Wasafifm Profile Banner
Wasafifm Profile
Wasafifm

@wasafifm

145,016
Followers
1
Following
14,183
Media
16,836
Statuses

The official Twitter page for Wasafi FM #SendYourMusic to music @wasafimedia .com

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Ghalib ni Bilionea ambaye amewekeza kwa muda mfupi na timu inakaribia kwenda nusu fainali, kuna watu wamewekeza pesa, masimango, vichambo, minuno na kila aina ya gubu na wanaishia robo fainali,” Ally Kamwe.
Tweet media one
439
164
4K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Kupitia mtandao wake wa Kijamii wa Instagram, Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally amesema kuwa fainali ya Caf Confederation waliyofikia Yanga ni kwa sababu katika Safari yao ya michuano hiyo walikutana na Timu Dhaifu. ✍🏼 Wamefika fainali kwa kucheza na timu
Tweet media one
583
135
4K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Klabu ya Simba Sc kutoka Tanzania imetinga hatua ya Fainali ya Kombe la Dunia la Twitter mwaka 2023 linaloendele kwenye mtandao wa Twitter likiendeshwa na mtandao wa Deportes&Finanzas kutoka Brazil likihusisha vilabu vyenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii. Kombe Hilo
Tweet media one
187
166
4K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Leo niliwapigia simu maafisa Habari wote wa Ligi Kuu kuwaeleza maelekezo ya CAF kuhusu nusu fainali, Media Officer unatakiwa uwe vipi….. “Simu ya Ahmed Ally iliita haikupokelewa, bahati nzuri nilipiga tena akapokea nikasikia upepo tu, nikaumuulza vipi akaniambia anaenda
Tweet media one
282
122
4K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Kibu alimfungaje huyu jamani ?
Tweet media one
190
103
4K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Kesho Tarehe 6 tutacheza mechi tutakaa siku 2 Mbeya, Tarehe 9 tutacheza mechi ya mwisho, Tarehe 10 tutafanya Parade ambayo haijawahi kutokea. “Parade itafanyika hapa Dar es Salaam itafunika ya msimu uliopita, alafu tutakuwa na ndege maalam itakayo tupeleka Tanga, Yanga ishakuwa
Tweet media one
80
96
3K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Kauli ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaonekana kutoa matunda baada ya tetesi zinazoeleza kuwa Azam Fc na Yanga Sc wamemalizana juu ya usajili wa kiungo, Feisal Salum Abdallah (Fei Toto). Ni muda wa takribani miezi sita kiungo huyo amekuwa na mgogoro na klabu yake ya sasa ya
Tweet media one
77
77
3K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
TETESI ni kuwa Winga wa Zamani wa Yanga, Simon Msuva ametaka klabu hiyo kumpa zaidi ya milioni 700 (USD 300k) ili aweze kurejea kuitumikia tena klabu hiyo. Msuva amekuwa akitumika nje ya Tanzania kwa mfanikio ambapo ameitumikia, Difaâ El Jadida, Wydad Casablanca zote za Morocco
Tweet media one
58
68
3K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba na Yanga,” Mwekezaji wa Simba Sc, Mohammed Dewji.
Tweet media one
224
90
3K
@wasafifm
Wasafifm
5 months
“Nadhani kitu ghali zaidi nilichowahi kununua ni klabu ya mpira inaitwa Simba inamashabiki milioni 35, niliinunua hii klabu miaka mitano iliyopita, nimepoteza takribani Dola za marekani milioni 4 (Tsh bilioni 10.2) kwa mwaka mmoja na kwa miaka yote mitano nimepoteza Dola za
Tweet media one
329
145
3K
@wasafifm
Wasafifm
11 months
“Wakati tunaenda kucheza mechi ya marudiano dhidi ya Club Africain, Kocha Kaze alifungasha mabegi yake yote akamwambia mke wake tukirudi tunarudi Burundi. “Kocha Nabi naye aliondoka na Mabegi yake yote alafu tukawa tunasikia kuwa kuna Kocha mpya,” Mayele akizungumza kwenye
Tweet media one
35
87
3K
@wasafifm
Wasafifm
11 months
Kama Diarra anadaka mishale, kwa alichofanya Ally Salim leo yeye ni mdaka nini ?? #WasafiSports
Tweet media one
281
77
3K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Kwa mujibu wa mtandao wa #FootAfrica Mchezaji wa klabu ya Yanga Sc, Fiston Mayele @FistonKalala12 amechaguliwa na mashabiki kuwa mchezaji bora Afrika kwa mwezi Aprili. Mayele aliibuka kuwa mshindi katika kura hizo huku nafasi ya pili ikishikwa na Iliman Ndiaye na ya tatu Vincent
Tweet media one
62
86
3K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Baada ya Real Madrid kuandika katika mtandao wale wa kijamii wa Instagram kuwa wana ‘surprise’ kwaajili ya washabiki wao, comments nyingi kutoka kwa wafuasi wao zimekuwa zikitaka aliyekuwa mchezaji wao Cristiano Ronaldo kurejea ndani ya Kikosi hicho.
Tweet media one
20
50
2K
@wasafifm
Wasafifm
3 months
“Story ya Aziz ilianza muda mrefu, wakati huo Yanga haishiriki katika michuano ya kimataifa lakini Simba wako kimataifa na walikuwa group moja na Asec Mimosas na Aziz akaja kucheza hapa Dar akafunga, Aziz akawa anatajawa sana na wakati anatajwa alitajwa kwa muktadha wa kwenda
Tweet media one
54
84
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
AMEREJEAAAAAAAA!!! Klabu ya Simba imethibitisha kumrejesha nyota wake Luis Miquissone kama mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba wake na Al Ahly alipouzwa na Simba miaka miwili iliyopita. Miquissone anatarajiwa kuondoka nchini wiki ijayo kuelekea nchini Uturuki kujiunga na
Tweet media one
43
106
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Kwanini hatuvutiwi sana na Kombe la Shirikisho, Kwa sababu inashirikisha timu ndogondogo na timu mpya ndo maana kila siku unasikia majina mapya kina KMC, Biashara Geita, Namungo na wengine wadogo wadogo katika chi zao Ukiona Mzee anafurahia Kombe la Shirikisho jua amekwama,”
Tweet media one
135
83
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Atakuwa nani huyu ? #WasafiSports
Tweet media one
237
78
2K
@wasafifm
Wasafifm
11 months
“Mimi Feisal ni rafiki yangu, najua mambo yake anajua mambo yangu, nakumbuka maneno ya yeye kuondoka Yanga alianza kuniambia wakati tunaenda kucheza mechi ya marudiano na Club Africain. “Lakini mimi nilimwambia usiondoke wakati huu (ule), subiri msimu uishe ndio uondoke,
Tweet media one
31
67
2K
@wasafifm
Wasafifm
8 months
Master Gamondi alitoa tahadhari mapema sana #WasafiSports
Tweet media one
10
87
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Viwango vilivyotolewa na Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) imeonyesha kuwa Simba ipo nafasi ya 9 kwenye viwango vya ubora Afrika ikiwa imekusanya alama 3 kwenye michuano ya klabu Bingwa Afrika katika msimu wa 2022/23. Klabu ya Yanga ipo nafasi ya 18 ikiwa imekusanya alama
Tweet media one
45
59
2K
@wasafifm
Wasafifm
5 months
87’ Yanga 4-0 CR Belouizdad ⚽️ Mudathir ⚽️ Aziz Ki ⚽️ Musonda ⚽️ Guede #CCL #WasafiSports
Tweet media one
7
58
2K
@wasafifm
Wasafifm
3 months
Tetesi zinasema kuwa Klabu ya Watford ya Uingereza inayoshiriki ligi daraja la kwanza huko Uingereza inataka huduma ya mshambuliaji wa Yanga Sc, Clement Mzize. Inasemekana kuwa Watford wamewasiliana maombi yao kwa Wakala wa Mchezaji huyo anayefahamika kwa jina la Jasmine Razack.
Tweet media one
179
89
2K
@wasafifm
Wasafifm
4 months
YANGA VS MAMELODI shughuli ipewe hadhi ya mchezaji gani ? #WasafiSports
Tweet media one
224
49
2K
@wasafifm
Wasafifm
7 months
Game On: 45’ Wydad 0-0 Simba Sc #CAFCC #WasafiSports
Tweet media one
66
57
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa kiume Chipukizi katika Tuzo za Muziki Tanzania #TMA2022 imeenda kwa #kontawaa #TanzaniaMusicAwards #TMA2022 |
Tweet media one
26
36
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Uongozi wa klabu ya Simba, umefikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa kimataifa, Willy Essomba Onana (23) raia wa Cameroon kwa mkataba wa miaka miwili. Onana amesajiliwa kutoka Rayon Sports ya Rwanda ambapo msimu uliopita aliibuka mchezaji bora wa ligi kuu nchini
Tweet media one
63
78
2K
@wasafifm
Wasafifm
3 months
Sakata la Serikali kuwasafirisha mashabiki 48 wa Klabu ya Yanga kuelekea South Africa kuishangilia Yanga kwenye mchezo wa Marudiano dhidi ya Mamelodi limechukua sura mpya kwa upande wa Klabu ya Simba baada ya andiko kutoka kwa Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally.
Tweet media one
289
136
2K
@wasafifm
Wasafifm
3 months
“Mkataba wangu wa kwanza Yanga haukuwa mzuri nilikuwa hata siwezi kuondoka, nilikuwa sijui kingereza, meneja wangu nae hajui kingereza anacheka cheka tu na viongozi, mkataba ulikuwa mgumu, mimi nimesaini tu nicheze nionekane. “Baada ya kucheza msimu wa kwanza kuna timu ilikuja
Tweet media one
180
68
2K
@wasafifm
Wasafifm
2 years
Ikiwa imeselia takribani miezi miwili dirisha Dogo la usajili la mwezi Januari kufunguliwa inasemekana Boss wa Azam FC, Yusuf Bakhresa ameanza kufanya michakato ya kuboresha kikosi cha Azam na rada yake imetua kwa Nyota wa Yanga SC, Feisal Salum (Fei Toto).
Tweet media one
87
38
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Msimu huu Yanga wamefanikiwa kutwaa Kombe la Ngao ya Jamii, Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho la Azam na wamevaa jumla ya medali nne katika msimu huu ikiwemo ile ya Kombe La Shirikisho Barani Afrika. 🏅 Community Shield 🏆 🏅 Premier League 🏆 🏅 Caf Confederation (Second Runner
Tweet media one
66
93
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Hivi ile ndege inaruhusuiwa kuweka machata? Tuweke mchata wa Yanga, mpicha wa Mayele na Diarra na tukirudi kama tutachukua ubingwa ndege iwe ya Yanga. “Mama atupe zawadi uwe mdege wa Yanga tunatafuta airport moja hapa Jangwani tunatua,” Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc,
Tweet media one
159
45
2K
@wasafifm
Wasafifm
6 months
Tuna suburi tuone uhodari wenu wa kutunga sentensi 🤔 #WasafiSports
Tweet media one
136
34
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Mheshimiwa Rais Timu Hii imetupa Heshima kubwa sana na imetupa na deni, ushindi wa Yanga tunaufurahia lakini tujue kwenye mchezo wa Afcon utakuwa mgumu Waalgeria hawatatuchukulia poa. “Timu zetu nne zitakazoshiririki kwenye michuano ya CAF msimu ujao utaziita tena hapa Ikulu na
Tweet media one
44
55
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Klabu ya Yanga imefanikisha dili la kumsajili Mshambuliaji kutoka Ghana, Hafiz Wontah Konkoni (23) aliyekuwa akikipiga kwenye klabu ya Bechem United ya Ghana. Mrithi huyo wa Mayele msimu uliopita katika ligi ya Ghana alifanikiwa kufunga magoli 15 kwenye mechi 26 na kutoa assist
Tweet media one
47
72
2K
@wasafifm
Wasafifm
27 days
Majira ya joto, majira ya likizo kwa wachezaji wa vilabu mbalimbali duniani, na huyo unaemuona katika picha akiwa na jezi ya Manchester United ni Kiungo mkabaji wa Manchester United na timu ya Taifa ya Morocco, Sofyan Amrabat ambaye yupo visiwani Zanzibar 🇹🇿 kwaajili ya mapumziko
Tweet media one
7
36
2K
@wasafifm
Wasafifm
4 months
“Huwezi kumtoa Baleke, Phiri utuletee Jobe sijui Fred wanasimba wasiwe waoga kusema, hapa uongozi umeteleza hata kama wanataka kwenda nusu fainali au kuchukua ubingwa wa Afrika lakini ndio Center Foward Fred ? midfield Jobe ? Sijui Babacar Sarr eeeh jamani ? “Hawa wachezaji
Tweet media one
107
81
2K
@wasafifm
Wasafifm
8 months
Amefanyaje huyu mbona ana trend ? #WasafiSports
Tweet media one
36
55
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Mnakumbuka ile story ya Cristiano Ronaldo kupanda ndege kutoka Italia kwenda kujiunga na Manchester City alafu ghafla dakika za 90 akasaini Manchester United ? Hayo mambo yanaweza kutoka Tanzania hivi punde…. Tetesi zinaeleza kuwa Simba na Kitayosce FC wapo kwenye mchuano
Tweet media one
27
22
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Goli alilofunga Kiungo wa Simba, Clatous Chama dhidi ya Horoya Fc 🇬🇳 kwenye mchezo wa klabu Bingwa Afrika limeibuka Goli Bora la Wiki la Mashindano hayo. Goli la Chama lilikuwa likishindanishwa na Goli la Mahmoud Kahraba, Percy Tau wote wa Al Ahly na Sadio Kanoute wa Simba Sc.
Tweet media one
14
50
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Tumekuja hapa kupata matokeo, hatuko hapa kuzuia au namna nyingine tuko hapa kupata matokeo. “Mchezaji wa yanga ninae mjua ni Bernard Morrison nimecheza nae Orlando Pirates, hana hatari yoyote, Hakuna mtu ambaye ni hatari, uwezekano wa sisi kushinda mchezo ni asilimia 100,
Tweet media one
121
55
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Klabu ya Singida Fountain Gate Imethibitisha kuwa kwenye Tamasha la Singida Big Day la kutambulisha kikosi kipya cha 2023/24 watacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na AS Vita Club ya DR Congo. Tamasha hilo litafanyika Agosti 2, 2023 kwenye uwanja wa CCM Liti, mkoani Singida.
Tweet media one
9
35
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Sitaki kucheza Tanzania tena ni maamuzi yangu binafsi, Hakuna kibaya ambacho kinafanya niseme hivi, watanzania ni wakarimu sana ni vile maslahi ya mpira yako mbele zaidi. “Target yangu kwa sasa ni Ulaya lakini kama bado nitabakia Afrika siku moja labda nitakuja na klabu moja
Tweet media one
165
34
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Mtu huna Kombe lolote, huna medali yoyote bado unabishana mwishowe upigwe 😅 #WasafiSports
Tweet media one
57
57
2K
@wasafifm
Wasafifm
11 months
Aliyekuwa nyota wa Liverpool, Roberto Firmino ambaye kwasasa anakipiga kunako klabu ya Al Ahli ya Saudi Arabia amefunga magoli matatu ‘Hat Trick’ katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Saudia (Saudi Pro League) na kuipatia timu yake ushindi katika mchezo wa kwanza wa Ligi hiyo.
Tweet media one
3
41
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
HERODE 🤝🏾 #WazeeWaMinyama
@DullahTheking2
Dullah_theKing🎶
1 year
Fafanua maneno haya kwa mifano isiyopungua mitatu *Paid Slave *Bank Stetimentiii *Herode Marks 50
Tweet media one
42
38
458
74
70
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Mimi ninachompenda (Ally Salim) game kubwa mimi nina wasiwasi yeye hana wasiwasi, sidhani kama alikuwa tested sana (Big Saves) isipokuwa alifanya kazi yake ya msingi vizuri.
Tweet media one
12
40
2K
@wasafifm
Wasafifm
5 months
Akifika Bunju aendelee na mazoezi binafsi #WasafiSports
Tweet media one
12
26
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Kuelekea katika mchezo mkondo wa kwanza wa fainali ya mchezo wa Shirikisho Caf kati ya Yanga Sc na USM Alger utaopigwa Jumapili Mei 28 katika dimba la Benjamin Mkapa Mbunge wa Morogoro Mjini, Abdul-Aziz Abood amenunua tiketi 1000 kwaajili ya kuwapatia mashabiki na wanachama wa
Tweet media one
15
46
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa wapanda mlima Kilimanjaro kuendelea na safari Ya kufikisha Jezi mpya katika Kilele cha Mlima huo. Viongozi na waandishi wa habari Mbalimbali waliokuwa kwenye msafara huo, wameishia Kisambionyi hivyo
Tweet media one
41
49
2K
@wasafifm
Wasafifm
7 months
#TETESI Nahodha wa kikosi cha Yanga Sc, Bakari Mwamnyeto huenda akatimka ndani ya kikosi hicho cha wananchi mwishoni mwa msimu huu. Mkataba wa Mwamnyeto na Yanga utafikia ukingoni mwishoni mwa msimu huu wa 2023/24 na taarifa zinaeleza kuwa zipo timu mbalimbali kutoka Morocco 🇲🇦
Tweet media one
61
45
2K
@wasafifm
Wasafifm
2 months
Mchezaji wa Kimataifa wa klabu ya Wanawake ya Al Nassr, Clara Luvanga 🇹🇿 akiwa katika picha ya pamoja na Mchezaji wa klabu ya Al Nassr (wanaume), Cristiano Ronaldo 🇵🇹 #WasafiSports
Tweet media one
Tweet media two
123
84
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Tumewaambia wachezaji wote kesho waje na familia zao, na sio wao tu hata sisi staff, kesho kwa mara ya kwanza ntashusha Chuma pale Azam Complex. “Mtamuona Mayele na Familia yake, Aziz na Familia yake, Musonda, Kibwana, Dickson Job watakuja na familia zao, kesho na mimi
Tweet media one
40
35
2K
@wasafifm
Wasafifm
6 months
Mkurugenzi wa Wasafi Media na Nyota wa Mziki Barani Afrika, Naseeb Abdul @diamondplatnumz amehoji ni kosa gani alilofanya Haji Manara lililofanya kufungiwa kujihusisha na mpira kwa kipindi chote cha miaka miwili. Akizungumzua kwenye The Royal Birthday ya Manara & Engagement
Tweet media one
154
41
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Klabu ya Yanga Sc, imekamilisha usajili wa beki wa pembeni raia wa Ivory Coast 🇨🇮 Yao Kouassi Attohoula kutoka klabu ya Asec Mimosas. #WasafiSports
Tweet media one
29
47
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Umemtambua mchezaji gani katika picha Hii ?
Tweet media one
129
30
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Jana dada mmoja kaniandikia meseji m Baba yake mdogo alianguka kwa presha wakati Dabi ikiendelea. Amefariki ameacha mke na watoto. Mwandishi mmoja akaniambia Songea kuna mtu amefariki kwa presha wakati game inaendelea. Na hapa nasoma Chalinze kuna shabiki wa Yanga amefariki.
Tweet media one
39
54
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Imeelezwa kuwa Kikosi cha Yanga kilichoondoka mapema leo kuelekea Singida kwaajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi Singida Big Stars kimerejea Dar es Salaam usiku huu baada ya ndege aina ya Precision Air waliyopanda kwenda jijini Dodoma kushindwa kutua katika uwanja wa ndege wa
Tweet media one
136
40
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Captain Bocco nadhani ile ndoto yako ya kuwa Mwalimu wa Youth Team imetimia, kila mara yeye amekuwa akinikumbusha kuwa anataka kufundisha vijana, nataka kuisaidia Simba katika kuvuna vijana, nadhani ndoto yake ile inaendelea kutimia,” Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Try Again
Tweet media one
8
40
2K
@wasafifm
Wasafifm
5 months
Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, John Bocco ameanza kusomea kozi ya kocha kwa ngazi ya awali inayoendeshwa na Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) katika Makao Makuu ya Shirikisho hilo yaliyopo Karume jijini Dar es Salaam ikiwa ni miezi michache kabla ya Mkataba wake na Simba
Tweet media one
40
49
2K
@wasafifm
Wasafifm
3 months
“Unakuta kuna kijana kama Mimi yuko mkoani huko anakuja kutukana kwenye page yangu badala atafute pesa, unaenda kwa mjomba unapewa 10,000 (elfu 10) unalipa nauli unaingia uwanjani bure, unavunja geti baada ya mechi unaongea ‘sisi tumelipa nauli yetu, sisi ndio timu yetu hii’
Tweet media one
164
60
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Mchezaji nyota wa Ufaransa, Kylian Mbappe yupo nchini Cameroon ambapo amepokea ukaribisho mkubwa na wenye furaha kutoka kwa maelfu ya mashabiki wananchi wa Cameroon. Mbappe yupo Cameroon kwa ziara inayojumuisha kazi ya hisani kwa watoto viziwi na safari ya kwenda kijijini
Tweet media one
17
33
2K
@wasafifm
Wasafifm
5 months
Ndoa ya Chama na Simba itafikia tamati mwishoni mwa msimu huu wa 2023/24 Vipi wanalunyasi kiungo abaki au aende? #WasafiSports
Tweet media one
44
38
2K
@wasafifm
Wasafifm
5 months
Mwanayanga ulimiss huduma ya Aziz Ki ndani ya kikosi cha Yanga ? #WasafiSports
Tweet media one
9
25
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Unakubaliana na Edo Kumwembe kuwa kuna baadhi ya wachezaji ndani ya Simba Sc wanatakiwa kupewa mkono wa kwaheri ? “Katika dakika hizi za lala salama sidhani kama Kuna watu wataweza kuleta ujanja ujanja na kupewa mikataba mipya baada ya Safari ndefu ambayo Simba wamepitia,
Tweet media one
54
34
2K
@wasafifm
Wasafifm
4 months
Kijana wa Kitanzania Iverson Nyasulu yupo jijini Manchester nchini England 🇬🇧 kuhudhuria kliniki maalumu ya kisoka kwa watoto wadogo inayofanyika klabuni hapo kwa siku sita kuanzia jana, Aprili 1, 2024. Iverson anayelelewa ndani ya Kili Youth Academy iliyopo jijini Dar esalaam
Tweet media one
17
33
2K
@wasafifm
Wasafifm
3 months
“Nichukue fursa hii kuwapongeza sana viongozi wa Simba, wako very very smart, wanaakili wana brain nzuri ya kujua mpira, yule kocha (Benchikha) alishafika mwisho lakini sisi kama Yanga tulifurahishwa na maamuzi ya yule kocha kuletwa kwa sababu tulikuwa na kisasi naye, kwahiyo
Tweet media one
35
38
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
NGOMA NI MNYAMA Klabu ya Simba Sc imemtambulisha Kiungo, Farbice Ngoma kutoka Al Hilal ya Sudan kuwa mchezaji wao mpya. Ngoma raia wa DR Congo 🇨🇩 atajiunga na Simba Sc kwa mkataba wa miaka miwili. #WasafiSports
Tweet media one
19
53
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
TETESI ni kwamba mrithi wa Mayele ambaye ni Emmanuel Mahop Dikongue (28) kutoka Cameroon amewawekea ngumu Yanga Sc kwenye kipengele cha mshahara. Taarifa zinaeleza kuwa mchezaji huyo anataka kulipwa milioni 35 kwa mwezi huku Yanga wakimuwekea milioni 20 mezani. Makubaliano
Tweet media one
55
33
2K
@wasafifm
Wasafifm
6 months
Meddie Kagere na Singida Fountain Gate wamemalizana na sasa ni mali ya Namungo FC ya Mkoani Lindi. #WasafiSports
Tweet media one
16
28
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Klabu ya Singida Big Stars kutoka Tanzania 🇹🇿 na Klabu ya US Monastir kutoka Tunisia 🇹🇳 wameingia mkataba wa mashirikiano kati ya pande hizo mbili, mkataba utakaoinufaisha klabu ya Singida BS katika kufikia malengo yao ya kuwa moja ya klabu kubwa na Bora nchini na Afrika.
Tweet media one
13
26
2K
@wasafifm
Wasafifm
3 months
Nyota kinda wa Yanga Sc, Clement Mzize amegeuka lulu kwenye soko la mpira wa miguu akitajwa kuhitajika na vilabu mbalimbali ndani na nje ya nchi. Tetesi zinaeleza kuwa Klabu ya Azam imeweka milioni 400 (400m) kama ada ya usajili kwa mzize wakitaka kumng’oa jangwani na kumpeleka
Tweet media one
68
42
2K
@wasafifm
Wasafifm
2 years
Baada ya Taarifa kuwa klabu ya Yanga imemrudishia Feisal Salum (Fei Toto) Fedha aliyoipeleka Yanga kwaajili ya kununua mkataba wake ambayo ni thamani ya Milioni 112 mchezaji huyo ameweka bayana kuwa msimamo wake ni uleule wa kutimkia Azam Fc. #WasafiSports
Tweet media one
50
49
2K
@wasafifm
Wasafifm
2 months
“Wewe kama ni mtanzania una wajibu wa kuja uwanjani kusapoti timu yako, kusapoti taifa lako, sisi kama Yanga kwa 100% tutashirikiana na Azam FC kwenye michuano ya kimataifa kuhakikisha tunafanya vizuri wote kwa pamoja,” KAMWE #WasafiSports
Tweet media one
16
31
2K
@wasafifm
Wasafifm
4 years
#GoodMorning • " Hotel niliyonunua kwasababu sijaanza kui upgrade , Niko radhi niitoe kwa serekali kwa muda huu ili iweze kutumika Kama Karantini au Hospital mpaka pale Corona itakapoisha " - @diamondplatnumz
Tweet media one
113
116
2K
@wasafifm
Wasafifm
2 months
AZAM HAWATAKI UTANI NA LIGI YA MABINGWA “Sisi (Azam FC) hatuna uzoefu mkubwa sana hasa Champions league nafikiri ni changamoto ya kwanza ambayo kama timu tumeizingatia na ndio maana mwalimu ameomba maandalizi mapema. “Lakini kikubwa pia ni kuset agenda kwamba…👇🏼
Tweet media one
8
37
2K
@wasafifm
Wasafifm
11 months
“Mchezo wetu wa Jumamosi dhidi ya ASAS Djibouti tumechagua iwe siku ya mtoko maalum wa mashabiki na Wanachama wetu, tuonyeshe ku appreciate mchango wa Max Nzengeli itakuwa na MAX DAY ukija Azam Complex hakikisha umechomekea” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ali Kamwe.
Tweet media one
10
33
2K
@wasafifm
Wasafifm
3 months
“Sisi kama Yanga tumeamua mchezo huu wa jumamosi tuwakabidhi wazee wetu, huu mchezo wa Derby wa Jumamosi ni (WAZEE DAY ‘Mapigo ya kiutu uzima’), wazee wa Yanga wote hii mechi ni ya kwenu, tukifungwa ni nyie. “Tunaomba mkatuheshimishe wazee wetu, mje kwa wingi Benjamin Mkapa
Tweet media one
42
56
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Kwenda Ihefu haikuwa kwasababu ya Kiwango changu, nilienda kwa kumuheshimu Kiongozi wangu. “Kabla sijaenda Ihefu Simba tayari walikuwa wameshavunja mkataba wangu. Walishapeleka barua TFF kuwa mimi sio mchezaji wao tena, sipo tena kwenye list ya wachezaji wao, nilienda Ihefu
Tweet media one
53
33
2K
@wasafifm
Wasafifm
2 years
Congratulations to @SimbaSCTanzania & Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tweet media one
8
51
2K
@wasafifm
Wasafifm
10 months
✍🏼✍🏼 Ameandika The Top Scorer Ahmed Abdallah Kosa moja halihalalishi kosa lingine, ni kweli jana katika mchezo kati ya Yanga na Namungo ilipaswa kutoka adhabu kali kwa rafu aliyochezewa Lomalisa jambo ambalo lilipaswa kuhakikishwa na mwamuzi mwenye dhamana ya kusimamia sheria
Tweet media one
221
49
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Kikosi cha Simba leo saa 10 jioni katika uwanja wa Bolu kitacheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Zira FC (The Eagles) ya nchini Azerbaijan ikiwa ni mwanzo wa kuonyesha mwanga kwa benchi la ufundi katika kile wachezaji walichokuwa wakifundishwa tangu kambi hiyo ianze nchini
Tweet media one
15
38
2K
@wasafifm
Wasafifm
6 months
Beki wa Klabu ya Simba SC, Henock Inonga ameiwekea klabu hiyo historia kuwa mchezaji wa kwanza kutoka Simba aliyeisaidia Timu yake ya Taifa ya DR Congo kutinga hatua ya Robo Fainali katika fainali za Mataifa Afrika (AFCON). DR Congo imetinga hatua ya robo fainali kwa mikwaju ya
Tweet media one
22
25
2K
@wasafifm
Wasafifm
3 months
Vita sio ya kitoto hii…. Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe ameeleza kuwa wao Kama Klabu walianza mchakato wa kusafirisha mashabiki wao mapema na wakaona kuna haja ya kuishirikisha Serikali kwenye mchakato huo. Eti Tunapendelewa? Sisi Tulishaanza mchakato wetu
Tweet media one
105
49
2K
@wasafifm
Wasafifm
6 months
Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji, Joseph Guédé Gnadou (29) kutoka Ivory Coast #WasafiSports
Tweet media one
27
27
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Tunataka kuwa sehemu ya msaada wa kuandaa AFCON hapa nchini, tunataka kujenga uwanja wa kisasa pale Jangwani, kuna maeneo jirani na pale jangwani ambayo hayajapangiwa matumizi na serikali tunaomba Mheshimiwa Rais tupate ongezeko la ardhi ili tuweze kujenga uwanja wa kisasa na
Tweet media one
20
44
2K
@wasafifm
Wasafifm
5 days
Klabu ya Yanga imefanikiwa kunasa sainj ya Kiungo Mshambuliaji, Duke Abuya raia ya Kenya aliyekuwa akiitumikia klabu ya Singida Black Stars (Ihefu). #WasafiSports
Tweet media one
15
37
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Baada ya majadiliano na Uongozi kumalizika vizuri kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama ataondoka nchini muda wowote kutoka sasa kuelekea nchini Uturuki kujiunga na wachezaji wenzake wa Simba kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya. Chama ataondoka pamoja Fabrice Ngoma
Tweet media one
25
39
1K
@wasafifm
Wasafifm
2 years
“Juma Mgunda amefanya kazi nzuri sana, wengi tunafahamu tumekuwa na makocha wengi sana, lakini yeye amekuwa akishirikiana vizuri na wachezaji, mimi namheshimu na Mungu akijaalia nataka kukutana naye nimsikilize lakini kwa sasa hivi (we are very happy),” @moodewji #WasafiSports
Tweet media one
17
47
1K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Tumewahi kufanya sajili nyingi huko lakini usajili wa safari hii ambao tunakwenda kuufanya ni usajili mkubwa haujawahi kutokea katika maisha ya Simba Sports kwa sababu kwanza fedha ya usajili ipo (fungu la kutosha) hakuna atakayekopwa hata shilingi 100, yaani amekubali kuja
Tweet media one
62
39
1K
@wasafifm
Wasafifm
11 months
Jumapili Agosti 13, 2023 kwenye Dimba la Mkwakwani jijini Tanga itashuhudiwa Derby ya Kariakoo kati ya Simba Sc na Yanga Sc ambapo miamba hiyo ya Soka ya Tanzania itakutana katika fainali ya Ngao ya Jamii. Hapa kila shabiki, mwanachama na Mpenzi wa Soka nchini atataka kuona
Tweet media one
13
38
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
“Huwezi kuudharau ushindi wa Dar es Salaam kwa kufikiria wiki ijayo, walichofanya Simba sawasawa bao 1-0 dhidi ya Wydad “Walifungwa 3 hapa na Raja sasa kwanini usiheshimu kwamba mtu ambaye yuko juu ya Raja katika Ligi Kuu ya Morocco amekufa bao 1 hapa lazima uheshimu hilo…”
Tweet media one
20
48
2K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
📍 ✍🏼
Tweet media one
49
45
1K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
"Katika Hali ya kawaida hawaandiki majina , Lakini zimetoka medali 50 . Pale uwanjani walivalishwa Medali Wachezaji 20 na Kocha Mmoja . Zinazobaki anapewa Team Meneja kwa ajili Ya kuzigawa kwa watu Wote . Hivyo tutazigawa kwa Utaratibu Mzuri na Kuzingatia Umuhimu wa Watu " - Eng.
Tweet media one
63
38
1K
@wasafifm
Wasafifm
3 months
Mshambuliaji wa Pyramids FC ya Misri, Fiston Mayele akifanya mahojiano na kituo cha habari cha Azam, ameeleza kuwa kocha aliyemkuta ndani ya kikosi cha Pyramids wakati anatokea Yanga Sc alitaka kumtoa kwa mkopo Disemba 2023 lakini Rais wa Klabu hiyo alizuia jambo hilo na
Tweet media one
95
51
1K
@wasafifm
Wasafifm
11 months
Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, wa Yanga Sc, CPA Haji Mfikirwa, wakati wa uzinduzi wa Documentary inayohusu mafanikio ya klabu hiyo kwa msimu wa 2022/23 amesema kuwa imani yake kuwa klabu hiyo itachukua ubingwa wa klabu bingwa Afrika kwa miaka ya hivi Karibuni. "Hii klabu
Tweet media one
57
54
1K
@wasafifm
Wasafifm
15 days
UMETOKA MWAMBA UMEINGIA MGODI Kiungo mshambuliaji, Joshua Mutale raia wa Zambia amejiunga na kikosi cha Simba baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu akitokea Power Dynamos ya Zambia. #WasafiSports
Tweet media one
21
48
1K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Unamfananisha @ibrahim_bacca na beki gani pale Barani Ulaya ? #WasafiSports
Tweet media one
51
42
1K
@wasafifm
Wasafifm
1 month
“Siku mbili kabla ya mechi (Simba Vs Yanga) hakuna aliyeniuliza kitu lakini kwenye kikao cha mechi Kocha Mkuu, alisema Aish Manula yuko tayari kwa kucheza mechi hiyo. “Hakuniuliza chochote lakini alifanya maamuzi na nilimuheshimu, kama angeniuliza ningempa mawazo yangu.
Tweet media one
19
41
1K
@wasafifm
Wasafifm
1 year
Kulingana na ripoti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hadi kufikia leo, Julai 20, 2023 timu ya Simba Sc imekalisha usajili wa wachezaji 24, Singida Fountain Gate wachezaji 22, Azam FC wachezaji saba (7) huku mabingwa watetezi Yanga Sc wakiwa hawajakamilisha usajili
Tweet media one
36
35
1K