Martin • M •Charles
2 months
🚨 Updates 🚨🚨🚨
....Kesi inaendelea lakini Jaji haoneshi mwelekeo mzuri wa kesi hii ya akina soka na wenzake Kuna namna haki inapindishwa.....
Nimechelewa kidogo Kuna mtu anajaribu kutaka kuingilia account yangu.
Anatumia Google Pixel 7 Pro na hayuko mbali na mahakama....