Hancy Machemba Profile Banner
Hancy Machemba Profile
Hancy Machemba

@hancymachemba

131,928
Followers
33,323
Following
2,484
Media
149,147
Statuses

Co Director Nasar General Supplies, Mkulima, Mfugaji TANZANIA KWANZA ๐ŸŸTeam CHELSEA

Dsm
Joined February 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Kwa mahitaji ya pipe & fittings kwaajili ya majumbani na miradi mikubwa ya maji sehemu ni NASAR GENERAL SUPPLIES Tupo mtaa wa mbaruku,Gerezani kariakoo. Dar es salaam. 0787047022 0717466538
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
26
214
558
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Nampenda sana mke wangu ila akizingua sipigi wala siuwi,nikiona imeshindikana nitaondoka mm nimuache abaki na watoto. Tukiamua ukatili utakwisha
Tweet media one
497
136
3K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Mungu ni mwema sana wakati wote, Pamoja na makosa yangu yote lkn bado ameendelea kunibariki na kunipa furaha wakati wote. Jana tarehe 02/10 mida ya 13:47 akanipa zawadi ya mtoto wa kiume. Sifa na utukufu zibaki kwake yy aliye mkuu sana๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
424
161
3K
@hancymachemba
Hancy Machemba
17 days
Sijui ni kwann ila nimejikuta natamani huyu jamaa siku moja awe Rais wa nchi. Misimamo yake, upendo wake kwa taifa hili vinatosha kuwa moja ya sababu muhimu sana. Katiba mpya ije awe mgombea binafsi
Tweet media one
185
234
2K
@hancymachemba
Hancy Machemba
26 days
Huyu @ExMayorUbungo ni mtu mwenye maisha mazuri sana. Jumba la kifahari,biashara na mambo mengi. Lkn anayopitia leo hii ni kutokana na kuacha kula bata na kupigania haki,usawa na maisha ya wengine. Amepigania haki za wengine na sasa ni wakati wa kupiganiwa haki yake pia.
Tweet media one
44
359
2K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Wanaume tuseme asante kwa wanawake waliojaribu kutubadilisha ktk maisha yetu kimavazi, tabia na hata mageto yetu lkn hatukuwaoa. Yaani walipambana sana wakiamini tutakwenda pamoja ktk safari ya maisha lkn haikuwa hivyo coz Mungu alituletea watu wengine.Wabarikiwe sana huko walipo
134
170
2K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Ndugu zangu wa bodaboda tunajua mnapambana sana mvua jua ili nyumbani mambo yaende na hesabu ya tajiri iende pia. Lkn epukeni kutumika kisiasa na kujisifu mna maisha mazuri. Wakati mnapopata nafasi ya kusindikiza ma V8 ya 500m basi muhoji mikakati ya kuwasaidia nyinyi kimaisha
Tweet media one
163
205
2K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Mwezi na tarehe kama ya Leo ndiyo siku ambayo mama yangu akiwa peke yake chumbani,alihakikisha ninatoka salama tumboni kwake kabla ya msaada mwingine kuja. Heshima kwake mama yangu & HBD to me๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚
Tweet media one
297
81
2K
@hancymachemba
Hancy Machemba
7 days
Wakati mgumu kwenye maisha yangu ulikuwa October waka jana baada vipimo kuonyesha Machemba Jr figo zake zote hazifanyi kazi baada ya kutapika na kuharisha kwa 7days alivyorudi kutoka Sumbawanga. Miezi mitano nilikuwa mwenyeji wa muhimbili mtoto akifanyiwa dialysis.
293
196
2K
@hancymachemba
Hancy Machemba
28 days
Watu wote waliowahi kutekwa wakapatikana hai hawakuwahi kuelezea nn kilitokea na hata waliohusika.Akina Mo, @Roma_Mkatoliki na wengine wengi tu. Huyu @Sativa255 ameeleza kila kitu na hata aliyemuona kwenye tukio .Kama ipo nia ya dhati kukomesha hatuoni ni njia nzuri ya kuanzia?
52
187
2K
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Its official Mr & Mrs Machemba
Tweet media one
260
51
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Maamuzi ya kamati kuu ya CDM imenifanya niamini kuwa bado CHADEMA kina viongozi makini sana. Mh @freemanmbowetz ni kiongozi hasa na ameumbwa kuongoza ukimsikiliza kwa makini. Kuna watu wanakuwa viongozi kwa bahati mbaya sana wala sio kipawa walichopewa na Mungu
41
88
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Yaani Messi kavaa bango kubwa hivyo la Rwanda halafu huku kwetu @HKigwangalla akapeleka wasanii mlimani na lile tamasha wakalipana mijihela ya kutangaza ktk radio hakuna kilichotokea. Kuna muda namuuliza Mungu kwani tumekukosea nn sisi watanzania mpaka unatupa adhabu hivi baba?
Tweet media one
166
101
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
R.I.P J Mungu akupe pumziko la milele mama. Hii imeniuma sana,ajali zinamaliza watu.๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Tweet media one
315
49
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
11 months
Leo siku ya kumbukizi ya kuzaliwa mshkaji wangu,mke wangu na mama watoto wangu. HBD kwake malkia wanguโค
Tweet media one
194
82
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Tupo ktk taifa ambalo kila kitu kinapanda bei ila mishahara ni ile ile kwa 6yrs. Mafuta bei juu na yamefanya lila kitu kupanda mpaka nauli,gas ndogo ilikuwa 20k na sasa ni 25k na wapo kimya kabisa. Viongozi wetu tunaomba mjue japo tunaishi ila ktk maisha magumu sana na ya mateso
160
181
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
5 years
Waislam tunafunga ila jioni tunahamia ktk mitandao kuonyesha ufahari wa futari zetu. Tunapost draft vyakula kama kumi tunavyokula ila tunasahau wapo waliofunga na hawana hata mihogo ya futari. Badala ya kufanya kufuru hiyo hebu tuwasaidie ambao hawana kabisa na Mungu atusaidie
94
153
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Ijumaa Mubarak ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
75
35
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Simba wamefanya yote mazuri ila sasa lilipokuja jambo la mgeni rasmi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
134
49
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
"NACHUKIZWA NA NENO MBOWE SIO GAIDI" Ametokaje tena?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
117
77
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Nimefurahi kuona viongozi wetu wa vyombo vya ulinzi walivyojitokeza kupinga maandamano ambayo wanaona yanaweza kuvuruga amani. Ila nina swali kwao kidogo, zile kura zilizokuwa zinabebwa kwenye mabegi hawakuona kama zingeweza pia kuvuruga amani? Kunyimwa haki watu hakuvunji amani?
75
129
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
5 years
Kijana unalalamika maisha magumu lkn upo kwenu na una Tecno ya laki 3 Mayai ya chotara tray 15,000 Kutotolesha 10,000 Unapata vifaranga kuanzia 20-25 Ukilea hao kuku kwa miezi 5 ukiuza 15,000ร—25=370,000 Kuku 25 kuwatunza kienyeji hawamalizi hata 100,000 na utapata faida.
449
88
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 months
Utamchukia @IAMartin_ kwa namna yoyote ile ila utampenda zaidi kwa namna nyingine. Vijana wote tukiwa hivi linapokuja swala la kupigania nchi na wananchi wenyewe basi hili taifa litafika mbali sana. Heshima kwako MMM๐Ÿ™๐Ÿ™
@Twaha_Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
4 months
Taarifa ya SATIVA, yupo njiani anakuja Dar.
29
142
1K
27
173
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Huyu mama amefanya mengi kwa uwezo wake,tutamuhukumu,kumpigia kelele na kumkosoa lkn yaliyo ndani ya uwezo wake ameyafanya kwa nguvu zake zote hasa ktk hili janga la Corona.Kwa sasa tumtie moyo tu maana anapita ktk nyakati ngumu sana. Mh @umwalimu Mungu akutie nguvu tutashinda tu
Tweet media one
148
73
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
DNA yangu Wakubwa tunaelewana hapa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
215
29
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Happy birthday to me. Asante Mungu kwa wema wako kwangu๐Ÿ™
Tweet media one
333
94
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
TOZO kwenye miamala ya simu TOZO miamala ya bank MAFUTA petrol bei juu NAULI bei juu MAFUTA ya kula bei juu BANDLE bei juu na MB kupunguzwa nk Pamoja na yote kipato cha mtanzania ni kile kile lkn kuna mtu anasema tupo pazuri sana,unajiuliza yy yupo peponi? Ukweli tunavumilia sana
161
257
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Ila pamoja na yote huyu mama yetu mh rais ametutoa sehemu ngumu sana mpaka hapa tulipofika. Kuna vitu nikimbuka ni wazi tunaona dhamira yake njema kwa nchi hii. Unaruhusiwa kunipinga au hata ukijisikia kunitukana ruksa pia.
Tweet media one
311
93
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Kuna vitu JPM alivyoondoka akaondoka navyo,mfano sasa hivi RITA unasubiri cheti cha kuzaliwa kwa miezi 5-6 why lkn? Mtu unataka kupata BIMA ya mtoto cheti huna.
121
40
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Kampuni ya SHELL ndiyo iliyotufanya watazania tukazoea kila petrol station tuseme tunaenda sheli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
Tweet media two
97
78
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
5 years
Ukinitazama utaniona kama ka bwana mdogo flani hivi kumbe nimekula chumvi za kutosha,nimezaliwa miaka ya 70s huko. Heshima kwa mama yangu kwani pamoja na shida alizopitia na kunilea peke yake wala hakukata tamaa. Leo mtoto wake nimeongeza mwaka mwingine Happy birthday to me๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚
Tweet media one
224
43
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Leo ndiyo nimegundua kuwa kumbe Zambia pesa yao imeshatupita thamani๐Ÿคญ๐Ÿคญ
134
39
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Mwanaume hakikisha unawekeza kwa MKEO. Kama ni mtaji mpe,kama ni elimu msomeshe, hakikisha unamsaidia asimame kwenye maisha. Nimesema MKEO na sio bby au DEMU wako na utanishukuru baadaye
179
96
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Tafuta vijisent vyako,saidia ndugu na jamaa zako. Kisha tafuta mtoto wa mtu na ule naye shida zako tu. Mungu ni wetu sote๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
151
66
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Natamani sana KATIBA mpya ikipatikana iondoe wabunge wa viti maalumu. Wabunge wote wawe wa kuchaguliwa ili wajue wapo bungeni kwaajili ya wananchi na sio waliowateuwa.
109
160
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Kama hujafika mpaka sasa huku kwa #TOTBonanza basi kuna vizuri vinakupita
Tweet media one
108
29
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Weekend safi kabisa tumeamka na #champsoap @mpambazi_ mtamu jamani ila tatizo kama maji ni ya kuomba na umempaka mwingi utatoka na povu bafuni
Tweet media one
Tweet media two
164
69
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 months
Mh @MsigwaPeter kahama CDM akidai ameibiwa kura, tufanye yupo sahihi. Ila kahamia chama ambacho alikuwa anadai kinamuibia kura miaka yote๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Kuwaamini wanasiasa muda mwingine ni kazi sana basi tu.
72
140
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Mwanaume DHAIFU ndiye hupiga na kudhuru mwanamke wake anapokuwa na hisia au uhakika wa USALITI ktk mahusiano. Mwanaume SHUJAA kuna mawili hufanya, KUSAMEHE au KUACHA aende kwa amani. Kulipa mahari sio UMILIKI halali wa KUDHURU au KUUWA mkeo
277
106
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Tuwe wakweli kabisa kwa sasa kwenye family 10k matumizi ya siku imekuwa pesa ndogo sana. Maisha yamekuwa magumu kila kitu bei juu na sijui mipango ya serikali kutatua hili ikoje. Achilia mbali mambo mengine ila kula tu napo kunaanza kuwa ni anasa sasa.
106
105
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Kwa sasa anaitwa Rahma na ni Mali yangu halali kabisa. Asante sana ndugu zangu @hmarskov na @jtemba321 kwa kuhakikisha tumelifikisha hapa jambo letu. Twitter ni sehemu nzuri ya kutengeneza urafiki na udugu kuliko ndugu wa kuzaliwa tumbo moja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
268
60
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
1 year
Ukiona mwarabu wa kweli ametia huruma hivyo ktk uwanja wake wa nyumbani basi ujue shughuli haikuwa ndogo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
51
48
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Mm sio msomi wa PhD Ila ninachoamini kutoka moyoni mwangu ni kuwa mh @freemanmbowetz Hajawahi kuwa na hatokuwa gaidi. #HeIsNotATerrorist #HeIsNotATerrorist
Tweet media one
46
176
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Naomba kutangaza ajira za bodaboda kwa vijana watano. Ajira hizi ni za miezi kumi na baada ya hapo pikipiki inakuwa yako moja kwa moja. Aina ya pikipiki utachagua ww Vigezo: Uwe kijana wa kitanzania,uwe na mdhamini mwenye Mali isiyohamishika ambaye utasign naye mkataba.
69
117
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Watu wangu wa Moro town mwanenu nipo mjini tayari kuanzia Leo mpaka jnne. Tutafutane kupeana michongo na sehemu za kula vinono
Tweet media one
136
25
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Yaani mfanyakazi Bora ni mkurugenzi na anapata zawadi ya 16m ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
71
41
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
5 years
Asikwambie mtu magumu yakikufika ndiyo utajua kuwa dunia inazunguka. Leo wafanyakazi wote ktk kampuni ninayofanya kazi tumepokea notice ya kusimamishwa kazi June 30,na kampuni yetu inayomiliki leseni nne zinarudishwa tunafunga kabisa. Jobless tutaongezeka mtaani
247
138
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Sijui ni kwann ila mwalimu ndiye mtu anayefanywa kama jalala na kazi isiyokuwa na thamani nchi hii. Huku yy ndiye ametubadili akili tukaacha mambo ya nyumbani na kujua kusoma na kuandika na mwisho ni mawaziri, rais,professor nk. Lini nchi hii tutamuheshimu mwalimu?
115
85
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 months
Unatolewa Dar/Arusha kisha Katavi umeshateswa sana,wanafika porini wanakupiga risasi ukiwa huwezi kutembea wanakuacha katikati ya pori lenye wanyama wakali. Wakiamini umekufa na wanyama watasaidia kupoteza mwili wako,asubuhi wanakuona kwenye mitandao. Bado una mashaka na Mungu?
Tweet media one
77
269
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
1 year
Wivu na Chuki vimetutawala sana
Tweet media one
375
81
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Msaada humu. Kwa yoyote anayeweza kumfahamu huyo mama naomba tuwasiliane maana amekuja kwangu tangia saa nane usiku wa kuamkia leo. Kwa maelezo yake ni mkazi wa Tanga na hajui yupo wapi huku
Tweet media one
181
153
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Wanangu wa Arusha nipo kwenu tayari hebu mchana tukutane kwa Mromboo
Tweet media one
111
13
993
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Wanawake mkipost pic za mwili wako wazi na ukatuona wanaume tuna comment โ€œwow! Ur btfulโ€ haimaanishi kuwa tupo tayari kuoa mwanamke mkaa uchi mitandaoni. So tumia akili yako tunza mwili wako kama ni mzuri sio lazima ukae uchi. utanishukuru baadaye
85
75
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Heshima tukayopata kama nchi baada ya @diamondplatnumz kushinda #betawards2021 ni kubwa sana.Kwa sasa ndiye mtu anayewakilisha ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na tusitegemee Nigerians wapo tayari kumpa kura mtu mwingine hata kama wasanii wao wasingekuwa wakiwasemea kwa lolote ila sisi tunataka kujipendekeza
Tweet media one
239
88
982
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Mwanamke kama huna cha ku offer ktk mahusiano yako zaidi ya mwili wako tu plz tafuta kazi nyingine ya kufanya coz hayo sio mahusiano.Yaani muhusiane kitandani tu ukimaliza hapo bby hana cha zaidi.Ukimueleza bby kuna jambo linakutatiza anakuuliza "sasa bby utafanyaje"? Manina zako
140
105
993
@hancymachemba
Hancy Machemba
9 months
Hii picha inaongea maneno mengi sana.
Tweet media one
107
66
1K
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Hii picha ni nzuri sana. Inaongea vitu vingi kwa wakati mmoja. Tulipaswa kubaki hivi kama taifa moja
Tweet media one
48
95
970
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Kuna muda @kigogo2014 unakuwa fala sana. Yaani unalazimishia watu kwenda likizo humu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
32
22
947
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Mahali tulikosea kama nchi ni kuwa na bunge la chama kimoja ambao wameshindwa kabisa kuisimamia serikali na badala yake serikali inasimamiwa na chama tawala. Yaani wananchi wanateseka kupambana na TOZO wabunge wapo kimya na maagizo yanatolewa na CCM. Nn kazi ya wabunge wetu?
113
73
953
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Wanaume tukubaliane kuwa girlfriend sio wa kumlipia Kodi au ada hizo kazi zitafanywa na mzazi wake au mumewe. Hii itasaidia kutojutia kodi na ada yako huko mbeleni na mtanishukuru baadaye๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
126
65
957
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Jambo jema sana kubahatika kuishi maisha na mshkaji wangu
Tweet media one
133
14
940
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Kuna wakati nilikuwa napigwa pin mpaka nashindwa kuhema. Nimekoma kuanzia sasa @TOTBonanza nitakuja peke yangu tu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
Tweet media two
98
25
937
@hancymachemba
Hancy Machemba
1 year
Mh mbunge wetu @JerrySilaa Issue ya bandari hebu weka pembeni kwa sasa hebu njoo jimboni waajiri wako tunahitaji kuongea na ww. Hali ni mbaya sana huku kitunda,kivule mpaka msongola. Kwa kifupi jimbo lako ndiyo jimbo lenye miundombinu mibovu kuliko yote. Tuulizane kabla ya 2025
Tweet media one
175
128
959
@hancymachemba
Hancy Machemba
9 months
Basi sawa..! Ikifika January mtuambie tupande na sisi.
Tweet media one
147
133
949
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Kuna wanawake halafu kuna huyu mwanamke. Bado pesa kidogo zikijaa nimnunulie hii nchi yote iwe mali yake. Wakati mwingine mateso unayopitia ktk mahusiano yanakushape kuwa mume/mke Bora kama utajifunza kutokana na makosa. Mungu aliumba mapenzi yawe furaha na sio kero na majonzi
Tweet media one
Tweet media two
242
31
920
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Sijui niombe nn zaidi kwa Mungu wangu zaidi ya hivi ambavyo amenipatia. Ukweli Mungu amekuwa mwema sana kwangu wakati wote. Tuendelee kuamini ktk wakati wote bila kujali wakati gani ulipitia,unapitia au utapitia baadaye.
Tweet media one
100
46
918
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Maisha yanakwenda kasi sana. Yaani CHATO imekuwa ya kawaida sana tofauti na awali kila siku neno CHATO lilikuwa ni jiji flani la maana sana kutamkwa.
54
34
902
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Mnamo mwezi wa March natarajia kufunga ndoa na mchumba wangu. Kwa rafiki yoyote anayetamani kuni support au kuhudhuria ktk shughuli yangu basi anakaribishwa sana DM. Natamani kuona marafiki zangu wengi wa Twitter tupige story maana maharusi hatutakaa mbele kama masanamu
Tweet media one
Tweet media two
133
47
906
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Yanga wanafurahia simba kutoka hatua ya robo ila naomba sana Mungu awajaalie na wao wakacheze waone kama huko Mayele ni striker kweli au mbwembwe za NBC tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
116
29
905
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Mungu ni mwema sana Leo jamaa anakamilisha 40 yake. Karibuni sana ktk dua inshaallah ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
66
30
889
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Mapenzi ni kitu kizuri ila jipe muda ukutane na mtu sahihi kwako ambaye atakufanya uone kwann ulichelewa. Kila shetani na mbuyu wake,nilipofika ktk mbuyu wangu ulibadili mtazamo wangu juu ya wanawake na maisha yanakwenda.
Tweet media one
152
21
884
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Vijana wa CCM ndiyo wapo busy kutupa matokeo ya Kenya huku wakishangilia kabisa.Unajua kwann Kenya wamefikia pale? Walitafuta KATIBA mpya ambayo imewapeleka ktk uchaguzi huru na wa haki. Matokeo hata ya urais watu wanaweza kupinga mahakamani.Nadhani tujifunze hapo sio kushangilia
73
140
883
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Ukimsikiliza mama anavyosema pesa zinavyopigwa huko bandari utaamini kweli wapinzani wametuchelewesha sana.
39
47
874
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Iga challenge hii upotee kabisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mr & Mrs
Tweet media one
Tweet media two
149
19
869
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Naendelea kunywa maji mengi na pia kutumia lotion zake ili tusiishie kufanana pua tu mpaka rangi manina๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
162
3
866
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Leo tuligomea na kushuka ktk bus la Ally's baada ya kungundua kuwa ni bovu na hata ndani halina sifa ya kubeba abiria tena kwa nauli ya 45,000 kutoka Shinyanga to Dar. Sijui @tanpol huwa wanafanya ukaguzi gani ktk haya magari. Heshima kwa RTO wa Shinyanga alichukua hatua
Tweet media one
Tweet media two
127
58
866
@hancymachemba
Hancy Machemba
1 year
Hivi Mo angekuwa ndiye Bakhresa si angeshakata tamaa kitambo sana?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
61
45
889
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
@Tigo_TZ nimenunua hom internet mkanipa 40GB sina matumizi makubwa zaidi ya ku connect simu mbili tu lkn baada ya 24hrs eti zimekwisha. Naomba maelezo ya kina zinakwenda wapi au ndiyo nitupe haka madude kenu?
204
51
866
@hancymachemba
Hancy Machemba
9 months
Niliwahi kupoteza mtoto kutokana na ubovu wa barabara ya kitunda,ambulance ilipambana lkn hawakuweza kufika kwa wakati. Baba mkwe wangu naye alifia njiani akiwa kwenye ambulance. Na leo mtoto wa kaka yangu anatolewa kivule hospital kwenda Amana akiwa kwenye hali mbaya sana sana.
158
99
894
@hancymachemba
Hancy Machemba
12 days
Hakuna kitu kinauma kama kuibiwa masega mtungi yote. Yaani mtu kaenda kuuza 300k halafu unaingia hasara ya 1m. Usiamini fundi ukamuachia gari haki utakuja kujua muda umeenda sana. Yamenikuta sasa
92
57
896
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Tarehe 13March ndiyo mwisho wa uchumba wetu na Mungu akitupa uzima anakwenda kuwa mke wangu halali. Ilikuwa safari ndefu sana lkn kwa uwezo wa Allah tunakwenda kufikia malengo. Ikawe kheri kwetu inshaallah ๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
160
27
862
@hancymachemba
Hancy Machemba
5 months
Wanawake wengi wa sasa wanaamini utii kwa mume ni utumwa. Basi Sawa tuendelee kuongeza idadi ya single mothers
82
136
883
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Kijana mwenzangu tafuta sana pesa huku ukimuomba Mungu,baada ya hapo tafuta mtoto wa mtu ambaye unahisi ana mapenzi ya dhati kwako kisha mpe furaha naye akupe furaha na muishi.
Tweet media one
90
24
851
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 months
Wataanza kusema watagharamia matibabu yake.
66
72
871
@hancymachemba
Hancy Machemba
1 year
Kwa mfano,ni mfano tu lkn. Je tukiamua kuachana na mbio za mwenge kila mwaka,na tukaamua kuuweka pale Dodoma tuwe tunauona. Na kisha tukasitisha sherehe za uhuru kila mwaka na pesa zote hizo zikaenda kuchangia kwenye Toto Afya Card kuna mwananchi atailaumu serikali?
Tweet media one
159
128
860
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Baada ya kumpumzisha mzee sasa ni kujitahidi kurudisha tabasamu kwa huyu mama.
Tweet media one
71
14
825
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Tuombe Mungu mama asichukue tena mkopo huko China ili tupumzike hata miezi miwili au mitatu
111
40
837
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Ila maisha haya tunatoka mbali sana Miaka yote hiyo sina kitu zaidi ya kitambi tu 2010 vs 2021.
Tweet media one
Tweet media two
113
17
832
@hancymachemba
Hancy Machemba
8 days
Wabunge wengi wa sasa kurudi bungeni labda yafanyike kama yale ya JPM,tofauti na hapo ni mtu wa ajabu tu ndiye atawapigia. Waligonga Meza wakati wa kuondoa Toto afya kadi,washangilia wakati wa TOZO,hoja za 2qtu kutekwa hawakujali kabisa. Halafu wanarudi kuomba kura tena?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
77
129
859
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 months
Hili la @Sativa255 hebu litufunze baadhi ya mambo sasa na kuchagua kuishi maisha tofauti. 1. Hakuna haja ya kujaza followers ambao ni hatari kwako. 2. Tuwape watu nafasi ya kukaa wao kwa wao wapongezane na kupena support kwenye mambo yao wanayofanana mitazamo. 3. Ushkaji feki No
56
150
838
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Ilikuwa safari ndefu sana yenye changamoto nyingi ambazo zilikuwa zinakatisha tamaa sana. Kuna wakati kila mmoja aliamua kuishi maisha yake bila mwingine,lkn penzi la kweli huwa halifi na hatimaye kesho tunaweka mguu mmoja ndani ya ndoa tuliyoitamani. Allah atusaidie tuifikie๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
143
72
815
@hancymachemba
Hancy Machemba
1 year
Kama tunaamua dini zisichanganywe na siasa basi iwe pande zote,na kama tunaamua watumishi wa umma wasijihusishe na siasa basi iwe ni pande zote. Inakera sana kuona wakiwa upande huu ni wazuri na wakiwa upande ule hawafai. Tumeshuhudia mpaka wakuu wa polisi kwenye vikao vya chama
65
116
830
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Kuna wakati unaweza kulipuuza hili jini @kigogo2014 lkn muda mwingine linasemaga kweli. Lilijuaje kama rais matatizo ya moyo ambayo amekuwa akiyasema mara kwa mara? Alijuaje kuwa rais amezidiwa huyu jini?Kigogo ni nani au pengine ni mtu wa karibu sana pale ndani jengo jeupe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
53
40
795
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Huko tulipotoka huyu kamanda kazi angekuwa hana Leo hii. Kuna muda tukubali tu kuwa mh rais SSH ametufikisha kwenye maisha yetu halisi ya kitanzania. Bado KATIBA mpya na tume huru ya uchaguzi avuke malengo.
Tweet media one
65
60
817
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
Etiii!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
62
52
797
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Ikawa hivyo yaani Heshima kwake mpiga picha wangu @DavidMpilipili Tuendelee kuwaamini vijana wenzetu humu na ku support harakati zao.
Tweet media one
130
43
801
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Vijana wenzangu wa Twitter naomba tuheshimiane,iwe kuna sababu yoyote ya kisiasa au jambo gani hatustahili kutukanana. Kuna maisha tunapaswa kuishi leo na kesho. Nimeshangaa watu ambao waliwahi kunitukana ndiyo hao wanakuja Dm kuomba ajira kwangu. Sina kinyongo ila tujifunze
102
39
798
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
5yrs kumefanyika mambo mazuri na serikali ya wanyonge kila mtu anaona,lkn raia tunataka nn zaidi maana naona upinzani hasa CDM wanapata watu wengi hasa wenye mapenzi ya moyoni kweli tofauti na wale wanafuata show za wasanii.Nadhani kuna jambo la kutafakari kwa kina kwa watawala
68
50
798
@hancymachemba
Hancy Machemba
7 months
Asante Mungu wangu kwa nafasi uliyonipa ya kuanza mwaka mwingine kwenye maisha yangu. Umenilinda na kuniokoa kwenye mengi magumu ambayo kwa uwezo wangu nisingeweza. Simama nami mpaka pale nitakapomaliza kazi uliyonileta hapa duniani. Nahitaji hekima kutoka kwako tu. HBD to me๐ŸŽ‚
Tweet media one
252
93
805
@hancymachemba
Hancy Machemba
3 years
Huyu dada @ummymwalimu ni kiraka muweke popote yy ni kazi tu anapiga na maneno machache. Ni mmoja wa wanawake ninaowakubali maana huwa anaonyesha wazi kuwa wanawake wanaweza sio lazima kuwezeshwa. Mungu aendelee kumbariki siku zote inshaallah
76
56
778
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Haki nawaambie ni kheri kunyimwa maendeleo kisa tumechagua wabunge wa upinzani ila wao ndiyo pekee wanaoweza kuisimamia serikali hasa. Wacha wakafukuzwe bungeni,wadharirishwe kwaajili yetu na hata wafungwe kwa kututetea. Ila nyakati za sisi kuhukumu huwa zinafika kama hivi 28/10
26
87
772