kuringe sawere Timbiri Profile Banner
kuringe sawere Timbiri Profile
kuringe sawere Timbiri

@kuringechadema

3,101
Followers
155
Following
95
Media
14,194
Statuses

Kuringe .S. Timbiri is a political activist in Tanzania who focused on civil rights and good governance Tanzania 🇹🇿✊

Tanzania
Joined June 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 month
Kabla hatuja lala naomba wapenda haki wote tumpongeze shangazi @MariaSTsehai kwa kazi aliyoifanya ndani ya hili week kwakweli kapiga spana sana mpaka sasa tunalala huku tukiwa na furaha mungu akubariki sana maria ✊🙏 RETWEET AND LIKE
Tweet media one
77
312
1K
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
8 days
Gari aina ya corola saloon color nyeupe T159AZG inanifwatilia siku ya tatu sasa juzi walikuwa maeneo ya kazini kwangu jana wakaja tena na leo wamenifwata mpaka kanisani kutekwa kwa soka kumeibua hisia tofauti mioyon mwetu msifikiri ni rais ivyo kama mlivyo zoea tutagawana majengo
Tweet media one
77
294
2K
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
8 months
Nikiwa na kamanda wangu @mdudechadematz muda huu tukisubiri kuanza kwa maandamano ✌️✊
Tweet media one
12
73
570
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
3 months
Tutaendelea na mgomo huu mpaka serikali itupe tunachokitaka maana atuwezi ishi ndani ya taifa letu kama watumwa!
Tweet media one
Tweet media two
17
55
432
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
Ndugu yangu joackim vicent kimaro ameuawa na watu wasio julikana kwaiyo taharifa za uchunguzi zinaendelea kufanywa na jeshi la police mkoa wa dodoma ? Yaani waauwaji ndio wanao fanya uchunguzi @SuluhuSamia utawala wako umekuwa utawala wa kikatili sana!
Tweet media one
Tweet media two
25
74
425
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
8 days
“Tunasikitika kuwajulisha kuwa Mdahalo huu umekwama sababu Katibu Mkuu wa CCM yaani Dkt. Emmanuel Nchimbi hajatokea katika Mdahalo huu. John Mnyika wa CHADEMA amefika Ila amesema hatoshiriki sababu Katibu Mkuu wa CCM hayupo” nilijuwa tuu hili bumunda lazima lilaze na mshale 🤣
Tweet media one
39
82
412
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
14 days
Habari wapigania uhuru wenzangu kabla hatujalala tusisahau kuwaombea hawa wapiganaj wenzetu wa kiongozwa na shangaz @MariaSTsehai wametufuta tongotongo machoni mwetu tusingefika hapa tulipo na tusingejua lolote bila wao mungu awaweke sana 🙏 Gonga like & RETWEET ukiwa mpenda hak
Tweet media one
10
96
381
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
3 months
Ndio kazi tumeamua kuifanya sasa njee ya frem zetu mpaka akili iwashike hao Maccm !
19
44
371
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 month
Naitwa Kuringe Sawere Timbiri nawachukia polisi wa Tanzania!!!!!
Tweet media one
7
47
293
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
27 days
Kila panapo kucha kwangu huyu ni shujaa katika harakati za ukombozi ndani ya taifa hili mungu akupe maisha marefu sana shangazi @MariaSTsehai jicho lako linaona mbali sana 🌹🌹✊👏 RETWEET and LIKE mpaka hao wauni CCM waione🙏
Tweet media one
3
95
287
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
10 days
Mrudishe Soka na wenzake. Ninyi waoga! polisi au tufanye mshangao kidogo ili akili iwakae sawa sawa? #FreeSoka
Tweet media one
4
112
246
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
8 months
Hali ilivyo kwasasa hapa umoja wa mataifa UN🔥✌️✊
6
51
216
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
19 days
Hakuna kuogopa waovu. Tumezaliwa ili tufe, lakini kabla ya kufa tutaishi maisha yetu halisi, sio ya kinafiki na kuogopa wapuuzi wanaotoka jasho kutafuta roho za wenzao @SuluhuSamia nchi hii ni yetu sote @DEUSDEDITHSOKA & @DIONIZKIPANYA25 na wenzao wako wap! #FreeSoka #freekipany
Tweet media one
Tweet media two
5
123
192
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
0
0
168
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
0
0
138
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
12 days
Nchi hii Ukisema Ukweli wewe mhaini na Mchochezi na Ukisifia uongo wewe ni Mzalendo wa kweli,enewei tutaelewana tuu! Ewe mtanzania mpenda haki usipite post hii bila RETWEET & LIKE maana tumebaki wenyewe kama yatima tuzidi kupaza sauti kwa wana family wenzetu✊🙏 #FreeSoka
Tweet media one
3
61
158
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
6 months
Hii picha inanipa uchungu sana na inanipa ujasiri wa kuendeleza mapambano Respect kwa viongozi wetu wote wa kitaifa kazi iliyofanyika leo ni kubwa mno ❤️ Retweet & like iwafikie hao watawala wajuwe kwamba sasa wananchi wa tanzania wamedhamiria na wainataji mabadiliko 🫡
Tweet media one
6
25
125
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
26 days
Utawala wa samia suluhu hasani ni hatari kwa demokrasia ya taifa hili ‼
Tweet media one
6
26
117
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
10 days
R.I.P Samuel John Sitta Wewe ulikuwa Spika wa Bunge hawa wengine uliotuachia ni uhozo mtupu!
Tweet media one
5
21
111
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
29 days
Daima nipo tayari kupigania Uhuru wangu na wako pia, Mara tunapoweka Ahadi ya maisha yetu kwa Bendera na Jamhuri yetu, Ahadi hiyo ni Ahadi isiyoisha HAIJALISHI TUNA UMRI GANI Ukiwa mpenda haki na democracy ndani ya taifa hili usipite bila RETWEET AND LIKE ✊🙏
Tweet media one
1
40
109
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
Wale mlio kuja Airport kumpokea ndugu yetu satva naomba tuonane basi kama upo hapa na naomba uniambie umesimama upande upi! 🙏
Tweet media one
1
10
106
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
0
0
87
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
0
0
94
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
Mwana Mwana Sativa Tuko Hapa Kukupokea Haijalishi Muda Gani Utafika..🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
14
99
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 year
2
0
85
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
3 months
Nimepigiwa sm sasa hivi na mtu anayejitambulisha kuwa ni Asikari Ameniambia ninaitajika police changombe nikamuuliza shida nini akaniambia njoo utakuja kujua huku nimemwambia nimesharudi nyumbani nitakuja Asubui kanikatalia kaniambia naitajika leo mtakapo ona kmy naomben mpz saut
20
35
94
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
8 days
POPOTE ULIPO:Kama una pinga ubakaji wa democracy, una pinga uonevu watu kutekwa na kupotezwa na hali mbaya ya uchumi na ZAIDI kama una ipinga CCM basi wewe ni ndugu yetu wa damu japo hatuja zaliwa tumbo moja,, POPOTE ULIPO wewe ni COMRADE piga RETWEET & LIKE kwa heshima ✊🙏
Tweet media one
2
40
105
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
0
0
77
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 year
1
0
82
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
Huyu Innocent eliyas ambaye alichukuliwa na Asikari hapa kkoo mwaka jana mwz wa 12 majira ya saa 1 asubuhi mpaka leo hii atujui aliko aijapita miez 4 ndugu yangu Robart mushi akatekwa tena nakupotezwa uhai wake aijapita miez 2 @Sativa255 naye akatwekwa Tumechoka! #samiamustGo
Tweet media one
2
24
90
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 year
0
1
83
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
0
0
73
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
Mme muuwa ndugu yangu joackim kimaro mkaona aitoshi ili kuficha ushaidi mkamwagia tindikali mwilini kisha mkaenda kumtupa mnadani bayi, machozi haya tunayozidi kuya mwaga chini ya hii tawala kamwe aitomwacha mtu yeyote aliyeshiriki kumwaga damu mungu yupo Atalipa kwa haya!
0
15
83
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
13 days
Moyo wangu unavuja maumivu makali sana baada ya kusikiliza Maelezo ya Viongozi wangu ! Nilikuwa nalia kwa Uchungu!😭 Hakika Vijana ,Wanachama wote wa Chadema tusivunjike Moyo Giza Halijawah Kushinda Nuru. Kesho Imara Kuliko Jana Tukutane Mahakama kuu ya ya Tanzania kesho✊
Tweet media one
0
20
78
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
0
0
66
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
0
0
66
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 month
Mh Rais @SuluhuSamia haya machozi yanayoendelea kutolewa na watanzani siyo mazuri hata kidogo Mtawala  wa ulimwengu huu,” Shetani Ibilisi, ndiye chanzo kikuu cha mateso ya wanadamu, kwa sababu “ulimwengu mzima unakaa katika nguvu za yule mwovu.” (Yohana 12:31;
Tweet media one
Tweet media two
0
18
70
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 year
0
0
64
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
20 days
📍 TAARIFA KWA UMMA📍 Taarifa kwa umma kutoka makao makuu ya @ChademaTz kuhusu jeshi la polisi @tanpol kuwashikilia viongozi wa CHADEMA wilaya ya Temeke Mwenyekiti wa BAVICHA @DEUSDEDITHSOKA , katibu wa chama Jacob Mlay na mwanachama Frank Mbisa. #FreeSoka #FreeMlay #FreeMbisa
Tweet media one
Tweet media two
1
50
70
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
4 months
0
0
61
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
9 days
Week sasa sipati usingizi kabisa nikivuta picha ya ndugu zangu watanzania wenzangu wapigania haki wenzangu nakosa amani furaha moyo unabaki na maumivu makali sana tusiache kuomba na kuwaombea wawo warudi wakiwa salama ✊🙏 #freealljustice
Tweet media one
0
24
66
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
29 days
Ukijaribu kumnyamazisha mtu, unaweza kufanikiwa kweli? Unapofunga mdomo mmoja, wengine elfu hupata ujasiri. Mh Rais @SuluhuSamia jeshi lako la police linapata wapi ujasiri wa kukamata watu kiolela taifa limekosa mwelekeo chawa wanafanya taifa hili kuonekana kama getto ‼
Tweet media one
4
23
61
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
8 months
Sina chakusema zaidi ya Asanteni nyote kwa upendo wenu mlio uhonyesha siku ya leo❤️✌️✊ #vivachadema
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
9
60
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
0
0
57
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
0
0
55
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
6 months
Chuga stani imesimama naombeni ndugu zangu muwapuuze hao mboga mboga CCM wakwenye mitandao Thank you #Arusha ❤️✌️🫡
Tweet media one
0
11
57
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
Makosa ya mtandao kwa sheria zetu yanayo dhamana. Polisi, mnamkamata Kombo Mbwana Twaha, mnamficha kusikojulikana kwa siku 29. RPC Tanga na OCD Handeni wote walikana kumshikilia. Kwanini mnaendesha nchi yetu kama ghetto? RAIS anasema mnafanya kazi nzuri? IGP wambura jiuzulu!
Tweet media one
Tweet media two
2
25
57
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
@MiriamMkanaka Upendo mkubwa sana huu mungu amponye arudi ktk majukumu yake mapema tuna mwombea sana 🫶♥️🙏
1
3
59
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 month
justice has overcome injustice Thank you God 🙏
Tweet media one
0
9
57
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
4 months
0
0
55
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
7 months
0
0
50
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 year
0
0
49
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
0
0
50
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
Rest in peace brother joackim vicent kimaro umekufa kwa maumivu makali na ukatili mkubwa sana brother mungu ailaze roho yako mahali pema peponi pumzika kwa Amani blood💔😭😭
Tweet media one
Tweet media two
8
7
54
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
MTOTO AMEOKOTWA YUPO KITUO CHA POLISI MAGUFULI TERMINAL KWA ANAYE MJUWA MZAZI WAKE BASI AMFAHAMISHE! RETWEET TAFADHALI MPAKA IMFIKIE MUHUSIKA WA HUYU MTOTO 🙌
Tweet media one
Tweet media two
1
27
53
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
TAHARIFA MBAYA NIMEPOKEA MUDA HUU! ndugu yangu Jackim kimaro ambaye ni mfanya biashara pale soko kuu la majengo Dodoma amekutwa ameuwawa huko mnadani bayi dodoma, habari ya kifo chake nimepata kutoka kwa mdogo wangu ambaye yupo dodoma naye nimemuuliza chanzo nini 👇
17
16
52
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
8 months
0
0
50
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
4 months
0
0
47
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 year
0
0
46
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
2
0
51
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
8 days
Ya serikali wapenda haki naombeni msaada wenu wakuweza kumtambua mmiliki wa hili gari✊🙏 @fbuyobe @ExMayorUbungo @IAMartin_ @MariaSTsehai
3
8
68
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 year
0
0
39
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 year
0
0
43
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
@tayswiftgain Midnights
0
0
48
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
29 days
Nchi mbili tofauti kabisa? #OccupyMbeya #FreeOurYouth
Tweet media one
Tweet media two
1
23
49
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 year
0
0
45
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
3 months
Wale tuliopo dar maandamano tutaanzia kkoo kuelekea ikulu ! Retweet mpaka imfike kila mmoja wetu 🙏 #SamiaOndoaKodiKandamizi
Tweet media one
Tweet media two
2
15
47
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 months
@tayswiftgain Anti-Hero💙
0
0
47
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
0
0
40
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
2 years
@JamalPacman Kuna umri na wakati ukifika kuna watu inabidi uachane nao na utembee mwenyewe @kuringechuwatz ✍🏿
0
0
41
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
6 months
Ila MH. Lema ashawahi kusema kuwa kazi hii ni yalaana amkusikia #Tutaelewanatuu 🙏
Tweet media one
4
4
44
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
7 months
0
0
40
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
1 year
0
0
39
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
8 days
Ndugu zangu wapenda haki na wenye kutaka mabadiliko ndani ya taifa hili basi nasi tukamwonyeshe upendo shujaa @MariaSTsehai wetu huyu kule tiktok hiyo ndio IG account yake nyingine ni fake ogopa matapeli CCM🙏
0
14
47
@kuringechadema
kuringe sawere Timbiri
4 months
0
0
42