#TOTTechs Profile Banner
#TOTTechs Profile
#TOTTechs

@TOTTechs

47,025
Followers
662
Following
3,923
Media
41,481
Statuses

Jukwaa la washauri na wataalamu wa Teknolojia || 💻 Computers ||📱 Phones | Softwares | ICT Hardwares | ICT Security || Partnership with Kukeke Gang and L.M.S

Tanzania
Joined February 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TOTTechs
#TOTTechs
9 months
Kitu cha kwanza ukifika kwenye Hotel room, Public restroom, Airbnb Angalia kama kuna Hidden cameras, vinakuwa vi-camera vidogo vimefungwa kwenye chumba. Camera ndogo hufungwa sehemu zenye vitu kama saa, smoke detector, taa, kioo, sehemu ya kucharge, urembo ukutani. Thread 👇
Tweet media one
Tweet media two
136
720
2K
@TOTTechs
#TOTTechs
4 months
Zitakuja na zitapotea, ila hii itabaki
Tweet media one
183
106
2K
@TOTTechs
#TOTTechs
8 months
Wengi mnatumia computer na wengi mnatumia internet, hasa ofisini mnaunganisha na cable inaitwa Ethernet kutoka kwenye Ethernet Port (port ya internet ukutani). Uki-connect Ethernet cable na computer yako kuna taa zinawaka rangi (green, orange etc) Unajua maana yake? Thread 👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
36
199
1K
@TOTTechs
#TOTTechs
11 days
Here is a list of VPN services that you can use: 1. NordVPN 2. ExpressVPN 3. Surfshark 4. ProtonVPN 5. CyberGhost 6. Private Internet Access (PIA) 7. VyprVPN 8. Mullvad 9. IPVanish 10. PureVPN 12. TunnelBear 13. Windscribe
47
231
1K
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Yeah, give that kid a medal 😂😂🙌
Tweet media one
9
68
975
@TOTTechs
#TOTTechs
8 months
ChatGPT ni tool nzuri sana, ukiitumia vizuri inaweza kukusaidia kupata kazi/dream job yako. Tatizo ni kwamba wengi hawajui kuuliza maswali/prompt. Leo nitakuelekeza namna ya kuuliza ili ikupe majibu yanayoweza kukupa kazi. Kazi yako ni ku-copy na ku-paste tu. Fungua uzi 👇
Tweet media one
42
407
936
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
Hamza Bendelladj - Smiling Hacker Alikuwa kwenye orodha ya wadukuzi 10 bora wanaosakwa zaidi na Interpol na FBI. Huenda hata wewe alishakuibia hela bila kujua 😂 Mwaka 2010 huyu jamaa alifanya kitu ambacho hakijawahi kufanywa na mtu yoyote. Uzi mfupi/Story
Tweet media one
Tweet media two
69
141
901
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Hawa hackers huwa wanajificha kwenye sura na majina ya watu wengine, mfano aliyehack account ya Tigo amejificha kwenye jina la Vitalik Buterin ambaye ni Co-Founder wa Ethereum ( Crypto network), Tusimchanye huyu jamaa na hawa Hackers wanaotumia Crypto kama mwanya wa kutapeli.
Tweet media one
Tweet media two
26
46
854
@TOTTechs
#TOTTechs
3 months
Wishing you a speedy recovery 🙏 Get well soon @Sativa255 #Donate4Sativa
Tweet media one
7
288
873
@TOTTechs
#TOTTechs
5 months
LIFE HACK 😃 ◾️Ukisahau charger yako ya simu/laptop nyumbani na umefika kazini, nenda kwenye restaurant kubwa karibu yako waambie siku kadhaa nyuma ulikunywa pale ukalewa ukasahau charger, huwa wanazo nyingi sana, mhudumu ataleta na utachagua moja utaondoka [only life hack] 👇
Tweet media one
42
101
873
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Elon Musk amenunua 9.2% ya hisa za Twitter kwa $3 billion, hii ni siku chache tu baada ya kuushtaki mtandao wa Twitter kwa kukandamiza uhuru wa kujieleza, inasemekana pia ilikuwa ni gia ya kupata hiyo nafasi, kwa sasa ana hisa kubwa Twitter kampiku Jack, mwanzilishi wa Twitter 👇
Tweet media one
25
49
822
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Kuna wafugaji wako Miles ahead of time, huyu mfugaji kanunua VR (Virtual Reality) glasses kwa ajili ya ng'ombe wake na amefanikiwa kuongeza 20% ya maziwa.
Tweet media one
47
51
826
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Chagua mmoja, sehemu yoyote mkiingia mnatoka 😎
Tweet media one
312
48
793
@TOTTechs
#TOTTechs
6 months
Kama unatumia Banking Apps kwenye simu yako, usitumie Public Wi-Fi.
49
105
814
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Hii ni computer kamili na iko na uwezo mzuri tu (stick PC)
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
50
61
779
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
The rich don't pay taxes, (Matajiri hawalipi kodi) huwa wanatafuta njia ya kukwepa kodi kama. 1. Kujilipa mshahara mdogo au kutojilipa kabisa. 2. Kutomili assets nyingi kama majumba 3. Kuwa na cooperation kuliko LLC 4. Sababu zingine Elon Musk aliuza nyumba zake zote 7..👇
Tweet media one
58
118
774
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Setup kali sana halafu ni simple na affordable 📌
Tweet media one
64
47
763
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
Hii ni "Transparent Car." It is totally made of high-density, heavy-duty glass with no paint used/hakuna rangi iliyotumika. inasemekana ndiyo gari ngumu zaidi na yenye usalama/stronger and more secure kwenye soko la magari hivi sasa. Imetengenezwa na kampuni ya ZF Company-Germany
Tweet media one
50
91
746
@TOTTechs
#TOTTechs
2 months
Enzi hizi unazijua ? Ulikuwa wapi? 50mb unakaa nazo ziku tano 😄
Tweet media one
126
56
778
@TOTTechs
#TOTTechs
8 months
Taasisi nyingi zinahama kutoka kutumia DELL na HP zinaenda kwenye LENOVO. Inaonekana Technical teams wana-recommend Lenovo sababu ya Durability na Support
Tweet media one
83
39
773
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
Rango is one of the most distinctive animated movie of all time Prove me wrong 😎
Tweet media one
90
65
728
@TOTTechs
#TOTTechs
9 months
Ukitaka kuijua simu yako vizuri download App inaitwa "AnTunTu Benchmark" Ukiifungua nenda kwenye "My Device" utaona kila unachohitaji kujua kwenye simu yako. IJUE SIMU YAKO.
16
123
728
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Rostam Aziz analijua vizuri soko la Telecom, kutoka kuuza hisa zake Vodacom, sasa Rasmi Rostam na kampuni ya Madagscar Axian Group Ltd ni wamiliki wapya wa TIGO baada ya kukamilika kwa biashara ya mauziano na kampuni ya Millicom Int kwa dau la US $100M Pia wanamiliki ZANTEL
Tweet media one
16
35
700
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Niwaibie siri Kuna App inaitwa CrookCatcher inasaidia endapo simu yako imeibiwa au kupotea, hii App inajificha nyuma ya lockscreen na inapiga picha ya mtu anayeingiza wrong Password, PIN au pattern na kutuma picha pamoja na Current GPS location ya mwizi kwenye Email yako.
Tweet media one
41
206
680
@TOTTechs
#TOTTechs
6 months
Umeelewa nini kupitia hii picha
Tweet media one
69
58
710
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Nicola Tesla, Mwana sanyansi bora kuwahi kutokea Duniani. Huyu ndiye mgunduzi wa “Modern World” dunia hii ya kisasa tunayoishi. Prove me wrong, let's go with facts
Tweet media one
81
72
680
@TOTTechs
#TOTTechs
4 months
Kati ya hizi Ni "AI chatbot App" ipi unatumia kwenye simu yako?
Tweet media one
145
83
673
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
Simu ya Mama 😂😂
Tweet media one
62
61
652
@TOTTechs
#TOTTechs
9 months
Kwa maoni yako. Ipi ni Brand bora ya TV kati ya; Samsung LG SONY TCL Hisense Tupe sababu ya chaguo lako, na ni model ipi kwako ni nzuri.
Tweet media one
222
79
652
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Account ya Tigo-Tanzania imekuwa hacked
Tweet media one
91
36
621
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Kama hukupitia Tutorials za wahindi kule mjini YouTube, kuna kitu ilimiss kwenye masomo yako ya chuo 😂😂😂😂😂
Tweet media one
59
49
622
@TOTTechs
#TOTTechs
8 months
Chukua CV yako weka kwenye ChatGPT au Claude AI, kisha iambie AI iandike email kwa mwajiri. Angalia majibu yake. 2024 be informed, work hard Heri ya Mwaka Mpya.
8
111
632
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Hizi kazi ni ngumu sana jamani msione mnapata internet services maofisini huko ila kwa ground mambo ni mengi Imagine unaigia humu na hujui uanzie wapi na unaambiwa tunataka Internet mda huu 😂😂😂
Tweet media one
Tweet media two
84
52
606
@TOTTechs
#TOTTechs
7 months
Wired earphones are better than wireless earphones. Mdahalo umefunguliwa
79
44
632
@TOTTechs
#TOTTechs
8 months
HTC kama zingekuwepo zingekuwa KING of Android. HTC was far ahead of its time, kuanzia software mpaka hardware. Hakuna simu ingeisogelea HTC, hata Samsung, Huawei, Sony back then zilikuwa nyuma ya HTC. Nikukumbushe HTC ndiyo simu ya kwanza kutumia Android mwaka 2009.
Tweet media one
119
53
604
@TOTTechs
#TOTTechs
4 years
TAMKO Kwa wataalamu wa ICT/IT, kupitia sheria za mitandao za mwaka 2015, hairuhusiwi kutumia mifumo ya computer kuharibu au kubadili taarifa za mtu, faini ni Million 10 au jela miaka 5 au vyote kwa pamoja Tupuuze tamko la mtu anayechochea uvunjaji wa sheria za mitandaoni
Tweet media one
85
86
596
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
Una nafasi ya kukutana na mmoja Chagua wa kukutane nae 👇
Tweet media one
269
41
572
@TOTTechs
#TOTTechs
4 years
Twitter wameboresha policies (sera) zao (terms and services), mnaolalamika followers wanapungua ni kutokana na maboresho hayo, wanakata locked accounts zote na ghost followers wanachotaka ni real followers wenye active accounts kaeni kwa kutulia
Tweet media one
47
56
572
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
KARANI: Unamiliki computer mpakato? MIMI: Ndiyo, namiliki DELL XPS 13" Special Edition 12th generation Intel Core i9 - Intel iris Xe & NVDIA GeForce RTX 3080 Graphic - 64GB DDR4 Memory - 4TB NVME SSD Karani: 👇
Tweet media one
52
39
578
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
RANGO – Best animated Movie of all time, Best scene: Rango: Yeah, that's right, hombres. The place I come from, we kill a man before breakfast, just to work up an appetite. Rango: Then we salt him and we pepper him, then we braise him clarified butter and then we eat him.
Tweet media one
70
76
571
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Thank you for 0.03 Million Followers 🙏
Tweet media one
12
19
571
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
Elon Musk ana akili sana na anajua kucheza na mda, Germany hawakumpa kibali cha kudumu kutengeza magari (Berlin Giga Factory), kupitia kuwapa backup UKRAINE na StarLink internet, Germany wamempa kibali rasmi inchini humo na sherehe itakuwa March 22, pia atatoa zawadi ya magari 30
Tweet media one
19
32
571
@TOTTechs
#TOTTechs
6 months
Ulishawahi/kufikiri kununua simu used? Watu wengi hununua simu zilizotumika (used phones) kutokana na hali ya kutomudu gharama kubwa za kununua simu mpya. Hivyo huamua kusubiri ili wapate zilizotumika kwa mda, hasa simu za hali ya juu (high end smartphones)👇 #ElimikaWikiendi
Tweet media one
Tweet media two
18
91
580
@TOTTechs
#TOTTechs
4 years
Uzi Majibu ya maswali ya @masoudkipanya kama alivyo uliza 1. Internet inatengenezwa wapi? 2. Inatengenezwa vipi? 3. Mitambo ya kuzalisha internet iko wapi? 1. Internet inatengenezwa wapi? Kwanza tujue kirefu cha internet - interconnected networks, ni mfumo wa dunia unao-
51
176
554
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
Appreciation Tweet kwa Jeremy Doku, huyu kijana ameupiga mwingi sana 🙌🙌
Tweet media one
26
18
545
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
UZI IFAHAMU LUKU INAVYOFANYA KAZI LUKU ni kifupisho cha Lipa Umeme Kadiri Utumiavyo. Turudi nyuma kidogo kwenye miaka ya 1993-1997 TENESCO walikuja na project ya prepayment metering (Mita tulizokuwa tunazitumia awali) chini ya Udhamini wa Bank Ya Dunia. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
56
263
553
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Merlin Ilikuwa series bora sana kwa wakati ule 🙌
Tweet media one
40
17
545
@TOTTechs
#TOTTechs
1 year
MAKOSA 5 TUNAYOYAFANYA WAKATI WA KUCHAJI SIMU. Tumeona simu nyingi zinakufa betri (battery) kwa mda mfupi toka simu inunuliwe, hii inatokana na makosa ambayo tunafanya wakati wa kuchaji simu zetu. Makosa gani na nini kifanyike? Powered by #ElimikaWikiendi Uzi mfupi 👇 1/14
Tweet media one
25
153
556
@TOTTechs
#TOTTechs
9 months
Naanza. 1. Ctrl+C: Copy 2. Ctrl+V: Paste 3. Ctrl+A: Select all 4. Ctrl+F: Find in page 5. Ctrl+Z: Undo 6. Ctrl+X: Cut 7. Ctrl+T: Open new tab 8. Ctrl+S: Save 9. Ctrl+Y: Redo 10. Ctrl+P: Print Ongeza Keyboard shortcuts unazozijua 📍
63
186
552
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Hii vita ya WhatsApp na Telegram imekolea sasa, Mmarekani na Mrussia wanatupiana lawama huko. Unasimama na nani, WhatsApp au Telegram ?
Tweet media one
88
23
551
@TOTTechs
#TOTTechs
5 months
Umeme ni nchi nzima? Kuna hitilafu au Mliosoma Cuba mmeelewa ?
64
16
549
@TOTTechs
#TOTTechs
1 month
Wakuu leo tupate majibu hapa. Kwa mnaotumia Unlimited Wi-Fi nyumbani au ofisini, unalipia kiasi gani na mtoa huduma (mtandao) yupi?
97
43
545
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Jifunze COMPUTER NETWORKING, all in one. Hii karatasi moja imebeba masomo ya miaka 4 😂
Tweet media one
46
112
523
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
LG wametambulisha TV aina ya Signature OLED M television, 97” Television ya kwanza isiyotumia waya (First Wireless OLED TV) TV inapokea sauti/audio na video zenye ubora wa 4K kwa mawimbi ya 120Hz kwa njia ya wireless kupitia ki-box kinaitwa “Zero Connect” Tsh 58,344,222.62/-
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
49
69
528
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
This man 🔥 📌
Tweet media one
11
27
517
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Kwanini CEOs na Co-Founders huchukua mshahara wa $1? Kuanzia kwa Elon Musk, Larry Page, Mark Zuckerberg, Bill Gates mpaka kwa Steve Jobs na wengi wengi, kwanini hawa rich CEOs na waanzilishi wa kampuni kuchukua mshahara wa $1? Nini kipo nyuma ya pazia? Uzi mfupi 👇
Tweet media one
20
121
519
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Unatrip ya vacation unataka upate simu nzuri kwa ajili ya picha na video, utachagua ipi kati ya hizi?
Tweet media one
133
30
505
@TOTTechs
#TOTTechs
8 months
Hii ndiyo Miundombinu yetu ya Fiber optics kama inchi. 😳 Mvua kidogo tu ISP wengi internet inakata sababu ya Fiber cut. Cha kushangaza tunazuia Elon asilete Starlink zake tupate satellite internet, kazi tunayo 😂 Engineer aliyefanya hivi akamatwe. 📸 credit: @fussi_damas
Tweet media one
74
67
516
@TOTTechs
#TOTTechs
5 months
Kazi gani kwenye computer inaweza kupelekea ukafanya hivi?
Tweet media one
113
30
514
@TOTTechs
#TOTTechs
4 years
Simu nyingi za android zimekuwa hazikubali kuconnect directly kwenye computer yenye windows 10 kutumia USB cable kwa ajili ya ku-share taarifa kati ya simu na computer Basi shuka na uzi uweze kutatua changamoto hiyo Uzi 👇
Tweet media one
30
251
500
@TOTTechs
#TOTTechs
4 years
JINSI YA KUIFANYA SIMU YAKO IWE NA NAFASI ( SPACE) YA KUTOSHA Kwa watumiaji wa Android devices nimepata maswali mengi, simu zinajaa pasipo kuwa na vitu vingi kwenye simu Leo tuangalie namna gani unaweza kuifanya simu yako iwe na nafasi ya kutosha Twende na uzi
Tweet media one
44
262
502
@TOTTechs
#TOTTechs
4 years
UTAPELI KWA NJIA YA MTANDAO Najua wengi mmesoma andiko la @DJKassu kuhusu Mke wake kutapeliwa pesa na mtu aliyejitambulisha kama wakala wa mtandao wa TIGO, ambapo aliweza kuhamisha pesa zilizopo benki kwa kutumia APN iliyopo kwenye simu Nitatolea maelezo kuhusu APN uzi👇
Tweet media one
52
222
490
@TOTTechs
#TOTTechs
3 months
Wakuu, Vipi tukitengeneza group la Developers, Designers, content creators na Engineers (all categories) Mko tayari?
133
48
512
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
Hatimaye zile original codes zilizotumika kutengeneza World Wide Web ( www ) zimeuzwa kama NFT (Non Fungible Token) kwa dau la $5.4 million. Mtengenezaji na mmiliki wa hizo codes anaitwa Sir Tim Berners-Lee
Tweet media one
15
63
486
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Hapa ni wapi? Wrong answers only
Tweet media one
207
18
501
@TOTTechs
#TOTTechs
1 year
Ndugu waajiri; Tunakumbushana kwamba, kutaka mwajiriwa mwenye hizi sifa, Java, Python, PHP SQL, MangoDB,AWS Linux Systems Git, React Networking and Hardware Troubleshooting UI/UX and Graphic knowledge. Huyo siyo Developer, System Admin wala Network. Hiyo ni idara nzima ya IT
55
83
501
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Umepewa nafasi ya kuomba chochote kwa Bill Gates, utaomba nini? Twende kazi? 😂
Tweet media one
132
12
487
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Kwa upande wako, unaona simu gani inastahili kuwa “Smartphone of the year” kati ya 1: Google Pixel 7 Pro 2: iPhone 14 Pro Max 3: Samsung Galaxy S22 Ultra
Tweet media one
96
27
492
@TOTTechs
#TOTTechs
1 month
Ndugu waajiri: ___________ Mnapotafuta mfanyakazi wa ICT na mnataka awe na uzoefu katika Networking, Programming,Cyber Security, Hardware, Cloud, IoT, Graphics Hapo hamtafuti mtu mmoja bali ni idara nzima ya ICT, mtu mmoja hawezi kujua kila kitu kwa ufasaha Happy new Month 📍
41
91
500
@TOTTechs
#TOTTechs
5 months
Uko upande gani? 1: Microsoft Edge 2: Google Chrome 3: Brave 4: Safari
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
262
40
497
@TOTTechs
#TOTTechs
17 days
WhatsApp wana mpango wa kuja na username badala ya namba ya simu ili kulinda faragha/privacy za watumiaji. Utakuwa na uwezo wa kuficha namba yako ya simu isionekane badala yake watu watakupata kwa username yako.
44
32
495
@TOTTechs
#TOTTechs
1 year
FAHAMU NINI CHA KUFANYA SIMU YAKO INAPOINGIA MAJI Kuangusha simu kwenye maji au simu kuingiwa na maji inaleta huzuni sana Lakini cha muhimu zaidi ni "Utafanya nini baada ya simu yako kuingia maji" Ikumbukwe warranty haifanyi kazi kwenye majanga Thread👇 #ElimikaWikiendi (1)
Tweet media one
24
182
483
@TOTTechs
#TOTTechs
1 year
Browsers zetu pendwa, unatumia browser ipi kati ya hizo na kwa nini? Comment hapa
Tweet media one
238
28
475
@TOTTechs
#TOTTechs
4 years
JINSI YA KUONGEZA SPEED KWENYE COMPUTER YENYE WINDOWS 10 Mara nyingi computer zetu zinakuwa slow kwenye performance ( ukifungua program au kitu chochote) inachukua mda mrefu kufungua au kufanya kazi hiyo Leo nitawaelekeza namna ya kufanya computer yako iwe na speed Fuata uzi
Tweet media one
33
325
472
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
Websites zote za Serikari ya Russia hazipatikani "ziko down" na baadhi ya Websites zingine za Russia hazipatikani ikiwemo official website ya Kremlin Hii ni Cyber war, "wakikuwin kwenye Intelijensia na mifumo wana nafasi kubwa ya kukupiga" Source: @YourAnonNews
Tweet media one
36
26
465
@TOTTechs
#TOTTechs
1 year
Jana C.E.O wa TikTok Shou Zi Chew alikuwa akijibu maswali (shutuma) mbele ya bunge la Congress USA, maswali mengi yalilenga. • Kushare taarifa za raia za US na serikali ya China. • Kusambaza contents zikionyesha matumizi na uuzaji wa madawa ya kulevya, picha za ngono 👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
26
30
473
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Kuna jamaa amesema Elon Musk is going to put Apple out of Business!, akasema wasijione wakubwa sana hata Nokia alikuwa mkubwa kuwazidi Apple 😂 Hii vita 🙌
35
16
464
@TOTTechs
#TOTTechs
5 months
Upo team gani? Team A Team B Team C Team D
Tweet media one
249
22
470
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
BITCOIN, BLOCKCHAIN AND CRYPTOCURRENCIES Turudi nyuma mwaka 2008, Bwana mmoja aitwaye Santoshi Nakamoto mtaalamu wa Computer na Hesabu alitengeneza Program na kuiita jina la BITCOIN Je, Bitcoins ni nini na zinafanyaje kazi ? Twende na uzi 👇 #ElimikaWikiendi
Tweet media one
59
307
445
@TOTTechs
#TOTTechs
2 months
Una umri wa kuelewa kama hii ilikuwa mali adimu?
Tweet media one
109
37
475
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Zambia wamezindua computer yao ya kwanza, inaitwa Neo, Neo Laptop imetengezwa na kampuni ya Teknolojia inchini zambia inaitwa NetOne, Raisi Hichilema amesema lengo kubwa ni kufanya vizuri zaidi kwenye Teknolojia kwa ukanda wa Africa. Nini maoni yako
Tweet media one
53
51
450
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Hii setup vipi au bado siyo Affordable
Tweet media one
48
29
461
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Kukiwa na Ma-Engineer wanne ndani ya gari, na gari isiwake. Mechanical engineer: Starter imeharibika. Electrical engineer: Battery imekufa. Chemical engineer: Mafuta yana uchafu. IT engineer: Jamani nna wazo, mnaonaje kama wote tukishuka kwenye gari halafu tupande upya 😂
Tweet media one
65
40
451
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Hata kama ni watu wa IT mpo kwenye Mahusiano, ndiyo mchati hivi? 😂
Tweet media one
56
42
450
@TOTTechs
#TOTTechs
1 year
Sahau kuhusu Wi-Fi, sasa tuna Li-Fi (Light Fidelity), imekuwa approved rasmi na IEEE kama new standard for data transfer. Speed up to 244 GB/s
Tweet media one
31
59
449
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Tanzania tunahitaji Space Agency inayojitegemea, licha ya kuwa na TCAA (Tanzania Civil Aviation Authority) lakini tunahitaji Tanzania National Space Agency (TNSA) kwa ajili ya mambo ya anga tu na ndani ya miaka 5 tupeleke Satellite hata anga la chini (low orbit satellite)
Tweet media one
Tweet media two
100
66
444
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
iPhone na Samsung zote zime-hackiwa ndani ya dakika moja. iPhone 13 Pro - sekunde 15 Galaxy S22 - sekunde 55 Samsung Galaxy S22 imekuwa hacked kwenye Pwn2Own hacking competition huko Canada na iPhone 13 Pro imekuwa hacked kwenye Tianfu Cup kule China.
Tweet media one
30
54
446
@TOTTechs
#TOTTechs
4 years
GOOGLE Najua unatumia Google kwenye simu, laptop n.k lakini leo tuangalie undani wa google ✴️ Google ni nini na inafanyaje kazi ✴️ Google inatoa huduma gani kwa wateja wake ✴️ Google inapataje faida ? Twende na uzi
Tweet media one
52
170
440
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Elon na Apple kimewaka, ni kama watu walisubiri nani aanzishe watoe ya moyoni 😂. This is not good for Apple kama Elon akiendelea kuwaita Apple wakandamizaji, What if Apple wakaipiga ban Twitter kule Apple Store? 😂
63
22
445
@TOTTechs
#TOTTechs
1 year
Twitter wameondoa sehemu ya "Twitter Translate" maana yake automatically hautoweza kutafsiri Tweet iliyo kwenye lugha tofauti na ya kwako. Inasemekana "Translate" Feature ilikuwa linked na Google API mtu aki-translate Tweet, Twitter huliwapa Google. Elon anapunguza Matumizi
Tweet media one
24
19
436
@TOTTechs
#TOTTechs
3 months
Ndugu waajiri: ___________ Mnapotafuta mfanyakazi wa ICT na mnataka awe na uzoefu katika Networking, Programming,Cyber Security, Hardware, Cloud, IoT, Graphics Hapo hamtafuti mtu mmoja bali ni idara nzima ya ICT, mtu mmoja hawezi kujua kila kitu kwa ufasaha Happy new Month 📍
37
87
448
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
[UZI] - MAMBO YA KUZINGATIA KWA MUUZAJI NA MNUNUZI WA SIMU Kwa miaka ya hivi karibuni soko la Smartphone limekua kwa kasi sana. Yameibuka makampuni mengi yanayozalisha hizi simu, Kampuni zimefungua matawi mbalimbali duniani pia kuna wauzaji binafsi. 👇 #ElimikaWikiendi
Tweet media one
44
156
427
@TOTTechs
#TOTTechs
7 months
Kwenye upande wa TV, Sony, Samsung na LG wana dunia yao na ushindani wao, hizi zinaitwa Heavyweight Halafu kuna TCL, Hisense, Roku, Vizio hawa wana vita yao, hii vita ni kali sana kwenye soko kuliko hata vita ya Heavyweight. Ipi ni Brand bora kwa Tanzania?
91
36
436
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Uganda kushirikiana na NASA watarusha satellite yao ya kwanza mwaka huu kuelekea anga la chini/Lower Earth Orbit, Satellite inaitwa PearlAfricaSat-1 itasaidia kwenye vitu kama hali ya hewa, ufuatiliaji wa mazingira, mipango miji, uchunguzi wa madini, na usimamizi wa maafa.
Tweet media one
Tweet media two
31
40
428
@TOTTechs
#TOTTechs
4 years
NAMNA GANI WHATSAPP WANAPATA FAIDA ◾️Hakuna matangazo yoyote (No Ads) ◾️Hakuna Gharama ya kujiunga ( No subscription fee) Ni moja kati ya maswali ambayo watu wengi wanajiuliza, whatsapp wanapataje faida ilihali siyo ya kulipia na pia ilinunuliwa kwa gharama kubwa Uzi mfupi
Tweet media one
41
152
420
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Tanzania ukitengeneza Dating App ukawa serious nayo unapiga hela sana 😂 Hakikisha App inamaliza kila kitu kuanzia Payment, calls (video & audio), Chats, content filtering etc
44
25
420
@TOTTechs
#TOTTechs
3 years
Mwanzoni mwa 2000's mziki wa Sweden ulikuwa unakufa kutokana na wizi na Music Labels zilifilisika, akajitokeza kijana Daniel Ek akaziambia Record Labels kwamba yeye amepata suluhisho "SPOTIFY", Dan aliwaambia Record labels watumie Spotify kwa mwaka mzima bila kumlipa chochote 👇
Tweet media one
Tweet media two
16
70
419
@TOTTechs
#TOTTechs
4 years
JINSI YA KUTOA VIRUSES KWENYE COMPUTER YENYE WINDOWS 10 Computer nyingi zenye windows 10 zinakuja na Windows defender ndani ( built in antivirus) ambayo hufanya kazi Mda wote ( run on background). Inasaidia kuondoa/kupambana na viruses ambao husababisha kuharibu computer Uzi
Tweet media one
20
260
418
@TOTTechs
#TOTTechs
4 years
◾️Kuna mtu aliniuliza hivi Computer yenye processor Core i7 ni bora kuliko zenye Core i3 au i5 ? ◾️Jibu linaweza kuwa ni ndiyo lakini inategemea na aina ya i7, i3 au i5 unayoilinganisha ◾️Tuangalie kwa ufupi jinsi haya mambo yanavyo changanya watu Uzi mfupi 👇
Tweet media one
68
241
426
@TOTTechs
#TOTTechs
2 years
Uzi mfupi namna ya ku-repair corrupted disk drive ( Internal & External) Hard Disk iliyo-corrupt inaweza kurekebishika mara nyingi tunakutana na changamoto nyingi za Hard disk drive kwenye computer zetu au hata zile External disk drive. Dalili zake ni hizi error messages..👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
27
233
425