DevotaTweve Profile Banner
DevotaTweve Profile
DevotaTweve

@TweveDevota

84,597
Followers
913
Following
4,643
Media
90,190
Statuses

Media Personnel | SRHR & Gender Champion | Instagram

Tanzania
Joined July 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@TweveDevota
DevotaTweve
2 months
Watanzania wenzangu naomba tumsaidie Bi. Sigara apelekwe Hospitali kutibiwa, anahitaji msaada wetu ili aondokane na maumivu aliyonayo. Anatakiwa kukatwa mkono na kupatiwa matibabu mengine lakini amerudishwa nyumbani kutokana na kukosa pesa. M-pesa: 0765124141 Rehema Mahenge
104
407
652
@TweveDevota
DevotaTweve
2 years
Mungu ni mwema👸🙏
Tweet media one
485
131
4K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Sikiliza namna ninavyosoma Taarifa ya Habari 🎤📻
749
322
3K
@TweveDevota
DevotaTweve
2 years
Mungu awakumbuke wanaohitaji ndoa na watoto kama nilivyokumbukwa🙏 (ni kasichana 😻).
Tweet media one
268
123
3K
@TweveDevota
DevotaTweve
2 years
Today is my birthday 🎂 😻
Tweet media one
378
84
2K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Me tamkumbuka Mh Mwanri kwa kauli yake ya Somaaa hiyooooooo🤣 Wewe utamkumbuka kwa kauli gani?
Tweet media one
470
65
2K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
Nyie watu🙏
Tweet media one
150
289
2K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Habari Tanzania 🇹🇿 neno langu la asubuhi hii, natamani Ubunge nao uwe na kikomo cha awamu mbili kama ilivyo Urais, tunahitaji kupata mawazo mapya ili kuleta chachu ya maendeleo.
201
100
2K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
GOOD News. Japhet Matarra is free. Shukrani kwa kila aliyeshiriki kupigania uhuru wake. We did it.👏🏽
132
453
2K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Wanaume wote heshima kwenu nawathamini, nawapenda na kuwaombea mfanikiwe katika mishe zenu🙏
225
83
2K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Usiku wa kuamkia leo watu wasiojulikana wamemuua baba yangu mdogo kwa risasi maeneo ya mji mdogo wa Mlowo, Mbozi. Inasikitisha sana😪
317
93
2K
@TweveDevota
DevotaTweve
2 years
Raha ya kuku wa kienyeji unakula hadi mifupa😀
Tweet media one
190
43
2K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Dear future husband, wife material nakuahidi kutopasha viporo🤣
Tweet media one
164
31
2K
@TweveDevota
DevotaTweve
14 days
Ukifanikiwa usiwadharau wanaoendelea kujitafuta.
Tweet media one
Tweet media two
42
103
2K
@TweveDevota
DevotaTweve
1 month
Mungu wangu😭😭
Tweet media one
24
184
2K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Fikiria umeumiza sehemu zako za siri kwa iphone 13 halafu unasimangwa ni feki😪
123
41
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
Njooni hapa tujibu swali la Mhe. Waziri Gwajima kuhusu sakata la Sativa. #JusticeForSativa
Tweet media one
173
140
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
2 years
Mahusiano siyo ajira, kama unaifanya kukuingizia kipato ujue wewe ni mdangaji na usiseme wanaume ni bahili.
172
189
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Nyie nimekutana na Nabii Tito🤣🤣
Tweet media one
Tweet media two
259
29
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Yani unakuja DM unaniuliza niko kwenye mahusiano kweli🤪we rusha nyavu tajua nifanye nini🤣
195
29
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
2 years
Enzi izo nakula nauli 😅
Tweet media one
Tweet media two
249
39
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Mkimuona Okonko mwambieni namtafuta🤣
Tweet media one
260
18
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
Inadaiwa @Eng_Matarra yuko jela kutokana na makosa ya kimtandao. Tunahitaji kushirikiana kwa pamoja kupata taarifa zake ili tuweze kumtoa gerezani. Bado hatujachelewa🙏
Tweet media one
51
452
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Nyie kumbe @bbcswahili walipita hapa, asante sana🙏
Tweet media one
90
50
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
Asanteni @MiriamMkanaka @INFLUENCERjr kwa kwenda nyumbani kwa akina @Eng_Matarra kutembelea na kukabidhi kilichobaki. Siwezi kuwasahau @TitoMagoti @Mrema , Mawakili na Watanzania wote waliotoa michango yao. Asante na Mbarikiwe sana🙏
Tweet media one
74
243
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
Watanzania wenzangu kama tunaweza kupata namba ya mke wa @Eng_Matarra au ndugu ambaye inadaiwa kafungwa jela miaka 10 itapendeza zaidi ili tujue tunaanzia wapi na kwanini alifungwa. Umoja ni nguvu tusimuache mwenzetu huko, tujaribu kama tunaweza mtoa @TitoMagoti @PMadeleka
Tweet media one
85
434
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Ukitaka kudumu kwenye mahusiano yako usipige mizinga🤣
Tweet media one
199
26
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Jamani me mgeni humu mnifollow, naitwa Devotha nina miaka 20 niko chuo Mwaka wa 1🤣
Tweet media one
234
36
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Je, wajua? Wilaya ya Mbozi, Songwe inaongoza kwa kuwa na pisi kali, hata Mwenyekiti wa Pisi kali Tanzania anatokea Mbozi. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
308
38
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
9 days
Nimefikiria maumivu ya mama huyu nimeshindwa kuyabeba, amegundua mabinti zake walioko chuo kumbe wana watoto zaidi ya umri wa mwaka 1 na hajui. Watoto walikuwa wanasoma chuo Dar hawarudi likizo akajua wanaenda kwa ndugu zao. Hadi sasa mama huyu hali yake ya kiafya sio nzuri.
111
78
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Jamani me ndiyo naenda zangu shule hivi 🤣🤣
Tweet media one
Tweet media two
189
13
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
“Devota, kwa mara ya kwanza leo ndio sijasikia kengele, nimelala muda huu kwakweli siamini kama nimetoka, Mungu ni wa ajabu sana” @Eng_Matarra
31
150
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Nimerudi kulima nyumbani kwetu🥰 karibuni Mbozi, Songwe.
Tweet media one
197
18
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Challenge accepted 🤣🤣🤣
Tweet media one
Tweet media two
256
27
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Tuombeane uzima hali yangu ya kiafya ni mbaya sijaweza kuamka kwa siku ya leo.
212
33
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
2 years
Humu tunachati na watoto sana ambao wengine hata hawajui maisha nini, hawana majukumu na bado wanategemea kulishwa ndiyo maana wanachowaza wao ni kutrend na matusi tu.
138
96
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Mshahara hautoshi tunapambana kupitia kilimo, ingawa bei ya mbolea ni maumivu kwetu. Karibuni Mbozi😻
Tweet media one
103
37
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
NEC sijawaelewa kabisa yani mtu ana LESENI anaruhusiwa kupiga kura? kuna uhakika gani kama ni halali? kuna utaratibu gani uliowekwa kupitia LESENI hizo kabla ya kupiga kura? Nina maswali mengi sielewi🤔
149
99
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
WE DID IT, FAMILY 🙌🏿🔥🔥🔥 Tumefikia lengo na zaidi. Lipa Namba: 2,800,000 Mpesa: 4,400,000 Jumla = 7,2000,000 Kesho tutatoa taarifa ya mrejesho wa kulipa faini na kumtoa Matara gerezani. Mungu awabariki🙏 #Justice4Matara
171
420
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
2 years
Hata me nilikuwa miongoni mwa “God when” lakini leo Mungu ni mwema.
Tweet media one
67
48
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Nyie kuwa Mwanaharakati inahitaji moyo sana, leo nilikuwa kibamba ndani huko kufatilia kesi ya ukatili, vibaka walitaka kunipora simu ikabidi nijidekeze na kujifanya msela wao, ni vijana wadogo wanavuta bangi na wanakunywa pombe kali aisee, hapo ni sehemu ambayo ni bondeni.
Tweet media one
190
34
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
2 years
Hii nchi hatuna waliosomea uchumi?
181
45
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
Wameona tumeungana wameanza kuogopa, tusikubali kugawanyika kwasababu ya chuki na siasa zao.
39
168
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Je, ni Kweli wavulana hawapendi kutumia kondomu? Kwanini?
Tweet media one
320
54
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
14 days
Ndani ya mwezi 1 wanafunzi 48 wamepata mimba Simanjiro.
Tweet media one
144
66
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Yani daladala nzima nimevaa barakoa peke yangu wananishangaa aisee, hivi tumefikia hatua hii🤔
117
32
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Mtoto wa darasa la 7 amekunywa sumu na kupoteza maisha baada ya kugundua dawa anazokunywa kwa muda wote ambazo anapewa na mama yake ni kwa sababu yeye ni muathirika wa UKIMWI.
106
61
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
TAARIFA YA MAKUSANYO YA MCHANGO WA MATARA Makusanyo: 10,030,000 Matumizi: 5,210,000 Kiasi kilichobaki: 4,820,000 Pesa iliyobaki atatutumiwa Matara. Asanteni nyote. Mbarikiwe sana🙏
57
201
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Kesho 25/5 ni birthday ya Mwenyekiti wa Pisi Kali 🇹🇿
Tweet media one
152
39
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Tetemeko limepita Kigamboni dakika hii, nimeogopa😓
118
23
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
Habari @CrownMediaTZ Lengo la twit hii ni kuomba nafasi katika kipindi hiki cha michezo naona hakina mwanamke ili kuongeza ladha zaidi. Mimi sio maarufu lakini nina ujuzi katika tasnia ya habari hususani kipindi cha michezo. Asante Wako katika ujenzi wa taifa Devota Tweve 😅
@CrownMediaTZ
Crown Media
3 months
Karibu Nyumbani @jemedarisaid 🏆
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
79
63
2K
127
331
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Dada usiumize sehemu zako za siri kwa iPhone 📱 13.
123
48
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Hali yake haimzuii kufurahia maisha na kutimiza ndoto zake😍. #keshoyangu
Tweet media one
Tweet media two
48
72
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
2 months
Aisee😭😭
Tweet media one
30
138
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
2 years
Nikizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondary Nambinzo, Mbozi kuhusu masuala ya afya ya uzazi na ukatili.
Tweet media one
102
51
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Ukiona mshikaji wako kasema hana hela hata kama ameajiriwa muelewe, mishahara inayolipwa ni aibu na inaumiza.
66
78
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
26 days
Imefika wakati tuache kusema tunamuachia Mungu wakati ametupa akili na maarifa.
38
178
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Leo nimeibiwa simu ya Samsung niliyopewa na #UN kama zawadi Kutokana na mchango wangu wa kupinga ukatili katika nchi yangu.
134
39
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Birthday geloo 🥰
Tweet media one
191
24
996
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Msichana kutoka Mbozi, Songwe aliyekuja mjini kutafuta maisha, ipo siku maisha yake yatakuwa Ukombozi kwa wengine 🙏
Tweet media one
136
21
999
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Jamani nahitaji gari la Million 1 na nusu, please check me DM🤣🤣
155
18
977
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Kesho 25/5/1985🤪nilizaliwa, siwezi kusubiri hadi saa 6 nitakuwa nimelala, naomba nianze kupokea wishes zenu mapema. Happy birthday to me 🎂 Happy birthday Andunje🤪 Happy birthday Devotha Tweve
Tweet media one
338
29
993
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Dear future husband tunawachelewesha watoto shule hunicheleweshi me🤣
105
26
967
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Unanisimanga ohoo kakichwa kadogo, kembamba mara kafupi lakini kuna mtu humwambii kitu kuhusu me, acha wivu🤪
Tweet media one
242
14
954
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Dear future husband nitahakikisha unasahau maumivu yote uliyoyapitia kabla ya kukutana na me😍
114
27
965
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Leo nimepima uzito nimekuta nina KG 40 nimepungua kilo 1, wapendwa nawezaje kufikia KG 50?
220
17
966
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Sahizi na kilo 43 kutoka 40😜
Tweet media one
146
9
961
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
Kuhusu tumelipa faini shingapi, fedha iliyobaki na matumizi yote tutatoa update, Asante kwa kuniamini katika hili mmeonyesha upendo ambao kibinadamu hauelezeki. Tubarikiwe sote🙏
40
133
1K
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Ila sisi masikini ndiyo huwa tunahangaika na mavazi, muangalie Moo😆
Tweet media one
185
20
940
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
“Namshukuru Mungu kwa upendo wenu, siamini “ @Eng_Matarra
Tweet media one
Tweet media two
31
173
991
@TweveDevota
DevotaTweve
28 days
Baba wa Asimwe aliahidiwa shangingi akimuua mwanae. R.I.P Asimwe😭
Tweet media one
67
60
988
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Kuna watu mmenisimanga alafu DM mnanisumbua, tamwaga DM mbwai mbwai tu😅
148
16
927
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Hilda Newton @HildaNewton21 ameshinda kura za maoni kuwania Ubunge Viti Maalum jimbo la Temeke. #uchaguzi2020
Tweet media one
66
33
949
@TweveDevota
DevotaTweve
26 days
Kwasasa kutoa matamko ya kulaani vikali matukio ya watu kutekwa na kuuwawa hayasaidii, tutafute mbinu nyingine hii imekuwa yakubembeleza sana.
33
172
981
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Unaweza kuwa na Degree au PhD lakini ukawa mjinga.
157
33
914
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
Mitandao ya simu imekuwa ikitunyonya wateja wake, kuleta usumbufu na kujipatia faida kwa kutoa namba zetu kwenye kampuni mbalimbali ambazo zimekuwa zikituma matangazo yao kwetu bila idhini yetu. Hili halitakiwi kufumbiwa macho maana wanakera sana.
73
168
962
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Pisi kali kutokea Mlowo, Mbozi Songwe🤪
Tweet media one
192
16
924
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Gwajima akitembea kwenye mafuriko. #UchaguziMkuu2020 #napigakura
347
92
935
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Ukizama DM rusha nyavu zako, usiulize una boyfriend hiyo siyo kazi yako😅 #ElimikaWikiendi
91
20
908
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Yani Kigamboni mvua imenyesha viatu nilivyovaa vimeloa alafu nafika Kawe jua linawaka, hii kitaalamu tunaiitaje🤣🤣
146
18
895
@TweveDevota
DevotaTweve
2 years
TBT 2009
Tweet media one
67
24
910
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
“Nilikua natakiwa kupelekwa gereza la adhabu Kitai, Ruvuma. Tulikua wafungwa 20” @Eng_Matarra
35
94
945
@TweveDevota
DevotaTweve
2 years
Mum Brianna 😍
Tweet media one
Tweet media two
83
31
908
@TweveDevota
DevotaTweve
5 years
Me Devotha Tweve natangaza nia ya kugombea Ubunge 2020 katika jimbo 1 linalopatikana mkoani Songwe, naamini chama changu kitanipa ridhaa ya kuwania kiti hiki ili nitatue changamoto wanazozipitia vijana wenzangu na jamii kwa ujumla, naombeni sapoti yenu😃 #IWD2020 #EqualforEach
Tweet media one
179
77
899
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Wanawake wote ambao ni natural peponi😅
Tweet media one
183
12
886
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Kwanini wanaume wengi siku hizi wanafuga ndevu sana?
204
10
901
@TweveDevota
DevotaTweve
7 months
Watanzania wenzangu nimewasogezea hii.
48
219
938
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Hivi kwanini wanaotushauri tujiajiri wao wameajiriwa, ni me siwaelewi au na nyie🤔
88
27
891
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
Kesi ya aliyekuwa RC wa Simiyu kumlawiti mwanachuo imefikia wapi?
76
128
934
@TweveDevota
DevotaTweve
17 days
Ehee Mwenyezi Mungu kuna wakati tuliomba na ulitujibu, ikiwezekana hata leo usikie na kutujibu maombi yetu🙏
37
150
945
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Mume wangu amechangia sana me kunenepa 😻
Tweet media one
180
38
883
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Aisee @Tigo_TZ siyo baba wala mama yangu, yani GB 2 elfu 3000? bora Halotel mara mia.
160
18
887
@TweveDevota
DevotaTweve
12 days
Kuna vyama vya siasa havijui vinapigania nini zaidi ya kusubiri ruzuku tu.
48
87
932
@TweveDevota
DevotaTweve
3 years
Leo nabahati mbaya kila twit ninayokutana nayo inahusu ngono tu halafu za wadada, hivi TL wadada hawana content zingine zaidi ya kutwit ngono tu?
146
36
882
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Pisi kali😍
Tweet media one
198
23
873
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Hivi umri wa mwanamke/mwanaume kuolewa/kuoa ni miaka mingapi🤔
195
21
877
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Hivi ni wapi wameandika mwanaume tu ndiye anayetakiwa kumuaproch mwanamke🤔
166
12
853
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Dear future husband nitahakikisha mshahara wangu wote nakukabidhi wewe uupangie matumizi🤣
168
18
853
@TweveDevota
DevotaTweve
13 days
Kesi ya aliyekuwa RC wa Simiyu anayetuhumiwa kumlawiti mwanachuo imefikia wapi?
42
96
915
@TweveDevota
DevotaTweve
3 months
UPDATE: Jitihada za kulipa faini ya Japhet Matarra hazijafua dafu leo. Leo tumekwama kurejesha faili kutoka Mahakama ya Rufani kurudi Wilaya. Kesho Mawakili wataendelea na kazi na tuna imani suala hili litakamilika. Kazi nzuri sisi sote. #JusticeForMatarra
45
182
907
@TweveDevota
DevotaTweve
4 years
Jinsi wewe unavyohangaika kupata pesa hata wanaume ni hivyo hivyo, usiwasimange kama hawana hela.
73
40
856