#ChangeTanzania Profile Banner
#ChangeTanzania Profile
#ChangeTanzania

@ChangeTanzania

316,807
Followers
1,184
Following
39,349
Media
99,593
Statuses

This is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337

Tanzania
Joined January 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
1 year
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
1 year
I told y’all being a woman is not a qualification Saying “first female president” or “first female speaker” is not something to celebrate if the individual is incompetent, cruel and obtuse So much for those who were celebrating the “female” qualities of @SuluhuSamia and
Tweet media one
Tweet media two
290
424
3K
2
29
57
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Mkuu wa TAKUKURU usiangalie tu idadi ya kesi kuwa nyingi, nadhani tuache kuwa na kazi ya kuwa na Kesi nyingi wakati Kesi baadhi hazina msingi au kubambika, Kesi zisizo na msingi wa kushinda zifutwe maana zinaichafua serikali Pia - Raisi @SuluhuSamia #ChangeTanzania #CAGReport
Tweet media one
90
240
2K
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
Kosa la barabarani linashughulikiwa kijeshi, hii hali sio sawa, haina usawa Tanzania ina mifumo wa sheria kwa masuala yote, hata maafisa wa serikali wanatakiwa kutumia sheria kama vile kuhusisha @tanpol kwenye suala ya kipolisi #ChangeTanzania
345
434
1K
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
TAKUKURU mnajihusisha na Kesi za maida ambazo hakuna rushwa, ni vyema mkahacha vyombo vingine vya serikali kufanya hiyo kazi, Sio shughuli yenu kujiingiza kwenye masuala yasiyo na rushwa, serikali ina vyombo vingine vya kufanya hizo kazi, - Raisi @SuluhuSamia #ChangeTanzania
Tweet media one
48
109
1K
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Pole sana @mwelentuli hakuna mtanzania anastahili hukumu bila ushahidi , bila mifumo wa mahakama, Kama ulitumika tulitegemea ungepelekwa mahakamani. Viongozi watumia mifumo ya sheria kuwajibisha, majukwaa sio sehemu sahihi inaweza umiza wasio na hatia #ChangeTanzania
Tweet media one
15
55
908
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
Katika kupinga ukandamizaji nchini Tunaomba weka sahihi yako kwenye hii petition Kisha post tweet yenye link hii , ukiumeweka tweet ya kuamasisha wengine pia kuweka sahihi Sign here #NoKodiYaMshikamano
6
62
892
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Kuna Viongozi nilifanya nao kazi katika chuo kikuu cha Dar es salaam , walikuwa wanaheshimika sana kwa fikra zao, lakini baadaye wakapa madaraka yakawabadilisha kifikra, na kuwa fikra zisizo na maadili ( Corruption of Mind) - Prof Assad #ChangeTanzania
Tweet media one
33
121
886
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Siyo sheria ya Bunge, hiyo ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayosema kuwa mbunge akiacha kuwa mwanachama wa chama kilichompeleka Bungeni na ubunge wake unakwisha” Spika mstaafu Msekwa Pius Msekwa #ChangeTanzania
Tweet media one
11
71
874
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Haya mambo yana amani tele ni kuweka taratibu tu. #TunduLissuHomeComing imefanyika, CHADEMA wamejisimamia kuhakikisha hakuna fujo, Watanzania ni watu wa amani, Jaribio la kupambana na umati kama huu ni kufanya vurugu tu zisizo na faida #ChangeTanzania Hongera sana RC Kunenge
23
75
809
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Mwanaharakati @fatma_karume amesema ataendelea na harakati. Fatma amekuwa mtetezi wa wananchi, mwalimu wa sheria mtandao, mkosoaji pale taratibu, katiba au sheria zinapovunjwa na mamlaka au watu. Anapenda utawala bora na haki za binadamu #ChangeTanzania
Tweet media one
18
88
789
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
Chagua hashtag mojawapo au pendekeza hashtag: ili kutumika kwenye petition hii kama ujaweka sahihi kwenye petition bofya link #ChangeTanzania
#NoBETAward4Diamond
1405
#StopDiamondBETAwards
1159
#StopDiamondBETAwards
339
Nyingine (pendekeza)
340
112
71
740
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
Kama kupigania haki na maendeleo ya wananchi ni uchochezi basi hata mimi niko tayari kuitwa mchochezi , ni suala jema kupigani haki
25
182
718
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
5 years
Mama Bisimba : Tatito kubwa ni uoga wa Watanzania, matokeo yake inapelekea sheria kuvunja, tunazo sheria nzuri lakini zinavunjwa tumenyamaza, labda kuna siku tutabadilika, Mfano mbunge wangu alisimamishwa kushiriki bunge lakini tuliomchagua kimya!! @humanrightstz #ChangeTanzania
54
129
723
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Asiyekuwa mpinzani ni yule aliyekufa hana cha kupinga lakini mtu aliye hai ana upinzani ndani yake kwa sababu hawezi kukubaliana na kila kitu kwenye maisha yake.”- #HekimaZaBagonza #UhuruWaKujieleza #ChangeTanzania
Tweet media one
9
82
712
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Ndugu Spika, ningependa kumalizia kwa kukubaliana na wabunge wote waliosema na ambao hawakusema lakini wana mawazo haya kwamba jambo hili la kutumia fedha bila idhini ya bunge lazima tutafute kila njia ya kulikomesha" Edward Moringe Sokoine April 11, 1984
Tweet media one
7
93
708
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Mkapa alinipa wizara kubwa sana ‘Wizara Mambo ya Nje” ingawa nilishindana nae kwenye urais, hakuniweka mbali, hakutaka nipotee kama zilivyo siasa zetu za sasa mtu uliyeshindana nae” - @jmkikwete #RIPMzeeMkapa
Tweet media one
31
82
711
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
5 years
Serikali inayozuia mawazo ya watu wake, serikali inayoiba au kuchukua rushwa, serikali ambayo inawatesa raia wake au kudharau #UhuruWakujieleza na haki za binadamu ni lazima ieleweke kwamba ipo mashakani ya kuitwa kwenye Mahakama za kimataifa. ~William Hague #ChangeTanzania
Tweet media one
80
151
671
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Rai Kwa Raisi "Wateule wenye hulka na rekodi ya kukanyaga Sheria na Katiba kwa kisingizio cha uzalendo, wapumzishwe kwa heshima. Hawa ni hatari kwa Rais kuliko walivyo hatari kwa nchi. Rais wetu aimbe wimbo wa HAKI TU, Kazi tutafanya na Taifa litainuka". -Bagonza #ChangeTanzania
Tweet media one
21
91
674
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
"Ninapata wakati mgumu kwamba tunatoa fedha kwa Tanzania ambayo haifuati kanuni za ⁦ @WHO ⁩ ,serikali haina ushirikiano kwa njia za kistaarabu, Nataka kujua vigezo na taratibu zilizotumika kutoa fedha, kufanya nini na zimetumikaje natoa masaa 48"-Dr McAlister #ChangeTanzania
47
109
682
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
CAG naomba uwe wazi zaidi kwenye report zako, sema kwa uwazi sana shida iko wapi tusioneane aibu kusema penye tatizo na limeletwa na nani - Raisi @SuluhuSamia #ChangeTanzania #CAGReport
Tweet media one
13
88
673
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Mmewahi kusikia kuhusu fedha za plea bargain ( Kwa DPP kutokana na watuhumiwa kukili makosa) , Nimesikia hizo pesa zinakwenda kwenye account kubwa binafsi, nasubiria kuona ukaguzi wa 2020/2021 utuonyesha hizo pesa zilikuwa zinakwenda wapi - Prof Assad #ChangeTanzania
Tweet media one
15
93
675
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Uwakili wangu hauna maana yeyote kama : 1. Hakuna UHURU wa Mahakama 2. Hakuna UHURU wa Mawakili kuendesha TLS bila ya kuingiliwa na Serikali 3.Hakuna #RuleofLaw 4.Hakuna Haki ya Kujieleza. Bila ya hivi mwaka baada yakunirejeshea uwakili watanifungia tena maana siache kusema!
Tweet media one
6
76
665
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Magufuli amepambana na @TunduALissu kwa risasi za moto mchana kweupe. Mbali na @TunduALissu wapo wengine waliopotea na wanaoendelea kuteswa katika mikono ya “watu wasiojulikana. #WapendwaWetu #ByeMagufuli #ChangeTanzania
Tweet media one
18
57
652
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Napenda nitamke wazi kwamba tunakopita hali ni tete hali si shwari ,- Askofu Ruwa’ichi #CoronaIpo #VaaBarakoa #TzCovod19
Tweet media one
5
66
652
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Hakuna DINI inayoiwakilisha nyingine. DINI zote zisikilizwe .”- Askofu Bagonza #HekimaZaBagonza #ChangeTanzania
Tweet media one
12
52
629
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Prof Safari :“Wazazi wetu walichukua miaka saba kumuua mkoloni,sisi Watanzania tutatumia miaka mingapi kupata tume huru ya Uchaguzi?Mazingira ya sasa ya kudai tume huru ya Uchaguzi ni mazuri zaidi kwa kuwa hata jumuiya za kimataifa zitakuwa nyuma yetu” #ChangeTanzania
Tweet media one
7
45
619
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
#ChangeTanzania tumepokea maoni mengi sana kuhusu kutambua juhudi na Utu wa Prof @MarkMwandosya na Balozi @KKagasheki katika kuelimisha jamii hasa mtandaoni, tunashauri jiunge na account zao (twitter) Ni viongozi wanaongea mambo Kama yalivyo na kwa hekima, Mungu awabariki sana
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
19
84
629
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Serikali ina mifumo mingi sana ya kukusanya fedha na kutoa matumizi ya fedha, ni lazima CAG ukaangalie hiyo na kuunganisha hiyo mifumo, kama ofisi yako haina uwezo sema tukusaidie, Hii mifumo imekuwa mingi sana - Rais @SuluhuSamia #ChangeTanzania #cagreport
Tweet media one
14
50
612
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
Kwa @Kasesela na watumishi wengine wa umma #ChangeTanzania
25
117
615
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Maalim Seif atalipwa mshahara na marupurupu mengine na kupigiwa saluti na mapolisi waliokuwa wanaua watu wake juzi. Zaidi ya hapo hatakuwa na chochote.” - @TunduALissu #ChangeTanzania
Tweet media one
15
54
597
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Tumewaandikia barua hawa Dada zetu 19 waje kwenye Kamati Kuu ila hawajafika na wote wameandika barua wanasema hawawezi kuja, eti waongezwe muda wa kuja,ukisoma hizi barua zote zimeandikwa na Mtu mmoja, unakinajisi Chama, unapewa nafasi ya kuja unakataa” @freemanmbowetz #Cha
Tweet media one
5
50
582
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Chadema yataka serikali Tanzania 'ivunje ukimya na kueleza alipo rais Magufuli' - BBC News Swahili
18
36
571
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Kheri ya Kuzaliwa Askofu Bagonza, Mwanaharakati mcha Mungu #ChangeTanzania
Tweet media one
18
58
574
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
Tweet media one
3
49
573
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Uamsho was also involved in two protests. And in response the Tanzanian government has taken a strong stand against the riots. #JusticeForUamsho #ChangeTanzania
Tweet media one
2
48
562
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
"Kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo" -Pius Msekwa #ChangeTanzania
Tweet media one
7
48
562
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
11 months
Kitonga nayo pata mafuriko magari yakaa kando kupitsha maji
87
144
567
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Tulipata mapokeo ya Sheria ya uhujumu uchumi bila kuangalia mazingira yetu — Sasa inatumika kupora wala mali na Uhuru wao kwa kuondoa dhamana — Kosa la uhujumu uchumi limerahisishwa sana na nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha tunawashinikiza kukubali makosa - #ChangeTanzania
29
94
546
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
6 years
Unaelewa nini juu ya kaulimbiu "WENYE NCHI NI WANANCHI"? Atakayejenga hoja madhubuti, nzuri na yenye mashiko atajishindia T-shirt Toa maoni yako kisha malizia kwa kuweka hashtag #ChangeTanzania Twende kaziniiii💪
Tweet media one
111
79
536
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Tangu Nchi yetu imeanza hatujawahi kuona Wabunge wanaapishwa Gereji, lakini Dada zetu na Mama zetu hawa wameapishwa nje ya Bunge, wakati Katiba inataka waapishwe ndani ya Bunge, kwahiyo wamekula kiapo batili” @freemanmbowetz #ChangeTanzania
Tweet media one
10
53
537
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Shirika la ndege Tanzania @AirTanzania limepata hasara ya sh 60 billioni , kwa miaka 5 shirika limekuwa likipata hasara #CAGReport #ChangeTanzania
Tweet media one
38
54
517
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Kibaraka wetu huyu hajampa Maalim Seif na ACT yake chochote zaidi ya vyeo visivyokuwa na mamlaka yoyote. Maalim atatumika kujaribu kuhalalisha uharamia wa October 28. Atatumika kama toilet paper ya kusafishia uchafu wa CCM na madhambi yao dhidi ya Wazanzibari” - @TunduALissu
Tweet media one
15
48
521
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
CAG ameshauri kufumua wizara ya fedha …. "Ninaishauri serikali irekebishe muundo wa Wizara ya Fedha na Mipango ili kuwe na kitengo kinachoshughulikia masuala ya uhasibu katika idara na kuzuia mwingiliano wa majukumu ili kuimarisha uwajibikaji". #changeTanzania #CAGReportTz
Tweet media one
13
57
496
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
Kheri ya kuzaliwa @freemanmbowetz
Tweet media one
11
67
492
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Tangu Magufuli aingie madarakani, kumekuwa na ongezeko kubwa la lugha potofu katika majukwaa ya kisiasa . Mnamo mwaka wa 2017, Rais alitishia kuwapiga mashangazi (shangazi) waasi. #ChaguziHuru #ChangeTanzania
Tweet media one
9
22
475
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
Kama serikali inalazimisha uwepo wa makosa yasiyo na dhamani, sheria ya upelelezi kukamilika kwa siku 90 kwa nini haifuatwi pia? #FreeUamsho #ChangeTanzania #HumanRights
Tweet media one
6
43
474
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
In 2016, Diamond made Paul Makonda the Patron of his music label and media company called Wasafi. Makonda has used the Wasafi Festival for publicity and to sanitize his image. sign here - Disqualify Diamond Platnumz from BET AWARDS 2021
Tweet media one
17
50
477
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
5 years
Malecela :Nataka kizazi cha sasa muamini, kwamba kama kulikuwa na mtu ambaye anaweza kushaurika ni Mwalimu Nyerere,Kwenye mikutano alikuwa anaweza kaa siku nzima akisikiliza watu wanasema wanasema Mwalimu kimya, mwisho ataunda kamati ya maazimio kutokana na maoni #ChangeTanzania
18
84
475
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
5 years
Suala la watu kutekwa naona huu ni utamaduni mpya ambao haukubaliki na ningependa kuchukua nafasi hii kusema tu kwamba suala la utekaji au watu kupotea linaweza kuiharibia nchi yetu heshima. -Bernad Membe #ChangeTanzania
Tweet media one
16
77
461
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Ofisi yangu ilipigwa bomu 26 mwezi wa nane 2017, mpaka leo hii polisi hawajarudi kunambia nani alipiga bomu wala kusema chochote, na tarehe 7 mwezi wa tisa Tundu Lisu alipigwa risasi mwaka huo huo” @fatma_karume #ShangaziPower #ChangeTanzania
Tweet media one
12
41
476
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Hii ndio namna ya kuponya nchi tuheshimiane katika maoni , maoni ya kila mtu yaheshimike hata kama kuna tofauti #ChangeTanzania
20
79
477
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
6 years
Bungeni Dodoma leo, madeni ya mbunge yawekwa wazi na Spika Job Ndugai... Je wanasheria ili limekaa je? cc @fatma_karume @Advocate_Jebra #ChangeTanzania
121
55
451
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
5 years
Kuondolewa kwa Prof Assad kama CAG ni mkakati wa muda mrefu, jaribio la kwanza alifanya spika kisha akasema CAG akaombe msamaha kwa Raisi, Ili jambo limetutia aibu na pia kurudisha nyuma uwajibikaji, rushwa na ulinzi wa pesa za umma, tunapiga vipi vita rushwa?! #ChangeTanzania
Tweet media one
20
71
460
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Bunge la chama kimoja haya ndio madhila yake #ChangeTanzania
Tweet media one
9
39
461
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
"Serikali ya Tanzania imekiuka haki za binadamu, ikiwa ni pamoja na kuzuiwa waangalizi wa kimataifa , mitandao ya kijamii kufungwa ikiwa ni pamoja na kukamatwa kwa wapinzani Tanganyika na Zanzibar"- Mbunge wa EU akichangia #ChangeTanzania
14
64
459
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
John Magufuli, coronavirus-denying president of Tanzania, dies at 61 - The Washington Post
8
43
456
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
5 years
Kabla ya kufariki Mama yake @kabsjourno aliomba Mh @MagufuliJP amuonee huruma yeye na mwanae kwa kuwa hana mtu mwingine wa kumsaidia matibabu, alieleza hata viongozi wana wazazi wao na wanawahudumia hivyo mwanaye pia alikuwa akimuhudumia yeye, RIP #ChangeTanzania
52
87
464
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
6 years
Raisi Mkapa ameshauri maraisi nchi za Afrika kuzingatia mambo yaliyofanywa na watangulizi wao, kama kila awamu itaanza upya au wakati mwingine kurudisha nyuma kabisa, kupata maendeleo itakuwa changamoto sana #ChangeTanzania
46
81
430
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Ushindi wa kishindo chaweza kuwa chanzo cha mdororo wa Maendeleo katika bara letu linalopenda sana neno NDIYO. Tabia ya kuchukia maoni tofauti inadumaza utundu, ugunduzi, na ubunifu.” #HekimaZaBagonza #ChangeTanzania
Tweet media one
8
56
445
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Bila kuheshimu katiba ya nchi yetu #Tanzania kiuadilifu, bila hilo tutaharibu amani ambayo imekuwepo”-Padre Charles Kitima #ChangeTanzania #ChaguziHuru
Tweet media one
11
35
446
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Uchaguzi wa mwaka huu umeleta vurugu, Vurugu huleta uvunjifu wa amani, vurugu huvunja #HakiZaBinadamu kwenye suala la uchaguzi haki zinazovunjwa ni zile hutokana na shughuli za kisiasa”- Warioba #ChangeTanzania
Tweet media one
8
47
445
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
6 years
Malalamiko ya mwandishi wa habari (Alphonce Kusaga ) aliyowasilisha dhidi ya Mkuu wa Mkoa Arusha Mrisho Gambo kwa kumnyangánya kamera (kitendea kazi), kwa madai ya kumrekodi akiwa katika uwanja wa mpira #UhuruWaKujieleza #ChangeTanzania
52
130
421
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Miongoni mwa matendo mema na ya kheri ni pamoja na kuwakumbuka na kuwafariji Waislamu wenye shida mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwawezesha kumudu Ramadhani, @SuluhuSamia ili la uamsho unanafasi kubwa kusaidia haki yao ipatikane. #FreeUamsho #ChangeTanzania
Tweet media one
7
40
437
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
Jana tumeambiwa twende Burundi Leo huyu anadhalilisha watumishi wa umma Huyu mtumishi amesimama kwa haki yake polisi wanaitwa wanamkamata kwa kosa gani ? Waziri kuweka watu ndani namna hii anatoa wapi hiyo mamlaka ? #ChangeTanzania
79
91
437
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
kwenye miradi mikubwa kama manunuzi ya ndege kuna rushwa, nilisumbuliwa kuona vocha ya manunuzi ya ndege kwa kuambiwa iko ikulu, mpaka nilipoeleza kwamba baada ya siku saba ilo suala nitaeleza umma ndipo nikaonyeshwa, lakini report niliandika haikufanyiwa kazi - Prof Assad
Tweet media one
13
65
436
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Zawadi ya mfungwa ni Uhuru si sabuni ya kuoga akiwa gerezani. Kumwachia huru mfungwa ni sawa na kumweka huru Askari magereza anayemlinda. Hiyo ndiyo faida kuu ya Uhuru. Unanufaisha pande zote.” #HekimaZaBagonza #ChangeTanzania
Tweet media one
17
53
436
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Tumepoteza Mchumi na aliyekuwa Gavana wa Bank kuu Tanzania Prof Ndulu Asubuhi hii Kairuki Hospital. Pumzika kwa Amani #ChangeTanzania
Tweet media one
12
41
433
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Moja ya matatizo Africa ni watu kuwa na fikra zisizo na uadilifu, mfano wa fikra hizo ni Bodi ya chuo huria kumshinikiza mkuu wa chuo kuomba radhi bila ya kuwa na kosa, kwa sababu tu amesema jamii ya chuo hicho ichukue tahadhari ya #TzCovid19 - Prof Assad #ChangeTanzania
Tweet media one
13
62
423
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
5 years
"Jambo la Tundu Lissu kuvuliwa ubunge kama Mtanzania na mimi nilishangazwa, sasa tusubiri Lissu aje nina uhakika kabisa atakwenda Mahakamani, kama kuna haki ataipata Mahamakani" -Bernad Membe #ChangeTanzania
Tweet media one
8
56
414
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Kila mwananchi ana wajibu wa kulinda na kutetea katiba, Leo tunatoa wito kuhusu maamuzi ya Spika. ,Spika kumwita Bw Cecilia Mwambe ni kutofuata taratibu na masharti ya katiba. Ni wajibu wetu wananchi #LindaKatiba , Weka sahihi hapa kulinda katiba
Tweet media one
13
28
411
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
“Nitakuja Tanzania kufanya mikutano ya hadhara sio kuja kujifungia chumbani. Mnanifahamu?, sio kuja kukaa kwenye vikao vya ndani. Kwahiyo tujiandae twende kwa wananchi tutapata katiba mpya iwe kwa shari iwe kwa kheri.” @TunduALissu #KatibaMpya #ChangeTanzania
Tweet media one
21
65
406
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Prof Safari: “Ukiwa kwenye Chama lazima uheshimu uamuzi wa wakubwa wako na maamuzi ambayo wamefanya kwa pamoja, Ngombale Mwiru alitimuliwa na mwalimu kwa kupinga uamuzi uliofanywa kwenye baraza la mawaziri, hii inaitwa collective responsiblity “ #ChangeTanzania
Tweet media one
Tweet media two
8
28
410
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Kheri ya kuzaliwa Mwanaharakati @HildaNewton21 Umekuwa kinara kwenye mambo ya jamii na siasa #ChangeTanzania #ActiveCitizens
Tweet media one
5
11
405
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
Mbowe amepewa Kesi ya ugaidi ambayo alitengeneza Sabaya
7
48
400
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
Petition ya Watanzania #NoBETAward4Diamond ina Trend kwenye Top 4 ya petition zilizopo kwenye jukwaa la petition kubwa duniani @Change , Tunaendelea kukusanya sahihi , kama bado weka sahihi hapa share na wengine pia #NoBETAward4Diamond
18
47
402
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
5 years
Kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi, Kujimwambafai mwambafai hakukufanyi uwe kiongozi zaidi...unapokuwa na majukumu yako unatakiwa kuyatekeleza na Unapokuwa na binadamu wenzako ni binadamu kama wewe - @jmkikwete 08 October 2020 #ChangeTanzania
12
50
399
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Nikiwa gerezani @TRATanzania walinipiga kodi ya billioni 2.6 kwa kampuni yangu ndogo, nikazungumza na mamlaka zote akiwemo raisi magufuli, lakini hakuna kilichofanyika, wakafunga account zangu zote mpaka ya mshahara wa bunge, - @freemanmbowetz #ChangeTanzania
10
56
396
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
“Tunadai katiba mpya kwa sababu hii tuliyonayo sasa hivi imeshafeli.” @TunduALissu #KatibaMpya #ChangeTanzania
Tweet media one
7
59
391
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Mbunge wa Bunge la Ulaya @Europarl_EN katika mjadala unao endelea katika bunge hilo ameshauri kuwa Bunge la ulaya likate misaada na kuangalia kwa ukaribu maswala ya UGAIDI kusini mwa Tanzania mpakani na Msumbiji ambayo yameendelea hivi karibuni. #ChangeTanzania
16
58
399
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
“Waliovuruga mahusiano ya nchi bila shaka alikuwa ni magufuli kwa kibali cha chama chake CCM, haiwezekani kuwa alivuruga peke yake ni alivuruga yeye pamoja na @SuluhuSamia akiwepo.” - @freemanmbowetz #ChangeTanzania #DemokrasiaYetu #KatibaMpya
Tweet media one
8
52
386
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Taasisi ya kupambana na Rushwa inakiachia chama cha siasa kufanya kazi ya kupambana na Rushwa?!! Ni taasisi hiyo hiyo inayohoji viongozi wa CDM ... Je ni uoga wa kufanyakazi zao au ni maagizo ? Tuna haja ya kuendelea kutumia pesa za umma kwa taasisi hii? #ChangeTanzania
Tweet media one
50
64
390
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Baada ya kufungiwa account zangu zote za bank nimekaa bila account kwa muda mrefu, hii imetokea kwa Watanzania wengi, jana ghafla wamefungua account zangu lakini wamechukua fedha zangu nyingi awajasema inakuwaje, nilishughulikiwa kwa kuongoza CDM - @freemanmbowetz #ChangeTanzania
9
63
393
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Mwaka 2020 watu WENGI sana wameenguliwa, ilianza wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, watu waliotaka kugombea walienguliwa kwa taarifa tulizo zipata hawakuenguliwa kwa sababu ya sifa hizi zilizopo katika katiba na sheria ni mambo mengine tu” - Warioba #ChaguziHuru
Tweet media one
15
42
391
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Hongera sana @HecheJohn kwa kulinda afya yako na kuonyesha mfano kwa wengine , hatua ya kwanza ni kujikinga na ukinge wengine #VaaBarakoa #ChangeTanzania
Tweet media one
8
33
391
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai kuita watu manyani kwa kutofautiana nao fikra, Watanzania wengi wanaotumia mtandao wa twitter walikubali jina ilo na sasa wanaishi kwa kukubali uhalisi viongozi wao kuwaona kama nyani , je umoja wa kitaifa tutaujenga namna hii? #ChangeTanzania
Tweet media one
33
25
383
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
Happy birthday @MariaSTsehai a well known Eastern Africa activist
Tweet media one
14
31
388
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Tumefikaje hatua hii ?! #ChangeTanzania
15
60
390
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Hakuna Taifa lililopata maendeleo bila kuendeleza elimu.” Rais mstaafu wa awamu ya nne, @jmkikwete . #ArudiShule #ElimuBilaUbaguzi #ChangeTanzania
Tweet media one
1
16
377
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
#ChangeTanzania tunatoa pongeza sana kwa Watanzania kwa kusimama kama sauti moja, Kwa mara ya Kwanza ndani ya masaa 24 watu 10,040 wameweka sahihi na kusema hatukubali kusimama upande wa waonevu, upende wa wavunja haki kwa kuweka saini zao hapa
16
53
371
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Ulinzi wa kiongozi wa upinzani Afrika Kusini #ChangeTanzania
Tweet media one
17
39
387
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 months
#ChangeTanzania tuna support @Mwabuk2Boniface kama mgombe urais wa TLS Je we unatoa support kwa nini? Unasubiri nini kufanya endorsement !!
7
111
393
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Watu wanafikiria @fatma_karume na @MariaSTsehai hawawezi kuguswa sababu ya familia zao lakini siyo kweli, wote wanapitia wakati mgumu kutoka kwa Mamlaka, na wengi wanaamini ni kutokana na uimara na kampeni zao kwenye mitandao ya kijamii. #ChangeTanzania #ShangaziPower
Tweet media one
4
23
387
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Ni jambo la msingi kuchagua viongozi ambao wanabariki jamii kwa uongozi wao” Askof Isaac Aman #ChaguziHuru #99Nyeupe #ChangeTanzania
Tweet media one
2
34
375
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Kama Askofu Mwamakula angekuwa anaandamana kwenda kumpongeza Raisi @MagufuliJP kwa kufanya kitu furani mfano kununua ndege, Mambosasa angemkamata ? #FreeAskofuMwamakula #ChangeTanzania
Tweet media one
12
46
370
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
3 years
“Niliteswa bure kwa kisingizio cha kesi ya uhujumu uchumi, ili hilo kesi iwe halali ni lazima kuzingatie masharti ya sheria zinazoelekeza namna ya ukamataji na ufunguaji wa kesi, na namana ya kutoa haki kwa yule anayetuhumiwa kwa kesi hizo. - Wakili Peter Mdekela #ChangeTanzania
Tweet media one
3
37
369
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
“Mamlaka nchini #Tanzania imemshtaki Catherine Ruge na wengine 5 kwa makosa kadhaa ikiwemo mkusanyiko kinyume cha sheria na uharibifu wa mali.” mgombea huyo alipigwa marungu na polisi akiwa mgahawani @hrw #WahangaWaSiasaTz #ChangeTanzania
Tweet media one
10
25
370
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Viongozi wa dini wana wajibu wa kuhakikisha jamii na mamlaka zinatenda haki, .. Askofu Bagonza ni kiongozi wa mfano katika kuhakikisha jamii ina mifumo yenye haki #TumeHuruYaUchaguzi #ChaguziHuru #ChangeTanzania #77Nyeupe
Tweet media one
11
39
365
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
4 years
Uchaguzi Ghana: “Wananchi wanaruhusiwa kusubiri matokeo ya uchaguzi nje ya Vituo vya kupiga kura na Majumuisho.” @GwamakaMbughi #ChangeTanzania . #GhanaDecides2020
Tweet media one
21
38
369
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
5 years
@ChangeTanzania
#ChangeTanzania
5 years
"Wanasiasa na watu maarufu wamekuwa wakikamatwa kwa ‘kosa’ la kuikosoa serikali, mara nyingi wakituhumiwa kwa ‘uchochezi’ au kwa makosa yaliyomo chini ya Sheria ya Makosa ya Mtandao ya Mwaka 2015."- @Twaweza_NiSisi #ChangeTanzania #FreeErickKabendera
Tweet media one
1
12
34
11
66
353