HabariTech Profile Banner
HabariTech Profile
HabariTech

@HabariTech

19,980
Followers
690
Following
2,853
Media
35,353
Statuses

Ulimwengu wa Teknolojia kiganjani mwako. #HabariTech

Dodoma, Tanzania
Joined November 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@HabariTech
HabariTech
3 months
⚡️Magazine 8 Leo ni ile siku tumeisubiri sana. Ile magazine inaongelea Akili Bandia, Elimu ya pesa (generational wealth) na Uagizaji mizigo kutoka china inatoka leo. Inapatika BURE kabisa. Cha kufanya gusa hii link uje whatsapp nikutumie sasa hivi.
Tweet media one
Tweet media two
1
13
24
@HabariTech
HabariTech
5 months
⚡️Kukosekana kwa Internet AFRICA, EUROPE na ASIA baada ya waya za chini ya maji kukatwa. Ili kuelewa kwanini baadhi ya watu wamesumbuka kupata huduma ya internet baada ya hizi waya kukatwa inatakiwa tuelewe kwanza internet inatoka wapi na kwanini cable zimekatwa. Kaa na mimi.
Tweet media one
51
135
981
@HabariTech
HabariTech
2 years
🔑Cyber Attack Asubuhi ya leo website za serikali ya Ukraine zilipigwa na DDoS attack. Baadhi ya PC zilipigwa na kirusi kilichofuta data zote ndani ya PC. Jioni hii websites za serikali ya Russia pia haziko hewani. Moja ni ya Kremlin na nyingine ni State Duma (Bunge la Russia)
Tweet media one
40
52
627
@HabariTech
HabariTech
3 years
📡Camera Iliyofichwa Kila siku inayoanza na kuisha kuna watu wanalala Hotelini, lodge, nyumba za wageni na wengine wanakuwa wageni majumbani mwa watu. Watu wanaofatilia sana movies na conspiracies huwa na wasiwasi wa kuwa recorded na camera zilizofichwa. #HabariTech
Tweet media one
51
256
503
@HabariTech
HabariTech
2 years
🍿Nini Kiliwakuta Founders wa Pirates Bay Pirates bay ni kati ya website bora za kufanya piracy ya Games, Softwares, Movies, Music na aina nyingi ya files zinazokuwepo online. Ni website ambayo iko kinyume na sheria za hakimiliki na haikutakiwa kuwepo. #HabariTech
Tweet media one
48
182
456
@HabariTech
HabariTech
3 years
Kuna hackers/wadukuzi huko nje wanasema Wadukuzi: Tutadukua database za Tanzania mwezi ujao. Database za Tanzania: 😂😂😂 (pichani)
Tweet media one
60
25
387
@HabariTech
HabariTech
1 year
⚡️ Elon Elon Elon Ununuzi wake wa Twitter una siri nzito ambayo hataki tuijue Huyu jamaa ni mtu mmoja ana akili mno 😂 Huyu CEO wa Tesla & SpaceX alikuwa mmoja wa watu muhimu katika kuanzishwa kwa OpenAI ambayo imetoa ChatGPT.
Tweet media one
22
54
334
@HabariTech
HabariTech
3 years
Chagua kimoja Upate Girlfriend/Boyfriend au upewe hiki chumba na vitu vyote? 🤗
Tweet media one
92
20
301
@HabariTech
HabariTech
3 years
👀Area 51 ni nini? Kuna nini? Kwanini ilindwe sana? Kati ya siri kubwa duniani, moja wapo inaweza kuwa yale yanayoendelea Area 51. Eneo linalopatikana katika jangwa la Nevada huko USA. Area 51 ni maarufu kwa kuhusishwa sana na Aliens (Viumbe wasio binadamu) #HabariTech
Tweet media one
35
104
289
@HabariTech
HabariTech
3 years
Kwani mkilike hii tweet animation iko vipi? #AppleEvent
Tweet media one
2
9
293
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Watu wengi walianza kutumia iPhone baada ya kuacha kutumia android wanasema iPhone ni bora kushinda Android muda wote. Ukifatilia kwa ukaribu utagundua asilimia kubwa ya hawa watu walikuwa wanatumia mid range za android sio flagship.
Tweet media one
36
24
288
@HabariTech
HabariTech
3 years
Websites zilizojificha kwenye 60,000,000,000 TB za data kwenye internet. Internet ni kijiji kimoja kikubwa sana kinachozidi kukua kila sekunde. Kama unavyojua maisha yetu kijijini ni ujamaa. Kuna hizi website kadhaa ni muhimu sana zinaweza boresha uwepo wako mtandaoni. 🧵
Tweet media one
31
172
268
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Kwanini unatakiwa kuacha kutumia Google Chrome Browser Ushawahi kuwa kwenye daladala umesimama alafu mtu aliyekaa kwenye siti anatumia simu yake? #Habaritech
Tweet media one
47
101
264
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Ni kweli tunaibiwa bando za Internet? Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kutoka kwa watu wengi kwamba wanaibiwa bando zao na watu wa mitandao. Inaweza kuwa kweli bando lako linafinywa, lakini wakati mwingine inaweza kuwa ni matumizi yako mwenyewe. #HabariTech
Tweet media one
46
98
251
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡"Samsung wanatengeneza Display/screen za iPhone" Kati ya kauli maarufu ambazo watu huwa wanaelewa tofauti ni hii. Kwa sababu wengi huwa wanakuja kuuliza kama ni hivyo kwanini display ya Samsung na iPhone ni tofauti? 🧵
Tweet media one
30
30
240
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Huu mkeka mna ukubali? 😁
Tweet media one
68
34
230
@HabariTech
HabariTech
3 years
📡Part 1: Cellular Network inatuwezesha vipi kupiga simu na kutuma SMS? Cellular Network ni mtandao wa mawasiliano ambao mawasiliano kati ya kifaa kimoja na kingine yanafanyika wirelessly. Mtandao wa cellular huwa umegawanyika katika vipande vinavyoitwa Cells. #HabariTech
Tweet media one
30
100
226
@HabariTech
HabariTech
3 years
Baada ya miaka 3 hatimae leo admin wa @HabariTech bwana @CharlesVenny ameweza kufanya sherehe yake ya kumaliza Shahada ya Sayansi ya Computer (Computer Science) katika Chuo Kikuu cha Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
36
14
226
@HabariTech
HabariTech
3 years
Safari yangu kuitafuta Shahada yangu ya Kwanza. Dislclaimer: Yaliyomo humu ni experience yangu na maoni kulingana na niliyopitia. Nilianza shule chekechea 2003 shule moja inaitwa St. Charles primary school huko Iringa. Nilisoma hapo mpaka darasa la saba 2011.
Tweet media one
30
41
220
@HabariTech
HabariTech
3 years
Kutaka kutupia PC ni ili kuboresha ufanisi wa kazi na kuongeza spidi ya kufanya kazi. Bahari mbaya Windows huwa si rafiki kwetu siku zote katika hili. Unaweza hitaji kukamilisha kazi haraka, lakini windows ikakufedhehesha. Somo la leo ni jinsi ya kuongeza spidi ya win10. UZI
Tweet media one
22
142
219
@HabariTech
HabariTech
3 years
Namna ya kupiga Scrolling Screenshot Imekuwa ni trend kwa sasa mtandaoni watu kutuma screenshot ndefu tofauti na za kawaida tulizozoea. Labda umekuwa ukijiuliza, "Nawezaje Kupiga hii?" Leo nakusaidia kujibu swali hilo. Twende pamoja mwanzo mwisho. 🧵UZI
Tweet media one
28
91
216
@HabariTech
HabariTech
3 years
Finally, leo nimemaliza mtihani wangu wa mwisho. Kuna historia hapa ya kuja kusimlia mtu siku moja kuhusu maisha ya Chuo 🙂. Mungu ni wetu sote. Bachelor of Science in Computer Science.
37
12
220
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡ Fabrizio huwa anasema "here we go" 😁 Miaka kadhaa iliyopita alizaliwa @HabariTech
Tweet media one
43
8
208
@HabariTech
HabariTech
3 years
📡Wizi wa pesa zilizopo benki kwa kadi ya benki Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wakilalamika kuibiwa pesa kwenye akaunti zao za benki. Mtu kaweka pesa yake anakuta kuna miamala imefanyika bila yeye kuhusika. #HabariTech
Tweet media one
17
87
197
@HabariTech
HabariTech
2 years
💰Prepaid Card, Debit Card & Credit Card Unamiliki account ya Benki. Yawezakuwa ni CheckingAccount, au Saving Account. Bado unaongezwa maneno haya Credit Card, Debit card, Prepaid Card. Yana maana gani? #HabariTech
Tweet media one
22
106
200
@HabariTech
HabariTech
1 year
⚡️Moja ya maamuzi bora nimefanya mwaka huu ni KUFUTA TIKTOK Kuna watu wanaita TikTok mtandao wa KISHETANI Sijui wanatumia logic ipi, ila kwangu mimi hiyo sio sababu. Ni kweli TIKTOK ni MTANDAO HATARI Na sababu zake na kwanini nimefuta zipo kwenye video kwenye comments hapo.
Tweet media one
24
24
204
@HabariTech
HabariTech
3 years
Maamuzi ni yako hakuna muda wa kufikiria sana. Chumba & setup au Zanzibar mwezi 1
Tweet media one
Tweet media two
40
17
196
@HabariTech
HabariTech
2 years
🍿Namna CARBANAK waliiba $1 Billion Kundi la wahalifu la Carbanak kwa kipindi cha muda wa miaka 2 waliweza kuiba kiasi cha $1 Billion katika taasisi za fedha takribani 100. Waandishi wa ripoti ya tukio hili walisema ni wizi mkubwa zaidi wa fedha uliowahi kutokea. #HabariTech
26
70
192
@HabariTech
HabariTech
7 months
⚡️Kuna kipindi nilikuwa natoa UDEMY courses bure. Natafuta course zilizopo kwenye offer na zile za bure nazishare bure. Nikaja okota dodo chini ya mnazi. Ilikuwa Computer Science degree course ya bure kutoka Harvard. Kuna mtu mmoja hataki nimtaje jina Aliisoma hii course yote
Tweet media one
9
51
185
@HabariTech
HabariTech
3 years
Post notification menu yako tuone kama kuna mtu ataweza tambua unatumia simu aina gani. Yangu 👇
Tweet media one
170
14
176
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Vice president wa industrial designs wa Apple ameondoka Apple. Evans Hankey ambaye alirithi mikoba ya Jony Ive kwa miaka 3 imefikia muda nae pia anaona ni wakati sahihi wa yeye kuachana na Apple. Kwa miaka 3 amekuwa mstari wa mbele katika designs za hardware na software.
Tweet media one
7
15
180
@HabariTech
HabariTech
9 months
⚡️Unataka kuagiza mizigo kutoka China? Kuna njia sahihi na Salama za kuagiza kutoka China kuja Tanzania ambazo hazita kuumiza wewe. Kitu cha kwanza unatakiwa kujua ni kwamba uagizaji mizigo sio utapeli, ila kuna utapeli ndani ya hii biashara. Huu ndo uhalisia wa biashara zote.
Tweet media one
27
94
183
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Ukimya wa huwa una sababu Tumetambua kwamba watu wengi wamekuwa wakitamani sana kujihusisha na teknolojia hasa katika nyanja ya programming. Lakini wengi wanashindwa kwakuwa hawafahamu wanatakiwa kuanzia wapi.
Tweet media one
9
95
177
@HabariTech
HabariTech
1 year
⚡️Kwa yeyote anayetumia GBWhatsapp Share nasi whatsapp yako imetumia internet bandwidth kiasi gani ndani ya mwezi mmoja. Ingia settings - apps - GBWhatsapp alafu nenda sehemu ya mobile data & wifi. Angalia total MB/GB ni ngapi kisha screenshot au andika tu hapa ni GB ngapi
Tweet media one
73
16
177
@HabariTech
HabariTech
10 months
⚡️Matumizi ya VPN na Ufahamu iwapo SERIKALI na Mtoa huduma wako wanajua kwamba unatumia VPN. Tukitaka kuongelea VPN inabidi tuanzie mbali ili kuelewa nini haswa tunaongelea na umuhimu wake. Hii itatusaidia kuelewa kwanini serikali imetoa tamko KUZUIA MATUMIZI ya VPN.
Tweet media one
37
63
173
@HabariTech
HabariTech
3 years
🚀Sifa Kuu ya MATAPELI Kwa sasa teknolojia imefanya kupata pesa iwe rahisi sana, lakini kupoteza ni rahisi zaidi 😁. Kutapeliwa ni dakika 0. Kila unapogusa mtandaoni sasa hivi kuna haya maneno NFT, Cryptocurrency, Bitcoin. Lengo ni PESA.
Tweet media one
10
66
166
@HabariTech
HabariTech
3 years
Je, Voda, Tigo na ISP wengine wanajua ninapotumia VPN? Inaeleweka kwamba ISPs wanaweka rekodi ya kile unachokifanya mtandaoni mda wote. Bahati nzuri VPN inasaidia kulinda uwepo uwepo wako mtandaoni kwa kuficha yale unayofanya. #HabariTech
Tweet media one
29
74
165
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Wasichojua watumiaji wengi wa iPhone ni kwamba kila inapotoka iPhone mpya au battery yako inapopungua battery health basi Apple watafanya simu yako iwe slow. Wanaweza kufanya hivi kwa kutumia software zinazo punguza uwezo wa CPU
Tweet media one
13
47
160
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡ Whatsapp haipatikani hewani tangu dakika 10 zilizopita kwa simu nyingi za Android na iOS.
Tweet media one
23
14
163
@HabariTech
HabariTech
1 year
⚡Namna ya Kupakua Software au Movie Yoyote Mtandaoni Bila shaka wewe ni mmoja wa mamilioni ya watu wanaotamani sana kupata movies na softwares zote duniani bure na kwa haraka. Naelewa hili kwa sababu mimi ni mmoja wa watu wasiopenda hata kidogo kulipia vitu vya entertainment.
Tweet media one
11
79
160
@HabariTech
HabariTech
3 years
📡Ujanja mdogo mdogo wa Windows PC Kila siku tunatumia Windows PC zetu kwa kufata process ndefu kukamilisha dhumuni letu. Kuna tricks ndogo ndogo zinazorahisisha utumiajia wako wa Windows PC. 👇 #HabariTech
Tweet media one
15
97
153
@HabariTech
HabariTech
2 years
KALYNDA Tweet ndo hiyo 😂 niko pale nakunywa supu nasubiri simu ziite muulize nini kimetokea.
28
10
156
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Hii ndiyo article iliyosomwa zaidi ndani ya Habaritech. Ina maana gani wataalamu wa analysis? Inapatikana hapa
Tweet media one
15
60
155
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Uvumbuzi kwa ajili ya zima moto ambao haukufaa Hii ilikuwa miaka ya mwanzo ya 1900. Hii ilikuwa ni wazo la zima moto wa London. Waliunza uniform hii ya chuma, inayopitisha maji na kuyarusha kama shower ili kuzuia moto usiwasogelea wale zima moto.
Tweet media one
6
21
146
@HabariTech
HabariTech
1 year
⚡️TV ya bure kutoka kampuni ya TELLY. Hizi kampuni zinataka kuleta TV (pichani) ambayo utapewa bure. Hii TV ni ya 55 inches ila chini yake inakuwa na screen ndogo kwa ajili ya matangazo tu. Ni sawa na kuwa na ubao wa matangazo ndani mwako unaofanya kazi muda wote.
Tweet media one
31
13
157
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡AI katika Kilimo Wakati @elonmusk anaunda autonomous Semi-Trucks na luxury cars, wengine wamegeukia upande wa Kilimo. Sasa hivi kuna autonomous tractors (zinajiendesha zenyewe). Tech kama hii inafaa Tanzania?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
23
23
153
@HabariTech
HabariTech
3 years
Unajua kugoogle? Kwa dunia ya sasa mtu akitaka tafuta kitu mtandaoni anasema “(na)google”. Hii ni kutokana na kwamba google imeweza jiweka mahala pazuri katika internet kiasi cha jina la kampuni kuwa kitenzi chenye maana ya “Kutafuta majibu mtandaoni”. Tuendelee pamoja 👇 #UZI
Tweet media one
18
82
148
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Vitu ambavyo iOS ikichukua toka kwa Android, iOS itakuwa nzuri sana. iOS 16 ilitangazwa kwenye WWDC22 na tumeona features nyingi mpya nzuri. Kufanya customization ya lockscreen ni moja ya kitu watumiaji wa iOS wamefurahia sana. Kuboresha focus mode n.k Ila bado inakosa vitu
Tweet media one
13
55
151
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Russia kujiondoa katika kutumia Internet ya Dunia Uamuzi unaofuatiwa na Russia ni kujiondoa katika matumizi ya internet ya dunia, ikiwa ni juhudi za kujilinda na cyber attacks zinazowakumba. Uamuzi huu si wa ghafla, kwani walishafanya majaribio March 2019. #HabariTech
Tweet media one
11
54
148
@HabariTech
HabariTech
3 years
Fanya zaidi na Windows PC yako kwa kuruhusu god mode. Hapana, god mode haiongezi feature yoyote ambayo haipatikani katika Windows ya kawaida. Hii ni njia tu ya kupata settings zote za windows sehem moja. 🧵 #habarimaarifa
Tweet media one
20
76
146
@HabariTech
HabariTech
3 years
📡Tweets huwa zinapotea TL pale ambapo kunakuwa na tweets nyingi kwenye TL yako. Vipi kama utaweza kuwa na uzi za @HabariTech katika magazine unayoweza kusoma muda wowote? Leo natambulisha magazine ya kwanza ya Teknolojia Tanzania iliyoandikwa kwa KISWAHILI. #HabariTech
Tweet media one
20
68
143
@HabariTech
HabariTech
3 years
📡Tabia zinazo haribu PC yako kwa haraka. Sisi sote tunapenda kuona vifaa vyetu kama PC zikidumu kwa muda mrefu, lakini mara nyingi huwa zinaharibika mapema tofauti na mategemeo yetu. #HabariTech
Tweet media one
13
77
142
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Kitu gani unacho nyumbani kimeharibika, ila kimekaa tu hapo muda mrefu kwa sababu huwezi kukitengeneza? Mimi: Laptop DELL XPS 😁. Imeua motherboard naona bora kuuza RAM tu.
Tweet media one
44
11
146
@HabariTech
HabariTech
5 months
⚡️Kukosekana kwa internet mwaka 2025 Hii ni ile baadhi ya wanasayansi wanaita INTERNET APOCALYPSE. Ni kama kuashiria mwisho wa Internet tuliyonayo. Hili janga linatokana na kitu kinaitwa SOLAR STORM. Miaka yote inatokea ila ya 2025 itakuwa kubwa kuzidi zote. Kaa nami
Tweet media one
17
27
140
@HabariTech
HabariTech
5 months
⚡️Waya hizi huwa zinapitisha chini ya bahari kuzunguka mabara kama hii ramani hapa chini inavyoonesha. Kila mstari unaoonekana hapa ni waya ambao uko maalumu kutoa internet kwa maeneo husika unapopita.
Tweet media one
1
4
140
@HabariTech
HabariTech
5 months
⚡️Watu wengi hudhani kwamba internet tunayotumia inaendeshwa wirelessly kwa asilimia kubwa. HAPANA Ni internet ya mwisho tu inayofika kwenye simu yako ndiyo inakuja wirelessly. Lakini ili tuweze kuwasiliana na kupata internet kutoka Asia au Marekani kuna waya zinahusika.
2
3
138
@HabariTech
HabariTech
3 years
Windows 10 ni ya hovyo sana 🚮 Labda ushaitumia au bado. Au umeshawahi fanya update ya windows 10. Wangapi walijikuta na PC isiyo fanya kazi kwa usahihi baada ya kufanya update ya Windows 10? Tuachane na Updates, leo nataka kwambia kwanini nasema Win10 ni ya hovyo. #UZI 🧵
Tweet media one
27
60
137
@HabariTech
HabariTech
2 years
Unatumia ipi? Dark Mode Light Mode
Tweet media one
Tweet media two
49
9
136
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Starlink Satellites kama za DSTV ziko umbali wa 35,000km kutoka duniani, wakati za Starlink ziko umbali wa 550km kutoka duniani. Ili Starlink Satellites ziweze kutoa internet kwa watu wote duniani, inatakiwa zifikie idadi ya angalau satellite 10,000.
Tweet media one
12
19
137
@HabariTech
HabariTech
2 years
Ukijiunga chuo kusoma Degree ya Computer Science. Uandishi wa code utakuwa hivi -Utafundishwa C++ au C 1st year -Darasani Utatumia Borland au Dev++ compiler -Assignments utafanya kwa Compiler -Practicals za UE utafanya na ku-compile kwenye karatasi 😁 Nimekosea? @TOTTechs
Tweet media one
52
14
138
@HabariTech
HabariTech
3 years
Mtumiaji wa Samsung A series (Zenye On Screen Fingerprint) A series zinatumia teknolojia ya mwanga (optical technology) kuscan fingerprint yako. S series zenye on screen fingerprint zinatumia teknolojia ya sauti (ultrasonic) kuscan fingerprint. Ultrasonic >> Optical technology
Tweet media one
6
24
137
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡iPhone 14 Anyone?
Tweet media one
10
11
137
@HabariTech
HabariTech
3 years
Afrika Bila Internet kwa muda usiojulikana. African Network Information Centre (AFRINIC) taasisi ambayo toka mwaka 2005 ilipewa mamlaka ya kusambaza anawani za kimtandao (IP addresses) barani Afrika ipo hatarini kushindwa kuendelea kufanya kazi. UZI 🧵 #habarinews
Tweet media one
17
48
133
@HabariTech
HabariTech
6 months
Hii Movie ni ujinga mtupu kama ilivyokuwa Suicide Squad th na director wao. Movie ilikuwa inaenda vizuri tu mpaka walipokuja kumhusisha Madam President. Ule utoto wamefanya pale bora kuangalia Soap Opera za Mexico. Kwa sababu hiyo naipa 5/10.
Tweet media one
47
8
137
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡So iPhone 14 😎 Kabla tuanze kuona Apple wamefanya nini, tukubaliane mapema kwamba iPhone 14 ni iPhone 13 pro. Kama unataka iPhone 14, fanya upate iPhone 14 pro au 14 pro max. Na eSim zilikuwepo tangu google pixel 2 mwaka 2017
Tweet media one
17
11
134
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡ Twitter Verified Badge Vs "Official" Gray Badge Baada ya Elon Musk kuichukua twitter alitangaza uwepo wa mabadiliko kadha wa kadha ndani ya twitter. Kitu cha kwanza alifanya ni kuondoa wafanyakazi wakiwemo wakurugenzi na kurudisha baadhi walioondolewa. 🧵
Tweet media one
10
35
129
@HabariTech
HabariTech
1 year
⚡ Maumivu ya 0kb Malware Niliposoma computer kidato cha kwanza niliambiwa kuna aina kuu 3 za malware. Kuna; Virus, Trojan na Spyware. Malware ni program ambayo inaingia kwenye PC/Simu ni kuvuraga mpangilio halali wa kifaa chako.
Tweet media one
15
68
132
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡ Huawei NOVA 10 SE itazinduliwa China tarehe 2 December
Tweet media one
6
9
132
@HabariTech
HabariTech
3 years
Njia rahisi za kugundua simu Feki na ambayo sio Feki Maumivu ya kununua smartphone feki kwa gharama kubwa yamekuwa mengi sana kwa sasa. Na mabishano mtandaoni kuhusiana na simu feki na bidhaa zake nyingine yamepamba moto hivi karibuni. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
13
76
130
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡ Clubhouse Tuambie ukweli Clubhouse app bado inafanya nini kwenye simu yako? Kwa watu wengi clubhouse ilikuwa ni tabia, kwa wachache sana bado ni tabia. Wewe upo kundi gani?
Tweet media one
18
8
133
@HabariTech
HabariTech
3 years
"Windows ni bora kuzidi Linux." Hii vita nani anaiweza?
Tweet media one
31
3
126
@HabariTech
HabariTech
3 years
"IT hajui kupiga windows" Kwanini hii imekuwa kama kipimo cha kwamba kweli umesoma/unajua IT angalau kwa kiasi kidogo?
Tweet media one
31
13
130
@HabariTech
HabariTech
3 years
✨Kwa sasa simu nyingine zinatumia sim card ile ya card ya kutoa na kuweka. Ili mtu uwe na namba zaidi ya moja unalazimika kuwa na sim card zaidi ya moja. eSim itakuja kuondoa hii tabu. #HabariTech 🧵
Tweet media one
20
49
128
@HabariTech
HabariTech
3 years
Internet unayotumia ni kipande kidogo sana cha mtandao. Kwa ground kuna mengi zaidi kama 👇 Dark Web Deep Web Tuifikishe hii tweet RT 200 mada iwepo kwenye magazine toleo la December. Soma Toleo 1 BURE hapa:
Tweet media one
4
56
122
@HabariTech
HabariTech
5 months
⚡️Maoni yangu baada ya kutumia DSTV, AZAM TV, NETFLIX na PRIME VIDEO Hizi ni streaming & broadcast satellite services. Hizi ni pre-paid services ambazo inalipia ili uweze kupata access ya kutazama video mbalimbali. DSTV na AZAM TV zinatoa huduma ya program services.
Tweet media one
21
22
130
@HabariTech
HabariTech
2 years
HabariTech kuwepo TikTok ? Video ya Kwanza "Kuhack Whatsapp ya Mwenza wako" 😁 Isipofikisha likes 20 tunaondoka TikTok. Au mnasemaje?
Tweet media one
11
8
122
@HabariTech
HabariTech
3 years
NAMNA YA KUSIKILIZA MAZUNGUMZO YOTE YA SIMU YA MPENZI WAKO NA KUONA TEXT ZAKE. 🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩 UZI 🧵 #ElimikaWikiendi
Tweet media one
41
15
123
@HabariTech
HabariTech
4 months
⚡️Kama mtu wa tech na mtu ninayependa class naona nakosewa heshima kila nikiona mtu amevaa Smartwatch. DISGUSTING 🤮
Tweet media one
27
8
127
@HabariTech
HabariTech
2 years
Suala la kulaza simu kwenye chaji bado kuna mindset ya kizamani sana. Sasa hivi tunatumia Li-Po sio Nickel Cadmium na tech ya charging system imeboreshwa sana.
14
7
124
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Wauzaji wa vifaa vya Apple waliothibitishwa na Apple (Apple Authorized Resellers) Hawa ni wauzaji wa rejareja ambao wamethibitishwa na kupewa kibali cha kuuza vifaa vya Apple kupitia maduka yao au kupitia mitandao. Wapo wachache sana duniani ukiliganisha na uhitaji.
Tweet media one
11
21
124
@HabariTech
HabariTech
5 months
⚡️Tanzania internet yetu tunatumia cable hizi Seacom DARE1 EASSy Inapotokea cable ya seacom haipatikani moja kwa moja watumiaji wa Seacom cable wanahamishwa kwenda DARE1 au EASSy. Na hii inakuwa automatically. Huwa haichukui muda mrefu sana.
1
5
125
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Ulikuwa zako unapiga kazi na umemaliza 50% ila hujasave alafu Blue Screen of Death inakupa salamu. Hii ishawahi kukuta na ulifanya nini?
Tweet media one
21
14
124
@HabariTech
HabariTech
3 years
🚀TANGAZO KWA ANAYETEKA PESA Kuna siri za kutajirikana na kupotea mtandaoni ndani ya Toleo 3 la Habaritech Magazine. Nitakupa link ya kulipakua bure kama tu utaahidi kuto toa siri hii kwa wengine. kijana wa miaka 12 amepata Tsh. 922,800,000 🤷‍♀️🤷‍♂️ Jibu 👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
17
61
120
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Android Gboard Unatumia keyboard ipi kwenye simu yako ya Android? Kama sio Gboard ya google nina uhakika asilimia 100% kwamba hiyo keyboard sio nzuri kama hii GBoard. Kwanza jina tu linavutia au unaonaje?
Tweet media one
32
38
117
@HabariTech
HabariTech
3 years
Binti mwenye umri wa miaka 12 amepata $1.2 ~ Tsh. 2.8 Billion baada ya kuuza collection yake ya NFT.
Tweet media one
12
6
119
@HabariTech
HabariTech
2 years
🎁T O R R E N T S, Zinafanya vipi kazi? Naweka dau langu kwamba ukisikia torrents, kitu kinakuja kichwani mwako ni software, video au audio za wizi (Pirated Files). Uko sahihi lakini, torrent protocol haihusiana na hivyo tu. #HabariTech
Tweet media one
12
58
121
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡(Wa)Tanzania imekuwa nyuma sana ya muda kwenye masuala mawili 1. Tech 2. Digital world Mara nyingi huwa tukiona tech imefikia mahali fulani tunashangaa na kujiuliza kwanini (Sisi) tunashindwa
Tweet media one
8
32
117
@HabariTech
HabariTech
7 months
⚡️Story kutoka kijiwe cha HACKERS/WADUKUZI Leo tutapita na story za jamaa ambaye alikuwa white hacker. White hacker ni mdukuzi ambaye anafanya udukuzi wa faida na sio kinyume na sheria. Ila leo tuna mtu anaitwa Ryan ambaye alibadilika kuwa BLACK HAT HACKER. Mdukuzi wa hasara
Tweet media one
13
50
120
@HabariTech
HabariTech
3 years
🔑Fingerprint kwenye whatsapp haina maana kama PIN/Password/Pattern ya simu yako inajulikana. Watumiaji wengi wa whatsapp amabao hutumia fingerprint kulinda chats zao huona kama inatosha kutumia fingerprint pekee. #HabariTech
Tweet media one
5
37
115
@HabariTech
HabariTech
3 years
Ukipoteza simu umepoteza; . Funguo za (Gari na Nyumba) .Leseni yako ya udereva .Kibari cha kusafiria (Passport) .Credit Card zako Maisha yanapoelekea, kupoteza iPhone yako ni umepoteza maisha mazuri uliyokuwa nayo. #UZI 🧵
Tweet media one
15
46
118
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Juzi nilikuwa najaribu lockscreen wallpapers kwenye iPhone 12 pro max yenye iOS 16.0.2 Kuna kitu niliona mwanzo nikapotezea. Nimefikiria sana sasa hivi naona hakipo sawa. Apple wamefanya vizuri kuruhusu wallpaper customization na muonekano wa notifs na widgets
Tweet media one
Tweet media two
15
19
113
@HabariTech
HabariTech
5 months
⚡️Sasa kwanini hizi cable zimekatwa na kushindwa kupata huduma maeneo ya West na Central Afrika? Turudi nyuma mpaka December 2023 ambapo watu wa Houthis walianza rusha drones kuipiga Israel. Hawa ni waasi ambao wapo Yemen na inasemekana wanapata msaada kutoka Iran.
4
3
114
@HabariTech
HabariTech
1 year
⚡Zinapofeli Biashara za mtandaoni Kuna umuhimu wa biashara kuwa na uwepo Mtandaoni, lakini umuhimu huu unapotea pale unapotangaza biashara mtandaoni ila unachelewa kufanya Mawasiliano na wateja. Mteja anapotuma ujumbe anategemea kupokea jibu ndani ya muda usiozidi dakika 5.
Tweet media one
10
36
115
@HabariTech
HabariTech
3 years
Njia rahisi kutunza UZI za twitter uweze zisoma kwa muda wako. Twitter ni social media pendwa ambayo uhusiano wa watu unaendeshwa kwa mazungumzo ya tweets. Tweets zimekaa kwenye muundo rahisi mtu kusoma. Bahati mbaya ni rahisi pia tweet kukupotea kama hukuitunza. 🧵 #HabariTech
Tweet media one
14
54
110
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡ Watumiaji wa iOS hii haiwahusu Huu uwezo wa copy and paste image kutoka kwenye browser kuja kwenye apps ndani ya Android umekuja lini? Au hii update imechelewa kuja Tanzania? Unacopy picha kwenye browser una paste whatsapp, twitter etc.
Tweet media one
16
13
111
@HabariTech
HabariTech
3 years
Swali lolote la kitaalamu hata kama ni kwanini PC haiwezi kunywa maji 😁 Uliza chini ya tweet hii wataalamu watajibu. MUHIMU: Usisemee vibaya udogo wa swali la mtu. Kila mmoja ana uelewa na changamoto zake. RT tuwasaidie wengi zaidi. MUHIMU: Maswali ya DM HAYATA JIBIWA
Tweet media one
57
44
113
@HabariTech
HabariTech
2 years
⚡Nina siri nyingi nzito ambazo nisingependa wasiohusika wazijue. Kuna muda mazungumzo huwa ni ya faragha sana, na huwa sitaki kuacha ushahidi nyuma. Ni aina ya mazungumzo ambayo sitaki mtu wa pili aweze kupiga screenshot au kufanya screen recording. Haya nayafanya Telegram.
Tweet media one
8
37
106
@HabariTech
HabariTech
1 year
⚡️Maoni yasiyo maarufu Mnunulie mpenzi wako (wa kike) simu ya iPhone. Mpe kama zawadi utaua ndege wawili kwa jiwe moja. 1. Hatotumia GB Whatsapp. Zile mambo umefuta text/status alafu bado anaziona hutaona tena. 2. Atafurahi unampenda na atakupenda zaidi kwa kumpa simu nzuri
Tweet media one
11
13
111
@HabariTech
HabariTech
1 year
⚡️Twitter walitangaza ujiowa #BrandedFeatures Moja ya kitu wameleta ni kubadili animation ya ❤️ kuwa “X”
Tweet media one
3
4
113
@HabariTech
HabariTech
2 years
👽Russia hawataweza kuvuka vikwazo vya Teknolojia 24 February 2022, baada ya Russia kuvamia Ukraine, serikali ya Marekani ilitangaza vikwazo vya kwanza Russia. Katika vikwazo hivyo vilikuwemo vinavyogusia teknolojia. #HabariTech
Tweet media one
28
33
104