Nyota wa Timu ya Taifa ya Tanzania
@taifastars_
@Samagoal10
ameendelea kuwakimbiza kwenye Ligi kuu ya Belgium akitupia goli 1 wakati timu yake ya Genk ikipata ushindi wa mabao 4-0 mbele ya Antwerp jana usiku,Samatta ndio anaongoza kwa magoli kwenye Ligi Kuu ya Belgium