Nimepanda daladala na Pro Assad (former CAG) leo, mzee wa watu kavaa kanzu, kofia yake na begi mgongoni kutokea makumbusho to mjini. Daladala nililiona kama ndege vile.
Mzee wa watu humble sana, pamoja na cheo chake alichokuwa nacho na elimu ila anaishi simple tu.
THREAD
Maswali ya Kwenye INTERVIEW ya Mitego
1. TELL US ABOUT YOURSELF (Hizi Info Zipo kwenye CV Yako sema anataka kukuskia Kutoka kwako)
Apa Ukisema tu jina lako na Umesoma wapi Ni Tatizo
Jibu: A. Your Name , B. Your Place Information ( Sio Lazima saana), C. Edu Back Ground
Foleni ya NIDA kupata kitambulisho unaweza Kutana na soulmate wako, Mkafunga ndoa, Mkapata na watoto kabisa na ile watoto wanaingia darasa la saba tu... Ndo unamsikia muhudumu "Baba Nanilii, Kadi yako tayari" 😒
I know it's too early for this but nimeona kuna
1. STANDARD CV
2. SKILL-BASED CV
3. PERFORMANCE BASED CV
4. PERSONAL BASED CV
Meaning:
CV Yako inatakiwa ibadilike kutokana na Application ili umuAttract muajiri.
Kosa lingine kubwa tunafanya ni kutumia the same CV over and over.
BELIEVE ME, ITS HARD TO BE RECOGNIZED IN HERE ( TWITTER).
-Stay On Your LANE kid.
-Usiwakere Watu/ Kuwa Friendly.
-Interact.
-Dont be offensive and Don't Offend.
- And Just Be YOU, UsiFake
Tweet inakufaa CHANGIA, ipo nje ya Uwezo wako ACHANA NAYO, usichangie kila kitu.Just like
Watu wa Zanzibar wanajiamini kiasi cha kwamba akikuona umesimama pale bandarini Dar kutaka kupanda boat na hakujui ni atakuja na kukuambia "A.Alaykum, Nina mzigo wangu naomba uende nao ukampe Makame na namba yake hio apo, Bye"
Fanya ivo pale ubungo 😩🤦🏾♂️, Hutoamini macho yako.
Imefika point pia hata kumtafutia mdogo ako Field mpaka uwe na connection.
Makampuni venye wanareject barua za wanafunzi its sickening. Hawana muda wa kuwatrain it shows. Wanafunzi wanapata tabu and kinachotokea ni kuwa hata wakipata hawafanyii walichosomea wanawekwa Reception.🤦🏾♂️
Boarding kuna wale jamaa Prep ikiisha saa 4 ukasema ngojea ukalale kidogo uamke baadae Unamuacha anasoma.
Unaamka saa 7 unamkuta yupo,
Saa 9 unasema ukalale tena,Unamuacha Class yaani hana habari.
Unaamka saa 12 upige msuli b4 parade ndo Unapishana nae anarudi dom kuoga 😂🙌🏾
Motiveshen spika be like
"Biashara: MBUZI
Mtaji: 70k
Chinja afu uza Nyama kwa 65k
Maini 5k
Utumbo, kongoro na kichwa kwa ajili ya supu 20k
Ngozi kwa ajili ya viatu 30k
Mlio wa mbuzi uza kama ringtone 10K
Wakiwa mbuzi wa5 unazalisha 300k kwa siku, 9M kwa mwezi, 108M kwa mwaka."
Tulienda Interview, and one the candidate alifanikiwa kumuimpress Boss kwa kumsalimia kwa lugha yake (Boss alikua mtu wa Asia) and position Ilikua moja. That's it ... Mpaka leo mwamba yupo kazini 😊.
Ivi hamna developer atuletee System au App ya kufanya booking za maBus ya mikoani!?
Unalipia nauli kwa mobile Money, unaletewa code, unachagua seat yako, una-confirm, unatunza namba zako kesho unaenda asubuhi kwenye bus na electronic-ticket WanaKupa real ticket, voila... No?
Nahisi hamjakutaana na zile familia dogo anapata A ya 70 afu Kawa wa 3 kwa kufungana marks afu anarudi kwako mzee anamwambia "A YA 70? BADO SANA... NATAKA NEXT TIME UJE NA "A" YA 100 au 90 PUNGUZA MCHEZO DARASANI"
Mwanafunzi wa primary anakaa Goba na anasoma Olympio-upanga... Anapanda daladala mbili. Saa 12 kamili yupo kwenye daladala la posta. Mind you, hapo kasimama na ana bonge la begi. Like hamna shule za msingi kote huko.
Anaamka na kulala saa ngapi ilo ni swali la siku nyengine.
Kugombania magari ya mwisho wa jiji apa dar (Mbagala, Bunju, Gongo la Mboto na Mbezi) inatakiwa iingie kwenye Episode ya 1000 WAYS TO DIE 😩, Pia itumike kama CV ya kuomba nafasi jeshini bila kusahau International Recognition for Long Standing Transit-Struggle Award 😩
Mnapost video zenye sauti ya Porn just kuprove a point kuwa umewakomesha watu... Daah, we need to grow up mazee.
Wengine inawakuta kwenye mazingira ya watu wanao waheshimu au wanaheshimika inawashusha vyeo kabisa. Imagine mtu yupo na familia. Sio poa
Narudia SIO POA 😤🤦🏾♂️
Dangote alinunua malori 651 akayashusha pale Mtwara.. Ukitaka kujua maisha yetu ni magumu hata tukiambiwa tununue hayo Malori 651 kwa Sh 15,000/- kwa kila moja hatuwezi..." INAUMA SANA
Yaani kuna watu naamini hata wakistuliwa muda huu "KWENDA MBINGUNI BUKU 5" tunaweza tukawakosa
I prefer kusoma saa kwa mfumo wa masaa 24... Why? Sababu nilishawahi kwenda kwenye Interview Saa 3 Asubuhi kumbe ni saa 9 😩
Masaa 6 nikawa pale, nikazoeana mpaka na walinzi na receptionist. Na Kazi nikakosa 😩
Sijui tuite ni uungwana ama nini, Baba wa Marehemu Swalha kaenda kwenye Msiba wa Marehemu Aliyekuwa mume wa mtoto wake kwa ajili ya kutoa pole. Tunahitaji uvumilivu kama huo maana wengine wangeweka uhasama.
Mnisamehe kwa hili lakini... Nashangaa sana kusikia mtu alieibiwa let's say pochi ndani kuna ATM, Kadi ya NIDA,ya Kura, ya NHIF kwa wakati mmoja kwenye mizunguko ya kawaida.
Kadi kama haitumiki iweke tu ndani. Usawa huu kuRe-new kitu ni kama unaApply kupata Figo mpya.
MAKONDA: WANAUME WALIOAJIRIWA WAKATWE 40% YA MISHAHARA YAO WAPEWE WAKE ZAO
- RC Makonda amesema, anatarajia kupeleka muswada binafsi Bungeni ili itungwe Sheria itakayomtaka Mwanaume mfanyakazi kukatwa 40% kwa ajili ya Mkewe ambaye hana kazi
Soma
#JFLeo
Nimesoma Thread Moja Leo Nikaona Nikazie Point Enyi Mlipo Chuo Au Mliomaliza Jifunzeni MICROSOFT EXCEL I swear Hutajutia.
Excel ndo Ugonjwa Mkubwa Maofisini na Ndo The best Office Productivity tool.
Ni Ngumu Mno Ila Trust Me Inarahisisha Maisha Kwenye Report MbaliMbali ukiiweza.
Meeen, am speechless 🙏🏾.
A simple thread made a difference 😊
Dear Graduates, Msikate tamaa. Still naamini kazi zipo out there.😊
PS: Nlimuomba nipost just kuwapa moyo wengine ambao wanaamini hawawezi kufanikisha ndoto zao kutokana na kukatishwa tamaa.
Jibu:
"I like to settle in with an employer and build my career here, also grow with my employment and I look forward to opportunities within a company.
grow professionally. I want to be viewed as a top performer, an expert who is a key contributor inside the organization."
Leo ndo nimeamini tunatumia like 1% ya features za Ms Office zoote. Kazi zetu ni Kutype, KuArrange na kuPrint Baasi. Imagine chuo mtu (including me) alikuwa anaenda kutengenezewa TABLE OF CONTENT kwa hela... i wanna go back and slap myself.😩
Lastly.
"With me GettingThis Position, I will Help To Solve A, B, C, D and E Which are very Vital in Improving any IT/Marketing/HR/Account Field. thank you.
FANYA RESEARCH YA KAMPUNI HUSIKA
PRACTICE VYA KUTOSHA
Majibu Unaweza Weka kivyako Ila usitokee Nje Ya Mada.
Asanteni😊
January ni ngumu sana... Imagine nimekuta kitaa jamaa wamesonga na wanakula ugali mkubwa kwenye sinia afu wanatumia ugali mwengine mdogo kwenye bakuli kama mboga😩...
Ok am done 😩🙌🏾.
Nimekaa na Blaza mmoja ivi wa kabila fulani ivi, ndani ya dk 20 nimeshajua anamiliki nyumba ngapi, magari, mabanda ya kuku na ng'ombe, ana mipango gani ndani ya mwaka huu na amekula nini leo.😊
NOTE:
Haongei na mimi, Anapiga story na stranger ambaye kakutana nae hapa pia. 😁
Soko la Karume unaweza kuta kiatu kizuri wakakuambia bei ni 45k, Kwa bei hio unaweza bargain na kusema utampa 25K wakalalamika ila mwishoni wakakubali, ukajiona umempatia au umemkomoa muuzaji kumbe still umepigwa 🤣.
Not realising the actual price is 10k.
#BongoDarEsSalaam
Pigo
#1
ni kwenda Interview ukitokea home (jobless)
# 2 Kwenye kusubiri Interview unaona wadau wana Experience ya kutosha huyu miaka 5 huyu 3 ukijiangalia huna Experience,
# 3 unaingia ndani unakutana na Panel (watu kama 10)
Mind you, kooote huko umeshapanic.
Unajikuta unafail.
Kwahio tunakubaliana Kuwa Distance elekezi ya relationship ili iQualify Kuwa "Long Distance" ambayo itakayo work-out mwisho ni kibaha si ndio? Zaidi ya hapo ni kudanganyana tu as bora uwe single?
isokee Isokeeeeee😩
"Mtu wangu wa nguvu, nakusogezea sururu ya kwanza aliyotumia Bilionea Laizer miaka 17 iliyopita wakati likichimbwa shimo lililopatika Tanzanite kubwa."
Ushakutana na External Auditor ana begi na shati lake lake la light blue limeandikwa CPA(T), movie inaanza amenunaaa. Full kuagiza agiza mafaili na list ya vitu anataka. Wamekaa kama 10 ndani ila hata story hawapigi. Mtajua hamjui.
*In Primary School
Absolutely Nobody:
Not a single Soul:
A kid: "Usiingie kile choo cha mwisho, Tumepita jana tukasikia harufu ya pilau, afu kuna mtu kaona kwato"
😩🤦🏾♂️
Mimi naamini JERRY SLAA alifanya mambo makubwa sana alipokua meya kuliko mkuu wa mkoa kwa wakazi wa Dar... Na Chidi benz naye kapigilia msumari juu duties & Responsibilities za mkuu.
Dar ni Jiji kubwa kuna vitu vingi sana vya kuboresha kuliko kudeal na HARMONIZE😒.
Kuna ofisi zina group mbili za WhatsApp, Group moja yupo yule boss mnoko na group lingine linakuwa social. Boss anaamini ofisi ina group moja tu la mawasiliano. Ila akosekanagi yule kilaza mmoja ambaye lazima akosee text siku moja na kuwachomesha🤦🏾♂️.
Nilishawahi Fanya Interview organization 1 ivi 2017. Interview 2 nikapita ya 3 Final nikakutana na County Representative.
Nikapata moyo sana, Nikajua Ajira hii hapa.
Ikapita miezi kimyaa.
Only kumuuliza secretary akaniambia "Amechukuliwa dada mmoja ivi hata interview hakufanya"
Ushawahi kurukwa ofisini kwa order ambayo Boss au co-worker alikupa Kwa mdomo miezi au mwaka nyuma? And akasema hakumbuki na umeshaitekeleza? Tell us your story.
Ila nakushauri TUMIA EMAIL kwenye kila request. Mtu akikutuma Muombe akuarifu Kwa Mail. You will thank me later 😊.
Jamaa anapishana na NOAH yake chalinze akiwa kwenye bus na yenyewe ikiwa imebeba Kiroba cha mahindi na watu na aliipeleka kwa fundi ikatengenezwe ilala. Kumpigia fundi kumuuliza mbona gari yake kaiona chalinze fundi akasema "Tunaifanyia testing mkuu" 😂😂😂
STRESS INTERVIEW.
What is it?
Ni ile Interview mwajiri anahakikisha amefika on your nerves just kukupima level yako ya kuhandle mikiki mikiki.
ANAWEZA;
-Akakusema,
- Akakukatisha ukiongea, au kila ukisema anakupinga.
Mfano Sasa.
My Name is Bennet, I live in Dar, i am A degree Holder in Bla bla . I have One Year Experience in Coding. I have Helped on Creating Software in Company x For 3 Years which Helped to Solve Bla bla Bla (Apa Ndo Pa Kujipa Sifa, But be careful zisizidi)& I love reading.
Suala la Waandishi wa habari kuhoji wafiwa wakiwa wanalia it has to stop. Mfiwa mmoja anahojiwa na waandishi kama 10 tofauti akielezea the same story + sobbing.
Perfume zetu wengine za kupima kule k/koo au za "Syria Exhibition" ikizdii saaana 35K.
Na ukipuliza ukapanda boda boda au ukapigwa na feni: Kosaaaa kubwa sana
Mlangoni sometimes hazifiki inabidi tuzibebe kwenye begi.
The Struggle tho 😩.
Those days likizo tukitoka Boarding School ilikua inatumika ipasavyo kuExchange P.O BOX za shule kwa new female friends... It was fun Waiting for Barua yako everyweek 😂.
Wapo waliokuwa wanatumiwa barua zaidi ya 4 kila wiki
Look at us now? We can't even get a text back😂
D. Job Experience
hapa Sasa Ndo Ushuke Point zote na Achievement zako Na ulisaidiaje Kazi na Kufanikisha Malengo Kazi kwenye Kampuni
5. Hobbies (Zenye manufaa, Kumbuka UnaWaAttract Wakuchukue)
Note:
-Nenda Straight Usilete Prorojo
Maana Maneno yataisha
-Usijisifu saana