Jangili La Kimataifa Profile Banner
Jangili La Kimataifa Profile
Jangili La Kimataifa

@jangili255

878
Followers
0
Following
236
Media
3,342
Statuses

Usipojipanga Watakupanga™®©

Islamabad, Pakistan
Joined September 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@SharonMontana20 Aend bank akachukue mkopo dhamana aweke io Nyau😺 wakimkubalia ndio ajue io 😺 ina thamani io ila wakibisha ajue io 😺 haina io thamani
3
4
31
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@TweveDevota @Dr_DGwajima Mh waziri hatukufundishi kazi lakini ww kama mtumishi wa serikali na Umma unatakiwa Kujua Audience yako iko kwenye wakati gani na ujibu vipi ilikua rahisi kwa ww kusema tu " Nimesikitishwa na tukio lilotokea lakini hili swala lipo chini ya wizara nyingine".
9
8
124
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@AbroadTanzania huu mtego Rais wa zanzibar yuko anafikiria atauvuka vipi maana Akisema azike mkuraga itaondoa Credentials zake za uzanzibar na wapinzani wake wataitumia kisiasa akisema amzike Zanzibar atakua amekiuka Maelekezo ya Mzee mzigo 50/50 huu 🤔
7
2
58
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@abdulnondo2 @ComradeKawaida @elonmusk Kwaio @ComradeKawaida shuleni ulipokua unaambiwa tafuta thamani ya X ulikua unawaza Ngono 🤔! usifanye kila mtu akajua uwezo wako wa kufikiri
4
1
41
@jangili255
Jangili La Kimataifa
7 months
@FKihamu Speech Ndeefu😂 ulitakiwa kuwapongeza tu Yanga Basi ingetosha Mpira wa Afrika hauhitaji Maneno leo Hawa yanga unawapamba vizuri keaho atakutana Na Mazembe unaweza Mkataa Mpira ni tatics sio Mapambio leo yanga alikua bora kuliko CRB wame win tusubiri yajayo usinene ukamala
13
1
30
@jangili255
Jangili La Kimataifa
8 months
@aintchukash @Dayskiid Damn she s a Hustler 😂
0
0
19
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 years
0
1
26
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@Sirjeff_D Jiooooooooooooni 😋
Tweet media one
4
1
24
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 years
@privaldinho Kwa nini watu wa yanga Kila kitu ili kuoneka kiko sawa lazima mtolee mfano wa Simba miongoni mwa mapinduzi mnayoyahubiri hili linatakiwa likome mnaonekan kwamba hamna mipango bali mnashindana🤔
5
0
17
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
@nyuki_malkia @jangili255 formular ni ile ile kama 22/7 I fb
0
0
17
@jangili255
Jangili La Kimataifa
4 months
@fumbokhanJr io ni $ 135 (Dollar Mia thelathini na Tano) ambayo kibongo ni sawa na 337,500 Tsh
4
0
15
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@Rydx_017 Mnaeza fikiri ni advertisement kumbe Ni maelekezo ya Mganga😉
2
0
15
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 years
@privaldinho GSM aliingia yanga kama kit sponsor lakini yanga haikua inafanya vizuri akaamua kuwekeza kwenye usajili na mishahara ili timu ifanye vizuri auze jezi zake ili hela yake irudi na sasa GSM ndo project yake imeanza kumlipa ana toa jezi kila baada ya miezi 3😂😂 anatafuta kisingizio
5
0
13
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@Labella_Mafia95 Unapanga Uache Nyeto unatoboa siku 2 ya 3 unakutana na picha za hivi 😋
4
0
15
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
@ConieTz @jangili255 umoja ni nguvu 😉👊🏿
0
0
15
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@Vyandu1 kuna huyu mtoto nae 🙆
2
0
13
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
0
0
13
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
0
0
14
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
0
0
14
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
1
0
9
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@TMnyama4_ "Dont bark if you cant bite"- 😷
1
0
13
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@privaldinho Vile mashabiki wa Simba tunavyoona Usajili wa "Prince Mphumelelo Tripu shamba Tripu gereji Dube"- muhimu kutembea na Fundi 😂😂😂
0
1
12
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@earadiofm @diamondplatnumz Alafu big Alivyotolewa kweny Ep ya Ali alienda kulia hadi Diaspora
1
0
11
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
@SportsarenatzTz kawakataa mapera fc hawajui mwamba alikua kazini tu
1
0
11
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@shaffihdauda1 Robin Van persie alipohama toka Arsenal kwenda United Fans walichoma jezi zake moto, Juzi tuFans wa TOT walichoma jezi za Eriksen baada ya kwenda united sababu aliwaahidi hatacheza timu nyingine yoyote EPL wakati anaondoka few years back. wacha watu wateme Nyongo kaka 😋
1
1
11
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@Labella_Mafia95 mtoto wa juzi kashaanza kuonekan Mshangazi
1
0
11
@jangili255
Jangili La Kimataifa
4 months
2
0
9
@jangili255
Jangili La Kimataifa
5 months
@ze_mandevu mwanaume unanua haya alafu unapaka matakoni🤔😋😂
2
0
11
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@ayubu_madenge A few minutes later ✅Umu tuuu Umu tuuu 😂😂😂
Tweet media one
0
1
9
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@Kiganyi_ wabunge wa kenya wanatembelea Gari za afisa Elimu wa Tz 😂😂😂 kupanga ni kuchagua
3
1
10
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@FatumaCute Ni sawa na hii 😋👇 weza uchague Kwantiti au kwaliti😂
4
2
9
@jangili255
Jangili La Kimataifa
7 months
@AllyHapi kwa nini haukumuomba mwenyewe akiwa hai aandike mwenyewe nafikiri kingekua bora zaidi🤔
2
0
9
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@Profesaa___ Milion 7 na laki 4 na 80 nakuletea mafundi 😂
0
0
8
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@miss__yanga hapa mzize alikua na miaka mingapi kama sasa hv ana 21 compare and Contrast with vivid example [20 Marks].😂😂
Tweet media one
1
1
9
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
0
0
9
@jangili255
Jangili La Kimataifa
7 months
@privaldinho kila siku ingekua wao if you cant compete join them
0
0
8
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 years
@OleMtetezi @BundalaJabry @Salvatory26 acha unanga wewe acha kufananisha boxing unayoiona Kwenye Tv Ya Las Vegas Nevada na bongo ali baba ameanza ngumi kipindi ambacho ngumi haina matunda sana tofauti na kina Mwakinyo ndo maaan huwezin kumuona mwakinyo stendi akipiga debe alibaba kwenye ngumi sio wa leo
0
0
8
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@millardayo Nafikiri Mzee rusksa ndio Chachu ya Enterprises Nyingi kuanzishwa kipindi Cha aawamu ya pili ikiwemo SSB
1
0
8
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@ayubu_madenge Acha ufala ww tushavuka io stage ya (🪲 parasite) Ashraf hakimi amekuja bongo si chin ya Mara Moja na Team ya Taifa ya Morroco, Sofian Amrabat Yupo zanzibar je na yeye kamleta Hersi? Vijana wa Kusifia kila kitu mtapasuliwa spika Qummaniner Zakota
3
0
7
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@eastafricatv Kila RC/DC akiingia ni marufuku tu hivi hakuna changamoto za kutatua zaidi ya marufuku 🤔
0
0
8
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@TweetByThapz X @jangili255 I fb Asap 👊🏿🤝
0
0
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@julip202 kuna mwenzie alikuja na mada ya kuthaminisha pussy yake nikamjubu hivi 👇 nafkiri na yeye hili jibu litamfaa😁
Tweet media one
0
0
7
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
0
0
7
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 years
@earadiofm @mchengerwa_m @SimbaSCTanzania @yangasc1935 Ungekuja kusema kabla ya michezo ya kwanza alafu mbona Azam hujaiweka Hapo kama kweli mnataka umoja🤔 kila mtu ashinde zake tutaungana Timu ya Taifa 😂😂
0
0
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
7 months
@ayubu_madenge miaka hiyo ushawai kusikia kiongozi kapigwa risasi 16, ushawai kusikia kiongozi katokewa bastola back in a day watu walikua waungwana sana sasa hv president hawezi tembea na gari 3 tu kila siku tutakua tunaapisha new president uwanja wa uhuru
0
0
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@TBConlineTZ Trust me You gave him Publicity Maisha yalipofika sasa watu kama Mpina wanaonekana Heroes ✅
0
0
7
@jangili255
Jangili La Kimataifa
4 months
0
0
7
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@Ujuguhapa @jemedarisaid kukataa kwenda Kula kwa manara sio public interest au maslahi ya Umma ba Taifa ila Dickson Job kukataa kucheza mechi ya Team ya Taifa bila kua na majeruhi au sababu za msingi ni sawa na Uhaini ingekua vitani adhabu yake ni Kifo
5
1
7
@jangili255
Jangili La Kimataifa
4 months
@TMnyama4_ wahaya weupe utasearch sana😂 ni sawa uende uganda ukatafute demu white
1
0
7
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@moemedi1240 @MickyJnr__ Mamelodi Sundowns Once beated Al ahly Home and Away in Huge score did they use poison football is A game played openly they should Respect the opponets Capacity 🤔
1
0
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@privaldinho una akili ndogo sana masta😂😂 stategies zako za propaganda very 👃👃👃 rudi tena kwa hadija Mnara akupe notes vizuri, Kifanya interview na Al ahly Tv ndo nini sasa bila nyinyi kupost kuna mtu angeijua Al ahly tv, watu wamefany interview BBC
0
0
7
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@ExMayorUbungo TRAB na TRAT 😂
0
0
7
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
0
0
7
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@Labella_Mafia95 kuvaa sketi sio ushoga ushoga ni kufumuliwa rinda huyu hapa PM wa Rep of Fiji Sitiveni Rabuka akiwa kavaa sketi 👇 fiji men wanavaa sketi fresh
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
1
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
1
0
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
0
0
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@TMnyama4_ wewe unaiba unaanza kumind wezi wenzio
0
0
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
0
0
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
0
0
5
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@CloudsMediaLive @FKihamu Dhambi ya Yanga kuwashabikia Wapinzani haitakaa ifutike mpaka watoke hadharani waombe msamaha😋
0
0
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@FKihamu Leo wanangu Mbungi inaenda kupigwa Waspain wancheza na wasukuma [mimi Team Ba'Ngosha😂] gonga Like kama wewe ni ✌️🇲🇫
Tweet media one
0
0
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@IamMadamAkinyi @MiriamMkanaka Ubarikiwe Mwanamke ww pamoja na uzao wako una busara 👏
1
0
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
7 months
@EduTalkTz @moodewji kwa nini wasiwaachie magari yao wakatafute malisho sehemu zingine 🤔
1
0
6
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@_kamdudu @millardayo USA walishanusa Hili tukio mda mrefu wakawapa tahadhari Russia kupitia Kitengo chao cha Intel kuhusu haya mashambulizi lakini Russia waliwajibu kua hakuna kitu kama Hicho na kwamba hizo ni Propaganda tu, USA walichofanya ni kuwapa tahadhari ubalozi wao na wamarekani wanaokaa huk
2
0
5
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
0
0
4
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
@SavaJanjaro_ Mke wa mtu mpeleke Nyutro ground sio kwake
0
0
5
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@WalterKimaro5 hii inakukuta umeenda mgahawani kununua chakula alafu watoto wa mwenye mgahawa wanafanya hivi na mama yao ndo anauza🤔
1
0
4
@jangili255
Jangili La Kimataifa
4 months
@Getrude_mollel @420Cousin Nyagi ni kwa ajili ya wanaume wanaofanya maamuzi magumu😋 mademu wape savannah
0
0
3
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@ercurryTz X @jangili255 🤝 wanangu ukinifollow nakufollow back Tuinuwane 👊🏿
0
0
4
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@adamlutta Mipaka iwepo kenya hamna land ya kulima familia za wakubwa zimehodhi land zote watakuja kutuletea jau
0
0
5
@jangili255
Jangili La Kimataifa
8 months
@nikkwapili @MariaSTsehai @SuluhuSamia @HusseinBashe wewe unasema heka mmoja inaandaliwa kwa 1M ila Bashe alisema heka mmoja kuiandaa ni 10M sasa which is what mbona kama ni TRaB na TRat
0
0
5
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@privaldinho 😂😂😂 unapiga ngoma alafu unacheza mwenyewe chama kaondoka free agent nyinyi foseli mlilazimishwa kumuuza tofauti yake ni hio
0
0
5
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@goligani mwanetu haweki gadi anajikuta Muhamad Ali 😁 wamepita na mshipa wa nerve 😂😂 KO
1
0
5
@jangili255
Jangili La Kimataifa
7 months
@MariaSTsehai @GodfreyDalmas1 Youre on Wright Track My Sister endelea kuPiga Spana hii ni barua ya wizara kuhusu mapokezi ya vijana ukisoma vizuri hadi chini utagundua toka tarehe 9 hadi leo 29 bado utaratibu wa shamba la Ndogowe haujatamkwa vijana bado wako mtaani wamerudi kubet
Tweet media one
3
1
5
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@privaldinho Mwambie huyo dogo anacheza bila guard miguuni siku akipata mzinga wake lazima tumsahau🤔
3
0
5
@jangili255
Jangili La Kimataifa
7 months
@Adventure_36 usije ukajichanganya io m 3 wakishakata PAYE tn ww ni foreigner, wakishakata vibali vya kufanya kazi ujalipa rent kule hakuna vyumba vya 15 kwa mwezi hakuna vibanda vya miogo fanya reasearch kabla ya kuanza safari
0
0
3
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@Jambotv_ oya wasukuma haya sio marashi/perfume ni mafuta ya kupaka baada ya kunyoa 😁😁
Tweet media one
0
1
5
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@LucasbrownTz petroli ya miaka ya 2000 sio kama ya zamani 😂
1
0
4
@jangili255
Jangili La Kimataifa
7 months
@ItsHiKey Drop that sheeet😋😋
0
1
2
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@privaldinho sema huwezi kunyea kambi unapata wapi confiden ce ya kumnyea mtu aliekutoa Rombo unauza mbege
0
0
4
@jangili255
Jangili La Kimataifa
7 months
@iam_JacksonJ @VonBravoo watu wasiojulikana
0
0
3
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
@_RedOasis @iamcleopatricia 😂😂😂 nimechek sana Kmmk taulo 4??? for what
1
0
4
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@datius_tz Mtabila ya Major Lyanga👊🏿 kam Askar utakua ushaelewa hao jamaa wako tengoni hapo 😂
1
0
4
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@IAMartin_ alaf kn mzee hapo anasem lakini wanafanya vizuri 🤔 wtf vizur ipi io how,where,which Wapush # za kisengelerema huwezi kuta wamepost vitu kama hivi basi kama hawpost wavishughulikie kimnya kimnya serikali inapenda show off, kununua magoli ya simba na yanga ila kujenga shule aah 🙆
0
1
4
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@Nipashetz pungufu miwili sio mingi 😂
0
0
4
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
0
0
4
@jangili255
Jangili La Kimataifa
1 year
0
0
4
@jangili255
Jangili La Kimataifa
3 months
@TMnyama4_ Go suck a dick 🖕 kama umejipata sio ticket ya kucharazia wana as long as hawali kwenu
0
0
4
@jangili255
Jangili La Kimataifa
6 months
@Kirikuu20 hawa ni pitbull wana asili ya ukichaa uwa wanatabia ya kulana wenyewe kwa wenyewe ukisikia "Mbwa kala mbwa ndio hawa'' kesi nyingi za kuua wamiliki wao zimeshajikltokeza mf SA walimuua mchezaj mpira wa zamani hawashauri kufugwa sababu ndio most vicious dog wanaofugwa majumbani
0
0
3
@jangili255
Jangili La Kimataifa
2 months
@privaldinho Ukisoma kitabu alichoandika X CDF utajua kua dream yake ilikua kua Padre badala ya kua Soldier ni muumini mzuri wa dini ya katoliki na sio wale wa ingia toka kila j2 humkosi kwenye nyumba ya ibada 🙌💐
2
0
3
@jangili255
Jangili La Kimataifa
8 months
@nikkwapili @MariaSTsehai @SuluhuSamia @HusseinBashe Nikki wa pili wamekutuma uje umshambulie @MariaSTsehai she just a messenger kabla ya kukurupuka fanya research ndo uje uongee wewe hauna tofauti na mtu anaepata taarifa za BBT kwenye social media
0
0
4