Saidi Othman Yakubu Profile Banner
Saidi Othman Yakubu Profile
Saidi Othman Yakubu

@yakubu_saidi

981
Followers
69
Following
715
Media
828
Statuses

Ambassador Designate to The Union of Comoros

Joined February 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
5 months
Namshukuru sana Mheshimiwa Rais kwa uteuzi huu na heshima ya kuliwakilisha Taifa letu katika visiwa vya Comoro. I am excited with this appointment will give it my head, heart and soul. I am able, ready and willing to serve. Karibuni Anjouan/Moroni.Let the fun begin
Tweet media one
34
28
172
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
⚽ Nimeshiriki katika tukio la kuwaaga Vijana 10 wa kituo cha mafunzo ya soka cha Magnet wanaokwenda mafunzo nje ya nchi katika kituo cha celta vigo Academy cha nchini Hispania kwa ajili ya mafunzo zaidi @mshambuliaji @CharlieClouser @George_Ambangil @mzeewakaliua
Tweet media one
9
30
464
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Mazungumzo na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell  Jijini Washington Nchini Marekani leo tarehe 14 April 2022. @venusnyota
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
12
104
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Pongezi
Tweet media one
0
2
106
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Namshukuru Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa imani yake kubwa kwangu na kuniteua kuwa Balozi. Nawashukuru viongozi na watumishi wote wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa ushirikiano wao kwa kipindi chote nikiwa Katibu Mkuu wa Wizara. Balozi Saidi Yakubu,FCG
Tweet media one
Tweet media two
5
13
108
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Nimeongoza kikao kazi cha Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo,Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuhusu Tanzania kuwa Mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Barani Afrika ambapo wadau wa soka zaidi ya 300 watakuja Tanzania. @mshambuliaji
Tweet media one
3
6
81
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Kiapo Cha Katibu Mkuu wa wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo
Tweet media one
6
5
81
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Naibu Waziri Mhe. @MwanaFA amelitaka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kujikita zaidi kwenye kutoa elimu kwa wasanii kwa kuwaeleza kuwa wanaweza kufanya Sanaa yao bila kukiuka maadili wakati huohuo BASATA wahakikishe hawadumazi sanaa kwa kuwa inabidi iendane na kasi ya Dunia.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
3
79
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
4 months
I’m pleased to announce that my son, Muntasir Saidi Yakubu, and his friends at Connectors Club are hosting the esteemed South African entrepreneur, author, and speaker @VusiThembekwayo in Tanzania for the first time! He’ll share his expertise on corporate growth for startups,
2
30
71
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Salamu za Pole
Tweet media one
0
6
64
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Viongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Februari, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
9
51
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
3 months
Diplomasia ya uchumi kazini
Tweet media one
2
13
44
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Kiapo cha ubalozi ikulu leo ~ Family photo
Tweet media one
3
3
43
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
36
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
4 months
Tanzania's Ambassador to Comoros, Saidi Yakubu, met with Precision Air CEO Patrick Mwanri to discuss expanding air travel between Tanzania and Comoros. They explored opportunities in the aviation sector, noting the strong business ties between the two nations.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
13
38
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
⚽ Kila la Kheri Wachezaji wa timu ya Taifa @TaifaStars_ wakiwasili uwanja wa Benjamin Mkapa tayari kwa mchezo wa kundi F kuwania kufuzu Kombe la Mataifa Afrika mwaka 2023 (AFCON 2023) dhidi ya Algeria utakaochezwa leo majira ya saa 1 usiku. @jokateM @mshambuliaji @tonytogolani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
35
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Pamoja na viongozi Komred Abdulrahman Kinana,Makamu M/kiti wa CCM Tanzania Bara na Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu,Mb na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika mashindano ya Kimataifa ya Usomaji wa Quran Afrika yanayofanyika Tanzania @venusnyota @Nnauye_Nape
Tweet media one
Tweet media two
1
5
32
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Uwanja wa Benjamin Mkapa ulio chini ya Wizara ya Utamaduni.Sanaa na Michezo leo unaenda kuweka historia ya kuwa na shughuli mbili kubwa za kujaza uwanja,Mashindano ya Quran ya Afrika nchi 22 zikishiriki na mechi ya Simba na Orlando Pirates jioni. Pia leo unaweka historia ya kuwa
1
5
36
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Tweet media one
0
2
34
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Tweet media one
0
1
30
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
🐃🦣🦛🦒🦫🦍🦦🦅🦨🦁 #RoyalTourTanzania 🔹Uzinduzi ni Tarehe; 🗓️18 Aprili, 2022 -📍New York 🗓️21 Aprili, 2022 -📍Los Angeles 🗓️28 Aprili, 2022 -📍Dar 🗓️07 Mei, 2022 -📍Zanzibar 📺itapatikana Amazon Prime na Apple Tv+ @venusnyota @Salym @ridhiwankikwete @jokateM
Tweet media one
1
5
21
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
5 months
Ambassadors retreat 2024: Enhancing Efficiency, Fostering Collaboration: Towards Better Economic Diplomacy
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
6
29
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Tweet media one
2
2
28
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Mtayarishaji maarufu kutoka California Marekani, John Feist ambaye pia ni Mshindi wa tuzo ya Emy (Emy Award), leo jijini Dar es Salaam anatoa semina kuhusu masuala mbalimbali ya kuboresha kazi za filamu hapa nchini. @WizaraSanaa @tonytogolani @mshambuliaji @George_Ambangil
Tweet media one
0
4
24
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
3 months
Yesterday, on May 25, 2024, Vice President Dr. Philip Mpango of Tanzania arrived at Prince Said Ibrahim International Airport in Moroni, Comoros. He is representing President Dr. Samia Suluhu Hassan at the inauguration of Comoros' President-elect Azali Assoumani scheduled for May
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
12
26
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Serikali ya Marekani ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris katika Ikulu ya White House Washington leo tarehe 15 Aprili, 2022. @venusnyota
Tweet media one
0
6
19
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
4 months
I thank HE Dr Hussein Mwinyi President of Zanzibar and Chairman of the Revolutionary Council for according me an opportunity to bid him farewell and receives his guidance on the historic relations of Zanzibar & The Union of Comoros.I am going knowing the desire of his government
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
12
26
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Tweet media one
2
0
24
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
5 months
I got an opportunity to present a paper to colleagues Fellow Ambassadors and to the leadership of Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation during the ongoing Ambassadors Retreat in Kibaha,Coast Region.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
9
26
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
4 months
I sincerely thank HE Vice President Dr Philip Isdory Mpango for his time and insights on the historic relations we share with The Union of Comoros.The session was informative and offered good points on priority focus areas upon my arrival in Moroni.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
13
25
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
TANZIA
Tweet media one
1
5
20
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Katibu Mkuu @yakubu_saidi akitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali kuhusu maendeleo ya Sekta ya Utamaduni,Sanaa na Michezo katika kipindi cha miaka miwili ya Uongozi wa Rais wa Tanzania @SuluhuSamia kwenye kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa mbashara na TBC.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
6
25
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
🕋 With Guest of honour for Iftar Fundraising. A total of 67.7 Milioni was Raised. @bunge_tz @mshambuliaji @masoudkipanya @CloudsMediaLive @wasafifm
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
6
18
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Wizara inakwenda kufanya uzinduzi wa utoaji wa mikopo kupitia Mfuko wa Utamaduni ndani ya siku kumi kutoka sasa ili wasanii waweze kunufaika na mfuko huo ambao Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais @SuluhuSamia imeuanzisha kuwanufaisha wasanii.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
3
23
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
🕋 EID MUBARAK
Tweet media one
0
5
24
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
3 months
She has gone too young but such is the mystery of death,you have no idea of when it will strike and to whom. I have known Dr Shogo both in personal capacity as the wife of Prof Sedoyeka,Rector of Institute of Accountancy Arusha where I was head of legal circa June 2020 till
Tweet media one
3
7
25
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Tweet media one
1
3
22
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
3 months
I have had good meeting with Tanzanians in Diaspora in Comoros (TADICO) who introduced their community which has 374 members and growing. I look forward to working with them in ensuring their objectives succeeds.Diaspora have an important role in our nation and the ones we have
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
15
19
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
4 months
Ushiriki wa Mabalozi katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
5
21
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Waziri Mhe. Dkt. Pindi Chana akimkabidhi zawadi ya Shilingi Milioni 20 Nahodha wa Timu ya Yanga Bakari Mwamnyeto ikiwa ni zawadi ya Rais wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia baada ya ushindi wa magoli 2- 0 dhidi ya timu ya Marumo Gallants ya nchini Afrika Kusini.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
4
20
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
3 months
It was good mingling with Ambassadors from Tanzania who are also accredited to Comoro who were here in Moroni for the swearing ceremony of HE Azali Assoumani, President of the Union of Comoros. Ambassadors from Oman, Brazil, Egypt and Uganda and yours truly met at the residence
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
5
20
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
4 months
Today I met the TIC Director General Gilead Teri in Dar es salaam to discuss boosting investments between Tanzania & Comoros. TIC plans to send 20 investors to Comoros by late June and organise monthly investment missions in various sectors from July to December 2024
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
10
19
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa leo amefanya ziara ya kutembelea Uwanja wa Benjamin Mkapa kujionea marekebisho yanayohitajika ili uwanja huo kuendelea kukidhi viwango vya kimataifa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
9
19
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
#Kikosi cha timu ya Taifa #SerengetiGirls kikiwa katika pitch ya dimba la Benjamin Mkapa kupokea shangwe la Watanzania baada ya kufuzu Kombe la Dunia litakalofanyika nchini India @Tanfootball @serengetigirls @tonytogolani @venusnyota @George_Ambangil @privaldinho @mshambuliaji
Tweet media one
0
0
17
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Tweet media one
0
0
19
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_ amewasilisha Hotuba ya Ofisi yake kwa mwaka 2023/24 Bungeni jijini Dodoma leo April 5, 2023, ambapo ameeleza kuwa Sekta za Utamaduni, Sanaa na Michezo zitaendelea kupewa kipaumbele katika kutekeleza majukumu yake
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
1
18
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
The Royal Tour 2022 #SSH #KaziIendelee
1
5
16
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
3 months
The Union of Comoros has pledged to support Dr. Faustine Ndugulile's candidacy for the WHO Regional Director, following a formal request I submitted during the tete a tete I had with the Foreign Minister Hon Dhoihir Dhoulkamal at the introduction and presentation of credentials
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
6
18
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 months
Today, I visited Governor Ibrahim Mze of Ngazidja Island to introduce myself and discuss opportunities for Tanzanian companies on his island. I also presented him with a gift from Suma JKT, reflecting our office's close relationship with them. Governor Mze will be the chief guest
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
6
18
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Naibu Waziri @MwanaFA . akifurahia ushindi wa Taifa Stars na baadhi ya watanzania waliojitokeza kuishangilia timu hiyo kwenye mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Uganda uliochezwa uwanja wa Suez Canal uliopo Ismailia nchini Misri ambapo Tanzania imeibuka na ushindi wa goli 1 kwa 0.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
18
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
3 years
Nimetembelea kujionea mradi wa ujenzi wa kituo cha michezo cha kisasa kinachojengwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa ufadhili wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
6
12
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
4 months
Prof. Mohamed Janabi, Executive Director of Muhimbili National Hospital, informed me about a dedicated strategy to offer modern medical services to the increasing number of patients from Comoros. During our meeting, Prof. Janabi, who also chairs the National Committee for Medical
Tweet media one
Tweet media two
1
5
19
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Taaswira ya Jengo jipya la Ikulu ya Chamwino kama linavyoonekana pichani ambalo limezinduliwa Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 20 Mei, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
5
18
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
PONGEZI KWA USHINDI Mtanzania Gabriel Geay ameshika nafasi ya Nne (4) kwenye mbio za nyika (Boston Marathon) anastaili pongezi #KaziIendelee @MauaSama @mshambuliaji @George_Ambangil @masoudkipanya @issamichuzi @Football_Senzo @shaffihdauda1 @tonytogolani @thetopscorer
Tweet media one
0
7
14
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma @MwanaFA (wa pili kushoto) akishiriki siku ya tatu (Machi 4, 2023) ya Mkutano wa faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu unaofanyika jijini Arusha.
Tweet media one
0
1
17
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
4 months
Tanzania's Prime minister Kassim Majaliwa has tasked Ambassador Saidi Yakubu with boosting business opportunities between Tanzania and Comoros. Meeting in Dodoma, Majaliwa praised Yakubu's appointment by President Samia Suluhu Hassan and emphasized strengthening economic ties.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
9
16
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepongeza @WizaraSanaa kutekeleza majukumu yake ipasavyo kulingana na Bajeti iliyotengewa kwa mwaka wa fedha 2022/23. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo ametoa pongezi hizo Machi 23, 2023 jijini Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
0
17
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Tanzania inashiriki Tamasha la Tano la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) 2022 ambalo linafanyika nchini Burundi likiongozwa na Kaulimbiu “Kutumia Rasilimali za Kiutamaduni kukabiliana na Athari za UVIKO-19 kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki”
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
6
14
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Siku ya Kiswahili Duniani @tonytogolani @WizaraSanaa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
2
16
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Nimekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Vijana na Michezo wa nchini Seychelles, Ralph Kelvin Jean-Louis (wa pili kulia) Februari 21, 2023 jijini Riyadh, Saud Arabia katika Kongamano la Dunia la Maadili katika michezo.
Tweet media one
1
6
15
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Naibu Waziri Mhe. @MwanaFA leo Juni 5 2023 Bungeni Dodoma amewasilisha Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.
Tweet media one
0
0
16
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Nikiwa na Mwana Mfalme wa Saudi Arabia, Bi Lamia Majid Al Saud ambaye ni Katibu Mkuu wa Taasisi ya Al Waleed Philanthropies inayokusudia kusaidia sekta ya Sanaa nchini Tanzania, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
Tweet media one
3
2
16
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Tweet media one
0
7
14
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Rais wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia Julai 05, 2022 Ikulu Dar es Salaam ameikaribisha Timu ya Mpira wa Miguu ya Wanawake chini ya Umri wa Miaka 17 ( Serengeti Girls) chakula cha mchana ikiwa ni muendelezo wa pongezi zake kwa timu hiyo baada ya Kufuzu kucheza Kombe la Dunia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
14
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Waziri Mhe.Dkt.Pindi Chana amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kwa ujenzi wa Kituo cha Michezo katika Manispaa ya Kigamboni Dar es Salaam ambacho kitasaidia kukuza mchezo wa Soka. Ametoa pongezi hizo Februari 20, 2023 wakati alipofanya ziara katika Kituo hicho
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
4
15
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Waziri Mkuu wa Tanzania @KassimMajaliwa_ (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabingwa wa Soka la Wanawake kwa Shule za Sekondari Afrika, Timu ya Fountain Gate leo Aprili 13, 2023 jijini Dodoma. Wametwaa Ubingwa huo hivi Karibuni nchini Afrika Kusini.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
15
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Waziri Mhe. Dkt. Pindi Chana akiteta jambo na Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. @MwanaFA leo Aprili 18, 2023 Bungeni jijini Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
0
2
15
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Tarehe 18 Aprili, 2022 New York, Marekani. @mshambuliaji @BBCWorld @AlJazeeraWorld #TheRoyalTour
0
4
10
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Hongera @SimbaSCTanzania kwa ushindi katika mchezo wako wa kwanza wa hatua ya Robo fainali dhidi ya @orlandopirates uliochezwa jana katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Nguvu na akili katika mchezo unaofuata. @mshambuliaji @George_Ambangil @shaffihdauda1 #NguvuMoja #TaifaMoja
Tweet media one
0
6
14
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Tanzania imeungana na Afrika Kusini kuadhimisha Siku ya Afrika Mei 25, 2023 manispaa ya Mogala nchini Afrika Kusini kusherehekea miaka 60 ya Umoja wa Afrika tangu kuanzishwa kwake Mei 25, 1963 Addis Ababa Ethiopia.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
8
15
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Nimeongoza ujumbe wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania, tumekutana na kufanya kikao cha pamoja na Wizara ya Michezo, Sanaa na Utamaduni ya Afrika Kusini na kubadilishana uzoefu ili kuboresha sekta hizo na kuwaletea maendeleo Kwa Wananchi...
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
6
15
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Waziri Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana Naibu Waziri wa Wizara hiyo. Mh @MwanaFA na Katibu Mkuu wa wizara hiyo @yakubu_saidi wakikabidhi Tuzo za Shukran kwa Wadau wa Hakimiliki nchini, Julai 21, 2023 Jijini Dar es Salaam wakati wa Hafla ya kugawa Mirabaha ya Wasanii.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
1
14
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Mheshimiwa Balozi Dkt Pindi Chana na Katibu Mkuu Saidi Yakubu wakishuhudia fainali za Mashindano ya Mpira wa Miguu ya Mashule ya Nchi za Afrika Mashariki na Kati baina ya Awaro SC ya Ethiopia na Fountain Gate ya Tanzania ambapo Fountain Gate wameibuka na ushindi wa mabao 3-0.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
9
13
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
4 months
I'm grateful for the chance to speak at Kariakoo Market in Dar es Salaam, a key hub for trade with Comoros. The presence of top government officials highlights President Samia Suluhu Hassan's commitment to making Kariakoo a central business hub for the region.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
7
14
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Usikose kufuatilia
Tweet media one
1
0
14
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Msanii Shollo Mwamba akishambulia jukwaani kwa miondoko ya Singeli, msanii huyo yuko nchini Ujerumani katika Tamasha kubwa la Muffathale akiwa amewezeshwa na kuratibiwa na @WizaraSanaa ambapo amekuwa kivutio kikubwa kwa washiriki wa Tamasha hilo na kuitangaza vyema Tanzania.
1
6
14
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Kocha Mkuu Timothy Kingu wa kikosi cha ndondi kinachoiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola ambayo yameanza rasmi  Julai 28,2022 amemhakikishia Mhe. Rais Samia na watanzania kurejea na medali za ushindi kwenye mchezo huo kulingana na maandalizi ya kutosha.
Tweet media one
0
2
13
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Waziri Mhe. Dkt. Pindi Chana ameongoza kikao cha Menejimenti na Wakuu wa Taasisi wa Wizara hiyo, kupitia taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara kwa mwaka 2022/23 na mwelekeo wa Bajeti kwa mwaka 2023/24 itakayowasilishwa kwenye Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
14
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
#SensaBika Kaa tayari Kuhesabiwa Agosti 23, 2022 @WizaraSanaa
Tweet media one
0
2
12
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
3 months
Forging Bonds: The Future we make Together. @ikulumawasliano @JMakamba @tonytogolani
Tweet media one
0
1
13
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars wakiwa kwenye mazoezi katika uwanja wa Munimual Abba, Algeria kujiandaa na mchezo wa pili wa kirafiki ya Kimataifa dhidi ya Algeria.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
12
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
BREAKING NEWS:Bondia Kassim Mbundwike wa Tanzania usiku huu amemtwanga bondia Pafio wa Cyprus kwa pointi na kufuzu kucheza robo fainali! @mshambuliaji @George_Ambangil @tonytogolani @WizaraSanaa @venusnyota
0
0
13
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Fulana iliyokabidhiwa na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma, wakati wa kukabidhi andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda
Tweet media one
1
5
13
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Naibu Waziri @MwanaFA ameshuhudia Timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (Tanzanite) ikiibuka na ushindi wa vikapu 69-34 vya Timu ya Taifa ya Eritrea. Mchezo huo wa ufunguzi wa kufuzu mashindano ya mpira wa kikapu Afrika umechezwa Juni 17, 2023 katika Uwanja wa ndani wa Mkapa Dar
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
13
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Nyota wa Timu ya Taifa Stars wakiendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa marudiano kufuzu AFCON dhidi ya Uganda utakaochezwa Jumanne Machi 28, 2023 uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. @WizaraSanaa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
12
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 months
Nimewaalika wapenzi wa Kiswahili nchini Comoro kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Jumapili hii katika Ukumbi wa Bunge, Moroni. Maandalizi yamekamilika na Gavana wa Ngazidja, Mohamed Mze, atakuwa mgeni rasmi. Tukio litajumuisha burudani, shindano la insha, na vyakula vya
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
8
11
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Kwa mara ya nne mfululizo Tanzania imefanikiwa kuwa miongoni mwa Nchi 9 za Afrika ambazo Kombe la Dunia litatembezwa katika Nchi hizo. Rais @SuluhuSamia ndio kiongozi pekee atakaye ruhusiwa kuligusa kombe hilo litakapofika Nchini. @tonytogolani @George_Ambangil @mshambuliaji
Tweet media one
0
4
12
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Nashiriki Mkutano wa faragha na Viongozi wengine wa Serikali unaondelea Kituo cha mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) kuanzia Machi 3, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
2
12
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
2 years
Serikali imewataka watanzania wanaopata fursa za masomo nje ya nchi kuitumia fursa hiyo vyema kuzitangaza tamaduni za Tanzania Amesema Naibu Waziri Mhe.Gekul katika maadhimisho ya siku ya Utamaduni wa Baraza la Mahusiano ya Kitamaduni la India iliyoadhimishwa Aprili 09,2022 Dar
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
5
8
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Naibu Waziri Mhe. @MwanaFA ametoa pongezi kwa wadau wanaounga mkono shughuli za Michezo na Sanaa katika maeneo mbalimbali nchini. Amesema hayo Aprili 13, 2023 Wilayani Hai wakati akifunga mashindano ya ligi ya Mpira wa Miguu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Hai Mhe. Saashisha Mafue
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
2
12
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Mazungumzo, Waziri @dr_pindi na Naibu Waziri @MwanaFA leo Mei 8, 2023 Bungeni jijini Dodoma
Tweet media one
0
1
12
@yakubu_saidi
Saidi Othman Yakubu
1 year
Salamu za pongezi kutoka Kwa Mhe. Rais Dkt. @SuluhuSamia Kwa ushindi wa @yangasc1935 katika Mchezo wa raundi ya kwanza ya Nusu Fainali kombe la Shirikisho.
Tweet media one
0
1
12