Allan Lucky Profile Banner
Allan Lucky Profile
Allan Lucky

@Allan_Lucky

106,915
Followers
3,288
Following
1,800
Media
122,251
Statuses

Media, communications & marketing consultant | Social entrepreneur | Airbnb host via @havana_listings

Tanzania, East of Alkebulan
Joined November 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
mtu mmoja ajaribu hii silaha basi halafu atuletee mrejesho...🤣🤣🤣
Tweet media one
170
120
2K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
Thanks @ESPNUK for recognizing my tweet. Follow me for more content like this 👊
@ESPNUK
ESPN UK
2 years
Is Eriksen an upgrade on Pogba? 🤔
Tweet media one
2K
3K
67K
107
108
2K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Manara kaijenga Simba au Simba imemjenga Manara? Hizo deals kubwa kubwa mbona hakuzipata kabla ya kuwa Simba? Nani kamtumia mwenzake kwenye hili?
157
60
2K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Tundu Lissu supporting Maalim Seif is a clever move.
27
81
2K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Makampuni ya simu yanapaswa kutoa tamko, kuomba radhi kwa wateja wao na kurejesha bundles zisizotumika ipasavyo katika kipindi cha adha ya internet iliyojitokeza. Kukaa kwao kimya kunaonesha jinsi gani hawajali wateja wao.
156
161
2K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Unapoona miundo mbinu inashindwa kuhimili kijimvua kidogo tu kama cha Dar es salaam, ndio unajua kuwa pesa za wananchi zimetumika vibaya.
54
166
2K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
Mbuzi mzururaji kakutana na muuza supu 😂
Tweet media one
98
60
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Mimi kama mshabiki wa Simba ambaye sina kadi ya uanachama lakini naipenda Simba kufa, sifaidiki kifedha na klabu zaidi ya kufurahia soka safi na ushindi, haijaniteteresha hata kidogo na uteuzi wa CEO mpya, kwangu mimi barida tu. Ninachotaka kukiona na kukisikia ni USHINDI.
91
160
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Binafsi siwezi kumnadi mgombea nisiyemkubali hata nikilipwa. Kwa kifupi, siwezi kuikubali hiyo kazi. Wangapi mko kama mimi?
64
81
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Watu wanahoji kwa nini Mbowe hana ulinzi. Tunachotakiwa kuhoji ni kwa nini mtanzania ashambuliwe tu akiwa anaelekea kwake. Kutokuwa na ulinzi hakutoi tiketi ya binadamu kushambuliwa.
47
125
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Zuchu is a pure combo of Taarab, Bongo Fleva, Oriental and RnB. What a talent. 🔥🔥🔥
35
42
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
Basi ndio hivyo tena, mwaka umeshaanza kwa kasi ❤️
Tweet media one
60
28
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Return of the champions, from where 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
130
56
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Kwa shabiki halisi wa Yanga mwenye uwezo wa kufikiri atajua kuwa this is a very poor management decision by the club. Mtu kawatukana miaka 6 leo unamuajiri 😂 na mnajua kabisa hana mapenzi na nyie isipokuwa pesa, bado mnachekelea, acha mliwe 😂
232
48
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Vijana wa kitanzania. Unawapa nafasi, unawatafutia connection. Wanabweteka, wanaanza kuzoea, wanajipa ujuaji, wanapoteza uaminifu, wanaanza kutapeli na kuwa waongo waongo. Halafu mwisho wa siku wanaanza kulaumu mablo kuwa wanabana.
74
128
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Forodhani Zanzibar is just overrated.
66
34
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Siku uraia pacha ukiruhusiwa, ungependa uwe raia wa Tanzania na nchi gani nyingine?
347
28
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
Inasikitisha sana kuona Waziri yuko bize akibishana na wananchi mitandaoni kuhusu adha wanayoipata kwa mitandao ya simu badala ya kudili na hiyo mitandao kutatua kero za wananchi. Kuna viongozi wa ajabu sana.
100
123
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Kuna makundi makubwa matatu Tanzania - yote hujinadi yana mapenzi mema na nchi. 1. Wanasiasa - Usiwaamini 2. Wanaharakati - Chagua wa kuwaamini 3. Wafanyabiashara - Usiwaamini 4. Watu wa dini - Chagua wa kuwaamini 5. Wananchi wa kawaida - Wasikilize sana. Hawa ndio wenye nchi.
55
194
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
Unajua mpaka leo kuna watu wanaamini Adam Mchomvu na kina Fetty walipiganaga studio 😆
36
17
1K
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Mnaombwa msamaha hamtaki what do you people want? 😂
178
17
973
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
With my skilled photographer... 💕
Tweet media one
25
20
997
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Wakati wa Magufuli tuliogopa kutoa maoni mtandaoni kutokana na aina ya utawala wake. Leo tuko na mama Samia, tunaogopa kutoa maoni yetu mtandaoni kwa kuhofia wanaharakati. Dunia duara.
121
66
975
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Utajiri wa nchi, fedha za nchi ni mali ya wananchi. Chama kilichopo madarakani kinatakiwa kusimamia utajiri, kuuendeleza na kusimamia matumizi ya fedha za wananchi na sio kuzifuja au kujinadi kama za kwao. #Jichague
27
146
961
@Allan_Lucky
Allan Lucky
1 year
Nilisoma EGM, Kisha Computer Science. Sasa hivi nafanya mambo ya media, utalii kwa mbali, kukarimu wageni na biashara za hapa na pale. Maisha hayachagui. Vipi kuhusu wewe?
108
47
953
@Allan_Lucky
Allan Lucky
1 year
Ahmed Ally anasema ngao ya jamii imepungua sana (imekonda) kwa kukosa matunzo. 🤣🤣🤣 "Mara Jangwani, mara Kigamboni, mara posta, hamna makazi maalum"
46
38
939
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
So hapa Dar kuna sehemu maalum kabisa wanauza vifaa vya magari vya wizi na kila mtu anajua, kwa nini hatua hazichukuliwi kwa hawa jamaa?
79
32
872
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Dear Uni students. Yes there is alcohol, sex & drugs. Yes we know u want the life u fantasized when in secondary school. In fact, we totally agree that you've grown up. But also there is career, responsibilities and relationships to build. It's time to add those in the todo list.
25
193
881
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
It's my daughter's birthday! I am happy and a proud father. This day in 2010, God blessed me with a loving, kind and very smart soul. Thank you for changing my life. I love you Brooklyn-Hope ❤️
Tweet media one
50
27
881
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Usipoelewa Katiba ya nchi ni nini, huwezi kuona uhusiano wa karibu uliopo kati ya Katiba bora na maendeleo.
20
84
848
@Allan_Lucky
Allan Lucky
1 year
Kama taarifa ya Yanga kupewa ndege na Rais kwenda kucheza mchezo wa ligi ina ukweli, haya ndio maoni yangu. Kama una yako, weka tujadiliane.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
403
96
857
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Godbless Lema appreciation tweet! 👊
15
40
830
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Why is it hard for people to apologize when they go wrong?
94
50
825
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Merry Christmas 🎄
Tweet media one
24
18
825
@Allan_Lucky
Allan Lucky
1 year
Mmepambana, ukweli usemwe. Mmefanyiwa figisu za kufa mtu. Timu za Tanzania zijifunze namna gani wenzetu Kaskazini wanapambania matokeo, wanacheza ndani na nje ya uwanja, na mashabiki hawako Twitter tu wakibishana, wanaenda uwanjani kusaidia ushindi na silaha za kila aina.
61
85
836
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case.
60
25
755
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
You are so proud going back home to your family and kids, while knowing you have robbed someone's life and freedom. Who are you really? 💔
26
117
776
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Jamani mnaojaribu kuni hack, mimi niko upande wenu ma IT, wala sijasema hamuwezi. Mmenifananisha vibaya.
52
16
765
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Tutafuteni hela wazee. Tafadhali sana nawaomba. Tutafute hela.
47
49
731
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Kwa hiyo Senzo aambiwe amfukuze kazi Manara, na hapo hapo Manara anasema hakuwa na mkataba. Sasa afukuzwe kama nani? Inafikirisha.
115
28
735
@Allan_Lucky
Allan Lucky
10 months
Mtu wa ball kaongea.
Tweet media one
55
58
755
@Allan_Lucky
Allan Lucky
5 years
Nani mwingine hajawahi kutumia iPhone kama mimi?
112
27
718
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Hivi kwa nini madaktari na wanasheria wao hujiona kuwa ndio wasomi kuliko mtu mwingine yeyote yule duniani?
110
27
702
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
What do you do for a living?
200
25
699
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Huu msemo wa 'twendeni mbele turudi nyuma' una maana gani?
92
22
706
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Wataalamu wa Twitter mnaopenda debate, mnaonaje tufungue debate club? Kila Jumamosi baada ya #ElimikaWikiend pale opposers na proposers waanze vita.
82
49
709
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
Very sensible explanation. I am delighted some people sit down to think these things through, thoroughly.
46
154
718
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Kuna mtaalamu wa kufix laptops humu? Na kuweka weka zile ma OS na ma drivers na kadhalika? Awe Ni kijana tu hustla, msinipendekezee makampuni makubwa makubwa. Nataka nimuinue hustla mpwa mmoja.
50
41
688
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Vitu vinafanyika humu humu Twitter hakuna story za nitumie email wala nini...
Tweet media one
38
42
704
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Mwanasiasa: Nakana kuhusika na screenshots za tweets zinazosambaa kunihusu. Zimekuwa fabricated kwa malengo ya kunichafua kisiasa. Mimi: Tweets ni zangu zina miaka zaidi ya 4 tangu ziandikwe na ndani ya kipindi hicho chote hakuna rangi hatujaona kama watanzania. NIMEBADILIKA!
62
51
698
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
On Twitter: "Mama hakosei" "huniambii kitu kuhusu mama" "mama kwanza mke ndio anafuata" Reality: Demu anahongwa 500K mama anatumiwa 100K tena kwa shida sana, mpaka akohoe damu. Context: We lie a lot here and the vibe we force to project isn't the reality.
55
123
704
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Haji Manara anaijua kazi yake kuliko mtu yeyote yule. Hakuna msemaji yeyote anayeiweza kazi ya mpira kama Haji Manara.
52
37
700
@Allan_Lucky
Allan Lucky
11 months
"Niliijua Tanzania kwa sababu ya Simba kwa sababu nakumbuka wakati nipo Arsenal, tulitaka kumchukua mchezaji wao anaitwa Okwi" #HiiHaiwahusu
Tweet media one
34
43
719
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
Millard Ayo >>> all media houses in Tanzania, combined. Ni kama huwa wanaiba news kutoka kwake pia.
26
40
706
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Pia, lazima kama wana jamii tukiri wazi kuwa hatukuwasimamia vizuri dada zetu @halimamdee na @esteramosbulaya . Utofauti wa itikadi kisiasa usihalalishe violence against women.
20
87
693
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Mbali na Loyola, shule gani nyingine ilikuwa na umarekani mwingi? 🤣
67
15
669
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Tell us you own a car without telling us you own a car. Here we go...
102
9
652
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
"I'm 33 and at the lowest point of my life. No job, no savings, and the love of my life doesn't love me back. I severely compromised my career because of depression. What should I do?" - Anonymous
97
67
664
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Yanga Queens wako busy wanajaribisha madera. Simba Queens iko Kenya inafumua mtu magoli huko. Levels.
26
21
661
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
All the best champions @SimbaSCTanzania Tanzania is behind you. Time to show them what we got! 👊🦁🇹🇿 #NguvuMoja
Tweet media one
10
53
665
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Pia, niliwahi kusema kuwa moja ya makundi ambayo tunapaswa kuwa makini nayo, na kuchagua kwa umakini mkubwa wa kuamini au kutowaamini, ni hili kundi la wanaharakati.
28
40
666
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
Wakuu @chapo255 na @rollymsouth niwaulize kitu. Kwa kuwa Zainab alikuwa amelewa (kutokana na mtazamo wenu), manake alistahili kufanyiwa alichofanyiwa?
71
33
665
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Kweli kabisa mtu unatoka nyumbani asubuhi, unaaga familia kuwa unaenda kazini, na kazi yako ni kukata umeme, kweli? 😂
46
38
650
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Sio msikilizaji mzuri sana wa redio kwa sasa lakini sidhani kama kuna kipindi kingine cha redio kinachotoa mashavu kwa Bongo Fleva purely, unconditionally, kama Planet Bongo. Kama kipo nifahamishwe. Dullah is the real pioneer of Bongo Fleva wa kizazi cha watangazaji 2010 - 2020.
27
33
642
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
So, kumbe Didier Gomez resigned, he took responsibility as a coach. hakufukuzwa. Why some media twist the story?
51
18
635
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
I was offline for a minute, enhee... Who stayed 13 years without food? 😂
65
11
620
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
Why do people hate Suphian so much?
124
7
620
@Allan_Lucky
Allan Lucky
5 years
One more year full of life. Thank you Lord. 🙏
Tweet media one
66
15
623
@Allan_Lucky
Allan Lucky
5 years
Liverpool kama kweli wanajiamini ni wababe watuachie tupige kama tatu hivi za haraka halafu ndio waanze kazi. Otherwise ni mafala tu.
89
65
609
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Kaka @JMakamba nimesikiliza mchango wako bungeni, naomba nikuambie kuwa una akili kubwa sana. Nimekuelewa vyema. 🤝
19
27
617
@Allan_Lucky
Allan Lucky
1 year
Last 8 #CAFCL timu sita kutoka Kaskazini, moja pekee kutoka Kusini na moja pekee kutoka Mashariki ya Africa. @SimbaSCTanzania ikiwa katikati ya vigogo Africa. Itoshe kusema Simba ni alama pekee ya soka Africa Mashariki na Kati. Hongera kwa mafanikio haya endelevu 👏👏👏
Tweet media one
26
65
638
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Your favorite politician? Reply with their names here...
310
10
603
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Kuna ka script kaliandikwa kusapoti tozo. Ma influencers wakatambaa nako weee... Leo kametoka ka script kengine ka "serikali yenu ni sikivu" ma influencer hao hao wanatambaa nako tena. 😂😂😂
56
35
611
@Allan_Lucky
Allan Lucky
9 months
📍Sinza behind PSSSF Commercial Complex. Excited!!! @havana_listings ♥️ #airbnbdaressalaam
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
15
72
621
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Kwa hiyo kumbe Haji alitoa lebo ya mdhamini wa club kwenye press conference? Ndio maana mwanangu MO alikuwa anamuendea direct kwenye post zake. Hii sio sawa kabisa hata kama ni balozi wa maji mengine, bado yeye ni mfanyakazi wa taasisi kubwa ambayo ina ubingwa wa mapinduzi cup.
35
16
606
@Allan_Lucky
Allan Lucky
11 months
Zamani, kwenye event za kimataifa, Diamond alikuwa anaonekana kama anashobokea mastaa wengine wa Africa. Sasa hivi kibao kimebadilika. Ukiangalia mastaa wengi Africa ndio wanamshobokea Diamond kwa sasa. He has earned the power, influence, and status as one the biggest in Africa.
28
45
618
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
Would you go to live in Mwanza or Arusha?
203
8
590
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Kuna nani mwingine anataka apate angalau elfu hamsini zaidi kwa siku kuongezea kwenye kipato chake kama mimi?
57
17
579
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Inaelekea Laizer ana mawe mengi ya Tanzanite ila strategy yake ni kuzindua moja moja. 🤣
24
15
590
@Allan_Lucky
Allan Lucky
7 months
Ulimbukeni wa jamaa zetu: 1. Wanadhani wao ndio wa kwanza TZ kufika fainali ya CAF. 2. Wanadhani wao ndio wa kwanza TZ kufika robo fainali mabingwa Africa. 3. Wanadhani wao ndio wa kwanza TZ kuwafunga wapinzani 5. Mfano halisi wa kipofu kuona mwezi. Hangaikeni na hii pia.
104
55
611
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Nimefikiria sana cha kuandika nimeshindwa. Itoshe kusema tu hongera sana @IdrisSultan umekuwa aggressive sana kwenye kiwanda cha filamu na matunda yanaonekana. Ningesema you are the first Tanzanian to appear on Netflix but Abdu Simba alikuwahi. Si mbaya kuwa wa pili 👊💪
11
23
586
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Msemaji wa Yanga anatumia taasisi iliyomuajiri kwa kuamini uwezo wake katika uhamasishaji kufanya personal attacks kwa muajiri wake wa zamani. Aendelee kuishambulia Simba hakuna anayejali ila personal attacks kwa MO is just pathetic!
90
32
585
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Kwa hiyo wote tuhamie Equity?
29
11
574
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
I haven't made it in life but am fine. I am thankful. I can eat, my kids can eat. My people can eat. We have a shelter. I still have a long way to go towards my goals and dreams. I am not giving up today.
16
68
588
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Since ninunue crypto naona inashuka value tu badala ya kupanda. Twitter uwekezaji na Twitter biashara ya fedha mnanishaurije?
82
16
568
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
Celebrating the Ramadhani Brothers. #Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
15
94
580
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
🧢👞👓👕👖
Tweet media one
26
3
583
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Mkuu wa majeshi kamuita Rais "mama". Wanaharakati mtani-disappoint sana mkiamua kukaa kimya kwa kweli, msituonee sisi vidagaa tu.
36
25
570
@Allan_Lucky
Allan Lucky
2 years
Shomari Kapombe is a player and a half! Salute to this man.
9
18
572
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
We really needed a new president.
38
24
565
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
Mtu anithibitishie hapa kwamba wakati wa Magu umeme haukuwa unakatika. Maana yake kwa miaka sita aliyokuwa mkuu wa nchi umeme haukuwahi kukatika. Nchi gani mlikuwa mnaishi?
116
22
569
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
MAWAZO YAO: 1. Yeyote mwenye mtazamo tofauti na wao, basi ni mwanachama wa CCM au MATAGA. 2. Wao tu ndio wenye akili na wako sahihi kwa kila wanachofanya - kuliko mtu mwingine yeyote duniani. 3. Wao pekee ndio wanaoitakia mema nchi, sio mtu/chama kingine chochote. #DuniaDuara
124
61
557
@Allan_Lucky
Allan Lucky
8 months
Mnaonaje wadau 😂
59
121
581
@Allan_Lucky
Allan Lucky
1 year
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuwa na elimu ya juu na kuwa na akili. Elimu ya juu haileti Akili wala Akili haizuiwi na elimu ya chini.
47
69
576
@Allan_Lucky
Allan Lucky
1 year
Kijana wa Kitanzania popote pale ulipo, kwenye kazi yeyote ile, kama unapiga kazi kisawasawa na malipo yako hayafurahishi, DAI UNACHOSTAHILI! Kuna ubaguzi sana kwenye hizi ajira ni njaa tu zinawafanya watu wawe kimya.
38
78
576
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 months
Hivi kuna kampuni ambayo ni useless with very poor customer care kama Zuku Tanzania?
118
27
582
@Allan_Lucky
Allan Lucky
1 year
Hawa hawa vijana wanaomnanga Feisal, ndio walalamikaji wakubwa kwenye ajira zao. Sababu zao ni hizo hizo: 1. Maslahi yasiyoridhisha vs kazi wanayofanya. 2. Manyanyaso kutoka kwa waajiri wao. Inasikitisha kwamba tatizo hili ni kubwa kwa wengi, sio sekta ya michezo tu.
75
71
575
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
TYCS mapendo.
109
9
555
@Allan_Lucky
Allan Lucky
3 years
CEO wa @SimbaSCTanzania is very calm, knowledgeable and intelligent. Huyu dada ajengewe sanamu.
10
30
557
@Allan_Lucky
Allan Lucky
4 years
Kwani kuwa CEO wa club ya mpira wa miguu inabidi uwe na qualifications gani?
58
12
549