MASTER PIZO Profile Banner
MASTER PIZO Profile
MASTER PIZO

@Master_pizo

4,649
Followers
920
Following
880
Media
10,729
Statuses

artist | youtuber | music producer | tech | tester | join

Tanzania
Joined August 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 day
Nikimaliza kusoma nipate kazi ya kutafuta kazi mpaka nipate kazi
Tweet media one
29
5
48
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
Vile DIWANI haamini anachokiona mbele yake saa hii Mkiambiwa msiingilie vita ya MEKO Na @FichuaTanzania kigogo hamsikii
Tweet media one
19
48
752
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
Kwanini watu mnakuwaga wagumu kuelewa? sasa taarifa iko hivi follow account ya @FichuaTanzania ile account ya kigogo ina majanga kila kukicha sasa nashangaa watu wakiona imefungwa wanalalamika wakati fichua ndio yuleyule kigogo na spana zinapigwa kama kawaida.
11
54
571
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
Leo ngoja niwaonyeshe group chache za Telegram ambazo nipo na nimenufaika nazo sana Ukiona yanakufaa basi wewe join pia Usisahau ku repost sanaaa wengine nao waone
34
67
514
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
Acha KULALAMIKA wewe @jjmnyika alipewa maagizo Na @kigogo2014 nini cha kufanya Na Mliambiwa muwalinde wasilale majumbani mwao imekuwaje hamkufuata ushauri? Mambo Mengine muwe mnanyamaza maana ni kujitia AIBU kabisa @ChademaTz hamjifunzi tu?
@HecheJohn
John Heche
4 years
Usiku huu nyumba nyingi za mawakala wetu zimevamiwa, wengi wamekamatwa wako vituo mbalimbali vya polisi.
265
189
2K
27
48
498
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
Bunge lijalo Spika -wabunge naona mmetulia saana hv ndo inavyotakiwa naona bunge zima Sasa ni Wastaarabu mpak raaahaa!! Wabunge-Paah!! Paah! Paaah!! Spika-naona mkono pale Eeeh! Mh.gwajima ni hoja au Taarifa gwajima _nina lakusema basi jamani Bwana Yesu Asifiwee saana!😂😂
21
32
482
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@propaganda91 Look that 😄 🤣
Tweet media one
4
2
483
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
Kama kuna mtu atapata tabu saaana aniachie ujumbe nitampa maelekezo full details mpaka kukamilisha
Tweet media one
92
52
440
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
Huyu mzee atupishe kidogo tunajiandaa kwenda kupiga kura sisi tushanunua mchele nyama matunda kama yote @ChademaTz tunamuomba sugu atuandalie ngoma kali ya kudance nayo siku ya kutangazwa LISSU
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
4 years
HABARI MPYA: Rais @MagufuliJP amefuta tangazo lililotolewa na wizara ya elimu lililofuta mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti na kuwa ya Diploma kuanzia mwaka 2020/21. Amesema “tangazo hilo ni la kipumbavu limetolewa na wabaya wetu.” #MwanaHALISIDigital
Tweet media one
Tweet media two
237
79
975
19
29
426
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
Faida za kulipia bluetick ni kwamba pesa yako inajilipa huku huku tu Kama upo chini ya 500 followers weka handle yako hapa wadau waku follow ufike lengo la kwanza
Tweet media one
183
45
396
@Master_pizo
MASTER PIZO
22 days
@MalisaGJ_ Dah hii hali inatisha sana ukute ametolewa chambo huyo ionekane watu wanajiteka wenyewe na kujiua Huu ni mtego
14
5
253
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
VITALI MAEMBE ni Kama aliyatabiri Haya mambo yanayotokea Hivi Leo Kupitia hotuba yake hii yenye MIAKA Mingi Sana ina maneno mazito mno @Roma_Mkatoliki @FichuaTanzania @DefendTanzania @humanrightstz @ACTwazalendo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
47
240
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
Vipi unajua faida za kutumia canva? Je unatumia canva? Unajua faida za kutumia canva pro? Sasa cha kufanya mimi nakupa canva pro bure kabisa Ni follow Repost kisha andika hapo CANVA PRO nakutumia DM
Tweet media one
192
108
208
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
mpaka hapo tumeshakamilisha kujisajili sasa twende tukamtumie sms shemasi @FichuaTanzania ili akuidhinishe 😀😀😀😂
Tweet media one
23
25
196
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
@fbuyobe Hiii yaani na wewe wameanza kukushika sharubu 😄 🤣 😂 waambie kauli moja tu "Poti unataka nikujue?"
6
1
174
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@Twaha_Mwaipaya Nilimwambia bibi kuna watu wanatesa watu akasema na wao watateseka tu mjukuu wangu 😄 🤣 😂 sikumuelewa Sasa naanza kumuelewa bibi yangu
4
11
170
@Master_pizo
MASTER PIZO
16 days
@SuluhuSamia Vipi mmeongeza majukumu ya kuja kutubonda zaidi au namna gani hapo?
2
3
168
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
TUTAPAMBANIA HAKI Mpaka tone LA damu LA mwisho Follow Hizi account now mpaka wateme damu @chinja_chinja @TanzanianRights @DefendTanzania @FichuaTanzania
2
9
164
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
Tweet media one
1
3
164
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
@ExMayorUbungo Kaka ya nini kumuuliza wewe yamwage tu hadharani tu hamna muda wa kuwasubiri wameshajionyesha rangi yao Kama noma acha iwe noma
2
3
161
@Master_pizo
MASTER PIZO
3 months
@eastafricatv Kumsaka aliyechoma picha ya raisi mnaweza tena ndani ya masaa 24 Kumsaka aliyetekwa aaaaaaaaaa mnajifanya hamuoni
5
7
158
@Master_pizo
MASTER PIZO
18 days
@mangekimambi Jaza mpaka juu Website ikija niongee vya moyoni
Tweet media one
13
3
152
@Master_pizo
MASTER PIZO
30 days
@jjmnyika @ChademaTz Hamna haja ya kuhangaika wahusika wa Tashrif wanatakiwa kujibu hayo maswali Kwanini wakubali abiria wao achukuliwe na wasijue anapelekwa wapi Hata kama ni askari lazima wahusika wa basi wajiridhishe la sivyo wao ndio wanahusika kwa sababu huwezi kuruhusu abiria wako achukuliwe
16
25
150
@Master_pizo
MASTER PIZO
29 days
@IAMartin_ Jana nilisema wamiliki wa Basi wawajibishwe ili wakati mwingine wawe makini kutetea abiria wao Haiwezekani abiria wako anachukuliwa na unakubali Nini maana yao kuwa wanasema "safiri salama na basi letu" Huo usalama wao ni upi hapo Wanatakiwa kuwajibishwa wao na
9
10
136
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
NGUVU YA UMMA TUAMUE HAPA like kwa ccm 👍 / Retweet kwa TUNDU LISSU ✌
Tweet media one
Tweet media two
17
940
128
@Master_pizo
MASTER PIZO
22 days
@Jambotv_ Wasiione wasukuma # wa TZ hii utasikia mama aweke hata kalio tu kwenye shilingi jamani 😄 🤣 😂
23
1
132
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
Hii mbwa Inaongea nini hii Kama Amevunja SHERIA wewe unahusika vipi Upo kwenye kamati ya maadili ya tume? Wewe ni Waziri? Kalisha matako yako usubiri kusuguliwa Kama MEKO anavyomsubiri Sugu #sauti_ya_mtu_aliaye_nyikani
@DW24Swahili
DW24 Swahili
4 years
MUSIBA ATEMA CHECHE NYINGINE LISSU NA NJAMA ZAKE ZA KUVURUGA UCHAGUZI NA MABEBERU : Video Kamili #dw24swahili
19
3
23
17
11
127
@Master_pizo
MASTER PIZO
16 days
@Twaha_Mwaipaya Hapo ni kuwaitia kelele za mwizi tu kama hawataki kujitambulisha
3
2
118
@Master_pizo
MASTER PIZO
19 days
@HildaNewton21 Mbona waandamaji hao wanasema wanataka HAKI ZAO kwanini unampiga mtu anayedai haki yake Huu ndio upumbavu kabisa
3
6
111
@Master_pizo
MASTER PIZO
15 days
@JonMrema Na unaweza kuta boda boda zikatumika kwenye ujambazi huko kisha wakapewa kesi wao Au wakapigiwa simu mmoja mmoja akafate boda yake na wakapotea huko jumla kama soka Muhimu: wakiitwa kuchukua boda boda waende kundi kubwa ili kujilinda
0
9
111
@Master_pizo
MASTER PIZO
3 months
@ExMayorUbungo @MalisaGJ_ Hawa polisi bwana 😠 😡 👿
Tweet media one
9
5
110
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
TRC inakuwaje mnapakia abiria bila Kukagua Chombo? HILO behewa lingeshika moto hapo Tabora mngeua roho ngapi? Msituletee utoto kabisa Mnazinduaga kwa mbwembwe Na gharama kubwa lakini vitendea kazi Ni vibovu
3
2
100
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
@Labella_Mafia95 Sasa mnataka mfikirie nini aisee mbona mizunguko mingi Nakutongoza kubali chap au kataa chap tuokoe muda
7
2
102
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
@fbuyobe Tuanzie hapo kwenye JM kama JANUARY MAKAMBA naona ungeweka JAKAYA MRISHO 😄 🤣 😂
4
2
103
@Master_pizo
MASTER PIZO
27 days
@Jambotv_ 😄 🤣 yaani hapo ni kwamba kaamua kumuita Mbowe chemba ili amuombe msamaha Sasa lugha aliyoitumia ni ya kumlazimisha tembo kunywa maji Msigwa atakufa vibaya sana namuhurumia
6
0
101
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@AlertaNews24 Se debe hacer justicia y tomar medidas estrictas.
2
1
101
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@fbuyobe Yaani inifinix nayo ya kuchezea Pumbu za wakubwa anatingisha meza yenye vinywaji vya bei gharama sana 😄 😄 🤣
3
2
96
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@ExMayorUbungo Naandika nafuta naandika nafuta Nakosa cha kuandika kabisa
3
0
97
@Master_pizo
MASTER PIZO
3 months
@ExMayorUbungo Dah Hao si walikuwa wanatuma michango kwa Sativa na kumsifia mama kwa milioni 35 Wameshindwa kumsaidia mtoto waliyemuumiza wao dah
2
1
96
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@TanganyikaLaw Kumekucha section 4 😄 🤣 kitawalamba mwaka huu
3
0
96
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
@chibelube Kuna wadau wanalike ukiwafollow hawafollow back Tabia ikome Follow @the_master_pizo @the_master_pizo Like nikufollow
0
0
88
@Master_pizo
MASTER PIZO
18 days
@DuniaSlaveDunia Wapige picha au rekodi video hao watu hapo ulipo utume chap
0
0
92
@Master_pizo
MASTER PIZO
19 days
@Jambotv_ Asante sana Nchi ina intelejesia kubwa inapata mpaka data za uvunjifu wa amani ambazo mnasema wamekaa watu vikao na mnasema wakikaa tena taarifa utazipata tu kwa sababu kuna inyelejensia kubwa Swali! Hii intelejensia haiwaoni watekaji? Miaka yote watu wanashambuliwa
11
6
93
@Master_pizo
MASTER PIZO
5 months
Target kwa hapa ni kila siku nivuke dollar 5 na hili litawekezaka kupata dollar 200 na zaidi kwa kila mwezi.
Tweet media one
11
10
91
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
@JamiiForums Yaani kwamba odemba ndo kashaonekana ndio ana makosa 😄 🤣 😂 😆
3
1
92
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@IAMartin_ Kuna mbwa mpumbavu haumii katiba ikivunjwa anaumia mzazi wake akikosolewa kwa kuvunja katiba
0
0
89
@Master_pizo
MASTER PIZO
26 days
@fbuyobe Kwanza nataka kujua kama safari ilianzia magufuli naamini mle ndani kuna camera na maeneo mengi ya dar kuna camera naamini hata pale tegeta majengo mengi yana camera Ni swala la uchunguzi huru kupewa nafasi
2
3
86
@Master_pizo
MASTER PIZO
18 days
@MariaSTsehai @ChademaTz Kwamba askari wa dar hawatoshi Sasa wakati wanajaa dar sisi tunahamisha kambi tunaandamana dodoma Wakijaa dodoma tunaruka mbeya wakienda Mbeya tunarudi dar yaani watakimbia kila mkoa na sisi tumo hatuchoki Tutawachosha sana maana wengi wana mazoezi ya kuonyesha show kwa mama
8
14
87
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
@ceciarmy es muy bonito felicidades para el
0
0
86
@Master_pizo
MASTER PIZO
3 months
@nyuki_malkia Hii ni kawaida Mtu amefanya tukio kwa mtu na anajua yeye ndio muhusika na aloyekusudia kummaliza amepona anachukua maamuzi ya kujidhuru kidogo ili kutengeneza picha kwamba alishambuliwa hivyo akajihami Kwa hiyo hapo anamaanisha policcm wanatafuta sababu ya kujitetea
2
2
81
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
@fbuyobe Yaani nakuambia kuna watu watapewa kesi sanaaaa Usishangae akatolewa mfungwa jela akapewa cheo cha uganga wa kienyeji kisha miili ya waliotekwa ikaandikiwa wameuwawa na mganga wa kienyeji Wanatuona hatuna akili hawa jamaa
3
7
83
@Master_pizo
MASTER PIZO
15 days
Tweet media one
1
3
82
@Master_pizo
MASTER PIZO
12 days
@Sativa255 Mafwele anatajwa kila siku lakini hawajibishwi wala kuhojiwa Wanaohojiwa ni wengine kabisa ambao hawapo kabisa kwenye mxunguko wa kesi hizo
5
2
79
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@SportsarenatzTz @EsirEid na kitambi yake atasema hii imepikwa 😄 🤣 😂
Tweet media one
12
2
78
@Master_pizo
MASTER PIZO
5 years
@kigogo2014 volume kidogo kaka mkubwa
2
2
78
@Master_pizo
MASTER PIZO
16 days
@mdudechadematz Hapa sasa unakuta hata majambazi nao wanapitia upepo wa hali ilivyo sasa nchini
4
1
78
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@chartstswift Hope everything will be fine
0
0
77
@Master_pizo
MASTER PIZO
18 days
@tanpol Hii taarifa mbona chap sana? Mbona kwa kibao hamkusema hamumshikilii kibao watu wapuuze Mbona kwa wengine waliotekwa hamsemi kuwa hamuwashikilii Hebu mtusaidie hapa Kama watu wengine pia hawapo kwenu toeni taarifa kamili kuwa hamuwashikilii na hao tuwapuuze wanaosema
4
3
77
@Master_pizo
MASTER PIZO
13 days
@MwananchiNews 😄 🤣 intelejensia ya makonda kuwa Mbowe yuko Arusha aliambiwa na nani?
15
1
74
@Master_pizo
MASTER PIZO
7 months
@fbuyobe Msikilize KING KONG
6
19
76
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@ExMayorUbungo Kaka mtunze huyo binti aisee Mwambie yeye ni mrembo sana na hizo ni changamoto tu za dunia lazima tuzipitie wanadamu ajipe moyo tunamuombea sana Pili tunataka wajamaa wawajibishwe na tuone wamewajibishwa na sio drama zao za kutupotezea muda
4
7
74
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@SuluhuSamia Kuna mwingine amebakwa huku na kulawitiwa Na wengine wapo ngorongoro wanasema hawana maji wala elimu wala vituo vya afya Wanasema ukawazindulie huduma hizo pia
0
4
74
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@ExMayorUbungo Kitu cha kwanza ni kushukuru kuwa Amepatikana Kitu cha pili ni kujiuliza kama mgonjwa alifikishwa na hakuwa na kumbukumbu vyema kwanini ndugu walipoenda kumuulizia waambiwe hawajapokea mgonjwa kwa jina hilo Kwanini wasipewe muda ndugu waangalie basi sura za wagonjwa
19
4
74
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
@__Inty__ 他们应该立即放他走,不要打扰无辜者
0
0
68
@Master_pizo
MASTER PIZO
18 days
@ExMayorUbungo Chatu fala sana kama vipi na sisi twendeni Bagamoyo pande tukatengeneze popo bawa likambake chatu
Tweet media one
6
2
72
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@tanpol Yaani mmeishiwa mbinu zooote zote kabisa mnazuia nyie mnajikataa nyie yaani mbinu zooteee zimeisha kabisa
Tweet media one
4
7
70
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@IAMartin_ Upatiwe sanamu kama hii pale DODOMA kila atokaye kusini akuone kaskazini akuone mashariki na magharibi pia Maana umepiga spana hadi spana zimekubali shoo
Tweet media one
1
1
71
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
Watoto wa 2000 hawawezi kumjua huyu dada Kama unamjua mtaje majina na umuelezee kidogo
Tweet media one
39
4
68
@Master_pizo
MASTER PIZO
19 days
Mbona hujazi mpaka juu Mapenzi yaniumize na hapa unipunje tena?
Tweet media one
28
11
69
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
0
0
64
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@HermaineM She delivered
Tweet media one
1
0
66
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
@AbroadTanzania Tatizo unakuta camera zipo kila kona so ameshajua wamemuona ameamua atulie tu
8
1
66
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
@Sirjeff_D Sasa unadhaninwalioweka option ya kuweka muito wako ni wajinga?
1
0
67
@Master_pizo
MASTER PIZO
27 days
@mangekimambi Sasa inakuwaje wanawafungia abiria ndani Na abiria nao wakome kupanda kila siku linakwama ila hawajifunzi wanalalamika nini waachane nalo wawe wanapanda mabasi tu
1
0
67
@Master_pizo
MASTER PIZO
21 days
@HabarimpyaTv Kumbe ni mtoto wa shangazi ndo kauwawa Wewe huwezi kuwa nauchungu naye tafuta choo kojoa unye ujitawaze kwa gunzi la hindi ulale
3
2
65
@Master_pizo
MASTER PIZO
28 days
@Roma_Mkatoliki Kiukweli hili tukio mimi limeniumiza sana Niliona taarifa nikiwa sehemu napata chai niliishiwa nguvu ikabidi nirudi nyumbani tu kukaa na kutafakari kwa kina sana
0
2
62
@Master_pizo
MASTER PIZO
3 months
@ExMayorUbungo Sasa mwambie Boni yai akabe kwenye sosho media kule X ndo anapawezea akishirikiana na mtikila Halafu utawapanga wanasheria wakaandae PGO zile za uhakika Halafu tuset fomesheni nzuri hadi wateme bungo walilomeza 😄 🤣
Tweet media one
2
3
63
@Master_pizo
MASTER PIZO
10 days
Penda sana kujipa Muda kutafakari nini umefanya kisha mshukuru Mungu kwa yale yaliyofanikiwa kisha ongeza Maombi Mungu akusaidie kwa yale ambayo hayajafanikiwa yafanikiwe Kumbuka usipende kuongeza Maombi kwa Mungu kabla hujamshukuru kwanza.
29
6
80
@Master_pizo
MASTER PIZO
18 days
@Ntobi_ Chapisho la twitter? Unaenda kusachi nyumbani 😄 🤣 Mbona vituko Na hilo ni chapisho lipi waseme hapa
3
0
62
@Master_pizo
MASTER PIZO
27 days
@ExMayorUbungo Nilisema huyo awekwe nyuma huko asikae mbele kaja na unafiki tu
5
0
61
@Master_pizo
MASTER PIZO
12 days
Kuna nadharia Mbaya juu ya KIKUU But mimi sijawahi kuchoka kuwatumia na huwa napata mali zangu salama kabisa Ngoja nielezee kidogo njia ambazo natumia mimi kupata kile nikitakacho na nisiwe na mashaka kabisa Shuka na 🧵
Tweet media one
29
21
61
@Master_pizo
MASTER PIZO
17 days
@Jambotv_ Kibatala yumo ndani 😄 🤣 😂 wameyatimba kabisa Halafu hawataki apate dhamana kwa sababu za kiusalama kwani walimkuta anawindwa? Wangapi wameshasema wametishiwa kuuwawa na hawajasema wanawapa ulinzi?
5
4
60
@Master_pizo
MASTER PIZO
3 months
@IAMartin_ Kaka kuwa na wawili sio mbaya ni sunna hiyo 😄
0
0
59
@Master_pizo
MASTER PIZO
27 days
@TuliaAckson Mungu aninusuru nikizaa mtoto nisimuite Tulia bora nimuite Chautundu kutundulika
0
0
60
@Master_pizo
MASTER PIZO
3 months
@datius_tz Tunasoma kidogo kutoa ujinga then elimu inayobakia huko juu ni ya kuja kutafutia pesa So naona kama ameshatoa ujinga kujua kusoma na kuandika hayo mengine ya kusakia pesa atayakuta mbele kwa mbele now atafute pesa tu
2
0
58
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@fbuyobe Mpaka local news tusogelee telegram tena
7
1
57
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@MariaSTsehai @SuluhuSamia Hawapeperushi bendera za chama wala za shangingi yeyote wameshika majani kama alama ya eneo lao na kuonyesha wao ndio wamiliki wa eneo hilo na si vinginevyo Hawasukumi reli wala behewa wanadai haki yao kikatiba
0
6
59
@Master_pizo
MASTER PIZO
27 days
@ExMayorUbungo Anafanya nini hapo mbele mkalisheni nyuma huko kabisa anakuja kuwasanifu watu tu
2
4
58
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@ExMayorUbungo Hii sio sawa kabisa aisee
0
1
57
@Master_pizo
MASTER PIZO
4 years
@cyancuty Kama kawaida yangu usipofollow back nakunyonyoa tu @the_master_pizo
0
0
51
@Master_pizo
MASTER PIZO
2 months
@fbuyobe Sikiliza Bwana Buyobe serikali iko na mkono mrefu na iko na INTELE JINSIA 😄 🤣 😂 Naona wameamua kubadili vazi la jeshi kuwa la mgambo immediately intelejesia ya kubakwa imefanya kazi na wao wamebakwa mazima 😄 🤣 😂 😆 😄
0
2
57
@Master_pizo
MASTER PIZO
3 months
@ExMayorUbungo Kwa hili jambo unastahili Pongezi sana kaka juhudi zako zinaacha alama kwa watu unaowatendea wema
0
0
56
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
Unajua unaweza kupata pesa kwa commission ya kualika watu? Sasa uzi ujao nitakuelekeza mwanzo hadi mwisho jinsi ya kufanya
Tweet media one
21
7
54
@Master_pizo
MASTER PIZO
1 month
Kijana kama kijana hakikisha unapambania maisha yako Maisha yako ni pamoja na kujali wanaokuzunguka huwezi kuishi maisha yako pasipo binadamu wenzio Thamini watu uwapende itakusaidia sana hapo baadae
27
7
52
@Master_pizo
MASTER PIZO
3 months
@ExMayorUbungo Woooiiii wameanza kutengeneza mazingira sasa 😄 🤣 Boda boda anapewa shamba akalime Mkulima ameachwa bila kupewa pembejeo Mazao hayana soko maalumu na bei zake ni za kunyonya mkulima @ExMayorUbungo wahi ukawatonye wana aiseeeee
2
2
56