Balyx Profile Banner
Balyx Profile
Balyx

@Balyx_

145,701
Followers
6,122
Following
11,420
Media
205,768
Statuses

On 18th of December 2022, I witnessed MESSI WINNING A WORLD CUP☝️

Around
Joined February 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Balyx_
Balyx
2 years
Hello @elonmusk , we WANT LEONEL MESSI on this platform. Please convince him to join us here. Tell him how perfect this platform has become. I’m sure he will listen to you, coz you’re both 🐐 🐐s
697
1K
18K
@Balyx_
Balyx
1 year
Hapa Halland anacheza na mtoto wa Phil Foden Ikumbukwe wote Foden na Halland wana miaka 22 Foden ana watoto 3
Tweet media one
79
70
3K
@Balyx_
Balyx
1 year
Azam Football Club imemuwekea Mayele 60M per month na hiyo ni baada ya kodi Kaizer Chiefs wamemuwekea 89M per month Yanga wanataka arenew wampe 18M per month 🤣🤣🤣
Tweet media one
138
83
3K
@Balyx_
Balyx
2 years
Last time hii battle tulishinda. I think it's time tena heshima ipatikane Tena📌
Tweet media one
25
31
3K
@Balyx_
Balyx
2 years
Prisca Kishamba ndo wakala/manager wa Sopu au just a fan? She seems to be committed to the young lad🙌🙌
Tweet media one
81
35
2K
@Balyx_
Balyx
1 year
Huu Uwanja upo Tanzania, je upo eneo gani?
Tweet media one
197
54
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Tanzania imebarikiwa kuwa na huyu mchezaji. Novatus Dismas 🇹🇿
Tweet media one
45
37
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Unabet leo? Muue Argentina
109
50
2K
@Balyx_
Balyx
2 months
Jersey ya team ya mpira wa Miguu
Tweet media one
98
80
2K
@Balyx_
Balyx
1 year
Rema na Selena Gomez Kijana kama inawezekana aanze kufanya michakato ya kutuheahimisha kama Bara la Africa
Tweet media one
84
63
2K
@Balyx_
Balyx
1 year
Kumfananisha Alikiba na Wasanii wenu when it comes to Live Perfomance ni kuikosea HESHIMA Bongo Fleva Huyu ana Dunia yake
Tweet media one
80
67
2K
@Balyx_
Balyx
1 year
Martin Braithwaite aliondoka kambi ya Espanyol bila taarifa. Walipomtafuta akatishia kuinunua klabu hiyo na kuifuta Thamani ya Espanyol-$148M Utajiri wa Braithwaite-$300M
Tweet media one
123
77
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Ifike muda sasa uwape na wenzio wabebe kombe. 😂😂😂
Tweet media one
108
35
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Hata kwenye interview ya Messi, mwanetu yupoooo 😂😂🙌
Tweet media one
93
43
2K
@Balyx_
Balyx
11 months
Inasemekana Clara ndo anapokea kibunda kirefu zaidi pale Al Nassr Women Swali, why haitwi team ya Taifa ya Twiga?
Tweet media one
32
39
2K
@Balyx_
Balyx
11 months
Kauli ya Jude kuhusu Messi haitomletea shida?
Tweet media one
56
24
2K
@Balyx_
Balyx
1 year
Unaambiwa Rais wa ASEC Mimosas kila akiangalia mpira wa Aziz na akakumbuka pesa aliyopewa, anajikuta anakimbilia kanisani kutubu dhambi ya UTAPELI😂
Tweet media one
89
76
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Mtanzania pekee mwenye goli UEFA CL Europa League Epl AFCON Carabao Cup Final Wembly Anfield Mfungaji Bora wa Top team in Belgium Mfungaji Bora CAF CL Ana goli Turkey Ila ni bahati tu wala Talent hamna hapa
Tweet media one
171
92
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
I'm sorry hatukuwa na namna 😭🤣
Tweet media one
67
43
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Baada ya game ya leo anakwea Pipa kwenda France kufanya majaribio pale Monaco 🔥🔥🔥
Tweet media one
30
24
2K
@Balyx_
Balyx
1 year
Jamaa kila alipokua anapewa mpira, City players wanasanuka, wanaogopa kuingia kwenye mtego😆😆 Huyu mwamba atue matofali ya kuchoma pale 🙌
Tweet media one
60
27
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Ali Kamwe amekuja kuwaje?😂
Tweet media one
154
20
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Dear Me🙏😁
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
173
132
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Hivi huyu jamaa ni raia wa nchi gani? Sorry, sijaweka jina lake maana sijui kulitamka wala kuliandika. Ila anakichafua sana pale Napoli na Victor
Tweet media one
163
21
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
I can’t believe has seen it 😂😂😂
Tweet media one
Tweet media two
47
59
2K
@Balyx_
Balyx
1 year
Wakala wa Adam Salamba apewe maua yake 🙌🏿🙌🏿
Tweet media one
21
25
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Niliwahi kuhoji Masters Degree ya Nikki wa Pili kwamba ya Chuo gani? Ila nikaonekana hater. Aya Sasa😀
86
44
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Zinchenko na Ferdinandinho wakiangalia kijana mwenye bahati tu bila talent akiwafunga bonge la header pale Wembley
Tweet media one
59
55
2K
@Balyx_
Balyx
1 year
Jana Mbuzi wao akaingia kichwa kichwa kwa Di Maria😆
Tweet media one
60
24
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Mario Balotelli ndo Mchezaji pekee kutoka Italia kuwahi kushinda Premier League. Have some respect
Tweet media one
45
22
2K
@Balyx_
Balyx
9 months
Huyu ndugu yake Frankie De Jong analijua boliii bhana
Tweet media one
11
33
2K
@Balyx_
Balyx
1 year
Moja ya matukio ambayo sio rahisi kusahaulika pale Qatar
Tweet media one
49
31
2K
@Balyx_
Balyx
8 months
Hapa kuna team itajichanganya kwa Brighton itapigwa pesa balaa 😂
Tweet media one
38
26
2K
@Balyx_
Balyx
1 year
Sema mwamba akitoka Ibiza, Basi Guardiola atakua na kazi sana kumrudisha kwenye hali ya kawaida 😂😂
Tweet media one
112
40
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Ila outfit za Messi 😆😆🙌🔥
Tweet media one
55
24
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Messi is the 🐐
Tweet media one
60
70
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Hivi huu waga ni utaratibu wa Madrid kwamba ni lazima ulie ukiwa unaaga? Ukute kipengere kipo kwenye mkataba wao?😂
Tweet media one
99
29
2K
@Balyx_
Balyx
11 months
😂😂😂 Mchezaji wa wapi?
Tweet media one
38
34
2K
@Balyx_
Balyx
3 years
Taja magangster unaowajua kwenye Biblia😃👇
342
190
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
Ikumbukwe Arsenal walimlipa ili ahamie Barcelona
Tweet media one
14
13
2K
@Balyx_
Balyx
1 year
Ana maana gani hapa?
Tweet media one
37
36
2K
@Balyx_
Balyx
2 years
UDOM 🇹🇿🔥
Tweet media one
100
41
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
It was once beautiful 😒😭
Tweet media one
36
33
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
5 goals in 7 matches It’s MBWANA ALLY SAMATTA
Tweet media one
12
25
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
John Terry kwenye interview moja huko England amewahi kusema “Kama Samatta angepewa muda kidogo walau a new fresh season, Aston Villa wangejikuta automatically wanampa a lifetime contract” The 🐐
Tweet media one
25
28
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Mwanachuo wa SUA akiangalia course work zake huku akiwa amelalia assignment ya group 😂
Tweet media one
75
81
1K
@Balyx_
Balyx
3 years
NBC Premier League
Tweet media one
94
41
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Najibiwa na Elon alafu siringi kabisa 😂😂
85
30
1K
@Balyx_
Balyx
11 months
Goli Bora la Mwezi kwenye ligi kuu ya Ugiriki “Ni bahati tu, hamna talent hapa” Go go go El Capitano Samagoal 🔥🐐
Tweet media one
25
55
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Kiungo mpya wa Yanga
Tweet media one
112
29
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Ushindwe mwenyewe kenge wewe 😆😆
Tweet media one
55
28
1K
@Balyx_
Balyx
3 months
Rais Wa Uganda Mzee Museveni alisema Waandamanaji wa Kenya (Gen Z) ni TikTokers na hawana cha maaana. Vijana kauli wakaibeba na leo jengo ya Serikali ya Uganda nchini Kenya limewashwa kiberiti
Tweet media one
31
68
1K
@Balyx_
Balyx
3 years
Kumbe Chemical (msanii) now ni Lecturer pale UDSM?🤔
61
12
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Alvarez na kocha wake wa mpira
Tweet media one
10
22
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Ila Pesa bhana😂😂😂 Moja lina wachezaji jingine imebeba maji.
Tweet media one
42
30
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
TOP 10 YA WACHEZAJI MATAJIRI ZAIDI AFRIKA NA NET WORTH ZAO 01: SAMUEL ETO’O FILS, 🇨🇲 $95M Legend wa Barcelona ana net worth ya $95M Asilimia 90 ya uwekezaji wake mwamba kaufanya Afrika
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
44
43
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Kulingana na jarida kubwa huko Nchini Marekani, linaonesha Messi Lapulga ana ushawishi mkubwa kuliko mtu yeyote kwenye taifa hilo kwasasa
Tweet media one
9
27
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Did you know? Ikulu ya Chamwino, Dodoma Tanzania ndo Ikulu yenye eneo kubwa sana kuliko Ikulu zote Duniani
Tweet media one
Tweet media two
102
55
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Waandamanaji ndani ya makazi ya Rais Gotabaya Rajapaksa huko Sri Lanka wakitazama habari kuhusu waandamanaji ndani ya makazi ya Gotabaya Rajapaksa. 😆😆
Tweet media one
74
57
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Micky Jnr si alitwambia Manzoki Yupo Kinshasa na anaelekea Dar es Salaam kusaini mkataba na Simba? Sasa mbona Yupo Uganda na Vipers leo?🌚
Tweet media one
89
22
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Kuna siku nilisema huyu kijana aanze kuvaa kitambaa cha National Team mkaniona hamnazo. Ok ok tuendelee kuenjoy matunda ya Azam Academy
Tweet media one
25
25
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Mwanetu unakataa pesa ya Waarabu unaenda kuteseka kwenye team ya Beckham?? Nimesikitiika
Tweet media one
61
18
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Kama sio Pedri na Gavi huyu ilibidi awe wa kwanza kuigusa Ballon D’Or ila ndo hivyo yupo kwenye wakati mbaya. Competition ni kubwa kwake kushindana na hao vijana
Tweet media one
65
28
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Kocha mpya wa Azam Football Club Mr. Dabo amependekeza jina la Pitso Mosimane kuwa kocha msaidizi wake kuanzia msimu kesho Pitso yupo tayari kufanya kazi ila sharti aje pia na wenzake Klabu ipo tayari
Tweet media one
Tweet media two
150
30
1K
@Balyx_
Balyx
11 months
Samatta yupo huko anawatesa wazungu. Safiii mwanetu
Tweet media one
5
32
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
“Kibanio cha nywele za Halland kiko wapi?, Holding anasema wewe ndo umekiokota”
Tweet media one
83
43
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Sopu Abdul turns 19 today. Happy birthday baller
Tweet media one
79
15
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Jana tu mwana kafika Saudi Arabia leo PSG wanataka kum-sanction, Ronaldo anataka kuhama My 🐐
Tweet media one
12
17
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Young Lunya alivyokaa kimya kama vile yeye HipHop anafanyia Botswana😂😂😂
Tweet media one
137
43
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Jana kipindi wanazungusha kombe mwenye Mitaa ya Argentina mashabiki walimwambia Parades ampe kombe Messi haraka, baada ya kulicukua akalinyanyua ghafla mwanga (huo unaouona) ukachomoza kutoka juu. Tukio lilisimama ghafla.
Tweet media one
Tweet media two
108
38
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Manchester City Vs Napoli Chelsea Vs Bayern Munich Real Madrid Vs Ac Milan
Tweet media one
40
62
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Hii ni Uingereza 😂😂 vitochi to the world beibeeeeee😂
Tweet media one
22
27
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Hii issue ya Mbappe ndo mimi sijaielewa au hata wewe?
Tweet media one
51
31
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Ibrahim Bacca , sijajua mshahara wake ni kiasi gani ila kwa kazi yake HAUTOSHI It’s time naye adai maslahi bora, welcome to Azam Football Club, 👑
Tweet media one
86
49
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Taarifa za Simon Msuva kusaini deal la miaka mitatu huko Athletic Bilbao Zina ukweli wowote?
84
40
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
It's my hope that Kariakoo elders won't misumari the KING
Tweet media one
41
21
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Imagine mtu kama huyu anakuwa replaced na Onana tena kwa dharau 🤣🤣🤣 Nah, my club is cursed
Tweet media one
75
28
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Tumeanza kukopeshwa hadi na vyuo 😂
Tweet media one
122
32
1K
@Balyx_
Balyx
4 years
Taarabu tatu tu ushaanza kutembea na wabeba vyuma, ukitoa album yenye nyimbo 20 si utatembea na majini kabisa?😂😂. Kaone na mashavu😂
Tweet media one
273
34
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
DIENG Kuna time team ilikua haitembei, anapewa mpira alafu anawaambia akina Tau wamuangalie waone atakachofanya, Jamaa alitoa darasa mpaka wakapata goliii 🙌
Tweet media one
14
31
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
“Kwahiyo kilichokushawishi pale Chelsea ni nini? Au ule uwanja wao unaomilikiwa na Manispaa??? Pole sana”
Tweet media one
22
21
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Miaka 2 bila kugusa Bolii alafu mwamba anakuja kugundulika hana hatia yoyote kwenye makosa yoteee. If I speak... Mendy hata akirudi kuwa sawa itachukua muda. Ila I'm happy to see him FREE
Tweet media one
23
29
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Simba na Yanga kuna cha kuiga hapa. Cheki picha inavyopigwa, yaani very professional. Nyie mnapigia picha kwenye masofa ya maboss wenu😎
Tweet media one
Tweet media two
58
38
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Hongera Sana kocha Fred Felix Minziro kwa kuchaguliwa kuwa kocha Bora wa Ligi Kuu 2021/2022 Ladhwaaaaaa 🔥👏
Tweet media one
37
21
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Nilivyomuona Ozil uwanjani, nikajua yote kwa Ujerumani yamekwishaaaaa
Tweet media one
15
26
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Every contract has it's termination section and we can't pretend not to see it. It's about time Moallin 😒
Tweet media one
64
15
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Ni muda muafaka sasa Novatus Dismas aanze kuvaa kitambaa kwenye team ya Taifa
Tweet media one
36
19
1K
@Balyx_
Balyx
11 months
Manara Ana point Why game ya Azam vs Simba imesogezwa mbele? Mvua?
83
182
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
A Baller 🔥
Tweet media one
20
19
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Imagine kwa hii save alafu umnyime tuzo? Hii save tu ni kubwa kuliko career ya both Alisson Becker na Aaron Ramsdale
Tweet media one
60
40
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Finally De Gea is happy 😃
Tweet media one
9
15
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
😂😂😂
Tweet media one
31
13
1K
@Balyx_
Balyx
11 months
Hapa kipa tumepata
Tweet media one
18
33
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Ufaransa wanasema Benzema sio wa Taifa lao Kamati ya Tuzo ya FIFA, Balon D’or na UEFA wanataka kumnyanganya TUZO ZOTE Real Madrid wana mpango wa kuondoa jina lake kwenye “Leyendas del Club” Reason? Kwasababu anasimama na Palestine
Tweet media one
71
55
1K
@Balyx_
Balyx
1 year
Hapa unaweza hisi labda Onana anashangilia goli, hapana, hapa anamfokea Maguire the former Captain 🤣🤣
Tweet media one
31
27
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Hizi tetesi kwamba Joseph Kusaga ameiuza Clouds zina Ukweli wowote?
58
35
1K
@Balyx_
Balyx
11 months
Back to back goals for Samatta 🔥
Tweet media one
6
19
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Ahmed Ally amethihirisha jana kwamba yupo Simba kikazi tu. Yaani Dube anafunga jamaa anashangilia?😂
37
26
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Kipindi kile Konde Boy ana tour yake USA team Dabiliyusibi used to laugh at him louder man. Look now, kiko wapi?.
44
25
1K
@Balyx_
Balyx
2 years
Matter of TIME
Tweet media one
33
15
1K