Proud husband to Prosista, and Dad to Aggrey, Calvin and Abigail. MP- Ubungo Constituency, Minister President’s Office-Planning and Investment. Tweets mine!
‘Interview’ya leo kati ya Mhe Samia Suluhu Hassan na Salim Kikeke ni moja ya interviews bora kabisa kufanywa miongoni mwa viongozi wakuu hapa nchini. Mhe Rais ametoa ufafanuzi muhimu kwa mambo ya msingi yanayoikabili jamii yetu leo na kesho!
Ninamshukuru Mhe Rais
@SuluhuSamia
kwa imani aliyonipa katika kusimamia sekta ya viwanda na biashara. Ninamuahidi kufanya kazi kwa bidii na maarifa. Aidha, ninawaahidi watanzania ushirikiano katika kuhakikisha sekta hii inachangia kikamilifu katika uchumi na ustawi wa watu wetu.
Ngorongoro na Serengeti “zimefurika” watalii katika kipindi hiki cha Xmas na mwaka mpya. Habari njema ni kuwa, pamoja na wageni wengi, watanzania wengi pia wamejitokeza kufurahia urithi wa Taifa letu. Ni utalii; ni biashara; ni ajira; ni furaha! Happy Boxing Day!
One of the cleverest women/politicians in TZ. Her performance in parliament has been outstanding, raising extremely hard but very important issues that give govt ministers a huge homework, always unfinished business. Heko Mhe Halima Mdee
@halimamdee
Pleased to announce that today, the 9th of September 2021, the Parliament of the United Republic of Tanzania has RATIFIED the Agreement Establishing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), effectively joining the 1.2 bilion market and USD 3.4 trillion African economy!
Sifa moja ya ujinga ni kwamba huwa lazima ujianike. Ujinga hauna uwezo wa kujificha! Tuendelee kuchukua tahadhari na kufuata maelekezo ya wataalam wa Afya na viongozi wetu
Wewe tubishane kuhusu tume za uchaguzi na mambo mengine ya siasa za uchaguzi. Huna nyenzo za kujadili ubora au udhaifu wa sifa zangu kitaaluma. Nipo very proud na tasnia yangu ya PhD. Wala hamjafanya ugunduzi wowote katika kuibua tasnia yangu hiyo kwani ipo online tangu 2008.
Unampa heshima kumuita ‘profesa Kitila Alexander Kanyama Mkumbo’ na wengine wamefundishwa naye UDSM, kumbe kurasa 274 za Dissertation ya Ph.D aliyofanya ni mambo ya ukungwi.
Ukisikia anajiita ‘profesa Kitila’ unaweza kufikiri Dissertation yake alifanya mambo ya uchumi au
Yaani washabiki wa Simba leo nyie ndio muwe wahamasishaji wa Sensa kuliko hata mama Anne Makinda? Hatudanganyiki wala hamtatusaulisha. Jana mmepokea kipigo kizuri tu na mzungu wenu aka mleta vifaa vya Sensa!!
Requiescat In Pace Prof Mwesiga Baregu. One academic who strongly believed that academics shouldn’t shy away from politics. And you taught some of us who agreed with this tenet how academics can do active politics without loosing their intellectual rigour.
Leo nimekumbuka enzi zangu nikiwa mwanafunzi wa UDSM miaka 25 iliyopita. Huu ndiyo ulikuwa usafiri wetu mkubwa. Ahsanteni wana Ubungo kwa kunilea muda wote huu. Mimi ni mtu wenu. Mimi ni mwenzenu.
Elimu sio tukio, ni mchakato. Ulikuwa Mayor for five years na shule zote za umma mliziacha zikiwa hoi. Ulikuwa busy kufanya maandamano na ukatelekeza kazi yako ya msingi. Tunapambana kurekebisha na kwa mipango iliyopo na utekelezaji wake unavyokwenda tutafanikiwa.
Ili kulinda amani na mshikamano, mbunge wa Ubungo amepiga marufuku mazungumzo yoyote katika vijiwe yanayohusu timu za Yanga na Simba ndani ya Jimbo la Ubungo hadi pale CAG atakapofanya ukaguzi maalum kuhusu mazingira ya mechi ya leo.
Katika vita kati ya madaktari na wadudu siku zote madaktari walishinda. Katika vita hii nayo madaktari watashinda. Tuendelee kuchukua tahadhari za kujikinga ili tushuhudie ushindi mwingine wa madaktari dhidi ya mdudu Corona. Kwa msaada wa Mungu, Hakika Sayansi itashinda tena!
Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia.
II: Kisera, tafsiri ya ukubwa au udogo wa kiwanda ni kama ifuatavyo:
Kiwanda kikubwa: ajira 100+; uwekezaji >800m
Kiwanda cha kati : ajira 50-99; uwekezaji >200-800m
Kiwanda Kidogo: ajira 5-49; uwekezaji >5-200m
Kiwanda kidogo sana: ajira 1-4; uwekezaji <=5m
The traffic jam in Dar can prove to be a great opportunity to read a book. On my way to the airport I read two chapters in a book. The secret is switching off the mobile data for a while so that you’re away from the otherwise engrossing WhatsApp!
I: Taarifa kuhusu sekta ya viwanda niliyoitoa leo katika mkutano wa Mhe Rais Longido. Kwa mujibu wa sensa ya viwanda ya Julai 2021 (NBS/WVB), idadi ya viwanda ni 80969:
1. Viwanda vikubwa: 628
2. Viwanda vya kati: 684
3. Viwanda vidogo: 17,267
4. Viwanda vidogo sana: 62,400
Tulia. Acha kujifariji. Nipo mitaani kila siku. Nimekaba kila kona hakuna pa kushika. Nakusubiri kwa hamu, kama utapenya katika chama chako maana huko nako hali yako kisiasa ni changamoto. Pole sana.
Wanangu wa Mabibo wanataka Kutapeliwa Kizembe sana,ngoja nikawatonye fasta.
Mtu ajakanyaga mtaani miaka 4,
anakuja kutokea kapanda juu ya pikipiki na uongo wa kugawa mashamba bila mbegu,mbolea,madawa,pesa ya Vibarua na shamba lenyewe usikute ni kijiji kwao Singida.
Hayo mambo
“The only way a man can remain consistent amid changing circumstances is to change with them while preserving the same dominating purpose”. Winston Churchil, in 1925, while rejoining the Conservatives after he had switched to Liberals.
Kinafunguliwa rasmi rasmi tarehe 20 Septemba 2023. Ni kiwanda cha kutengeneza vioo (float glass) kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani. Ni uwekezaji wa zaidi ya dola milioni 300 na ni kiwanda cha nne kwa ukubwa barani Afrika. Ajira zaidi ya 1600! Kazi inaendelea!
Tunapoanza mwaka tufanye kazi kwa bidii na maarifa. Ukikwama usikate tamaa. Kumbuka kuwa “.....si wenye mbio washindao katika michezo; wala si walio hodari washindao vitani; wala si watu wa ufahamu wapatao mali;LAKINI WAKATI NA BAHATI HUWAPATA WOTE” (Mh 9: 11). Wakati wako waja!
Huu ni Mto Simba huko Siha ktk miteremko ya Mt. Kilimanj. Ni chanzo cha maji kwa ajili ya mradi wa maji katika Mji wa Longido, Arusha. Ni mradi muhimu unaotarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Novemba 2018 kwa gharama ya TZS 16b utahudumia watu zaidi ya 26K (100%) hadi mwaka 2024.
Wapo watu wanaotuambia kuwa maendeleo siyo muhimu, muhimu ni harakati wanasema chagueni harakati achaneni na maendeleo, tunasema tutachagua maendeleo kwa sababu harakati hatuwezi kula.
CHAGUA MAGUFULI
CHAGUA KITILA
CHAGUA CCM
#UbungoYaKijani
Bado natafakari mstari sahihi wa kumjibu huyu “Nabii” kati ya hii ifuatayo:
Mithali 26:4: Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye au: Mithali 26: 5: Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.
Anatafuta UTEUZI anapandisha presha ili aonekane tishio kwa chama chake.Anajua akifanya hivi watatafuta njia ya kumziba kinywa kwa kumpa uwaziri.Huu ni mchezo wanajua kuufanya.Huyu ni mtu wa kupuuzwa kwani attention na chakula kwake vina msingi kuliko utu na haki.
Thank you Your Excellence
@SuluhuSamia
for your Maiden Speech at UNGA. You appropriately addressed the theme of the conference calmly, confidently and eloquently. You made us all proud as a country and a continent! Kazi Iendelee
Ni makala nzito. Pamoja na mambo mengine, Rais
@SuluhuSamia
ameanika falsafa yake ya uongozi, kwamba yeye sio mhafidhina wala mliberali. Hii inaitwa pragmatism (Kisw chake bado). Ni imani katika kufanya jambo sahihi kwa wakati sahihi na kwa mahitaji sahihi! Zaidi hapa chini 👇
By virtue of the powers vested in me by the Companies Act, and in response to a plethora of requests by company owners, I have extended the deadline for disclosure of Beneficial Ownership to June 2022. I urge company owners to fulfill their legal obligation within this period!
Nakubaliana na Mhe Prof Manya. Sio sawa kuwapeleka watoto boarding katika umri mdogo. Tabia ya mtoto huumbwa katika miaka ya kwanza 14. Wazazi tulee watoto wetu ili wawe na tabia tuzipendazo.
@MabalaMakengeza
@RichardShukia
Nguvu ya wanachama wa CCM katika kuchagua viongozi wanaowataka ilianzia hapa. Mwaka 1985 Mwalimu alikuwa anamtaka Salim Ahmed Salim awe mrithi wake, lakini alizidiwa hoja na nguvu ya kura katika vikao na akakubali. Hapa anaeleza kwa nini alikubali kushindwa. Tutamkumbuka daima
URONGO. Hakuna masharti kama hayo. Mkopo huu ni sehemu ya makubaliano katika awamu ya pili ya ushirikiano wa miaka mitano ijayo. Ni mkopo nafuu utakaolipwa katika miaka 40 kuanzia mwaka wa 26 kwa riba ya 0.01%. Kuhusu madini ya kimkakati (strategic mineral resources-SMR),
Serikali ya Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Serikali ya Korea Kusini na kutoa sehemu yake ya bahari na kuruhusu madini muhimu ya kimkakati kuchimbwa.
Serikali ya Tanzania imekopa kiasi cha $2.5 bilioni (TZS 6.5 trilioni) kutoka serikali ya Korea Kusini. Mkopo huo utalipwa
Recent political developments in Africa seem to suggest that Africa may need a non-western form of democracy. Perhaps multiparty cooperation rather than multiparty competitive politics. Africans seem to be good at cooperating rather than competing!
“An error doesn’t become a mistake until you refuse to correct it” -JFK. As a society and leadership, We must learn to correct our errors and to prevent them from escalating into mistakes. Sawa sawa?
@zittokabwe
Hoja ya msingi ni hizo hela zinakwenda wapi. Tunajua kwa dhati kabisa fedha inayokopwa inakwenda kwenye miradi ya maendeleo na inaonekana. Ni wewe uliyeshauri kwa bidii kuwa tusijenge miradi hii kwa hela za ndani.
One key lesson from the lockdowns due to COVID19 pandemic is that liberal democracy doesn’t seem to be a suitable governance system at the time of a crisis. This could open a new discussion on the suitability of liberal democracy in addressing poverty-Africa’s social pandemic!
Tumeshapendekeza hivyo kwamba mtihani wa taifa utungwe kwa lugha ya Kisw na Kiingereza halafu mtahiniwa achague lugha anayotaka kutumia. Na hiyo ndiyo spirit ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014
Privileged to represent my country in the 8th World Water Forum in Brasilia, addressing water security and implementation of SDG 6. Great insights and lessons to learn/share.
Katika kipindi ambacho silaha ya siasa ni nguvu ya hoja, weledi, na uimara wa kiitikadi, CCM imepata katibu mkuu sahihi kwa zama sahihi. Nakutakia mafanikio makubwa Comrade Dk Bashiru Ally.
Kuna changamoto ya watu kuamini mno maoni yao na kudhani ndio ukweli. Msingi mkuu wa demokrasia ni utofauti wa maoni/mitazamo. Tunapopigania demokrasia tukubali pia na misingi yake, ikiwemo kukubali kusikia tusiyoyapenda! Tusipenda kusikia sauti zetu wenyewe!