MIRIAM💜 Profile Banner
MIRIAM💜 Profile
MIRIAM💜

@MiriamMkanaka

377,844
Followers
1,333
Following
8,051
Media
182,381
Statuses

MIMI💜, A Writer, Inspirational speaker , God first, Isiah 60:22, Legal advisor, Instagram @MiriamMkanaka , I love @Arsenal Founder of @MaabaraYaSheria

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
7 months
Happy Birthday Madam President @SuluhuSamia nina Machache sana nawasilisha, Vijana wengi tunakufa na mawazo, Hasira, kukata tamaa, Mizigo ya Familia, kifupi kama serikali mmetutenga hatuna pa kushika 🥹👇🏿
Tweet media one
138
462
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Ndani ya siku 2 tumekusanya Milioni 18 😂 Sativa Milion 11 Japhet Milion 7 Halafu mnataka mtandao ufungiwe tuhurumieni, wengine hii ndio Familia yetu 😂
208
824
4K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Guys We Did it 🙌🏿 Familiaaaaa Tumewezaaaa wazeee, Sauti ya wengi sauti ya Mungu🙌🏿
Tweet media one
271
731
4K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
I’m so emotional right now, kwakweli Mungu ni Mwema yuko huru Japhet, Familia imeshinda 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Tweet media one
241
699
4K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 years
Huyu Mbunge kaongea ukweli mtupu aiseee maisha ni magumu mweee mtatuua 🙌🙌🙌
356
838
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
6 months
Hii Picha 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Tweet media one
59
390
4K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Baada ya haya matukio kumalizika Japhet uraiani na Sativa akapona, Tutakuwa na katafrijaaa 😂😂
Tweet media one
244
353
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Aisee Leo Taivina alikuwa analia mpaka nikawa najiuliza hivi nina rafiki ambaye nikipotea anaweza kuwa na wasiwasi kiasi hiki 🤔 Man ali Broke down 💔like 30Min, tunabembeleza wapi tunamwambia si kapatikana Mzima tumshukuru Mungu lakini wapi, Anyway Marafiki wema wapo wazee🙌🏿
128
514
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Japhet Matarra❤️
Tweet media one
130
437
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 years
Mwaka Mwingine wa kumshukuru Mungu kwa zawadi ya afya na uzima HAPPY BIRTHDAY TO ME.
Tweet media one
503
191
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
I cried alot leo but Asanteni kwa kunipa Moyo Haki itatendeka, Maombi ambayo Familia zilizoathirika zinatuombea ndio zinatafunya tuendelee kufanya wema Nawashukuru sana, Leo tumeenda kuonana na Familia Ya Matarra Mama Yake na Amelia akiomba kwamba Mungu amejibu maombi yake,
Tweet media one
469
533
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
7 months
Shida si Ajenda Lets Hear it 😊😊
Tweet media one
190
461
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Katika Matukio Mawili La Japhet pamoja na Sativa SATIVA tulikusanya: 13,650,000 Japhet tumekusanya : 10,030,000 Jumla ya kiasi: 23,653,000 Kama unaona ni ndogo tembea hapa mpaka Posta kama utaokota, Mtandao wa X Bado tunauhitaji kwa nguvu zote🙏
Tweet media one
Tweet media two
131
560
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Kama jana ulinishutumu Hadharani tafadhali omba Msamaha hadharani usije DM Wala kunipigia Simu, Nashukuru🙏
Tweet media one
244
379
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Pesa nilisimamiaa kukusanya humu ndani na nimemaliza upande wangu, na nilikabidhi Pesa kwa Familia mambo mengine watafanya kama Familia Niacheni mimi bado ni mdogo sana kama mmeamua hili jambo kulifanya kisiasa malizeni nalo ki hivyo, niacheni🙏
444
376
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
27 days
Huyu Dogo akaze hivi hivi huu msimu 🔥🔥
Tweet media one
21
50
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 years
Harmonize kwa mishangazi Ndio aangukie kwa Feza Kessy 😂😂😂
Tweet media one
129
52
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Familia ya X Appreciation Post❤️Saa 10 asubuhi lakini ilikuwa kama mchana mzidishiwe mlipotoa🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
143
422
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
29 days
Sema hiki kitoto 🙌🏿🔥
Tweet media one
85
76
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
20 days
Jamani halafu uwanja mzima tumevaaa jezi mpyaaaa 😂😂😂halafu kuna nyinyi 🙌🏿💚🖤
Tweet media one
153
162
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
1 month
Karibu Tanzania watu wanafurahia mtu kufukuzwa kazi 😂😂Roho Mbaya 🚶🏿‍♀️
Tweet media one
212
135
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
7 months
Nimepigaaa Pichaaa 380000 tawaonesha wanangu wakikua 😂😂sema hawa vigomaa waheshimiwe unaweza jikuta Mbeya 🚶🏿‍♀️
Tweet media one
224
575
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Mama Matarra Anasema kuna siku natembea barabarani namuomba Mungu anisaidie niokote hata Milion 7 nikamtoe mwanangu jela Huku akilia 💔nimefunga kila mara nikimuomba Mungu amsaidie kijana wangu, nimeomba msaada kila kona sikupata😒huku akisema Umaskini mbaya sana mwanangu.
Tweet media one
292
406
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
1 month
Mpira wa Bongo kukua ni kazi sana😂🙌🏿
Tweet media one
119
67
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 years
Nioneshe mchezaji wa Liverpool, Man U mwenye hii awards nikuoneshe ng’ombe anayetaga 😂
Tweet media one
274
56
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
17 days
Sheria ashikwe sasa 😂😂😂🙌🏿
Tweet media one
80
87
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
7 months
Ulikuwa wakati mzuri sana ndugu zangu, tusiache kujifunza kama vijana hili Taifa ni la kwetu sote🙏 Miguu yangu haifanyi kazi 😂but kitu nimejifunza ni kwamba Tanzania ina watu wema sana, wazalendo na wanaopambania nchi yao, tusivunje Amani hii, Tuishi Wakuu ❤️
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
144
507
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
22 days
Picha la Kutisha 😂😂🙌🏿
Tweet media one
27
81
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
13 days
Hawa ndio wachezaji bhana sasa unashangilia timu yako uliyotoka kama nini na mauno juu😂😂
Tweet media one
45
87
3K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
TAARIFA YA MAKUSANYO YA MCHANGO WA MATARA Makusanyo: 10,030,000 Matumizi: 5,210,000 Kiasi kilichobaki: 4,820,000 Pesa iliyobaki atatutumiwa Matara. Asanteni nyote. Mbarikiwe sana🙏
110
395
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
13 days
Jamaa kamkumbatiaaa Raisi 😂😂Hasira zimeisha
Tweet media one
13
57
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Nilimwambia Matarra kwamba wana X hawataki kusikia kuhusu yule mke wako 😂 Akasema mimi nimemsamehe maana Mungu anasema tusamehe ili tupate amani moyoni 🙌🏿🚶🏿‍♀️likanishuka 😂
Tweet media one
268
192
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
14 days
Nawakumbusha hili Tshirt ni 85k 😂😂
Tweet media one
65
72
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
13 days
Chama tunaye na tunatamba naye 😂😂
Tweet media one
37
115
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
4 years
Wapwa wanalalamika sifollow back Haya sasa niko na muda leo weka handle yako hapa 👇🏿👇🏿
1K
150
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Sativa/Matarra wote wapo mjini semeni lini tufanye Tafrija 😂napokea maoni👇🏿
Tweet media one
134
182
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Kuna siku Aunt yangu kutoka Tukuyu alinipigia simu akasema nikamchukulie Mafuta na Maji kwa Mwamposa ilikuwa Alhamis, kufika pale hao watu jamani huyu mzee ana watu 😂🙌🏿Trust me kuna watu wanapona Aunt yangu hamwambii kitu kuhusu huyu mwamba 😂
Tweet media one
314
154
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Familia X imeshinda tuzidi kumuombea Ndugu yetu atoke salama kwenye chumba cha operation🙏
Tweet media one
103
322
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
3 years
14/11 kurasa nyingine HAPPY BIRTHDAY TO ME💜
Tweet media one
Tweet media two
525
138
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Kwa wanaume wote ambao ni vichwa vya familia, wana mizigo ya familia, kila mtu anamuangilia, nawaombeeni M/Mungu azidi kufungua milango yenu ya Baraka, Pesa ziwe nyingi, mpate wanawake wazuri na watulivu, Muwe na wakati mzuri💜
Tweet media one
207
298
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
28 days
Hii Jezi ya Njano kali Diamond Mwenye kasema bhanaaaa
Tweet media one
31
74
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Niwakumbushe tu Muswada wa Fedha 2024 ambao hamjasoma leo ndio unaanza kufanya kazi kama Sheria ya Fedha 2024 Nione mtu analalamika humu ndani kuhusu upandaji wa kitu chochote nitaruka naye 😂
Tweet media one
146
277
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
3 months
Admin wa Wasafi amenishinda 😂😂
Tweet media one
34
79
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 years
Ila Manara kaoaaa tena 😂😂😂
Tweet media one
100
43
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
WE DID IT, FAMILY 🙌🏿🔥🔥🔥 Tumefikia lengo na zaidi. Lipa Namba: 2,800,000 Mpesa: 4,400,000 Jumla = 7,2000,000 Kesho tutatoa taarifa ya mrejesho wa kulipa faini na kumtoa Matara gerezani. Mungu awabariki🙏
255
582
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Naombeni sasa nipush # kidogo 😂😂tutakuja na Updates badae kidogo but nyie watu ni muhimu sana huu upendo natetemeka, MBARIKIWE mifuko isikauke wazee, Kikubwa Tusameheane na kupendana, Chuki haina Maina❤️
138
354
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
9 months
14/11 Mungu anazidi kuwa Mwaminifu Namshukuru kwa Zawadi ya Afya na Uzima. HAPPY BIRTHDAY TO ME 💜
Tweet media one
436
230
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
17 days
Sheria kashindikana bhana 🙌🏿
Tweet media one
32
66
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
So Far wasanii wakubwa wameonekana Mstari wa mbele kwenye maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha 2024 Kenya Khaligraph Jones Otile Brown Will Paul Nadia Mukami na wengine wengi Hii ndio maana halisi ya Msanii kuwa kioo cha Jamii Safi ❤️
Tweet media one
70
224
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Fanyeni yote lakini Tafrija iko pale pale bia lazima tunywe na nyama choma😂🔥
Tweet media one
197
231
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
1 month
Joho kalamba Waziri wa Madini katika baraza jipya la mawaziri, Gen Z wanasema hii ni jokes 😂😂🔥
Tweet media one
39
75
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 years
Utaambiaje Watoto wako huu mpira haukutoka Germany wamefanyiwa hujma na Qatar 😂😂
Tweet media one
278
59
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Nimecheka Jamaa anasema kanunua umeme wa 3000 kapata unit 1 😂😂😂
Tweet media one
196
185
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 years
Oya @Big0047 nitoleee ufagioo ule nyuma unaniharibia picha yangu 😂
Tweet media one
132
78
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
4 years
Nilikuwa nasikia watu wanachukuliwa kwenda kwenye kampeni leo nimeshuhudia mwenyewe 😂😂😂kikubwa tujuze uwanja🚶🏿‍♀️
97
104
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 years
Familia ya Saka mmemuona Girlfriend wake lakini 😂😂
Tweet media one
46
37
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Komando @JideJaydee Familia imepokea mchango wako kwa mikono miwili 🙏 Ubarikiwe sana sana, usipungukiwe na kwa wasanii wote wanao tusupport, nikawakumbushe tu tunaona ☺️
51
275
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
3 months
Ila Skudu 😂😂😂😂🙌🏿
Tweet media one
25
43
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Wana X Mko serious wakuu mko Terminal 😂🔥Familia hii ni Bora nzuri.
Tweet media one
51
208
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Tukimalize hili tufungue TOT kikoba 😂
Tweet media one
168
177
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Kitu cha kujifunza ni kuheshimu imani za watu, kupitia huu mkasanyiko kuna watu wanapona, wanabadilisha mwenendo wa maisha yao, wanatoka kwenye vifungo, vipato vinabadilika, kikubwa ni wameokolewa🙏
Tweet media one
225
213
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Jana Aziz K Leo Pacome Mnataka kutuua na kisukari au? 😂
Tweet media one
Tweet media two
61
77
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
7 months
Nimeona watu wengi wanauliza nini chanzo cha vita Kongo? Chanzo ni Madini na Rasilimali, Kongo wana madini mengi sana ambayo wenyewe wanasema yamebeba Future(Technology) Kwa Mfano madini aina ya kobalti, Lithiam na Shaba haya madini yanatengeneza Betri za Simu, 👇🏿
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
98
272
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
6 months
Jamaa kasema “Nidhamu ya pesa pia inakaribiana na uchoyo” kwakweli i agree kabisa 😂
Tweet media one
30
117
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Sativa hajataka baraka zimpite na yeye kaona ashiriki Get well brother and Come back stronger 🙏
Tweet media one
110
349
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
1 month
Watoto wadogo pila kilo 100😂😂😂
Tweet media one
39
61
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Yaaani leo i’m feeling Good, Sijui Good Mood imetoka wapi 🚶🏿‍♀️Mpenzi sina, maisha sina, ila ni Furaha nani alisema tuchague wali nyama vitani 🔥
163
243
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 years
Kipaji kikubwa sana 😂angeanza 🙌🏿
Tweet media one
56
29
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
9 days
Hii Jezi inapatikana wapi wakuu?
Tweet media one
72
58
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 years
Jamaa kacheza vizuri sana hii WC but this is unproffesional unashangiliaje hivi yaani.
Tweet media one
221
32
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 years
Retweet bila sababu 💚💛
Tweet media one
34
712
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
4 years
Sema Roma na Stamina wana chemistry nzuri sana 😂🤣
153
62
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Sema Niwape Moyo Tweet Zetu Sativa atapona ataziona na atakuwa Proud sana 🙏 Na huu uwe mwanzo kwa ndugu yetu yoyote atakayepata tabu humu ndani tutasimama naye kiulalo ulalo, Maisha ni Magumu sana tupendane,☺️
135
442
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
DM za Shida zimezidi sasa wakuu mimi mwenyewe sina hela 😂😂🙏
Tweet media one
108
116
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
28 days
Kufa usifiwe, ishi uzomewe ☺️
Tweet media one
40
110
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
5 years
Nmepanda daladala nmekaa na chalii ya arusha ni handsome, kapigiwa simu anasema naenda kati kuna jamaa kagoma kula dona yaani maana yake kafariki 😂😂nimebaki namshangaa Lol hawa watu🙌🏿🙌🏿🚶‍♀️🚶‍♀️
243
96
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Laleni tu leo Familia hairudishi michango 😂😂
Tweet media one
116
137
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Kubadilisha nywele tu kucheza mpira aaaaaanh 😂
Tweet media one
61
63
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
29 days
Marioo ndio ajue kuwa na yeye ni Msanii Mkubwa sana, kama alikuwa anajichukulia poa aache mara moja, hakuna mtu atasubiri ngoma yake iende ndio atoe yake 😂😂
Tweet media one
40
88
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
3 years
Kuna wanaume wanatafuta hela kwa tabu sana 😒Mungu awasaidie aisee 🙌🏿
117
62
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Familia inasema hatulali na Deni hii 7M tunamaliza usiku huu huu 😂😂X mnanifurahisha sana 🙌🏿
Tweet media one
65
251
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Kadri unavyokutana na kujua watu wengi ndio unagundua kwanini Nuhu alibeba wanyama wengi kwenye safina kuliko Binadamu😂
Tweet media one
119
188
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
5 years
Nina swali asilimia kubwa ya wanaume mkitongozwa na wanawake hamkataagi kwanini?🤔
783
70
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
1 month
Nilikuwa Busy kuwapiga Picha watu wengine But hali ya Sativa inatia Moyo tuendelee kumeweka kwenye maombi Familia Ya X mnaonesha upendo mkubwa hii isiishie kwa Sativa tuendeleze kwa watu wote wenye shida, X Familia❤️
Tweet media one
51
122
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
21 days
Yanga Princess wafanye namna hapa dogo anaubondaaa😂😂
Tweet media one
44
30
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
8 months
Kwa hii nyumba ya Mwijaku, uchawa unalipa wazeee 😂😂
Tweet media one
37
41
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
6 months
Filter iligoma kwenye Poster ya King Kiba 😂😂 #20YaKING
Tweet media one
89
96
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Jamaa anauliza kwanini wanaume hawaangukagi mapepo? 😂😂
Tweet media one
168
92
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Kuna DM nyingi kutoka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wote wakidai Ada kwakweli nisiwape moyo sana Swala la Kukosa Ada I know nimewahi kosa Ada nikaomba Msaada, Shida ni kwamba wale wa mwanzoni waliosaidiwa waliharibu, mmetutia uoga 🚶🏿‍♀️
115
183
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
27 days
Kumbe kuna ka kombeee 😂😂😂basi walijichanganyaaa
Tweet media one
26
62
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Fear Women Jamaa alivyofungwa tu Mke akapotea 😂🙌🏿jamani tusimame Dakika moja tu Fear Women nacheka kama mazuri🙌🏿 MCHANGO WA KULIPA FAINI YA MILIONI 7 YA ENG. MATARRA LIPA NAMBA MITANDAO YOTE: 5554323 MacFoodTz M-PESA: 0769853711 Devota Tweve #JusticeForMatara
150
573
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
4 years
Kwa wanaume wote wanaopambana japo familia isikose kitu nyumbani Mungu azidi kuwafungulia Milango ya baraka 🙏🏿
128
110
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
20 days
Kwakweli Hii nzuri sana 😂😂😂
Tweet media one
14
27
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
13 days
Mnamjuaaaaaa Bhokaaaaa nyieeeeeee🔥🔥🔥
Tweet media one
21
53
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
1 year
Hii nchiiii 😂😂😂😂
Tweet media one
191
52
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
9 months
Sheria afichweeee sana kama nyara za serikali asije tiwa zongooooo makolo yana wivu sana😂😂🙌🏿
Tweet media one
19
61
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
3 years
Mimi kwa msoto wa chuo kwa anayepata GPA kuanzia 3.0 huwa namuheshimu sana 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
95
39
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
27 days
Ningekuwa na nafasi ningemchagua Ali mara 10000 kuliko Manara Kwa Miaka miwili ameonesha kuwa Msemaji wa klabu hutakiwi kuropoka, ropoka, chagua maneno yako vizuri tu ujumbe wako utafikia watu tu. ALI KAMWE, Una Heshima Yetu Wananchi tunakupenda💚
Tweet media one
100
151
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
24 days
Sema Mashabiki wa Yanga sisi ni miyeyusho sana mafanikio yote haya, bado tuko nyuma hivi kwenye swala la kujaza uwanja, hebu nunueni tiketi bhana😏
Tweet media one
171
126
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Wasaniii wa wenzetu ☺️🥰
Tweet media one
40
84
2K