
22
2
168
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
What I really like about this young man. His ability to articulate issues with vivid examples, What is your opinion? #EdwardSimbeye
Tweet media one
33
6
140
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
“TELL ME ABOUT YOURSELF” Self Introduction.
25
4
141
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
In the situation that novel coronavirus crisis worsens, I know the challenges of governing the Big cities like New York, I really argue all Governors to support and share the experiences to fight and combat the Covid-19 @NYGovCuomo @usembassytz
28
7
134
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
5
0
83
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
6
0
82
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
11
4
48
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
@jidulamababasi Mzurulaji ni kama vile mpiga debe kwenye daladala na kwenye Standi za Mabasi hiyo imeshapigwa Marufuku Hao ndiyo tunaanza nao Muaokota Makopo anatafuta riziki yake hakuna atakayehangaika naye.
16
1
34
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
0
0
8
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
5 years
@MusaBadi33 Nirudi Gwambina FC!?
3
0
6