#Naythetrueboy Profile Banner
#Naythetrueboy Profile
#Naythetrueboy

@naythetrueboy

23,390
Followers
1,088
Following
488
Media
1,629
Statuses

Tanzanian Musician |Rapper n singer|actor n writer. Contact:Naywamitego @gmail .com| click link To Stream Mshua Audio Ft Linah Sanga

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Happy Birthday To Me +1πŸŽ‚πŸŽ‚
Tweet media one
157
137
3K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
Mchango Wangu Kwa Ajili Ya Matibabu Ya Mshkaji Wetu Kijana Mwenzetu, Mpambanaji @Sativa255 Get well soon Mwanetu
Tweet media one
250
437
3K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
8 days
My people
90
661
3K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Nimepokea Barua Ya Wito Leo Asubuhi Kutoka baraza La Sanaa Tanzania #Basata Ikiniitaji Kufika Ofisi Za Basata Leo Saa Nne Asubuhi. Isue Ni Wimbo Wangu Wa #Amkeni Nimeshindwa Kufika Leo Coz Nipo Safarini, Mwanasheria Wangu Amesha fanya Mawasiliano Nao Kuomba Siku Nyingine.
197
319
3K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
#Amkeni Kumekucha
Tweet media one
388
294
3K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Jumatano Hii Tarehe 26 #RaisWaKitaa Nitakua Nahutubia Taifa. Tuna Dondosha Wimbo Wa Taifa #Amkeni Nisaidie Kuwa Taarifa Na Wengine Uko
Tweet media one
128
398
3K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
#Amkeni Wazee Wa Figisu Hawataki Wimbo Ukae Trending Ata Kidogo
Tweet media one
110
202
3K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
15 days
FreeSoka
Tweet media one
32
654
3K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
It’s My Birthday πŸ₯³ Thanks God For LifeπŸ™
Tweet media one
124
127
2K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
8 days
58
503
2K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
2 years
Nimepigwa Cm Toka Nyumbani Kwangu Nimeambiwa Kuna Police walifika Nyumbani Wananitafuta, Nafatilia Kujua Shida Ni Nini. #SautiYaWatu
94
136
2K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Nakosa Neno La Kumjibu My Brother Mkuu Wa Mkoa Wa Dar. But Niseme Tu Hakuna Cha UCHOCHEZI Nilicho Imba Kwenye Wimbo Wa #Amkeni Ni Vile Tu Hampendi Kuambiwa Ukweli
253
321
2K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
24 days
Ndugu zangu wa umu twitter na mitandao mingine na watanzania wote. please naomba tuendelee Kupaza Sauti kuhusu kijana mwenzetu @DEUSDEDITHSOKA Hatujui ana hali gani mpaka sasa alipo, nguvu ya kuidai serikali kutuambia alipo ndugu yetu iki pungua tuna mkosa kijana mwenzetu.
Tweet media one
42
876
2K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
Moyo wangu umepata Maumivu Makali Sanaaaa😭 Dah Pole Sana Mwanangu @Sativa255 Mungu Ni Mwema Umepatikana Japo Una Maumivu Makali. Get well soonπŸ™ Hawa Walio Kufanyia Iki Ipo Siku Watalipa Aya Maumivu Yako.
36
257
2K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
9 days
Muda unazidi Kwenda Hatujajua Alipo Soka Na Wenzake.Napata Maumivu kila nikiamka nikiangalia mtandaoni labda nitakuta taarifa nzuri za Vijana Wenzetu kupatikana lkn wapi😭 Ben Saa Nane Ilikua ivi ivi kama utani mpaka leo hatujui alipo.Please tusikubali litokee kwaSoka
Tweet media one
43
448
2K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Yani Mpaka Ibra Nae KanikataaπŸ˜‚
81
60
1K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
28 days
Mungu Akulinde na Kukupigania KamandaπŸ™
Tweet media one
24
306
1K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
21 days
Kuna kampeni ya kusafisha vijana wote wanao onekana ni tishio kwa serikali na Viongozi walio madarakani. Kwa aya yanayo tokea sasa huu ni mwanzo tu.! Hawato sikiliza yoyote, hii kampeni ni endelevu. Ni order na imepitishwa.! Tuna kazi kubwa ya kujilinda wenyewe na kutokomeza hili
42
317
1K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
30 days
Nchi Yenye Viongozi Wanaotaka Kila Kijana Awatukuze Wao, Aya Mambo Yama Mwisho. #FreeDeusdedithSoka
Tweet media one
28
556
1K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Hotuba Yetu Hii Apa #Amkeni Inapatikana Kwenye Digital Platform’s Zote
97
252
1K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
2 months
Rais ni Ccm Na ccm Ndo CHANZO Cha Maisha Magumu Ya Watanzania, Umasikini wa Watanzania, Ukosefu wa Ajira kwa vijana Watanzania, ufukara ulio kithiri kwa watanzania CHANZO Ni Ccm. So Nafuu ya Watanzania Ni Kuiondoa Serikali Ya Ccm Madarakani. Done βœ…
39
199
1K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Kama Siruhusiwi Kufanya Show Nchi Hii Nimeomba @BasataTanzania Watoe Barua Rasmi Ya Mimi Kuto Ruhusiwa Kufanya Show. Sio kihuni Ivi Unafika kwenye show unaambiwa basata wamesema huruhusiwi kufanya show 😑
90
223
1K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Watu Wa Kigoma Kwenye Swala La Fedha Sio Waku WaaminiπŸ˜‚ Ali Kiba Ni YangaπŸ’―βœ… Kapewa Hela Kaamia SimbaπŸ˜‚πŸ‘Ž Diamond Ni SimbaπŸ’―βœ… Kapewa Hela Kaamia YangaπŸ˜‚πŸ‘Ž Zitto Kabwe Alikua ChademaπŸ’―βœ… Kapewa Hela Na watawala Aanzishe Chama Cha Mchongo Act Yani Ccm B πŸ˜‚πŸ‘Ž
79
117
1K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Mtazamo Wako Ukoje Kwenye Mistari Hii.? Watatoboa Au Watarudi Kweli Kuomba Msaada Tanzania.?πŸ˜‚πŸƒ
74
117
1K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
11 days
DaahπŸ₯ΉπŸ˜­ Nakosa Chakuandika. Hatupo salama tena😭. Mungu akulaze mahara pemaπŸ™
Tweet media one
19
186
1K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 month
Natokea Mbeya Narudi Dar Njiani nime pishana na vifaru, magari ya maji washa washa, magari ya police mengi mno yakielekea Mbeya. Kwani Mbeya kuna vita au.?
43
138
963
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
10 months
Nchi Ina Maafa Siku Ya Tatu Sasa, Na Mkuu Wa Nchi Hayupo Nchiniβœ… Yupo Zake Dubaiiiiiiiiβœ… Cha Ajabu Helicopter Zipo Ila Baada Zitumike kuokoa Wahanga Eti Zina tumika Kubeba Viongozi Kwenda Kuona Wahangaβœ… Acha Iendelee Kunyesha Tuone Panapo Vuja.
40
142
949
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Swala La Bandari Naona Imeshindikana Kabisaaaaaa Kupoa πŸ˜‚. Zimetengenezwa Story Nyingi Iki Kuzima Hii Isue Naona Imekua Ngumu, Nadhani Hili Ni Swala Zito Kuliko Mazito Yaliyo Wahi Kutokea Kwenye Nchi Hii.
41
137
895
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Twitter Watu Ni Vigeu Vigeu sanaaaπŸ˜‚πŸ˜‚ Yani Leo Mmehamia Kwa Mwakinyo Wakati Mlikua MnakataaπŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ™ŒπŸ™Œ
26
37
833
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
8 months
Watu Wangu Nina Imani Mko Salama.! Nilisafiri Kidogo Nilikua Ughaibuni Nimeingia Jioni Hii Ndio Maana Ata Sikuweza Kutokea Kwenye Maanadamano Ya Amani Leo. But Sijarudi Mikono Mitupu Nimerudi Na Zawadi, Kesho Nitawapatia Zawadi Yenu. Saa Nne Asubuhi #WapiUko
31
94
783
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
8 months
WakenyaπŸ˜‚πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
Tweet media one
21
83
779
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
51
148
734
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
About Last Night Tunduma Was πŸ”₯
34
110
712
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
4 years
Ukonga Twende Na @Wakazi ✊
Tweet media one
6
37
691
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
Mtazamo Wangu Juu Hili. Rais Kugharamia matibabu ya kijana mwenzetu ni jambo jema sana, but Mimi naona kwa tulipo fikia Juu ya michango Kwa ajili ya ndugu yetu sio pabaya. Mimi Ningeomba Rais kama kweli apendezwi na aya matukio atoe tamko na kukemea haya mambo ya Watu Kutekwa
34
139
703
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
7 years
My People Haki huinua Taifa asanteni sana mliokuwa pamoja nami...! ✌🏽️✌🏽✌🏽
64
154
680
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Kwa Kilicho Tokea Kwa Tulio Ambiwa Wana Tuhumiwa Kwa Kesi Ya Uhaini Na IGP Na Na Viongozi Wengine.. Tunajua Kesi Ya Uhaini Haina Dhamana But Mpaka Sasa Watuhumiwa Wote Wapo Nje Kwa Dhamana, Hii Ina Tupa Taswila Gani Kwa Viongozi Wetu.?!
45
66
622
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
11 months
Acha Iendelee KunyeshaπŸ˜‚
28
110
621
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
23 days
Hatuna Bunge Wala Spika. Spika Kukataa Kijadili Swala La Ongezeko Kubwa La Watu Kutekwa Ni Kumaanisha Anawajua Watekaji Na Anawakingia kifua
Tweet media one
29
162
632
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 month
Yani Uvunje Nyumba Ya Mtu Alafu Usimlipe Fidia ili ujenge Barabara harafu unamwambia hayo ni Maendeleo. Fidia Yake asubiri utamlipa baadae. Sasa Uyu Mwananchi anaishije na familia yake kipindi chote icho mpaka serikali itakapo jisikia kumlipa.?!! Serikali isiyo fuata sheria.
100
161
629
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
11 months
All I Need Is One Day #Mamlaka Ipo Kwenye Digital Platform Zote Now
Tweet media one
15
62
608
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
11 days
Hatupo Salama. Matukio ya utekaji Yana Zidi kua mengi kadri siku zinavyo zidi kwenda. Tena yanafanyika kwa uwaΕΌni kiasi iki, nadhani mpaka sasa tunazidi kupata uhakika watekaji ni wakina nani.
Tweet media one
24
175
620
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Kuna Changamoto Tunapitia Ili Tiwe Imara Zaidi. #Amkeni
39
71
596
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Tanzania Kusema Ukweli Ni Matusi Kwa serikali
36
72
574
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
πŸ˜‚πŸ˜‚
Tweet media one
72
26
548
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Anna Tibaijuka Ni Ccm Alafu @zittokabwe Ni Upinzani πŸ˜‚πŸ˜‚ Nilishawai Kusema @zittokabwe Sio Mpinzani Na Kama Alikua Ni Zamani, Now Amekua Mfanya Biashara Wa Siasa Kupitia Serikali Iliyo Madarakani Yeye Na Chama ChakeπŸ’―βœ…
35
85
551
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Ukweli Ukipuuzwa, Una Tabia Ya Kulipiza Kisasi.. Na Kisasi Cha Ukweli Huwa Ni Zaidi Ya Hukumu Ya Jehanamu… #Amkeni
25
80
543
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Tweet media one
16
10
538
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
2 years
Karibu Tena Nyumbani My Brother @godbless_lema Tuendeleze Mapambano Ya Kupigania Haki Na Kuwasemea Watanzia Wenzetu. Mimi Kesho utanikuta Airpot KIA pale Kesho Mapema Tu.
Tweet media one
8
52
537
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Kama Nimeshawai Kusema Uyu Mama Anaupiga Mwingi Naomba MnisameheπŸ˜‚πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ. Kipindi Anaingia Kuongoza Familia Baada Ya Baba Kufariki Nilitoa Wimbo Unaitwa #Mama Ambao Ulifungiwa Na Basata Baada Ya Masaa Machache Kutoka……. Haya Nchi Kawapa Waarabu Jumla Jumla…
22
67
520
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
8 months
Watu Wa Mungu Eeh.!! #WapiUko Ngoma Iyo Apo Tayari Inapitikana Kwenye Digital Platform Zote. Na Mseme Hii Ni Nchi Gani Mnadhani.? Wimbo Upo YouTube Now Link On Bio ☝🏻
27
129
508
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
Na Kiongozi Alie Lelewa Kidini Hawezi kukaa kimya ikiwa wana Nchi anao waongoza wanatekwa, wanateswa, Na wanapotea.
Tweet media one
28
91
498
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
10 days
Kwa matukio aya nadhani waziri wa mambo ya ndani hatakiwi kuendelea kua kwenye ofisi za Umma Mpaka Sasa. Rais anatikiwa kuchukua hatua zenye kuonyesha hapendezwi na matukio aya ya watu kutekwa na Kuuwawa kama wanyama. Tofauti na apo basi huu ni mkakati wao wote.
16
106
491
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
6 months
Tweet media one
18
23
464
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
Mwana ana tabasamu tuπŸ’―
Tweet media one
22
55
466
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
7 months
Wadada Dar Siku Izi Hawanukii Tena PerfumeπŸ˜‚ Wananuka Bangi TuπŸ˜‚πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈYani Fashion Kubwa Kwa Sasa Kwa Dada Zetu Ni Kuvuta Bangi Yani Asilimia Kubwa Dar Wasichana Ni Wavuta Bangi. Na Ongezoko Linazidi Kwa Kasi Kubwa SanaaaπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
54
40
463
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Wanao hisi ninacho kifanya kwenye mziki wangu kuongelea shida za watanzania wasio na sauti ni kosa, mkitaka kuni tisha basi Naomba Mjue Mimi ni Msanii Sio Mwana Siasa,Hakuna mtu anae nituma kufanya ivyo ni Sehemu ya mziki wangu.
36
70
447
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
6 months
God’s great πŸ™
Tweet media one
5
43
444
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
Mungu Ndio Ameamua @Sativa255 Aendelee KuishiπŸ™. Nia Ya Watesi wake Ilikua Ni Kuondoa Uhai Wake. Kwa walio Karibu na Ndugu yetu kwasasa wawe makini na police ambao nasikia ndo wanampa Escort. Police sio wa Kuwaamini kwenye hili.
Tweet media one
8
62
440
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
6 months
πŸ˜‚πŸ˜‚ Baaasiiii Ndio MaanaπŸ˜‚πŸƒ
Tweet media one
39
31
429
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
20 days
Jeshi letu la Police inabidi liachane na Siasi lijikite kwenye kufanya kazi zake kwa weledi kwa ajili ya Watanzania wote. Habari kama hii ni kulidhalilisha jeshi la Police. Police wana Silaha kila kituo wana mafunzo ya kukabiliana na wahalifu, wanakuja kutoa taari kama hii real.!
Tweet media one
23
114
416
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Jana Nilifika Kwenye Ofisi Za Basata Kuitikia Wito Wa Kikao Kama Barua Yao Ilivyo Nitaka Kufika. But Acha Ajabu Hakukua Na Kikao Chochote Zaidi Nimepewa Barua Ya Notisi, Ambayo Imeo Orodhesha Makosa Ma 3 Ambayo Wao Wanasema Nimeyafanya Muputia wimbo Wangu Wa #Amkeni
39
79
393
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
7 years
Ni kweli Wapo na wataendelea tu kuwepo...! Asanteni sana.
33
75
387
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
10 months
Viongozi Wa Nchi Wanaogopa Nyimbo Zangu Kuliko Wapinzani Wao Ki SiasaπŸ˜‚πŸƒ
8
38
387
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
8 months
#WapiUko Kesho Asubuhi Saa Nne Inatoka.
21
70
360
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
πŸ˜‚πŸ˜‚
41
68
347
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Tweet media one
12
45
344
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Msi changanye Dini Na Siasa
Tweet media one
18
66
330
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
11 months
#Mamlaka by @Naytrueboytz is Available in all Digigital Platforms Now πŸ¦…πŸ”₯πŸ”₯🚨 Produced by @Chiby_beats Mix by @Touchsound
18
93
309
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Baada Ya Changamoto zilizo tokea last month kuzuiwa kufanya show na Basata. Hatimae jumamosi ya juzi nimefanikiwa Kufanya show yangu na Wana Mafinga wameonyesha upendo wa hali ya juu Kwa Rais Wao, Msemaji WaoπŸ™βœŠ #RaisWaKitaa Mafinga Thank you πŸ™ ✊
18
66
315
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
11 months
Wezi Wana Wajadili Wezi Wenzao.. Unadhani Mwizi Anaweza Kumhukumu Mwizi Mwenzie.? #Amkeni
18
57
308
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
Ni Mtandao unasumbua au Ndo wanataka kuzima mtandao.? Maana mitandao mingine ilo fresh tu ila huku X kama kuna hitirafu iviπŸ˜‚ au cm yangu kimeo.?πŸ˜‚
23
22
286
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Next Week Naachia Ngoma Mpya Get ready #Mamlaka
25
53
284
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
7 years
Kuna waliom-miss Jakaya .... #Wapo
25
62
260
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Muwe Na Jpili Njema Ndugu ZanguniπŸ™
16
22
249
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
@MwijakuBurton Wewe ni Taka Taka Tu.!! Mwiko Wangu Ni Kubishana Na Wanawake. Ungekua Mwanaume Mwenzangu Ningejaribu Ata Kidogo Kukupa Maneno Kadhaa Yakiume But DohπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
30
15
251
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Tweet media one
4
8
231
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
Hii serikali Ya Samia Itatufilisi VijanaπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ Hii tunafanyaje wana X
Tweet media one
20
33
224
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Ivi inakuaje police anakukamata hakwambii kosa lako alafu cha kwanza anachukua cm yako. Hii iko Sawa kweli.? Police Police Police wa Tz😑😑😑
19
29
218
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
2 months
Kuna ukweli Juu Ya Ili.?
Tweet media one
10
62
212
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
8 months
Vipi Hii Ishakukuta.?!
6
29
199
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
9 years
@JMakamba Ni kabisaa kwani uongo? We ndo mnunuzi mkuu. Bro kama ubunifu ni hela basi we Master wa Ubunifu... @JMakamba Ongeza ubunifu bro
32
97
184
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Marehemu Ametuachia Uozo Wa Hali Ya Juu.!! Mkataba Ulienda Bungeni Wakapiga Makofi Mengi Bila Kuchoka, Uku Wakijua Mkataba Ni Wa Kuuza Bandari Na Hauna Ukomo. Baada Ya Taharuki Kubwa Ndo Awa TenaπŸ˜³πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
Tweet media one
15
43
193
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 years
Tweet media one
16
11
180
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
11 months
5
36
186
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Happy Birthday To You My Bro @mdudechadematz Enjoy Ur Day Kamanda
Tweet media one
1
14
184
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
2 months
Yani Kuanzia Saa 3:30 Asubuhi tume simamishwa apa Tunduma kusubiri msafari Cjui wa Kiongozi gani upite na mpaka sasa tumeganda tu na hamna ata dalili ya huo msafara kupita tume ganda tu apa😑. Huu ni unyanyasaji kabisaaa
5
19
183
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
@Eric__Bernard @rollymsouth Naomba nikwambie kitu ambacho hujui Ndugu. Basata wamenifungulia kesi ya UCHOCHEZI Central police kupitia wimbo wangu wa #Amkeni Siku ya Juma 5 natakiwa ku report Central police kwenye ofisi ya Mkuu wa upelelezi saa Nne Asubuhi….
19
46
177
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
9 months
Happy New Year My PipoβœŠπŸ™
Tweet media one
5
15
183
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
14 days
Aya mambo yana mwisho
5
50
173
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tweet media one
5
3
169
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
9 months
Tweet media one
14
24
170
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
8 months
#WapiHuko Number 13 On Trending KenyaπŸ”₯πŸ™
Tweet media one
3
16
169
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
11 months
Nasubiri Kuona muenezi akifanya interview pale Mawingu πŸ˜‚πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
10
15
156
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
1 year
Watani Tulieni Ivyo Ivyo, Tunajua Mnatuombea Mabaya Ila Mtaumbuka SoonπŸ˜‚
Tweet media one
6
5
150
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
2 years
Hii Tabia Ya Kujipendekeza Imekithiri Sanaaaaa. Yani Mpaka Ina Boa Sasa. Tuzo Za Music Lakini Anatamkwa Raisi Mara Milioni Sasa.!! Wasanii Wanasahau Kuwashukuru Watu Wanao Fanya Nao Kazi Shukrani Zote Ni Kwa RaisiπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ˜³. Tume Haribikiwa Sanaaaa Hii Nchi.
14
18
144
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
11 months
Wanamaliza Biashara Yao Iliyo Waumiza Kichwa muda mrefu kwa kupingwa Vikali, na ili msiendelee Na Mambo Yasiwe Mengi Kuhusu Biashara Yao. Wakawapa kitu Cha kuwafanya Muwe Busy Nacho Wao Wafunge Biashara. Na Kweli Target Yao Iko Sawa Iko ivyoπŸ’―βœ… My ContryπŸ˜©πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
5
25
136
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
2 years
Wana NchiiiiiiiiiiiiiiiiπŸ”₯βœ…πŸ˜‚
4
4
138
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 years
Ugaidi Wa Laki 6πŸ˜‚πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ Hii Nchi Ina Vituko SanaaaπŸ˜‚πŸ˜‚
8
12
128
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
7 years
Eti kuvamiwa kwa Clouds nazo ni habari za chini ya Kapetiiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ #Wapo
8
16
135