Nyie 🌚 mnatumia nn kuhesabu hela
Basi mm hata 50k tu nataka niwe nahesabu kwa mashine 😂
Aya BILL COUNTER ZIPO SHOP
Zinatambua hela feki
Bei 350,000 Tsh✅
☎️call /whatsapp 0754750875
Una Ofisi na unakosa simu ya mezani boss 😅 you are not serious
Simu za mezani zipo dukani brand ni HUAWEI
Bei ni 70,000 Tsh ✅
📍;Tupo K/koo mtaa wa msimbazi na masasi opposite na Sandaland jengo jipya pandisha ngazi duka No.D27🔥
☎️Call/whatsapp 0754750875
New Tablet🔥🔥
•ATOUCH KT3
•V190,000
•Double line
•Gb 64 Ram 4
•Kioo inch 7
•Android 10.0
•Camera front 2.0mp Back 8.0
Bei 190,000Tsh✅
📍k/koo aggrey &likoma karibu na valentino hotel
☎️call/whatsapp 0754750875
KT10 hii tablets ni nzuri mno ina zawadi nyingi sana 😅
Ina 256gb/6ram
Display inch 10
Battery 6000mAh
Ina tumia sim card na WIFI
Ina games na apps tayari lakini pia ina playstore unaweza kudownload new apps
Bei 265,000Tsh✅
📍;K/koo msimbazi na masasi
☎️ call ;0754750875
Zawadi hizi apa kwa watoto waliofanya vizuri shuleni 😅 kama uliahidi kumpa mtoto zawadi basi hii apa
Tablets B-2050
Ina tumia simcard na Wifi , ina 128gb/4ram, display inch 10
BEI 265,000 Tsh✅
☎️call/whatsapp 0754750875
@MkulimaGauteng
😫😫daaa kweli sio kila anaefungwa ana makosa ... amuombe msamaha kaka wa watu na yeye pia kwa Mungu wake na apambane kaka wa watu atoke huko
KWANINI MAOMBI YETU HAYAJIBIWI?
UZI/THREAD🧵
~Bwana Yesu asifiwe, najua wengi wetu tumekumbana na hali hii ya kuomba lakini maombi yetu yasijibiwe.
~Leo nitaandika sababu 10 za kwanini tunapoomba wakati mwingine maombi yetu hayajibiwi ili tujifunze kupitia hizo na tuombe...👇🏾
Yes Simu za mezani bado zipo boss 🔥
Brand HUAWEI
Zinatumia line ya mtandao wowote ,unaweza kutuma na kupokea message ,inasauti kubwa ,inatumika ofisini hata nyumbani vijijini na mjini😌
Bei 70,000 Tsh✅
☎️Call/whatsapp 0754750875
Zinazotumia WIFI 140,000Tsh✅
32gb+3ram
Zinazotumia SIMcard 64gb+4ram 200,000Tsh✅
32gb+4ram 180,000Tsh✅
Kwa maelezo zaidi call ☎️0754750875
📍K/koo mtaa wa Aggrey &likoma karibu na Valentino hotel
Uzi : NAMNA YA KUWAFUNDISHA NIDHAMU WATOTO au KIJANA WAKO🙄
Mzazi au mlezi zingatia haya yatakusaidia katika kuwalea wanao...👇
1️⃣ Unapoingia nyumbani wasalimie watoto wako au hata kuwakumbatia. Hii inapaswa kusaidia kukuza hisia zao za upendo na kujithamini.
Shuka Nayo...👇
K35 tablets ni nzuri sana kwa mtoto inatumia sim card na WIFI , kioo inch 7 ina 256gb/6ram lkn pia ina games na cartoons na youtube za watoto
Bei ni 190,000
📍;K/koo mtaa wa msimbazi na masasi opp na sandaland jengo jipya pandisha ngazi duka NO.D27🔥
☎️Call/Whatsapp 0754750875
Mlee mtoto kisasa 😅 hizi tablets sio lazima mtoto awe wa kishua
Lenosed A76 zipo dukani
Ina 128gb/4ram
Bei 189,000 Tsh✅
📍;K/Koo msimbazi na masasi opposite na sandaland jengo jipya pandisha ngazi duka No.D27🔥
☎️Call/whatsapp 0754750875
Zinazotumia WIFI 140,000Tsh✅
32gb+3ram
Zinazotumia SIMcard 64gb+4ram 200,000Tsh✅
32gb+4ram 180,000Tsh✅
Kwa maelezo zaidi call ☎️0754750875
📍K/koo mtaa wa Aggrey &likoma karibu na Valentino hotel
Maana kwaajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. Isaya 9:6 ....Merry Christmas 🎄 to everyone
Kama tulivyokubaliana Ofisi ili iwe ofisi lazima iwe na simu ya mezani si ndio🌚
New stock🔥 Simu za mezani tunauza jumla na reja reja
Uzuri wa hii simu inatumika popote sio tu ofisini hata nyumbani ,vijijini na mjini
Inatumia line ya mtandao wowote
☎️call /whatsap 0754750875
🙏binafsi nimeelewa vizuri sana na pia ukisoma 1 wakorintho 8:8 biblia inasema " Lakini chakula hakituhudhurishi mbele za Mungu , maana tusipokula hatupunguziwi kitu wala tukila hatuongezewi kitu "
JE BIBLIA Imeharamisha baadhi ya VYAKULA/NYAMA?
#UZI
🧵
~Bwana Yesu Kristo asifiwe watu wa Mungu. Kabla ya yote naomba ieleweke hapa ni kwa mujibu wa Biblia na si vinginevyo.
~Kumekuwa na mjadala mkubwa sana duniani kwa miaka mingi kuhusu uhalali wa kula nyama kama ya...👇🏾
Nani anapata tatizo kama langu nimeweka vocha naunga kifurushi cha chuo kinagoma najaribu vifurushi vingn vinagoma kwann
@VodacomTanzania
naambiwa sina salio la kutosha ..inakuwaje apo
Aya aya wazazi likizo zinakaribia msianze kugombania simu wewe na mtoto na usiruhusu mtoto akavunja simu yako
Tuna tablets nzuri sana kwaajili ya mwanao hii inaitwa K96 inatumia WIFI, anatumia mtoto wa umri kuanzia 2-9 bei ni 140,000 Tsh✅
☎️call/whatsapp 0754750875
‘UALIMU NA KIFO CHA NDOTO ZA VIJANA WENGI’
“walimu ndio wafanyakazi wanafanya kazi katika mazingira mengi ambayo kuna wakati hakuna watumishi wa umma wanaokuwa hapo Zaidi ya wao”
Nilibahatika kusoma certificate ya ualimu 2008-2010 na kupata post ya kwenda kufanya kazi
UZI👇👇👇
@bbcswahili
Hapa msiongelee upinzani hili sio anguko kwa Upinzani ni Anguko la Demokrasia .. Hivyo mseme haya majimbo yaliyosalia yanaweza kukomboa Demokrasia ?? Ivyoo yaan
Tablets nzuri sana hii B2050
Anatumia mtoto wa umri kuanzia miaka 4 mpaka 15 inatumia simcard &WIFI, ina apps na games na cartoons tayari lakini pia ina playstore unaweza download new things
Ina storage 256gb/6ram
Bei 270,000Tsh✅
☎️Call/whatsapp 0754750875
Mtoto ana enjoy na tablets yake 🤗
Mtoto anaweza kujifunza kusoma ,kuandika na hata kuhesabu na namna ya kutamka maneno
Tablets kama hii ipo dukani inatumia line na WIFI
Ina 64gb/4ram
Bei 180,000Tsh✅
☎️call/Whatsapp 0754750875
Wazazi wenzangu bado nipo na nyie 😌
Naomba tuwape watoto zawadi nzuri 🤗
B68 hii ni moja kati ya tablets pendwa sana
Kwasababu ina sifa zifuatazo
Inatumia line na WIFI, ina 32gb/3ram anatumia mtoto wa umri kuanzia 3yrs mpaka 12yrs
Bei 179,000 Tsh✅
☎️Call 0754750875
@Octavianlasway
@KakuruF
Hongera kwa kutokukataa tamaa lkn kwann hizo app za mwanzo usiziache kama hio ya kwanza ilikuwa after 5 years ungeweza kusubiri huku ukifanya mengine
New stock 🔥 Hii tablets ni nzuri sana
Ina tumia sim card na ina storage kubwa sana 256gb/4 ram , displaiy inch 7
Hii ina mfaa kabisa mtoto wako
Bei 199,500 ✅
📍;K/koo msimbazi na masasi opposite na sandaland jengo jipya pandisha ngazi duka No.D27🔥
☎️Call /Whatsapp 0754750875
[UZI] - MAMBO YA KUZINGATIA KWA MUUZAJI NA MNUNUZI WA SIMU
Kwa miaka ya hivi karibuni soko la Smartphone limekua kwa kasi sana. Yameibuka makampuni mengi yanayozalisha hizi simu,
Kampuni zimefungua matawi mbalimbali duniani pia kuna wauzaji binafsi. 👇
#ElimikaWikiendi
@hancymachemba
Yaan kufuga kuna vitu vingi sana, hii ni ufugaji wa hapa kwenye simu ila ukifanya practice ni ngumu sana hao kuku watakula nn kipindi chote hicho na kuna magonjwa utawahudumiaje ? Coz ukiuza hiyo tecno hela bado haitatosha
@GillsaInt
@MarekaMalili
Na yeye mtoto kwanini akawa na tamaa ivoo mpk kumkosea baba ake akati angeweza kupambana atafute vyake na yeye .... amuombe msamaha baba yake waishi kwa upendo maana baba katoa maneno makali sana 👐
Mimi kama Daktari jukumu langu la kwanza kwa mujibu wa kiapo ni kukinga Afya za watu kuwahuduma pale wanapougua na Ku raise awareness juu ya jambo la lolote la kiafya linalohitaji kuchuliwa hatua i did my part on building the nation
In case of reference view attached video
Kid’s tablets A96
•170,000Tsh✅
•Tablet nzuri sana kwa mtoto
•Inatumia wifi tu
•Ina Gb 32 Ram 3
•Ina michezo ya watoto kabisa ishawekwa
•Kioo inc 7
•Android 8.1
•3000mAh
📍K/koo mtaa wa Aggrey&Likoma nearby VALENTINO hotel
☎️call/WhatsApp 0754750875
@MpondaSabinus
Hakuna mtu msafi duniani hapa ... hiyo kumbe ni historia watu wanabadilika unatakiwa kuelewa hilo and kingine unatakiwa kujiuliza kipindi ambacho mmekuwa pamoja kuna tabia yoyote mbaya kakuonyesha ?