Boniface Chengula Profile Banner
Boniface Chengula Profile
Boniface Chengula

@bonichengula

24,223
Followers
4,791
Following
1,508
Media
12,044
Statuses

Popular in iPhone & Samsung product Reseller on Twitter | ☎️0752-992667 | 📍Mwenge ITV | Backup Account @bohny_chengula

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@bonichengula
Boniface Chengula
4 months
Nyie…. Bongo na Lamborghini🤯
Tweet media one
183
106
3K
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
Huyo Bwana Mdogo Kheri James amejifanya kujirudi baada ya kutuma SMS ya Pole na PONGEZI kwa MAMA bila kujibiwa lakin wengine wamejibiwa kawaida akatuma Tena MAMA kakaa kimya. Msaidizi wake kamweleza kuwa MAMA hakupenda Maneno yako siku za Nyuma. MAMA SISI TUNAKUPENDA
84
186
3K
@bonichengula
Boniface Chengula
26 days
Unakuta mtu ako na mtaji wa 10m anataka umshauri kuingia kwenye biashara fulani. Ushauri wangu. Anzia kwenye uwinga, anzia kwenye kua mtu wa dukani, anzia kwenye kujitolea kufanya kazi sehemu fulani, yaani start somewhere ambapo utajifunza hicho unachokitaka huku ukiwa
92
453
2K
@bonichengula
Boniface Chengula
2 months
Utapeli wakujifanya mtu yupo yeye na mke wake! Jamaa yangu alipigiwa simu na mteja kwamba anataka iPhone 15 pro max mbili, mshkaji wangu akamtajia bei, alafu jamaa akamwambia njoo mlimani city kuna bar moja alikua amechill yeye na mtu aliyedai ni mke wake. Mshkaji wangu kufika
38
129
2K
@bonichengula
Boniface Chengula
1 year
Mark Zuckerberg, mmiliki wa Facebook, mika 18 iliyopita, aliwakaribisha watu watano chumbani kwake, akiwa mwanafunzi wa Chuo cha Harvard University. Unaambiwa ni watu wawili tu ndio walienda, Dustin Moskovitz ambaye kwa sasa ana utajiri wa zaidi ya Dollar 17.8 A thread 🧵
Tweet media one
44
104
2K
@bonichengula
Boniface Chengula
2 months
Kuna Boda wetu mmoja kipindi kile tunauza PS4 alitapeliwa kisomi!😅 Jamaa alipiga Simu kutoka Temeke mwisho, akasema tumtumie PS4 slim plus game moja ya FIFA, bei kila kitu plus usafiri wa boda jamaa akasema atacover. Basi mwanetu akampa boda wetu ambaye tunamwamini sana na
30
95
1K
@bonichengula
Boniface Chengula
2 months
Dogo ilibaki kidogo aanze biashara ya simu na funzo la maisha yake. Alipigiwa simu na mwanamke mmoja aliyedai yupo Namanga Arusha, akamwambia nimepewa namba yako rafiki yangu ambaye uliwahi muuzia simu. Dogo akakuna kichwa kujua ni mtu gani huyo hakupata majibu, maana yeye
20
113
1K
@bonichengula
Boniface Chengula
2 months
Mdogo etu alipigiwa Simu na mteja yuko Tegeta. Siku moja majuzi tu hapa, kuna dogo ambaye kwenye game yeye ni mgeni japo ana duka lake, alipigiwa simu na mteja wake ambaye alishawahi kuja dukani. Kuona ile namba na kumwambia kwamba kuna siku nlikuja dukani kwako ila nilikua na
30
126
1K
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
Mama Samia Kwa hili Nakupongeza Sana,Kurekodi ile Clip ukawapa TBC watangaze,Maana kwa habari za msiba mzito namna ile ilibidi wakati wa Kutangaza wawepo Viongozi wengine, na utaratibu uwe organized, Ila ukawazunguka ambao hawakutaka itangazwe ukairekodi na Ukawapa TBC, Good
32
55
1K
@bonichengula
Boniface Chengula
4 years
Sitasahu nilienda kanisani kwa Lusekelo alichoniambia sikuamini macho yangu, ati kwamba nirudi siku ya jumanne saa mbili usiku?
@RealHauleGluck
The Magna Carta 同理心 人性
4 years
🔬Nimetizama hii video mara tatu (3) kisha nikajiuliza; Lusekelo anayetaka wanaharakati & wakosoaji wa serikali tuuliwe ni mchungaji wa kanisa la kumuabudu shetani “Freemason”? Tanzania inaelekea wapi? Lusekelo anatumia injili kutoa mifano wakosoaji tuuliwe? 🙆🏻‍♂️😢😢😢
392
89
1K
296
64
1K
@bonichengula
Boniface Chengula
1 month
Siku moja nilipata kiajali kidogo pale sinza, boda na watu wakanijalia pale, alipita mtu mmoja akaniambia “chengula uko sawa?” Nikamwambia niko sawa kabisa. Jina lake simfahamu, ila nilijua huyu ni from twitter, alikua yupo radhi ashuke kama ningesema sikuwa sawa, he was driving
39
102
1K
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
"Mwandishi wa habari anamuuliza Cristiano Ronaldo: "Kwanini mama yako bado anaishi na wewe? "Kwa nini usimjengee nyumba?" Cristiano Ronaldo anajibu: “Mama yangu alinilea na aliyatoa maisha yake kwa ajili yangu, alikua anaweza kulala na njaa ila mimi mwanaye nile, hatukuwa na
Tweet media one
16
57
1K
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Kuna siku mteja alinipigia Simu saa moja asubuhi akaniambia “Mbona duka bado hamjafungua, nlikua nataka 13 pro max ila sasa kwakua hujafungua itabidi uniletee posta” Nikasema posta hii, akasema “nafanya kazi TTCL pale Samorah ave” Nikajiandaa fasta nkasema wateja si ndo hawa…
49
78
1K
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Kuna hii ya Dada rafikietu muuza Simu alitapeliwa iPhone 13 pro max mbili Kwenye apartment MASAKI, mbele ya CCTV Camera. Hii ilichezwa kwa akili nyingi sanaaaa…. Kesi mpaka kesho iko police licha ya evidence za CCTV ila ngoma bado ngumu.🥲 Andaa popcorn 🍿 zako😀
52
103
1K
@bonichengula
Boniface Chengula
4 months
Watu hua wanadiss sana watu ambao wameokoka, Sema one of the best decision kijana unaweza ukafanya ni hili la kuokoka. Utapoteza marafiki yes, unaweza chukiwa na watu au kutengwa na ndugu yes, ila your life will never be the same. Usisikilize watu ambao waliokoka na kurudi
Tweet media one
90
281
1K
@bonichengula
Boniface Chengula
3 months
Ni vijana wachache sana ambao wanaamini the right time to find a partner ni akiwa bado anajitafuta, huku wengine wakiamini ni baada ya wao kuwa stable financially, yaani awe amejenga, ana gari na a proper job au stable business. Kila mmoja yuko sahihi kwa upande wake lakini
Tweet media one
43
159
1K
@bonichengula
Boniface Chengula
27 days
Hii ndio hotel sasa.
Tweet media one
50
39
1K
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
From Next week Hakuna Mbunge ataitwa Ester Bulaya au Halima Mdee
72
37
949
@bonichengula
Boniface Chengula
4 months
Au nihamie Yanga😂
Tweet media one
54
24
982
@bonichengula
Boniface Chengula
28 days
Watu wengi wananiuliza kati ya TV za TCL na Hisence zipi kali? Chukua TCL utanishukuru baadae.
93
65
965
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Biashara ya Wakala yaani M-pesa na Tigopesa ni nzuri sana, ila utapeli upo njenje. Ukipata Location nzuri utatengeneza gawio zuri sana mwisho wa mwezi. Shida inakuja kwenye Usalama na utapeli. Kuna Wakala jirani yangu leo ilibaki kidogo alizwe 3M, nafika nakuta analia haamini
29
85
941
@bonichengula
Boniface Chengula
9 months
Kwa Nini Apple Hutengeneza Bidhaa zake Nchini Uchina🇨🇳? Ziko sababu nyingi ila leo ntazielezea chache na kwa ufupi. A short thread 🧵
Tweet media one
37
126
925
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
"Cyprian Musiba anavyofanya siyo Kumtetea Rais bali Ni Kuchochea mwendelezo wa chuki kwa Rais aliyeko Madarakani". Alfred Tibaigana
28
75
897
@bonichengula
Boniface Chengula
2 months
Good things take time, tunafungua 🔜 , same place, same location.
Tweet media one
58
97
894
@bonichengula
Boniface Chengula
3 months
Mwanaume ukishafikisha miaka 30 hamna cha uhandsome tena, ni either una hela au huna.
67
81
883
@bonichengula
Boniface Chengula
1 month
Wakenya wenzetu TL zao zimejaa kupinga bajeti wanayodai itawaumiza, wakati sisi tunabishana Diamond kupostiwa na Chris brown.😅
112
62
885
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Wanaigeria walivotapeli PS5 Makumbusho. Picha linaanza Wanaija ni watu ambao tunaamini ni watu wenye hela zakuchezea kutokana na michezo yao ya kutapeli watu mitandaoni. Hivo akija dukani kwako hua anabargain sana na mkifika mwisho ni either atakupa Dollar au atakutumia kupitia
20
81
867
@bonichengula
Boniface Chengula
4 months
Kijana wakiume; Tafuta Mwanamke anayefit kwenye bajet yako, Pili; asiwe na tamaa.
53
147
846
@bonichengula
Boniface Chengula
22 days
Kuna jamaa yetu ndugu yake mmoja ambaye alikua akiishi state wakati anakaribia kufariki aliwapa watoto wote mitaji ya hela, jamaa yetu alipewa kama 26m hivi, wakati huo tupo chuo jamaa alikua hakamatiki, fasta akadaka Samsung S6 edge wakati ndio imetoka tu, hajakaa vizuri jamaa
21
99
840
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
Hii wasiwe na Shida Shemasi, Baraza linatenguliwa nakuhakikishia Kumbe Mama alidharauliwa sana, na alianza kutukanwa na wafuasi wa Meko toka aende Nairobi akapitia kwa Lissu, Kina Jaffo, wote na mawaziri kadhaa walimuona Hana lolote , yaan hawaachi
19
68
796
@bonichengula
Boniface Chengula
2 months
Watu wanadai kwamba wao hawawezi tapeliwa kizembe!😅 Trust me, ni vile siku yako bado, omba tu Mungu akuchezeshe chale vizuri. Mtu anaenda kwenye hotel kubwa kama Serena, anakaa for almost 3 months na hakulipa hela.😅 Mtu wanampa mpaka gari ya kumtembeza mjini, mtu anajifanya
101
70
831
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
Haya Naanza kuna sehemu ya ardhi za Tanzania, zenye migodi zinamilikiwa na nchi hiyo jirani(Rwanda) CAG anajua ila ameficha. Na Ukweli unaendelea kuwekwa wazi Meko alijua, Waziri wa Madini analijua pia,
41
70
792
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
Katelefoni, Na Huyo Muhutu wa Pale Muhutwe Bukoba
9
34
766
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Nilipigiwa simu asubuhi jamaa ananiambia… nataka Airphone… nikamuuliza unataka simu au AirPods? Akarudia Airphone, nikajua hapa hamna mteja. Ila kwakua nataka hela nikamwambia… mimi nauza Simu za iPhone na Samsung, wewe unataka zipi? Akasema mimi nataka samsung….
34
59
802
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Adui mwombee njaa😂
Tweet media one
32
22
790
@bonichengula
Boniface Chengula
4 months
Hiki kizazi wengi tunapenda wanawake sababu ya Nyash sio akili tena. Kuna jamaa yangu mpaka namuonea huruma😂
81
42
782
@bonichengula
Boniface Chengula
11 months
NHIF ni utapeli hamna Bima mule… nilikata kifurushi kikubwa nikidhani ndio nimemaliza. Kila hospitali kubwa ukienda wanataka uwe na referral from hospital ndogo. Sasa what is the point ya kuwa na Bima tena yenye kifurushi kikubwa? Huu sio utapeli?
57
97
778
@bonichengula
Boniface Chengula
4 months
Kuna kabila dogo wanaitwa Wabena, kijana wakiume ukitaka jiko wacheki hawa.😊
115
46
769
@bonichengula
Boniface Chengula
4 months
Competitor wa Mlimani city nasikia anakuja, watu wanajaa apa alooo😂
18
20
762
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
HAKIKA NITAKULINDA WEWE CHANZO CHANGU USITISHIKE KABISA, NIMESHAANZA KUPOKEA VITISHO KWAMBA NISIANIKE, NITAWEKA KILA JAMBO, NAJUA JINSI YA KUPRESENT NTASHIRIKIANA NA WATU WAAMINIFU, HATUOGOPI TENA, MAMBO YA KUWAONA WENGINE WALIKUWA WEZI NA WAO MALAIKA HAPANA, TUNAMSAIDIA MAMA
24
47
722
@bonichengula
Boniface Chengula
4 months
Watu wengi wameniDm kwamba wameokoka lakini wachungaji wanaowachunga wamekua wakiwadidimiza na kuwafanya waone ulokole ni mzigo. Yesu anasema “ Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo” Tatizo ambalo lipo kwa watu wengi hasa wanawake,
Tweet media one
39
145
741
@bonichengula
Boniface Chengula
3 months
Wakati nasoma chuo nilikua naona watu wenye magari wakija wakati wa mchana na usiku kuwachukua dada zetu pale chuoni. Nilikua natamani niwe mimi, yani niko chuo na same time niko na maisha mazuri, but it wasn’t possible. Japo wapo watu walikua wanasoma huku wanafanya kazi
Tweet media one
49
126
738
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
Mama Uchunguzi ufanywe Kwa Makonda kabla ya Kesho jioni plzzzzzz naomba Uchunguzi tuwahi kwa Makonda,
17
45
697
@bonichengula
Boniface Chengula
26 days
Simtetei Mwamposa, ila soma hii. Huyu my friend alikua anaunga unga sana ila mwisho amepata kazi sehemu nzuri tu na anaanza kazi jumatatu. Imani imani imani!
Tweet media one
216
51
733
@bonichengula
Boniface Chengula
3 months
Jinsi nilivyo mpata mke wangu wa maisha nikiwa Chuo kikuu UDSM. I am not sure if it was ‘love at first sight’, but we shared the desk in the seminar room and thereafter we walked out together to the Internet cafe! We were both new there and we had to help each other with online
Tweet media one
42
70
725
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
UAMINIFU, Kuna watu wapo hapa mjini, hawana elimu kubwa wala skills sana ila kitu wamejaliwa nacho ni Uaminifu. Wanatunza familia zao, wanaendesha magari, wana ishi ndoto zao sababu ya Uaminifu pekee. Amua leo kua Mwaminifu.
27
111
718
@bonichengula
Boniface Chengula
3 months
Wanasema ukizaliwa mwanaume tayari moja bila, kama upo Africa basi mbili bila, umetoka kwenye familia masikini, tatu bila, umefika ukubwani na huna connection, nne bila, humtegemei Mungu kwenye haso zako, tano bila na kadi nyekundu juu.😀
43
115
716
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Hii utapeli wa manzese. Dogo mmoja yupo humu mara nyingi hua ananipa wateja wa uhakika, ila ile siku alinipa galasa.😂 Dogo ananiambia jamaa anataka 11 pro max 256gb.. kama 1.4 wakati huo kwa simu used. Nikamuuliza dogo mteja unamjua? Akaniambia hapana ila nimemtoa kwenye….
28
51
708
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
Kuna Dogo kakurupuka kwenye kundi letu,la Mawaziri na Makatibu akamtetea Bashiru, walitaka wamchinje hehehehe hawataki kusikia Neno Omari Bashiriii
14
19
658
@bonichengula
Boniface Chengula
4 months
Nimewasha chuma hadi Morogoro kumpelekea mteja wangu simu ya iPhone 15 pro max. Mteja mfalme.👑
Tweet media one
49
38
692
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Ukisikia huu ni mwaka wakufosi ndo hii😂
90
157
669
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Rafiki yangu alitapeliwa Simu 2 mbele ya geti la HAZINA posta. Kama unavojua kwamba wateja sasa ni online, hivo unaweza pigiwa Simu na mteja kweli au matapeli. Siku moja asubuhi jamaa yangu anapigiwa Simu na mteja wa online “ hallow nahitaji iPhone 13 pro max 256gb, una rangi..
62
62
673
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
BWANA BASHIRU ANASHIKIRIWA NA POLICE USIKU HUU, BWANA DOTTO AKIMBILIA HORO HORO,
42
22
630
@bonichengula
Boniface Chengula
28 days
Mawinga wa leo ndio wamiliki wa maduka wa baadae, usiogope kuanzia kwenye kua winga, one day wewe ndio mmiliki wa duka. Take it from me.
24
70
657
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
Jakaya kwa miaka kumi akalipandisha deni kufikia 35trl kutoka 10 ,hayati yeye katia fora ndani ya uhai wake tayari tupo kwenye 60trln plus. Sasa nakupa home work wewe VERONICA WA FESIBUKU,jumlisha thamani ya miradi mikuba inayopigiwa kelele sasa,anza na stigglers,treni ya umeme,
32
49
608
@bonichengula
Boniface Chengula
28 days
Hawa ndio wanasababisha Serikali ione biashara ya magari inalipa. Ukitoa ushamba kwenye hela utaenjoy sana maisha.
@Profesaa___
Profesa
29 days
Biashara gani Ukifanya inakupa utajiri mkubwa ndani ya mwaka mmoja tu ?
Tweet media one
244
101
2K
77
50
636
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Utapeli kinyerezi mwisho. 2020 wakati huo ndo naanza anza biashara. Nilipigiwa simu na mtu akasema nataka simu ila delivery kinyerezi mwisho. Kama kawaida yangu nikatoka mapaka kinyerezi mwisho karibu na mahakama. Kufika pale jamaa akaniambia “mimi sipo dar ila kuna mtu…
56
64
636
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Haya Kilimanjaro ya 500 kweli tbs kayacheki yako sawa? Radha kama maji ya buguruni. Ukiscan barcode hamna kitu inakuletea.
Tweet media one
168
33
631
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Sasa tugusie viashiria vya utapeli. •Siku zote tapeli hua anaagiza mzigo mkubwa ila ujae. •Anaweza akakwambia nataka simu mbili moja ya mke wangu. •Ni ngumu sana tapeli kuja dukani kwako, wengi wanapendelea delivery. •Tapeli hua haombi discount, kama ataomba discount basi
27
94
621
@bonichengula
Boniface Chengula
26 days
Nichimbe dawa😁
Tweet media one
20
21
622
@bonichengula
Boniface Chengula
3 months
Msinifananishe na Boni yai😂
Tweet media one
31
19
614
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Baada ya kutapeliwa zile 14 pro max mbili kule Masaki, ilibidi tumpeleke dinner akapunguze machungu😂 @_Mlomo
Tweet media one
18
19
612
@bonichengula
Boniface Chengula
2 months
Tool nyingine ya mafanikio ni connection, unataka kuchukua mkopo bank na you know nothing about mikopo ila sababu kuna mtu yuko bank unamjua hilo swala linakua limeisha, unataka uagize gari na hujui uanzie wapi, ila sababu una mtu yupo kampuni fulani ya kuagiza magari basi pia
27
80
592
@bonichengula
Boniface Chengula
8 months
Waleteee😂🔥
Tweet media one
5
11
577
@bonichengula
Boniface Chengula
9 days
Kuna furaha hela inaleta, alafu kuna amani Mungu anakupa.🙌🏿
9
86
592
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
What is new on iOS 17.4‼️ Sio vyote vya muhimu, twende na vya muhimu kwanza.
Tweet media one
10
45
582
@bonichengula
Boniface Chengula
2 months
Leo kanisani kwetu wakati wa shuhuda, alipita mbele mama mmoja mwenye umri wa makamo, ambaye alidai ako na watoto watatu wa kiume, wakwanza ana 38 years na wa mwisho ako na 31 this year. Mama alianza kwakusema “Leo nimesimama mbele yenu sababu mimi ni mama wa watoto wakiume
4
38
574
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Wahenga walisema “Akufaaye Kwa Dhiki Ndiye Rafiki” Wacha niuelezee huu msemo na hizi Router za Airtel 5G. Sasahivi karibia kila mtandao wa Simu umekuja na 5G router zake. lakini why mimi naielezea hii ya Airtel? Uko na popcorn 🍿 za buku2? Hapana chukua za jero tu maana uzi
Tweet media one
24
70
572
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Kama biashara yako haijawa kubwa kiasi cha kuajili watu mbadala wako, usifanye hili kosa. Biashara nyingi ndogo ambazo huwa na upepo mzuri hufa sababu ya vitu vidogo sana. Unakuta mtu yeye ni msusi mzuri, anawateja wengi, na kadiri muda unavozidi kwenda wateja nao wanaongezeka.
18
80
555
@bonichengula
Boniface Chengula
2 months
After church photo.😅
Tweet media one
31
19
559
@bonichengula
Boniface Chengula
9 days
The best iPhone on the market ndo inaondoka hivo na utamu wake, chaajabu kuna watu bado hawajawahi kuitumia.🥲
Tweet media one
39
21
546
@bonichengula
Boniface Chengula
2 months
Inakuaje mtu unamuuliza hilo gari umenunua shilingi ngapi anakwambia myb kanunua 40m, ukisema wacha uingie mtandaoni uhakiki, unakuta ni 25m mpaka linafika. Ni kwamba sisi Wabongo hua hatupendi wenzetu na wao wawe kama sisi au kitu gani? Why hua tunaongeza namba?😅
75
30
543
@bonichengula
Boniface Chengula
4 months
Fridge haikai sitting room😂
Tweet media one
41
22
529
@bonichengula
Boniface Chengula
30 days
Kama unasebule ya kuliweka hili niambia nikupe bei yake uwe mmliki😅
Tweet media one
52
35
534
@bonichengula
Boniface Chengula
4 months
Mwanaume kama una mwanamke ambaye huna chakumoffer na bado anakung’ang’ania, basi huyo anakupenda kweli.
17
52
531
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
Uongo wa Magufuli kuhusu faida za Ndege ndo umenipa mwanga juu ya uongo wa PhD yake, PhD zote duniani thesis zao ziko Mkataba za chuo for academic reference purpose, ile ya mwenzetu kuna siku tutaianika humu tujuwe level ya plagiarism ili kina Prof Kabudi na ma Dr wenzake waone
19
37
510
@bonichengula
Boniface Chengula
3 months
Sasahivi unaambiwa wapo madalali nyumba ambao wanaroga kwa mwenye nyumba na mpangaji. Kwa mpangaji, dalali anakupeleka ukaone nyumba, unaweza kuta nyumba inakasoro kibao ambazo kwa macho ya kawaida tu zinaonekana, ila unapumbazwa mpaka unalipia na kilakitu, ila utakapo anza
Tweet media one
45
25
511
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Mpango ilikua tung’oe 3D ili tununue mpya🥲
Tweet media one
24
15
511
@bonichengula
Boniface Chengula
22 days
I know wachungaji wa sasa wanawakatisha sana tamaa, ila natamani kila siku niwe nawakumbusha vijana wenzangu wamjue Yesu, sio stori ila utaishi maisha ya raha sana, sababu everything kiko juu yake yeye. Anakuhakikishia amani, anakuhakikishia utajiri, anakuhakikishia uzima wa
43
94
514
@bonichengula
Boniface Chengula
3 months
Msemo wa “Pesa isipokuwa mkononi mwako usiipigie hesabu” nilijifunza kwa ugumu sana. Mwaka 2017 wakati niko zangu Mbeya napambana baada ya kumaliza chuo nilikua nafanya biashara ya kusambaza vifaa vya Simu kwenye soko la Sido. Nilikua nawauzia watu wenye maduka, yaani
Tweet media one
20
45
483
@bonichengula
Boniface Chengula
3 months
Kuna jamaa kaiagiza used, mbona anakoma, it has been 4 month anakwambia kashachoma 10m.😀
@jwise017
NYANI MZEE
3 months
Ukiwa na hela humu pazuri sana kupumzika 👊🏿🔥
Tweet media one
Tweet media two
22
10
190
44
19
473
@bonichengula
Boniface Chengula
1 year
Aliniambia “bro nimemaliza shule nakaa tu nyumbani na mimi nataka kuuza Simu” nikamuuliza unanini? Akasema mimi biashara naiweza. Nikamuuliza wateja utawapataje? Akaniambia nikipost WhatsApp status viewers wanafika 3000+. Nikamuunganisha na mwanangu Salum, kila alipo niona
178
56
468
@bonichengula
Boniface Chengula
2 months
Wale wanao safiri sana nje ya nchi, kuna tahadhari hapa.
25
140
467
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Tofauti kati ya PS5 Digital Edition na Disc Edition na ipi unatakiwa ununue. Najua watu wengine tunazifahamu PS5 yaani Play Station 5, lakini hatujui hata kama ziko na two different Edition. Wengi wakinipigia Simu utasikia nataka “Digital Version” ukimuuliza unajua maana yake
Tweet media one
13
42
466
@bonichengula
Boniface Chengula
8 months
Anatoka nyumani saa12 asubuhi, anafanya kazi mpaka saa11 jioni, anaenda Gym anarudi nyumbani kukupikia saa3. Unaspend nae lisaa chumbani mnalala na kesho ratiba inajirudia. Kumbuka kwamba kuna mniga mmoja ofisini ambae wanashare nae mambo mbalimbali. Kati ya wewe na huyu wa
92
50
462
@bonichengula
Boniface Chengula
3 months
Sasa tupate ya juu yake. Mwenye hela nzuri njoo DM. Haina kipengele chochote.
Tweet media one
32
31
450
@bonichengula
Boniface Chengula
3 months
Ukipiga simu unaambiwa nipo kusuka ntakupigia nikimaliza, mwenzako anayependwa akipiga simu anaambiwa, “nipo saloon mpenzi ila tunaweza tukaongea tu, hamna shida”😊
49
48
447
@bonichengula
Boniface Chengula
2 months
Umeshawahi kufanya biashara na mtu alafu mwisho wa siku ukapewa dollar fake? Vipo visa kibao watu wanapewa dollar fake na zile ambazo bank hazikubaliki. Nyuzi zinakuja.😅
Tweet media one
31
29
440
@bonichengula
Boniface Chengula
11 months
Mkumbushe rafiki ako mwenye saa nyeusi kama hii ukimwambia… “Apple hawajawahi kutoa Apple watch ultra nyeusi”😀
Tweet media one
29
22
434
@bonichengula
Boniface Chengula
4 months
A sebule should be this neat and this classy👌🏾
Tweet media one
37
27
434
@bonichengula
Boniface Chengula
5 months
Video moja ila ina maswali na majibu humohumo.😂
33
46
424
@bonichengula
Boniface Chengula
24 days
Ukimpenda sana mtu ujue ukiwa nae kwenye mahusiano wewe uliyempenda atakusumbua.
25
20
433
@bonichengula
Boniface Chengula
3 years
Kwanini Rais anaongea na wazee wa Dar es salaam.? Siyo wa Bukoba au Moshi?
81
12
398
@bonichengula
Boniface Chengula
1 year
Content Creator wa kizazi hiki, ni lazima uache kutegemea bando za siku na uhamie kwenye unlimited bandos. Siwafundishi namna ya kuishi, ila itakupunguzia burden kwenye kazi yako. Ile kidogo tu “umetumia asilimia 75% ya bando lako”. Pia usisahau kuwa na Simu kali ya picha.
Tweet media one
39
63
420
@bonichengula
Boniface Chengula
3 months
Utu uzima unaanza pale ambapo, mtatua changamoto zako ni wewe na Mungu wako, no one is coming to rescue you.
9
78
420
@bonichengula
Boniface Chengula
13 days
Sema twende mbele turudi nyuma sisi watanzani bado, tumepiga shule ila badoo.🤣
47
29
427
@bonichengula
Boniface Chengula
1 month
Changia chochote ulichojaaliwa na kwa sadaka hii Mwenyezi Mungu akatufanyie wepesi mambo yetu.🙏🏾💯
Tweet media one
2
139
421
@bonichengula
Boniface Chengula
7 months
Yaani ulichowafanyia wazazi wako na wewe watakuja kukufanyia watoto wako…. Wacha nisubiri tu…. Maana niliwahi mwambia mzee nimepoteza vitabu vya Library na alijua kabisa ni kamba akaamua tu kunipa hela🤣
65
62
409
@bonichengula
Boniface Chengula
4 years
Kuweni Makini 1. Si kila anayepinga serikali ni mpingaji kweli wengine wapo kazini 2. Si kila akaunt yenye jina la Kike ni mwanamke kweli wengine wapo kazini 3. Si kila anayezama DM anamaanisha mapenzi kweli watu wapo kazini 4. Si kila Tangazo la kazi ni la kweli TISS KAZINI
42
40
387
@bonichengula
Boniface Chengula
6 months
Unaenda Gym siku ya kwanza alafu unakuta hivi.😂
69
86
405