Unite Profile Banner
Unite Profile
Unite

@ifafricaunite

3,475
Followers
806
Following
1,598
Media
18,096
Statuses

Passionate advocate for African unity and progress. Exploring geopolitics and striving for a stronger, united Africa.

Home
Joined July 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ifafricaunite
Unite
1 month
@AfricanHub_ Point to Note ✍️ "Every ministers must present their weekly achievement to the president"
18
65
855
@ifafricaunite
Unite
23 days
Tweet media one
11
19
298
@ifafricaunite
Unite
9 days
@mangekimambi Point to Note ✍️ "Jeshi la Tanzania linataka kuchukua nchi 2025 then wapitishe katiba mpya then uchaguzi ufanyike" Hii kitu wafanye kesho bana😂
34
14
374
@ifafricaunite
Unite
1 month
@millardayo Point to Note ✍️ "Kwa kushindwa kuzuia athari za mafuriko hayo mabaya". Angekuwepo bongo huyu asingebaki ata kiongozi mmoja😅
13
4
210
@ifafricaunite
Unite
21 days
@mangekimambi Mh, Hii Poist inaumiza hisia. Point to Note ✍️ "Nchi nzima ikiingia barabarani tarehe 23 polisi wenyewe watafurahi kimoyomoyo" "bila maandamano makubwa hakuna kitachokaaa kubadilika kwenye maisha" "bila maandamano nchi nzima mtajikuta mnakuwa wafanyabiashara na huku hakuna
5
17
173
@ifafricaunite
Unite
16 days
@mangekimambi Point to Note ✍️ "Mkisharuhusu mtu mmoja awe Mungu mtu mjue atakaemfata nae atajaribu kuwa Mungu mtu" Kazi ipo asee,
3
5
165
@ifafricaunite
Unite
27 days
@Roma_Mkatoliki Point to Note ✍️ "Utakuja kusikia siku kuna Askari kapigwa na wananchi wakidhani ni watekaji"
1
8
155
@ifafricaunite
Unite
11 days
@Roma_Mkatoliki @naythetrueboy Point to Note ✍️ "Tuna wasanii wachache sana kwenye taifa letu wenye ujasiri kama huu." TUKO TAYARI?
0
3
140
@ifafricaunite
Unite
3 months
3
52
128
@ifafricaunite
Unite
3 months
@MiriamMkanaka Gari la Rais, Magari ya Walinzi, Gari la Itifaki, Gari la Msaidizi wa Rais Kwa wasaidizi wa Rais kama vile washauri wa karibu. Gari la Mawasiliano, Gari la Huduma ya Afya, Magari ya Polisi. Kwa ujumla, idadi ya magari inaweza kuwa kati ya 10 hadi 20.
16
13
129
@ifafricaunite
Unite
16 days
@MariaSTsehai @tanpol Point to Note ✍️ "Kama anaamini kasingiziwa afungue kesi ya madai kama mtu binafsi"
1
7
123
@ifafricaunite
Unite
1 month
@TzGiza Na ungedhalilika kweli, maana mnajua mlichokifanya kwenye hii nchi
3
3
118
@ifafricaunite
Unite
4 months
@babalao__ Moja ya Movie ninayo ikubali kutoka kwa uyu Jamaa🤗
10
6
103
@ifafricaunite
Unite
27 days
@swahilitimes Mwanamke akishakuwa mchawi tu basi!!
12
3
102
@ifafricaunite
Unite
25 days
@mangekimambi Point to Note ✍️ "This woman is behind everything, she is very calculative"
0
5
103
@ifafricaunite
Unite
1 month
@netblocks @MariaSTsehai Point to Note ✍️ "Alleged opposition party plans to raid police stations where political prisoners might be held"
3
9
103
@ifafricaunite
Unite
15 days
@kuringechadema @Eng_Matarra @MariaSTsehai @HildaNewton21 @Ntobi_ @PMadeleka @Labella_Mafia95 Safi, mwananchi kilichobaki sahizi nk kulindana wenyewe maana hatujui yupi ni Polisi wa kweli
0
1
100
@ifafricaunite
Unite
16 days
@mangekimambi Point to Note ✍️ "Tarehe 23 September ndio siku ya kufanikisha hili".
3
2
99
@ifafricaunite
Unite
18 days
@Jambotv_ Point to Note ✍️ "Nchi hii ya Tanzania ina intelejensia kubwa...na tutafanya kila linalowezekana kuimarisha ulinzi wa maisha na uhai wa Watanzania" I guess Interigensia haiwezi sema wakina nani ni watekaji na waliotekwa wapo wapi hadi sasa licha ya baadhi ya simu za watekwa
2
5
99
@ifafricaunite
Unite
11 days
@mangekimambi Point to Note ✍️ "maandamno yawe kwa nchi nzima" "na wala sijali mambo ya chama ila najali demokrasia ya nchi" Na mimi nakuunga mkono humu humu
2
3
101
@ifafricaunite
Unite
20 days
@millardayo Natamani watanzania wajue kwanini wanaandamana, mtu ukishajua ni unakitaka huwezi yumbishwa au kuogopeshwa na mtu.
2
1
90
@ifafricaunite
Unite
22 days
@ExMayorUbungo Point to Note ✍️ "Polisi Mwendokasi hawatogusia kabisa tuhuma dhidi ya maafisa wake ACP Faustine Mafwele au Fatuma Kigondo" Hakika kama wanasoma huu ujumbe watakuwa washajijua wao ni aina gani ya polisi. Wajinga sana hawa.
1
5
91
@ifafricaunite
Unite
15 days
@IdrisSultan Kaka na mimi nimekuchora tatoo mgongoni😂 Asanteh
25
1
89
@ifafricaunite
Unite
3 months
@IAMartin_ Point to Note "Hakikisha umeniua wakati wa jaribio (lenu) lolote. Lasivyo mtarudi na roho zenu mkononi".
2
1
86
@ifafricaunite
Unite
14 days
@Sativa255 Point to Note ✍️ "ilikuaje mtu kutoka Rwanda mtusi ambaye siyo Mtanzania akashika nafasi nyeti hivi?"
6
2
88
@ifafricaunite
Unite
1 month
@ExMayorUbungo @MalisaGJ_ @fbuyobe Point to Note ✍️ "Wakati huu wa hatari hakuna askari wetu ambaye ataachwa peke yake" Yap, ni nyema mtembee kwa makundi asee au hata kama utoka, hakikisha kuna mtu anajua unakoelekea
3
4
86
@ifafricaunite
Unite
23 days
@Sativa255 Chapu huyu ngoja tumjazie Whatsay yake leo
0
1
85
@ifafricaunite
Unite
22 days
@mangekimambi Point to Note ✍️ "Samia hana mpango wa kuondoka baada ya kipindi chake cha pili na mwelekeo wake ni kurudisha utawala wa kidikteta, akianza na kurudisha Musiba na Sabaya, kwa maamuzi ya siri"
1
6
83
@ifafricaunite
Unite
20 days
@Sativa255 @tanpol Point to Note ✍️ "Asanteni Maaskofu nyie mmeyaona haya matukio kama UTEKAJI ila Namba moja anayaona kama Drama" 🙌
0
3
78
@ifafricaunite
Unite
3 months
🚨Mnajua Watu X hii system mlianzisha ki utani sana but kunako elekea imekuwa serious sana😅. Na tunako elekea itawaondolea vijana wengi woga wa kuongea kwasababu watakuwa wanajua wanabackup nyuma yao which is a good thing. Hii ni ushindi kwenu wana x na ni mwanzo mzuri pia🔥
Tweet media one
Tweet media two
7
24
74
@ifafricaunite
Unite
18 days
@mangekimambi Point to Note ✍️ "Samia anachotaka ni kwamba upinzani wakimbie, wamsusie nchi ili yeye aendelee na plan zake za kubadili katiba ili abaki madarakani" Hii inamaanisha katiba itabadilika lakini sio kama wanayotaka Wananchi?
0
2
73
@ifafricaunite
Unite
2 years
Tweet media one
3
3
70
@ifafricaunite
Unite
27 days
@ExMayorUbungo Point to Note ✍️ "na kutambua mwili na Kutoa heshima kwa ALI MOHAMED KIBAO". Pumzika kwa amani asee, Interest za watu wachache zimefanya utangulie mbele ya haki mapema. Siwezi sema mungu atawalipa hawa waliofanya hivi, naamini hili swala lipo chini ya uwezo wetu.
0
6
71
@ifafricaunite
Unite
1 month
@IAMartin_ @X @Support Point to Note ✍️ "Does this issue stem from your order or our local service provider’s?"
0
1
70
@ifafricaunite
Unite
1 month
@stairwayto3dom Point to Note ✍️ "If France cared about the putting a stop to abetting pedophilia Macron and his husband wouldn't be in power". Candace Owens
1
5
69
@ifafricaunite
Unite
2 months
Matokeo ya uchaguzi wa leo ndio yatatupa foundation ya uchaguzi mwakani. Kama kelele zilizopigwa na Wananchi kuwashawishi Mawakili watulete kiongozi tunae mtaka zikisikilizwa, itatuweka kwenye nafasi nzuri ya kujua wenda mwakani tutasikilizwa pia.
Tweet media one
1
10
69
@ifafricaunite
Unite
4 months
@charlieamou @Psychosins__ Mimi ni mtanzania lakin nasema your Coward
1
1
67
@ifafricaunite
Unite
1 month
@AfricanHub_ Point to Note ✍️ "We have been created equally but different to ‘supplement’ each other by being what the other is not" Wow i love this part
3
8
66
@ifafricaunite
Unite
2 months
@IAMartin_ Point to Note ✍️ "Posho ya siku iongezwe kutoka Sh300,000 hadi Sh700,000.....Makamu Mwenyekiti alikuwa Samia Suluhu Hassan wakati huo akiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano"
5
2
66
@ifafricaunite
Unite
15 days
@MariaSTsehai Yani nikifikiria ni mzee wa kanisa ndo nachoka kabjsa asee🙌😂
8
2
65
@ifafricaunite
Unite
15 days
@mangekimambi Mungu awe nasi siku hiyo
Tweet media one
0
7
66
@ifafricaunite
Unite
2 months
Team mwambukusi right now 😂
Tweet media one
6
5
64
@ifafricaunite
Unite
1 month
@AfricanHub_ I personally believe that Christianity and Islam have shared connections historically, but over time, different cultural and political influences have created divisions. It's interesting how some architectural styles in their buildings can resemble each other, reflecting this
19
3
64
@ifafricaunite
Unite
1 month
@Sativa255 @mdudechadematz Point to Note ✍️ "WANANCHI WAPO MATEKANI NA JESHI LA POLISI LINAHUSIKA KWENYE UTEKAJI WA SOKA NA WATU BAADHI" Hii haina ubishi na sasa Wananchi wamejua nani ni tatizo kwenye nchi hii
1
6
59
@ifafricaunite
Unite
2 months
So mwaka 2033, Sikukuu ya Eid na Christmas zita sherehekewa siku moja. Kwa mawazo yangu siku hiyo ningeweka mechi ya mpira wa miguu baina ya Muslims na Christians 😂
Tweet media one
Tweet media two
0
2
57
@ifafricaunite
Unite
12 days
@ze_mandevu Ukweli ni kwamba akili wanazo sema wakishakula vitengo, wanajitoa ufahamu
1
1
59
@ifafricaunite
Unite
16 days
@Sativa255 Point to Note ✍️ "Kwanini anajificha?"
1
0
56
@ifafricaunite
Unite
3 months
@stairwayto3dom Point to Note ✍️ "Also orders Israel to evacuate EVERY SINGLE ONE of its settlements in the occupied territories" Good news
4
11
56
@ifafricaunite
Unite
1 year
All I do is dream💤. What if colonization had never touched our shores? Where would we be today? What if, once again, the entire African continent united as it was, free from borders? If Africa unites tomorrow, or in 50 years, what could we achieve? #DreamingOfUnity #AfricaUnite
20
39
43
@ifafricaunite
Unite
6 months
@Sirjeff_D @Sirjeff_D Christianity ndio dini pekee duniani ambayo Tunaamini mungu anapigana kwa niaba yako (Maandiko yanatueleza hivyo), Dini nyigne Unapigana kwa niaba ya Mungu. So Wakristo sio Wajinga, Wanaimani na Mungu wao
9
1
53
@ifafricaunite
Unite
10 days
@Roma_Mkatoliki @naythetrueboy Point to Note ✍️ "Lakini mimi naamini nguvu ya uma ni nguvu ya Mungu"
0
0
63
@ifafricaunite
Unite
1 month
@Alex_Oloyede2 Since when have China and Russia had a conflict?
6
0
55
@ifafricaunite
Unite
15 days
@Sativa255 Point to Note ✍️ "Kiongozi huyu wa jeshi la polisi amekuwa akilalamikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kukandamiza haki za raia kwa mfano kuwatia ndani baadhi ya watu ambao ana ugomvi nao bila sababu za msingi" Kumbe nj mungu mtu hapa Tanzania
0
4
54
@ifafricaunite
Unite
2 months
@Jambotv_ Point to Note ✍️ "Kama watu wanagawana shilingi trilioni 1.54, je ni huduma ngapi za jamii hizo fedha zingeweza kutoa?" "Walishindwa kutoa msamaha kwa wagonjwa wa figo lakini wametoa msamaha wa kodi kwa waagizaji wa sukari zaidi ya Shilingi bilioni 580"
0
5
54
@ifafricaunite
Unite
17 days
@Ntobi_ Duuh, ukiwa upande wa pili wa Serikali kuna kila aina ya makosa.
0
2
53
@ifafricaunite
Unite
3 months
@fbuyobe Point Hii Apa "Pale Edgar akamuita bodaboda waliyemkuta (sio wa kijiweni) na akaondoka majira ya saa 1 na nusu usiku"
1
3
50
@ifafricaunite
Unite
11 months
The US just bombed Syria, claiming it was in "self-defense." The US has no right to be in Syria. When you illegally occupy another country, steal its resources, and constantly bomb it, it is not called self-defense, it is called terrorism. Sparta prague rema zino erigga okey
Tweet media one
42
30
38
@ifafricaunite
Unite
14 days
@Sativa255 Naona kabisa anasura ngumu za kishetani kama bana baba yake
2
0
51
@ifafricaunite
Unite
12 days
@Jambotv_ Point to Note ✍️ "kutanguliza masilahi ya nchi kabla ya masilahi binafsi" Unafiki
2
0
52
@ifafricaunite
Unite
17 days
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Point to Note ✍️ "You can’t kill and lead us!" Wow, i love this
0
2
51
@ifafricaunite
Unite
19 days
Kwaiyo mmekubaliana kwenye tukutuku walikuwa wangapi guyz😅
Tweet media one
28
13
51
@ifafricaunite
Unite
3 months
🚨SCANDAL KUBWA ZILIZOWAHI KUTOKEA TANZANIA. PART 02. RICHMOND SCANDAL Scandal lilianza Februari 2006 baada ya kipindi kirefu cha ukame nchini kupelekea kupungua kwa kiasi kikubwa uzalishaji wa umeme wa maji. Kampuni ya taifa ya kuzalisha umeme TANESCO ililazimika
3
21
51
@ifafricaunite
Unite
1 month
@IAMartin_ Point to Note ✍️ "tupambane nao kama wahalifu wengine tu"
0
0
50
@ifafricaunite
Unite
1 month
@IdrisSultan Point to Note ✍️ "Kila msanii anatakiwa kusimama mbele na kuonyesha msimamo wake kwenye masuala ya kisiasa".
2
2
50
@ifafricaunite
Unite
2 months
@MariaSTsehai Point to Note ✍️ "Lakini walipofika polisi hao walikanusha kuwakamata ingawa waliwakamata hadharani kukiwa na mashuhuda katika eneo hilo"
3
3
48
@ifafricaunite
Unite
2 months
@IAMartin_ Point to Note ✍️ "Baada ya Serikaki kutaifisha kiwanda, uzalishaji na ubora wa nyama iliyosindikwa ulipungua kwa kiasi kikubwa sana kwa kukosa utaalam na ufundi.?". Ukiona mradi umeshikiliw na serikali, ndio mwisho wake
5
4
48
@ifafricaunite
Unite
13 days
Ninawakumbusha vijana wenzangu, vijana ambao wanaona kinachoendelea nje ya nchi na wanalinganisha na hali ilivyo ndani ya nchi. Vijana ambao wana uwezo wa kuchambua haki iko wapi na uwonevu uko wapi. Vijana ambao wanatambua tatizo na wanayo majibu ya utatuzi, lakini wanaogopa
Tweet media one
3
19
46
@ifafricaunite
Unite
27 days
@BabaMwita Point to Note ✍️ "kwanini muswada wa sheria hii uliletwa Bungeni katikati ya mjadala wa DP WOLRD!"
1
5
45
@ifafricaunite
Unite
12 days
@IAMartin_ @ExMayorUbungo Huu ni ujinga tu wa kikundi cha watu wachache kumuumiza Boni yai. Kwasababu zipi za kiusalama ambazo wanazihofia?. Anyway am not expert kwenye hii issue but kwa akili zangu za kuzaliwa naona kuna njama hapa
1
3
47
@ifafricaunite
Unite
1 month
Tweet media one
0
0
46
@ifafricaunite
Unite
27 days
@Jambotv_ Point to Note ✍️ "Kibao alitekwa eneo la Kibo Complex, Tegeta Dar Es Salaam na watu wenye silaha ikiwemo bunduki kisha wakaondoka naye"
3
1
46
@ifafricaunite
Unite
2 months
@Jambotv_ Point to Note ✍️ "tahadhari kwa mamlaka mbalimbali zinazosimamia chaguzi hizo kufahamu kuwa chama hicho hakitakubali kushuhudia yaliyotokea kwenye chaguzi zilizopita"
3
4
46