TBCOnline Profile Banner
TBCOnline Profile
TBCOnline

@TBConlineTZ

121,610
Followers
15
Following
20,891
Media
22,853
Statuses

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). TBC kiganjani mwako, usipitwe #ukwelinauhakika

Dar es Salaam,Tanzania
Joined January 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@TBConlineTZ
TBCOnline
3 months
Tweet media one
10
2
38
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 years
Umati wa wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni za CHADEMA kwenye Uwanja wa Mbagala Zakhiem jijini Dar es Salaam leo.
Tweet media one
Tweet media two
576
95
2K
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 years
TAMKO LA TBC KUFUATIA KUFUKUZWA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA
848
154
2K
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Tundu Lissu kurejea nchini Januari 25 via @tbconetanzania
Tweet media one
157
96
2K
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 years
TBC1 leo tutakuwa mbashara katika uzinduzi wa kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka viwanja vya Mbagala Zakhiem jijini Dar es Salaam. Matangazo hayo yatakuwa mbashara pia kupitia tovuti (), App (TBC Live) na YouTube (TBCOnline).
Tweet media one
320
133
2K
@TBConlineTZ
TBCOnline
6 months
Lowassa Afariki Dunia
Tweet media one
75
132
2K
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
“Baada ya Kombe la Dunia kuisha, sasa TBC tumeanza mchakato wa kupata haki za kurusha ligi kubwa za kimataifa, kama vile ligi ya England." Dafrosa Kimbori, Mkurugenzi wa Masoko TBC
Tweet media one
193
45
1K
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Dakika 90' za mchezo zimemalizika Dodoma Jiji 1 - 0 Namungo FC Khamis Mcha 24' P @tanfootball #NBCpremierleague #TBConline #TBCupdates
Tweet media one
1
1
8
@TBConlineTZ
TBCOnline
15 days
𝗛𝗔𝗧𝗨𝗝𝗔𝗠𝗧𝗔𝗝𝗔 𝗠𝗧𝗨
Tweet media one
111
78
1K
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 months
Sawa Al Ahly wanaongoza kwa ubora Afrika, na Mashujaa je? 😂
Tweet media one
31
48
1K
@TBConlineTZ
TBCOnline
6 months
Kama unadhani 6 ni chache, zifanye chapati uone.
Tweet media one
17
51
986
@TBConlineTZ
TBCOnline
5 months
Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini anayesoma Sheria, Laureen Urassa amesema haoni sababu ya chakula cha wafungwa kutoka serikalini bali wazalishe au wagharimie wenyewe.
Tweet media one
318
53
951
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Serikali inakusudia kufanya marekebisho makubwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ili kukidhi viwango vya kimataifa vinavyohitajika katika michuano ya Africa Super League ambayo Simba SC ndio mwakilishi wa ukanda wa Afrika Mashariki.
Tweet media one
28
27
908
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 months
Achana na taarifa wewe ni mtuhumiwa. 😂
138
87
852
@TBConlineTZ
TBCOnline
6 months
"Lakini niombe kwa sababu ya rekodi, niweke kumbukumbu sahihi. Huwezi kuandika historia ya Lowassa ukaliacha neno Chadema. Ni kujidanganya tu na kujaribu kuua historia ambayo huwezi kuiua," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Tweet media one
50
68
817
@TBConlineTZ
TBCOnline
3 years
Tanzia: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefariki dunia. Taarifa za msiba huu zimetolewa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
Tweet media one
80
220
772
@TBConlineTZ
TBCOnline
5 months
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amefichua kwamba amekuwa akikataa kupokea mahari kwa ajili ya binti zake, na badala yake yeye ndiye hulipa mahari kwa familia za vijana wa kiume wanaooa kwake.
Tweet media one
28
42
788
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 months
Kiungo wa Yanga SC, Aziz Ki amewaambia mashabiki wa Yanga kwamba hana mpango wa kuondoka Jangwani, kwani kilichomleta kwenye timu hiyo bado hajakifanikisha. "Hata pesa haiwezi kufikia kiwango cha upendo nilio nao kwa klabu hii (Yanga)," ameandika kupitia Instagram.
Tweet media one
6
55
770
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
"Naomba wana-Mwanza kwa kauli moja muungane nami kulishukuru Jeshi la Polisi kwa namna ambavyo wamesimama na sisi kuhakikisha kuwa usalama upo. Hawajatukwaza kwa namna yoyote."- Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe
Tweet media one
23
50
746
@TBConlineTZ
TBCOnline
5 months
𝑻𝑨𝑨𝑹𝑰𝑭𝑨 𝑲𝑾𝑨 𝑼𝑴𝑴𝑨
Tweet media one
240
54
657
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Mara chache sana unaweza kumkuta Kanali Nyamburi Mashauri, Msaidizi (ADC) wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mwenyewe (bila kuwa nyuma ya Rais). Leo mpigapicha wa TBCOnline alifanikiwa kupata picha yake akiwa ukumbini wakati wa ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
43
70
643
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 months
Mtoto wa Mtangazaji wa Clouds FM marehemu Gardner Habash, Kareen Habash akiwa katika viwanja vya Leaders Club mkoani Dar es Salaam ambapo ndugu, jamaa na marafiki wanatoa heshima za mwisho kwa mtangazaji huyo.
Tweet media one
11
18
625
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Simba SC ndio klabu yenye thamani kubwa zaidi Tanzania, ikiwa na thamani ya TZS bilioni 5.69 kwa mujibu wa mtandao wa 'transfermarkt.' Kati ya vilabu vinne, nafasi ya pili inashikwa na Yanga (TZS bilioni 5.49), Azam FC (TZS bilioni 2.68) na Namungo FC (TZS milioni 510.85).
Tweet media one
43
48
630
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 years
Rais Dkt. John Magufuli akagua maandalizi ya ujenzi wa ofisi mpya za Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma. #TBCOnline #TBCAridhio
50
31
614
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 years
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba anasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu, Marin Hassan Marin kilichotokea leo asubuhi katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa na uongozi wa TBC.
Tweet media one
90
65
606
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 months
Chama ni Mwananchi
Tweet media one
14
16
618
@TBConlineTZ
TBCOnline
5 months
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete akihudhuria kama mgeni maalumu uzinduzi wa Crown Media, kampuni ya msanii wa Bongo Fleva, Ally Kiba inayomiliki radio ya Crown FM ambayo pia inazinduliwa. Ally Kiba pia anaadhimisha miaka ya 20 ya shughuli zake za muziki.
Tweet media one
5
30
604
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Fainali ni Yanga na USM Alger
1
20
589
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 months
Maoni yako yatasomwa katika kipindi cha Jambo Tanzania #Kutokamitandaoni
Tweet media one
290
26
587
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Erasto Nyoni “Thank you”
Tweet media one
4
7
551
@TBConlineTZ
TBCOnline
6 months
Aliyemkosea Chama leo amuombe msamaha.
Tweet media one
5
17
545
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Simba SC imezindua jezi zitakazotumika kwa msimu wa 2023/24.
Tweet media one
Tweet media two
8
43
510
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 months
Magoli ya mapema yanaanza kuwa desturi yao. 😂
Tweet media one
1
12
497
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Tunamtambulisha Dkt. Leakey Abdallah kuwa mmoja wa Wachambuzi wa TBC kwenye Fainali za Kombe la Dunia #FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCupdates #TBConline
Tweet media one
46
27
466
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Kipa wa Simba SC, Ally Salim leo ameonesha kiwango cha hali ya juu akipangua mikwaju mitatu ya penati. Weka neno moja kwake.
Tweet media one
27
25
467
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
IMEKUWAJE?, BUNGE LITUELEZE Soma zaidi👇🏼
Tweet media one
6
32
456
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 months
Mwenza wa Rais Samia Suluhu Hassan, Hafidhi Ameir alipokuwa akiwasili katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam kushiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Rais Samia Suluhu Hassan.
Tweet media one
Tweet media two
67
22
465
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Tuambie umeona vifaranga wangapi kwenye picha hii? Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachoendelea hivi sasa #JAMBOTANZANIA #kutokamitandaoni
Tweet media one
779
43
456
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
CHAMA CHAMA CHAMA
Tweet media one
3
19
461
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Miradi yaTrilioni 3 kupitiwa na Mwenge Kibaha
Tweet media one
0
4
440
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
#JAMBOTANZANIA : WATUMIAJI WA MITANDAO WAONYWA @Nnauye_Nape
33
29
426
@TBConlineTZ
TBCOnline
6 months
Kosa lilianza kwa kocha wa Jwaneng Galaxy kuizungumzia Yanga 😂.
Tweet media one
5
18
433
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 months
Ukikasirika uwe na sababu.
Tweet media one
4
17
416
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Majina ya zamani ya Falme za Wasukuma
Tweet media one
23
30
414
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Unadhani Rais wa Heshima wa Simba SC anamzungumzia mchezaji yupi?
Tweet media one
25
14
406
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 months
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda ametembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi inayojengwa Msalato Jijini Dodoma.
Tweet media one
4
15
406
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Nani kushinda ubingwa Qatar ? Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Jambo Wikiendi kinachoendelea hivi sasa. #JAMBOTANZANIA
Tweet media one
111
20
391
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 months
Taratiiibu! Tazama Mbunge Luhaga Mpina akitoka ndani ya ukumbi wa Bunge kuanza kutumikia adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya Bunge kuanzia leo. Adhabu za Bunge hazina ngoja kesho!
200
29
394
@TBConlineTZ
TBCOnline
3 years
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango aitaka TRA iwaache wafanyabiashara wafanye biashara halali.
81
41
378
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Elfu 19 wafariki kwenye tetemeko
Tweet media one
8
19
381
@TBConlineTZ
TBCOnline
6 months
Tweet media one
17
27
371
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
TZS milioni 35 kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan zimekabidhiwa kwa uongozi wa Simba SC.
Tweet media one
7
19
358
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 years
KUWAPIGA WAANDISHI WA HABARI HAKUWAONGEZEI KURA Kiongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) amesema wanasiasa kuwapiga waandishi wa habari au kususia vyombo vya habari hakuwaongezei kura.
268
30
341
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 years
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limemtia mbaroni Awadhi Luguya (24), mkazi wa Mazimbu, Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kufungua ukurasa katika mtandao wa kijamii wa Fecebook na kuupatia jina la Coronavirus Tanzania.
Tweet media one
113
30
334
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Tuandikie Maoni yako yatasomwa Kupitia kipindi cha Jambo Tanzania.
Tweet media one
192
10
343
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Simba SC imemsajili kiungo mshambuliaji, Luís Jose Miquissone akitokea Al Ahly ya Misri kwa mkataba wa miaka miwili. Miquissone amesajiliwa baada ya kuvunja mkataba na Al Ahly.
Tweet media one
3
23
340
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Je! Huyu ni nani na anacheza nafasi gani katika klabu ya Simba SC? 📸 @RabbiHume
Tweet media one
60
9
338
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Membe azikwa
Tweet media one
4
9
335
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Ni kwanini baadhi ya vijana hawachangamkii fursa za mikopo inayotolewa na Halmashauri. Tuandikie na Maoni yako yatasomwa kupitia Kipindi cha Jambo Tanzania.
Tweet media one
228
23
329
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Waziri Ummy: Suala la vichanga kong’olewa macho ni la ukweli
13
12
312
@TBConlineTZ
TBCOnline
5 months
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda amewahakikishia Watanzania kuwa nchi iko salama na kuwataka kuendelea kudumisha amani iliyopo.
Tweet media one
2
18
287
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Mbowe: Tumechagua kusema ukweli “Nilipotangaza ujio wako katika mkutano wa BAWACHA wengi hawakuamini kama ni kweli, hii inadhihirisha kuwa watu wengi wanaishi kwa uoga, unafiki na mgawanyiko”.
Tweet media one
11
23
296
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Tuambie, nini maoni yako kuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris Tuandikie maoni yako yatasomwa kupitia kipindi cha Jambo Tanzania.
Tweet media one
83
16
287
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Tweet media one
11
43
291
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Baada ya mvutano wa miaka mingi kuhusu nani ni mmiliki wa asili wa mapishi ya wali wa Pilau la Afrika Magharibi maarufu kama 'Jollof' kati ya nchi za Nigeria, Ghana, Senegal na Cameroon, hatimaye...
Tweet media one
3
7
278
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Yanga kutua Algeria kibabe na Boeing Dreamliner
Tweet media one
6
6
279
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 months
Msigwa wa CHADEMA atimkia CCM Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mchungaji Peter Msigwa amekihama chama hicho na kuhamia Chama cha Mapinduzi (
Tweet media one
55
26
284
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 years
Akaunti yenye jina @ElizabethMramba , si ukurasa halali wa mtangazaji wa TBC (Elizabeth Mramba). Akaunti yake ni @mkabesah . Epuka matapeli.
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 years
Rais Dkt. John Magufuli akagua maandalizi ya ujenzi wa ofisi mpya za Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma. #TBCOnline #TBCAridhio
50
31
614
61
31
268
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Fiston Mayele apewe maua yake. Anaifungia Yanga goli la pili katika mchezo wa leo, likiwa ni goli la tano kwenye Kombe la Shirikisho Afrika akiwa ndio kinara wa magoli hadi sasa.
Tweet media one
9
21
270
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Siku ya Wananchi, Siku Kubwa na Redio Kubwa Tutakuwa mbashara kupitia TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBC online ⁦ @yangasc1935 #Wananchi #YangaSC #vipers #Yanga #Football #YangaDay2022 #TBConline #TBCupdates
Tweet media one
6
24
265
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa upande wa Bara Tundu Lissu, amewataka wanachama wa chama hicho kushirikiana na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye masuala mbalimbali yenye maslahi ya Taifa.
Tweet media one
60
18
262
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Siku nne zimepita tangu tetemeko kubwa la ardhi lilipopiga eneo la Kusini mwa Uturuki na Mashariki mwa Syria na kusababisha vifo pamoja na uharibifu wa mali.
Tweet media one
6
9
257
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Feisal Salum Abubakar ambaye ni mtoto wa Salum Abubakar 'Sure Boy' amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Yanga SC imetoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huo.
Tweet media one
13
9
263
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Unawapa asilimia ngapi namna walivyoimba? 📹 Mtandao
32
58
257
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ( KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dkt. Alex Malasusa amesema kwa niaba ya kanisa amemsamehe Mchungaji wa kanisa hilo ushariki wa Kijitonyama, Eliona Kimaro ambaye hivi sasa yuko kwenye likizo ya siku 60.
Tweet media one
22
12
247
@TBConlineTZ
TBCOnline
5 months
Ihefu waliambiwa wamkabe mwenye 'bleach,' sasa wamechanganyikiwa maana wenye bleach wako wengi.
Tweet media one
4
10
249
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Una neno gani kwa TBC baada ya kufanikisha kurusha mbashara michuano ya kombe la dunia? Ujumbe wako utasomwa katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachoendelea hivi sasa. #JAMBOTANZANIA
Tweet media one
95
8
251
@TBConlineTZ
TBCOnline
5 months
Baada ya miaka 20 ya msanii wa Bongo Fleva, Ally Kiba kwenye mziki, leo Machi 9, amezindua radio yake rasmi, Crown FM
Tweet media one
Tweet media two
4
19
248
@TBConlineTZ
TBCOnline
9 months
Ni mmoja kati ya wachezaji waliojaliwa kipaji cha hali ya juu na anatajwa kati ya wachezaji bora kuwahi kutokea Tanzania. Hadi sasa goli alilofunga katika Ligi Kuu Tanzania Bara linaaminika kuwa ni goli bora kuwahi kufungwa Tanzania. Je, mwamba huyu ni nani?
Tweet media one
111
15
242
@TBConlineTZ
TBCOnline
5 months
Refa Ramadhan Kayoko leo hakuingia uwanjani na kadi ya njano 😂?
Tweet media one
5
9
248
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 months
Yanga wamevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo wameumaliza, heshima wameilinda.
Tweet media one
8
9
246
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
It had to be him
Tweet media one
10
9
247
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Serikali yafafanua kuhusu kutotangaza shule bora
Tweet media one
1
4
236
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Je! Ni Kero gani au changamoto ipi ambayo unataka serikali iifanyie kazi mtaani kwako? Tuandikie na ujumbe wako utasomwa kwenye kipindi cha Jambo Wikiendi kinachoendelea hivi sasa. #JAMBOWIKIENDI
Tweet media one
252
21
229
@TBConlineTZ
TBCOnline
6 months
Al qisas haq (Kisasi ni Haki).
Tweet media one
1
8
240
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Leo ni mwaka mmoja tangu kifo cha Rais Dkt. John Magufuli. Tuandikie maoni yako nasi tutayasoma ndani ya Jambo Tanzania.
Tweet media one
78
21
231
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 months
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhan ameulalamikia vikali Mtandao wa X (zamani Twitter) akisema umekuwa ukisambaza maudhui yaliyo kinyume na desturi ya nchi yetu.
451
16
238
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Nini kifanyike kudhibiti upotevu wa mali za umma....? Tuandikie maoni yako yatasomwa kupitia Jambo Tanzania.
Tweet media one
142
10
224
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Ujumbe kutoka kwa Rais wa Heshima wa Simba SC, Mo Dewji.
Tweet media one
26
18
226
@TBConlineTZ
TBCOnline
6 months
Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mama Siti Mwinyi alipofika nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Marehemu Edward Lowassa, Masaki Dar es Salaam kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha kiongozi huyo kilichotokea Feb10, 2024 Dar es Salaam.
Tweet media one
4
17
224
@TBConlineTZ
TBCOnline
9 months
Safari yake imedumu kwa miaka 15, kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2020. Amekiwasha sana na kuweka alama yake katika ligi kuu Tanzania Bara. Kazi kwako shabiki wa soka. Tutajie jina la mwamba huyu.
Tweet media one
45
13
216
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
"Naishukuru Yanga, soko langu linazidi kukua, klabu nne za Afrika zimekuja zinataka nizitengenezee jezi zao na mbili ni za nchi [Taifa]."- @SheriaNgowi Mwanamitindo wa Kimataifa #JamboWikiendi #JamboTanzania #TBCupdates #TBConline
Tweet media one
3
11
226
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 months
Hiki kipigo ndugu wanaweza wasiutambue mwili wa marehemu 😂.
Tweet media one
8
12
217
@TBConlineTZ
TBCOnline
5 months
TFF imeridhia ombi la klabu ya Al Hilal kushiriki Ligi Kuu ya NBC. Afisa Habari wa TFF, Cliford Ndimbo amefafanua kuwa alama ambazo timu hiyo itapata hazitaathiri msimamo wa ligi kwani michezo yake yote itachukuliwa kama michezo ya kirafiki, na sio kwamba inawania kombe.
Tweet media one
12
15
225
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Ada yafutwa, wanafunzi vyuo vya kati kupewa mikopo
3
10
214
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Sakata la Fei Toto na Yanga kuamuliwa leo Soma zaidi hapa 👇🏼
Tweet media one
1
5
216
@TBConlineTZ
TBCOnline
2 years
Bashe aitwa Kilosa
Tweet media one
2
6
208
@TBConlineTZ
TBCOnline
5 months
Ukikumbuka kwamba mliowafunga, wanaenda kucheza na Mamelodi Sundowns. 😁
Tweet media one
9
3
215
@TBConlineTZ
TBCOnline
1 year
Kupotea njia ni wakati wa kwenda. Yanga wanatakata kwa Mkapa, wanaandika goli la pili dakika za mapema.
Tweet media one
7
7
211
@TBConlineTZ
TBCOnline
4 months
“Mchezo mzuri Yanga. Mmeonesha kiu na juhudi ya kuiletea heshima nchi yetu hadi kufikia hatua hii. Tunatarajia makubwa zaidi kutoka kwenu kwenye mashindano haya (Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika) msimu ujao. Tutaendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha."- Rais Samia
Tweet media one
2
8
213