Abdulkarim  Juma Profile Banner
Abdulkarim  Juma Profile
Abdulkarim Juma

@JumaAbdukarim

5,907
Followers
434
Following
25,682
Media
291,353
Statuses

A forum of thought and perspectives designed to ignite human right and democrac # revolutionary activist for radical change in Tanzania. team #katibampya .

nairobi,kenya
Joined February 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Tunajivunia uwepo wa shangaz yetu @MariaSTsehai makini jasiri mpandaji wa kweli mwenye upendo wake asiyekata tamaa katika kupigania haki juu ya magumu na mazito tunayopitia hakika huyu ni shangazi wa taifa. #KatibaMpya
Tweet media one
26
66
664
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
2 years
Kwa dhati ya moyo wangu, nawapongeza sana @ChademaTz Kwa kusimama upande mmoja na sisi wananachi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
4
32
449
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
5 years
Hakika nitumie picha hii kuonyesha umuhimu wako katika kujenga taifa lenye umoja amani na upendo ambavyo kwa sasa ni bidhaa adimu tanzania tunakumbuka political wisdom na political tolerance happy birthday mzee jakaya mrisho khalfani kikwete
Tweet media one
26
24
413
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
4 years
Mitano kwa Mh sugu tena #NISUGU2020 mbeya hatuletewi mbunge kwenye bahasha mama ikopo afungue saccos hapa bado tuna kazi ya kufanya like na retweet’s nyingi kwa Mh sugu
Tweet media one
2
102
415
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Unapozungumzia alama ya mapambano ya kweli ya taifa letu hisusani katika zama hizi za siasa maokoto hawa ni watu muhimu katika kusimamia maslah na matakwa ya umma mienendo na tabia zao katika mapambano hazina mashaka tuna mengi ya kujifunza kwa @MariaSTsehai na @TunduALissu
Tweet media one
20
68
345
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
😄😄😄😄😄 policcm wanahqngaika na maandamano ya kesho hatutarudi nyuma katika hili nchi hii lazima mamlaka irudi kwa wananchi hatupoi #katibampya ni sasa #okoabandari zetu
Tweet media one
31
58
284
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Kumekuwa na muendelezo wa uonevu katika taifa hususani kwa watu wanaokosoa mifumo ya serikali hususaniufisadi wa bandari Leo mna mhukumu mwakipesile mbarikiwa miaka 3 jela kisa utofauti mnamtafutia kosa la kuanzisha kanisa bila taratibu. Hili ni shambulio la uhuru wa kuabudu
Tweet media one
8
61
261
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Ni ujinga mkubwa sana unamiliki redio zote kubwa tv zote kubwa magazeti yote nchini alafu umeshinda uchaguzi kwa 90% unaogopa sauti ya watu wachache nyie ccm si mnapendwa sana vip manalalamika kusemwa mwendazake 😀😀😀😀😀😀
1
20
242
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Kama risasi 16 hazikumshusha chini basi kamwe hakuna kiumbe yeyote anayekwenda haja kubwa wala ndogo anayeweza kupambana nae . Huyu ni mshindi na aliumbwa kwa kusudio maaluumu @TunduALissu mbeba maono hafi mpaka yatimie.
Tweet media one
15
37
254
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Hakika @MariaSTsehai ni hazina kwa taifa letu umekuwa mwalimu mzuri katika kupigania haki haujawah kuyumbishwa na hoja nyepesi tuna mengi ya kujifunza kutoka kwako. Ni ukweli usiopingika kwamba uadilifu wako ni tunu kubwa sana katika ukombozi.
Tweet media one
21
55
246
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Achana na yule raisi wa bandia kama cheni ya dhahabu feki huyu ndio raisi wa nchi aliyechguliwa kwa ridhaa ya wananchi @TunduALissu hajawahi kuyumbishwa na wahuni. Ana dhamira na nia ya kuwakomboa wananchi katika changamoto za kitaifa. Mbeba maono hafi mpaka yatimie.
Tweet media one
2
39
248
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Tunajivunia kuwa na shangazi @MariaSTsehai mwanamke jasiri imara na madhubuti hawezi kuyumbishwa na vitisho vya watawala dhalimu ambao wamepoteza focus katika mambo ya msingi yeye shangazi anasema #KatibaMpya ndio jibu hatupoi #mwenyenchiwananchi
Tweet media one
18
41
238
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Am abdulkarim juma am Muslim I support @IssaShivji and all supporters of bandari haiuzwi epuka matapeli @IAMartin_ @MariaSTsehai
Tweet media one
13
62
227
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Hongera sana @MariaSTsehai kwa kuongeza followers 1M .Often people who criticize your life are usually the same people who don’t know the price you paid to get where you are today. Tunakupenda sana na hakika unastahili zaidi ya hayo, we proud of @MariaSTsehai #KatibaMpya
Tweet media one
4
19
229
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Ndani ya mahakama kuu kanda ya mbeya tayari kusikiliza kesi ya kupinga bandari zetu kutolewa kihuni #okoabandari zetu
Tweet media one
2
38
227
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Kwakuwa @tanpol wamejivika ukuwadi wa kuisaidia ccm nasi tynawaambia sisi kama vijana makini tunatambua thamani ya taifa na utaifa wetu tutalilinda kwa wivu mkubwa sana tumeapa kuhakikisha vitambi vyao vinaisha na sasa ni mbeya #katibamoya #okoabandarizetu
Tweet media one
13
52
226
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Udini ni silaha ya mtu mvivu kufikiri na kujenga hoja, unapoona kuna mijadala ya msingi kama huu wa bandari wenye maslah mapan kwa umma na akajitokeza mjinga mmoja kwa mwamvuli wa dini kushambulia watu kwa rangi zao au dini zao huyo ni mpuuzi na apuuzwe na kukemewa @MariaSTsehai
Tweet media one
8
58
217
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Harakati na njaa havikai sehemu moja chadema ni imani tunaishi nayo singida tunasema #katibampya hatupoi
Tweet media one
5
24
218
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
9 months
Tupo katika mwezi bora kabisa ambao kazaliwa mpigania haki wa kweli @MariaSTsehai hakika umekuwa sauti ya wasio na sauti umekuwa kioo cha haki hakika huu ni miongoni mwa miezi bora kwetu wanaharakati tutayaishi maisha yako kwa kutunza kazi na mapambano yako katika haki.
Tweet media one
9
41
223
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
4 years
Tunakwenda na tupo tayari kulipa gharama za mateso hayo @tanpol hakuna mateso na ukatili usiolipika
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
4 years
Eti leo kwenda kupokea mgeni airport tunatishiwa na polisi alafu MATAGA wamefurahi wanataka watu waende wapigwe na waumizwe! Mnajua kuwa MATAGA walifurahi sana @halimamdee alipovunjwa mkono na wengine kuumizwa? Mnafikiri hawa wana utu? Wanafurahia ukatili #ChangeTanzania
80
101
1K
2
14
194
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Hatutakubali huu utamaduni tunaojengewa na @ccm_tanzania wa kutujibu hoja kwa risasi na mabomu. Sisi kama wanaharakati tutahakikisha tunapambana kutafuta ukombozi wa taifa letu. No matter what tutatimiza wajibu wetu. #katibampya #WenyeNchiWananchi #StopMaasaiEviction
Tweet media one
8
39
201
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Tweet media one
1
50
197
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Tanzania is a northern korea of africa
8
18
187
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Mwamba huyu hapa anasema hakuna kurudi nyuma #TuliaPepo #Bandariurithiwetu @mdudechadematz wametuachia usiku na Leo wametutaka turipoti polisi
Tweet media one
9
41
190
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Tumechagua maisha ya kupigania haki hatutarudi nyuma tunajua sisi tukipanga kukomboa nchi nyie mnapanga kutufunga kututesa kutuumiza na kutupoteza ila faraja yetu kuu ni kwamba tupo tayari kukabiliana na vikwazo hivyo hatupoi aiseee @MariaSTsehai @HildaNewton21 @HecheJohn
11
33
180
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Shambulio la kutisha dhidi ya @TunduALissu limejaa ukakasi mkubwa na ni doa kwa utawala wa ccm itoshe kusema halikuishia kuwa shambulio la uhai pekee bali ni shambulio la uhuru wa mawazo na demokrasia na @TunduALissu Atabaki kuwa alama ya ukomboz Tanzania na ishara ya uhuru
5
36
183
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Nguvu ya mwanamke ni kubwa sana katika kubadili mambo katika jamii, katika kuadhimisha siku hii muhimu natambua na kuthamini mchango mkubwa wa shangaz @MariaSTsehai katika kupigania haki na usawa wewe ni SUPERWOMAN wa taifa #katibampya itapatikana kwa mchango wako
Tweet media one
6
33
182
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
9 months
Hakika huyu ni mpenzi wa haki Ana maono na taifa letu sio mtu wa kukatishwa tamaa binafsi nafurahi na naendelea kujifunza mengi kutoka kwa wakili msomi @Mwabuk2Boniface maisha yako ni alama na nuru ya haki katika zama hizi ambazo zimejaa wasaka Tonge.
Tweet media one
7
33
179
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
2 years
Katika kuadhimisha 8/03/2023 siku ya wanawake dunian basi mi kwangu nimeamua kuheshimu na kutambua na kuthamini mchango wa shangazi @MariaSTsehai katika kupigania haki na usawa. Tukitaka kupima kielelezo cha haki nchini Tanzania basi ni shangazi hayumbishwi. #KatibaMpya
Tweet media one
7
47
168
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Kuendelea kuishambulia familia ya mwakipesile mbarikiwa kwa kumfunga miaka mitatu huku wanawe nao mmewapaka kesi ili ni shambulio la uhuru wa kuabudu na shambulio dhidi ya uhuru wa kutoa maoni tunaitaka mahakama itende haki na tunataka jeshi la @tanpol waache uonez mara moja.
Tweet media one
Tweet media two
12
73
171
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Hakika mtu thabiti makini mwenye dhamira ya kweli ya kulikomboa taifa pia ni kiongozi anayrhakisi matamanio na matarajio ya watanzania nae ni makamu mwenyekiti @ChademaTz na raisi wa mioyo yetu @TunduALissu mbeba maono hafi mpaka yatimie.
Tweet media one
7
35
171
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
9 months
Mpambanaji mkweli na muwazi mpenda haki anatumia maarifa taaluma yake kwa maslah ya wengi hakika wewe ni alama ya haki shangaz @MariaSTsehai vijana tuna mengi ya kujifunza kutoka kwako
Tweet media one
10
32
164
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
5 years
Hilda hakikisha napata ya heche kamanda nipo mbeya
@HildaNewton21
Hilda Newton
5 years
T-shirt hizi zitauzwa November 16 kwenye mnada wa vifaa vya Chama unaoandaliwa na uongozi wa @ChademaTz kanda ya Serengeti.
Tweet media one
Tweet media two
17
28
312
5
7
146
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Simbachawene anapambana na digital platform kwa mtutu wa bunduki na magereza vitisho havina nafasi katika ulimwengu wa teknolojia
Tweet media one
5
16
154
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Ushauri wangu kwa vijana acheni kushabikia mambo ya kijinga kama ngono na hanasa tupiganien katibamya ksho yetu bora itajengwa kwa kupigania katibampya #MariaSpaces #KatibaMpya
9
19
154
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
2 years
Hakika shangazi @MariaSTsehai ni mwanamke jasiri,shupavu mwenye uzalendo wa hali ya juu usio na mashaka mwenye shauku na maono ya taifa tutapambana nae mpaka tupate #katibampya
Tweet media one
5
15
152
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Leo ni Siku ya Kumbukumbu ya Kifo Cha Aliyekuwa Mkuu wa idara ya Sanaa chadema Taifa *FULLGENCY* **MAPUNDA*( *MWANA COTIDE* ) Aliye fariki Siku na Tarehe kama ya Leo 06/10/2019 Katika Hospital ya ST MONICA Manzese jijini Dar esa salaam,
Tweet media one
13
42
156
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Hakika @TunduALissu ni alama ya ukombozi wa taifa letu. Wewe ni mpambanaji wa haki usiyekata tamaa wala kuhongeka tunakuombea mungu akupe maisha marefu yenye furaha .
Tweet media one
8
29
157
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Shangazi @MariaSTsehai nae anasema future iliyobora ni #KatibaMpya mimi nakazia kwa kusema #mwenyenchiwananchi ili kujenga haki na usawa katika taifa
Tweet media one
13
20
146
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Katika kuadhimisha tarehe muhimu ya kumbukizi yangu ya kuzaliwa 17/09/xxxx nitumie fursa hii kutambua na kuthamini mchango wa mpambanaji asiyechoka wala kukata tamaa dada mwenye roho yake @HildaNewton21 binafsi najivunia sana pia hongera kwa mtoto #HappyBirthday to me.
Tweet media one
13
24
152
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
9 months
Napenda kutumia fursa hii kukutakia kila la kheri shangaz @MariaSTsehai katika kumbukizi ya kuzaliwa hakika wew ni alama ya ukombozi na haki katika dunia #HappyBirthday mwanamke wa shoka. Vijana tuna vingi vya kujifunza.
Tweet media one
8
28
150
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Mbeba maono ya nchi raisi wa nchi na mtetezi wa haki asieyumbishwa wala kuhongwa na watawala anayesimamia misingi ya haki na utu.
Tweet media one
6
47
152
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Maandamano ni haki yetu ya msingi hivyo tutaitumia kuiwajibisha serukali tukutu na wezi wa mali za umma #katibampya #OkoaBandariZetu #StopMaasaiEviction
Tweet media one
6
32
147
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Kuna kila haja ya kulinda haki za watoto na kuwazuia na mazingira ya ngono ili kulinda ndoto zao na za taifa anayeharibu wanafunzi ni sawa na mtu anayemwaga sumu shambani baada ya kuvuna akiamini njaa haitauma tuwalinde watoto wakike ndio mama wabadae ukimuelimisha umeokoa jamii
Tweet media one
2
19
140
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Maandamano ni haki yetu ya msingi hivyo tutaitumia kuiwajibisha serukali tukutu na wezi wa mali za umma #katibampya #OkoaBandariZetu #StopMaasaiEviction
Tweet media one
0
32
147
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Hakika taifa lina kila haja ya kujivunia uhai wako @TunduALissu umekuwa baraka na nuru kwa taifa letu kila wananchi wanapokuona wanaona bishara ya ukombozi wa taifa hakika wewe ni mfano wa kuigwa kwa kila mpenda democracy na haki katika jamii. @MariaSTsehai
Tweet media one
11
41
143
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Hakika umekuwa mwanamke jasiri mpenda haki mpambanaji usiyechoka. Sisi kama watanzania tunajivunia kazi zako za harakati za ukombozi ni wajinga pekee ndio wanaoweza kutotambua mchango wako na kuamua kutumika kukushambulia ila kwakuwa haki huchelewa ila haizimwi. Mungu akubariki.
Tweet media one
9
35
139
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Mapenzi ya mola wetu hayawezi kuzidiwa na khira husda za wanadam hakika uhai wako ni alama ya ushindi wa haki katika taifa na kamwe hakuna wa kuzuia kusudio la maisha yako @TunduALissu tuendelee kupambania #katibampya na ukombozi wa kweli wa wananch pinga siasa na harakat deiwaka
4
36
140
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Mtumishi wa Mungu @MariaSTsehai mtumishi wa Mungu @godbless_lema mtumishi wa Mungu @kigogo2014 hakika nyinyi ni watetezi wa haki na Mungu ni mpenda haki nawaombea maisha marefu yenye Baraka tele
4
12
136
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
4 years
Wanaojiita viongozi wa dini wanafanya kongamano la amani sisi tutafanya kongomano la kudai haki October 28/2020
Tweet media one
1
32
133
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Shangazi wa taifa hajawahi kuyumbishwa na wajinga na wahuni katika harakati za ukombozi hakika shangazi wewe ni jasiri muadilifu una msimamo wa dhati katika mapambano. Tutakulinda dhidi ya wahuni wa harakati mpaka ukombozi wa kweli upatikane. #katibampya ni sasa
Tweet media one
15
37
136
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Moja ya hadhina kuu ya maarifa na hekima katika taifa letu. Binafsi nawapongeza sana kwa kuwa mstari wa mbele katika kupigania haki na ukombozi wa taifa @MariaSTsehai na @raiyajenerali kama vijana na wanaharakati tuna mengi ya kujifunza kubwa kuliko yote ni uhuru wa fikra.
Tweet media one
3
28
134
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Kazi yetu ni kuimulika haki kila mahali agenda yetu ni #katibampya #stopmasaieviction #WenyeNchiWananchi hatutarudi nyuma ni operational ya mtaa to mtaa
Tweet media one
2
33
135
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Kwa bahati nzuri hatutafuti katiba ya raisi bali tunatafuta katiba ya wananchi hivyo hatutakubali suala la mchakato wa #katibampya kufanywa kuwa fadhira au ihisani za raisi. Huu mchakato hatutaungalia raisi anauonaje bal tutapambania kwa machozi na damu kwakuwa unamaslah ya umma
Tweet media one
3
31
130
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Kumekuwa na tamaduni mbovu na haramu kutoka kwa @tanpol la kuingilia na kujihusisha na siasa hivyo tunawashauri kama wameshindwa kazi ya upolisi na wameshindwa kusimamia sheria na taratibu za nchi wavue uniform za kipolisi wajiunge na ccm. Huu upuuzi wao wa kutuma hatuutaki.
Tweet media one
1
29
133
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Vijana tuliopo mbeya kesho tuende mahakama kuu kesi ya bandari inaunguruma vijana hizi kesi ni fursa za kukutana na wanaharakati na watu mbali mbali kuweza kutanua wigo pia kujifunza mambo ya kitaifa tumepata fursa inafanyikia mbeya tuwe sehem ya historia.
Tweet media one
4
33
132
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Kwa taarifa rasmi ni kwamba bado kamanda @mdudechadematz anashikiliwa na jeshi la polisi tupuuze taarifa za kwamba kaachiwa tuendelee kupaza sauti mi ndio mtu wa mwisho kutoka polisi pale.
Tweet media one
3
29
125
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Tanzania is northen korea of afrika
10
6
118
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
"Serikali yeyote isiyo na uwepo wa Mungu ni ya wezi na ndio maana wanaweza kuiba mpaka kura kwa maana ni wa Ibilisi " - Mtume Mwingira. Mimi naamini, ilikuondokana na Mambo yote hayo, tunahitaji #KatibaMpya Tena ya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
Tweet media two
5
25
124
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Tatizo ccm hamumjuh adui yenu nan sio @freemanmbowetz wala @MariaSTsehai mnawaonea bure tu adui yenu ni fikra za mageuzi zilizojaa vofuani mwa watanzania ambavyo hamuwez kuziondoa hao wanawakilisha mawazo yetu na tupo wengi sana hivyo subiri soon mnatujua mmefika mwisho
4
24
116
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Tunaendelea kupinga huu mfumo wa uonevu wa jeshi la @tanpol kushikilia watu bila kufuata kanuni na taratibu unakiuka katiba na sheria za nchi huku ukiweza na kudhalikisha haki za binadam . Hamna kosa mnamshikilia mdude kwa maagizo kutoka mnkokujua.
Tweet media one
2
43
123
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Baada ya jeshi la polisi kuwaeleza umuhimu wa maandamano ya 09/11/2023 na kuwajuza kuwa fedha zao za maafa zimeibwa lakini pia viinua mgongo vya wake na waume za wakubwa. Hakika somo limewaingia na wameanza kuandamana kabla yetu. Hii ni nzuri sana. 😄😄😄😄😄😄
Tweet media one
6
24
121
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
A true definition of leader.
Tweet media one
8
20
116
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
9 months
Huu ni mwezi ambao kazaliwa shangazi mariah sarungi tuna kila wajibu wa kutambua na kuthamini mchango wake katika harakati za kweli za kupigania haki maisha yake ni alama ya haki. binafsi nafarijika kumuona akiwa katika afya morali na shauku ya kupambania mifumo ya haki na usawa.
Tweet media one
5
32
127
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Kwa kiufupi nilivomuelewa Prof shivji ni kwamba huu mkataba wa bandari ukiachilia mbali kuiba utaifa wetu yaan sovereignty bali pia umemuiba na raisi wetu hivyo itoshe kusema nchi haina raisi mamlaka kampa mfalme wa dubai. Kuwa na viongozi madalali n hataree sana. @JumaAbdukarim
Tweet media one
8
32
120
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Tunalitaka jeshi la polisi kumuachia kamanda @GwamakaMbughi katibu wa kanda ya nyasa wanaomshikilia bila hatia. @tanpol mnatakiwa kuhaangaika na wezi wa rasilimali za umma na sio wananchi wanaopinga wizi.
Tweet media one
2
42
120
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
kama uzao wa dhahabu katika kupigania haki na ukombozi katika taifa letu @DEUSDEDITHSOKA kwangu ni mfano wa kuigwa amekuwa jasiri na mwenye shauku ya kuona taifa letu linapata mifumo bora ya haki na amejitoa kwa hali na mali kuhakikisha tunapata #kayibampya binafsi navijunia
Tweet media one
5
36
119
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Baada ya @tanpol muvamia mkutano wetu tumehamia nyumbani kwa @mwambukusi hatupoi mbona si wenyew wahuni kama wao #katibampya #okoabandarizetu
Tweet media one
Tweet media two
2
41
115
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Hatuogopi wala kuumizwa na watu wanaotesa miili yetu kwa kuta za magereza bali tunaogopa watu wanaotesa akili kwa kutoa hoja nzito lazima tupambanie taifa letu #TuliaPepo #Bandariurithiwetu @Mpigakura2020 @MariaSTsehai
Tweet media one
3
25
115
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Unamfunga @freemanmbowetz kwa kutofautiana mawazo tena ya kuhusu ustawi wa nchi huu ni uadui uliopitiliza sana kwa sasa kama wananchi tunaanza kuamini hakuna vyombo vya umma bali tuna vyombo vya ccm @tanpol acheni huo uaskali kanzu kama wa kikoloni
2
17
113
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Yaan ccm na serikali yao wanatamani hata kungekuwa na sayar nyingine watufukuzie huko 😂😂😂😂😂😂😂😂 chadema na wanaharakati tunawashughulisha kweli kweli ila wajue hatupoi
6
16
106
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
2 years
happybirthday shangaz @MariaSTsehai mungu akutunze na kukupa afya njema ili tushiriki kwa pamoja katika ukombozi hakika upekee wako katika mapambano umelifanya taifa kuwa na nuru.
Tweet media one
5
25
114
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Hatutakubali kuwa na maridhiano yatakayofanya ccm iendelee kutawala kwa dhulma na sis kuhongwa vyeo huku damu na uhai wa watu ukipotea hii @ChademaTz hatuwez ila tutakuwa na maridhiano ya kujenga Jamii ya haki na usawa hatuhitaji maridhiano ili tusifiwe na watawala #katibampya
5
19
111
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Hakika huyu ni mwamba anastahili heshima ila kwa watu makini ila wapumbavu wanaona anastahili kifungo #MboweSioGaidi tunataka #KatibaMpya nchi ni yetu sote
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
3 years
Msikilizeni Mbowe “Kitu muhimu tunachohitaji katika uongozi ni kuwa mkweli kuliko kuwa MNAFIKI” 👊🏽 ndo akaongeza “siwezi kujipendekeza kwa Mama Samia Suluhu Hassan wala serikali yake” #MboweSioGaidi Exclusive interview zaidi ya saa moja na @MwanzoTv 👇🏽
31
115
388
5
22
115
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Innallillah wainailahy rajiuun pole sana madam @HildaNewton21 kwa kumpoteza baba hakika haukuwa uhai wa dunia isipokuwa ni starehe za muda mfupi hakika mbora kati yenu ni mwenye kutanguliza mema mbele ya mola wake.🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tweet media one
4
27
113
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
2 years
Sumbawanga wanasema @ChademaTz ni imani na wapo tayari kupigania #katibampya ni sasa. Pia #chademadigital ni uhai wa chama.
Tweet media one
7
25
112
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Katika maisha yangu kitu pekee nilichojifunza ni kusimamia maslah ya taasisi na ndoto zake sio kusimamia ndoto ya mtu. Na siku zote ukitaka kupotea katika harakati simamia ndoto ya mtu ugeuke kuwa mnafiki na chawa. #katibampya nyasa tupo tayar kwa +255
Tweet media one
1
30
111
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Kama taifa tuna wajibu wa kutengeneza vijana wenye maono kujiamini misimamo na fikra huru hakika @DEUSDEDITHSOKA ni mmoja wa vijana ambao kama taifa linajivunia kuwa nao. Mi binafsi najivunia kuwa na rafiki kama huyu. Hakika wewe ni alama ya ukombozi na mapambano ya taifa.
Tweet media one
5
19
110
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Siku zote Mungu hampi mja wake mtiahani asiouweza. Pia kuna nyakati ugumu wa mapito yako ni kipimo cha ukubwa wako. Binafsi nakupongeza sana @MariaSTsehai umekuwa mtu imara usieyumbishwa pia heshima yako ni kubwa sana kwa watu wenye akili timamu. Ipo siku wapumbavu watakuelewa
Tweet media one
6
28
112
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Maandamano ni haki yetu ya msingi hivyo tutaitumia kuiwajibisha serukali tukutu na wezi wa mali za umma #katibampya #OkoaBandariZetu #StopMaasaiEviction ....
Tweet media one
3
36
108
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Bado @mdudechadematz anashikiliwa na jeshi la polisi hajapewa charges yeyote na nikinyume cha sheria alikwenda kumsindikiza wakili mwakubusi wakamngangania tupaze sauti mifumoo dhalimu #FreeMdude #FreeMdude tupo Central kumletea chai.
Tweet media one
2
42
105
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Kwakuww dhamira na nia yetu ni kupata ukombozi wa nchi na sio ukombozi wa vyeo. Basi tujikite katika misingi ya mapambano tusikubali kuyumbishwa na vitu vidogo binafsi naheshimu na kuthamini utofauti wa mitazamo katika masuala hivyo kutofautian sio uadui kama utakuwa na nia njema
Tweet media one
3
27
109
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Siku zote katika mapambano yetu msingi mkuu unaotuunganisha sisi kama wanaharakati ni haki. Hatujawah kuunganishwa na matusi kejeri au vikumbo bali maumivu na mateso uonevu manyanyaso ndio msingi ww undugu wetu katika mapambano haya. Tuungane kupigania nchi huru #katibampya
Tweet media one
4
30
103
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Mataga bwana hivi nan alikuwa hajui marehem alikuwa mtakavitu sasa hili la kumuombea mtakatifu mmelitoa wap @MariaSTsehai
1
6
101
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
5 years
The regime is afraid the people because it knows that freeand fair elections brings about its ends
@HecheJohn
John Heche
5 years
Nakumbuka mchango wangu na mh Lema bungeni wakati hii sheria inatungwa... nakumbuka mchango wa Lissu alitoa mfano waziri wa Ghana alietunga sheria ya kuweka watu kizuizini.. wabunge wa ccm walitumia wingi wao kupitisha hii sheria iwe kificho cha kukomoa watu.
Tweet media one
30
68
516
1
8
97
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
2 years
“Panya Road ni zao la CCM lililotakana na maisha magumu ambayo yanaendelea kutengenezwa katika nchi”- @miraji39 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tweet media one
8
25
98
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Maandamano ni haki yetu ya msingi hivyo tutaitumia kuiwajibisha serukali tukutu na wezi wa mali za umma #katibampya #OkoaBandariZetu #StopMaasaiEviction
Tweet media one
2
24
104
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
@mdudechadematz bado anashikiliwa na polisi kihuni kakamatwa kinyeme na sheria haja pewa tuhuma toka jana mpka Leo na hawajampeleka mahakamani hivyo tupaze sauti ndugu zangu. Kumekuwa na vita kubwa dhidi ya uhuru wa kutoa maoni.
Tweet media one
5
44
98
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Vijana tujumuike katika mjadala wetu katika vijana zamu yetu tutakuwa na kijana wa chama mpambanaji @IAMartin_ vijana tuna wajibu wa kujenga taifa letu.
Tweet media one
8
13
101
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
4 years
Hawa @VodacomTanzania mbona toka kitambo walionyesha kuwa mtandao wa simu usio na uaminifu pale ulipotoa taarifa za viongozi kwa watawala mfano mawasiliano ya membe
@HildaNewton21
Hilda Newton
4 years
Kwani lazima nitumie laini ya @VodacomTanzania na @airtel_tanzania kwanza watu wenye kila siku mnaniibia bundle mmeona haitoshi sasa mmeamua kumuhujumu mgombea Urais wa Chadema Mhe. @TunduALissu . Endeleeni kuunga mkono dhuruma ila binafsi kuanzia sasa nitatumia laini ya Zantel.
75
99
1K
5
6
95
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Mataga mtatuua wote ila msimamo wetu ni jamaa kavuruga nchi na kuiweka katik Giza nene najua ni maneno msioyapenda wahenga walisema ukipenda chongo utaona kengeza ila ukweli utabaki tulipata raisi katili na mbabe aliyetawala kwa mkono wa chupa ni kweli mnampenda ila ndo sifa yake
2
10
94
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
11 months
Tulifanya kazi kubwa ya kufungua kesi kupinga mkataba wa bandari wenzetu wakaihonga mahakama bahati nzuri watanzania wote wakaonyesha kupinga ugawajiwa wa bandari lakini pia bado hawakusikia sasa nawasihi ndugu zangu tukutane mbeya 09/11/2023 kwenye maandamano makubwa
Tweet media one
2
27
95
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
1 year
Mwamba huyu hapa tumpe #tumpemauayake @Roma_Mkatoliki Big up bro
Tweet media one
3
15
94
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Tatizo letu la kiuchumi linachagizwa na ubovu wa vyombo vya ukusanyaji wa kodi na matumizi mabovu ya fedha tunazokusanya kitu ambacho kinashindwa kutibu changamoto na hivyo kutokuleta matokeo kwa wananchi #MariaSpaces
2
19
92
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Maandamano ni haki yetu ya msingi hivyo tutaitumia kuiwajibisha serukali tukutu na wezi wa mali za umma #katibampya #OkoaBandariZetu #StopMaasaiEviction
Tweet media one
1
28
95
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Ukitaka kujua ukubwa wa chadema katika siasa za Tanzania na Africa kwa ujumla basi chukua dakika chache kutafakari juu ya nguvu kubwa inayotumia serikali ya ccm na vibaraka wake lakini chama bado kipo imara hatupoi aisee @HildaNewton21 @HecheJohn
1
18
93
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
10 months
Maandamano ni haki yetu ya msingi hivyo tutaitumia kuiwajibisha serukali tukutu na wezi wa mali za umma #katibampya #OkoaBandariZetu #StopMaasaiEviction
Tweet media one
1
26
95
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
2 years
@chacha_heche
Chacha Heche
2 years
Ziko hazina chadema hata za wakalimani wazuri pia wanyenyekevu
Tweet media one
17
34
573
0
4
95
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
3 years
Ukiwa huru bwana raha sana hujala cha mtu hakuna stress hakuna kupiga magoti wala kujipendekeza wala huwaz nikifanya au kutenda hivi namuuzi mkubwa furaha yetu ni kuwa upande wa haki tunakupenda sana shangaz @MariaSTsehai enjoy #maishabilastress
Tweet media one
3
11
92