𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑 Profile Banner
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑 Profile
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑

@SimbaScTweet

22,593
Followers
1,029
Following
6,480
Media
34,034
Statuses

SimbaSc Fan Page| Tweeting about Simba| Simba news| Ligi Kuu Die Hard| Shabiki #1 wa Taifa Stars|🦁🦁

Simba
Joined August 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
20 days
2024/25 SIMBA SPORTS CLUB OFFICIAL SQUAD 🦁
Tweet media one
0
6
104
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Red now and forever 🔴⚪. Good Morning everyone one. #Manzoki
Tweet media one
269
196
6K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
It's for the love of this team, all the best Simba on your derby 🦁🦁🦁 #NguvuMoja
Tweet media one
166
199
6K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Once a red always a red. Good things are yet to come Simba fans 🦁🦁🦁
Tweet media one
59
131
5K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
This day should not pass without thanking this fan base. You have been amazing from the very first time, thanks for the messages you have been sending to me. I can assure you Manzoki is red and I will remain red just like my blood. Have a wonderful day dearest fans 🦁 #NguvuMoja
Tweet media one
190
160
4K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
3 years
Haya tumalize utata hapa, nani ana watu wengi humu twitter. Rt kama wewe ni Simba Like kama wewe ni Yanga
Tweet media one
Tweet media two
130
866
3K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
This team will bounce back, even stronger than ever before 🦁🦁 #NguvuMoja
Tweet media one
131
93
3K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Every man's dream is to have a happy family, Manzoki and ManzokiJr 😀😀
Tweet media one
65
65
3K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Family ✌️ #Manzoki
Tweet media one
57
65
3K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
One and only #Manzoki
Tweet media one
68
48
3K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
The wait is almost over. Good morning football fans 🦁🦁
Tweet media one
49
49
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Kama kuna mtu ana kavideo ka Manara anaongea utopolo wowote akatupie hapa 👇 tukusanye risiti 😃😃
Tweet media one
112
157
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Hii huwa ni mali ya nani? Anyway happy birthday middle ya Simba Queens 🦁🦁
Tweet media one
45
25
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Lioness 🦁🦁 congratulations
@simbaqueensctz
Simba Queens Tanzania
2 years
Simba Queens ni Mabingwa Cecafa 2022 🦁 We Are Unstoppable ❗ #nguvumoja
Tweet media one
187
399
6K
42
53
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
The biggest football event in Eastern and Central Africa. Don't plan to miss Simba fans 🦁🦁 #NguvuMoja
Tweet media one
36
56
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
They say "If you want to arrive to the promised land safely hire a good driver". @bvrbvra is the female CEO who is taking Simba to the right direction. Top figure in African football ✌️✌️. #TheEmperor
Tweet media one
54
51
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Ask my brother any question, I will answer on behalf🦁🦁
Tweet media one
54
36
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Caption this 😎 #Manzoki
Tweet media one
25
20
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Focus on the ⚽. Good night family. #Manzoki
Tweet media one
36
25
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Miquisonne na Chama waliondoka Simba wakiwa katika ubora wao. Hatukuwatukana bali tuliheshimu maamuzi yao sababu tulikuwa tunajua mpira ni maisha yao. Na hii ndio maana Chama amerudi tena Simba sababu hakuondoka kwa ugomvi. Imagine tungewafanyia kama Yanga wanavyo mfanyia Feisal
Tweet media one
156
63
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Make no excuse 🎯 #Manzoki
Tweet media one
35
18
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Off duty, star boy ✨ #Manzoki
Tweet media one
48
32
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Thank you Vipers ❤️
Tweet media one
28
31
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
The future of African football is on the right hands.
Tweet media one
19
44
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
All eyes on the ⚽. Good morning everyone.
Tweet media one
30
21
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Hii picha ilipigwa mwaka 2005 kwenye kombe la Dunia chini ya miaka 20 na hawa ndo walikuwa wachezaji watatu bora wa mashindano hayo. Umejifunza nini?? 😃😃
Tweet media one
56
20
2K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Caption this 🤫 #Manzoki
Tweet media one
43
25
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Kutoka kuwa MVP wa msimu ulio pita mpaka kuwa mchezaji ambaye hazungumziwi na mtu yoyote, to me this is a total "Fell Off" 😭
Tweet media one
@steadydey
Steady Boy 🤍
1 year
Define "Fell Off"
6
44
136
59
22
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 months
Wazee wanasema Saido ndo alifanikisha hii dili, Agent Saido 😃😃
Tweet media one
3
23
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
21 days
Humu tumepata mchezaji 🔥
Tweet media one
20
31
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Sitachoka kuendelea kuwakumbusha, kuweni makini na huyu Luis Jose Miquisone ni mchezaji hatari sana 🙆🏿‍♂️
Tweet media one
21
36
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Say no more, this is Mr. Mbuzi 🐐.
Tweet media one
@yabaleftonline
YabaLeftOnline
1 year
Define “GOAT”
516
74
1K
3
12
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Malawi 🇲🇼 treat us better please, your boy is in town. @docpeterbanda
Tweet media one
19
25
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Kuna haja hizi Media zianze kuajili watu walio wahi kucheza mpira ndo wawe wachambuzi. Ukimsikia Amri Kiemba akiwa anachambua mpira ni tofauti na hawa wachambuzi wa mchongo, hana haraka wala mihemko. It gives me the feeling labda ni kwa sababu amewahi kuucheza mpira wenyewe.
Tweet media one
90
46
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Vipers will always be my home and my family. I will never forget the love and support I received from the fans, teammates and staff members. All the best family ✌️ The Emperor
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
24
43
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Tbt Love of my life ♥️ #TheEmperor
Tweet media one
16
27
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
A new journey starts today, I wish you all the best Simba.
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Kesho Jumatano tutaanza safari ya kwenda kutwaa ubingwa wa #NBCPremierLeague Tukutane Kwa Mkapa. #NguvuMoja
Tweet media one
351
199
5K
39
28
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
21 days
Ligi yetu ilikuwa haijawahi kuwa na mchezaji kama huyu 🙌🏾🙌🏾
Tweet media one
18
29
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Uzuri mulishakubaliana na wachambuzi wenu kuwa hawa Horoya ni timu nzuri na Simba hawezi kutoboa. Kwaiyo hizi adhabu za leo tumezitoa kwa timu kubwa tusisikie zile kelele za Horoya timu mbovu 😎😎
Tweet media one
26
46
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Champions kits 🔥🔥 can't wait to start scoring goals in these beautiful master pieces 🦁🦁 Tell me which number do you want me to wear?? #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
68
40
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Full packed stadium 🦁🦁🔥🔥 #NguvuMoja
Tweet media one
19
20
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Deep down Wanasimba wote tumemiss Rally Bwalya 🙆🏿‍♂️
Tweet media one
11
21
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Hii imebaki kama historia kila la heri kwao. Thank you for the memories 🙏🏿
Tweet media one
10
30
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 months
🚨🚨🚨🚨🚨 TANGAZO 🚨🚨🚨🚨🚨 Kuelekea msimu mpya hakuna shabiki wa Simba inatakiwa abaki na followers wachache. Kila siku jioni tutakuwa tunainua account 20 za mashabiki wa Simba. Comment na emoji ya 🦁 hapa chini me nitaku-mention hakikisha unafollowback. Haya twende kazi 👇🏾
Tweet media one
610
92
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
19 days
Aliye tuletea hii mashine Mungu amtunze sana 🙌🏾
Tweet media one
16
24
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Dream Chaser ⚽
Tweet media one
15
27
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
9 months
Simba sikieni niwaambie kitu wanangu. Tusiangaike kwenda mbali kocha wa boli huyu hapa.
Tweet media one
29
19
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Gym 🇨🇩 #Manzoki
Tweet media one
39
19
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Repeat after me "Hakuna Matata ✌️" #Manzoki
Tweet media one
46
27
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
22 days
Jitu Mwitu Msitu, Jitu la Miraba 🦁
Tweet media one
6
20
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
BAADHI YA MAMBO NILIYO YAONA KWENYE MECHI YA SIMBA SC Vs DODOMA JIJI. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu na hongereni kwa ushindi Wanasimba. Yajue mambo matano muhimu niliyo jifunza kutoka kwenye mechi ya Simba dhidi ya Dodoma Jiji. Uzi Mfupi 👇🏾
Tweet media one
11
49
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Kukaa bench la Senegal ni sawa na kuwa Captain wa timu kama Congo halafu ukafunga hattrick. Nina hoja nisikilizwe 😃😃
Tweet media one
25
31
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Kwa wale ambao mumejisahau kuhusu ubora wa Miquisone nimewawekea video yenu kwenye comment mshuhudie maajabu ya Luis Mkandaji Miquisone 🥺🥺
Tweet media one
22
18
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
8 months
Kitu positive nimeondoka nacho kwenye mechi ya leo ni performance ya Mohamed Mussa. Amecheza dakika chache lakini ameonyesha anastahili kupata nafasi za kucheza.
Tweet media one
35
32
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Narudia tena, underrate LUIS JOSE MIQUISONE at your own risk ila ni swala la muda tu kabla hajaanza kuwakanda.
Tweet media one
10
25
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 months
Mashabiki wa Simba wanahisi ni rahisi kiivyo kupata mchezaji mwenye kaliba ya Chama au hata nusu yake. Wengi wanao sema mwache aondoke ndo wataanza kulia lia msimu ujao. Tumesajili wachezaji wengi lakini hatujawahi kupata Chama mwingine.
Tweet media one
233
21
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
8 months
Bado hamjachelewa wakati wenu wa kuomba msamaha kwa Konde Boy ni sasa.
Tweet media one
4
20
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Hivi Fabrice Ngoma ana nickname gani?
Tweet media one
60
18
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Kwenye Caf Champions League msimu huu kuna hat-trick moja tu nayo ni ya Clatous Chota Chama. Niongeze sauti au wote mmesikia mpaka mlio huko shirikisho?? 😃😃
Tweet media one
29
31
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
This is Beautiful 😍😍
Tweet media one
15
52
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Sakho anafanya mazoezi na mastar wa Ulaya na anafundishwa na Aliou Cisse kocha mwenye tuzo ya ubingwa wa CAF Nations. Chama anafanya mazoezi ya Patson Daka star ya epl na kufundishwa na Avram Grant kocha aliyecheza fainali ya UEFA. We're cooking something 😃😃
Tweet media one
Tweet media two
12
19
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Manzoholic ⚽⚽
Tweet media one
27
19
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 month
Mzee Hassan Dalali ndo mwanzilishi wa Simba Day. Alianzisha kitu ambacho kitakuja kusherekewa na vazazi kwa vizazi. This is what we call LEGACY.
Tweet media one
7
36
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Tuwekee Saido, Chama, Moses na Baleke humo ndani halafu tuone hao Raja wataponea wapi? 😃😃
Tweet media one
Tweet media two
22
24
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Upande wa fullbacks bado haijawahi tokea duo kali kama ya Zimbwe Jr na Shomari Kapombe kwenye ligi kuu ya Tanzania. Performing at a very high level for more than 5 seasons should be written in the books of record.
Tweet media one
Tweet media two
@433
433
1 year
Name a football duo with unbelievable chemistry 🤔
Tweet media one
3K
309
15K
15
31
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Good Morning Football Fans 🦁🦁 #NguvuMoja
Tweet media one
9
12
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
8 months
Shiboub ni ndugu yetu kabisa, pigaaa pimbi hizo 😂😂😂
Tweet media one
10
29
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
8 months
Hussein Kazi ni kazi ya maana ✊🏾
Tweet media one
7
20
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
😂😂😂 Beki. Mlinzi.
Tweet media one
Tweet media two
59
37
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Chama na shabiki wake katika picha ya pamoja.
Tweet media one
2
17
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Stories kuhusu nani kocha bora kuwahi kutokea Tanzania inatakiwa iwe kati ya Sven na Gomes, rekodi zao zinajieleza. Hizi kelele za Nabi this, Nabi that zinakuja kwa sababu ya mihemko unless otherwise inatakiwa Nabi atu-prove wrong kwa kufanya vizuri zaidi ya hawa Wamba.
Tweet media one
Tweet media two
63
26
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
You just can't hate this fan base 🔥🔥 #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
17
19
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Impossible is nothing 🦁
Tweet media one
4
15
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
10 months
Rudi tena Simba @bvrbvra 🦁
Tweet media one
8
30
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Power Dynamos jiandaeni, we are coming for you 🦁
Tweet media one
12
22
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
8 months
Kama kuna mchezaji anayatumia haya mashindano vizuri basi ni Israel Mwenda. Mpaka yanafika mwisho kocha atakuwa ameanza kumfikiria kuanza kumpa namba.
Tweet media one
9
27
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 month
Mbavu ya kulia kule kazini kwa Kapombe kuna kazi 😂😂
Tweet media one
13
11
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
9 months
Huyu Physical Trainer mpya ndo anafaa sasa. Awakimbize hawa mpaka pumzi ipatikane, hatutaki ujinga 😃😃
Tweet media one
30
35
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Energy ambayo huwa tunatumia kumkaanga Kibu Denga ikitokea ameharibu let's use the same energy kumpatia maua yake. Leo ndio alikuwa mchezaji wetu bora uwanjani, kiufupi ameupiga mwingi sana 😃😃
Tweet media one
25
27
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Good morning football 🦁🦁 Leo nimepata nafasi ya kumsikiliza Engineer kwenye kipindi cha Power Breakfast (Clouds Fm). Alikuwana anaongelea ishu ya mechi ya fainali ya shirikisho, mabadiliko ya mfumo na uongozi ndani ya Yanga, kuhusu Feisal Salum na ujenzi wa uwanja mpya (1/5)
Tweet media one
26
27
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
8 months
Kusajili ni jambo moja na mchezaji kuja ku-perform ni jambo lingine. Mungu amuepushe mchezaji wetu na husda za Utopolo 😃
Tweet media one
17
18
999
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Hivi huyu Ndemla wa Singida anakula nini mbona ameuwasha sana? 😳😳
Tweet media one
19
10
996
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Kabla hatujaanza kuuzungumzia huu uzi wa mazoezi wa Mnyama nyie mlio sema Moses Phiri hana furaha njooni hapa mtuonyeshe machozi.
Tweet media one
10
29
1K
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Goli kama hizi huwa zinawashindaje wanetu?
Tweet media one
19
22
994
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Halafu mbona kama CAF hawana time na kombe la looser au kule hakuna wachezaji bora? 😃😃
Tweet media one
19
20
977
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Tusipo chukua klabu wed cup na Super League niulizwe mimi. Hii Simba inatisha jamani 🥺🥺🥺
Tweet media one
25
27
979
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Kocha mkuu wa simba, Mbrazil Robertinho Oliveira ameigia kwenye program maalumu ya upigaji penati na mipira iliyo kufa na wachezaji watano wa Simba. Program hiyo inawahusisha Clatous Chama, Baleke, Saido Ntibanzokiza, Onana na Luis Miquisone. 👇🏾
Tweet media one
7
27
985
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Azam walitumia kigezo gani kumuacha huyu Kocha? So far sijaona kocha yupo self-motivated na anapenda kitu anacho kifanya kama huyu jamaa. Nimekuwa nikimfwatilia toka amehamia Simba naomba kusema ni moja ya makocha bora. Angalia kazi yake kupitia video fupi hapa chini 👇🏾
Tweet media one
27
23
989
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Good morning football fans 🦁🦁 #Nguvumoja
Tweet media one
11
16
953
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Sakho ana magoli 3 kwenye ligi na Mayele ana magoli 3. Hapa Sakho ni winga na Mayele ni namba 9 lakini wachambuzi wetu wa Bongo wanasema Sakho ameshuka kiwango na wakati huo huo wanasema Mayele ni mshambuliaji hatari. Naomba niishie hapa kabla Utopolo hawajanimaindi 😃😃
Tweet media one
140
40
957
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
UCHAMBUZI MFUPI KUELEKEA MECHI YA WYDAD Vs SIMBA.. NOTE: ♦️Huu ni uchambuzi wangu mfupi na maoni yangu kabla ya mchezo wetu na Wydad. ♦️Maoni yangu yanaweza yasihakisi hali halisi kuelekea mechi hiyo. A thread.
Tweet media one
Tweet media two
21
28
965
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
8 months
Pale Simba Queens kuna kazi 🥲
Tweet media one
10
13
970
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
17 days
Nina imani kubwa sana na Yusuph Kagoma, msimu huu atakuwa moja ya wachezaji tegemeo sana wa Simba.
Tweet media one
22
15
986
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
1 year
Ningekuwa Robertinho leo. 1. Ningemwanzisha Israel Mwenda kama beki #2 . 2. Ningemwanzisha Moses Phiri kama mshambuliaji wa mwisho. 3. Chama ningemrudisha eneo lake pendwa (nyuma ya mshambuliaji). Toa maoni yako kuhusu mechi ya leo 👇🏿👇🏿
Tweet media one
107
15
957
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
3 months
Dube alikuwa anapima maji ameletewa chuma hiki hapa 😂
Tweet media one
26
14
955
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
16 days
Dirisha bado halijafungwa hatuwezi kupata mshambuliaji mwingine kweli?
Tweet media one
87
25
975
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Star Boy 🌟 @docpeterbanda
Tweet media one
6
7
937
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
6 months
Watoto wa Msimbazi 🦁
Tweet media one
5
20
948
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 years
Zanzibar treat us well. Your boys are in town 🦁🦁 #NguvuMoja
Tweet media one
3
22
938
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
4 months
Dhahabu kutoka milima ya Ulugulu Morogoro 🔥
Tweet media one
12
14
942
@SimbaScTweet
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢👑
2 months
Baleke alikuwa uwanjani leo kuwashuhudia Simba Queens. Once a lion always a lion 🦁
Tweet media one
9
11
934