HABARIMPYA TV Profile Banner
HABARIMPYA TV Profile
HABARIMPYA TV

@HabarimpyaTv

106,379
Followers
5,635
Following
3,874
Media
12,671
Statuses

Pata Habari Kamili

Arusha, Tanzania
Joined February 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 months
Majirani Watamuua Rais wao kwa Stress,.😂😂🙌
20
549
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Huyu Ndo mtumishi wa Mungu Ambae mafundisho yake Ukiyasikiliza lazima upate kitu Na Moyo wako unakua na Amani, nampenda sana huyu Mzee🙏🥴
Tweet media one
212
288
4K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Watanzania Wamekutana Ughaibuni🤝🇹🇿
Tweet media one
30
87
4K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Sijawahi kupotezaga muda Kusikiliza mahubiri ya uyu Pastor, Jamaa hua anaelezea Mambo magumu kwa lugha Rahisi sana "Tony Kapola🙏
Tweet media one
157
149
4K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Hii Combination Ni Hazina Kubwa Sana Ya Taifa Letu🙏
Tweet media one
72
150
4K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Bondia wa Tanzania,Karim Mandonga 'Mtu Kazi' amebeba tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Kiume kutoka kwenye jukwaa la MEN & WOMEN OF THE YEAR AWARDS 2022 akimshinda Mchezaji wa klabu ya Yanga, Fiston Mayele..
Tweet media one
68
53
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Jamaa Mjanja Kulinda Brand Hajavaa Jezi✊
Tweet media one
Tweet media two
94
50
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Hivi kajala alifanya kosa gani mpaka akatakiwa kufungwa miaka mitano?🤔
Tweet media one
129
99
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Gavana Mpya Wa Mombasa Akiwa Na Dimpoz jamaa linakula sana Bata🙌🙌🙌🥴🥴
Tweet media one
92
52
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Tbc wamshukuru sana huyu Dada Bila Ivyo vijana tusinge angalia taarifa ya habari kwenye chanel yao🥴
Tweet media one
175
79
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Hii picha haiwezi ku-Trend kwasababu hayupo uchi🥴
Tweet media one
188
160
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kweli Maisha Tunatofautiana sana Yani Uyu Patrick Kanumba Mtoto wa Juzi Tu anakua namuona leo hii ana mke wa ndoa🤗🥴
Tweet media one
145
72
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Uyu Dogo Akiumia Kwenye Hizi Mechi Anazocheza huku Mchangani Nani Atamtibia?🤔
Tweet media one
192
51
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Uyu Dogo Tupo Nae Hapa Chuga Ana Miaka 10 Tu🥴
Tweet media one
243
78
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Hivi Mina Ally Wa Kwenye Amplifier Saivi Ameenda Wapi?🤔
Tweet media one
114
59
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Uyu dogo kafanya Nini Mbona Anatrend sana🤔🥴
Tweet media one
105
79
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kwaiyo saivi wasafi kabaki zuchu na Lavalava🥴
Tweet media one
134
52
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kumbe Rais Wao Kaenda Qatar Kupiga Picha Na Wazungu🤓
Tweet media one
117
65
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Unaambiwa huko India hawa wamasai wana-trend kuliko kina shahrukh khan na salman khan🥴
Tweet media one
56
61
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kumbe Kipindi Kile Gaucho Alifungwa Jeĺa Kule Paraguay Messi Ndo Alienda Kumtolea Mwana Dhamana🤔
Tweet media one
47
55
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Mwamba Huyu Hapa🙌 Kaanza Kucheza Mpira Nikiwa Shule.Nimesoma Nikamaliza Hadi Saivi Nipo Kazini Na Nina Watoto Ila Mwana Mpaka Sasa Ana 30 Tu🤣🤣
Tweet media one
149
49
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Dogo Kaamua Kutinga Uzi Wake Wa Tanzania Ili Msije Kusema Sio Bongo🥴
Tweet media one
Tweet media two
162
139
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Sema kile kitambaa Cha U-Captain Angepewa Tu Uyu Mwamba🙌
Tweet media one
74
81
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Sisi tunarundika wachezaji wa kigeni tunapoteza vipaji vya wazawa. Mamelodi imeanza na mchezaji mmoja tu ambae sio mzawa tena Goalkeeper..
Tweet media one
171
43
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Ila wanaume bhana yani🙌Unaacha Rolls Royce Nyumbani unaenda kupanda Stalet Barabarani🤔🥴
Tweet media one
157
53
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Mungu Ambariki Na Akamuinuwe katika Maisha yake🙏
Tweet media one
83
152
3K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Vijana kuweni na macho kama Haji Manara🥴
Tweet media one
127
48
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Hii Ya Man Of The Match Haikua Ya Mbappe Kweli🤔
Tweet media one
205
42
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Uyu Jamaa katafuta Tu Ugomvi Na Vijana Wenzie🤓
Tweet media one
171
51
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kuna Kitu Hakipo Sawa Hapa😂😂
Tweet media one
153
55
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Africa Unachelewa Kutoboa Na Ukitoboa Unawahi kufa Mwamba Kaondoka💔🕊
Tweet media one
45
45
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Pep Guardiola Wa Mamelodi Sundowns🥴
Tweet media one
14
28
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Kocha Wa Al Hilal "Florent Ibenge" Ameiomba Klabu Ya Mamelodi Sundowns Kua Itende Haki Kwenye Mchezo Wao Ujao Wa Klabu Bingwa🤔
Tweet media one
34
23
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Neymar Jr alipoulizwa kuhusu timu zinazopambania kuvaa armband ya upinde wa mvua (rainbow armband)-England, Denmark na Germany inayoakisi mapenzi ya jinsia moja. Neymar JR alijibu; 🗣️"Kwenye timu yetu ya taifa, sisi tunapenda wanawake . Tunafurahia hilo😊
Tweet media one
62
94
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Baada Ya Fifa Kuweka Kifungu Cha Kipa Kutomtisha Mpigaji Penalty Wala Kutokugusa Nguzo Pamoja Na Nyavu Emi Martinez Kasema Hata Sheria Mpya Zije Vipi. Yeye Penalty Alizotakiwa Kuzidaka Maisha Mwake Tayari Kashazidaka Kule Qatar Hivyo Haya Mengine Hayamuhusu Tena😃
Tweet media one
Tweet media two
49
52
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kipigo hiki ni kwaajili ya Waarabu Wote🥴
Tweet media one
128
83
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
✍️Anaandika Mwanasheria wa Yanga simon Patrick Kanuni ya 62 (4) - Kanuni za Ligi Kuu, Toleo la mwaka 2022 inasema; “Mchezaji wa kigeni anayeruhusiwa kusajiliwa kwenye Ligi Kuu ni yule anayecheza katika timu ya Taifa ya nchi yake au Ligi Kuu ya nchi husika.
Tweet media one
167
74
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
kumbe ndio maana Mamy alikuwa anateuliwaga kwenye vikamati vya basata🤔
Tweet media one
63
48
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kama yupo busy na simu vile kumbe jicho lipo pembeni mwa ugali😀😂
Tweet media one
92
60
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Hivi izo ngoma kwenye minara zinakuaga za kazi gani?🤔🥴
Tweet media one
308
94
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Babu Tale kafiwa na mke mwingine Tena Aisee😒😒
Tweet media one
105
56
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Hivi huyu Harmonize anavyo vuta bangi polisi hawamuoni mbona mtaani vijana wakivuta tu wanakamatwa🤔🥴
Tweet media one
309
51
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Appreciation Tweet For Metacha Mnata✊
Tweet media one
12
42
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Kula Chuma Icho😊 Mwanetu Hataki kuwa Kama Kina Master Jay, Salama Jabir Na Madam Rita Yani Kwa Kifupi Mwana Hataki Uondoke Kwenye Interview Yake Ukiwa Na Makasiriko😀😀
Tweet media one
33
48
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Arusha Na Moshi Zitakiwa Ziungane Ziwe Nchi Nyingine🥴
Tweet media one
Tweet media two
124
60
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Manula Na Penalty Za Kimataifa Ni Kama Mchaga Na Pombe😂😂
Tweet media one
20
32
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Tegemeeni kuona Collaboration Kubwa kati Ya Alikiba na Diamond🥴
Tweet media one
153
33
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Hivi Huyu Jamaa Ana Ulinzi Wa Aina Gani Maana Yeye Anataja Tu Haogopi🤔
Tweet media one
76
35
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Huyu Dada Baada Ya Kuonekana Kwenye Video Ya Diamond "Yatapita" Milango Ya Mafanikio Imemfungukia Now Anapiga Tu Pesa😊
Tweet media one
62
39
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Kumbe Jamaa Kachezea Brighton Ndo Maana Analijua Boli🥴
Tweet media one
34
23
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Haji Undertaker Manara🤓
Tweet media one
31
34
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Uyu Jamaa kaweza Kumtuliza Lulu asee yani Kakaa kimya kama Hayupo vile🤔🥴
Tweet media one
74
43
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Unaambiwa Kajala amefuta picha alizovalishwa pete na Harmonize, hata hivyo Harmonize nae amefuta utambulisho aliouweka kwenye bio yake uliomtambulisha kama mume halali wa Kajala🤔
Tweet media one
115
39
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Uyu Dogo Jana Alikua Akipata Mpira Mapigo Yangu Ya Moyo Yanapiga "Puh Puh Puh Puuuh"🥴
Tweet media one
40
28
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Japo Wengine Wanasema Ajali Kazini Lakini Lazima Tujikinge Asee Dogo Alikua Hana Protective Wear Yoyote Ila Yote Kwa Yote Apumzike Kwa Amani💔
Tweet media one
Tweet media two
111
46
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Maisha Bhana😒 Jamaa Kaondoka Bila Hata Kula Mahari Ya Hii Pisi Yake😔
Tweet media one
16
32
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Mchezaji pekee wa Simba Queens aliyeingia katika kikosi Bora cha Ligi ya mabingwa Barani Afrika🤗
Tweet media one
34
34
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Nasikia ChiMama ni mjamzito, kama ni kweli Basi whozu awekwe kwenye makumbusho ya taifa 😂🙌
Tweet media one
62
35
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Ndoa Ni Upendo Sio Umri Kila La Heri Kijana Mwenzetu🤓
Tweet media one
204
55
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Yule Mganga wa Asley wa Mwaka 2017 saivi anafanya kazi na Marioo🤔🥴
Tweet media one
24
23
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kumbe Ukila sadaka za waumini na waumini wanakula mali zako🥴
Tweet media one
110
54
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Wasemaji Wa Taifa Stars 🙌😁 N:B "Zao La Azam 📺📡"
Tweet media one
21
28
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Baada ya kupita miaka 10 Leo ndo Nimejua kwenye "Lofa" ya Top C zile back vocals zimepigwa na Alikiba 🤣🙌
Tweet media one
46
44
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Millard Ayo Ni Mnafki Sana🤣 Yani Interview Nzima Hajacheka Au Mwanetu Hana Bandama😂😂😂
Tweet media one
76
23
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Haya Maisha Bhana, kala zake Bata Wee Hadi wimbo Walitoa😂
Tweet media one
107
41
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Pigo Za Frida Amani Anazijuaga Mwenyewe..🥴
Tweet media one
47
15
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Milioni mia nane zikiwa zimeenda kukagua milioni mia moja🥴
Tweet media one
79
95
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Tulianza Na Metacha Sasa Tunaenda Kwa M-Brazil🥴
Tweet media one
8
28
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Kumbe Hii Hua Inawezekana🤔 Legend Kwenye Moja Na Mbili😂😂
Tweet media one
Tweet media two
100
88
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
"Erick Omondi" Jamaa Anatoka Hadharani Anajitoa Muhanga Kupaza Sauti Kuhusu Hali Ngumu Ya Maisha Kwenye Nchi Yake.Njoo Bongo Sasa Wasanii Wetu Wanaogopa Hata ku-Comment Kwenye Post Za Viongozi Utasikia Ngoja Ninyamaze Mwanasheria Wangu Hayupo🥴
Tweet media one
84
55
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kumbe Lord Eyes Ndo Anapumzika Hapa🤗
Tweet media one
37
22
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Nyieee...Alafu Kuna Timu Nayo Eti Imezindua Jezi 😂😂😂
Tweet media one
52
38
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Africa bhana yani Bingwa Mtetezi wa CAF Champions league na yeye anatafuta ticket ya kufuzu kwenye makundi🙌🙌🤣
Tweet media one
62
23
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kumbe Feisal Yupo West Ham Na Hamsemi🤔
Tweet media one
40
25
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Mwambieni Kabisa Uyu Mzungu Kua Kama Chama Haingii Kwenye Mfumo Wake Basi Anatakiwa Yeye Ndo Aingie Kwenye Mfumo Wa Chama🥴
Tweet media one
77
52
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kwenye kichwa Cha Morison Kuna Tatizo la kiufundi Linatakiwa Lifanyiwe Marekebisho Haraka Sana😂😂
Tweet media one
41
25
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Nimemsikiliza Tariq Kipemba Kwenye Kipindi Cha Leo Tena Asee Kumbe Mwana Alimkataa "SHOGA" Ndo Ilo Shoga Likatafuta Watu Wakam-Mwagia Tindikali Usoni😥
Tweet media one
Tweet media two
103
39
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Sitasema Chochote Mpka Mwanasheria Wangu Arudi Tanzania🥴
Tweet media one
37
16
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Wazee Kabla Sijaoa Niongeze Kitu Gani Hapa Geto?🤔🥴
Tweet media one
461
44
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kumbe Linah ni Mhehe🤗🥴
Tweet media one
160
40
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Hakika Rubeni🥴
Tweet media one
89
15
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Hivi Ule Wimbo Wa Marlow "Ritha" Ulikuwa Ni True Story?🤔
Tweet media one
56
42
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Umefika sasa Muda wa kwenda kuomba Ukatibu kwa Alikiba🥴
Tweet media one
33
33
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Uyu Mc Garab Anaonekana Halali Bila Kula Vyakula Vyote Viwili🙌😂
Tweet media one
22
19
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Mwamba Huyu Hapa Kaiacha 100,000 Makao Makuu Ya Yanga🔰✊
Tweet media one
45
20
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Uzito wa Meli hauitishi Bahari🥴
Tweet media one
110
45
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Appreciation Tweet For Laurence Ati-zigi Uyu Jamaa Ndo Kahakikisha Uruguay Anatoka Na Ghana😀😀
Tweet media one
22
33
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Baada Ya Juzi Kudus Kufunga Goli Na kuvua jezi Ndani Alivaa Vest Nyeupe Yenye Ujumbe Wa "R.I.P ATSU" Refa Alimfuata Hakumpa Kadi Ya Njano Badala Yake Alimfuata Na Kumwambia Pole😊✊
Tweet media one
17
18
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Appreciation Tweet For Diara🥴
Tweet media one
30
47
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Hivi Kwanini Redio/Tv Nyingi Zipo Mikocheni?🤔
Tweet media one
90
27
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Zungu Akiona Hii Atazimia Tena😂
Tweet media one
25
16
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Tbc Taifa😊Ukweli Na Uhakika 🤗
Tweet media one
72
32
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Tukamuacha Uyu Mwamba Alafu Tukabaki Na Kisinda😂😂
Tweet media one
21
21
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 months
Video Hii ndio Chanzo cha Waziri Nape Kutumbuliwa,.
145
230
2K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Hivi Kwanini Michael Jackson Alikua Anapenda Kuvaa Gloves?🤔
Tweet media one
134
29
1K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Kumbe Paula Ana Mtoto🤗
Tweet media one
29
16
1K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Hivi Unawezaje Kumuagiza Boda Tv Ya Milioni 1😃
Tweet media one
141
35
1K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
2 years
Africa Ni Africa Tu🤓
Tweet media one
115
39
1K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Huyu Novartus Dismas Na Timu Yake Ya Zulte Waregem Wanatuchania Sana Mikeka😢
Tweet media one
22
19
1K
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
Maisha Hayajawahi Kusema Ni Lini Utafanikiwa.. "Yana Siri Sana🙏
Tweet media one
10
36
1K